MAZINGE AMUUMBUA VIBAYA SANA PASTA ODADA KATIKA MASWALI NA MAJIBU JIJINI MWANZA 2004 MWAKA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 517

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 ปีที่แล้ว +18

    Mashallah tabarak Rahman sheikh mazinge mungu akuzidishie ilmi yarab ameen 🥰🥰🥰🥰🇴🇲👌

  • @rawchah9920
    @rawchah9920 3 ปีที่แล้ว +8

    allh akujaalie maisha marefu pro mazinge kaka

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 3 ปีที่แล้ว +13

    Anord wa mihadhara Ni mazinge maana kwenye anga zake mtu Haruki😀😀😀😀 mazinge na Jopo loote la waisilamu mwenyezimungu Awaweke kwa usalama na Amani Duniani na Akhera 🙏

  • @XhinunaHumoud
    @XhinunaHumoud 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah hongera sana mazinge

  • @maherzain615
    @maherzain615 3 ปีที่แล้ว +28

    Allah akupe umri mrefu na afya. sheikh wetu mazinge.wakristo yataka mumshukuru sana mazinge ana hamu yakuwaokoa na moto

    • @henryshiyo5374
      @henryshiyo5374 3 ปีที่แล้ว

      Mnamdihaki mungu kipuzi tu hapa mnatoa tafusiri zakibinadamu tena za ulimwengu huu hakika moto upo karbu yenu yalio alioandikwa ni mafumbo hivyo ya paswa kufumbuliwa kwa hekima si kushindana kama mpira wa miguu

    • @ellykiupa3696
      @ellykiupa3696 3 ปีที่แล้ว

      @@henryshiyo5374 wewe hujielewi pole sana

    • @henryshiyo5374
      @henryshiyo5374 3 ปีที่แล้ว

      @@ellykiupa3696 siku zote nyanyi haoni kundule ukweli hauna tabia ya kukubalika mapema hivyo sasa utaona sijielewi kwasababu tu ulishalishwa ya kipuziiii

    • @badruhamisi7289
      @badruhamisi7289 2 ปีที่แล้ว

      @@henryshiyo5374

    • @badruhamisi7289
      @badruhamisi7289 2 ปีที่แล้ว

      @@henryshiyo5374 *p*
      *pp***

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 ปีที่แล้ว +9

    Mashallah professor Mazinge DD Allah akuweke. 😍

  • @avalonking1655
    @avalonking1655 2 ปีที่แล้ว +4

    Mazinge unatisha baba Allah azidi kukufunilia hingera sana big up Ma shaa Allah🙏

  • @mwitaproduction5380
    @mwitaproduction5380 3 ปีที่แล้ว +11

    Mungu akupe umri mrefu uzidi kuisambaza dini ya Allah pia ushinde changamoto zitakazo kukabil katika kazi nzito ya Allah

  • @raziaidd2392
    @raziaidd2392 3 ปีที่แล้ว +5

    Ma shaa Allah sheikhe mazinge Allah awalipe kila la kheir

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 2 ปีที่แล้ว +1

    Quoran kwenye vicwa vyenu .....bible kwenye vicwa vyenu Allah awaingizeni peponi bila isabu mnaifanya kazi kubwa

  • @jamalsaid7475
    @jamalsaid7475 2 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa Allaah
    Alhamdulillah
    Kiboko yao Sheikh p

  • @msellemseif3102
    @msellemseif3102 2 ปีที่แล้ว

    Professional.Habib Mazinge

  • @suleimanabdull1958
    @suleimanabdull1958 3 ปีที่แล้ว +9

    Ahsante Swaim this is Mazinge classic ninayo lkni kwenye video cassette Leo nimefurahi. Thanks.

  • @KambaleShabani
    @KambaleShabani ปีที่แล้ว

    A s l m a l km.nashukuru.kwa.mihadharz

  • @ashourarashid289
    @ashourarashid289 3 ปีที่แล้ว +4

    Uislam ndio dini ya kweli allah atupe mwisho mwema

  • @Sandra39823
    @Sandra39823 3 ปีที่แล้ว +8

    Yaani kwa Mazinge huruki, alafu mwenye kipaza sauti kanimaliza, yaani akiambiwa achukue mike, ni kama radi chwa chwa mike inachukuliwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 3 ปีที่แล้ว +1

      Nami nimeona kama upepo

    • @onlyonetztv610
      @onlyonetztv610 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimecheka mno

    • @Sandra39823
      @Sandra39823 3 ปีที่แล้ว

      @@onlyonetztv610 😂😂😂😂😂mimi ndio kabisaaa

    • @aminaluttu649
      @aminaluttu649 3 ปีที่แล้ว

      Ahahahahha nimemuona kwel Ahahahahha dah

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 3 ปีที่แล้ว +9

    MashaAllah, sheikh mazinge na wenzio. Allah awalipe kila la kheri

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 ปีที่แล้ว +4

    Mazinge 😀 Allah akupe umri mrefu

  • @neemainabikorwa5570
    @neemainabikorwa5570 3 ปีที่แล้ว +3

    Cheikh Mazinge na muomba Allah akupe umri mrefu wenye kheri na bakara, na wa islam wote .

