"NALIA NA RPC" ADAI KUTEKWA NA ASKARI NA KUCHUKULIWA MILIONI 19, APEWA ULEMAVU, MAKONDA AMBANA RPC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 487

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 7 หลายเดือนก่อน +28

    Dah, makonda ubarikiwe sana🎉🎉 nchi yetu ni ngumu sana mnyonge hana haki kabisa, Mungu atusimsmie nchi imeoza kila kona

  • @Pips_Lab-v2f
    @Pips_Lab-v2f 7 หลายเดือนก่อน +24

    Hii nchi hii 😢😢 ndio maana MAGUFULI alikuwa mtu wa maamuz yaan ujinga kama huu ni hapo hapo anafanya maamuzi😢😢R.I.P MAGUFULI ILA HONGERA SNA MAKONDA

  • @japhetaverin-ou9rp
    @japhetaverin-ou9rp 7 หลายเดือนก่อน +58

    Huyu makonda ni vile tu hana maamuz angelikua raisi angewanyoosha mafisadi😢😢

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 7 หลายเดือนก่อน +3

      Kabisaaaa

    • @Commentsplus
      @Commentsplus 7 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa

    • @joyce55727
      @joyce55727 7 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa ata mimi nazan angewanyoosha

    • @user-uc8ei8kn3l
      @user-uc8ei8kn3l 7 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli angekuwa Rais angetimuwa hata huyo RPC

    • @batashqiraa9936
      @batashqiraa9936 3 หลายเดือนก่อน

      Hao askari wote ni wajanjawajanja wameshagawana hao hata huyo rpc muongo anamuambiaje huyo mama kuwa kesho afike mahakamani jee kama sio mkutano wa makonda angeambiwa kwenda mahakamani

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 7 หลายเดือนก่อน +18

    Huyu mama asaidiwe kwanza apate hela yake milion 19 ana wtt 7 imagine ingekuwa ni wewe unavaaje kiatu chake
    Mungu msaidie mama huyu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 7 หลายเดือนก่อน +6

      Ni ngumu sana duniani kuna watu ufalme wa Mbinguni watauskia tu unaenda kumdhulumu mama kma huyu unatafuta Lana tu

    • @dullahmmebela5624
      @dullahmmebela5624 7 หลายเดือนก่อน +1

      😢😢😢 maumivu kwa kweli!!!

    • @ThomasMaulid
      @ThomasMaulid 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu mama ni msanii kabisa yeye ndio alimzurumu pesa huyu seleman walikuwa shea kwenye mambo ya machimbo mwisho wasiku akaunza vitu bila kumshilikisha mwanashea mwenzie ambae ndio alikuwa mtoa pesa hata hukienda kule anakotokea wanajua kabisa anasema uongo amezoea kufanya hvyo kwa mwatu unajua ukisikiliza upande mmoja unaweza kuukumu bure

  • @user-eg4hk9pg5o
    @user-eg4hk9pg5o 7 หลายเดือนก่อน +18

    Mweshimiwa Makonda kazi unayofanya tunaiona tunamshukuru sana mama kwa kukuona pia kukupa nafasi hiyo mkuu, Mwenyezi Mungu akutangulie na akulinde akupe afya njema uzidi kututetea wanyonge

    • @faustinedeogratias4337
      @faustinedeogratias4337 7 หลายเดือนก่อน

      Kumbuka rais bado ni but, kias kwamba hata makonda nae anaishia kuibua tu

  • @jacklinakinabo6479
    @jacklinakinabo6479 7 หลายเดือนก่อน +21

    Duuh hii nchi ngumu sana aiseee,...kama huna ela imekula kwako

  • @stellajoseph9334
    @stellajoseph9334 7 หลายเดือนก่อน +36

    Huyu mama apewe ulinzi, pamoja na kutafuta haki yake

    • @ThomasMaulid
      @ThomasMaulid 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu mama ni mtu mbaya sana yani hapo analia bure tu yeye ndio tapeli

  • @clyvanboss
    @clyvanboss 7 หลายเดือนก่อน +17

    Aiseee raia wa tanzania wanateseka Sana daaaaa😢😢😢

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 7 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda 🤝❤❤🎉 Chapa kazi najuwa lau ungelikuwa na uwezo wa kutimbua hizo shida zingelikwisha kitambo. Bt kwa sasa upo sawa mwenezi. BigUp❤❤🎉

