Mashaallah Alhamdulillah Shekh Ramadhani Allah akupe maisha marefu na afa njema lnshaallah na hakupe pepo ya Filidas inshallah na hakupe kizazi njema na hakusamei makosa yako lnshaallah
Mashallah kuwa mwislam Ni Jambo jema nilislimu kwa hiyari yangu nazidi kujifunza elimu ya uislam kwa Amani Sana kabla ya kuslim nilijifunza Kwanza kuptia channel hii straight path tv
Yaani Wakristo wa leo wajinga kweli. Ndio maana Kibwetele wa Uganda aliwachoma moto Wakristo wajinga eti wanaenda mbinguni.Mackenzi wa kenya naye aliua Wakristo wajinga wapatao 200 kwa kuwafungisha hadi wakafa. Sasa hivi Ukristo uko katika chekecheo kutenga makapi na ngano. Swali la kujiuliza Yesu wa Tongorani kenya na huyu Yesu wa Kilimanjaro wa chanzo halisi aliyepaa mbinguni kutokea Kilimanjaro Tanzania yupi wa kweli (wote waongo) huu ni mhuri wa saba katika ufunuo.Mwisho ukaribu kila mtu akae macho.
My dear brother in Christ @mr Ndacha i missed you so much because of lost my phone Now im si happy to here from you again May our savior Almighty God be with you always 🙏🙌🤲
Ndugu zangu ktk uislam ukweli tukumbatieni dini yetu kama mwenyezi mungu subhana wa taalah ametujalia neema ya uislam tafadhalini tusifanye mchezo na hii dini sababu tunajionea watu wanavyo angamia yani ukisikiza maneno ya marafiki zetu wakristo ukweli n msiba mkubwa sana. Alhamdulillah ALLAH SUBHANA WA TAALAH kwa kunijalia kuwa muislam
(Mathayo 24 ) ------------ 23Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki. 24Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule. 25Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.
Kwakweli hii kazi ningumu allah awatie nguvu na maarifa yakueza kukabiliana nawatu ambao hawajajaliwa kuiona haki Alhamdulillah thumma Alhamdulillah kwakujaliwa kua kwenye njia yahaki na namuomba allah kila aliemjalia bas atujalie kuupata mwisho mwema inshallah
Nimempenda Ramadhan na Ndacha kwa maswali mazuri sana ,yesu hajajibu vizuri ni kama maswali huwa hayajibu kwa ufasaha .ni kama anakwepa maswali .ndacha ni mkristo na ameuliza maswali mazuri sana kwa mkristo mwenzie.Ramadhan pia amefafanua sana maswali yake, nimempenda sana.
Sasa waalimu, muulize kwanza uyu anaejiita yesu-kristo... Biblia ime sema iti ; yesu atakapo Rudi kila jicho litamuona , sasa mbona Sisi apa kongo Atukumuona wakati alipo kuja?
@@jumahamad9463 Ndacha akuwa hivyo tena hapa amejaribu sana sjui mbona hawezi kutumia hekma katika mijidala yake yote anakuwa na jazba sana ALLAH amjaalie aamue kusilimu juu ukweli nao anaujuwa.
😂😂😂wacha nicheke yani nawashangaa nyinyi mnao sema am proud to be a Muslim nani kasema dini ya ki Islam ndio dini ya kweli sisi sote niwamoja tunaabudu mungu mmoja 😂
Nyie simna wa tatu...uislam ndani ya quran inazungumza kuanzia Adam(s.a)mpaka mtume wa mwisho(s.a.w)kila kitu kipo,umeshawahi kusikia muislam anajiita mtume(s.a.w)?umeshawahi kusikia Kuna msikiti wa shekh fulani?muislam umeweka kila kitu wazi km huamini soma quran utaelewa
@@marykadenge6286 Tafadhali rekebisha lugha Yako! Mungu ya wakristo siye ya waislamu. Allah ameahidi uma ya wahumin / waislamu ndoa ya wanawake 72 mbinguni, Mtume swalaleih wasalam akawahimiza wafwasi wake , zoeni chai hi maana mbinguni , kinywaji ni hiki tangawizi)
😂😂😂amakweli Kiama kimekaribia 😢😢. Ndugu zangu Waislamu tuswalini swala tano farazi kama tulivyo amrishwa na Mwenyezi Mungu na swala za Sunna na kutoa sadaka kwa wingi. Tujitahidini kujiweka mbali na mambo ya Kidunia. Tumuombeni Allah atukutanishe Waislamu wote Jannah ( Paradise ) In shaa Allah.