    • @nicholasgabriel8805
      @nicholasgabriel8805 3 ปีที่แล้ว

      Mazinge tafadhali naomba uokoke jehanam inakuhusu

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 ปีที่แล้ว

    Mie shekh mazinge nakuombea duwa tu basi

  • @ahmedotuman109
    @ahmedotuman109 3 ปีที่แล้ว +5

    Mazinge Allah akujaalie pumz ili uzd kufubdsha makafir hawa

  • @jumjumsaid3552
    @jumjumsaid3552 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu professor kweli

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 3 ปีที่แล้ว +4

    Allah atawalipa nyinyi wote mnatetea Dini ya Allah

  • @falidiamiiamii-jz5pf
    @falidiamiiamii-jz5pf 3 หลายเดือนก่อน

    Huy sh taungia ktamb kibok mpak leo sh mazng allah akuzdishie

  • @EsterMbawala-z3j
    @EsterMbawala-z3j 11 หลายเดือนก่อน

    Anafurahsha can maznge

  • @rajabomar4505
    @rajabomar4505 3 ปีที่แล้ว +5

    Pasta odada ana hasira kweli naona amehamaki kweli hahahahahahahah

  • @DaudiMwangati-id1tk
    @DaudiMwangati-id1tk 20 วันที่ผ่านมา

    Huna jibu mazinge muhamd hakutailiwa

  • @SodanaMrisho-hu4by
    @SodanaMrisho-hu4by 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akujaze kheri

  • @ramadhaniathumanibatumnwa1842
    @ramadhaniathumanibatumnwa1842 ปีที่แล้ว

    Mashalah mfundisheeee huyo hajui

  • @calvinmangwea9249
    @calvinmangwea9249 3 ปีที่แล้ว

    Shekh maulana

  • @abdallahbinzayd3464
    @abdallahbinzayd3464 3 ปีที่แล้ว +1

    Takbiriii

  • @edikiumbe7391
    @edikiumbe7391 2 ปีที่แล้ว

    USTADH MAZINGE TUNAOMBA KABLA KUISHA HUU MWAKA WA 2022 UJE UJE UFANYE MDAHALO ZANZINBAR WAZANZIBARI YANI TUNAKUPENDA SANA NA TUNATAMANI HII MADA IFANYIKE KWETU ZANZIBAR INSHA- ALLAH

  • @mussaluhizo5693
    @mussaluhizo5693 2 ปีที่แล้ว

    Doh unanfurahisha sana mazinge

  • @sumaonemaloko1815
    @sumaonemaloko1815 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatari sana Mazinge mungu ampe maisha marefu na ya baraka🙏🤝🤲🏼🤲

  • @baaliyanuun416
    @baaliyanuun416 3 ปีที่แล้ว +53

    Kiboko ya wakiristo komando wa uislam prof MAZINGE 🤣🤣🤣

    • @mangeraalbert7982
      @mangeraalbert7982 3 ปีที่แล้ว +1

      Amri wetu

    • @farhatislam6550
      @farhatislam6550 3 ปีที่แล้ว +4

      Nampenda kwA ajili ya allah..yaarab mlinde kwA kila shari.

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      Hana lolote

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      Mazinge hana lolote

    • @farhatislam6550
      @farhatislam6550 3 ปีที่แล้ว

      @@joezeno8 Sasa Kama wewe jiná pekee linaitwa Joe zero umebakisha nini mwenye sufuri 😆😆😆

  • @ramadhaniathumanibatumnwa1842
    @ramadhaniathumanibatumnwa1842 ปีที่แล้ว

    Mueleweshe Shekhe wetu

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 3 ปีที่แล้ว +11

    Pro. Mazinge mpaka Sasa duniani basi Allah sw kakupa kipaji cha pekee. Maana huna stori 😂. Mtu akijamba tu unatoa andiko😂. Sichoki kukusikiliza tokea enzi hizo

  • @latifalatifa2838
    @latifalatifa2838 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana mazingi