  • @samsonpaschal5044
    @samsonpaschal5044 7 หลายเดือนก่อน +7

    @Paul Christian Makonda, hongera Poti kwa kuibua madudu mikoani, kwa kweli chama CCM kina kazi sana cha kutatua matatizo ya wanyonge... Da

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 7 หลายเดือนก่อน +38

    Aisee kwa kweli mimi sina imani na nchi hii serikali yetu ime tufanya wananchi mbwa sisi 😢😢😢

  • @mohamedmahmudali9346
    @mohamedmahmudali9346 7 หลายเดือนก่อน +5

    mungu atakusimamia ,zaidi hongera sana Kwa kuweza kujielezea 💪

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc 7 หลายเดือนก่อน +4

    Samia suluhu hasan makonda safii mungu awasaidie sana

  • @Don_Saleh_
    @Don_Saleh_ 7 หลายเดือนก่อน +14

    Wengi tuna mengi tuna tamani kupata nafasi km hii yakuongea sehem tutakayo sikilizwa km hv.

    • @khadijachacha3156
      @khadijachacha3156 7 หลายเดือนก่อน +4

      Uyu makonda anafaa kua rais sababu anasikiliza kesi za watu na watu wanapenda mtu anae sikiliza matatizo ya wananchi uyu tumpe kura tumchague sio rais samia anazidisha utitiri wa maisha magumu rishwa nyingi sana mavamizi kwenye nyumba zawatu imekua hatar

    • @Don_Saleh_
      @Don_Saleh_ 7 หลายเดือนก่อน

      @@khadijachacha3156 sawa nakubali makonda kura yng anayo lkn kwa ss hv ingetafutwa njia ya watu kuzifikisha sauti zetu kwa wakubwa maana ni wengi wanamengi yakusema ambayo yanaweza hata wakubwa kutushukuru wakaliendesha Jiji kwa ukamilifu km raisi magufuli alivyokuwa akiwapata watu waajabu jijini .

  • @user-cd6th7kc4k
    @user-cd6th7kc4k 7 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu akulinde mkuu wapo wengi wanakasilika unayofanya ila naomba mungu akupe ulinzi wake

    • @FatumaMadende
      @FatumaMadende 29 วันที่ผ่านมา

      Mh makonda kama uko hai naomba uje tanga kaka

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 7 หลายเดือนก่อน +6

    Wallah watu wanadhambi duniani hapa tenawanake ndio roho mbaya zaidi mkuu msaidie huyo mama

  • @saimonpastory866
    @saimonpastory866 7 หลายเดือนก่อน +1

    Makondaa nakukubali sanaa mungu akulindee sanaaa na utafikaa mbalii sanaaa

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 7 หลายเดือนก่อน +12

    Mimi nimekosa Cha kuandika zaidi ya kutokwa😭😭😭😭😭

  • @clemencemarcelli3365
    @clemencemarcelli3365 7 หลายเดือนก่อน +10

    Hii nchi inatakiwa iendeshwe kijeshi

  • @user-wi3ml4lg5b
    @user-wi3ml4lg5b 7 หลายเดือนก่อน +5

    M/Mungu mlinde Mh Makonda.

  • @ISMAILNASHON-zh3sg
    @ISMAILNASHON-zh3sg 7 หลายเดือนก่อน +40

    Ndugu makonda tunaona jitihasa zako za kusaidia na kutatua kero za wananchi lakini, nafasi uliyonayo inakubana kutoa maamzi ikiwa ni pamoja na kuwapunguza viongozi wasiotenda haki," tunaomba ugombee nafasi kubwa mpumzishe mama mziki huu hauwezi::: Kama TANESCO wanatutesa sana aise," wanadai tufanye kazi nchi iwe na maendeleo je, hayo maendeleo yatatoka wapi wakati mda wa kufanya kazi wanakata umeme????? Tunaomba utusaidie

    • @maniamba.tz_
      @maniamba.tz_ 7 หลายเดือนก่อน +5

      Nafasi aliyo pangiwa na Mwenyezi Mungu kwa sasa ni iyo mengine Dua inatakiwa

    • @kilianikiliani
      @kilianikiliani 7 หลายเดือนก่อน

      a1

    • @addomapunda957
      @addomapunda957 7 หลายเดือนก่อน

      Kaka makonda vilii ivyo vitendee kazi

    • @rogerstemu
      @rogerstemu 7 หลายเดือนก่อน

      Daah! Kweli baazi ya watanzania wanateseka na kuzulumiwa, Makonda wasaidiee😭😭

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nacheka huku nasikitika jaman mama Samia unaona mambo hayo mambo mapya kabisa Sasa naanza kukupenda MAKONDA mungu akulinde. Ila watu wanakilio jaman Sasa MAKONDA mbona umesahau yule mme ametekwa umelimalizaje

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 7 หลายเดือนก่อน +3

    Yuko wapi mtetezi wao wananchi hawa?. Mungu mkuu aturehemu. Amen.

