Mbarikiwa afichua ni kwa nini wachungaji na waumini wengi wa TAG HAWATAMFUATA Magembe.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 104

  • @sambaron7162
    @sambaron7162 18 วันที่ผ่านมา +8

    Ufafanuzi wako umenipa tafakari nzuri na mpya.God bless you pastor!

  • @FredNzunda-w4g
    @FredNzunda-w4g 18 วันที่ผ่านมา +3

    Amen mzee magembe alichofanya ni cha kishujaa sana inadhihirisha wazi kuwa ni mtumishi wa Mungu wa kweli na amedhamiria kulinda injili kwa gharama ya yoyote baba magembe songa mbele sana asante mbarikiwa kwa uchambuzi mzuri

  • @peterfrancis8944
    @peterfrancis8944 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu akubariki sana Mchungaji Mbarikiwa, Unaongea kweli tupu, Usiachee kunyoosha njia ya Bwana, imepindishwa sana. Nyoosha mpaka kieleweke. Amen. ❤

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l 19 วันที่ผ่านมา +6

    Asante kwa kutuchambulia mtumishi

  • @EsauBakari
    @EsauBakari 19 วันที่ผ่านมา +5

    napenda sana mafundisho ya magembe tuko pamoja na wewe magembe

  • @PatriciaSidi-c4w
    @PatriciaSidi-c4w 18 วันที่ผ่านมา +1

    Pastor Magembe mungu yu pamoja nawe usijali wala usiogope , kanisa kuna pingo kwenu mungu ataachilia, ili mujue kuna Mungu aishie

  • @jonathankessy9615
    @jonathankessy9615 18 วันที่ผ่านมา +3

    Exactly 💯 you are right My brother
    Mungu amtetee huyu mzee, Mungu akutetee nawe pia
    TUPO nyuma yenu na tutafanya lolote kuhakikisha INJILI ya kweli inasikika duniani

    • @GRACEMGOWOLE
      @GRACEMGOWOLE 13 วันที่ผ่านมา

      Wewe usiye barikiwa hubiri injili achana na mambo yasiyo kuhusu

    • @GRACEMGOWOLE
      @GRACEMGOWOLE 13 วันที่ผ่านมา

      Wewe umepotoka hubiri injili magembe amekuwa injili kwako ? Usiye barikiwa fumba kinywa kwa jina la yesu

    • @GRACEMGOWOLE
      @GRACEMGOWOLE 13 วันที่ผ่านมา

      Wewe usiyebarikiwa ni nani aliye kuloga? Au umesaini kuzimu?

    • @GRACEMGOWOLE
      @GRACEMGOWOLE 13 วันที่ผ่านมา

      Hayo unayoyaongea ni injili halisi

  • @PaschalJoseph-w2d
    @PaschalJoseph-w2d 7 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana mtumishi wa Mungu

  • @bettyclemence7195
    @bettyclemence7195 15 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa kulifafanua hili maana haya mambo yanatuogopesha sijui viongozi wanatupeleka wapi uhamsho ni wa muhimu kuliko kitu kingine mzée Magembe amechagua fungu lililo jema

  • @StewartUkason
    @StewartUkason 13 วันที่ผ่านมา

    Umesema vizuri sana mtumishi wa Mungu. Huyu jamaa ameokoka sana....ni mtu wa Mungu na mtumishi wa Mungu wa kweli.

  • @qulasulle-hp1ni
    @qulasulle-hp1ni 19 วันที่ผ่านมา +5

    Anayesema Mchungaji Magembe amepotea hana macho ya rohoni!!

