SHEIKH: OTHMAN MAZINGE ( P.D.D ) | AISAMBARATISHA HOJA YA MCHUNGAJI | WAKRISTO ZAID YA 900 WASILIMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2021
  • SHEIKH: OTHMAN MAZINGE ( P.D.D ) | AISAMBARATISHA HOJA YA MCHUNGAJI | WAKRISTO ZAID YA 900 WASILIMU
    #Masjid_Mtoro_Online_Tv #Othman_Mazinge

ความคิดเห็น • 733

  • @hassancharo1496
    @hassancharo1496 3 ปีที่แล้ว +109

    USTHADH MAZINGE WATU WANAKUONA MASIKINI DUNIYANI AKHERA WEWE NI TAJIRI MUKUBWA INSHA ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 ปีที่แล้ว +44

    HUYU SHEKHE WETU NDO TAJIRI WA ALLAH YAAN WAKRISTO WAJE MILION.HAKUNA HATA ANAWEZA KUSHINDANA NAE MUNGU AZIDI KUKUWEKA MAZINGE WETU 🤲🙏ISLAMIC DINI❤️S.A W.

    • @jokhasaid2644
      @jokhasaid2644 3 ปีที่แล้ว +1

      Aamiin

    • @jorukitv8570
      @jorukitv8570 3 ปีที่แล้ว +1

      Inshaa allah

    • @mudkhamis3078
      @mudkhamis3078 3 ปีที่แล้ว +1

      Aamin aamin

    • @stivutitus963
      @stivutitus963 3 ปีที่แล้ว +2

      sifalatu uyo mazngewko uyo nitapel namuongo utawsilimsha vichaa mkrsto ataongea ujingauo

    • @salmaathuman9156
      @salmaathuman9156 3 ปีที่แล้ว +1

      @@stivutitus963 wewe kajitoharishe kwanza tapeli alimtapeli baba ako ibilis ww makafiri wote mazinge ndo kiboko yenu hayawani ww

  • @nininahazweally7793
    @nininahazweally7793 3 ปีที่แล้ว +34

    Y'Allah mpe afya njema sheikh wet mi nakupenda kwajili Y'Allah natoka Burundi nilikua mu kristo nimesilim kupitiy mihadhara yako mazinge mungu akulipe pepo

  • @jasminyiddysulaiman9807
    @jasminyiddysulaiman9807 3 ปีที่แล้ว +5

    Maashallah tabaraqallah mola akuzdshie kila lilo kher nawe

  • @user-tu9ic8ss7n
    @user-tu9ic8ss7n 3 หลายเดือนก่อน

    Allah akufanyie wepesi sheikh wangu Mazinge

  • @shabanimbenu2163
    @shabanimbenu2163 3 ปีที่แล้ว +6

    ALLAH akujarie heri shekh WETU, Amiin 🙏🙏

  • @ghaniyashaban9845
    @ghaniyashaban9845 3 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah ustadh mazinge Allah atakupa pepo leo na kesho tupe vitu wajue kuwa ww si mchezo

  • @joejux3159
    @joejux3159 3 ปีที่แล้ว +19

    Naenjoy sana kuyasikiliza mawaidhaaa
    Ya allah inshaallah mungu akupe
    Umri mrefu na afya njema
    😊😊😊😊😊

  • @saadaabdallah7473
    @saadaabdallah7473 3 ปีที่แล้ว +75

    Allah akupe umri na Afya uzidi kuutangaza uislamu na akulinde Ammeen

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 3 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah ustadh mazing Allah akulipe kheri

