JE, UNA TATIZO LA KUTOKUOMBA AU KUTOKUSOMA NENO LA MUNGU? Somo na Maombi by Innocent Morris
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
- JE, UNA TATIZO LA KUTOKUOMBA AU KUTOKUSOMA NENO LA MUNGU? Somo na Maombi by Innocent Morris
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link: / holyspiritconnect
Facebook Link: / holyspiritconnect
TH-cam Link: / holyspiritconnect
Mtumishi nime amua Leo kumpokea Bwana Yesu
Namshukru sana MUNGU WA MBINGU NA na nchi kwa kuniinulia huyu mtumishi wako katika maisha yangu ya kiroho Huyu INNOCENT umebarikiwa na uzao wako katika jina la YESU MUNGU akutunze kwa ajili ya yetu unagusa sana moyo wangu 🙏❤️
Nipe nguvu ya kusoma neno la mungu nakushinda vishawishi katika jina la yesu
Amina nimempokea Bwana yesu barikiwa mtumishi wa mingu
Mtumish nmempokea bwana yesu
Sema mtumish wa mungu mim Nina tatinzo moja nikitaka kusali napata usigizi ata nikiwa nasoma nahapo unakuja usigizi
Mungu wetu WA mbinguni akutunze Na akujaalie afya njema 🙏
Amina. Mtumishi nimempokea yesu leo kwenye Maisha yangu
Mungu akuinue mafundisho yako yananigusaga sana
BWANA YESU na anisaidie na kuzidi
Ameen
Naomba bwana yesu Anipe nguvu ya kuomba na kufunga
Amen
🙏🙏🙏
Ameeeeeeeeeen bwana yesu tuongoze
Mungu,naomba unipe nguvu.ili nikae uweponi mwako
Ameen
Bwana asifiwa mtumishi nina shida hii sana
Ameen
Mungu atakuvusha
Mungu anipe nguvu ya kusoma neno la mungu na kuomba kwabidii
Ameen
Nimempokea Yesu!
Amen......Maombi haya yamenibariki sana!
Mungu azidi kuwabariki Holy Spirit Connect team.!
AMEÑIIII
Nmempokea bwana yesu siku ya leo
mtumishi mungu akubariki Sana
Amen Amen Amen l recceive it
Asante mungu kwakunishushia nguvu zako mungu akubariki mtumishi wake
Ameen
Mtumshi nimemupokea bwana yesu leo
Ameen ameeen
Amen ubarikiwe mtumxhi wa bwana
Ameen
Ameen
Amina
Amen🙏
Mungu akubariki na Azidi kukuinua Kwa Huduma hii Baba tusaidie tupone baba
🙏🙏🙏🙏🙏
Ameen
Amen Amen
Amina mwenyez mungu atujalie roho ya unyenyekevu na kulisikiliza neno lake
Amen, Asante sana mtumishi kwa huu ujumbe umenisaidia sana ningeomba pia uguzie upande wa kujisamehe na kusamehe wengine, barikiwa sana
Kwa kweli Naomba Bwana Yesu anipe nguvu na uwezo wa kuomba na kusoma Neno lake. Amen.
Amen amen 🙏.
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Amina baba napokeya nguvu hiyo katika jina layesu
Mungu akubariki mtumishi
Nimempokee Bwana Yesu
Kweli kabisa Mungu azidi kukubeba kwa kingine kiwango ca ijuzi wa kiroho
Amen. Asante kwa somo zuri. Ubarikiwe nimepata nguvu mpya
Asante sana mtumishi kwa maombi nimembarikiwa sana
Ubarikiwe zaidi mtumishi..
Mtumishi upo vizuri sana barikiwa
Amen....asante Yesu
Powerful lesson may God bless you
Amen Amen ubarikiwe pastor
Mutumishi namupokea bwana yesu kuwa mwamba na mokozi wamaisha yangù
Shalom kweli kabisa ni Mungu aliniongoza tu kwa canal hiyi.
Ubarikiwe mt nimepokea
Amina tuna shukuru
Ameena🙏
AMEEEEEN
Ameni
Aaaameeeen
Nahitaji number yako maombi yako yamenifungua
WhatsApp Number: +255652796450
Mko location gani Mwl?
Dar es Salaam
Dar es salam sehemu gan mtumishi
Uko wapi Mtumishi nahitaji nionane na wewe
Dar es Salaam +255652796450 (WhatsApp)
Amen
Ameen
Amen 🙏🙏🙏
🙏🙏🙏
Amen
Amen
Amen
Ameen
Amen
Amen amen 🙏
Amen
AMEN
Amen🙏🙏🙏
Asate sana mtumishi Kwa SoMo rako zuri