  • @SAMWELMWAKASEGE-t3z
    @SAMWELMWAKASEGE-t3z 14 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana kwa kulielimisha kanisa

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 19 วันที่ผ่านมา +7

    Hizo mali bora angalau zingegawanywa kwa mafungu mawili; la Kanisa husika na la yule aliyetoka jasho katika kuongoza watu wachume mali hizo. Kwani bila yeye mali hizo zisingepatikana. Serikali ifikirie upya suala hilo. Kuna Wachungaji nawajua wamekaa miaka zaidi ya 20 sehemu moja hawajajenga hata choo bora cha waumini. Yupo yupo tu na anahesabika kuwa sawa na huyu aliyejenga Sekondari na kununua gari na eneo la zaidi ya eka 3. Kwanini anapoondoka kwa amani asipewe kifuta jasho chake? Watumishi wa Mungu jitafakarini. Katiba zenu si katiba za Mungu. Katiba ya Mungu ni Biblia hizo nyingine ni za duniani tu.

  • @makutimalubu
    @makutimalubu 16 วันที่ผ่านมา

    Big up rev Magembe. Umezungatia wito mkuu wa Yesu kwa Toba ya kanisa linaenda kinafiki dhidi ya Kweli ya Neno la Mungu. Walichobakia wanajisifia Ni Want atizwa na maji mengi na kunena kwa lugha wazijuazo wenyewe. Viongozi waliopo hapa TAG Ni wale wachunga wa Mishahara Wala kondoo Sio thamani kwao. Mungu awe nawe Pasta Magembe siku zote

  • @BelindaMgobasa
    @BelindaMgobasa 13 วันที่ผ่านมา

    Mali zote ni za Mungu hakuna, tafuteni kwanza ufalme wa Mungu na hayo yote mtazidishiwa,ukitembea kwenye kusudi la Mungu vitu vyake vitakufuata.amen

  • @brightenmzulu8675
    @brightenmzulu8675 19 วันที่ผ่านมา +2

    Magembe piga kazi
    Hubilini mkisema ufalme wa Mungu umekalibia

  • @MhubiriWayesu
    @MhubiriWayesu 19 วันที่ผ่านมา +3

    Kwakweli Magembe ameokoka .angekuwa ni sondamuno pangechimbika angeficha hata kijiko

  • @JohnLugola
    @JohnLugola 18 วันที่ผ่านมา +1

    Daah! kweeli mzee Magembe kaokoka

  • @wemamwaikambo2848
    @wemamwaikambo2848 14 วันที่ผ่านมา

    Mngemuachia tu hilo gari mtachukua laana tu bure jamani, Muogopeni Mungu.

  • @FrankMichael-us4dr
    @FrankMichael-us4dr 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kwakweli huyu magembe ameokoka kweli kweli kuviachia vitu vyote hivyo si rahisi amepambana mzee kwa mda mrefu mpaka kufika hapo mungu anajua tukienda kwa haki walipaswa wamuachie vitu japo nusu

  • @BelindaMgobasa
    @BelindaMgobasa 13 วันที่ผ่านมา

    Shida ni kwamba watu wamekuwa washabiki wa madhehebu na siyo Yesu ndo mana haya yote yanatokea,kila mtu anaona dhehebu lake ni bora kuliko wengine wapendwa Mungu anatafuta kanisa,hatafuti TAG,au EAG,au FPCT au dhehebu lolote,bali anatafuta kanisa moja tu hizi ni nembo za makusanyiko ya Mungu aise so kuwa shabiki wa Yesu utakuwa salama.Amen.

  • @benedictormagembe6483
    @benedictormagembe6483 18 วันที่ผ่านมา

    be blessed mbarikiwa

  • @aloisngulo436
    @aloisngulo436 18 วันที่ผ่านมา

    Magembe Mungu yuko nawe usirud nyuma ipo siku watakuelewa tu

  • @Phibamosa
    @Phibamosa 15 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni mtumishi wa Mungu usifanye uchochezi wowote huo mda unatumia kujadili yaliyopita ungejitoa kwenda kuhubiri neno la Mungu Kwa wote ambao Bado hawajafikiwa na neno la Mungu

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  15 วันที่ผ่านมา

      Kwa hiyo hiki si neno la Mungu? MAFISI yasiyoomba yamefikiwa?