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 3 ปีที่แล้ว +10

    Allah akuhifadhi sheikh mazinge

  • @zanzibarspice8686
    @zanzibarspice8686 3 ปีที่แล้ว +23

    Allah akulipe Firdaus In Sha Allah

  • @AliIbrahim-oi5zc
    @AliIbrahim-oi5zc 3 ปีที่แล้ว +5

    I love you sheekh othman in the name of Allah swt

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 3 ปีที่แล้ว +5

    Mwenyeezi mungu akutangulie sheikh mazinge inshaallah

  • @mayedmohammed5554
    @mayedmohammed5554 3 ปีที่แล้ว +14

    Manshallah sheikh wetu mungu akuwekee umrii mrefu na mwisho ulo mwema

    • @zou7470
      @zou7470 3 ปีที่แล้ว

      Aminaa thuma aminaa 🤲🤲

    • @faustienealexi2268
      @faustienealexi2268 3 ปีที่แล้ว

      We mazinge huna akiri ni njaa inakusumbua hujui lolote

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 ปีที่แล้ว +57

    Allah akupe umri mrefu sheikh Mazinge

  • @bunuadiyo5944
    @bunuadiyo5944 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah. Mwenyeezi Mungu akulinde ustadh Athman Mazinge uzidi kuilinda dini yetu ya kiislamu.
    Amin Amin Amin

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 3 ปีที่แล้ว +4

    Allahu akbar shekhe Allah akulinde akupe umri mrefu uzidi kutuelomisha aki

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah 💓❤️❤️❤️ mazinge Allah akuzidishie umuri 💓❤️💓❤️

  • @mayedmohammed5554
    @mayedmohammed5554 3 ปีที่แล้ว +7

    Takibrah Allah. Akbar 😢😢😢😢Allah atusamehe madhahifu yetu

  • @oman7710
    @oman7710 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah akuhifadhi sheikh Mazinge na akuepushe na kila aina ya shari Amiiiin

    • @ln3147
      @ln3147 3 ปีที่แล้ว

      Wadanganye hao si aliemmeza Yesu

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akuzidishie umr mrefu na afya kamil na uwezo uzidi kumtamgaza Allah
    Allah akuhifadhi duniani na akhera pamoja na family yako
    Aamiin yaarabb al aalamiin

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 3 ปีที่แล้ว +27

    Mungu akujalie uwe na mtume jannatul firduus

  • @mohammedshaban1498
    @mohammedshaban1498 3 ปีที่แล้ว

    MAZINGE......MWENYEZI MUNGU AKUJALIE NA AKUBARIKI

  • @mudkhamis3078
    @mudkhamis3078 3 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH AKUJAALIE KILA LA KHERI NA PEPO IWE MAKAAZI YAKO SHEIKH WETU KIPENZI

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 3 ปีที่แล้ว +8

    Allah akuhifadhi akupe umri taweel wenye kheri na ww mm nakupenda kwa ajili ya Allah mashaallah tabarakaallah malipo yako inshaallah utayapata kwa idhni ya Allah

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 3 ปีที่แล้ว +8

    MashaAllah
    Shukran Jazakallahu kheir Bruder

  • @sayleewaprocesse217
    @sayleewaprocesse217 3 ปีที่แล้ว +4

    Safi kabisa hii mashallah mungu akulinde daima

  • @ramosfally2318
    @ramosfally2318 3 ปีที่แล้ว +3

    Wallai wisilamu raha sana aise ata usiwe na elimu kwa mazinge utajidai sana...allah akupe maisha marefu adj wacristo wakoms

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 ปีที่แล้ว

    Allah awalipekher mashekhe wetu

  • @wonderpersonhb3551
    @wonderpersonhb3551 2 ปีที่แล้ว

    Shekhe Habibu Othman mwenyezmungu akupe dunia na akhera na akuepushe na kila la sharii aamin

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 3 ปีที่แล้ว +13

    Takbeer allahu akbar

  • @ashraphmwinyimkuu499
    @ashraphmwinyimkuu499 11 หลายเดือนก่อน

    Mashalla..mazinge

  • @abdulbogoyo1243
    @abdulbogoyo1243 3 ปีที่แล้ว +17

    ASANTE SANA SHEKHE WETU MPENDWA.

