Mbarikiwa "atubu" kwa TAG na wengine waliochukizwa na clip ya mch Kanemba aliyemrithi Magembe?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 86

  • @mbelechimakobola8835
    @mbelechimakobola8835 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana, wewe ndiye pekee uliobaki huko Tanzania na kuthibitishwa na tbs ya mbinguni

  • @rosemathias4288
    @rosemathias4288 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ambae amekomaa kiimani anaweza kuelewa , nimekuelewa mtumishii mbarikiwa mungu akuzididhe kama jina lako lilivyoo kwa jina la yesu kristo Ameen.

  • @emmanuelrweikiza6117
    @emmanuelrweikiza6117 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mzee magembe yupo smart sana angalia hio miradi ila kuna watu wanaona kama hajafanya chochote

  • @JastiniElishawaokoke
    @JastiniElishawaokoke 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mzee mbarkiwa Amina Amina uko sawa kabisa

  • @bernadetteshukuru9154
    @bernadetteshukuru9154 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akubariki mupendwa wa Mungu

  • @ISAKATv-y6h4f
    @ISAKATv-y6h4f 28 นาทีที่ผ่านมา

    Endelea kunena baba❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MartineJames-t1f
    @MartineJames-t1f 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Crip zako zote ulizomuongelea mzee MAGEMBE,ziko wazi baba,na wala sio uchonganishi

  • @victorlusekelo8490
    @victorlusekelo8490 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Katiba ni nini kwani ni sheria ya Mungu???? najiskia vibaya sana!!!!

  • @NeemaMathias2021
    @NeemaMathias2021 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    kwakweli haya ni mjigambo sio unyenyekevu hata kidogoo.

  • @byesigwafabian9255
    @byesigwafabian9255 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli wewe ni Mbarikiwa, Yeremia 5:1 inakuagiza kuyafnya haya. 1Nyakati 7:14 inakuruhusu kufanya haya. Mungu azidi kukuinua, kukubariki na kukulinda.
    Usiogope mambo yatakayo kupata injili inasema mateso ya mwenye haki ni mengi lakini BWANA/ ADONAI, ELOHIM atakushindia❤❤❤

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Unasema kweli mtumish. lakin kama kanisa la Mungu kweli wanamwachaje mtumishi alie waletea faida. kwan amemwasi Mungu?

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wengine tunakuelewa japo sio wa tz ningekuwa mtz ningekuwa nashiriki kikosikazi cha injili labda tungenyooka zaidi

  • @MartineJames-t1f
    @MartineJames-t1f 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Baba,nakupata vizuri sana

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ukweli Magembe ameonewa.
    Ni hivi:
    1.Hakuna mshirika aliyelalamika.
    Kikatiba,wazee ndio walipaswa kumshtaki na nakala kupewa magembe
    2.Kesi haijaendeshwa

  • @florianmakero9877
    @florianmakero9877 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mimi nakubali mungu hayupo chini ya Sheria Bali juu ya Sheria
    Tag wanatakiwa kuwa juu ya Sheria kwa ajiri ya mungu

  • @YonaMwakasakala
    @YonaMwakasakala 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila sijui kama unajielewa lakini.

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mbarikiwa,wamekosea kikatiba.Katiba ya TAG haiagizi kama hivyo,hao waliopokea siyo utaratibu wa Katiba ya TAG

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Siku zote mtumishi wa Mungu,unaongeaga kweli. Kweli mke na mume wanajigamba hadharani 😢. Miradi aliyochuchumilia Maghembe miaka 50? . Kwa hili, ingilia kati Mungu. Hii katiba ni kandamizi sana😢

  • @daudirubibi9601
    @daudirubibi9601 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amina Sana

  • @gladishaule9261
    @gladishaule9261 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hata huyo Mch. Kanembe siku atakapoondoka ama kustaafu , hilo kanisa na vitu vyote vitaachwa hapo hapo...so hiyo ndivyo ilivyo TAG.. hiyo sio ministry kama hizo zenu.. So wachungaji wote wa TAG wanalijua hilo..

  • @ShukuruBaruwani-j6f
    @ShukuruBaruwani-j6f 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbarikiwa mwakipesile. Sema! Sema! Sema! Baba. Haya ni majigambo ya hali ya juu. Mimi nimeumia na wewe. Mimi ni TAG. Kwa majigambo haya🤔. Hakika kumbe hii ni biashara ehee! Mungu wangu.