  • @gideonmwangi3535
    @gideonmwangi3535 9 หลายเดือนก่อน

    Mazinge kazi yake nikurukaru bado anajidifedi na bibilia kwakiristo sitoki

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 ปีที่แล้ว

    mhadhara mzuri

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 3 ปีที่แล้ว +3

    Mazinge Allah will protect you, amin

    • @aminamohammed5373
      @aminamohammed5373 3 ปีที่แล้ว

      Profesa mazinge aallaha akuweke akupe afya kila penye uzito allaha akufanyie wepes inshaallah tunakupenda ❤

  • @barkyabdallahsuleiman7069
    @barkyabdallahsuleiman7069 2 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge may Allah guide you mashaallah

  • @zaitunimrisho6377
    @zaitunimrisho6377 3 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge kiboko

  • @khatibjuma9455
    @khatibjuma9455 3 ปีที่แล้ว

    Allah akupe nguvu zakuwashinda makafiri waongoke njia

  • @abdallahsultan8528
    @abdallahsultan8528 ปีที่แล้ว

    Huyu mwamba noma

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH BARIIK

  • @جنيتكينيا
    @جنيتكينيا 3 ปีที่แล้ว +3

    Allahu Akibaru

  • @thabitimzungu8381
    @thabitimzungu8381 3 ปีที่แล้ว +1

    Takbiiiir

  • @suleimansuleiman1127
    @suleimansuleiman1127 3 ปีที่แล้ว +2

    Usihame kwanza Mike 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hamadinuru1450
    @hamadinuru1450 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @bmstatic8150
    @bmstatic8150 3 ปีที่แล้ว +1

    Mash'Allah

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 ปีที่แล้ว +1

    mazinge umefeli muhamadi ajatairiwa toka akiwa hause boy muhadi mpaka kumpata mjane adija

  • @costazia6507
    @costazia6507 3 ปีที่แล้ว

    Pastor big up sana mtumishi
    MUNGU wetu akubariki sana mtumishi unaongea ukweli
    Ila ata biblia inasema wengine wanaambiwa kwa mafumbo ili ata wakiambiwa wasielewe
    Pambana na kazi ya bwana wetu yesu kristo thawabu yako ipo 🙏🙏

    • @ahmedshaffiq8888
      @ahmedshaffiq8888 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ww kalale

    • @khatibramadhan8740
      @khatibramadhan8740 2 ปีที่แล้ว

      Polee

  • @wazoboy1319
    @wazoboy1319 2 ปีที่แล้ว

    Mazinge ni mfano wa kuigwa ,,ni mtu ambaye amejariwa ,,kipaji maarum kwajiri ya kuitangaza dini kwa makafiri ,,mora ampe maisha marefu azidi kuipigania dini

  • @kinyanyaonline3658
    @kinyanyaonline3658 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akupe umri mrefu Aamin

  • @omarychipeta3148
    @omarychipeta3148 ปีที่แล้ว

    allah a2pe mwisho mwema

  • @fatahhugan8978
    @fatahhugan8978 3 ปีที่แล้ว

    Takbiir allahu akbar

  • @abdullahyusufutabu3521
    @abdullahyusufutabu3521 2 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 3 ปีที่แล้ว

    Wewe mazinge jibu swali acha kuzunguka mbuyu kwa maneno ya kejeli

  • @nassoroseif8576
    @nassoroseif8576 3 ปีที่แล้ว +3

    Mazinge nimwalim wa walim

  • @avalonking1655
    @avalonking1655 2 ปีที่แล้ว

    Huyu pastor anaitwa odada au dada😀😀😀

  • @ابتيي-غ3ي
    @ابتيي-غ3ي 3 ปีที่แล้ว +3

    Wakristo ingieni katika dini ya haki ukapate raha za milele

    • @kichenjekichenje2072
      @kichenjekichenje2072 3 ปีที่แล้ว

      Dini iloyotolewa kwa mtu acyejua kusoma wala kuandika!Alitokewa na mtu akamwambia soma! Mohammed ,yeye alijibu nini?Huoni kama pale ndio mwanzo wa kupotoka kwenu,mana alimezeshwa maneno ambayo hakuyajua hata tafcr yke.Na alipotoka pale alikuwa na mapepo,sasa jiulizeni mapepo yanatoka kwa nani?

