Huyu shekhe nimemfwatilia sana, mara ya kwanza nilikuwa cmpendi kabisa, lakini nilipenda sana kumfwatilia ingawa ckuwa nampenda, lakini pindi nilipokuwa namfwatilia nilimuomba Mungu aniondolee chuki hili nipate kumuelewa, lakini kupitia Mazinge kanifanya kuipenda Dini ya kiislamu mpaka nikasilimu, saa hii nikona miezi tatu kwa uislamu, namshukuru Mwenyezi Mungu kanipa neema ya kuijua haki iko wapi, Mwenyezi Mungu ambariki Mazinge kusema ukweli Mazinge anaipingania Dini sana, Mwenyezi Mungu anipe kusimama na uislamu In Shall Allah
Sheikh Mazinge unafanya kazi kubwa sana na Allah ndie ajuae atakulipa vipi. Ila ukumbuke hata firauni licha ya kutakabar na kujiita mungu Allah alimtuma nabii Musa (a.s) akaongee nae kwa hekima na upole. Kwa hivyo sidhani kama itakuwa sawa kuhukumiana huoni kama tutakuwa tunaingilia kazi ya Allah? Ipo haja tukemee kila aina ya munkar ila suala zima la hukumu tumuachie Allah. Na kama ni dua tuombeane za kheri na sio kulaaniana. Allah ndie mjuzi zaidi.
Nampenda Sana ust mazinge kwaajili ya Allah.. Allah azidi kumlinda na Mimi pia nataka siku moja nifanye kazi ya Dini tu insha Allah naamini ukimuomba Allah hakunyimi
Ewe Mwenyezi Mungu Mola wetu,Muumba Mbingu na Dunia na vitu vilivyomo.....tunakuomba umjaalie mja wako huyu.. Sheikh:Alhabib Othman Mazinge... mwisho mwema na Pepo ya Firdausi iwe ni mafikio yake kwa rehema zako..
Allah Ampee ujira wake ulio mwema... Umuepushe na adhabu ya kaburi na Amlipe janna tul Firdaus.... Nilikutana na Marehemu Sheikh Yahya Nairobi 1996....nimehuzunika sana...
Allah akuzidishie shekh lkn maneno yako yanazama moyoni lkn tu nasema tutaongoka inshallah tuta rudi kwa Allah dua zenu mashekh japo ukweli unaumwa lkn tuzidi kuambizana tusizi kupoteta na vizazi vione mazuri kutoka kwnu shukran ya sheikh Allah Akupe umri kwa waislam wote na viongozi wetu kwa mama pia wanayotuongoza amin
Mazinge kwa mala ya Kwanza nilikuona kwenye mhadhara mbagala kibulugwa miaka ya themanini nikiwa mdogo adi Sasa Nina miaka amsini bad nakufuatilia mungu akupe maisha malefu pamoja na Mimi nizidi kukufuatilia insha allha
WALLAH SHEKH NAWAPENDA KWA AJILI YA ALLAH: ALLAH AWAFANYIENI WEPESI KATIKA JIHADI MNAYOIFANYA: YAA ALLAH msamehe madhambi yake kila atakaesema AMIIN. 👏
Sema Shekh wangu unapendaga Sana kujisifu ila Mimi nakupenda tu hivyo hivyo kwa Ajili ya Allah kikubwa Endelea kumtegemea Allah atakufanyia wepesi Inshallah..
