URUSI, US, CHINA, KOREA kwenye Mbio za kumiliki makombora ya mwendo kasi (Hypersonic Missiles)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 82

  • @noelmsofe2589
    @noelmsofe2589 4 หลายเดือนก่อน +22

    Ally masubi bonge moja la mchambuzi aegemei upande wowote safi

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 4 หลายเดือนก่อน +12

    Ni muhimu sana kumuomba Mungu aiweke dunia salama Kuna dalili mbaya kwa haya mapinduzi ya ki technology.. hivi sio vitu vya kushabikia aisee

    • @mbuyaelyaoni6266
      @mbuyaelyaoni6266 4 หลายเดือนก่อน +2

      😅😅Kuliko korona, acha mbwai iwe mbwai, dadeki

  • @elishaluhwago6940
    @elishaluhwago6940 4 หลายเดือนก่อน +10

    Ally Masubi upo vzr bro🎉

  • @josephwaigama-sb8hz
    @josephwaigama-sb8hz 4 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera baba

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mrusi yupo mbaaaalii sanaa katika teknologia ya Vita🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Eng2460
    @Eng2460 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ally Masubi🙌🙌🔥🔥🔥

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hayo makombola Yanakuua kabla ya kujua nini kimekuua

  • @toymadebho7048
    @toymadebho7048 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ally you are the best huegemee upAnde fulan

  • @shebbylove3140
    @shebbylove3140 4 หลายเดือนก่อน +5

    Thank u guys for the daily updates mungu awabariki saana

  • @hansiempire5093
    @hansiempire5093 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ally masubi ni best in maelezo ya technology & science

    • @ramadhanrobin-st6hh
      @ramadhanrobin-st6hh 4 หลายเดือนก่อน

      Masubi anajua sana izo ila dj sma anajua sana historia ndo utofauti wao hawa watu

  • @sumakitengo1356
    @sumakitengo1356 4 หลายเดือนก่อน +3

    Uyo masubi kwa nn asikae apo kuliko kumpigia sm Kila siku

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezimungu atupe mwisho mwema..ila huyu jamaa anajuwa sana mambo yakimilitary

  • @FabianAlex-y8c
    @FabianAlex-y8c 4 หลายเดือนก่อน +6

    Sns nawakubalisa ❤ kwauchambuzi asantenisana mungu awape maishamalefu

  • @MAHAN-SMART
    @MAHAN-SMART 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hatar na nusu

  • @sumakitengo1356
    @sumakitengo1356 4 หลายเดือนก่อน +4

    Masubi km masubi mtu na nusu

  • @GeorgeMagadula
    @GeorgeMagadula 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mm mchambuz namkubali

  • @alphadreammedia
    @alphadreammedia 4 หลายเดือนก่อน +8

    SNS naomba tumuone Ally masubi

  • @MassoudHamad
    @MassoudHamad 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ally uko vizuri

  • @SeifSalim-d8b
    @SeifSalim-d8b 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mrusi piga mashiga haooo

  • @AmosMarwa-b9q
    @AmosMarwa-b9q 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sema Masubi ni kama kinzhali baba umenyoookaa 😀✊🙏

  • @tangamwalimu514
    @tangamwalimu514 4 หลายเดือนก่อน

    Mchanganuzi yuko vizuri sana mashaAllah

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ni wakati wao

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 4 หลายเดือนก่อน +4

    Tanzania tupo kwenye paula na marioo na tiffa dangote😅

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl 3 หลายเดือนก่อน

    Chambuweni tu Vilemunataka But mujuwe bila kudanganya , Urusi hawana uwezo wakupigana na Amerika.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 หลายเดือนก่อน

    ✌️👊👍.

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 4 หลายเดือนก่อน +1

    P1 sana

  • @Ally-qi7xo
    @Ally-qi7xo 4 หลายเดือนก่อน +3

    🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦❤️

  • @AliAli-hs8si
    @AliAli-hs8si 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naam

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 4 หลายเดือนก่อน +5

    🇷🇺💪Uraaaaaaaa

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 4 หลายเดือนก่อน +1

    UJILANI WA VITA YA TATU KAMA IPO NJIANI MUNGU APUSHIE MBARI MMAREKANI WASHAMCHOKA DUNIANI

  • @MackDizo
    @MackDizo 4 หลายเดือนก่อน +2

    2ko p1

  • @innocentnyanganyi3673
    @innocentnyanganyi3673 4 หลายเดือนก่อน +4

    Ally upo vizuri, maelezo yako yamenyooka

  • @Happy-be8hh
    @Happy-be8hh 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona Russia na China wanayo zamani tu makombora ya Hypersonic Missile

