Uyo Mrembo Anaeleweka sana, Ni bonge la Mrembo Msomi. Anamatamshi mazuri ya kuvutia, katika lugha Zote mbili! Kwa Kiswahili na kingereza, Sauti yako ni tamu kwenye mtandao wa Tigo, Huwa natamani nipigage simu mda wote niskilizage Sauti yako nzuri. ok Mungu Akuinue zaidi ya hapo.
Interview irudiwe i know the sister mrembo usiye ringa your very talented naona kuna kitu kikubwa waweza kufanya...hata kurudi kwenye Ndege huko...!Be blessed more🎉🎉🎉❤
Hongera sana Mary, nilipata kumfahamu marehemu mzee wako Eng. Paul Chizi alinisaidia sana kuingia kwenye biashara ya consultancies. Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani. Sikuwahi kujua kama aliye tangaza tangazo hilo.
Hizi ndio interview za kuangalia na kujifunza sio kutiletea mahojiano ya nani bwana yake nani, Watanzania tubadilike tutumie mitandao kwa kujifunza mambo mazuri Kama haya kutoka kwa Watanzania wenzetu
Dada hongera sana...mimi naomba kazi ya matangazo. Niliwahi kufanya kazi integrated ilikuwaga pale Morocco. Nilikuwa customer care pia seller's and marketing
❤dah jamni kwanza huna mashauzi huna makucha ya kishetani wanaoweka machangudoa unajiheshim unanidham yakazi so cacophonic joy mungu akujalie nawish nkusilimishe
Hata mimi nimeona hilo anaboa. Yaani unamhoji mtu kwanini akili yako isitulie ukamsikiliza vzr. Halafu kuna muda anashika simu kabisa dada anaona wazi jamaa hamzingatii😏😏😏
Dada umefanikiwa kwa sababu umemuweka mungu mbele nimekuchunguza dada kila ukiongeya unamtaja mungu sana hiyo ndo siri ya mafanikio magu rip alimtaja mungu kila mda
Yote haya mzr yaliyo fanywa na kampuni ya tigo,halafu ana tokea jamaa mmoja anajiita tundu lisu anataka kuichafua kwa muda mfupi huyu mtu hafai ktk maendeleo kwa taifa letu.
Una wazimu ww kwahy malezi bora ni hayoo😅😅😅 au una makasiriko yakoo hata hilo wigi kwa wengn n ushetan hapo vipi km huna hela ya kumtunza mtu tulia ushetan wa nyokwee
Yaaan kuna watu wana hela hafu wa somi hafu wamekaa out of the country, lkn hawana masheuz kama vijitu vingine, kusoma tu kidoho bwebwe kibao,Dear marry MUNGU akuinue zaid ya hapoooo watu kama nyie huwa mnaishi maisha marefu
Millard Ayo mimi ni fan wako na napenda sana nakukuombea always uendelee kufanikiwa lakini shida huyu jamaa sijaangalia interview zake hana urulivu wakuhoji mtu vizuri anakatishakatisha mtu kuongea anashika mic ovyo hafai kufanya interview za aina hii mana out fit yake na anavyobehave kwenye kuongea hafai kwa interview official kama hzo. Kama ni mara ya kwanza ajirekebishe. NOT HATE JUST ADVICE.
Dada Yuko smart , confidence %100 well explanation, anaadabu zote anaonekana mcha Mungu....🔥🔥❤️👏👏👏👏👏👏👏👏👏
afu ni mrembo
Weee
Hakika ..umeona kama mimi 💪🏾
@@denisyohana8104 😀😀🤣🤣 kabisaaaa jicho lako linaona vizuriiii
@@ronaldchambasi7493 kabisaa
Uyo Mrembo Anaeleweka sana, Ni bonge la Mrembo Msomi. Anamatamshi mazuri ya kuvutia, katika lugha Zote mbili! Kwa Kiswahili na kingereza, Sauti yako ni tamu kwenye mtandao wa Tigo, Huwa natamani nipigage simu mda wote niskilizage Sauti yako nzuri. ok Mungu Akuinue zaidi ya hapo.
