Kwa kila hatua Mungu awe pamoja na majeshi ya Urusi ya kamanda wa ulimwengu Rais Vladimir Putin, kwa neema ya Mungu wajaliwe kufikia malengo yao kwa wakati.
Haya Ally anayo yaongea anageongea sma watu wa taarabu wangeanza ooooh anaegemea sijui nin na nn, ukwel hauwezi fichwa hata siku moja, sma huwa anaongea yale yanayo fichwa jmn sio kwamba anaegemea
SNS kitu mnafanya ni kizuri ila Kuna namna Ali anatakiwa kukaa kimya au kusubiri mwenzake amalize kuchangia ndio aongee, obvious anajua but the problem anaingilia time ya mwenzie... Sio Kwa ubaya but itaboresha hii midaharo
Licha ya vita vyote hivi anavopigana mrusi hatusikii kuuwa raia wasiokua na hatia ana deal na wanajeshi tu ila Zaonist Israel kule anua watoto na wanawake bila kujali mungu awalaani Israel na ampe nguvu Russia ashinde vita hivi
Mim nilisema tokea tunaanza SnS ni social media kumbwa sn kwa update kiukweli naipenda nimeachana na bbc na DW na cnn pia nikamua nibaki SNS.thaks u Sky
Kwangu mimi siku haiishi bila kupitia sns kumsikiliza dj smaa na all masudi ..wachambuzi waongezee hela kidogo waendelew kuwa na molarity yakuendelea kufuatilia maarifa na taarifa nyingi ..pia wape kbisa ajila official wawe sns kama watangazaaji wa media zingine kubwa kama redio and TV
HAHAHAHAAAAA😂 .NA HAO WALIOUWAWA 1,400 MDA WA MASAA 24 TU MBONA BBC HAWASEMI😂. DAH YAANI RAHASANA HAWA JAMAA WALIOTUULIA GADAFIWETU NA SADAMU BILAKOSA DADEK HAYO NDIO MALIPO SASA. kama asemavyo ALLAH. hazidishiwi dhwaalimu isipokua ni hasaratu😂
Naomba kujua, vipi kama Urusi ikashinda vita na kuichukua Ukraine yote, je Urusi waichukua nchi nzima na kupanua mipaka ya nchi hiyo kwa eneo la Ukeaine?
Muunganiko wa ❤ djsma na ❤ Ally napata ratha kipekee hata wizara yetu ulinzi iwangize kwenye kuwa washauli sky hongera kwa kutuletea vitu adimu channel haina umbea na watu unao ongeza ubunifu zaidi❤❤❤❤❤
Naomba like 20 Wana sns ..tunawashukuru xna kwa kutupatia taarifa kwa wakat ..
Zerozensky mwisho wa cku mpk yy atakimbia na kuitelekeza nchi yake
Yani wew hamna sauti unataka like
Nimemtafutia sijasiona uliziweka wapi😅😅😅😅😅😅
Dj smaa alishatabiri japo wanao shabikia magaidi NATO na mharifu Marekani hawataki kusikia ukweli .
Uhakikaaa
Ongera kwa urusi.endeleya ku capa NATO n'Amerika...
Bila michubuko unaweza kupata ukimwi?
Conversation ya Leo yapo poa sana, fantastic job
Ushindi kwa Urusi ni Ushindi Wadunia. Vipi hali ilivyo Gaza na hasa Rafah?
Sns nawapata vizuri sana from Belgium
Combination hii ya wachambuzi inatupa uelewa mkubwa kimantick. ❤❤❤❤. Nashukuru sns kwa kulichukua wazo langu na kulifanyia kazi. ❤❤❤
Hawa Wagner kwel ni watu hatar sana maana sio kwa wanachokifanya huko Kharkov 🙌
Asanteni sana kwa taarifa nzuri zimesomeka kitaalamu kabisa hongereni kwa uchambuzi mzuri wa kiwango cha Kimataifa
Huko pia wataondoka mwisho watakimbia kabisa na hao mashoga watazidi kupoteza pesa na silaha
Nawapata vema .nipo Namibia hapa windhoek. Napenda sana kazi yenu.
Upo Windhoek sehemu gani? Khomazda Katutura Babylon ama Klein Windhoek. Hongera SNS kwa umbuzi uliochangamka
Nawapata vzr from Germany
DJ esma nimchambuzi mzuri mrusi siomtuwakutania watu wanavyofikiria ,anaogopwa na wazungu wenzie
Sio dj esma ni Dj sma
@@Gulfnas1 mkono umetereza kuandika kwaio umekua mkosoaji
@@uwimana6533😂😂😂😂
SnS is more than mainstream media..
