Yaan elimu unayotoa hata darasani huwezi kuipata#hii ni elimu ya intelligence ya hali ya juu unayoitoa lkn kwa wale wanaoelewa tu#naskiliza unyama huu kutoka nchini esrael❤❤❤respect sana Dj Smaaa
Nasikiliza kutoka tarime,rafk,katika maono yangu juu ya hii vita,ni kumuinua mpinga kirsto na kua na dini Moja,serekali Moja na pesa Moja,ili wamkabizi mpinga kristo utawala wa Dunia,
Mwenyez mungu amewaalaan wale ambao wanadhulumu uhai wa mtu mpaka siku ya kiama mimi siungi mkon kabisa wala sitak ushabiki kama umeshawahai ona vita huwez kuwa shabiki hakuna sehem watu ni immortals ni nafsi za vijana wadogo wanateketea kwa tamaa za upumbavu wa kukumbatia dunia ambayo wataiacha
Kaka mi naona the only option waliyobaki nayo NATO ni kuingia mitini na kuamua kujubaliana na matakwa ya Urusi tu kwani NaTo hawawezi kuanzisha direct war with Russia kwani hiyo itakuwa vita 3 ambayo itawamaliza vibaya
Kusema kwamba Urusi hawezi kushindwa hii vita nikujidanganya cz alisema anaweza kuichukua Kiev siku tatu ikashindikana. Akaja na mkakati wa kunyakua majimbo ya kerysone, Zaporozhye na eneo la Donbas ( Doniesky na Lugansk) na ukiangalia ukiacha doniesk ndio analidhibiti lote haya yaliyobakia anadhibiti % fulani tu. Lakin ukiangalia kiuhalisia hata ichukue miaka mitano urusi hawezi kushinda hii vita kwa facts zifuatazo. Urusi uchumi wake una shrink kutokana na vikwazo. Warusi wengi hawaungi mkono vita bali ni matakwa ya mtu mmoja. Jeshi la urusi linaonekana ni dhaifu cz kama mamluki wa Wagner elfu 25 walikuwa wamrshachukua miji kama Rostov katika kipindi cha uasi (mutiny) wa yevgen prygozhiny na barabara za madaraja yaliyokuwa yanaelekea Moscow yalivunjwa kuwazuwia Wagner elfu 25 vipi NATO wakiingia na jeshi la watu laki 5 au 6. Nchi marafiki wa urusi wanaogopa kumsaidia kukwepa vikwazo. Tactical za kivita Russia hana weledi ndio maana anashambulia ovyo maeneo ya kiraia kujenga hofu. Urusi anategemea sana vipuri vya zana za kivita kutoka nje na ndio maana sasa ana modify dhana zake za enzi ya Soviet vilivyokuwa havitumiki kutokana na vikwazo. Yaani zipo sababu nyingi sana Russia kupoteza hii vita, kitu ambacho Urusi anaringia ni silaha za nuclear lakin sio yy peke yake anamiliki silaha hizo. Itoshe kusema hii vita ni ngumu kwa sisi ambao tunaifuatalia ila ni rahisi kwa hawa wanaomuunga mkono Dj Sima😂😂😂😂
muongo huyu sijui kabila gani manake anakisabengo kama ..anatuletea uchambuzi wa fikira za watu wanavyofikiria wao kama wao halafu anataka kuwaaminisha watanzania kuwa ndio ukweli ndio huo duh 😅😅😅nimecheka sana
Msiwe mnashukuru muwe mnampa ata ela ya maji mnapewa madini lakin mnabaki kushukuru 2 wabongo bhana mnaboa kama baba levo dogo dj sma toa namba 2kupe za maji maan unatoa madini
HAWA NDIO WALEEE. WALIOMUUWA SADAMU NA GADAFI NA WAKAZICHAKAZA NCHIHIZO NA WANANCHI NANCHIHIZO SASA NI MASKIMI,NATO HAWA NINAMMARECANIWAO NI WASHENZIMNO. MIMI NAFURAHI ANAVYOWANYOOSJA PUTIN. SILAHA ZA PUTIN HAZINA UBAGUZI. KAMA ZA WAMAGHARIBI ZINAZOWACHAKAZA TU WAISLAMU WAHINDI WA AFRICA NA WARABU.