  • @devothawnchilaus9378
    @devothawnchilaus9378 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu yupo Mzee wa watu eedelee kupiga ijiri

  • @JoshuaHaonga-r5k
    @JoshuaHaonga-r5k 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubali sana kwa ufafanuzi huo ila ujue kua tag ina katiba yake alafu mbinguni hatuendi kwajina la mchungaji flan tunaenda kwa kumkubali Mungu, na moyo mweupe tu. Vingine hivyo sio .

  • @estonmnthali3719
    @estonmnthali3719 18 วันที่ผ่านมา

    Kweri kabisa Amina

  • @rumariletimba7585
    @rumariletimba7585 18 วันที่ผ่านมา

    God bless magembe

  • @daudmwangomale5007
    @daudmwangomale5007 16 วันที่ผ่านมา

    Mimi sio mshirika wa tag lkn magembe fire ninampenda sana ninapenda sana gospel yake

  • @daudirubibi9601
    @daudirubibi9601 19 วันที่ผ่านมา +1

    Ameeen

  • @NickTajir-q9d
    @NickTajir-q9d 17 วันที่ผ่านมา

    Yuko pantoja nilikuwako huko zamani ni kweli tutu. Mimi huombea taifa

  • @EliudyKipemba
    @EliudyKipemba 17 วันที่ผ่านมา +1

    Kwan ww ni mchungaj wa injili au ni mchambuzi wa kazi za Mungu,,chukua spika kahubirie wenye dhambi hayo tumuachie Mungu siyo kazi yako kwan huyo unaye mzungumzia ni malaika? Ila ni mtumishi aliye jiweka kwa Mungu ndo mana unamchambua hebu tugeuke watu wa Mungu

    • @Phibamosa
      @Phibamosa 15 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe ni mtumishi wa Mungu usifanye uchochezi wowote huo mda uatumia kujadili yaliyopita ungejitoa kwenda kuhubiri neno la Mungu Kwa wote ambao Bado hawajafikiwa na neno la Mungu

  • @njiailiyonjema
    @njiailiyonjema 18 วันที่ผ่านมา

    Wewe mzee nimegundua kwamba una madini mengi sana. Ntatakiwa kuona mpango wa kuhifadhi haya mahubiri yako maana naona ni kama itakuwa vigumu sana kuinuka mhubiri kama wewe baada ya wewe kuondoka, na kwa kuwa mimi nataka nifanane na wewe au nianzie hapo ulipoishia kwenda mbele, nitatakiwa kusikia sana haya ambayo unayaongea tena na tena ili yanijenge na kuniunda kuwa kama wewe naam, kwa neema ya Bwana hata zaidi ya wewe mzee wangu. Ni maombi yangu tu.

  • @miriamimani4986
    @miriamimani4986 18 วันที่ผ่านมา

    Umesema ukweli mkubwa sana we baba, duuu mimi binafsi imenibariki

  • @josephmahonje3564
    @josephmahonje3564 18 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe kk Acha MAWAZO potofu tuhame na magembe tuache kuhama na YESU WE JAMAA UNA SHIDA SANA

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  18 วันที่ผ่านมา

      Yesu ni mtu yeyote anayefanya mema. Yesu ni wema na shetani ni ubaya. Kumfuata Yesu ni kumfuata mtu atendaye mema. Nje na hapo utatumia vibaya

    • @healingclinic698
      @healingclinic698 18 วันที่ผ่านมา

      Wewe unakataaaa kumfauta magembe ulipo unafuata nani? Kama sio TAG ? Ila Kuna watu wamerogwa ufahamu wao na hiii ni shida Kwa sababu umejazwa utumwa wa Kidini au kidhehebu

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 18 วันที่ผ่านมา

      YESU ww umemuona wapi???
      YESU anakaa ndani ya mtu aliyemwamin

    • @healingclinic698
      @healingclinic698 18 วันที่ผ่านมา

      @@estermathias8354 na kama wanaamini madhehebu ndip yatakaaa mioyoni mwao sio Yesu

    • @anyosisyedaniel1790
      @anyosisyedaniel1790 17 วันที่ผ่านมา

      Kumbe hata haujuai tunamuona Mungu katika uhalisia gani, nyie si ndio munaona mtu akisoma theologia munamuona kama anajua mambo ya Rohoni? Je hawaja kufundisha? Hata kama hawaja kufundisha je wewe hausomi Biblia? ( Likete kukanwa ititu amatanga)

  • @miriamimani4986
    @miriamimani4986 18 วันที่ผ่านมา

    Unaniburudisha moyo wangu Mchungaji, yaani laiti ningekuwa na uwezo ningekuja kanisani kwako nijifunze, nipate wokovu uliokamilika, sina mengi ila ubarikiwe sana.

