MAREKANI yaishutumu URUSI kurusha silaha ya anga kwenye mzingo (orbit) wa satellite zake

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 109

  • @alisaadmohammed
    @alisaadmohammed หลายเดือนก่อน +40

    Uk8ona marekani inalalamika jua mambo yake kwisha kwa maana wamezoea kutumia nguvu pasi na kulalamika marekani ni zamani sio sasa

  • @SaidshariffShariff
    @SaidshariffShariff หลายเดือนก่อน +19

    Huo ndio mwisho Wa marekani acha waanze kuzua kila Tuhuma

  • @JKQGAME
    @JKQGAME 29 วันที่ผ่านมา +2

    Ukikubali Marekani kubari kunyanduriwa

  • @jumashedafa
    @jumashedafa หลายเดือนก่อน +13

    Huraaaaa

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 หลายเดือนก่อน +8

    Uraaaaaaaa🇷🇺🇷🇺😪

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 หลายเดือนก่อน +11

    Wakomeshwe #🇺🇸 kbsa

  • @user-ny2cd9dt1d
    @user-ny2cd9dt1d หลายเดือนก่อน +9

    US wahuni na ni waoga mno. Yaani wakifanya wao ni sawa akifanya mwingine kakosea.

    • @MasanjangwesaJiganga
      @MasanjangwesaJiganga หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa

    • @SelemaniMeena-oo3os
      @SelemaniMeena-oo3os 27 วันที่ผ่านมา

      Na ni washenzi walijifanya wao teknolojia imekaa kumbe bure tu, hata hao NASA wanaongozwa na ROSCOSMOS ya urusi. Wao kama wao hamna kitu

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli kabisa ukiipenda Marekani ukubali ushoga au ushakuwa shoga wa kisiri siri lakini kaa ukijua watu watakujua tu kama wewe ni shoga

  • @rozamgeni5358
    @rozamgeni5358 หลายเดือนก่อน +4

    Asante masud unajua sana kaka

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 หลายเดือนก่อน +6

    Hivi karibuni Urusi ilijitoa kwenye huo mkataba

  • @adam__platnumz4393
    @adam__platnumz4393 หลายเดือนก่อน +9

    Shughuli wàtu mambo yameanza 😂

  • @husseinmassawa7186
    @husseinmassawa7186 หลายเดือนก่อน +10

    Daah!! Wenzetu wametuacha mbaali sana sie wengine itabidi tuwe tu wapenzi watazamaji😅😅😅

    • @dreamleague-uq2gx
      @dreamleague-uq2gx หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 Sisi tunateneza gari za punda 🐎

    • @YustoMlay-cv4zb
      @YustoMlay-cv4zb หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @husseinmassawa7186
      @husseinmassawa7186 หลายเดือนก่อน

      @@dreamleague-uq2gx uku kwetu ata shetani hana shida nako, ametuachia sayansi ya vibeku tu usiku ili tusilale vzuri..😅

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah หลายเดือนก่อน

      ​@@husseinmassawa7186😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @mirzah117
      @mirzah117 หลายเดือนก่อน +2

      Hata sisi tumewaacha .. sisi komandoo anauza madafu ikulu huoni tumewaacha umbali mwingi hapo... au kupasua tofali kwa teke

  • @EmanuelMkongwi
    @EmanuelMkongwi หลายเดือนก่อน +5

    Safii kaka n mm nimeiyona hii sehem

  • @user-ij9te1ck9p
    @user-ij9te1ck9p หลายเดือนก่อน +3

    Nenda ukaolewe basi uko marekani km unawapenda mashoga na wachafuzi WA dunia

  • @pidiusDominick-qi7nl
    @pidiusDominick-qi7nl หลายเดือนก่อน

    Halafu unakuta mtu kashiba maharage anajamba tuuu anakwambia Marekani super power jinga kabisa

  • @hemednassoro2095
    @hemednassoro2095 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu jamaa mjuvi sana

  • @mbuyaelyaoni6266
    @mbuyaelyaoni6266 หลายเดือนก่อน +3

    Dadeki. America sio Mungu

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi ipp brother

  • @FatumaRashid-db6cc
    @FatumaRashid-db6cc หลายเดือนก่อน +4

    Putin vizuri sana kazi yako
    Mkomeshe mmarecani

    • @user-nb2jw4km6f
      @user-nb2jw4km6f หลายเดือนก่อน

      Hakuna cha kukomesha tuombe waache ili vita visizuke Africa maisha yatakua magumu

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 หลายเดือนก่อน

      Akili zako ni funyu sana, hv kati marekani na urusi ni nchi Gani ambayo inaubaguzi uliyokithiri na roho mbaya? Kama hujuwi kitu usiwe unaropoka. Lkn pia marekani haiwezi.kushuka Wala nn Kwa sbb kuu tatu ambazo siwezi kuweka hapa. Unatakiwa uwe na akili wa Hali ya juu sana.