Mungu awasaidie ndugu zetu wakristo haya yote yanaletwa kwa kuamin miujiza yan wakisikia kuna nabii anafanya miujiza basi watu watajazana hapo na ndo mana kila mkristo akitaka kanisa lake lijae basi anakuja na maajabu yake 😢😢😢😢😢😢😢😢
@@maisarah6819 mmmm watu wajifunze kumuamin mwenyezi mungu mmoja na c wanadamu wenzetu nawahurumia sana mana tena wakristo ndo wengi sana dunian hata ukaongea hakuna atakae kusikiliza ila watambue hiyo biblia yangu inasema njia ya mbingun n nyembamba na ya moton n pana na ya mbingun wataingia wachache sana wenye kudharauliwa hapa dunian
nice conversation.Binadam ni mgumu kuelewa.Hawa watu wajue mahali walipo sio mahali pa kawaida.yesu wa bungoma wambie mambo bado.MIMI pia ninao ufunuo wangu.
Yesu wa tongereni unachi kiongea unajielewa kweli wakati wako huu wa jutubu dhambi zako na uache kuongea uongo hakuna yesu mweusi ww manabii wote ni waarabu utadanganya hao wapotivu wenzio na ipo siku utaongoka ili ukaokoke na moto wa jahannam am proud to be amuslim Allah❤❤❤❤
Yaarabiii😂😂,Shkh Ramadhan,sina mbavu leo apo pamechimbika nguo kuchanika 😅😅,watu wote wenye kutazama,wanajua uislam ndio haki,alafu uyo dadaangu apo nyuma 😂😂😂 atamuaribia yesu ,ana hasira kma nyuki😅,we ndacha tokaapo,kwana umechanganyikiwa,hapo nimaji makuu,achia waachie Ramadhan,ndio kiboko,ALLAAHU AKBAR
Oh my😮 Islam is the only dini that is not complicated Alhamdulilah.❤❤❤ I am surprised by all this... At least Ndacha hueleweka lakini Tongaren at silabi Moja nimeshindwa kuelewa lenyu jameni😂😂😂😂😂 wueeh😮
Assalam aleykum. Huyu Yesu wa Tongaren ni jamaa mmoja mkora sana.hao wafuasi wake wote wanamuogopa. hata kwa nyuso zao unawaona kuwa ni mateka tu.inasikitisha sana kuona hawa watu wako ndani ya mtego wa huyu jamaa.these people need to be rescued from the situation they're currently in...these people are manipulated and controlled by this thug, presumably through fear.whenever hao wafuasi wanajibu swali, lazime 'Yesu' aingilie kati ili apige msasa jibu.anakontroli majibu yote.angalia huyo 'malaika Yakobo', hata hana raha, ni kama analazimishwa. hii ni hatari sana.usichoke bro Ramadhan, kumfuatilia huyu mkora...at least hao wafuasi wake kuna wengine nyoyo zao pole pole zinaanza kuingia shaka.jazakallhu khair
As a Christian today, have grown stronger, i am a true strong believer of God through Jesus.. yaani kumbe hata Quran imesena yesu aliumba ndege akaipatia uhai?.. aiiiii Yesu ni bughaaa ❤
Masha Allah Allah akujalie umri uweze kutufunza wengi. Na akujalie sawadi yako ewe jannatul fridos ww Na family yako. Kwanza ugemuliza Uyo yesu. Stakufa Tena Kwa Mara ya pili 😂
Kwa kweli Mwalimu Ndacha na ustadhi Ramadhani Kurya mnazidi kutufurahisha kwa kuwachokonoa hao jamaa! Pia shukran kwa Ramadhani kutimiza ombi langu nililowai kuomba kuwa umfikishe Ndacha hapo kwa Yesu wao wa Kenya wapambane..!