  • @anoldmika2101
    @anoldmika2101 18 วันที่ผ่านมา

    Watu wengi awajui maana ya wokovu tunaitaji sana mafundisho kuhusu nini maana ya kuokoka maana wengi wetu tumefundishwa kuokoka ni kukir kua yesu ni bwana

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 15 วันที่ผ่านมา +2

    Wew mbarikiwa umekuwa nani au ndio sadukayo wa sasa wew mwandishi wa hbr au nani kila kukicha masimango au hauna kazi ya kufanya naona unapoteza muda wako mshauri wa kanisa ni Roho mtakatifu wew unatupotezea muda tuuh hudumia washirika wako acha kihelehele

  • @enocklugwe513
    @enocklugwe513 19 วันที่ผ่านมา +2

    Magembe kusema kweli ana hofu ya Mungu. Ila kuna uasili wa kisukuma haujamtoka. Umimi kwa magembe ni mwingi, haonagi kuokoka kwa wengine. Pia wewe mbarikiwa usijione wewe uko sawa, una mapungufu sana. Mtafute Mungu kaka, hujatumwa kwa hayo unayofanya.

    • @GwakisaMwaisanga-th7uz
      @GwakisaMwaisanga-th7uz 18 วันที่ผ่านมา

      Hajatumwa kwa haya anayofanya kivipi ikiwa wengine tunapona? Au ndo nyie wafia dini na si ile kweli ya MUNGU? mm nadhani ni muhimu tukiijua kwel kuliko kutafuta ushindani kwa ambao wameshaondoka na taji.

    • @HabilyTech
      @HabilyTech 18 วันที่ผ่านมา

      Kuokoka ni nini?, haonagi kuokoka kwa mwingine??, tatizo mmeufanya wokovu kama fashion gani sijui, wakati wokovu ni matendo mema, kupinga ubaya, kuusema wema kweupe Yesu akasema ninyi ni nuru ya ulimwengu (Mt.5:14) maana yake umulike hata kule gizani kuonekane sasa kama gizani kuna madudu ndicho kinachotokea sasa vitisho na kila aina ya kushambuliwa.

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 19 วันที่ผ่านมา +1

    TAG WAMRUDIE MUNGU TU MUNGU AMEWAONYA SANA LAKINI NI KAMA HAWATAKI KUBADILIKA TAG MUNGU ANAWAPENDA RUDINI RUDINI

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 14 วันที่ผ่านมา

    Angestaafu awe muumini tu. Màana atahama mara ngapi kila mahali mapungufu yapo

    • @AtuganileGodson
      @AtuganileGodson 14 วันที่ผ่านมา

      Wito unatesa sana ndugu,usiombe Hilo jambo Mungu aweke kwako.Kuna mtu alikua hataki kusema ukweli ambao Mungu amemwambia lakini Mungu aliporudi kwake Tena akwamwambia'Usiposema na kukemea jambo nililokwambia nitamuua mume wako na watoto wako ili ujue mm ni Mungu wa mbinguni)na Watumishi wengine pia waliambiwa kwamba wakamwambie huyu mtu hayo maneno.Ndugu wito wa Mungu acha kabisa na usiombe Mungu akuwekee wito,na Maghembe hana wito wa uumini anawito wa utumishi

  • @georgedalton2021
    @georgedalton2021 18 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji wewe ni mtuu mkuu majaribu uliyopitia kumbuka ayubu alipoteza vyote hayo ni mapito haujashindwa ni majiribu tuu ya mungu kuifanya imani yako kumtegemea haujapoteza wala lisikuuzunishe kupoteza mtoto mungu ni mwema hawezi kukuacha maana hayo lazima tukutane nayo maana yameandikwa nikutie moyo achilia uchungu wa kumpoteza mtoto mungu akulinde