  • @lovemusicnoreen9185
    @lovemusicnoreen9185 7 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaa Mwenezi wetu ishi sana MUNGU AKULINDE SANA KAKA

  • @karloladislaus45
    @karloladislaus45 7 หลายเดือนก่อน +3

    CCM Hoyeee.... Endeleeni kumalizana huku mkisema mna serikali ya kutetea wanyonge huku wanyonge wenyewe wakinyongwa.

  • @aidaharuna5549
    @aidaharuna5549 7 หลายเดือนก่อน +4

    Ila maombi tunayo omba kila siku iko siku Mungu atatusaidia

  • @EmmanuelMwanza-ef9bf
    @EmmanuelMwanza-ef9bf 7 หลายเดือนก่อน +2

    Yani hadi saivi nimebaki mdomo wazi jmn kunawatu wanateseka sana dah😢😢 siwezi kumuamini kiongoz yoyte hapa dunian mm

  • @newforcejv9721
    @newforcejv9721 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mama yuko wazi mno na RPC Kajieleza vyema mno na mama Kaongea hiliyo kweli basi kusikilizwe kote

  • @TumusifuJackson
    @TumusifuJackson 7 หลายเดือนก่อน +2

    Dada angu Africa inafahamika kuwa mapolici niwezi mbona mambo hayo yalitutokea maranyingitu mapolici niwahuni basi siwabadirike rabda selekali hamuwapi mishahara twambieni tujue Moja.

  • @SikujuaEmmanuel-fj4mg
    @SikujuaEmmanuel-fj4mg หลายเดือนก่อน

    Du !!!Mungu atusaidie wanyonge tunaonewa ,,mweshimiwa msaidie huyu mama,

  • @phoebembwambo2763
    @phoebembwambo2763 หลายเดือนก่อน

    ❤❤Rais ajayeeeeeeeee

  • @treasureandme1703
    @treasureandme1703 17 วันที่ผ่านมา

    Mzimu wa mtetezi wa wanyonge wa Magufuli upo ndani yako, Mungu akulinde na wabaya wachache wasiopenda haki

  • @deusntobi6682
    @deusntobi6682 7 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa kweli makonda Mungu akusamehe mno kwa yote ambayo pengine ulikosea kipindi chako cha utumishi wako kwa mkoa wa dar.kupitia haya unayoyafanya Mungu anakuona ndugu makonda hakika unakitu na mungu anamakusudi na wewe

  • @Abdul-rn5zj
    @Abdul-rn5zj 7 หลายเดือนก่อน +2

    hakimu wa kweli ni mungu

    • @rahmahasan32
      @rahmahasan32 6 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

  • @user-ju5xi2jm7w
    @user-ju5xi2jm7w 7 หลายเดือนก่อน +2

    Daa inauma sana uyu Mama anatia uruma sana Mh Makonda msaidie na Mungu akubarik sana

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 6 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda nakuomba siku zijazo ugombee uraisi from From Congo to Sweden.

  • @luzigakapande6921
    @luzigakapande6921 7 หลายเดือนก่อน +2

    Marapisi wote nchini wote watalowe wote hawafai wote

  • @patricemapike9244
    @patricemapike9244 หลายเดือนก่อน

    Sasa makonda kwa nini watu ni wanyama kiyasi icho 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 jamani kaka yangu unakazi ngumu saaaana Mungu akupe ulinzi kabisaaa ju mwanadamu hataweza

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 7 หลายเดือนก่อน

    Haki ya Mungu Mh Makonda unafanya kazi ngumu sana ambayo kama chama kingekuwa kinasimamia hayo hakuna wa kuwapinga ila wasiwasi wangu usijekuwa unafamya hayo wengi hawayapendi kaka kwenye chama
    Natamamani viongozi wote wangefanya kama ulivyo tungefika mbali sana kama nchi

    • @johnkmjema9727
      @johnkmjema9727 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe subir kijacho, kama ni kweli! Utanijibu wakat fulani

  • @user-du1jm9cw5z
    @user-du1jm9cw5z 7 หลายเดือนก่อน

    Kwa kwer japo magufur katutangulia we nae unajitaid mh makonda mungu hakulinde so majeshi yetu ya hakiba tuombee kwa mama fursa nakusaminika kwan Nas tuko vizur ❤

