Mungu akuzingile pastor , Mimi ninabarikiwa na injili yako. Hii ndo injili tuliyookokea wenginesiki hizi wachungaji wengi wanahubiri watu, ukishuhudia tu basi linakuwa ndo somo la mwaka mzima. Kingine michango na vikao vimezidi hata sadaka na muda wa maombi. uwe hodari na moyo mkuu utatusaidia
Alikuwa na maana nzuri kabisa inayoeleweka. Kwa sababu kama kondoo ni waumini, sasa akisema mafisi, nguruwe, mapaka hata ng’ombe, kwani amekosea wapi. Tatizo mnaangalia kimwili wakati mwenzenu anaangalia KIROHO. Me acheni huyo ni mtumishi halisi wa Mungu. Mtapigwa!
Sioni kosa.la magembe sioni ko alipambe kanisa magembe anaona ana macho ya rohon.saizi midudu makanisani ni Mingi mikopo ya liba vikundi vya kufa na kuzikana makanisani mafreemasoni saizi yamejaa.makanisani watu.biblia haisomwi maneno ya kishetani yamejaa tunamuitaji wakina magembe Tanzania wajitokeze kuwa wingi nampenda mzee huyu amewaka ubalikiwe mzee wangu uzee wako una heri
Yesu hakuwahi kuhubiri injili kama hii, hii inahubiriwa na watu pekee waliojikinai na kushiba chakula. Yesu alikuwa anakusanya ili afundishe dhen wewe unasema tokaaa, sikukuitaaa. Ni injili ya Kiburi na kushiba kuona huhitaji watu
Mzee anamaanisha sikukuita uliitwa na Yesu hivyo wapaswa kutii Sheria zake hulazimishwi Wala hubembelezwi km unavunja huku ukijia ni kosa usiwe sababu ya kukosesha wengine km hutaki KUMTII YESU ondoka maana hakumuita Bali aliitwa na Yesu yampasa kutii maongozi na maelekezo ya bible
Huyu ni mtu wa Bwana Yesu!! Hapana kosa juu yake, tena ningeweza ningewachapa waumini kwa fimbo kabisa kwasababu, kwenye kitu kinachoitwa uamsho haitakiwi utani kabisa. Nakuchapa kwa fimbo kabisa, sitaki ujinga mimi heeee, eti nikuache uende kuzimu, hapana nitakuweka mmoja weee usinichezee kabisa katika swala la kuingia Mbinguni!! Nampenda mchungaji Moses Magembe. Huyu ni njia kabisa!!
Nikweli mnaweza mka zungumza Sana mitandaoni na watu wakashangilia Sana lakini jiepusheni kukashifiana maana hakuna yeyote mwenye uhakika kuwa amempendeza Mungu au la !!
Sawasawa kabisa maana tunakoelekea siko sikuhizi ibada mpaka matangazo kibao na watu hawaji ibadani kati yao wakija 100 jua 20 wanasimu kubwa na hawana biblia 30 wanavimkoba na vioo ndani yake nao hawana biblia na 30 tena wanabiblia hawana pakuandikia utafikili wanasali RC
SASA HAPA MAGEMBE AMEKOSEA WAPI?!!! LABDA KWA WASIOFAHAMU! NA WENYE ROHO YA MPINGA KRISTO!!! HAO HUNA NAMNA YA KUWASAIDIA! 1-YOH.4:2-3!!! LAKINI MAGEMBE YUKO SAWA!SAWA!SAWA!KABISAAAAA!!!!!!!