Nakufwatilia sana na unq fact but the way una present lazima utapata kupingwa na mtu ambaye hafwatilii huvi vita toka mwanzo au hafwatilii kwenye media zaidi ya moja maana una onyesha side kabisa uko upande gani.... So change that mode of presenting...
Ukraine kushinda au kushindwa vita sio jambo la msingi. jambo la kwanza la msingi ni Ukraine kulinda nchi yako. bila kujali matokeo. na hakuna chochote Ukraine watakachofanya wasifiwe na watu wa Putin. wakijitutumua kulinda nchi yao mnasema o wanashindwa. Zelensky angeweka silaha chini awaruhusu Urussi wafanye wanavyotaka mngesema ni muoga kama mwanamke. mimi nasema kama Ukraine wakishindwa acha washindwe wakiwa wanapigana. wewe Sma sijawahi kukusikia ukisema chochote kibaya cha Urussi. kila anachofanya Putin kwako ni sawa. analysis yako haiko balanced kabisa. tusisahau kabisa kwamba warussi milioni 25 walikufa wakati wa WW2. na bado hawakukubali kuweka silaha chini. acheni Ukraine wayeyushwe waishe. ni bora kuliko kukubali kuSURRENDER. Mbona wewe Sma babu zako hawakumuacha Iddi Amin apitilize mpaka Dar? aliekusikiliza tangu mwanzoni anajiuliza inakuwaje mpaka leo vita haijaisha. endelea na project yako.
Ukiwaona viongozi wa NATO ,nikama akili zao hazipo vizuri,Kwa sasa,maana vita inawashinda wanataka afrika tuwe mashoga,ushoga unafanywa na wafuasi wa shetani,maana ndowenye tamaa ya pesa,sisi hapa musoma tumezoea muhogo, tata,lazima vita ya tatu itokee,natoa hawatakubali kushidwa,mrusi nae hatakubali,vita ni vitamira ,yesu anakuja tunashanga urusi,mungu atusaindie
Yan acha tu kaka mmmh kuhusu hiyo vita huyu jamaa yuko bongo 😂 alf hayupo kwenye taasisi yoyote kubwa ambayo ipo front kwenye vita sasa analeta polojo yan 😢
DJ SMA NO1 NAKUPENDASANA toka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 wanau rusi gongeni👊👊👊 nawapenda san kwasababu tupoupande wahaaki.namtetezi niputin❤❤❤❤❤❤
Ww jama nakukubali mm nafatilia vita kila siku kwel unachambua vizur sana🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪💪💪💪💪🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
South African 🇿🇦🇿🇦
Yaan elimu unayotoa hata darasani huwezi kuipata#hii ni elimu ya intelligence ya hali ya juu unayoitoa lkn kwa wale wanaoelewa tu#naskiliza unyama huu kutoka nchini esrael❤❤❤respect sana Dj Smaaa
Nimechelewa Leo nipeni like zangu kutoka congo
Upo vizuri kaka kwa uchambuzi.💪💪💪ushindi lazima kwa Urusi
Brother, una uwezo mkubwa sana wa kuchambua mambo. Nakupata kutoka Sumbawanga. Hongera sana and don't stop always keep it up.