Mwalimu ndacha uko na kazi kubwa kweli Mungu akusaidie mtumishi wa Mungu ule fake yesu wa tongareni Eko najivuruka na kujidanganya bure ache kudanganya watu. Yesu wa tongareni tongareni uko natusaidia kujuwa ya kama tunaishi wakati wa Mungu wa mwisho.
Binadamu ni Mungu aliyepotoka na anastahili kuwacha ubedhuli, ufisadi, unyanyapaa, ulafi na hali zote mbovu ili akiketie kiti chake cha enzi, Yesu wajibu bila uoga wewe ni Mungu kwa sababu umelifahamu hili.Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake kama yesu alikuwa mwana wa mungu Yesu wa Tongaren anamakosa gani kujiita mwana wa mungu na kama sote tujuavyo mwana ni uendelezi wa baba.
Pastor ndacha mungu akupe nguvu maana una kazi kubwa sana
Jazaka Allahu Kheyra sheekh Ramathan May Allah bless you Amiin
Mashaallah Alhamdulillah Shekh Ramadhani Allah akupe maisha marefu na afa njema lnshaallah na hakupe pepo ya Filidas inshallah na hakupe kizazi njema na hakusamei makosa yako lnshaallah
Mashallah kuwa mwislam Ni Jambo jema nilislimu kwa hiyari yangu nazidi kujifunza elimu ya uislam kwa Amani Sana kabla ya kuslim nilijifunza Kwanza kuptia channel hii straight path tv
Congratulations my dear brother en welcome to Islam ☪️ asc
Masha allahy zidikujifunza
Maashaallah
mashallah mashallah Allah akujaalie kher inshaallh
Suleiman muhumed shukrani ndugu yangu ila Mimi Ni dada
Shekh ramadhani mungu azidi kukupa hekima ishallah
Allahuma ameen 🤲
Yaani Wakristo wa leo wajinga kweli. Ndio maana Kibwetele wa Uganda aliwachoma moto Wakristo wajinga eti wanaenda mbinguni.Mackenzi wa kenya naye aliua Wakristo wajinga wapatao 200 kwa kuwafungisha hadi wakafa. Sasa hivi Ukristo uko katika chekecheo kutenga makapi
na ngano. Swali la kujiuliza Yesu wa Tongorani kenya na huyu Yesu wa Kilimanjaro wa chanzo halisi aliyepaa mbinguni kutokea Kilimanjaro Tanzania yupi wa kweli (wote waongo) huu ni mhuri wa saba katika ufunuo.Mwisho ukaribu kila mtu akae macho.
Alhamdulilah to proud am Muslim
Pasteur ndacha mungu akutiye nguvu maana leo unayo kazi ngumu maana hii ndunia nishinda
My dear brother in Christ @mr Ndacha i missed you so much because of lost my phone
Now im si happy to here from you again
May our savior Almighty God be with you always 🙏🙌🤲
Masha Allah Ustaz.vizuri kuwajua matepeli WA Bungoma
God bless you Evangelist Ndacha, keep on with Good work, and Shek to for good work , may Allah bless and protect you
Namshukulu Allah kwakua nimekua muislamu Sasa tz
Ubarikiwe san
Jongera sna
😂😂kwani umekuwa muislamu ukaenda mbinguni😂😂utashangaa unafuata ni hiyo ukijua
Mashallah barakaallah may almighty Allah bless you for spreading dawah
Ndugu zangu ktk uislam ukweli tukumbatieni dini yetu kama mwenyezi mungu subhana wa taalah ametujalia neema ya uislam tafadhalini tusifanye mchezo na hii dini sababu tunajionea watu wanavyo angamia yani ukisikiza maneno ya marafiki zetu wakristo ukweli n msiba mkubwa sana.