    • @StephanoMoses
      @StephanoMoses หลายเดือนก่อน +1

      Mtu mweusi Kumshabikia mmarekani ni kushabikia ushoga . Bila marekan africa tungekuwa mbali sana . Ila muuaji wa muafrica ni marekan na vikosi vyake vya specil vya silent killer vya UN/kivuli cha walinda amani . WHO/kwa madawa visababishi cancer. Mfano vidonge vya majira kwa akina mama. Na vikosi vingine kibao . Ila Mungu yupo nasi. Nafrah kuona baadhi ya nchi wameshaanza kuamka juz kule Burkina Faso wamewafukiza wanajeshi wa UN kama mbwa (hatutaki kuona vikosi vya un nchin kwetu maana badala ya kulinda amana vinachochea vita na kusapoti waasi ili wazid kuvuna rasilimali pendwa (MADINI)

    • @evelynemugeni2369
      @evelynemugeni2369 หลายเดือนก่อน

      @@user-nb2jw4km6fAfrica tuna vita tangu wakoloni waingiy Africa sio kitu kigeni Afrika (vita)

    • @evelynemugeni2369
      @evelynemugeni2369 หลายเดือนก่อน +1

      @@StephanoMoses👏👏👏

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 หลายเดือนก่อน +2

    Anatafuta sababu ya kipeleka hizo silaha kwa kisingizio hicho. Ye akubali tuu alishapigwa gep

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 หลายเดือนก่อน +8

    God bless russia

  • @ZuhuraNassoro
    @ZuhuraNassoro หลายเดือนก่อน +1

    Anguko la Marekani likaribu, shukrani nyingi kwa mwamba Putin kwa kuendelea kuwanyoosha mabeberu na kuondoa mfumo wao kandamizi na unyonyaji.

    • @MasanjangwesaJiganga
      @MasanjangwesaJiganga หลายเดือนก่อน

      Marekani haitaanguka Yesu Pekee ataiangusha

    • @haidarybrown427
      @haidarybrown427 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo yesu anaruhusu ushoga?​@@MasanjangwesaJiganga

  • @user-mm9qr7em8k
    @user-mm9qr7em8k หลายเดือนก่อน +6

    Mrusi atammaliza .kbs marekani kbs.😂😂😂

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 หลายเดือนก่อน +1

      ORBIT SIO NCHI JAMANI MUWE MNASOMA 🤣🤣🤣🤣

    • @mayombomajenga9778
      @mayombomajenga9778 หลายเดือนก่อน

      ​@@atutweve4160Marekani Hana jipya kashikwa pabaya na urusi sio mjinga kiasi hicho chakufanya mashambulizi kwenye jua pia rusia anajua anachokiganya

  • @athumaniamani9905
    @athumaniamani9905 หลายเดือนก่อน

    Yaan marekani wanapenda kulia sana Kwa bongo hapa km harmonize tu kazi kujitilisha huruma

  • @alimzee
    @alimzee หลายเดือนก่อน

    That's very good 👍

  • @user-gw4jj5nn2n
    @user-gw4jj5nn2n หลายเดือนก่อน +2

    Ukipenda marekani ukubali ushoga

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw หลายเดือนก่อน

    Huo ndio mwisho WA malecani wao wanafikili wanaweza kufanya hii dunia wapendavyo mwingine akifanya ninkosa la jinai sasa wacha utifuano watafumuana toka juu kitu kina shuka jikoni ndio Sawa wote ni wadhenzi Tu ndio wanajifanya dunia kuwa ngumu wamejiwekea mazingira Yao. Safi watu wengine wafe tu