Njoo mtaan kwetu umuonekabisa ikiwezekan upge nae story Hana majigamboo
Nimekupenda bure wewe dada you are so talented acha upewe maua yako🎉🎉🎉
❤
God first....Dada anamtanguliza Mungu Sana ndio maana anakutangulia❤❤
Interview irudiwe i know the sister mrembo usiye ringa your very talented naona kuna kitu kikubwa waweza kufanya...hata kurudi kwenye Ndege huko...!Be blessed more🎉🎉🎉❤
Haya maojiano angeyafanya kama kikeke hivi au Millard mwenyewe ingekuwa poa sana. Sema mpaka hapo kajitaidi sana big respect ✊
Daah!!! Yaan mama yangu akijibiwa haipatikani, naye anajibu akipatikana mwambiye namtafuta.😆😆😆😆😆
UMETISHA
😂😂😂😂😂
Wenye wivu hawampendi huyu dada.😂😂😂
Mama yako katisha 😅😅😅😅😅
Unafaa kuwa Mtangazaji huko Mbele..nimependa una Hofu ya Mungu na Mungu akubariki sana..Mdogo wangu...Nadhani Tigo wanapaswa kukulipa zaidi
Umejuwaje kati ya ww na yeye nani mkubwa
Communication Skills to the highest level. Hongera Dada
Nimempenda Muhojiwa.... Ana-smile mda wote. Congrats Mary 🎉🎉
Ahsante e😊
Kwaiy na wew ukimpigia mtu sim akiwa hapatikan unajisikia sauti yako 😂😂
Dada Ako na bashasha balaaa , live long my sister , I real enjoy ur voice in tigo customer service , bakari yupo kikazi zaidi , Sura ya KAZI ✌️🌹😻🌹
Dada hongera nimekupenda Bure kwa hicho kipaji ulichonacho
Beautiful with brain❤congratulations 🎊 our girl..keep the sprit burning 🔥 inatia moyo sana kuona unavyobarikiwa kutokana na kipaji chako❤
Amina Nampa Mungu utukufu Kwa Kuni wezesha kwakweli. Kipaji changu kimekuja na faida kubwa saana katika maisha yangu. 😊
@@marychizi3353rubean chizii ni ndugu yako
Kai njema dada. MUNGU akubariki aidi
Kazi njema mno dada. Namuomba MUNGU akuwezeshe zaidi.
Hongera sana dada Mary, Mungu akufanyie wepesi katika kazi yako.
Thank you 😊
@@marychizi3353it's you..?
Sauti nzuri sana. Na akiongea kimombo Maneno yanasikika na kueleweka
Muulizaji aliharbu interview, dada yupo energetic lkn jamaa kapoa alaaa😂😂😂😂
Jamani Sio Muulizaji 😃😃😅😅😂.
Yes!!!! We need people like you, who think globally but act locally. You have not allowed modernity to model with you.❤❤❤❤
Amen ahsante saana 🙏🙏
@@marychizi3353umeolewa???
Hongera sana Mary, nilipata kumfahamu marehemu mzee wako Eng. Paul Chizi alinisaidia sana kuingia kwenye biashara ya consultancies. Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani. Sikuwahi kujua kama aliye tangaza tangazo hilo.
Mwanadamu Bora niyule anae lipa shukrani,,Kwa Dua au Kwa fedha itafute familiar yake...
@@daudimaniseli759ahhahahaah. Usikute yeye ndio hana hela alafu unataka akafanye nn au unataka akajidhalilishe
Hongera sana,.@@damianmodestomuguta5086
Chizi au Chiziii?
Hii ni faida ya kusomesha watoto.
Hongera kwa boss Chizi RIP
Wow,confidence is beauty ❤
Mimi namshukuru Mungu kwa ajili yako, huna majivuno, kiswahili kimenyooka, hongera.
Acha hizo kwani mtu mtu akiongea kingereza ndo dharau bwana kama hujui kingee nyamaza
Ahsante saana ❤
Uyu angeojiwa na millard mwenyewe ingetisha 😮😮 nawakilisha tu🎉
SURE JAMAA KAMA HAKUJIPANGA VILE
Umenena jamaa kapoa saaana
Nilikuwa nawaza kama wewe
😂😂😂
Her English slang is fantastic.. it sound like AI 😊
Thank you very much
Appreciation to you Mary , you are the woman with a lot of confidence.
Thank you very much 🙏
Hongera Sana Mary,kazi nzuri Sana Mungu azidi kukubariki kwa kipaji chako na vingine.
