Mkuu kwani hujasoma maandiko ya kwambwa wapo watatu washuhudioa mbinguni...Baba,neno na Roho mtakatifu na hao ni wamoja...1 Yohana 5:8?? Mbona unapingana na maandiko mkuu .. unasema Kuna Mungu na Yesu tu...😢 Nakushukuru maana umenisaidia sana katika kujifunza mengi ila kwa hili la kukataa roho mtakatifu Mungu anipe ufunuo...nitakua tofauti kidogo na wewe..
Pastor Mungu akuzidishie siku za kuishi, tupate elimu zaidi. Wanajaribu kutumia maandiko kupindisha but umenyoosha
Mwenyezi Mungu akuzidishie Mr Ndacha and long life utufundidishe neno la Mungu.
Namkubali ndacha sana ☝️☝️☝️2
Hawa waislam hamumuezi kabisa ndacha big up
Napenda jisi mwalimu Ndacha anavyo jibu maswali
Ubarikiwe 🎉❤
Mungu akubaliki sana
MUNGU AKUBARIKI SANAA Ndacha🙏🏽
Mungu mmoja yahwe mungu yesu mungu lakini mungu mmoja halafu ndio anafundisha msiba
Hiki kizazi ni kama cha nuhu wanapenda mchezo kuriko mungu
Hapo ndacha kwa kufa kwake yesu soma Dan 9:27 na matt 12:40 uone sio Friday ni wed
Wokovu uko kwa siku ya kufa?? Umeshai sikia Good Wednesday au Good Friday? Wokovu wetu ni Kristo kutufia na Kufufuka.Luke24:54
Ndacha Shafi amekumaliza na Kinyagoli amekuzika kabsaa juzi
wewe😂😂😂😂 hujijui kabisa
Namba ya Ndacha niulize swali
Balikiwa sana
Ndacha kiboko yao
AMEN
👊👍✌️.
Ndacha wanakuka vinyonga ao
Ndacha. Wapi. No yasimu. Yako. Kuna. Kitu. Hujui. Kwa. Hio. Mafundisho.
Mkuu kwani hujasoma maandiko ya kwambwa wapo watatu washuhudioa mbinguni...Baba,neno na Roho mtakatifu na hao ni wamoja...1 Yohana 5:8??
Mbona unapingana na maandiko mkuu .. unasema Kuna Mungu na Yesu tu...😢
Nakushukuru maana umenisaidia sana katika kujifunza mengi ila kwa hili la kukataa roho mtakatifu Mungu anipe ufunuo...nitakua tofauti kidogo na wewe..
Yani swali unajibu kwa andiko duuh
Mzaliwa wa kwanza wa VIUMBE wote lakini yeye yesu sio KIUMBE contradiction kama zote khaa
Nyie acheni kukufuru kwa hiyo yule mcheza sinema ndio mnasema kafanana na nani ?
Napenda jisi mwalimu Ndacha anavyo jibu maswali
Napenda jisi mwalimu Ndacha anavyo jibu maswali