  • @DenisRukangula
    @DenisRukangula 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mimi siwezi kusema

  • @BeatusWille
    @BeatusWille ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simama na Bwana mtumishi nena yaliyokweli bila kupepesa macho

  • @ArcadoMrema
    @ArcadoMrema ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ninakuunga mkono lakini maamuzi ya kuikanyaga katiba sio Sawa sio jukum la viongizi wao wana jukum la kuisimamia hio na mali za tag sio za viongozi niza taasisi inayoongozwa kwa katiba yao na sio vinginevyo

  • @EmilySanga-w3x
    @EmilySanga-w3x 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mimi naona kuacha mali ni sawa sababu anaondoka mchungaji lakini waumini waliochanga Bado wapo hapo Sasa akichukua yeye hao wanaobaki inakuaje? naona tubaki na kusudi la Mungu tuwahubiri watu kua wapatanishi kati ya mtu na Mungu

  • @AgapeUrio-u9i
    @AgapeUrio-u9i 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    True man of God. Hawataki kuambiwa ukwelii. Magembe amepambana kuchuma mali zote hizo kwa taabu na maumivu makubwa lakini Leo Eti katiba inasema. Hata bila aibu? Bila huruma?

    • @manoahmahuna6426
      @manoahmahuna6426 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwa hiyo ulitaka aondoke na mali ya kanisa ndugu mnapotosha watu na utaratib n vzr kufuata lazima ujue Mzee magembe n msomi anaijua Sheria lkn pia taasisi ndio mmiliki wa hizo mali na si kwamba magembe alizitafuta yy mali hizo walitoa waumin kwa kusimamiwa na mchungaji magembe hvyo hata angekufa Bado taasisi itaendelea kuzitumia na kuigusa jamii

    • @AgapeUrio-u9i
      @AgapeUrio-u9i 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      @manoahmahuna6426 kwani wewe unafikiri hiyo kazi ya kusimamia upatikanaji wa rasilimali zote hiyo ilikuwa kazi rahisi?
      Ukiangalia muda aliotumikia kazi hiyo ni kipindi kirefu na kazi imekua kwa sababu yake hata upatikanaji wa mali na miradi iliyopo ni influence yake strategies na vision zake.
      Kwako wewe ni rahisi tu kuita upotoshaji, na huku unajendga hoja nyingine kwamba ety magembe anajua taratibu!
      Hii ni kutokana na mifumo kandamizi ambayo kwa upande mwingine Eti mnaita katiba ambayo ilishaundwa.
      Pastor magembe siyo wa Jana Wala juzi ni miongo mwa waasisi wa kanisa hilo rafiki. Haki na jasho la mtu havipotoshwagi mwamba.

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kinachozungumzwa hapa ni hekima na busara kutumika.​@@manoahmahuna6426

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      ​@@AgapeUrio-u9iUmenena kweli kabisa. Mbona wachungaji wengine wameshindwa? Ina maana alikuwa na mipango mizuri

    • @joshuanelson6558
      @joshuanelson6558 25 นาทีที่ผ่านมา

      Sasa ndugu yangu AGAPE, kwa mfano mshirika wa kawaida akatoa kiwanja na kanisa likajengwa juu yake, na baadaye akatengwa /akajitenga na imani jasho lake linaenda wapi ? Mnamrudishia ili mkajenge kwingine ? Au ni mchungaji tuu akitumika ndiyo INAUMA na jasho lake litakuwa laana na litadaiwa ? KWANINI NAYE mchungaji asionwe kama ni kuwa anafanya kwa Bwana kama waumini wengine, au vya mchungaji ndiyo vinauma.

  • @EnelesShimwela
    @EnelesShimwela 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Omben sana watumish ukwel unawauma wanatag😂😂😂

  • @pascalmgassa8441
    @pascalmgassa8441 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    CHA KUSIKIT8SHA NYINYI WACHUNGAJI MNASHIKAMANA SANA NA MALI INAFIKA MAHALI MPAKA MAKANISA MNAITA NI MALI ZENU...KANISA NI LA KRISTO MSIPOTOSHE

  • @NormanNtunzwe
    @NormanNtunzwe 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Washirika ni mali ya Bwana mimi nashangaa kuona TAG wamejimilikisha watu kwamba ni wao jamani washirika wa majumba sita ni wa Mungu siyo mali TAG kumbe TAG bado hawajamjua Mungu kiasi hiki? Unzuri mtumishi Magembe amenyamaza kwa kimya hicho Bwana hatanyamaza ni ushauri wangu mrithi wa mahali hapo hakikisha unamkumbuka baba yako

  • @EnelesShimwela
    @EnelesShimwela 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hali ya mbaya tag kanisan sio sehem ya siasa achen kupambana mitandaon sio mpango 4:01 wa mungu kaz yenu kuombea kanisan na kuwafanya watu waokoke Wala sio majibizano

  • @JosephLukas-s4y
    @JosephLukas-s4y 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ila kiukweli t.a.g.hawako sawa wakumbuke hao washirika kabla ya magembe kuwahubiria hawakua wa t.a..g kwahio kumbe hao ni wa t.a.g. na sio wakristo ndo maana wamejaa kiburi

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MPUMBAVU unakula jasho la MTU utakufa wewe kanembwa Tena ulaaniwe kama Mungu aishivivyo

  • @MartineJames-t1f
    @MartineJames-t1f 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aliwakabidhi vitu vyote kufatana na SHERIA AMA KATIBA YAO(TAG).

