Ujenzi Wa Apartments wa Gharama Nafuu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Nyumba hizi zimejengwa kwenye plot yenye ukubwa wa mita za mraba 1200 , kila nyumba ina vyumba viwili vya kulala, jiko, sebule na dinning. Gharama za Ujenzi kwa Kila jengo ilikuwa million 75 za Kitanzania. Gharama hizi hazitafanana kwa kila site au kwa kila eneo, hivyo isikuogopeshe, site hii ilikuwa na slope kali na nyumba ilibidi inyanyuke sana na hii ilisababisha gharama za ujenzi ziwe juu kidogo.
    Upo tayar? Hakikisha unatutafuta.
    Karibu swahili units, builders and estates kwa huduma za finishing, interior and exterior designs, Renovation services, land scaping pamoja na utayarishaji wa Raman na ujenzi wa majengo yote kwa ujumla wake(ya makazi,ya kibiashara na yale ya kijamii), hapa swahili units, estates and builders tunasema #leta_ndoto_yako_tukupe_nyumba_yako #we_dont_do_cheap_designs_we_do_affordable_designs

ความคิดเห็น • 70

  • @samweligabriel
    @samweligabriel หลายเดือนก่อน +1

    Good job

  • @tanzanadian
    @tanzanadian 5 หลายเดือนก่อน +3

    Keep up with good job

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  5 หลายเดือนก่อน

      🤝🏿🤝🏿🤝🏿

  • @musamagulu2023
    @musamagulu2023 2 หลายเดือนก่อน +1

    Good sana

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  หลายเดือนก่อน

      @@musamagulu2023 Ahsante sana

  • @gidyonmshani5259
    @gidyonmshani5259 2 วันที่ผ่านมา

    Zote mbili zinakost shingapi

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 5 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman❤❤❤❤❤😢

  • @musamagulu2023
    @musamagulu2023 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nitawatafuta

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  2 หลายเดือนก่อน

      @@musamagulu2023 karibu sana

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka ujenzi wa nyumba hiyo ni sh. Ngapi?

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  3 หลายเดือนก่อน

      Wasilina nas kwa namba +255762156762 kwa taarifa zaidi

    • @wilsonmatunda4937
      @wilsonmatunda4937 หลายเดือนก่อน

      Kwa nini mnaogopa kutaja gharama ya nyumba moja?

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  หลายเดือนก่อน

      @@wilsonmatunda4937 gharama zimefafanuliwa kwenye video, pitia utaona

  • @hamidasaif4065
    @hamidasaif4065 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wekeni beyi

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  3 หลายเดือนก่อน

      Bei ipo kwenye description ya hiyo video

  • @alfrededwin6479
    @alfrededwin6479 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nihizo nyumba mbili umezijenga kwa m75 au zote tatu naomba unieleweshe tafadhari

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  5 หลายเดือนก่อน

      Ni gharama ya nyumba moja

    • @aminamohammed5373
      @aminamohammed5373 4 หลายเดือนก่อน

      Wekeni bei tujue

  • @florinjoseph2504
    @florinjoseph2504 2 หลายเดือนก่อน

    Nimependa kazi zenu,mnapatikana wapi?

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  2 หลายเดือนก่อน

      @@florinjoseph2504 ahsante sana, Tupo Mikochen Dar es Salaam

  • @eldaddyofficial
    @eldaddyofficial หลายเดือนก่อน

    mawasiliamoo hamukuekaa

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  หลายเดือนก่อน

      @@eldaddyofficial +255762156762

  • @mrshazychannel3359
    @mrshazychannel3359 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kama hio nyumba 1 bei gan

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  5 หลายเดือนก่อน

      75milion tshs per unit

    • @gaspercharles2244
      @gaspercharles2244 5 หลายเดือนก่อน

      Yaani 75ml ni nyumba zote au ni kajumba kamoja ndio ml 75?