Shekh nakukubali sanaaaaa....Ila wakristo unaokutana nao Kwa bahati mbaya sio mcha mungu wa ukweli...hujui biblia unapotosha dini yote sawa mungu mmoja
Allah wetu mtukufu Subhanah wataala ya Hayy ya Qayyum akupende umri marefu wenye afia njema napi akupe mwisho mwema napia aklipe mema hapa dunia na kesho aheirah Inshaalllah 🙏
@Truth Speaker MUHAMMAD Sio SHGIA Kama Mtume PAULO 2 WAKORNTHO 11: 1-2 Lakini Mngechukuliana nami katika Upumbavu wangu kidogo! Naam. Mchukuliane Nami 2 Maana Nawaonea WIVU WIVU Wa MUNGU:Kwa kuwa Naliwaposea MUME MMOJA ili Nimletee KRISTO BIKIRA SAFI 😃😃😃 😃😃😃 Yaani PAULO Amewaposa kwa ajili ya Kristo kesha kaona Mnafaidi kawaonea Wivu huyo ndio ilikuwa Mpambane Naye na Sio MUHAMMAD 😃😃😃
@Truth Speaker Halafu Bora MUHAMMAD Kampiga Mawe SHETANI wewe MTUMME wako PAULO 2 WAKORINTHO 12: 7 Na Makusudi nisipate kujivuna kupita kiasi. kwa wingi wa Mafunuo hayo Naliipewa Mwiba katika Mwili Mjumbe wa SHETANI 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃 Sasa Anae Mpiga Mawe SHETANI Na Aliye Mbeba SHETANI Yupi BORA???😃😃😃
Hapa sheikh mazinge katuacha kuhusu diamond kujenga msikiti anatumia pesa ya dhambi kujenga msikiti ALLAH hana shida na pesa zke ajenge asijenge wakati anaendelea kufanya dhambi diamond hana lolote kwa ALLAH
This Sheikh is Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, wants you to do. So you too can be SAVED!
Kweli mm nipo Zanzibar Yani nnachokiona huku mainland's Ni huduma za jamii Yani ucseme afya Ni shida watu wa maisha ya chini wanapoteza maisha kwa kushindwa kuafod huduma hizo
ALLAH KARIM, ENDELEA KUMPA UMRI MREFU NA AFYA NJEMA NDUGU YETU MAZINGE ILI APATE KUWAONDOA WATU KATIKA GIZA NA KUWAONGOZA KATIKA NURU INSHAALLAH (AMIN)
@Truth Speaker nimekuuliza niwapi pameandikwa kwampa mwanaume wa kisilam aowe mtoto wa myaka sita na tano na nee nipe andiko usikwepe mada mala mwezi mala talaka m sijakuuliza ivyo
@Truth Speaker mtoto wa shetwani wale wanaosema yesu nimwana wangu nawanaosema Muhammad ni Nabii wa uwongo ao ndo watoto wa shetan Allah atuepushe na fitna zao
Wewe njoo kwa YESU....na bado kuwaita WAKRISTO Makafiri.!. Wacha kumdhihaki Yesu Mungu wetu.. Hakuna Amani, Yuasema MUNGU WANGU: Nabii ISAYAH 57: Hayah 21.
Huyu shekhe nimemfwatilia sana, mara ya kwanza nilikuwa cmpendi kabisa, lakini nilipenda sana kumfwatilia ingawa ckuwa nampenda, lakini pindi nilipokuwa namfwatilia nilimuomba Mungu aniondolee chuki hili nipate kumuelewa, lakini kupitia Mazinge kanifanya kuipenda Dini ya kiislamu mpaka nikasilimu, saa hii nikona miezi tatu kwa uislamu, namshukuru Mwenyezi Mungu kanipa neema ya kuijua haki iko wapi, Mwenyezi Mungu ambariki Mazinge kusema ukweli Mazinge anaipingania Dini sana, Mwenyezi Mungu anipe kusimama na uislamu In Shall Allah
MashaAllah Allah akujaalie kila la khery na akuepushie na kila shary
Muongo ww
Hongera
kama ni ukweli basi Allah akupeleke Janna tul Firdaus
Insh'Allah
Kabisa hata juzi kuna watu wawili wamesilimu kwa kusikiliza clip yako ustadh mazinge na Masai alhamdulilah Allah akuzidishie
Ww ni mbixhi ila hujui kitu
🙏🙏🙏
mimi nimmoja wao🙏
55555ww
@@classicwaisala6677 +
E
Sema professor mazinge Allah akuongoze akupe mwisho mwema,
2
Ammina yarabbi
AMIIN ALLAHUMMA AMIIN
Kwl
Mas
Sheikh Mazinge unafanya kazi kubwa sana na Allah ndie ajuae atakulipa vipi. Ila ukumbuke hata firauni licha ya kutakabar na kujiita mungu Allah alimtuma nabii Musa (a.s) akaongee nae kwa hekima na upole. Kwa hivyo sidhani kama itakuwa sawa kuhukumiana huoni kama tutakuwa tunaingilia kazi ya Allah? Ipo haja tukemee kila aina ya munkar ila suala zima la hukumu tumuachie Allah. Na kama ni dua tuombeane za kheri na sio kulaaniana. Allah ndie mjuzi zaidi.