  • @YohanaMasebo
    @YohanaMasebo หลายเดือนก่อน

    Uraaaa❤❤❤❤

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 หลายเดือนก่อน

    Mungu aihepushe africa yetu na mambo yao

  • @HAMADHAMAD-lk3ms
    @HAMADHAMAD-lk3ms หลายเดือนก่อน +1

    Waogapa marekan

  • @selemanifaikii1276
    @selemanifaikii1276 หลายเดือนก่อน +2

    Hii nchi kila siku michambo tuuuu

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo mikataba mingine USA mbona hawafuatagi

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 หลายเดือนก่อน +1

    Uraaaa

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv หลายเดือนก่อน +1

    Mimi team Russia China Iran Korea wawa pige tu hao mabuli

  • @user-dk4iq5ct6r
    @user-dk4iq5ct6r หลายเดือนก่อน

    Safiii

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 19 วันที่ผ่านมา +1

    🇹🇿❣️🇷🇺

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 หลายเดือนก่อน +2

    Spana

  • @deodatusfussi3145
    @deodatusfussi3145 หลายเดือนก่อน +3

    Walipue tu huko huko ili wapoteane😅

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 Nimechek kwa sauti kubwa sana

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 หลายเดือนก่อน +1

    Imerushwa toka zamn

  • @user-jt5we5hg4v
    @user-jt5we5hg4v หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni hatari

  • @StephanoMoses
    @StephanoMoses หลายเดือนก่อน

    Hawajatuacha mbali wa Tz maana kwetu tuna hadi comando muuza madafu ikulu. Alafu tuna ujuzi wa kutengeneza Bom hatari ambali linatengenezwa na chemical mchanganyiko wa ugoro na pilipili ila ni la kufukuza 🐘🐘

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ หลายเดือนก่อน

    Huu ndio Uanaume sio kulia lia, yaani Marekani wakizidiwa huanza kulia lia na kukimbilia UN na kutafuta huruma Duniani

  • @georgeurembo4553
    @georgeurembo4553 หลายเดือนก่อน

    Soyuz, The Russian Rocket

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe 😂😊

  • @alexmwanioti6390
    @alexmwanioti6390 หลายเดือนก่อน

    Wanazidi kukabwa koo

  • @mohammedbakar4142
    @mohammedbakar4142 หลายเดือนก่อน

    Salute Russia 🇷🇺 president Vladimir Putin Blessing 🙌

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q หลายเดือนก่อน

    USA wanaogopa nini mbona wao wanapeleka siraha mabara mengine na zinaua watu

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm หลายเดือนก่อน

    Mungu izidishie nguvu urusi naiyangamize marekani

  • @AjudeKaluwa-bp1zz
    @AjudeKaluwa-bp1zz หลายเดือนก่อน

    Russia ikiwezekana rusheni nyingi zaidi kuriko hao wapumbavu

  • @YohanaMasebo
    @YohanaMasebo หลายเดือนก่อน

    Team Russian oyee

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 หลายเดือนก่อน

    Mashoga kazi wanayo

  • @denislramadhani7857
    @denislramadhani7857 หลายเดือนก่อน +1

    Watakiona tu siku moja

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 หลายเดือนก่อน

      Orbit inazunguka jua so tutakiona dunia zima siku jua likitunguliwa 🤪🤣🤣🤣au mura ulidhani Orbit ni Marekani? Ni kwamba Marekani kiranja tu wa dunia anafatilia kila kitu, wewe kazana kucomment tu hapa waache wajuzi wasayansi wapambane 🤣