Bro nakuaminia sana juu mambo yako ni kweli kabisa big from Mombasa kenya
Hatarini
Kk Mungu akubariki 🎉, nafurahi sana uchambuzi wako
Kaka ile link ya kuchangia mbona hamna!? Pia jitahidi mchango uwe kwa kipindi husika na sio Kwa channel
Bg up kwa Putin namkubali sana
Unatoa fact's ilo ndio la msingi. Hongera kwa research sio kazi ndogo
Sns unajiharibia page yako kuweka wachambuzi wapuuzi
mwana marekani ujashauriwa usikilize
Nakupata vizuri kitoka Lusaka Zambia
Unyamaa sna dj endelea bila kuchoka kutujuza kinacho endelea kila hatua maana wengi wetu hatujui chchte nakupa maua yako mzeee umetisha 🎉🎉🎉🎉
Ktk znz dj sma ss marecani anamaslahi gn mpk anafny jot ay
Shukran sana ndugu
Upo vizuri
Nakukubali Sana dj sm
Since day 1 tuko pamoja dj smaa, nakubali Sana ii class
Dj sma Mr facts tunapena hizi vitu sana
From Cairo Egypt. Uko vizuri
Much respect mr am from tz
Thank you DJSmart 55 sisi tupo burundi 🇧🇮
Wewe 🔥🔥🔥🙏 Mungu akubariki
❤❤❤
Dj sma🔥🔥👍
❤❤❤❤❤
Wa kwanza Mimi leo
Safi sana
DJ Sma tupo pamoja nakukubari kutuelewesha Dunia inavyo enda
From 🇲🇿🇲🇿🇲🇿♥️♥️♥️
Nasikiliza kutoka tarime,rafk,katika maono yangu juu ya hii vita,ni kumuinua mpinga kirsto na kua na dini Moja,serekali Moja na pesa Moja,ili wamkabizi mpinga kristo utawala wa Dunia,
Ila brother unatisha upewe maua yako❤🎉
Uko vzr dj sma255
Nakuelewa dj kwa habari za uhakika nakupata nikiwa Boston
Akili kubwa sana, natamani nikuulize kuhusu dude la Bandari za Bongo au basi
Much respect much blessed Dj Smaaa#❤SnS….
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🫶🇹🇿🇹🇿
Chawa wako pro max hapa nakupata nikiwa mtwara yani sijui nikupe cheo gan yan katka watu nawakubali ukimtoa putin ni ww dj smart
Cheo Cha Mume kinatosha
17:29 ❤akuna malefu yasio na n'cha
Asante kwa kutupa taarifa nzuri
💪
Uyu jamaa ni muongo hajui kitu kuusu hiyo vita
nice yuo🇹🇿
God job
Nimekukubali mwamba mi ni Gaspar wa karagwe Kagera pamoja sana
💪💪💪💪safi
DJ sma naomba ile story ile ya 2015 Russia walivyopigana na IS Syria na uturuki waka tungua ndege ya mrusi
Pamoja sana kutoka congo
Una zungumza vitu visivyo eleweka. Yani ww ndo sifuri kabisa. Unajifanya unajuwa kimombo sana. Sema kiswahili bana 🇨🇩🇨🇩
Mwenyez mungu amewaalaan wale ambao wanadhulumu uhai wa mtu mpaka siku ya kiama mimi siungi mkon kabisa wala sitak ushabiki kama umeshawahai ona vita huwez kuwa shabiki hakuna sehem watu ni immortals ni nafsi za vijana wadogo wanateketea kwa tamaa za upumbavu wa kukumbatia dunia ambayo wataiacha
Kaka mi naona the only option waliyobaki nayo NATO ni kuingia mitini na kuamua kujubaliana na matakwa ya Urusi tu kwani NaTo hawawezi kuanzisha direct war with Russia kwani hiyo itakuwa vita 3 ambayo itawamaliza vibaya
Much respect much blessed 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
👍👍
Been a while
Kusema kwamba Urusi hawezi kushindwa hii vita nikujidanganya cz alisema anaweza kuichukua Kiev siku tatu ikashindikana. Akaja na mkakati wa kunyakua majimbo ya kerysone, Zaporozhye na eneo la Donbas ( Doniesky na Lugansk) na ukiangalia ukiacha doniesk ndio analidhibiti lote haya yaliyobakia anadhibiti % fulani tu. Lakin ukiangalia kiuhalisia hata ichukue miaka mitano urusi hawezi kushinda hii vita kwa facts zifuatazo.
Urusi uchumi wake una shrink kutokana na vikwazo.
Warusi wengi hawaungi mkono vita bali ni matakwa ya mtu mmoja.
Jeshi la urusi linaonekana ni dhaifu cz kama mamluki wa Wagner elfu 25 walikuwa wamrshachukua miji kama Rostov katika kipindi cha uasi (mutiny) wa yevgen prygozhiny na barabara za madaraja yaliyokuwa yanaelekea Moscow yalivunjwa kuwazuwia Wagner elfu 25 vipi NATO wakiingia na jeshi la watu laki 5 au 6.