Alhamdulillah ALLAH SUBHANA WA TAALAH kwa kunijalia kuwa muislam
Sahihi mashaallah
Mashallah tabarakallah kweli kabisa
huyo jamaa hajielewi anajiita yesu na hata yesu mwenyewe alikua anajiita mwana wa adamu
Kweli kabisa Allah subhana wataala awafunguwe 😢
(Mathayo 24 )
------------
23Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.
24Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
25Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.
Sheikh Ramadhani ogera sana unasubira ya hali ya juu Allah akupe kitabu chako kwa mkono wa kulia lnshaallah
AaminaYaarab
Assalam alaikum, shukran for part 2 Ustadh
😂😂😂😂😂 I love Kenya where comedy can make you sleep without eat
😂
😂😂😂😂😂
Mke wa Yesu tunae 😂😂😂
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
😅😅 thanks for good funny..!
Ndacha, I admire you so much and congratulate you for thebgood work you have been doing. I would like to have your contacts.
Kwakweli hii kazi ningumu allah awatie nguvu na maarifa yakueza kukabiliana nawatu ambao hawajajaliwa kuiona haki Alhamdulillah thumma Alhamdulillah kwakujaliwa kua kwenye njia yahaki na namuomba allah kila aliemjalia bas atujalie kuupata mwisho mwema inshallah
Asalam alaykum warahmatullah kaka Ramadhani, mungu akulipe kila la kheri kwa kazi unayoifanya
🤣 that's why I love your teaching Ramadan🙏
Nimempenda Ramadhan na Ndacha kwa maswali mazuri sana ,yesu hajajibu vizuri ni kama maswali huwa hayajibu kwa ufasaha .ni kama anakwepa maswali .ndacha ni mkristo na ameuliza maswali mazuri sana kwa mkristo mwenzie.Ramadhan pia amefafanua sana maswali yake, nimempenda sana.
Yenyewe yesu anakwepa maswali
@@metrinenyakoe1764 yesu wa kisasa sana. Maana anazungukwa na mitume na manabii na malaika wapya !!
Shida n kwamba, saa zengine ndacha anapayuka sana😅
Subhana Allah ghariba wote ni wa kristo wana soma kitabu kimoja na bado hawa fahamiani. Alhamdulilah Rabbil Aalamiin kwa neema ya Uislam 😂😅
Ahsante Ramadhan kwa kumpereka Ndacha tongorene
Katika Uislam hakuna kinyongo, ili Mradi haki idhihirike tu
Asante so tupeleke injili somali
May God continue blessing you for reaching this men the truth
Asante Ramathan Kwa kupeleka mwalimu wetu dacha Kwa jesu
😂😂😂
Mwenyezi Mungu afunguwe roho za hawa wa ndugu zetu wakristo maana hawataki kuelewa
Huyu si mkristo ni mkafiri
Kristo mambo yao ni roho roho tu sijui kama wanaona indani ya roho walali hii ni musiba mukubwa alhamdulilah alhamdulilah hii ni musiba
Ndio kichaka wanachojifichia wakibanwa hoja
Msiba mkali mno Hadi malaika wako pia tongereni kwa yesu
MashaAllah shekh ramadhan mungu akuifadi uzidi kuwaelimisha insha Allah 🙏🙏
Ahsant Mungu kwa kunitoa kwenye Giza,amakwel din ya haki ni Uislam, cjutii kuslim aisee
Amiin thuma amiin bro
Mashallah
Utokapo mahali bila kupaelewa huwezi sema chochote kuhusu mahali hapo
@@ASTONVILLA_254 😂😂😂
Kutoka kwa giza ni KUKOLEWA na YESU wa KWELI.
Ahsantee shekh Ramadhan wao wanashindana hawaelewani. Ila maneno yako wa nashindwa kujibu. Unapata yesu aongee bila ya kufungua bibilia k ulivo sema
Sasa waalimu, muulize kwanza uyu anaejiita yesu-kristo... Biblia ime sema iti ; yesu atakapo Rudi kila jicho litamuona , sasa mbona Sisi apa kongo Atukumuona wakati alipo kuja?