  • @theophillihilu1248
    @theophillihilu1248 38 นาทีที่ผ่านมา

    Kwani wanatakiwa kulalamika kuhusu hizo Mali za kanisa ni wewe au niwaumini ambao michango yao na sadaka zao ndizo zimewezesha hiyo miradi yote kupatikana.kwahiyo unataka aende na Mali inamaana waumini kwako wao huoni kama wanamchango.au unajua maghembe alitoa hela zake mfukoni

  • @emmanuelrweikiza6117
    @emmanuelrweikiza6117 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna mradi wa kusambaza maji kaya kama 19

  • @BenjaminKadafu
    @BenjaminKadafu 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchungaji kanemba umelipokea kanisa vibaya alekebishe kauli

  • @emmanuelrweikiza6117
    @emmanuelrweikiza6117 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ehh na heka NNE na zingine kama saba jirani.

  • @atukuzwekabuka1518
    @atukuzwekabuka1518 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Neema ya MUNGU ndiyo inayo hitajika

  • @YonaMwakasakala
    @YonaMwakasakala 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ivi Mimi nashindwa kuwaelewa nyie watumishi kurushiana au kurusha madongo bila kufuata Mtu ili ujue jambo lilivyo ndio utakatifu? SI kumdhalilisha Mungu wenu? Hiyo njia mnayoitumia ndio Mungu alivyowaagiza kuonya? Mnajichafua saana ,

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ila haujishangai wewe kurusha madongo mitandaoni kwa njia hii ya comment. Wewe umewafuata hao wanaorushiana madongo au na wewe umerusha la kwako?

  • @ammielvictorykirango2887
    @ammielvictorykirango2887 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchungaji hapo kwa kweliiii umezingua sanaa, sio kidogo.. Sasa mimi naomba unisaidie haya maswali yangu kadha hapa chini yamkini naweza kukuelewa vizuri;
    Kwanza Mali hizo unazozungumzia je zimejengwa kwa Pesa za Magembe au Sadaka za waumini wa kanisa la Majumba sita?...
    Pili ebu jaribu kuchambua pia kuhusu hizo mali unazozungumzia tueleweshe tuelewe vizuri, mali zilizoachwa pale Majumba sita ni milki ya Magembe au Milki ya Kanisa?
    Tatu huko alipo sasa anapofanya huduma, mbona inasemekana na yeye aliwachangisha waumini wa Majumba sita, kujenga hilo kanisa aliposasa? Lakini wewe hulizungumzii hilo unazungumzia yeye kuondoka na kuacha mali nyingi kwa Mchungaji Mwingine?

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We nawe! Aliyesimamia ni nani? Anachozungumza Mbarikiwa mwakipesile,hekima inabidi itumike hata Kwa kumgawia chochote!

  • @MosesMwakalabaja
    @MosesMwakalabaja 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe ni jaji wa TAG naMagembe mbona napata shida kukuelewa. Kwann usiwafuate walengwa ukawaelekeze hayo

    • @anyosisyedaniel1790
      @anyosisyedaniel1790 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nisauti ya Mungu

    • @MariamCleinance
      @MariamCleinance 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hiyo ni sauti ya mungu , mungu ni watu kama hujui kaa pembeni tuache tunaopenda kuonywa na kukemewa tusikilize

  • @StevenMwinamijr
    @StevenMwinamijr 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi umeifahamu katiba ya TAG baada ya magembe kuondoka? ushauri kama huo ilitakiwa uende kwa kanemba ukamshauli na siyo kuongea public.

  • @BenjaminKadafu
    @BenjaminKadafu 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbarikiwa huna kazi za kufanya mbona unapoteza md wako mkuu

    • @MariamCleinance
      @MariamCleinance 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbarikiwa unaona hana KAZI mbona na wewe huna kazi kwani umetumwa kusikiliza muache aseme ukweli na ukweli humuweka mtu huru anashauri mrithi wa magembe wengi wanapemba vitu vya kurithi bila kujua wenzie walivipataje

  • @GiftUmbu-n1c
    @GiftUmbu-n1c 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Elewa mali ya kanisa Iko chini ya wazee wa kanisa inajulikana kimaandishi mch magembe ni msimamizi TU magembe Ametunzwa na kanisa na kupewa nyingi kama baba wa kiroho hahusiki na mali ya kanisa

    • @nathanaelsanga1990
      @nathanaelsanga1990 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wazee wa kanisa wanawekwa na nani?.