Nchi marafiki wa urusi wanaogopa kumsaidia kukwepa vikwazo.
Tactical za kivita Russia hana weledi ndio maana anashambulia ovyo maeneo ya kiraia kujenga hofu.
Urusi anategemea sana vipuri vya zana za kivita kutoka nje na ndio maana sasa ana modify dhana zake za enzi ya Soviet vilivyokuwa havitumiki kutokana na vikwazo.
Yaani zipo sababu nyingi sana Russia kupoteza hii vita, kitu ambacho Urusi anaringia ni silaha za nuclear lakin sio yy peke yake anamiliki silaha hizo. Itoshe kusema hii vita ni ngumu kwa sisi ambao tunaifuatalia ila ni rahisi kwa hawa wanaomuunga mkono Dj Sima😂😂😂😂
Uliongelea part 3 Sio 4
Wacha nato na mmarekani waingie halaf north korea amsaidie mrusi
nakubali sana mwangu dj sma tupe vitu tunakuamini sana
Huyu mchambuzi ana wabuluza mazwazwa kwasababu hamjui chochote kinachoendelea duniani ndio mnakubali ujinga wake
Usifanye watu ni mazombie kaka wacha Urusi ichapwe na Ukraine iwe funzo kwa Putin
Huyu jamaa si mchambuzi na hajui lolote yupo hapa na blaa blaa yake hana anachokijua ispokuwa ni mshabik tu ya Ukraine tu
Kweli we mjinga sana. Eti tusiamini tunao hambia na wengine ila unataka tuamini uchambuzi wako
muongo huyu sijui kabila gani manake anakisabengo kama ..anatuletea uchambuzi wa fikira za watu wanavyofikiria wao kama wao halafu anataka kuwaaminisha watanzania kuwa ndio ukweli ndio huo duh 😅😅😅nimecheka sana
Muongo sana anajifanya mjuaji na japo hajui chochote
Tupe taarifa unaejua kuhusu mashoga wenzio mana yye hajui km unavyo jua wewe
Mozambique
Daah hatari sana
Naskiliza toka mbeya
Huu niutabiri wa mda mrefu, kikubwa tusali sana
Msiwe mnashukuru muwe mnampa ata ela ya maji mnapewa madini lakin mnabaki kushukuru 2 wabongo bhana mnaboa kama baba levo dogo dj sma toa namba 2kupe za maji maan unatoa madini
🙏
HAWA NDIO WALEEE. WALIOMUUWA SADAMU NA GADAFI NA WAKAZICHAKAZA NCHIHIZO NA WANANCHI NANCHIHIZO SASA NI MASKIMI,NATO HAWA NINAMMARECANIWAO NI WASHENZIMNO. MIMI NAFURAHI ANAVYOWANYOOSJA PUTIN. SILAHA ZA PUTIN HAZINA UBAGUZI. KAMA ZA WAMAGHARIBI ZINAZOWACHAKAZA TU WAISLAMU WAHINDI WA AFRICA NA WARABU.
Nakufwatilia sana na unq fact but the way una present lazima utapata kupingwa na mtu ambaye hafwatilii huvi vita toka mwanzo au hafwatilii kwenye media zaidi ya moja maana una onyesha side kabisa uko upande gani.... So change that mode of presenting...