Ahsante saana
@@marychizi3353hongera sana
Hongera wajina huyo dada anajianini kwa anachkifanya anatufundisha tujiamini kwa vipaji vyetu❤🎉
Hongera sana Dada, sura yako inazungumza vingi, Itoshe kusema Mungu akuweke muda mrefu na ufanikishe malengo yako
26:30
Nomaa sanaa 😍
Sisterhood is so proud of you.
Good benefits 0f out education
Thank you 😊
Congratulations
Hizi ndio interview za kuangalia na kujifunza sio kutiletea mahojiano ya nani bwana yake nani, Watanzania tubadilike tutumie mitandao kwa kujifunza mambo mazuri Kama haya kutoka kwa Watanzania wenzetu
Hakika pia imenifunza kitu hii interview
Ubinfsi huo. Kila mtu ana interests zake. Acha kila mmoja apewe nini anapenda as long as sio lazima.
Ha ha ha ha. Umenichekesha ila umesema ukweli.
Dada hongera sana...mimi naomba kazi ya matangazo. Niliwahi kufanya kazi integrated ilikuwaga pale Morocco. Nilikuwa customer care pia seller's and marketing
🎉🎉mauwa yako
MY SISTER YOUR SOUND IT'S BEAUTIFUL AM FROM AUSTRALIA ❤❤
Thank you 😊
❤dah jamni kwanza huna mashauzi huna makucha ya kishetani wanaoweka machangudoa unajiheshim unanidham yakazi so cacophonic joy mungu akujalie nawish nkusilimishe
Wakati huo huo unatumia masimu ya kisherani hujaliii😂😂😂
Uliona shetani kucha zake au 😅nauku ulisimuliwa ili uogope Ku focus ukawa maskini mwenye nyege wivu 😅😅😅
😂😂
@@WallaceWaweru-ob7jzKwan mbona umechukua hivyo??
@@joppagraphix2868simu sio shetan
Very sensive ❤to here to listen i like in totally 🎉🎉keep it up
Thank you 😊
Inatoshaaa kusemaaa Marry umeni push kwa mazungumzooo hayaa MUNGU Akubarikii sanaaa
Amina
Hongera sana dada Mwenyezi Mungu, amekukilimia hicho kipawa. Mungu akupiganie
Hongera sana kwa kipaji chako endelea kubarikiwa na kuinuliwa katika mafanikio makubwa unayofanya mungu ni mwema
Hapa ndo ulimwengu tujue kuwa Mungu umpa atakaye na uamua Kwa nyakati zake mtu awe
Angehojiwa na Mirad ingekuwa bonge la show this man is very serious na huwa kama hajali sana
Kweli kabisa. Huyu jamaa hawezi kabisa kuhoji. Kwanza hata ukaaji wake sio mzuri. Ana hoji kama ana dharau vile.
@@roberttagaya9098anaonekana mvivu mvivu anaboa
Mtangazaji naye yuko Vizuri ana Sauti nzuri
Bakar chijumba yupo poa tu pia
Hana time 😅
Waliojaribu kupiga tena namba za tigo ambazo hazipatikani ili kuskia tena hii sauti like humu.