  • @danieljumapili1018
    @danieljumapili1018 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mshindwe kwa jinala yesu mnaosema vibaya kanisa letu la T.A.G.hakuna Aliye kamilika hubirini watu waokoke waache dhambi acheni ubaya naomba mshindwe kwa jina la yesu mnaosema T.A.G

    • @judithgodfrey6503
      @judithgodfrey6503 19 วันที่ผ่านมา

      Machozi ya familia ya Kolola yanawatafuna. Mungu yuko kazini

    • @chrisophermazanza6499
      @chrisophermazanza6499 17 วันที่ผ่านมา

      Uongoz wetu wa juu uko kwa tumbo sana kama mzee anahimiza kuhusu uwamsho nimapenz ya mungu na siyo ya mwanadamu acha wasemwe wanamadudu mengi na huyo mzee wawatu mungu ambariki sana mbinguni hatyendi hatuendi na hiyo TAG

  • @DanielMwakanyuma
    @DanielMwakanyuma 16 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi kuwa makini kukubaliana kuwa kanisa TAG limekufa, je! Nawewe umefanya tathimin gan kukubaliana na kauli hiyo nafikili litumike neno baadhi mungu atusaidiye kukimbilia kujibu bila kutathimin nakuomba kuwa na akiba ya manen.

  • @isaacmligo9187
    @isaacmligo9187 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kuhama dini au dhehebu!?

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 15 วันที่ผ่านมา

    Biblia inasema kuongezeka kwA makanisa duniani ni kukuwa kwA huduma wenye uwezo wa kufungua makanisa duniani wafungue wasome maandiko na Mungu awape ma'ana ya maandiko kitaeleweka wengine karama za mitume kinabii kiinjilisti kichungaji walimu kitaeleweka na manabii wa uongo wawemo waone moto humohumo hadi laha Yesu alisema Baba mtukuze mwanao Mungu akasema nimekutukuza lazima mawimbi yawe mengi I'li Yesu dunia ujue kuwa ndie sadaka yao kitaeleweka

  • @CharlesKalisa-p1g
    @CharlesKalisa-p1g 18 วันที่ผ่านมา

    Kila mmoja atoa hesabu kivyake

  • @EvSimonLaizer2017
    @EvSimonLaizer2017 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mch Mbarikiwa dhehebu lako ni lipi? Itasaidia wengine nao kukusaidia kuichambua

  • @danieljumapili1018
    @danieljumapili1018 19 วันที่ผ่านมา

    Niongo nyinyinatumiwa nashetani kabisa kusema kamisa la nabab hama kweli hizi ni yakati za mwisho hata shetani anatumia kila mtu.

  • @PatrickAdam-q8y
    @PatrickAdam-q8y 18 วันที่ผ่านมา

    Miaka 56 amekuwa TAG amelelewa akafika hapo alipofika ,kama nyumbani kwenu kuna tatizo tatua usikimbie adui atafatilia ,roho ya kukosa utulivu

  • @jonathankessy9615
    @jonathankessy9615 18 วันที่ผ่านมา

    Mizeituni miwili Sasa imemea
    JAMANI KUMEKUCHA MWENYE MACHO NA AONE MWENYE SIKIO LA KUSIKIA NENO HILI NA ALIFAHAMU
    "KUMEKUCHA"

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 18 วันที่ผ่านมา

    Shule
    Uwanja
    Gari
    Jengo la kanisa
    Vyombo vya mziki
    Vyombo vya wwk
    Mbona amekabiz kabisa lkn bado wanalalamika ameondoka na mali za tag duhh aibu yao

  • @IbraMwampulule-w2g
    @IbraMwampulule-w2g 16 วันที่ผ่านมา

    Ey tell me

  • @CesiliaMrema-y8p
    @CesiliaMrema-y8p 17 วันที่ผ่านมา

    Vita umepigana,vilivyo,endelea baba karibu tutafika , usirudi nyuma, wapi unapo hudumu tuje kúsapoti huduma. Iendeleee