We jamaa unajua, heshima kwako
Ukweli ukiona marekani wanataka uzichapa wameshaona ushindi. Kwaiyo Russia ajipange asije kuwa kila. Siku yeye kibonde cha marekani
Huwa nafatilia sana na mimi kama mwana fuse napenda unacho kifanya bro
Bro hii haitakwepeka maana hiki ndo kiwanda na mitambi mikubwa sana pale barani Ulaya
SA🇿🇦
sasa kwa sisi tunaoishi karibu na Russia itabidi tuanze kupaki mizigo yetu turudishe mpira kwa kipa🇹🇿🤔
Viva putin
Pretoria moja
Uchambuzi huu ni mzuri 🇰🇪
Salute nakuskiliza kutokea kwa zulu natal za
🇿🇦
❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ukraine kushinda au kushindwa vita sio jambo la msingi. jambo la kwanza la msingi ni Ukraine kulinda nchi yako. bila kujali matokeo. na hakuna chochote Ukraine watakachofanya wasifiwe na watu wa Putin. wakijitutumua kulinda nchi yao mnasema o wanashindwa. Zelensky angeweka silaha chini awaruhusu Urussi wafanye wanavyotaka mngesema ni muoga kama mwanamke. mimi nasema kama Ukraine wakishindwa acha washindwe wakiwa wanapigana. wewe Sma sijawahi kukusikia ukisema chochote kibaya cha Urussi. kila anachofanya Putin kwako ni sawa. analysis yako haiko balanced kabisa. tusisahau kabisa kwamba warussi milioni 25 walikufa wakati wa WW2. na bado hawakukubali kuweka silaha chini. acheni Ukraine wayeyushwe waishe. ni bora kuliko kukubali kuSURRENDER. Mbona wewe Sma babu zako hawakumuacha Iddi Amin apitilize mpaka Dar? aliekusikiliza tangu mwanzoni anajiuliza inakuwaje mpaka leo vita haijaisha. endelea na project yako.
Safi sana unajua.. Unaongea ukweli ..Uishi miaka kichele....
Tuko rada kaka
Unamawazo mafupi mtu yuko kwenye mapambano unasema ameshwinda mtu bado mnagombana unsema umempiga
Vizur xn mchambuz
Wewe nae unatuletea story ndefuuu nenda kwenye Points Urusi yenyewe ilisema itaitandika Ukraini kwa muda mfupi leo tunaenda mwaka wa pili sasa
Lengo la urusi nikuwachosha NATO,naujue hapigani ukren
@@abdulomari4932 yeye hachoki?
urusi hapigani ukreini inapigana namarekani uwanja wavita ukrein mbona urusi yupo pekee yake anachangiwa namataifa 50 goja waingie vita itanuke tupate ajila jeshini tuwagowe nato mbona marekani kakimbia afgani stani
Naskiliza jutokea mwanza
Nimekua nikikufatilia kwa muda mrefu na unanipa elimu ya bure.kabisa asante sana 🙏
Usipomwelewa huyu basi akil ni ngumu
Kk ww endelea kutupa vidonge na maji huku Mganza, Geita tunakufuatilia sana
Safi tunapenda uchambuzi wako uposawa na wachambuzi wakubwa duniani endereea .
God Bless American & NATO
Masheitwan wa dunia amerika na nato😄
I've never experienced a world war and I won't wish at all.
Dj smaa tupo pamojaaa napenda kuuliza swali endapo marekani ataingilia vita matumiz ya nuclear si walizuia toka watumie japani
e nakuelewa mwamba
Nakuelewa mbaba mwaisa hapa Lusaka Zambia
Urusi haiwezi kujilipua wenyewe ila Nato na marekani wanaweza kulipua kama walivyo lipua Bwawa ,pipeline nk
Mimi nakufatiliya kutok southa africa
🇺🇸
Ukiwaona viongozi wa NATO ,nikama akili zao hazipo vizuri,Kwa sasa,maana vita inawashinda wanataka afrika tuwe mashoga,ushoga unafanywa na wafuasi wa shetani,maana ndowenye tamaa ya pesa,sisi hapa musoma tumezoea muhogo, tata,lazima vita ya tatu itokee,natoa hawatakubali kushidwa,mrusi nae hatakubali,vita ni vitamira ,yesu anakuja tunashanga urusi,mungu atusaindie
Nyie Marekan Saidien Wananchi Wenu Kwanza..
Ndo hali halisi
Mwaka mzima Urusi imeshindwa wacha kufanya watu maziwa lala kaka hii digital era utadanganya nani? Wajinga waliisha😅😅😅😅
Yan acha tu kaka mmmh kuhusu hiyo vita huyu jamaa yuko bongo 😂 alf hayupo kwenye taasisi yoyote kubwa ambayo ipo front kwenye vita sasa analeta polojo yan 😢
Urusi hapigani na nchi 1, kwa hivyo sio ajabu hata kuchukuwa miaka 3 seuze,1