Kweli kuna kujifunza na kucheka.Leo nimecheka sana.Mke wa Yesu leo hana raha kabisa kwa kubanwa na maandiko.Alhamdulillah kwa neema ya uislam.
ALICHO KISEMA NDACHA SIO UZURI NDACHA NIMUHUBIRI ALITAKIKANA AWE NAHIKIMA YA MAJIBU KAMA WALIVYO MASHEIKH WALIVYO HIKIMA YAKUJIBU
Uwislam nuru allihamdullilah 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@@ndikumanainnnocent7796 kabisa
@@ndikumanainnnocent7796ALHAMDULILLAH ❤
@@jumahamad9463 Ndacha akuwa hivyo tena hapa amejaribu sana sjui mbona hawezi kutumia hekma katika mijidala yake yote anakuwa na jazba sana ALLAH amjaalie aamue kusilimu juu ukweli nao anaujuwa.
M.Mungu akuzidishiyekheri nyingi nabaraka ndugu Ramadhani.unaendesha daawat vizurisana.sisihukutuliko marekani tunafatiliyasana.
Asalam Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu maa shaa Allah shukrn san shekh wetu Allah akulipe khri❤❤
Walaikm Salam warahmatullah wabarakat
Amefanya nini cha ajabu?
Mashallah shekh ramadhan Mungu akuwekeweke maan wewe ni wafaida
Subhan Allah duniya yasikitisha 😢
Yisha huyu jamaa ni chizi
Mashaallahh shkh wangu allah akupe hkma yadunia napepo ya akhera
Am proud to be Muslim❤ Alhamdulillah
Am proud to be a Christian
Am proud to be a Christian
Hahahah mbn mnanifokea
Dini ya kwanza kwa slave trade....
Ni dini ya upotevuni Wala si kitu Cha kujivunia ni vile tuu hujui,YESU NI NJIA KWELI NA UZIMA NA MTU HAJI KWA BABA ILA KWA NJIA YA MIMI
Pasteur ndacha mungu akubariki kuja congo kwetu
Am proud to be a muslim the true religion in the eyes of Allah .....Allah Akbar
Wewe kama ni mwafrica hufai kuwa muislamu, alturmidi 32 Hadidh
😂😂😂wacha nicheke yani nawashangaa nyinyi mnao sema am proud to be a Muslim nani kasema dini ya ki Islam ndio dini ya kweli sisi sote niwamoja tunaabudu mungu mmoja 😂
Nyie simna wa tatu...uislam ndani ya quran inazungumza kuanzia Adam(s.a)mpaka mtume wa mwisho(s.a.w)kila kitu kipo,umeshawahi kusikia muislam anajiita mtume(s.a.w)?umeshawahi kusikia Kuna msikiti wa shekh fulani?muislam umeweka kila kitu wazi km huamini soma quran utaelewa
Hata shetani vivyo hivyo😢
@@marykadenge6286 Tafadhali rekebisha lugha Yako! Mungu ya wakristo siye ya waislamu. Allah ameahidi uma ya wahumin / waislamu ndoa ya wanawake 72 mbinguni, Mtume swalaleih wasalam akawahimiza wafwasi wake , zoeni chai hi maana mbinguni , kinywaji ni hiki tangawizi)
Dacha uko na kazi kweli,mungu akutie nguvu
Ndacha mwenyewe ameshangaa ! Allah akuzidishie kila la kheri !umengonganisha wakristo wenyewe ! Wamejiaibisha
Mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe
Huyo yesu watongareni na mhamadi hamna tofauti aisee 😂😂
Asalam alaikum sheikh Ramadan kwa kweli mnatufurahisha Allah awaongoze waujuwe ukweli
I have been waiting for part 2
Allah amtie fahamu,amuongoze INSHALLAH
Alhamdullilah I'm proud of Islam
Who invited you here?? Each is proud of what he/she believes .