  • @christiankachare8060
    @christiankachare8060 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana sheikh mazinge Kwa kuwapa challenge wakristo. Maana wengi huhubiri mafanikio ya mali Na pesa hapa duniani na kusahau kuhubiri kweli ya injili ya Kristo Kwa waislamu, na kujikuta wakishindwa kujibu hoja za waislamu, Kwa kuwa hawakujiandaa kuwafundisha waislamu wamjue Kristo kupitia dini yao na kitabu Chao cha Quran. Na Hii Ni Kwa Ni Kwa sababu wanaoiiita wachungaji hawasomi kiarabu Na Quran Kwa undani ilo wabaini waislamu wanaamini nini Na wanaabudu nini, matokeo yake wanakimbilia kufungua makanisa ilo wapate kipato Na kujenga mashule ya kulipia. Endelea kuwaamsha usingizini hao maana Ni Kama mbwa wasiobweka.

  • @zalfatartic3738
    @zalfatartic3738 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah Allah akuweke uzidi kuwashangaza Makafiri Inshallah na Mungu akulipe pepo ya Firdauc

  • @bibiemohamed6044
    @bibiemohamed6044 3 ปีที่แล้ว +2

    Allahuakbar...Allah akulinde na akupe afya na umri usimame na kutangaza uislam..ameen

  • @theoriginaldhol3032
    @theoriginaldhol3032 3 ปีที่แล้ว +3

    Mansha Allah bro jzk

  • @shom1229
    @shom1229 3 ปีที่แล้ว +11

    Wallah huyu mzee na mpenda kwa ajili Allah..mungu akuifadh dunia na akhera

  • @mariamali1887
    @mariamali1887 3 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah mashaAllah Allah barik ❤❤❤

  • @asadabdul5112
    @asadabdul5112 3 ปีที่แล้ว +1

    I love you mazinge Allah akujalie kheri

  • @mohammedjuma9449
    @mohammedjuma9449 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah akuongezee umri ili uzid kutupa mawaidha

  • @mwanakheri2880
    @mwanakheri2880 3 ปีที่แล้ว +3

    Maa sha allah . Mngu atuhifadhi akuzidishie

  • @user-ws9ek8dj5n
    @user-ws9ek8dj5n 3 ปีที่แล้ว +34

    Asalaam alleykum warahmatulah wabaraqatuu Maasha Allah sheikh mazinge shukraan jazzakah Allahu kheir barakallahu fik

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 3 ปีที่แล้ว +2

    Masheikh manafanya kazi kubwa saana kuwalingania watu katika dini. Na ingekuwa vyema baada ya kuslim wakawa wanapewa msaada watu kuusoma uislam. Hili lingezingatiwa zaid ila jumuiya za kiislam ni mtihani wallah

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 ปีที่แล้ว +3

    Allha akuweke
    Shekhemazige

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 ปีที่แล้ว +14

    Wallah shehe maznge nakupenda sana sana sana Mungu akubark akulpe frdaus Amina

  • @winfridamwamban1078
    @winfridamwamban1078 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaaalll shehe

  • @shashasachakijazi7523
    @shashasachakijazi7523 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda kwajili ya allah mwanajeshi wetu allah akupe umri Mrefu wenye kheri na baraka

  • @hawaamohammed6687
    @hawaamohammed6687 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukimhifadhi Allah Ustadhi Allah anakuhifadhi Dunia wal Akhera

  • @wazirimwingwamazige7975
    @wazirimwingwamazige7975 3 ปีที่แล้ว

    Uislam ndio dini ya haki,Allaahuu Akbaru.

