#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • SEPTEMBER TO REMEMBER
    Pastor Innocent Mashauri
    +255 758 708804 Whatssap text, Call
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 39

  • @ZengoMbogo
    @ZengoMbogo 12 วันที่ผ่านมา +4

    Namshukuru Mungu wa madhabahu hii ya Siri za biblia Anatukomboa fikra zetu Barikiwa sana mtumishi.

  • @oman5875
    @oman5875 12 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Mungu kwa kunipa kibali cha kuweza kushiki Ibada hii ya ya leo kwa muda na wakati kama huu 🙏🏿🧎

  • @faithnasimiyu7455
    @faithnasimiyu7455 12 วันที่ผ่านมา +1

    Asante bwana Kwa roho wako

  • @ZakinaMakokha-fe1sq
    @ZakinaMakokha-fe1sq 12 วันที่ผ่านมา

    Ee bwana yesu imarisha fikra zangu ongoza atua zangu Linda familia yangu wtoto simama na mtumishi wako ibada ya hii madhabau ee mungu sikiza roho yako amen

  • @kapamevenas79
    @kapamevenas79 6 วันที่ผ่านมา

    Na mimi Mungu ana saidiye ni juwe na fasi yangu ya roho. Amen !

  • @SharonBakari-yv4ru
    @SharonBakari-yv4ru 11 วันที่ผ่านมา

    Mungu nimepokea kwa imani kubwa amen

  • @EstherMallya-y2o
    @EstherMallya-y2o 12 วันที่ผ่านมา

    NAOMBA mungu unisaidie kukomboa fikra zangu amen

  • @MarieChantalGahimbare
    @MarieChantalGahimbare 12 วันที่ผ่านมา

    Amen amen,,🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 12 วันที่ผ่านมา

    Amina Baba wa mbinguni naomba unikomboe ukombozi wa Fikra zangu Amina

  • @MerlinaKubadesha
    @MerlinaKubadesha 11 วันที่ผ่านมา

    Ee mungu aliziumba mbigu na nchi zifanye fikra ze2 ziwe juu yako na utuongoze katika dunia hili na mpoto nikiomn kwa Iman baba ulie hai utayenda emen

  • @FrErickDavid-d7l
    @FrErickDavid-d7l 12 วันที่ผ่านมา +3

    Amina mwalimu Mungu anisaidie ili nikombowe fikra yangu.

  • @MarieChantalGahimbare
    @MarieChantalGahimbare 12 วันที่ผ่านมา

    Asante mtumishi wa Mungu mimi kwakweli nimeguswa namuomba Mungu anisainie anikombolee fikila zangu hakiliangu nimezulumiwa mimi nikipanga hiki najikuta nimefanya kile ambacho si sahihi nasiyo kile nilicho kipangilia mimi nayumbayumbisha mpaka nimechoka,,,,,😭😭 niombeyeni mimi sina lakusema hapa nimeishi wa nguvu kwakweli kila unacokiongea nimimi niombeye asante sana mtumishi wa Mungu ubalikiwe sana!!!

  • @HeritierMwengeGisele
    @HeritierMwengeGisele 12 วันที่ผ่านมา

    Yehovah imarisha fikra zangu ongoza hatua yangu,yaani naona kama hili somo limekuja kwa ajili yangu, ubarikiwe na Mungu.

  • @EstherMallya-y2o
    @EstherMallya-y2o 12 วันที่ผ่านมา

    Asante mungu kwakuniwezesha kushiriki ibada hii

  • @RoseImani
    @RoseImani 12 วันที่ผ่านมา

    Mungu wambinguni akubariki sana pasta 🇨🇩

  • @EstherMallya-y2o
    @EstherMallya-y2o 12 วันที่ผ่านมา

    Kweli baba madeni yanatesa maisha Yangu mungu nisaidie kukomboa fikra zangu amen

  • @ClovisKisimba-c6k
    @ClovisKisimba-c6k 11 วันที่ผ่านมา

    Asente mungu kwa somo hili ya madhabau ya Siri ya biblia 🙏🙏

  • @tinamwashilindi6807
    @tinamwashilindi6807 12 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @SharonBakari-yv4ru
    @SharonBakari-yv4ru 11 วันที่ผ่านมา

    ❤ nafunguliwa fikra zangu mungu nimwema kwangu

  • @rosendindi6634
    @rosendindi6634 12 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu naomba unifugue fikira zangu

  • @CarolineOside-s5q
    @CarolineOside-s5q 12 วันที่ผ่านมา

    Mungu nisaidie kufungua fikra yangu

  • @bouy_smoker
    @bouy_smoker 12 วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu kwa kunifungulia madhabahu haya ili nijitengeneze makosa yangu nilikua sijitambui ila nashkuru mtumishi wako antifungal kwa kila hatua

  • @GuidionSilvestreRaimundo
    @GuidionSilvestreRaimundo 12 วันที่ผ่านมา

    Bwana Jesus, Asante

  • @RichardMkomwa
    @RichardMkomwa 12 วันที่ผ่านมา

    Amina kusema kweli shetani amenitesa sana now namshukulu Mungu sana

  • @luciageorge292
    @luciageorge292 12 วันที่ผ่านมา

    Amen asante Mungu kwa maarifa haya

  • @pendomwampamba5221
    @pendomwampamba5221 12 วันที่ผ่านมา

    amen,nachelewa kuhudhuria ibada lakini naamini mungu analo kusudi na mimi kipitia hii madhabahu takatifu mungu ponya fikra zangu katika jina la yesu kristo aliye hai

  • @FatumaKashindi
    @FatumaKashindi 12 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana pasta

  • @RoseImani
    @RoseImani 12 วันที่ผ่านมา

    Mungu wambinguni atusikiye🇨🇩

  • @RoseImani
    @RoseImani 12 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana pasta🇨🇩

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 12 วันที่ผ่านมา

    Asante yesu🙏

  • @victoriaaman6628
    @victoriaaman6628 12 วันที่ผ่านมา

    Amen Mtumishi 🙏 🙏

  • @JimmyKimaro-z6b
    @JimmyKimaro-z6b 11 วันที่ผ่านมา

    Mungu nifungue

  • @SaumuChengo
    @SaumuChengo 12 วันที่ผ่านมา

    Yesu komboa fikra zangu na unitenganishe na maroho yanayonishirikisha ili kunikamata fikra zangu,neno lako linasema Yeremia 17:7 Anayemtegemea Bwana hataaibika nmekutegemea we we mungu kwa kila hali nsaidie unikomboe

  • @FrErickDavid-d7l
    @FrErickDavid-d7l 12 วันที่ผ่านมา

    Mungu fungua fikra yangu kikweli mimi ni wa kwanza.apa.

  • @CharlesMdimu
    @CharlesMdimu 12 วันที่ผ่านมา +1

    Ubalikiwe mtumishi wa Mungu' tukombolewe fikra zetu!

  • @HellenBaby-jn8ft
    @HellenBaby-jn8ft 12 วันที่ผ่านมา

    🙏

  • @bien-aime97
    @bien-aime97 12 วันที่ผ่านมา +1

    Ni mimi uyu kabisa 😩😩😩😭

  • @SharonBakari-yv4ru
    @SharonBakari-yv4ru 11 วันที่ผ่านมา

    5:04 5:05

  • @ZengoMbogo
    @ZengoMbogo 12 วันที่ผ่านมา +1

    Namshukuru Mungu wa madhabahu hii ya Siri za biblia Anatukomboa fikra zetu Barikiwa sana mtumishi.