Mashaallh sheh wangu kuwafahamisha hao wakrst
😂😂😂amakweli Kiama kimekaribia 😢😢. Ndugu zangu Waislamu tuswalini swala tano farazi kama tulivyo amrishwa na Mwenyezi Mungu na swala za Sunna na kutoa sadaka kwa wingi. Tujitahidini kujiweka mbali na mambo ya Kidunia. Tumuombeni Allah atukutanishe Waislamu wote Jannah ( Paradise ) In shaa Allah.
Kweli kabisa. Amiin
Shukran kqaukumbusho
Amiin
🤲🤲🤲
Amiin
Mashallah mashallah mashallah ramadhan kuria bin kaguo,,, umefnya vzr kutuletea part two,, Allah akuhifaz sanaa
Pongezi Ramadhani..zidi tutuzidishia Imani inshallah
Uyu Mzee anakufuru Mungu wa mbinguni Kabisa.. ole
Mungu awasaidie ndugu zetu wakristo haya yote yanaletwa kwa kuamin miujiza yan wakisikia kuna nabii anafanya miujiza basi watu watajazana hapo na ndo mana kila mkristo akitaka kanisa lake lijae basi anakuja na maajabu yake 😢😢😢😢😢😢😢😢
😂😂😂😂😂😂😂😂
Kabisaaa😂😂😂😂😂😂
Miujiza ya Mackenzie alifaulu kuuwa watu shakahola,huyu nae pia mda sii mrefu.
@@maisarah6819 mmmm watu wajifunze kumuamin mwenyezi mungu mmoja na c wanadamu wenzetu nawahurumia sana mana tena wakristo ndo wengi sana dunian hata ukaongea hakuna atakae kusikiliza ila watambue hiyo biblia yangu inasema njia ya mbingun n nyembamba na ya moton n pana na ya mbingun wataingia wachache sana wenye kudharauliwa hapa dunian
Ndacha nimekuona bukavu Mungu akuongezeye maisha marefu
Maashallah shekh ramadhani
Jamani yesu Ali kuwa Mkenya
Mwenyezi Mungu akulipe sana kaka Ramadhani
Anaeamini kwamba uislamu ni din ya hali agonge like
Uisilam ni dini ya majini, waislam wote mtachomwa
@@revocatusmbalazi1697uko na andiko ama unaongea tu?
Uislamu ni dini ya mashetani
Mwisho wa dunia tutayaona mengi Mungu apushie mbali.Hayo majadiliano ni kufuru.
Uhakika
nice conversation.Binadam ni mgumu kuelewa.Hawa watu wajue mahali walipo sio mahali pa kawaida.yesu wa bungoma wambie mambo bado.MIMI pia ninao ufunuo wangu.
Ndacha utakuwa muislamu usikue mbishi 😅,Ramadhan wape daawah ,yesu huyo anajiita ata mtume wetu S.A.W hakusema hivo ,, alhamdulilah
Yesu wa tongereni unachi kiongea unajielewa kweli wakati wako huu wa jutubu dhambi zako na uache kuongea uongo hakuna yesu mweusi ww manabii wote ni waarabu utadanganya hao wapotivu wenzio na ipo siku utaongoka ili ukaokoke na moto wa jahannam am proud to be amuslim Allah❤❤❤❤
The kind of bang that these people smoke in bungoma is on another level
😂😂😂😂
Ujajua Kuna Jonh the Baptist bongoma😂😂
Haha kweli
Wamepata cha Arusha hao
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Alhamdulillah na Allah ambariki sheikh wetu Ramadan
Yaarabiii😂😂,Shkh Ramadhan,sina mbavu leo apo pamechimbika nguo kuchanika 😅😅,watu wote wenye kutazama,wanajua uislam ndio haki,alafu uyo dadaangu apo nyuma 😂😂😂 atamuaribia yesu ,ana hasira kma nyuki😅,we ndacha tokaapo,kwana umechanganyikiwa,hapo nimaji makuu,achia waachie Ramadhan,ndio kiboko,ALLAAHU AKBAR
Hapo ni habari ya yesu si ISSA,huyo anadai kuwa yesu wa bibilia sio issa
@@LovelyComputerChip-cj4wzkweliYesu.wabibliaWapoWenge..nakusurubiwaWamesurubiwakaribuYesuWatatu.kilammojaAnasaa.namdawake.naMavazi.tofauti.Nabii.lSSA.atabaki.nabii.kwawanaWaIzrael
Pastor Ndacha bora uwe muislam maana,hawa wenzako wakristo hawajielewi na watakutoa jasho sana.