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 3 ปีที่แล้ว +2

    Jazakallah kheir sheikh mazinge

  • @aminamtondo4431
    @aminamtondo4431 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akujalie umri mrfu uzid kuitangaza na kuineza din Inshanllah nakuombea Dua hakika tunamshukur mungu uwepo wako tunajivunia 🙏🙏

  • @ZaharadaffaZaharadaff
    @ZaharadaffaZaharadaff 3 ปีที่แล้ว +9

    Yaani mi nampenda huyu mzee Ana jiaminI sana

  • @nishawangaiwangai9765
    @nishawangaiwangai9765 3 ปีที่แล้ว +3

    Watching from madina Saudi Arabia Allah akuifadhi na mahasidi in sha Allah

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah allaah akuhifadhi

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah nakupenda ndugu yangu ktk Imani.

  • @mrjeyjamal6288
    @mrjeyjamal6288 2 ปีที่แล้ว

    ALLAH akulinde sheikh wetu mazinge na waislam wote kw ujumla

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah shekhe wetu

  • @salimajuma5530
    @salimajuma5530 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah Akbar

  • @muhammadsaid5887
    @muhammadsaid5887 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akulipe na akuzidishie ujira na ilimu

  • @furahasaidi6002
    @furahasaidi6002 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe mwisho mwem ufe umetamka shahada sheikh wang mwalimu wang

  • @mwalimomar7161
    @mwalimomar7161 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akubark Xhekh Maznge

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah akuhifadhi sheikh wetu tunakupenda kwaajili ya Allah jazaka Allahu kher

  • @zainabzain3434
    @zainabzain3434 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana Shekh wetu Allah akuhifadhi uzidi kutulingania

  • @vilariomario4617
    @vilariomario4617 4 หลายเดือนก่อน

    Masha alla

  • @mwamvitasaidi2630
    @mwamvitasaidi2630 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akupe umri mrefu uzidi kutupa daawa inshallah

  • @rayaissa6680
    @rayaissa6680 3 ปีที่แล้ว

    Allah akubariki ya ikhwan fiy Islam na akupe Janna amini

  • @faridabakari3528
    @faridabakari3528 3 ปีที่แล้ว +2

    mashaAllah mashaAllah.. Al habib ustadh mazinge .. Allah akuongozeee na akupe afiya InshaAllah

  • @minahadi2190
    @minahadi2190 3 ปีที่แล้ว +4

    barakAllahu fiyk

  • @thieriniyorukundo2365
    @thieriniyorukundo2365 2 ปีที่แล้ว

    Ikahingiya! Unamteteya uyo Muhammad wenu,!wew Mazinge na yéyé mtoto kama uyo unavuwa nguo unamwingiliya

  • @rickrosal3147
    @rickrosal3147 3 ปีที่แล้ว +2

    Shekhe mazinge Allah akuzidishie

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuzidishiye umri wenye kheiri na akuzidishiye kila la kheiri kwa kutuelimisha na kuslimisha watu kwenye dini ya haqui

  • @ochuboyofficial205
    @ochuboyofficial205 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah atupe hamu ya kuutetea uislamu. Aamin

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika sichoki kukuskiliza sheikh wangu
    Allah akuhifadhi duniani na akhera

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 3 ปีที่แล้ว +2

    Takbeer Allahu Akbaru

  • @ibrahimnyanga8971
    @ibrahimnyanga8971 3 ปีที่แล้ว +3

    Jazak Allah kheira

  • @mercyjohn1507
    @mercyjohn1507 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah love for the seek of Allah

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 3 ปีที่แล้ว +2

    Wachungaji na mashekh mnaharibu Sana , yaani Mambo ya kimungu mnaeleza kimambo zaidi,
    Kwa mawazo yenu mtoto was mwezi mmoja unaweza oa ko?
    Maana ulinganifu uliofanyika hapa hekima inahitajika,
    Ko uumbaji wa mungu mnalinganisha na uzao wa kawaidA
    ..kila binadamu inatakiwa wawe waislam maana uislamu maanake kwa kiarabu Ni upendo,wema na ukarimu hivo ndivyo twastahili kuwa.