Tunakuombeya sheikh wetu kila siku.... Allah akuzidishie wewe pamoja na sisi ... tunakupenda kwa ajili ya Allah kipenz chetu ❤❤❤
Nampenda Sana ust mazinge kwaajili ya Allah..
Allah azidi kumlinda na Mimi pia nataka siku moja nifanye kazi ya Dini tu insha Allah naamini ukimuomba Allah hakunyimi
Kweli Inshallah
Ewe Mwenyezi Mungu Mola wetu,Muumba Mbingu na Dunia na vitu vilivyomo.....tunakuomba umjaalie mja wako huyu.. Sheikh:Alhabib Othman Mazinge... mwisho mwema na Pepo ya Firdausi iwe ni mafikio yake kwa rehema zako..
Allah amhifadhi sh.Mzinge amjalie afya na umri autangaze uislamu inavyostahili yarrabi
Allah Ampee ujira wake ulio mwema... Umuepushe na adhabu ya kaburi na Amlipe janna tul Firdaus.... Nilikutana na Marehemu Sheikh Yahya Nairobi 1996....nimehuzunika sana...
Allah akuzidishie shekh lkn maneno yako yanazama moyoni lkn tu nasema tutaongoka inshallah tuta rudi kwa Allah dua zenu mashekh japo ukweli unaumwa lkn tuzidi kuambizana tusizi kupoteta na vizazi vione mazuri kutoka kwnu shukran ya sheikh Allah Akupe umri kwa waislam wote na viongozi wetu kwa mama pia wanayotuongoza amin
Allah akupe umri zaidi ya ulionao ili tuzidi kuelimika shekh Mazinge
Àtúnbọ̀tán
Allahumma Ameen yarab🤲
Allah awahifadhi Shk. Shikshi na Mazinge na waislamu wote, in shaa Allah.
Ameen
Ameen
@Truth Speaker umefurahi ulivyojitekenya na kucheka mwenyewe. Au bado unataka basha akufurahishe🤣🤣
@Truth Speaker wew unaongea vitu usio vijua
@Truth Speaker 23:17 mathayo bwana mungu atakaporudi dunian atafanya ukahaba na watu wote dunian
15:18 wakolinto wa 1 amtegemeaye kristo amepotea
Shekhe nampenda sana .inshaallah mungu akuongoze kila jambo .❤
Nakupenda professor Mazinge kwa ajili ya Allah,Allah akurefushie umri inshaAllah uzidi kusalimisha makafiri
Aamn
Ameen
Aiseeee
Pop
@Truth Speaker kimekuleta nn huku? Au unatafuta mabwana kwa nguvu msenge wee mfyuuuuu
Mwenyeezi Mungu ana kazi
Yake...
Inshaallah tunakuombea
Afya na Umri mrefu ili
Uzidi kutuelimisha pamoja
Na wajukuu zetu...
Ameen...