  • @PatrickAdam-q8y
    @PatrickAdam-q8y 18 วันที่ผ่านมา

    Kanisa lina katiba na yeye anaifahamu katiba toka mwanzo wa huduma yake Mungu amsaidie aendako

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 18 วันที่ผ่านมา

      Katiba inayokua tofaut na Kirsto ni upumbafu

  • @NathanielMitachi
    @NathanielMitachi 18 วันที่ผ่านมา

    MAGEMBE KWA UTII HUU WA GHARAMA KUBWA BABA YANGU MUNGU AKUBARIKI MNOO NAKUOMBEA, WAKUACHEE TUU TENA KWA FURAHA MENGINE YAWE YA MUNGU

  • @AmenMushi-j2j
    @AmenMushi-j2j 18 วันที่ผ่านมา

    Tuombee TAG hapa ni shetani ni vita Bishop vya baba Ask Mtokambali

  • @kefakosam5959
    @kefakosam5959 17 วันที่ผ่านมา

    Siku hiz mnasemana mitandaoni tyuu

  • @ElliyaElliya-h2h
    @ElliyaElliya-h2h 17 วันที่ผ่านมา

    Hakika magembe no means wa MUNGU,, Nana kuomba we MUNGU mlinde,

  • @PatrickAdam-q8y
    @PatrickAdam-q8y 18 วันที่ผ่านมา

    Wewe mbarikiwa unaweza kuisema nyumba yako hadharani , kama ina matatizo pambana utatue

  • @emmanuelrweikiza6117
    @emmanuelrweikiza6117 19 วันที่ผ่านมา

    KWA MTU KUKUBALI KUACHA MALI ZOTE HIZO HARAFU UTAKUTA MTU ATAKAYEKUJA HAPO ANAMSHUKURU MUNGU KWA JASHO LA MTU. KWELI WASHIRIKA TUMJUE SANA MUNGU MAANA KUNA SAA VIONGOZI HAWAFAI KUWA MFANO.

  • @stephen8522
    @stephen8522 13 วันที่ผ่านมา

    Naona TAG imekuwa ajenda. TAG itabaki kuwa TAG tu. Na usemi ya kwamba TAG imekufa hauna mashiko. Naona mnatumika kutaka kututoa kwenye mkakati wa miaka 13 ya moto wa uamsho.

  • @CharlesKalisa-p1g
    @CharlesKalisa-p1g 18 วันที่ผ่านมา

    Wewe unacho sema ni kweli magembe ni jasiri wa Mungu ila sikubaliani na wewe kwa kitu kimoja sio wachungaji wote wa TAG ni wako ovyo hapo unajifanya kama hakimu na kitu ambacho hupaswi kufanya kwani kila mmoja ameitwa kivyake na ukumbuke kuwa wewe sio mkosoaji wa YAG . So kuwa makini na hayo maneno yako.

  • @AsajileAnyitike
    @AsajileAnyitike 18 วันที่ผ่านมา

    Kweri baba huyu kutoka tag ni pengo.

  • @GivenMyinga
    @GivenMyinga 19 วันที่ผ่านมา

    Fata Yako mbarikiwa

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  19 วันที่ผ่านมา +1

      Ungeanza wewe kufuata yako usifuate ya Mbarikiwa

    • @emmanueligale526
      @emmanueligale526 18 วันที่ผ่านมา

      Acha wewe kwanza kumfuatilia mbalikiwaaaa

    • @SmithJacob-f2r
      @SmithJacob-f2r 18 วันที่ผ่านมา

      Kwan kaja nyumban kwako kufuata yako

    • @PeacePuma
      @PeacePuma 18 วันที่ผ่านมา

      Sema m balikiwa magembe katoka kwashali unajua kua lile jengo tulilokua tunasalia mchungaji magembe alivunja hadi mazabahu nauwezekano waku kabizi kanisa ulikuepo hadi sisi leo tunasalia njini ya mahema basi angekabisi bila kutoa mazabahu ​@@Mbarikiwa_Mwakipesile

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 17 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe hapa umefuata yakwako?.