    • @ابتيي-غ3ي
      @ابتيي-غ3ي 3 ปีที่แล้ว

      @@kichenjekichenje2072 huyo yesu nae alisomea wapi jamani

  • @hajiahmad2328
    @hajiahmad2328 3 ปีที่แล้ว +2

    Mazinge kiboko yenu wakiristo

  • @Jabaman207-ue6sk
    @Jabaman207-ue6sk 5 หลายเดือนก่อน

    M,a mazinge

  • @faridalitela8730
    @faridalitela8730 11 หลายเดือนก่อน

    Mazinge wapeleke darasani hao

  • @MakataWaMakatani
    @MakataWaMakatani 7 หลายเดือนก่อน

    😂 subhanallah 🤣 ALLAHu swwamaad ❤

  • @RtnhunterRenixy-ej3zp
    @RtnhunterRenixy-ej3zp ปีที่แล้ว

    Aisee mazinge hatari nakukubali Kwa hoja zako

  • @mickmonster9140
    @mickmonster9140 3 ปีที่แล้ว

    Taqbireeee

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 ปีที่แล้ว +5

    mda wote nimekaa natazama sjaona ata mara moja pastor katoa andiko ata moja

  • @salmamwanyiro8348
    @salmamwanyiro8348 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu pastor kakurupuka akujui shekh mazinge huyo kwenye sura yake kashindwa

  • @ن.ع.م.هح.ب.س.ي
    @ن.ع.م.هح.ب.س.ي 3 ปีที่แล้ว

    Ni vizuri mtu akiuliza kwa utulivu basi mnamjibu kwa Busara sio ugomvi uislam ni Salaam hata tukamilishe Uislam wetu kwa usalama

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo 6 หลายเดือนก่อน

    nachokipenda Kwa waislamu ukiwauliza swali la kimaandiko kama kunaandiko atakujibu Kwa kujupa haya lakini wakristo unamuuliza we tarehe 25 mwezi wa kumi na mbili ni suku ya kuzaliwa yesu anaacha kujibu kama aya ipo au haipo ye anaanza kuangaika na vitu ambavyo havipo

  • @jamilaalfarsi7712
    @jamilaalfarsi7712 3 ปีที่แล้ว +6

    Yanimikafiri mm naishangaa mn yanakuja kuuliza maswali nahayajajipanga au yanafkiri yenyewe hatoulizwa? Yani yakiulizwa maswali yenyewe hujubabaisha kanakwamba hayaelewi kiswahili

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 3 ปีที่แล้ว

      Tena wanajifanyaga wamekomoa kweli sasa wakijibiwa na kuulizwa wao wamajizunguushaaaa weeeee

    • @jamilaalfarsi7712
      @jamilaalfarsi7712 3 ปีที่แล้ว

      @@ummuhkhalfan5542 umeona eeee yani hujakwenye midahalo kwamarefu namapana namiswali yao yakijinga wakijitapa Leo naenda kuwaumbua waislamu yakiuliza na yakajibiwa hujifanya hayaelewi na yakiulizwa yenyewe maswali hujifanya viziwi mikafiri mwana

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 3 ปีที่แล้ว

      @@samuelcn9253 Masha'Allah kama ilivyo shule somo hilo hilo akija mwalim huyu humuelew na huyu unamuelewa sana ndo hivyo hivyo ktk dini umpate mueleweshan na mdadavuaji tatizo la mazinge hafundishi yeye anajibu swali tu vipi ushasilim ndugu yangu kabla malakul maut hajakupitia

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 3 ปีที่แล้ว

      @@samuelcn9253 Kuna mhadhara wa mitume wa zamani walikuwa dini gani ndo nafatilia wanaonyesha channel mbalimbali

    • @omarykseko9876
      @omarykseko9876 3 ปีที่แล้ว

      Usiwatukane wenzio kenge we

  • @mswabumhogo1334
    @mswabumhogo1334 3 ปีที่แล้ว +1

    ety akili imeingiwa na mafut ya taaaaa

  • @nasramwalami7759
    @nasramwalami7759 3 ปีที่แล้ว

    Man ala

  • @EsterMbawala-z3j
    @EsterMbawala-z3j 11 หลายเดือนก่อน

    Waggum sema mazinge kayatimba

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 2 ปีที่แล้ว

    Sikuja kuitengua torati bali kuitimiliza 😲😳 huyu Odada aitwe Okaka 🇸🇿🇹🇿

  • @ShomaryMvinja
    @ShomaryMvinja ปีที่แล้ว

    Atal sana

  • @peterpaul6665
    @peterpaul6665 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna pasta apo huyonni muislamu mwenzako ...akili ndogo sana....