May the Lord have mercy upon us.
Mbona huwezi ona muchristo Ana hoji hii maswali waislamu? Tuacheni banana!
@@mwalimukalelijefwa2227 Mungu atunee huruma sana. mchezo umekuwa mwingi. Mungu sio wakufanyiwa utani ndugu. hili ni hatari.
May Allah bless you straight path da'wa
Oh my😮 Islam is the only dini that is not complicated Alhamdulilah.❤❤❤ I am surprised by all this... At least Ndacha hueleweka lakini Tongaren at silabi Moja nimeshindwa kuelewa lenyu jameni😂😂😂😂😂 wueeh😮
Biblia Nuru ya Dunia pastor ndacha be blessed taji lako limeandaliwa kule Mbinguni🙏
Sifa za kuvishwa taji ni zipi
Assalam aleykum. Huyu Yesu wa Tongaren ni jamaa mmoja mkora sana.hao wafuasi wake wote wanamuogopa. hata kwa nyuso zao unawaona kuwa ni mateka tu.inasikitisha sana kuona hawa watu wako ndani ya mtego wa huyu jamaa.these people need to be rescued from the situation they're currently in...these people are manipulated and controlled by this thug, presumably through fear.whenever hao wafuasi wanajibu swali, lazime 'Yesu' aingilie kati ili apige msasa jibu.anakontroli majibu yote.angalia huyo 'malaika Yakobo', hata hana raha, ni kama analazimishwa. hii ni hatari sana.usichoke bro Ramadhan, kumfuatilia huyu mkora...at least hao wafuasi wake kuna wengine nyoyo zao pole pole zinaanza kuingia shaka.jazakallhu khair
Huyu Tapeli conArtist, Sijaabu pia anawalala hawa wakina mama😢
Wote
Kwani ninani hamewabia eti wakubali kundanganywa n mvuta bangi kwani hawasomangi bibilia ama
jazaka-Allah-kher.....Sheik Ramadhan....Mungu akulipe jaza Yako InshAllah
Wacha bwana
Alihamdulilah kwakuwa muislamu
As a Christian today, have grown stronger, i am a true strong believer of God through Jesus.. yaani kumbe hata Quran imesena yesu aliumba ndege akaipatia uhai?.. aiiiii Yesu ni bughaaa ❤
Aliumba kwa idhin ya mungu
Kwa idhini ya Allah i.e Mungu don't leave that part out 😢
Aliumba kwa idhini ya mwenyezi mungu sio nguvu zake
Naam
Kwa sababu zipo aya ktk bibilia n maneno ya mungu na mungu ni mmoja tu nae ni Allah
Akaipa uhai kwa idhini ya mwenyezimungu
Kwani Yesu Ako na spokes lady...wanafahamu zaidi kuliko yesu wa tongaren
Masha Allah Allah akujalie umri uweze kutufunza wengi. Na akujalie sawadi yako ewe jannatul fridos ww Na family yako. Kwanza ugemuliza Uyo yesu. Stakufa Tena Kwa Mara ya pili 😂
Huyu ni mwenda wazimu anajiita yesu
Wakristo ndugu zangu hebu jitahidin kuondoa hizi kufuru maana IPO siku Moja mungu atakasilika vibaya sana kwani hata mchizi kama hao pole sana ndacha
Uyu yesu nihatari. Mungu atupe mwisho muzuri duniya inafika mwesho.
Asante sana maana wengi leo wamejifunza kuusu makristo wa uwongo mathayo 24 saa
10:39
Kwa kweli Mwalimu Ndacha na ustadhi Ramadhani Kurya mnazidi kutufurahisha kwa kuwachokonoa hao jamaa!