Mazinge kwa mala ya Kwanza nilikuona kwenye mhadhara mbagala kibulugwa miaka ya themanini nikiwa mdogo adi Sasa Nina miaka amsini bad nakufuatilia mungu akupe maisha malefu pamoja na Mimi nizidi kukufuatilia insha allha
Sheikh mazinge Allah akupe nguvu na umr mrefu tuzd kunufaika na mafundisho yako inshaaAllah
Mzee wetu twakupenda saana kwa ajili ya Allah, Allah akuhifadhi akupe umri mrefu
Ameen
Hakuna kitu hapo
Hakuna kitu hapo
Asante shehe mazinge mungu akuweke.akupe umri mrefu. Kazi yako nzuri. Waslaam wanafurahi sana.
Allah amrehemu na kumweka mahali pema peponi Ustadh Yahya, Aamiin.
Aamin
Ameen
@@mwakakhamis9823 2222222222222222222222222222222222222222222222222222222²2222²22222222222222222222222222²222222!aa!! Z a Z°°aaa!!!!0
Mis GT-R d'Ys Mars GT-R 2 n'
@@hamimuidrisa6390 rang
Inalilah wainailahii rajiun ishalla Mungu atakufanyiya safar njema ishalla
Mungu atakuweka Baba ihshaala
Masha Allah
Allah azidishe kheri
Amin yaah Rabbi 🙏
WALLAH SHEKH NAWAPENDA KWA AJILI YA ALLAH: ALLAH AWAFANYIENI WEPESI KATIKA JIHADI MNAYOIFANYA: YAA ALLAH msamehe madhambi yake kila atakaesema AMIIN. 👏
Aamiin
Allahumma aaamiiiiiin ya Rabbi 🤲
Amiin 🤲
Shekh mazinge mungu akujaalia salm na sisi waislam word nkasililiz dawa zako mwili unasisimuka na kuanza kububujika machozi
SUBHANA ALLAH..MOLA AKUZIDISHIE UMRI MREEFUU YARRAB NA SIKU HIZII TUKUFU..SHEIKH MAZINGE..INSHA ALLAH UTAIMALIZAA
Sema Shekh wangu unapendaga Sana kujisifu ila Mimi nakupenda tu hivyo hivyo kwa Ajili ya Allah kikubwa Endelea kumtegemea Allah atakufanyia wepesi Inshallah..
Sio kusema anajisiku anajiamini wallah mtuu mwenye kujiamini ni vizuri sana
Na anajisifu tunayawona anayofanya mansha allah anakipaji uyu baba allah amzidishiy
Professor Allah akuhifazi akupe umri mrefu wenye faida na waislam na akupe mwisho mwema. Nakupenda kwa ajili ya Allah😍
Allah akupe ya Dunia na Akhera Shekh mazinge
Mema
MUNGU AKUPE UMRI MREFU NA AFYA UZIDI KUITETEA DINI YA ALLA NA AKICHUKUWA ROHO YAKO AWE AMEKURIDHIA INSHAALLA
Mungu akuhifadhi akustiri wewe na familia yako Insha Allah
INSHAAALLAH 🤲🇰🇪
💞💞💯
Ameen
Love 🖤
Amiin
Waalim hawa kuombewa killa dua njema kwanyakati zoote nawa Islam woootte mahalipote walipo ulimwengu woto jazzak alakher yaa ummah muhamadi s.w.w
Shekh nakukubali sanaaaaa....Ila wakristo unaokutana nao Kwa bahati mbaya sio mcha mungu wa ukweli...hujui biblia unapotosha dini yote sawa mungu mmoja
Mzee YUSUPH rudi tu kwa Allah.
Usidhani Allah aliposema atatupa mitihani. Ukafikiri ni mbwembwe za QUR'AN.
JIKAZE TU URUDI NA USIMAME KIUKWELI.
Namkumbuka sana marehemu yahya na kazi zake za allah.m/ mungu aweke roho ya marehemu yahya peponi amin.