    • @AminaSalum-ft5us
      @AminaSalum-ft5us 19 วันที่ผ่านมา

      Moja iyo ndugu🤣🤣kwa hali yetu mwisho m 15

  • @ibrahimabdallah7639
    @ibrahimabdallah7639 3 หลายเดือนก่อน

    Nataji namba ya simu

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  2 หลายเดือนก่อน

      +255762156762

  • @brunotemu8069
    @brunotemu8069 2 หลายเดือนก่อน

    Namba ya sm please

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  2 หลายเดือนก่อน

      @@brunotemu8069 ipo kwenye profile, pamoja na njia nyingine nyingi za kutufikia

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  2 หลายเดือนก่อน

      @@brunotemu8069 +255762156762

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 2 หลายเดือนก่อน

    Naombei mawasiliano yenu

  • @munisialpha6465
    @munisialpha6465 2 หลายเดือนก่อน

    Weka namba

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  2 หลายเดือนก่อน

      @@munisialpha6465 Ipo on My Profile, pamoja na njia nyingine nyingi za kutufikia

  • @silviaamos-pl5lk
    @silviaamos-pl5lk 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kama nyumba hiyo beigan

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  3 หลายเดือนก่อน

      Wasiliana nasi kwa namba +255762156762 kwa taarifa zaidi

  • @bigboys016
    @bigboys016 2 หลายเดือนก่อน +1

    Karamani mulua kabisa

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 21 วันที่ผ่านมา +1

    Namba zenu ziko wapi Sasa?

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  20 วันที่ผ่านมา

      @@malkiarosemuhando3310 zipo Kwenye Description ya Hii video

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  20 วันที่ผ่านมา

      @@malkiarosemuhando3310 +255762156762

  • @AlbertyMangasila-o8o
    @AlbertyMangasila-o8o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mmetisha wajomba

  • @alimwenemwakyusa771
    @alimwenemwakyusa771 3 หลายเดือนก่อน +1

    vyumba vya kulala ni self container pls

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  3 หลายเดือนก่อน

      Kimoja Ni Ensuite na kingine ni shared with Public Toilet

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ramani inabei gani

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  3 หลายเดือนก่อน

      Wasiliana nas kwa namba +255762156762 kwa taarifa zaidi

  • @anuarymzee9898
    @anuarymzee9898 หลายเดือนก่อน

    Naomba number ndugu yangu

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  หลายเดือนก่อน

      @@anuarymzee9898 +255762156762

  • @htx1873
    @htx1873 2 หลายเดือนก่อน

    Unasema kwa Gharama nafuu halafu halafu hautaji bei ??? 🙄🙄🙄🙄

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  2 หลายเดือนก่อน +1

      @@htx1873 wasiliana nasi kwa +255762156762 kwa taarifa zaidi

  • @CosmasSetumbi
    @CosmasSetumbi 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba Namba yako nikupe Kazi

  • @MwileMkangwa-y1n
    @MwileMkangwa-y1n 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bei gani

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  3 หลายเดือนก่อน

      Wasiliana nasi kwa namba +255762156762 kwa taarifa zaidi

    • @SoomaSoma-t8x
      @SoomaSoma-t8x 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@swahiliunitsmnafika popote

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 2 หลายเดือนก่อน

    Tafadhali mtuwekee no please

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  2 หลายเดือนก่อน

      @@joslinchuwa1298 details zipo kwenye description ya video

  • @mustafamtanganya7538
    @mustafamtanganya7538 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba za sim kaka

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  หลายเดือนก่อน

      @@mustafamtanganya7538 +255762156762

  • @mwanaidhassan6170
    @mwanaidhassan6170 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo moja Ghar ama TSH

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  3 หลายเดือนก่อน

      Wasiliana nas kwa namba +255762156762 kwa taarifa zaidi

    • @beatricekavenuke8587
      @beatricekavenuke8587 2 หลายเดือนก่อน

  • @millanolotu2839
    @millanolotu2839 3 หลายเดือนก่อน

    MTAALAM,Naomba namba yako ya simu .

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  2 หลายเดือนก่อน

      +255762156762

  • @DanierKisumo
    @DanierKisumo 4 หลายเดือนก่อน

    utalatibu ukoje

    • @DanierKisumo
      @DanierKisumo 4 หลายเดือนก่อน

      0757567645tuwasiliane

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  4 หลายเดือนก่อน

      Wasiliana nasi kwa namba +255762156762

  • @jovenatusstephen5958
    @jovenatusstephen5958 3 หลายเดือนก่อน

    Mko wap

    • @swahiliunits
      @swahiliunits  2 หลายเดือนก่อน

      Mikochen Dar es Salaam Tanzania

    • @marrykigabimk
      @marrykigabimk 2 หลายเดือนก่อน

      @@swahiliunitsToa number