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Job well done ma sister,Niko Jozi umetuheshimisha huku wazulu wanakufatilia,keep going,may Allah bless,guide n protect u,in shaa Allah
Hahahaha yeah God is good all the time 😊
🌹🍁☘️🥦🥦🥀🌻🌼💐🌺kumbe wewe ndoo ulinifanya nipende tigo be bless my sister
Ndio mimi
Daah wewe dada wewe sikumoja uliniudhi mimi nilizania nachitiwa kumbe cm iko hewani 😂😂😂nilichangamka moyoni kumbe ilikuwa mtandao tu.🤝❤️💯
Asante sana unampenda Mungu ndo maana unapata ushindi victory
Mimi mkenya, na huyu mdada anaweza. ❤
😊😊😊😊 i appreciate that thank you 😊
Anaehoji hayupo focused, Anahangaika alafu hasikilizi kwa kumaanisha, Ila Dada Upo vizuri
huyo kesharidhika na Hela za Mirad Ayo au basi atakuwa anawinda ukuu WA wilaya Huyo...😅😂😂😂so Kwa suti hizo
True
Hata mimi nimeona hilo anaboa. Yaani unamhoji mtu kwanini akili yako isitulie ukamsikiliza vzr. Halafu kuna muda anashika simu kabisa dada anaona wazi jamaa hamzingatii😏😏😏
Yaaaniiiii
Maskini kaonesha sana ushiriano mchangamfu ila mtangazaji sio kabisa
Babu yangu alisema akija mwambie nimempingia😂😂😂😂😂😂nilicheka hatar😊
😂😂😂
Ni mrembo na yuko simple sana no makeup wala nn ❤❤❤
Kabisa urembo bila make up safiiii sanaaaaa
Sanaaa
AYO TV tafuta mike ya kuchomeka kwa nguo hiyo ya kuhamihamisha inasumbua muongeaji
Wahooo nimekupenda ila mtangazaji simuelewi na maswali yake dada yupo vizuri
Mmi mwwnyewe huyu hara simuelewagi
Mtangazaji anapandia panda maneno
The best voice over artist ❤
Thank you
Dada umefanikiwa kwa sababu umemuweka mungu mbele nimekuchunguza dada kila ukiongeya unamtaja mungu sana hiyo ndo siri ya mafanikio magu rip alimtaja mungu kila mda
Uko sahihi nimependa comment yko
Yes
Siyo mungu kipenzi ni MUNGU.... Tena ni MUNGU wa miungu
Angekua kasoma chuo udom ungesikia akisema mimi cjui kiswahili vizuri
Mtangazaji hatulii yani posture yake haiko pow, nimempenda huyo dada
Nimempendaaaa bureee i watch this video almost ninavoingia utube 🥰
Very smart woman katika angle zote. Big up
😊😊thank you very much 🙏
Mary you nailed the interview! Keep going.
Thank you very much 🙏
Kasomea Kwa madiba kakulia Kwa madiba bado anaongea Kiswahili ila ngekua ma Dada wa bongo njooni mjifunze kitu
Wamesoma feza tu apo wanajikutk km wako Harvard 😂😂😂😂
Dah uko sahihi
Upo sahihi
Malizia bongo movie😅😅
@@kodackdeblack7982 huyu ni mtoto wa mzee chizi baba yake alikuwa anafanya kazi serekalini wa kishuwa amesoma kweli south kweli
Akili nyingi sana uyo dada 🎉tatizo ameolewa ningejaribu kumwambia isia zangu juu ya sauti yake ❤
😂😂😂
Dah u nataka kumuoa
@@AlexJohn-pt5sp yes kwani dhambi
Apana si dambi@@Boniphaceshayo5
😊😊😊😊
Mary your so cute and good in voice congrats dear na wala huringi ❤
😊😊😊
Ni hakika sauti yake ni nzuri mno unavumia kuickia inavyo tiririka sikioni,
Hongera yake sana
She is very pretty 😍 anamacho mazuri chukua maua yako🎉🎉❤
Dada sauti yako ni nzuri na unaeleweka vizuri. Jina lako hiyo chizi ndo umenitisha. Ila sauti hiyo ni ya kumtia kichaa mtu. SAUTI YA PEKEE.
Dada mrembo sana hf hata haringi ❤❤❤
Huyu dada Yuko vizuri sana
I wish you good work congratulations
Mashaaalah,namba isopatikana,mdada,
Yote haya mzr yaliyo fanywa na kampuni ya tigo,halafu ana tokea jamaa mmoja anajiita tundu lisu anataka kuichafua kwa muda mfupi huyu mtu hafai ktk maendeleo kwa taifa letu.
Mm nilifikii ni Computer Kwa kweli, Duuuuuue hongera.
Ni Mimi sio computer
Ni Mimi sio computer
My sister your so good be bless🙏 @@marychizi3353
Nmekupenda mama huna pozi kabisa mung akubarik sana.
Mtoto wa kishua lakini Hana mambo ya kishetani hajaweka makucha bandia,kope na vitu vingine ni malezi Bora sana
Una wazimu ww kwahy malezi bora ni hayoo😅😅😅 au una makasiriko yakoo hata hilo wigi kwa wengn n ushetan hapo vipi km huna hela ya kumtunza mtu tulia ushetan wa nyokwee
😂@@MariaDamson-u8r
Umepiga kwenye utosi watu
@@elishajilungu1055 Asante sana
Naona kuna mtu umemkuna hapa!!