Amìin
Amiin
Kazi ya mungu haina makosa Namkumbuka Yahaya kwa muadhara wa Ujamaa
Allah Subhannahu Wata'ala akujaalie Sheikh Mazinge kila la kheyr fil Dduniyyah wal Akhiyra, Aamiin.
Somali
INSHAALLAH OSTADHI WANGU ALLAH AKUZIDISHIE UMRI N AKUEPUSHIE N HASADI!!!!! MOZ
Swww vipi Ali mpenzi
Poa
Allah akuongoze na akulinde sheikh habib mazinge...twakupenda kwa ajili ya Allah
mashallah mzinge allah akupe nguvu na umri mrefu🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏
Allah wetu mtukufu Subhanah wataala ya Hayy ya Qayyum akupende umri marefu wenye afia njema napi akupe mwisho mwema napia aklipe mema hapa dunia na kesho aheirah Inshaalllah 🙏
MashaAllah Allah akulinde nakila la shari leo na kesho akhera inshaAllah
M/Mungu akuhifadhi sheikh ...na inshaallah. ..Allah atakusimamia na utaimaliza hyo midahalo iliyobaki utasafiri na kurudi salama bi idhinillah....
@Truth Speaker MUHAMMAD Sio SHGIA Kama Mtume PAULO 2 WAKORNTHO 11: 1-2 Lakini Mngechukuliana nami katika Upumbavu wangu kidogo! Naam. Mchukuliane Nami 2 Maana Nawaonea WIVU WIVU Wa MUNGU:Kwa kuwa Naliwaposea MUME MMOJA ili Nimletee KRISTO BIKIRA SAFI 😃😃😃 😃😃😃 Yaani PAULO Amewaposa kwa ajili ya Kristo kesha kaona Mnafaidi kawaonea Wivu huyo ndio ilikuwa Mpambane Naye na Sio MUHAMMAD 😃😃😃
@Truth Speaker Halafu Bora MUHAMMAD Kampiga Mawe SHETANI wewe MTUMME wako PAULO 2 WAKORINTHO 12: 7 Na Makusudi nisipate kujivuna kupita kiasi. kwa wingi wa Mafunuo hayo Naliipewa Mwiba katika Mwili Mjumbe wa SHETANI 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃 Sasa Anae Mpiga Mawe SHETANI Na Aliye Mbeba SHETANI Yupi BORA???😃😃😃
Mashaallah
Inna lilah waina ilaihy rajiun allah amor jannatul sheikh yahya msomaji alikuwa msomaji mzuri sana
Allah amueke pema kwenye wenye
Ameen
Aaamiiiiiin 🤲
Aki twakwangalia huku Kenya tunakubali kaz yako mungu akupe shifaa mazinge.
Allah akupe maisha marefu shehe wetu Insha Allah
Allah akulipe kila la kheri na mwisho mwema Insh'Allah
MashaAllah Mungu akupe elimu Zaidi ya kutuelimisha Sisi tulonamacho Wala hatuoni
Asc wa isalamu wote ndugu zangu Salam shey saleman mazinge
Allah akuhifadi na akurahisishie mambo yako sheikh mazinge nakupenda kwa ajili ya Mwenyezi Mungu
Allah akuhifadh profesa mazinge nawalinganiaji wote inshaallah
InshaAllah atakujaalia kila la kheri Sheikh Mazinge 🙏🏾
Hapa sheikh mazinge katuacha kuhusu diamond kujenga msikiti anatumia pesa ya dhambi kujenga msikiti ALLAH hana shida na pesa zke ajenge asijenge wakati anaendelea kufanya dhambi diamond hana lolote kwa ALLAH
Kweli
Innalillah wainna ilaih ruajuun 🙏🏾 Allah atakuongoza ishaallah 🙏🏾 Yarabbi protect and prevent ummat Muhammad Amin 🙏🏾
Yarabbi protect us ummat muhammad amin🙏🙏
@@SamyHotyAllahuma Amiin
Amen🤲🤲🤲thumaaa ameen🤲🤲
This Sheikh is Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, wants you to do. So you too can be SAVED!
he is just a thief nothing is preaching asking money all the time
@@jebace
Ok
Mazinge m/mungu akusimamie inshallah,Ila kipozeo yupo wapi Mbona mlianza kuhubili wote,m/mungu ailaze roho yake mahara pema peponi ameen 🙏
Kwan kipozeo kafa?