  • @enocklugwe513
    @enocklugwe513 19 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani TAG inafanyaje vibaya? Shida ni mafanikio ya Tag yanawachanganya. Mtokambali piga kazi baba Yesu anarudi.

    • @omuze1290
      @omuze1290 18 วันที่ผ่านมา

      Kazi gani inapigwa? Ile ya kumhubiri Yesu lakini mwenendo wa mhubiri na wafuasi wake kufanana na shetani?

  • @fredym4517
    @fredym4517 17 วันที่ผ่านมา

    Natofautiana na wewe
    Mange amefanya vizuri ila ameshindwa jambo moja kiburi cha uzima.
    Kanisa lililo kufa ni lipi na yeye anachunga ni wakati kanisa limekufa?hivi Yesu anajisikiaje unaposema kanisa lake limekufa

  • @AlfredMlaki
    @AlfredMlaki 15 วันที่ผ่านมา

    Baua ya Wazi kwa Kanisa la TAG na Mchungaji Maghembe - Siku za Mwisho
    th-cam.com/video/aBiqBW3K9y4/w-d-xo.htmlsi=aOwIDMI3jsXsEJeP

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 18 วันที่ผ่านมา

    Aliyewai kuikataa biblia leo anasoma biblia

  • @GivenMyinga
    @GivenMyinga 19 วันที่ผ่านมา

    Wewe mbarikiwa utakatifu hauletwu na magembe au wewe nimutu mwenyewe

  • @enocklugwe513
    @enocklugwe513 19 วันที่ผ่านมา

    TAG haiendeshwi kama mnavyotaka

  • @BakoPoultry
    @BakoPoultry 18 วันที่ผ่านมา

    Sikubaliani na wewe kwa sababu mali ya kanisa ni ya kanisa sio mchungaji kwa hiyo swala la kuacha mali ni sawa kwa sababu mali ya kanisa sio ya wewe.

    • @healingclinic698
      @healingclinic698 18 วันที่ผ่านมา

      Umepotea sanaaaa wewe hivi mke mwanamke akiondoka kwenye ndoa Kwa kuachana na mume wake huwa anaondoka mikono mitupu ? Nikuulize tu hata kama Mali zote huwa ni za Mume wake huuu ni mfumo was kishetani na unyang'anyi usio ujua wewe siku ukiwa nchungaji au kama ungekuwa na ndugu yako mchungaji ndio utaelewa kuwa Mali ulizotafuta wewe kwa kuuza vitu vyako bila mchango wowote wa kanisa ukiondoka vinakuwa vyao ni sawa ilo moyoni mwako alafu nikuulize hivi vitu vinafaida Gani yaaani ningeliona kanisa Lina maana kama lingeweka utaratibu wa kulinda roho za watu et wanalinda Mali mavi Sanaa haya madhehebu pumbavu zao wote wenye mioyo ya kidhuruma na kishetani

  • @PatrickAdam-q8y
    @PatrickAdam-q8y 18 วันที่ผ่านมา

    Kama TAG ina matatizo ni kutatua tuu na sio kuondoka

  • @danieljumapili1018
    @danieljumapili1018 19 วันที่ผ่านมา

    Ndio arudi sisi T.A.G TUNAMUNGU MUNGU ATASHUGULIKA NA WOTE MNAOSEMA KWAMBA T.A.G NI MBAYA NA NYIE MMEPOTOKA NIUONGO WOTE MNAOSEMA VIBAYA T.A.G

    • @DavidJulius-s2q
      @DavidJulius-s2q 18 วันที่ผ่านมา

      Una mengi sana ya kujifunza mpendwa.lala uwahi darasa la waongofu wapya kesho

    • @AtuganileGodson
      @AtuganileGodson 14 วันที่ผ่านมา

      Haisemwi TAG mbaya ndugu,elewa kinachozungumzwa