Hiyo ndo injili halisi.tatzo waumini wa Leo wanataka kuhubiriwa mapesa magari na majumba.na wach hawawaambii ukweli wakiogopa kupoteza sadaka zao. Maana wanawaza kula sadaka tu. Mfano Kuna makamisa mengi mahubiri ni sadaka,sadaka,sadaka mwezi mzma
Fisi na nguruwe hawawezi badilika kuwa kondoo, ila waumini wanaweza kubadilika, usiwaite fisi, maisha ya kiroho ni mapambano ni vita, kwahiyo ukimuona muumini wako ana changamoto mrejeze kwa upendo, huo ndio ukristo
😂😂,aiseee,mch Magembe,uko sawa ,maana kondoo wanaisikia Saudi ya mchungaji,wasiosikia,majina hayo yanafaa kabisa,hubiri kweli Mzee,watu wa nyakati hizi za hatari hatutaki kuisikia kweli,ili ituweke huru,tunapenda maziwa yaliyoghoshiwa
Mzee lazima wangekuzunguka tu na wakung'oe. Wenzio walipenda "crocodile smilling" yaani unafiki. Ila wanamtandao waliwazidi nguvu. Mahubiri ya kondoo kupelekwa public noma.
Kuna faida Gani kutumia content za huyu mzee kushikilia kitu ambacho ashasema ametoka kwa amani , ihubirini kweli ya bwana YESU KRISTO, mzee magembe yupo anahubiri Sasa nyie mna endelea na content za hivi zina faida Gani kwa KRISTO YESU, ihubirini injili ya BWANA YESU KRISTO watu waokoke waende mbinguni.
Hajakosea kuwaita fisi. Mbona Biblia inatuitwa kondoo wa Bwana je kuitwa kondoo ni tusi? La hasha pale anamaanisha character ya huyo mnyama. Kondoo ni mpole na mtii. Fisi ni mlafi na anakula nyama na mizoga. Hivyo ukimweka na nguruwe atawatafuna na kuwala.
@@charlesmganga-gv2cs ulitaka akunyenyekeeje labda akwabie bwaanaa awe naanyi wakati boti ulilopanda linazama au akwambie neendeeni na amani iii wakati mungu anasema hakuna amani kwa wabaya sasa ujumbe umeshafika ni juu yetu kujivua gamba hatutaki tunataka mjumbe hauwawi keshafikisha ujumbe
@@charlesmganga-gv2cs Na ndicho kilichomsababisha aondoke. Alitarajia Uongozi umfukuze apate kiki kumbe TAG kumejaa vichwa vyenye Busara. Mawazo ya Uasi kwa kanisa alikuwa nayo tangu zamani ndio maana hakutaka kujenga hata kanisa
Nakushauri UTUBU hadharani kwa kUITA WASHIRIKA wa Bwana Yesu MAFISI NA MANGURUWE mpendwa Rev. Ev. MAGEMBE WA Dsm. Mimi ni Ev. DR. MLAKI MWIKA MOSHI KIJIJINI. KARIBU.
Mbona waalim walituchapa wengine sasa tuko mbali walioshondwa shule wanajutia kugombana na waalim na neno la Mungu pia fimbo zipo:-kukemewa,kusemwa,kuonywa na wengine kutengwa kabisa Mnajizima data fuatilieni mafundisho ya bwana wetu Yesu kristo wachungaj wa michongo ndio mnaowataka
Biblia imetumia kondoo na Mbuzi maana Mungu anasema atawatenga kondoo na Mbuzi na kondoo watakaa na kumtukuza. Magugi na ngano,ngano ni watu wa Mungu,magugu ni waovu.
Mungu akutete sana katika hii pia tunaona wote walio simamia kweli ya mungu walikataliwa na dunia koo baba usichoke katika kazi hiyo bwana aminaaaa
Amen mtumishi wa Mungu
Pastor of Pastors...nimekuelewa mkuu. This is what God of heaven need...sio kubembelezwa
From Nairobi Kenya Nasema. Huu ni ukweli mtupue. Lakini duniani wakristo siku hizi hawataki mahubiri kama hizi. Tunataka za kutufurahisha tu.
