Kaka joel Mungu akubarik sana kwan.unaona mbali katika future,mimi ni mwanafunzi wa chuo natamani sana kufanya biashara nikiwa nasoma naomba ushauri wako nifanye biashara gani itakayonisaidia
Somo hili sio jipya kwangu, lakini kila ninaposikiliza Habari za ujuzi/skills kuna kitu kipya kina kinaibuka kwenye ufahamu wangu. Shukrani saana mwalimu.
Hello Mr. Joel natumia hujambo. Mimi nilikuwa nataka Ushauri wako nimejaribu Mara nyingi kufanya biashara tofauti lakini sikufanikiwa na Sasa Nina biashara ambayo nataka kuianza ndio Nataka kujaribu.
Habari kaka Joel Mimi nina ujuzi wa computer yaan stationary kwa ujumla ila sijui nifanyie biashara gani maana sina mtaji wa kuanzisha stationary Ninaomba ushauri wako kaka.
Kaka Joel, Mimi bwana Nina uwezo kushawishi mtu kwa leongo la kuboresha bidhaa nilianayo au biashara flan na mtu akavutiwa au kukubali hata Kama hajatarajia?? Je Mimi kutokana na hiki nilicho nacho Naweza nikafanya kaz au nianzishe kitu gani Cha namna hii???
Kaka joel kiukweli ninateseka na hiki kitu, napenda kufanya biashara ya kusambaza bidhaa kuchukua huku na kupeleka kule lakin ni bidhaaa gan sijui ipi na itakuwa endelevu hapo ndo tatizo lilipo je nifanyeje?
Ahsant Baba nimechereewa kukufaham lkn hapa nilipokupata muda huu naamini nitafanikiwa Toka nianzee kukufatiliia akili yng imefunguka na Sasa najipanga kuanzishaa biashaara Kuna siku ntakupa majibu
Kaka mm ninafanya biashara yakuuza vifaa vya simu na bado najiuliza biashara yangu ni ndogo sehemu niliopo wateja wenyewe wa msimu najiuliza niongeze kitu gani
Libarikiwe tumbo lililo kuzaa Joel. Your the best one
Ameen nimejifunza kitu kikubwa mno leoo be blessed Joel
Asante sana kaka 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Yaan ww Kaka Joel unaniinspire xn 🙏 unatufanya tuamke tuliopo ucngizini❤️
Yes ur my twin idea!!!🇹🇿
Kaka Joel wewe ni my Best motivator speaker na huwa nawaambia watu....Seriously
Kaka joel naomba ushauri na milioni tano nifanye biashara gani ambayo nikianza ina anza kuni ingizia hela
@@rebeccatimoth9734 nikopeshe
@aishaaish😂😂😂😂a6127
Nashukuru elim yangu ni ndogo sana lakin mashaalah nimejaaliwa ujuz wakuweza, kubadilisha maisha yangu, nanikawa tajir mkubwa
Hello
Asante sana uko sawa.sana nanauka
God bless you kaka nanauka👍
Thanks sana brother nimevuka mahali
Mr. Joel nanauka apewe uongoz sehemu yoyote ile bas lazima uoene mabadiliko..
Sio passion yake mwenzio kashasema
God bless you 🔥🔥🔥🔥
Nimekuelewa kaka nawaza sana chakufanya katika maisha sasa nimeshakijua
Kaka umenena kwa ukuu sana hongera Sana
Àsante mwalimu nabalikiwa saña na mafundisho yako
Best of the Best may you live longer Mr Joel Arthur Nanauka you've changed me a Lot 🙏🙏
I have impressed with your motivation mr Joel I see you reach so far 🙌
Dah mafundisho mazuri sana bro
Dhaaah nimekuelewa kinoma
Kaka Joel natamani sana kufanikiwa lakin sijui nianzie wapi. Natamaaaaaan sana jaman
Masha Allha mipia nawaza nn chakufanya kiniingizie kipato kama mama wanyumbani
Shukran kwa kutupatia maarifa aa,, 🌹🌹🌹
Kusema rahisi sana..hebu toa mifano kutoka kwenye biashara ulizo wahi anzisha
Kwani kuna biashara kubwa zaidi ya hiyo anayofanya kutufundisha . Biashara siyo lazima uuze vitu .
Anaujuz wa kuongea na watu wakamsikiliza na wakamuelewa tayar hapo ana ujuz na anaingiza pesa.. acha ujuaj na jifunze. lione kwanza
hiyo kuongea ni ujuzi, kama unaona rahisi ongea na wewe tucoment hapa
Thank you so much for this information 😄
Nashkuru joel nmekuuliza swali hapo lakin naona nshapta jibu shukran bishara nzuri yenye kuendelea ni ile iyambatane na ujuzi wako
your amazing bro keep inspiring
Me napenda sana kilimo vip uwo nao niujuzi
Ni unapenda kilimo lakin je una ujuz na kilimo?