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi หลายเดือนก่อน

    Sasa hivi kuna timu urusi china na marekani sasa kazi kwao unapenda timu gani

  • @simonmartin5358
    @simonmartin5358 หลายเดือนก่อน +5

    Mpaka akome kbsa us

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 หลายเดือนก่อน

      ORBIT HAIPO MAREKANI 😜🤣🤣🤣NAWEWE UNAESHABIKIA UTAKOMA

    • @user-ig3qn9zw6b
      @user-ig3qn9zw6b หลายเดือนก่อน

      Mnambilie huo anae shabikia shabikia@@atutweve4160

    • @husseinkadawa2846
      @husseinkadawa2846 หลายเดือนก่อน +1

      siwamechoka kula dunia wacha mchezo uishe sis wala dagaaa freshi tu

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 หลายเดือนก่อน

      @@husseinkadawa2846 manake bora uuawe uage dunia basi sawa 🤣

    • @simonmartin5358
      @simonmartin5358 หลายเดือนก่อน

      @@atutweve4160 chefu

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 หลายเดือนก่อน

    ❤️❤️🇷🇺🇷🇺💪💪

  • @batuelcharles2489
    @batuelcharles2489 หลายเดือนก่อน

    Rasiski federasio

  • @Emanueli-vz6fd
    @Emanueli-vz6fd หลายเดือนก่อน

    Bdo awajasema😅😅😅

  • @SabraNassor-hv1xi
    @SabraNassor-hv1xi หลายเดือนก่อน

    Endeleeni kumtibuwa Putin awanyooshe

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 หลายเดือนก่อน

    Marekani akifany yeye Sawa akifany mwingine analaani 🤣🤣 atulie dawa imuingie

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 หลายเดือนก่อน

    Hawa nao bhan kila siku maneno tu km zuchu c muwapige

  • @MasanjangwesaJiganga
    @MasanjangwesaJiganga หลายเดือนก่อน

    Waache wakome wamarecan sema tyuu MUNGU habadilishi unabii

  • @SelemaniMeena-oo3os
    @SelemaniMeena-oo3os 27 วันที่ผ่านมา

    Marekani angekuwa na uwezo aliokuwa nao urusi angeshamuangamiza siku nyingi sana, ameiteka dunia na google yake basi anajiona yeye ndio yeye, warusi wana YANDEX na itachukua nafasi WW3 ikipigika

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 หลายเดือนก่อน

    😂Putin kamanda🔥

  • @adamchaka-vl7yk
    @adamchaka-vl7yk หลายเดือนก่อน

    Hawa wapumbavu sana,Hivi mnampangiaje Urusi silaha za kutumia!Shame on you Nato & USA

  • @JonasPhilimon
    @JonasPhilimon หลายเดือนก่อน

    Mbona mambo ya upinde mnayapromoti sana mtu mara nyingi hua anapenda kuzungumza mambo ya ushoga iwe nikwajili yakupinga kila mara huo mara nyingi nayeye nimoja wapo jaribhu kuangalia vijiweni wahuni kila mda ndio mada yao chakushangaza hua wenyew ndio hufanya hayo Mambo

    • @Puppet666Master
      @Puppet666Master หลายเดือนก่อน +1

      Kwani bado pasta wako haja kutafutia Mume aka kuoa au😷

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @YustaMfugale
    @YustaMfugale หลายเดือนก่อน

    Putin taratibu huko usije ukatuua tz huku😂😂😂😂

  • @humbimusisa-db1tg
    @humbimusisa-db1tg หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅 Viva Putin

  • @AlexLugano-rh8tm
    @AlexLugano-rh8tm หลายเดือนก่อน

    Why this guy voice talking like he’s walking around he’s yard all the time yall need fix it

    • @mbekijerome2115
      @mbekijerome2115 หลายเดือนก่อน

      Bro it's ok as long as you get the point don't complicat.mbona ujumbe ni mzuri sana.

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 หลายเดือนก่อน

    Marekani kiboko nyie mnaofikiri marekani eti atakwisha acheni uongoo yeye Yuko Dunia nyingine mtasubiri sana Dunia anaifahamu kuliko wewe

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 หลายเดือนก่อน

      kwaiyo urusi haifahamu dunia kwakua unapenda mambo ya ovyo ndio mana uko pamoja nao marekani hawana wale wana wa izrael waliokuwa wanavushwa na Musa

    • @hancyjr7177
      @hancyjr7177 หลายเดือนก่อน

      upinde

    • @YustoMlay-cv4zb
      @YustoMlay-cv4zb หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @thelonewolf4429
      @thelonewolf4429 หลายเดือนก่อน

      @@shubebunyesi542kaka usiwe unajisumbua kujibu awa atu wa upinde huwa hawanaga haibu kuongea vutu vya ovyo

    • @sanaf8367
      @sanaf8367 หลายเดือนก่อน

      Urusi ndio baba tech ya space na nyuklia wewe vipi mzee wa upinde

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 หลายเดือนก่อน

    Hapo wanatafuta pa kutokea hao Marekani hawana jipya wanataka kujinasua kwenye migogoro waliyoanzisha

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm หลายเดือนก่อน

    Bado wabigeni hao wamarekani wakome kwani hao wamarekani wanajifanya kidume