Kweli kabsa
Hii ndio injilii ya kwelii
Ameni pastor
Supported 💯, hii ndio hali halisi anasema ukweli kabisa,
Magembe mchapa kazi hana mbambamba alikuwa analala mle kwenye godauni kuomba usiku kucha hana kujihulumia pamoja na uzee anapiga kazi
Hajakosea mzee wetu Yuko sawa
Mungu akuzingile pastor , Mimi ninabarikiwa na injili yako. Hii ndo injili tuliyookokea wenginesiki hizi wachungaji wengi wanahubiri watu, ukishuhudia tu basi linakuwa ndo somo la mwaka mzima. Kingine michango na vikao vimezidi hata sadaka na muda wa maombi. uwe hodari na moyo mkuu utatusaidia
Kweli hizo ni fisi na nguruwe
Ukweli mtupu
Maneno ya Mungu choma kama moto
Alikuwa na maana nzuri kabisa inayoeleweka. Kwa sababu kama kondoo ni waumini, sasa akisema mafisi, nguruwe, mapaka hata ng’ombe, kwani amekosea wapi. Tatizo mnaangalia kimwili wakati mwenzenu anaangalia KIROHO. Me acheni huyo ni mtumishi halisi wa Mungu. Mtapigwa!
Sioni kosa.la magembe sioni ko alipambe kanisa magembe anaona ana macho ya rohon.saizi midudu makanisani ni Mingi mikopo ya liba vikundi vya kufa na kuzikana makanisani mafreemasoni saizi yamejaa.makanisani watu.biblia haisomwi maneno ya kishetani yamejaa tunamuitaji wakina magembe Tanzania wajitokeze kuwa wingi nampenda mzee huyu amewaka ubalikiwe mzee wangu uzee wako una heri
Anachosema anatenda hana mbambamba alikuwa anachapa kazi alikesha mle kwenye godauni anaomba usiku kucha alichapa kazi bila kujihulumia pamoja nauzee
Yesu hakuwahi kuhubiri injili kama hii, hii inahubiriwa na watu pekee waliojikinai na kushiba chakula. Yesu alikuwa anakusanya ili afundishe dhen wewe unasema tokaaa, sikukuitaaa. Ni injili ya Kiburi na kushiba kuona huhitaji watu
Mzee anamaanisha sikukuita uliitwa na Yesu hivyo wapaswa kutii Sheria zake hulazimishwi Wala hubembelezwi km unavunja huku ukijia ni kosa usiwe sababu ya kukosesha wengine km hutaki KUMTII YESU ondoka maana hakumuita Bali aliitwa na Yesu yampasa kutii maongozi na maelekezo ya bible
@PGM20179 kuchapia kupo.wakina Yona kuchoka kupo.Yona anapanda mlimani aionage ninawi inavohukumiwa Mungu atutakase.tu ila dhambi ikemewe
Huyu ni mtu wa Bwana Yesu!! Hapana kosa juu yake, tena ningeweza ningewachapa waumini kwa fimbo kabisa kwasababu, kwenye kitu kinachoitwa uamsho haitakiwi utani kabisa. Nakuchapa kwa fimbo kabisa, sitaki ujinga mimi heeee, eti nikuache uende kuzimu, hapana nitakuweka mmoja weee usinichezee kabisa katika swala la kuingia Mbinguni!! Nampenda mchungaji Moses Magembe. Huyu ni njia kabisa!!
MDOGO wake REV. MOSES KULOLA, PLEASE LET ALL OF US BE CAREFULLY. AMEBEBA ROHO YA KULOLA.
Mzee wetu yupo sahihi ni kwamba ukitaka kwenda kwenye kanisa analoongoza yeye, hakikisha upo tayari kwenda mbinguni🙌
Ukweli utatuweka huru, amina mtumishi wa Mungu.
Uko sahihi baba
Nikweli mnaweza mka zungumza Sana mitandaoni na watu wakashangilia Sana lakini jiepusheni kukashifiana maana hakuna yeyote mwenye uhakika kuwa amempendeza Mungu au la !!
Huu ndo ukweli Mungu akubariki mtumishi
Simama hali umejifunga kweli viunoni
Amina kubwa
Hii ndo injili sasa sio injili za wachungaji wengi Leo ni pokea majumba ,,magari fedha kuhubiri utakatifu apana
Sawasawa kabisa maana tunakoelekea siko sikuhizi ibada mpaka matangazo kibao na watu hawaji ibadani kati yao wakija 100 jua 20 wanasimu kubwa na hawana biblia 30 wanavimkoba na vioo ndani yake nao hawana biblia na 30 tena wanabiblia hawana pakuandikia utafikili wanasali RC
Acha uchochezi,Wanaohubiriwa uamsho hapa ni TAG sio RC.