kaka mm nimkulima wa kilimo Cha biashara naomba ushaulizaid niweze kunufaika nacho zaidi san ushaulii wako nimeupenda San hongera
Nimtu mwenye mawazo mapana na mungu akubariki
Be blessed
Mungu akubalik Joel
Stay blessed forever
Kaka joel Mungu akubarik sana kwan.unaona mbali katika future,mimi ni mwanafunzi wa chuo natamani sana kufanya biashara nikiwa nasoma naomba ushauri wako nifanye biashara gani itakayonisaidia
Eeee
Ww una ujuzi gn
Kiukweli upo vizuri
True kabisa 🙏
Asante ndugu
Thank you so much🙏🏾
Your that inspiring person i know! Stay blessed
Sehemu niliopo inanipa wakat mgumu sana Kuanza biashara kaka joel
Ahsant kwa elimu mzuri
Ahsante sana bro
Am so happy kusikia swala linaloitwa biashara lakin leo nimepata kitu kutokana ww brother Joel Give us medicine
Nabarikiwa sana na maneno yako
ubarikiwe sanaaa
Nakupata vp kak nanauka
Waoo katik zote hii ndoiko poa sanaa kiupande wangu m.mng aliyeumba mbingu na ardhi akubariki
Somo hili sio jipya kwangu, lakini kila ninaposikiliza Habari za ujuzi/skills kuna kitu kipya kina kinaibuka kwenye ufahamu wangu. Shukrani saana mwalimu.
Kutengeneza sim
Naomba ushauli
kaka asante sana kwa mafundisho yako
you are the best broo
kaka hakuna somo baya kwako very thank you
Asante Kaka
KUZALIWA kwako ni Neema aisey 🎉
Shukran sana
Unatujenga sana vijana wa kiafrika
Balikiwa
Nice 🎉
Bravooo...!
Thank you sir
Maneno matam sna
Daimaa napendaa kuwa Kama wew
🙏sana
Kaka napenda motivation yak mimi n mwanachuo nataman kufanya biashara ila mazingira niliyopo mimi bado mgeni nfanyej
Saw
Great
Hello Mr. Joel natumia hujambo. Mimi nilikuwa nataka Ushauri wako nimejaribu Mara nyingi kufanya biashara tofauti lakini sikufanikiwa na Sasa Nina biashara ambayo nataka kuianza ndio Nataka kujaribu.
Point noted.
Kuwa na ujuz wa kucheza play station je nayo ni ujuz ambao nina weza kuutumia kuniletea kipato?
Shukulan kak Kwa som lalk zuri san
napataje namb yako jmn unanibarik
Kak mim ninafanya biashara ya kupika vitafunwa vizur sana pia huwa ni msusi, pia naweza kupamba vitanda lakin kak bado sjafanikiwa nifanye nin sas?
mimi nimwanafunzi wa form five hila napenda kusikiliza ushauri wako napenda sana kaka
Kweli ujuzi niuhimu
MyLifeCoach
Mi napenda san kufanya biashala iwe duka au mgahawa napenda san
Mimi Nina eneo kubwa la Hela 19 na nyumba pamoja na mabanda ya kuku na ya Ng'ombe nauza
Kaka bakupataje nimetaman kuongea na ww zaidi
Kaka mimi nimekuelewa saan
Nimekuelew sana bro sijawah kukoment post yoyte lakn Kwa hili nimejifunz kitu sana
Nimependa
Habari kaka Joel Mimi nina ujuzi wa computer yaan stationary kwa ujumla ila sijui nifanyie biashara gani maana sina mtaji wa kuanzisha stationary Ninaomba ushauri wako kaka.
Hlw unataka kwel kuwa na stationary
Mimi napenda Sana ufugaji na kilimo lakini sehemu ya kufugia sasa changamoto
True
Naomba nikupigie inbox naomba namba ya mawasliano naomba
Kaka Joel, Mimi bwana Nina uwezo kushawishi mtu kwa leongo la kuboresha bidhaa nilianayo au biashara flan na mtu akavutiwa au kukubali hata Kama hajatarajia?? Je Mimi kutokana na hiki nilicho nacho Naweza nikafanya kaz au nianzishe kitu gani Cha namna hii???
Natamani nikuelewe nahis kuna kitu hapa
Nakusoma bro
Kaka joel kiukweli ninateseka na hiki kitu, napenda kufanya biashara ya kusambaza bidhaa kuchukua huku na kupeleka kule lakin ni bidhaaa gan sijui ipi na itakuwa endelevu hapo ndo tatizo lilipo je nifanyeje?
Mi ni operator wa motor grader na sijaajiriwa na campuni au mtu binafsi sasa swali nafanyaje kutengeneza pesa?
Mimi ni fundi chelehani ila sipati wateja
Ahsant Baba nimechereewa kukufaham lkn hapa nilipokupata muda huu naamini nitafanikiwa Toka nianzee kukufatiliia akili yng imefunguka na Sasa najipanga kuanzishaa biashaara Kuna siku ntakupa majibu
Kaka niko na laki moja ila sijui nifanye biashara gani
Bwana wewe fundi gari ni car mechanic engineer
Na je kama huna ujuzi ila unamtu wako yeye anaujuzi ila hana mtaji haiwezekani kufanya jambo kwa pamoja?
Biashara ni ujuzi "find ur skills" bado najitafuta
brow umenikosha sana mwaka utakapo kuja mtwara naomba nikuone
Kaka mm ninafanya biashara yakuuza vifaa vya simu na bado najiuliza biashara yangu ni ndogo sehemu niliopo wateja wenyewe wa msimu najiuliza niongeze kitu gani
Tatizo namba unayoitoa msg ukituma haijibiwi cm inatumika mno,tunapaje kitabu
Miminauzaviuato
ni mepata elimu juu ya ujuzi
Na Wayne awazasoma tufanye gani kaka
kabx,,,, ila tatizo unaweza ukawa na hizo skills ila mtaji ukakuta hauna,, je,, mtu anaweza akafanyaje????
Bro uko vizuri ila nitatatixo LA kupenda kila biashara ninayoiona
Anza bange inalipa sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