Pia shukran kwa Ramadhani kutimiza ombi langu nililowai kuomba kuwa umfikishe Ndacha hapo kwa Yesu wao wa Kenya wapambane..!
Mwalimu ndacha uko na kazi kubwa kweli Mungu akusaidie mtumishi wa Mungu ule fake yesu wa tongareni Eko najivuruka na kujidanganya bure ache kudanganya watu. Yesu wa tongareni tongareni uko natusaidia kujuwa ya kama tunaishi wakati wa Mungu wa mwisho.
Yani chagamoto
Hatari napenda sanna daawa
Namshukuru Allah kunipa neema ya Islam hawa wamechanganyika tu
Allhamdulillah to be a muslim❤
Yaarab Allah wape imani hawa wakristo waingie kwenye dini yenye imani ya Islamic mapasita wanapoteza waumini wallah ina lilah wa ina lilah rajuuni
SHEIKH RAMADHAN UNGEWAACHA TU WAKAFAHAMIANA WENYEWE NDIO ULE UGOMVI WAO NA MTAFARUKI
Ndugu yangu Ramadan Allah akupe kheri kwa kazi nzuri
Inalilah wainailah rajiun muswiba huu kwa yesu wa tongareni😢
Msiba kidogo kwachekesha hapo
Yesu kristo alisema atakuja kwa ajili ya watu wote duniani ama anakuja kenya jameni ,neema bado ipo ww tongoreni mhofu mungu
yesu sio mweusi jaman sio mswahili nomwarabu na mweupè nabii issa
Yesu ni mwarabu😢😢
Yeah ni mweusi Kama wayahudi wengine wa asili na sio wayahudi hawo waliopo Sasa israil
Mtumwa wa waarabu wewe. Huyo jamaa sio yesu lakini na wewe umeliwa... 😂😂
Binadamu ni Mungu aliyepotoka na anastahili kuwacha ubedhuli, ufisadi, unyanyapaa, ulafi na hali zote mbovu ili akiketie kiti chake cha enzi, Yesu wajibu bila uoga wewe ni Mungu kwa sababu umelifahamu hili.Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake kama yesu alikuwa mwana wa mungu Yesu wa Tongaren anamakosa gani kujiita mwana wa mungu na kama sote tujuavyo mwana ni uendelezi wa baba.
Wachungaji wanasema hufahamu bibilia Kama huna roho kitakifu ndiyo hiyo NDACHA sasa ni wewe huna roho kitatifu
Ustadh mchijieni kuku kisha tumuone kama ataweza kufanya miujiza ya Nabii Yesu kufufua kwa amri ya mwenyezi mungu
Huyo jamaaa hapo ramadhani
Aliwaleta hapo ili awaonyeshe wakristo kuwa hawa wanacho kijua
Ndugu ndacha kabla ya Kzaliwa lazima uumbwa Alafu uzaliwe Asante
SUBHANALLAH 😭😭😭
Mungu ni mmoja mwenye nafsi tatu,,,, yaani baba ,roho na mwana,,
Mtoto wa nyoka ni nyoka
Mm pia ni mtoto wa mungu
Bibi ya yesu ako na hasira kweli..
😂😂😂😂😂😂😂😂yuko kwa Periode
@@sylviaecke1772😂😂😂😂😂😂Yuko kwa siku zake za hedhi 😂😂
😂😂😂
Ndacha ubarikiwe sana
Nakupenda sana kwa mafundisho yako kweli mungu azidi kumpa nguvu 🙏
The guy understands his con though 😂
Cjui nicheke au nlie ,,swar n Kaa huyu mzee amegoroka Hawa mabibi zake wao wako Akil timamu kwel kwani wanadhani Jina yesu n mchezo tu😢😢
Ok Yesu alikuwa Mweupe mbone huyu amerudi na amekuwa mweusi na nywele hatumuelewi 😅 , inalilaghi wainaileghi rajiun 😢kiukweli huu msiba .
😂😂😂
Ndio ama hapana wacheni utoto Kwanza (hio Amina mnasema ni jini anaitwa AMINA)