    • @abdulrazakhassanor498
      @abdulrazakhassanor498 2 ปีที่แล้ว +1

      Dunia imechafuka haki inaonekana batili na batil imefanywa haki

  • @ramamtangi7776
    @ramamtangi7776 3 ปีที่แล้ว +8

    Allah akulinde shehe akupe na Anya njema uendeleza dawa InshaAllah

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwenye zimungu akujalie maisha marefu uzidi kutuelimisha inshaallah mana umeja aliwa googly yakichwa kila swali wajibu masha allah

  • @jumabarua3420
    @jumabarua3420 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah sheikh mazinge mungu akuifadh

  • @fatumjumaa5563
    @fatumjumaa5563 3 ปีที่แล้ว +6

    Mazinge twakuombea sana unafanya kazi nzuri sana mungu atakulipa Inshaallah

  • @shadyaadam8919
    @shadyaadam8919 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah sheikh mazinge Allah akupe umri mrefu ili uendelee kuisongesha dini ya Allah. Wallah ujira wako ni mkubwa mbele ya Allah.
    Mm nazidi kukuombea Dua tu kaka. Wallah umri wako unautumia vizur sana, hata Allah akikuuliza umri wako umeutumiaje hapa duniani, wallah unachakujibu.
    Allah azidi kukupa afya njema. Asiekuombea Dua ww, basi hy ana yake tu.

  • @fahamimohamed3918
    @fahamimohamed3918 3 ปีที่แล้ว

    Shekh Mazinge Mungu akulinde na mabaya unafundisha ahsante

  • @shakila3982
    @shakila3982 3 ปีที่แล้ว +3

    Mie mkristo but mimi nimesoma Dini ya kiislam chini ya maji, Islam is a great and religion of God, and that is the biggest true.

  • @nadhifasalum1662
    @nadhifasalum1662 3 ปีที่แล้ว +4

    Shekh wetu Allah atakulipa

  • @ibnuomar9417
    @ibnuomar9417 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah... Baarakallah

  • @feiswalislam8465
    @feiswalislam8465 2 ปีที่แล้ว

    AA Mazinge nina kuomba Mazinge uje lamu pls njoo lamu pls

  • @khadijakuhigwa3999
    @khadijakuhigwa3999 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulinde sheikh Mazinge

  • @asilclub
    @asilclub 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU AKUPE SHEIKH WETU USHUJAA NA NGUVU UWEZE KUENDELEEA KAZI YA MUNGU

  • @husseinkhalfan9467
    @husseinkhalfan9467 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah

  • @salehefundi9303
    @salehefundi9303 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah. Uko vizr sheikh, but nakuhusia punguza majigambo sheikh unaweza kujikuta unaharib amal yako.Allah akuhifadh dhid yat ria.

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 ปีที่แล้ว

      Sio ria bwana, anafanya waislamu tujiskie juu kuliko makafiri

  • @ballqissbabyabdallah8959
    @ballqissbabyabdallah8959 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah nakupenda kwaajil ya allah

  • @omanbarka2053
    @omanbarka2053 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awahifadhi masheikh wetu kwaharakati mnazo zifanya zakuuwendeleza uwislam

  • @shanirose1956
    @shanirose1956 3 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa ALLAH tabaraka ALLAH mungu akuzidishie umri na kipaji ulicho nacho

  • @alimussa5560
    @alimussa5560 3 ปีที่แล้ว +5

    May Allah Bless, Protect, Guide you and all those Working to Spread Islam in all corners of this world.

  • @mohamedlacha6515
    @mohamedlacha6515 ปีที่แล้ว

    Allah ni mkubwa. Mazinge kiboko ya makafri na washirikina

  • @sadanahimana7193
    @sadanahimana7193 3 ปีที่แล้ว

    Allah akupe umri mrefu wenye kheir na baraka sheikh Mazinge twakuombea akupe Jannat Firidaus

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 ปีที่แล้ว +14

    Allah akueke miaka Mia mazinge