Kwani sheikh kipozeo hayupo Dunia I?
Mazinge miskiti tunayo muhamashishe waislam kuhusu huduma za jamii ikiwemo hospitali ilikuwasaidia waislam pamoja na shule
Kweli mm nipo Zanzibar Yani nnachokiona huku mainland's Ni huduma za jamii Yani ucseme afya Ni shida watu wa maisha ya chini wanapoteza maisha kwa kushindwa kuafod huduma hizo
Me nipo mbeya waislam wengi wameipenda Dunia kulik akhera
ALLAH akuruzuku yalo mema shekhe mazinge inshaallah
ALLAH KARIM, ENDELEA KUMPA UMRI MREFU NA AFYA NJEMA NDUGU YETU MAZINGE ILI APATE KUWAONDOA WATU KATIKA GIZA NA KUWAONGOZA KATIKA NURU INSHAALLAH (AMIN)
Manshallah brother may Allah protect you and your family, my dear brothers and sisters pray for me please
MashaAllah
Mwenyezi Mungu atakulinda na kila shari za pembe zote za dunia insha Allah.
aliekwambia watoto wanaolewa ninani acha ujinga wewe
@Truth Speaker naomba unisomee ilipo andikwa kwamba mtoto wa 6 au 5 au 4 kwamba aolewe
@Truth Speaker nimekuuliza niwapi pameandikwa kwampa mwanaume wa kisilam aowe mtoto wa myaka sita na tano na nee nipe andiko usikwepe mada mala mwezi mala talaka m sijakuuliza ivyo
@Truth Speaker weee kuma unacho unachokitafuta
@Truth Speaker si mtoto mana alishavunja ungo
Allah Akuzidishie Umriy Mrefu Wenye Afya Njema yarabiy Akujaaliye Mengine Kama Hiyo Ulio Ipita 63 Akungeze Na Mengine Na Afaya Njema yarabiy
Allah akupe Nguvu uwashinde wote waliobobea Kwa Ukristo na wote Waislam
Shekh Mazinge nakupenda hadi naumwa umetunyooshea sana hawa wanaojiita wakristo
Allah awape maishamarefu mashekhe wetu
amiin kwa sote
🤣🤣🤣umejua kuwakazia, watoe tuuh 🤣🤣
@@madinaomar679 bilahivo hawatoi hao😂
@Truth Speaker kwenye koment mnamaneno sana ila kwenye midahalo yakweli mnashindwa.😂dah nakuoeneeni huruma wakristo.namanabiiwenu wasiohesabika
@Truth Speaker hujiamini wewe.mfate alipo kama kweli unajiamini kuitetea dini yako.sio online huo niudhaifu
Allh akupe her nyingi sheh pia allh amrehemu sheh yahaya
Allah akulinde na kila lashari na akufanyie wepes 🤲
Ameen inshaallah mwenyezimungu akuongoze katika njia iliyonyooka na akupe wepesi katika kila japo zito kwako like jepesi akujaalie ukamilishe salama
Ameen
@Truth Speaker sasa ww yakuhusu nn yote unayoyaongea hapo
@Truth Speaker mtoto wa shetwani wale wanaosema yesu nimwana wangu nawanaosema Muhammad ni Nabii wa uwongo ao ndo watoto wa shetan Allah atuepushe na fitna zao
@Truth Speaker makafir weng wanamchukia shekh mazinge kwamaana yy anasema ukweli Allah atazid kumlinda
Sheikh mazinge nakutakia na nakuombe kila lakheri inshaallah Allah atujalie safari yako 🥰🥰🥰
Inalilah wainalilah laajiun mungu muweke mahala pema peponi yahaya,
Allah akupe mwisho mwema kwali hatua unayopiga
Allah akupee umri mrefu n nguvu akukinge n na husda na akupe afya ilio njema
mazinge twakupenda kwa ajili ya Allah ..kenya🇰🇪
Allah ampe umri mrefu
@@chunaamina8719 Ameen yaa RAHMAN 🤲🏿...Ramadan Kareem dada
@@leutenantkierenmusa8937 Ramadhan kareem to you hbybty
@Truth Speaker kila mahali unacomment same paragraph 😂😂😂😂 hatuna majibu yako Maasalam akhy
@Truth Speaker mm nna wewe tu leo mbwa koko weeee
Maashallah taabaraka Allah!! Mwenyezi mungu akupe mwisho mwema. Kwa amali njema unayo iishi. Nuur alaa nnuur!! Maashallah!!