Ni watu wa Mungu Rev and Ev.wetu mpendwa na siyo MAFISI na NGURUWE!!!! Ev. Dr Mlaki mwika Moshi
SASA HAPA MAGEMBE AMEKOSEA WAPI?!!! LABDA KWA WASIOFAHAMU! NA WENYE ROHO YA MPINGA KRISTO!!! HAO HUNA NAMNA YA KUWASAIDIA! 1-YOH.4:2-3!!! LAKINI MAGEMBE YUKO SAWA!SAWA!SAWA!KABISAAAAA!!!!!!!
Amina na Amina
Hiyo ndo injili halisi.tatzo waumini wa Leo wanataka kuhubiriwa mapesa magari na majumba.na wach hawawaambii ukweli wakiogopa kupoteza sadaka zao. Maana wanawaza kula sadaka tu. Mfano Kuna makamisa mengi mahubiri ni sadaka,sadaka,sadaka mwezi mzma
Mungu hakubari
Hii ni kweli kabisa kweli humweka mtu huru
Hakika tunakazi kanisa la leo....
Fisi na nguruwe hawawezi badilika kuwa kondoo, ila waumini wanaweza kubadilika, usiwaite fisi, maisha ya kiroho ni mapambano ni vita, kwahiyo ukimuona muumini wako ana changamoto mrejeze kwa upendo, huo ndio ukristo
Yesu haangalii cheo baba
Watu hawapendi waambiwe ukweli
Hii kweli ndio iliyo waumiza viongozi wa tag
❤❤❤❤
😂😂,aiseee,mch Magembe,uko sawa ,maana kondoo wanaisikia Saudi ya mchungaji,wasiosikia,majina hayo yanafaa kabisa,hubiri kweli Mzee,watu wa nyakati hizi za hatari hatutaki kuisikia kweli,ili ituweke huru,tunapenda maziwa yaliyoghoshiwa
Nimemwelewa
Mzee MUNGU akubalki kwakuwa unahubiri kweli
Kama hutaki kuitwa fisi na nguruwe, njoo kwenye maombi. Simple
Huko nje Kuna mbwa na wachawi nilazima kuacha dhambi sio ihiari
😂😂😂😂kama uko kinyume na magembe lazima ukereke
Mzee lazima wangekuzunguka tu na wakung'oe. Wenzio walipenda "crocodile smilling" yaani unafiki. Ila wanamtandao waliwazidi nguvu. Mahubiri ya kondoo kupelekwa public noma.
Wachungaji wa namna hii wachache haijalishi bi kanisa gani au dhehebu gani
AMINAAAA
SEMA kweli maana hatuna mbingu Mbingu niya Mungu ukiamuwa kuwa Moto na uwe Moto siyo vuguvugu utatapikwa Ufunuo wa yohana 3: 15
Mbona mwenyewe umejiita mbwa hawalalamiki?
Kuna faida Gani kutumia content za huyu mzee kushikilia kitu ambacho ashasema ametoka kwa amani , ihubirini kweli ya bwana YESU KRISTO, mzee magembe yupo anahubiri Sasa nyie mna endelea na content za hivi zina faida Gani kwa KRISTO YESU, ihubirini injili ya BWANA YESU KRISTO watu waokoke waende mbinguni.
Kina nani hao waliokwazika kujifariji
Usipokuwa kondoo unakuwa fisi na nguruwe
Kama kondoo hawapo basi Kuna wanyama wengine
Mbona yeye kajiita mbwa
Ila kwenye fis hapajaa kaa sawa
Labda kwenye ..mjinga,
Balikiwa sana yesu izidi kukufany kuwa mtume wa yesu kristo
Mchungaji piga kelele asiyetaka atoke aende kwa shetani
Mzee kuna baby christians ambao wanaitaji mafundisho sasa unawaita fisi? Kwani kuwaonya kwa upole? Watakimbia na Yesu atahunika
Kikosi kazi lengo lenu ni nini
Tunataka kujua sababu za kumchikia mzee huyu? Ni zaidi ya hizi? Kwani mpo wengi ambao mpaka sasa mnamtukana kuwa amepotea na alikua anatutukana.