Yaaan kuna watu wana hela hafu wa somi hafu wamekaa out of the country, lkn hawana masheuz kama vijitu vingine, kusoma tu kidoho bwebwe kibao,Dear marry MUNGU akuinue zaid ya hapoooo watu kama nyie huwa mnaishi maisha marefu
Amina ahsante
@@marychizi3353nimejivunia wewe sikuwahi kujua au kufikiria kama ni wewe
EBANA FURSA IPO SGR WAPELEKEE VOICE YAKO KIDOGO TUTABURUDIKA
Nitawacheck aaaise kweli itapendeza 😊
Mungu humbariki mtu kipaji mungu akubariki sanaaaaaa🙏
Brilliant sister I love you..........
Anaju kingerza bt anaongea kiswahil fasaha❤❤❤❤
Thanks guys❤
Naipenda sautiyako nitamusana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Familia ya kisomi madam anaongea kisomi sana hana mashauz wala mapozi ya ajabu ajabu
Mchangamfu ila anayemuhoji anaboa
Hongera sana kipenzi ipo vzr mno
Aliyehoji sauti si ya amzing ..ilitakiwa ahojiwe na ayoo
Hongera ❤❤dada
Vikomwe tuko vzuri you're voice 🔥🔥🔥🔥🙌
Kuna aina za makomwe sio yote 😂😂 kuna komwe kama panki la polisi wa kizamani hao hamna kitu
Komwe wote wanajiamini..❤
@@AllyMaya-yj3xd😂😂😂😂
😂😂😂yani ghafla tu umetafuta jinsi ya kuhusiana nae
Wewe mbona unakaanga mihogo!!!! Au kikomwe chako cha sehem gan!!.??.
Serikali imchukue impeleke air 🇹🇿 Tanzania anafaaa sana kama hostes
😂 did you mean serikali imchukue au yeye aichukue serikali?
Nadhani yuko beyond being kwenye hiyo position.
Si amesema amefanya mpaka British Airways
Mbona huyo jamaa anayehoji km anamuogopa huyo dada,maana hatulii kwenye kitu huku anatazamia kwa kuibia km anaona aibu😂
Congratulations 👏🌹 uc tupange tena tuki call tumpate muhusika🤣🤣
Huyu anahoji anaboa sana. Hii interview ni nzuri ila jamaa kaharibu. Yaani mi nafikiri hajasomea hii kazi yaani.
Kabisa Yani hamuachi mtu amalize kuongea kashadakia, mara yupo busy na Simu mi ananiboa kweli
Dada hapendi Sifa kabisa yeye yupo na mungu tu
Uko vizur sister angu mungu akubariki
Mtangazaji umepoa bn ,bora angemhoji Millard nd tungefaid
Umemakinika sana
Upewe maua yako🎉🎉🎉🎉🎉
Waoooh🎉🎉🎉abarikiwe hatamimialiniambiahivo❤❤❤
Hongera dada ngoja tukukete air Tanzania now tuwe na watu wazur zaidi
Be blessed.
ila uache kutuambia tuongeze salio kama hatuna ujiongeze😂😂😂😂😂
Mtangazaji acha upuuzi tabia ya kuchezea simu wakati wa mahojiano haifai
Anahangaika sana na suti yake
Jamaa kazingua sana kama hayuko serious hiv😅
Yan hayupo serious kbs😂😂
hii kweli haijakaa poa
nyie hamjui hizi kazi, anakuwa anasoma masuali
So beautiful so Smart so confident and so intelligence
Sooo overwhelmed by your comment. I highly appreciate it 🙏
Better kuongeza mic nyingine badala ya kuamisha hamisha
Mary dada Mungu akutunze tu somo angu,,,!
Dada upo vizur big up sana👍
Millard Ayo mimi ni fan wako na napenda sana nakukuombea always uendelee kufanikiwa lakini shida huyu jamaa sijaangalia interview zake hana urulivu wakuhoji mtu vizuri anakatishakatisha mtu kuongea anashika mic ovyo hafai kufanya interview za aina hii mana out fit yake na anavyobehave kwenye kuongea hafai kwa interview official kama hzo. Kama ni mara ya kwanza ajirekebishe.
NOT HATE JUST ADVICE.
Beautiful with brain hongera sana❤
Thank you 😊
Dada Mary, sauti yako ni ya kuzungumza na kumwimbia Mungu!!
Amina nafanya ivyo. Namuombia bwana na n