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 26 นาทีที่ผ่านมา

    Sasa wewe Mbarikiwa hapa mtandaoni unamwambia nani? Wewe ni mnafiki mkubwa, mchonganishi, msengenyaji wa mwisho wewe huna kazi ya kufanya wewe sio TAG hayakuhusu acha kuwashwa.

  • @juliusgitonga363
    @juliusgitonga363 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchungaji magembe apewe haki na jacho yake

  • @GivenMyinga
    @GivenMyinga 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe mnafiki sana huna mda wakuomba kazi kujionyesha mitandaoni tu umetumwa uiongelee t.a.j

    • @anyosisyedaniel1790
      @anyosisyedaniel1790 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni ngumu kuwa na ufahamu wewe kama kuandika tu nikipengele.

    • @MagdalenaLuhanyula-dh4im
      @MagdalenaLuhanyula-dh4im 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​Kwa kwel kuandika kipengele😂

  • @emmanuelrweikiza6117
    @emmanuelrweikiza6117 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mke: tuambie kuhusu walivyotuambia kuhusu shule

    • @omuze1290
      @omuze1290 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mch. Kanemba akiwa mchungaji naye amejenga shule, je nayo imesajiriwa kwa jina la kanisa TAG?

  • @Martinmosha-k6o
    @Martinmosha-k6o 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe nawe unashida usi hukumu usije ukahukumiwa . Ukumbuke mch kanemba ana mzid mali , elimu fatilia kwaundani.

    • @ChristinaKembe
      @ChristinaKembe 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ana mzidi Nani we we mzee wetu Maghembe ana kitu ambacho Kanemba hana

    • @GwakisaMwaisanga-th7uz
      @GwakisaMwaisanga-th7uz 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na ww sijui ndo unaongea nn?

  • @Fessie28
    @Fessie28 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haya mambo huku kwetu TAG yalishaisha 😂😂😂😂 mnaohangaika ni nyie wenyewe huku, sawa mmepata cha kuongea ongeeni ila mtachoka tu 😅

  • @getajo1153
    @getajo1153 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwahiyo MADHEHEBU YA DINI yanatengeneza matawi na kutawanyisha WACHUNGAJI ambao hukusanya SADAKA na ZAKA kwa msaada wa KITABU cha BIBLIA,,, then wanapeana MISHAHARA, NYUMBA na MAGARI huku wewe ukiahidiwa MBINGU imbayo ni OPEN SPACE alipoenda MFALME ZUMARIDI na GEODAVIE.... VERY STUPID...

  • @eliassampa8719
    @eliassampa8719 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Usitake wafanye unavyotaka wew Mali ya Kanisa ni ya Kanisa hata Kanemba akiondoka habebi kitu hapo hizo ni Mali za Kanisa upo?

    • @MariamCleinance
      @MariamCleinance ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama anabwabwaja hata kusikiliza na wewe unabwabwaja

  • @desderiusntondero9588
    @desderiusntondero9588 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    We mbarikiwa tuache na TAG yetu kila siku kelele tu

    • @emmanuelngunyale3639
      @emmanuelngunyale3639 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pole shabiki wa Tag

    • @MariamCleinance
      @MariamCleinance ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hiyo ni sauti ya mungu nyamaza kama humuelewago

  • @eliassampa8719
    @eliassampa8719 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nenda kamwambie sio kubwabwaja mitandaon unamfaidia nan? Utumishi sio huo huo ni uchochezi hapo unamsaidia Shetani kazi

    • @elishadodi8787
      @elishadodi8787 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwa hiyo wewe hapa haubwabwaji Mtandaoni? Wewe hapa umeandika kikoment Mtandaoni na hujamfuata? Wewe hapa unamfaidia Yesu eti!

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kasa liko hapo coz katumia media kufikisha ujumbe

    • @GwakisaMwaisanga-th7uz
      @GwakisaMwaisanga-th7uz 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mwehu ww.

    • @GwakisaMwaisanga-th7uz
      @GwakisaMwaisanga-th7uz 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      MUNGU akupe umri mrefu ili tujifunze mengi kupitia ww.

    • @MariamCleinance
      @MariamCleinance ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@lusajomwaipopo5042kuhubili ni kukosoa na kukemea mbona mnapenda kujificha so kukemewa

  • @JustinJoseph-k2t
    @JustinJoseph-k2t 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanaficha eti yameisha ila moyoni yanawaumiza