ALLAH akulinde na akihifadhi Ustadh Mazinge🤲🤲
Shehe mungu akulinde akupe naumri akueke peponi yafirdaus
Mwenyezi mungu akupe uhai mrefu shekh
Allah akupe umri zaidi na zaidi
Wewe njoo kwa YESU....na bado kuwaita WAKRISTO Makafiri.!.
Wacha kumdhihaki Yesu Mungu wetu..
Hakuna Amani, Yuasema MUNGU WANGU: Nabii ISAYAH 57: Hayah 21.
Sheikh Allah (S.w)akupe umri mrefu na wenye mafanikio Amin.
Amiin
Shekh pole kwaza kwa kuodakewa na mashekh all awefazi mahali pema peponi
Jazaka Allah khaira shekh mazinge
Allah ukuzidishie umri mwingi shekhe wetu Mazinge
Mw'mungu ampe ujasir zaidi ashinde makafiri wasilimu wote
Allah akulinde shekhe wetu na mabaya kazi yako ikafanikiwe
ALLAH akufanyie wepes na akulipe kheir na atukutanishee pepo kwa sote waislam.AMIINNNN
Mashallah mungu akupe umriii 🙏🙏🙏🤲
Allah akuwezeshe Ila kwajiri y a Mwenyezimungu watakuerewatuTakbir Takbir
Asalam aleikumu warahmatullah wabarakatu,mungu amfikishe sehemu njema shekh yahya Ameen
Mola ationgoze najia jema amina
Mzee yussuf anaimba choir ...Allah amuongoe ni mtihani
Allah akulinde sheikhe wetu
Ma Shaa Allah Tabarakallah Allah(S.W.T) akuhifadhi sheikh na Kila Shari
Mungu akulinde miaka mingi shekhe wangu nakuombea kwa mungu inshallah sina la kusema
Innaalillaahi wainnaa ilayhi raajiuun mungu amueke mahali pema
Allah awaweke mazinge na,nurdeen kishki wazidi kutuelimixha,inxhaalah
Mazinge Allah Akupe mwisho mwema,Amin
Mungu atujalie mwisho mwema
Mungu akuzidishie umri zaidi akujaliye uwafundishe nawengie
Mashaallah mgu wupe oumri refou inshaallah
Sheikh Allah akulipe kila lakher ❤shukran 🙏 🥺
Allah akuwezeshe,na akupe nguvu ,na akulinde na kila aina ya balaa.
May Allah grant you Jannah🤲🤲🤲🤲🤲🤲
.....may Allah Grant you a long life mazinge in shaa Allah...
Mungu akuzidishie umri iliuwa fundishe nawengine waitete nawaieneze Dini yakiisilamu
Shekh mazinge sote twakuelewa twakuomba Allah atupunguzie adhab
Allah awe nawe ktk safari yako shekh 👳 tunakupenda🥰 we are together 🤝 do God needs