  • @ndayisengafiston
    @ndayisengafiston 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo lenu mnatangazaka kama mnakauoande flunani

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 4 หลายเดือนก่อน

      Upande gani sasa nyiny mashoga mnashida

  • @MauaLucas-st6be
    @MauaLucas-st6be 4 หลายเดือนก่อน

    hapa umedadavua hata asiye elewa ataelewa tu

  • @moohazuume
    @moohazuume 4 หลายเดือนก่อน

    Oyaa mbona vita vya palestina saivi hamtangazi?

  • @AyubuYussuph
    @AyubuYussuph 4 หลายเดือนก่อน

    Hiya ni hatari sana kwa ulimwegu

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 4 หลายเดือนก่อน

    Amna vita zote zakawaida

  • @mohamedrashid6578
    @mohamedrashid6578 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mbona sisi hatujiandai na chochote?

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 4 หลายเดือนก่อน +4

      Embu tumalize kuweka maji na umeme kwanza 🤣🤣🤣😂😂😂😂

    • @joshuaandrew386
      @joshuaandrew386 4 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂😂😂 sisi tuna tunajiandaa kwa tren za umeme

    • @Uwezohussein-me2gp
      @Uwezohussein-me2gp 4 หลายเดือนก่อน +2

      Tunajiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa bro

    • @Manyara-Jr
      @Manyara-Jr 4 หลายเดือนก่อน +1

      tunajiandaa kuupokea mwenge uku we uko wapi

    • @ziddyziddy2524
      @ziddyziddy2524 4 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅😅​@@Manyara-Jr

  • @simionnicholaus4875
    @simionnicholaus4875 4 หลายเดือนก่อน

    Jamaa liongo ww ,kama zile rocket zinazorushwa na space x zinasafriri hadi kilometa nane kwa sekunde we unaongelea eti urusi ndo ya kwanza wakati USA keshapita kitambo huko yeye anakimbizana na laser weapons sahivi

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 4 หลายเดือนก่อน

      Tangu lini space x wametengeneza missile ....?.

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 4 หลายเดือนก่อน

      Ww shoga ujitambui

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna uongo ndani yake eti kilometa 11000 kwa saa wewe inaweza kuwa hatali😅😅😅

  • @rizionemajura4707
    @rizionemajura4707 4 หลายเดือนก่อน +4

    Vita ya tatu ya Dunia Iko mbioni

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 4 หลายเดือนก่อน

    Zote wanazo

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 4 หลายเดือนก่อน

    iran haina hypersonic ?

    • @Soon815
      @Soon815 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 Iran hamna kitu

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 4 หลายเดือนก่อน

      Wanayo

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 4 หลายเดือนก่อน +1

    Viva Russia viva Putin

  • @jamesluckson2367
    @jamesluckson2367 4 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndio inaitwa Satan 2 Sasa moto umewaka😂😂😂

  • @AnordErio
    @AnordErio 4 หลายเดือนก่อน

    Hahahahahahahahahahhahaha

  • @ShedrackShedrack-c2b
    @ShedrackShedrack-c2b 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hawawote miakayote wanashndana namarekan mwishowasku wanaishia kupata hasala arafu awamfiki kwachochote mana marekani wakwanza kwakilaktu ndoboss wao

    • @reallystationary7171
      @reallystationary7171 4 หลายเดือนก่อน +3

      Akili mgando

    • @keshenidaniel770
      @keshenidaniel770 4 หลายเดือนก่อน

      Ww ndo hujui fuatilia hayo mambo kuindani marekani atabaki juu shetan yuko pale kila uchafu ni pale freemason na 666 ndo wao wanasimamia hayo yote

    • @danstanirubazibwa2494
      @danstanirubazibwa2494 4 หลายเดือนก่อน +1

      Naisi huyu ni mtoto wa USA

    • @YohanaMasebo-v2c
      @YohanaMasebo-v2c 4 หลายเดือนก่อน

      Zuzu una akili ndogo sana ya kufikiria

    • @YohanaMasebo-v2c
      @YohanaMasebo-v2c 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@liberatusjackson5045Mashoga kama wewe nenda ukafirwe

  • @marlonstudios4408
    @marlonstudios4408 4 หลายเดือนก่อน

    Ally masubi juu mawinguni

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 4 หลายเดือนก่อน

    Tunachotaka ni kuiharibu hii dunia