  • @zairunyary7023
    @zairunyary7023 3 ปีที่แล้ว

    Pole mazinge

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ 9 หลายเดือนก่อน

    Duuh kumbe odada zunga😂😂😂😂

  • @victornzai93
    @victornzai93 4 หลายเดือนก่อน

    17:10-14, reading: 'And God spoke to Abraham saying: … This is my covenant which you shall keep between me and you and thy seed after you - every male child among you shall be circumcised. '

  • @ابتيي-غ3ي
    @ابتيي-غ3ي 3 ปีที่แล้ว +3

    Wewe ndio mjinga acha kubabaika onyesha injili ww

  • @sumaiyaabdallah8164
    @sumaiyaabdallah8164 2 ปีที่แล้ว

    Nakupebda she wetu

  • @abdulismaisma5069
    @abdulismaisma5069 3 ปีที่แล้ว +2

    Mash'Allah!

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallhaaa

  • @dcharles4647
    @dcharles4647 3 ปีที่แล้ว +1

    Haaaah..Huyo mazinge anamtafakari Mungu kibinadamu namnahiyo hakika anawapoteza..MUNGU awarehemu.

    • @sadyrajabu9318
      @sadyrajabu9318 3 ปีที่แล้ว +1

      Wewe ndo unamtafakari mungu kibinadumu unasema kaja kapigwa kauliwa

    • @dcharles4647
      @dcharles4647 3 ปีที่แล้ว

      Na MUNGU akupe neema ya kuelewa kwanini Kupigwa na kufa kwa Yesu.La sivyo waganga watakulizia kuku ndugu.
      Na bado nasema MUNGU u katika roho hayo wanayojadiri hapo katka Ufalme wa MUNGU ni kituko.Musipotezwe fungekeni akiri hizo.Kama mnasoma quran yale maneno ya Mungu yatafakarini kiupana katka roho na co kiuprofesa mnapotea.

    • @lillykhalayi80
      @lillykhalayi80 3 ปีที่แล้ว

      Na nyie wakristo mliposema mungu wenu yesu kafa,kasulubiwa,huo sio kuongelea mungu kibinadamu? Mazinge hajamfananisha Mungu na yeyote au chochote maanake anaelewa maafa ya kufanya hivyo. Mwislamu yeyote hata awe mwenda wazimu huwezi kamwe kumlinganisha Allah na yeyote,hayo ni mambo ya wakristo wasiomjua Mungu wao, wanafiki na makafiri nyie wakristo

    • @lillykhalayi80
      @lillykhalayi80 3 ปีที่แล้ว

      @@sadyrajabu9318 kabisa Hawa wakristo hawajiwlewi

  • @WILLIAMCHINA
    @WILLIAMCHINA ปีที่แล้ว

    Torati Ndio Ndio Kitabu Anacho idai Mazingira Wewe Unasimamia Kitu hukijui , Wewe umedai kolaani imeteremshwa Maneno Hayo kaongea Mtume Torati Ni Musa kaongea Kupitia maongezi Na Mungu Sasa Wewe unachoamini Niujumbe alipokea muhamadi unavuruga Wenzio

  • @msellemkassim2515
    @msellemkassim2515 ปีที่แล้ว

    Mwanzo 17-24 kutahiriwa

  • @kulthumhaji6928
    @kulthumhaji6928 3 ปีที่แล้ว

    Mdahalo ni mzuri na ni Darasa zuri.

  • @mathayopapiasi8872
    @mathayopapiasi8872 2 ปีที่แล้ว +1

    Aneona mazinge kwamba hana hekima alake hapo.

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 3 ปีที่แล้ว +1

    Part 2 plz

  • @ummsalyass1096
    @ummsalyass1096 3 ปีที่แล้ว +1

    I hate the way mazinge anakuwa so rude anaongelesha mwenzake anampeleka kama mtoto 😢😢😢hatujaambiwa tufunze dini kwa njia hii, lazima tukuwe Wapole na hikma sio kwa design hii sheikh maizinge😢😢😢

    • @analyticalguru5851
      @analyticalguru5851 2 ปีที่แล้ว +1

      Wakristo wajanja sana na waongo usiwache waongo waonge

  • @khalfankajanja1961
    @khalfankajanja1961 2 ปีที่แล้ว

    Mboga ya papai

  • @MwenbapoleKambili
    @MwenbapoleKambili 6 หลายเดือนก่อน

    Coroani ni maneno ya nani

  • @marimyussuf3374
    @marimyussuf3374 3 ปีที่แล้ว

    😂😂lazima ubabaike 2 odada ukirist cio din jmniiiiiiii

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂Mkono WA sweta mazinge

  • @shomariabrahman2876
    @shomariabrahman2876 3 ปีที่แล้ว

    Subhanallah

  • @laitansanga3627
    @laitansanga3627 3 ปีที่แล้ว

    YESU NDIYE MWOKOZI WA WANADAMU WOTE

  • @gharibislam1586
    @gharibislam1586 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo hana lolote, sheikh Mazinge unapoteza mda