@@Mbarikiwa_Mwakipesilehuyu ndiye mchungaji ninayemtambua mimi, huyu ndiye atakaye wapeleka waumini Mbinguni leo. Ni huyu. Nampenda huyu mzee Magembe jmn mtu wa Bwana Yesu!!
Kama mtu ni mtenda dhambi ni fisi
Dont judge people even yourself you are not perfect
Hajakosea kuwaita fisi. Mbona Biblia inatuitwa kondoo wa Bwana je kuitwa kondoo ni tusi? La hasha pale anamaanisha character ya huyo mnyama. Kondoo ni mpole na mtii. Fisi ni mlafi na anakula nyama na mizoga. Hivyo ukimweka na nguruwe atawatafuna na kuwala.
Injr ya huyu mzee ukiifuatilia kiundan zaid utaelewa kuwa anajambo lake moyoni
Weka waz
MZEE ALIANZA KUWA mungu MTU UYEYEKEVU HAKUNA
Hujielew unataka kubembelezwa habari za Mungu soma bibilia vzur Yesu alimusmbia Nini Petro Rudi nyumba yangu shetani wewe
Huna akili Wewe
@@charlesmganga-gv2cs ulitaka akunyenyekeeje labda akwabie bwaanaa awe naanyi wakati boti ulilopanda linazama au akwambie neendeeni na amani iii wakati mungu anasema hakuna amani kwa wabaya sasa ujumbe umeshafika ni juu yetu kujivua gamba hatutaki tunataka mjumbe hauwawi keshafikisha ujumbe
@@charlesmganga-gv2cs
Na ndicho kilichomsababisha aondoke. Alitarajia Uongozi umfukuze apate kiki kumbe TAG kumejaa vichwa vyenye Busara. Mawazo ya Uasi kwa kanisa alikuwa nayo tangu zamani ndio maana hakutaka kujenga hata kanisa
Kwa Nini hawachukii wanapoitwa kondoo
Nakushauri UTUBU hadharani kwa kUITA WASHIRIKA wa Bwana Yesu MAFISI NA MANGURUWE mpendwa Rev. Ev. MAGEMBE WA Dsm. Mimi ni Ev. DR. MLAKI MWIKA MOSHI KIJIJINI. KARIBU.
Anza kutubu wewe usieijua bible
Kondoo na Mbuzi ni nini katika biblia?? Ngano na magugu ni nini kayika biblia? Roho mtakatifu akusaidie
YESU AJAWAI KUWATUKANA WATU WAKE
Kondoo na mbuzi ni nini kibiblia?Ngano na magugu maana yake nn kibiblia?tubuni na kuiamini injili maana ufalme wa Mungu umekaribia
🎉
Shida ya WASUKUMA HAWAJUI KUONGEA
Acha kuropoka mzee
Watu hatutaki kuambiwa ukweli😂😂😂😂
Siku itafika utajua akua anaropoka .kongole mzee
Ww mjnga sana huyo mchungaji sio wa kuchezea cheza na waimbaji wa bongo flever sio huyu mchungaji
Mzee amesema kweli
Kwa Nini hawachukii wanapoitwa kondoo
Mbona waalim walituchapa wengine sasa tuko mbali walioshondwa shule wanajutia kugombana na waalim na neno la Mungu pia fimbo zipo:-kukemewa,kusemwa,kuonywa na wengine kutengwa kabisa Mnajizima data fuatilieni mafundisho ya bwana wetu Yesu kristo wachungaj wa michongo ndio mnaowataka
Biblia imetumia kondoo na Mbuzi maana Mungu anasema atawatenga kondoo na Mbuzi na kondoo watakaa na kumtukuza.
Magugi na ngano,ngano ni watu wa Mungu,magugu ni waovu.