Sauti ipo ili mtandao ukizidiwa kuna badhi ya watazamaji wanakosa sauti,
Dj sma uko bright mashaalah
Sns tun wapata vizuri URAAAAAA
Aise Dj Sma na Ally Masubi kwa kazi hii bila shaka mtakua mnapata pesa kubwa sana kwa uchambuzi wenu huu big up 👍
Wazee wa Facts and Logic watu wakuunganisha…….
wana sns hii ndo.aljazera ya bingo mnakimbiza yani BBC dw nw.days wanazidi poteza followers
Hongereni kwa Habari na uchambuzi mzuri
Watching live from Russia
Kwa kila hatua Mungu awe pamoja na majeshi ya Urusi ya kamanda wa ulimwengu Rais Vladimir Putin, kwa neema ya Mungu wajaliwe kufikia malengo yao kwa wakati.
Sns mko vema sana, mnatujuza habari updates
Kama unamkubali Dj sma na ally masubi weka like hapa
Shoutout to SnS,,Dj.Smaa & Ally Masoud for wonderful Analysis 🔥🔥🔥🔥
Hali nimbaya sana hata BBC imekiri hilo
BBC siku hizi wamekuwa hadi wa pole
BBC ni propaganda za Marekani,hakuna hata ck 1utakuta anawakosoa wa maharibi
BBC na Ujerumani sy Redio zakusikiliza nizwamarelani zakupotosha ukli kumlinda marekani
@@emmanuelmlowe-ew7gxna wao sasa hivi wameanza kukubali muziki wa putini
@@sonnyr1899inabidi na wao wakubali tu sasa wataandika nini ilihali vyombo vyote duniani wanongea lugha moja ni urrusi tu
Eeeeh hiii urusi tuko pamoja na Putin jamn like zangu 🔥🔥🔥
Ali Masubi ana information sana ila communication skills zake ziko chini... anaweza aka improve !
SNS Respect 💯👊🏾
Jamani mimi nipo bankoko nawapata vizuri sana ndugu zangu more love u guys
Ndio wap uko ndgu
Ndo wap huko kaka??
KAZI nzuri
Ahsanteni sana wachambuzi wetu kwa kazi nzuri ya kutulisha habari za uhakika na muhimu kwa maisha yetu
Ok'mimi nakota'drc manyema asate kwa urusi
Team mrusi tujuane👇👇👇👇
Kazi nzuri brother
Hongera urusi kwa kumshikisha ajabu mshirika mamuluki wa nchichi za magharibi
Urussi ni jeshi kali zaidi Duniani. Zerenski asipo kaa meza moja na Urusi wamalize uhasama wao. Ukraine inapotea kabisa ktk ramani ya dunia.
Ningumu kukameza moja vita haipigani Europa
Asnt sana kwatarifa nzr,,
Warus weusi tunatembea kifua mbele Mungu amjalie afya njema Putin
Huku dj smaa 255 kule aly masubi..kama ni wali basi huu ni mseto uliokamilika
Haya Ally anayo yaongea anageongea sma watu wa taarabu wangeanza ooooh anaegemea sijui nin na nn, ukwel hauwezi fichwa hata siku moja, sma huwa anaongea yale yanayo fichwa jmn sio kwamba anaegemea
Sauti
SNS kitu mnafanya ni kizuri ila Kuna namna Ali anatakiwa kukaa kimya au kusubiri mwenzake amalize kuchangia ndio aongee, obvious anajua but the problem anaingilia time ya mwenzie... Sio Kwa ubaya but itaboresha hii midaharo
Mpo vizuri
Asanteni Kwa habari tupo pamoja
Oya wazee nakubali sana kazi zenu
I won't stop listening sns, I really like it
Licha ya vita vyote hivi anavopigana mrusi hatusikii kuuwa raia wasiokua na hatia ana deal na wanajeshi tu ila Zaonist Israel kule anua watoto na wanawake bila kujali mungu awalaani Israel na ampe nguvu Russia ashinde vita hivi
Waaaa
Mim nilisema tokea tunaanza SnS ni social media kumbwa sn kwa update kiukweli naipenda nimeachana na bbc na DW na cnn pia nikamua nibaki SNS.thaks u Sky
Pia mimi niko Ukraine nawapata vizur sana Sns
Uko Ukirein!!!!!!!!!k kama ndivyo una roho ya Nyau😂
😂😂😂
Safi sana Sns
Walijichanganya kuushambulia Boligolod eneo la urusi yanayotokea Karkive
Sauti gani mnayo isema mbona inasikika vizuri tu.
Jameni pelekeni watoto shule,Hawa wachambuzi wanatupa Raha sanaaa Urusi idumuuu.Putin For Victori
Sns hamna mpinzani ✌️
Kweli
Good
Duh
Safi.sana
Naam wachambuzi wetu ahsanteni sio tu uchambuzi Bali Ni somo maalum tumefaidika mno!
Lazima waseme mwaka huu watakaa mezani...
Mi niko NANDIMBA nawapata vizuri 😂😂😂😂
asandeni sana
The change has come
Fire
Kwangu mimi siku haiishi bila kupitia sns kumsikiliza dj smaa na all masudi ..wachambuzi waongezee hela kidogo waendelew kuwa na molarity yakuendelea kufuatilia maarifa na taarifa nyingi ..pia wape kbisa ajila official wawe sns kama watangazaaji wa media zingine kubwa kama redio and TV
Sauti imepotelea wapi
Sauti hamna
👍👊✌️.
Sasa ww unafikiria kama Ukraine ataishambulia Moscow sio ndio itamalizwa Ukraine
❤
Leo mmeongea pwenti nakucambuwa vizuri naweredi mwingi❤
Wapige tu hao mashoga mpaka wakimbie nchi yote iwe urusi tu
Ali unaongea sana muachie pia Dj asma nae aongee
Nyie wachambuzi si mpewe kazi ya kufundisha jeshin?
HAHAHAHAAAAA😂 .NA HAO WALIOUWAWA 1,400 MDA WA MASAA 24 TU MBONA BBC HAWASEMI😂. DAH YAANI RAHASANA HAWA JAMAA WALIOTUULIA GADAFIWETU NA SADAMU BILAKOSA DADEK HAYO NDIO MALIPO SASA. kama asemavyo ALLAH. hazidishiwi dhwaalimu isipokua ni hasaratu😂
😂
Acha uruss iwatandike hao wapuuzi na waisoma uraaaaaaa
❤❤ dj smaa❤❤
Nipo hapa na sky, dj sm, ally masubi.
Putin anafanya kazi zuri ila awe makini kwa usalama wake Marekani na ukata wapo kazini usk na mchana
Uuuu Raaaaaa rasia ni super power jamani tunawafuta sana snaa tukiwa burundi
Vita hii ni kwamba Ukraine kaisha shindwa,ila anashindwa kusalim amri coz itakua ni kama NATO wameshindwa vita!Hilo lipo wazi
😊
Nato kazi yao kutengeneza ugaidi ili kuihadaa dunia wazidi kuendeleza ushetani wao ngoja wakione chamoto
Naomba kujua, vipi kama Urusi ikashinda vita na kuichukua Ukraine yote, je Urusi waichukua nchi nzima na kupanua mipaka ya nchi hiyo kwa eneo la Ukeaine?
Piga hao
Muunganiko wa ❤ djsma na ❤ Ally napata ratha kipekee hata wizara yetu ulinzi iwangize kwenye kuwa washauli sky hongera kwa kutuletea vitu adimu channel haina umbea na watu unao ongeza ubunifu zaidi❤❤❤❤❤
Wizara ipi ndugu
Mrusi kashajiandaa kutumia s500 kwa ajili ya f _16 naf22na 35
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mm nko Tel-Aviv ingawa nawapata kwa shida lkn tuko pa1
Wapigwe hao mashoga mpaka warudi kwenye mstari
First
Mimi toka kologwe tanga mwana chama numba1 wa #sns
Nimependa hapo kwenye kudisable GPS system za silaa za adui.
Uraaaaaa
Yaani mpaka waseeeemeee
Mimi bado nasoma ahlalbadr
Nipo Ukraine nawapata vizuri 😢😢😢
Ww si uko.kenya😂😂😂
Back sound muhimj
Na wanasema hizo f16 zina technology mpya sana kwa zitawasumbua sana waukrine kuziendesha
Ukraine walishashindwa zaman saana sasa ivi urusi anapigana na nato na marekani
Baba Tours aka Zerozenky naku zoom kwa mbali...