  • @user-wy4fv9vd7w
    @user-wy4fv9vd7w 6 หลายเดือนก่อน +1

    jaman hii nchiii duuuh

  • @FrediMolell-ql9sg
    @FrediMolell-ql9sg 3 หลายเดือนก่อน

    Pole san mam mungu akusaidie

  • @user-nr4tc5co2t
    @user-nr4tc5co2t 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki baba makonda ni Mimi aruni kutoka kongo❤

  • @abushirissa-pc5lq
    @abushirissa-pc5lq 7 หลายเดือนก่อน +9

    Ifike wakati viongozi wetu waone aibu wa Tanzania wanaishi kwa shida, hali nchi yetu ina watu wana hali ngumu sana...bado mali zote za nchi za kwenu na mnakuwa wakatili kwa wananchi.hivi hii nchi ni ya wenye vyeo tu au?...mbona nchi zilizo endelea wanajali raia wao?...TZ mwenye cheo anaweza kumpiga na kumzalilisha mwananchi.😭😭😭😭😭

  • @georgewambura7695
    @georgewambura7695 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii nchi basi tu wananchi wake tunaonewa sana

  • @user-pi5rz5hp2t
    @user-pi5rz5hp2t 7 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢😢

  • @SamwelFreddy
    @SamwelFreddy หลายเดือนก่อน

    Pole sana mam

  • @EmmanuelNdahya-ud5nj
    @EmmanuelNdahya-ud5nj 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mama kama hao wapeninmadaraka wanyooshe nchi sio madigriii TU hata sisi wa chini tunaweza na nchi inapotea Kwa watu wachache

  • @user-mp4lf4ji8k
    @user-mp4lf4ji8k 7 หลายเดือนก่อน +2

    Magufuli karudi tena hahaha mji unakazi❤❤❤

  • @ngatatv1365
    @ngatatv1365 3 หลายเดือนก่อน

    Ni sawa kutoa shida zetu lakini kulia basi naombeni tupunguze😢

  • @donkingtraders692
    @donkingtraders692 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda m.mungu akutangulie na jitihada zako pambana kaka ...

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe utapeli si tu kwa wale wanaotuma meseji hadi viongozi serikalini wanaotakiwa kulinda raia ndo weziiiii matapeli balaaaa... Mungu atawahukumu na muandae majibu ya kumpa Mungu maana si kwa dhuluma hii

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe kunawatu wanateseka kiasi hiko taifa hili ? Nadhani viongozi wetu sio viongozi sahihi kbsa.....

  • @AgastaKitema-dl1fz
    @AgastaKitema-dl1fz 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde Makonda

  • @user-xn1ly2yx7j
    @user-xn1ly2yx7j 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mheshimiwa Makonda Mateso ya raia wako kweli hao watumishi wa serikali kwa kweli ni waongo .Mheshimiwa Makonda msaidieni huyo Mama.nafutilia sana ujumbe toka nje ya tz.

  • @FatumaShaban-g7g
    @FatumaShaban-g7g หลายเดือนก่อน

    Poleeeee

  • @PetroEliakimu
    @PetroEliakimu 5 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada yangu

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye Hii Nchii Sisi Wanyonge Tupo Mashakani Sana Yani Police Wanajaalibu Kumzungusha Mumy wa Watu Roho Inaniuma Sana Mpka Machozi Yamenitoka

  • @Billsvanegas
    @Billsvanegas 5 หลายเดือนก่อน

    Tanks

  • @user-dh7ne4qd3e
    @user-dh7ne4qd3e 14 วันที่ผ่านมา

    Duu!! Watanzania mnakumbuka kauli ya rais Magufuli??? Tutamkumbuka!! Haya mmeona Madudu yanayojitokeza? Hakuna haki kabisa.😢😢😢😢 .

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 7 หลายเดือนก่อน +1

    Imagine Kuna watu wapo jela kwa kesi za kusingiziwa ,miaka 20 wengine 30 wengine 10 wee imagine tu hali zao

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 7 หลายเดือนก่อน +2

    Uchaguzi ukipita mateso yanaendelea😊

  • @Matimila_Boy
    @Matimila_Boy 6 หลายเดือนก่อน

    Sio shabiki wa siasa ila unachofanya makonda aisee Mungu akubariki

  • @YonaKikoti
    @YonaKikoti หลายเดือนก่อน

    Mkopo wangu

  • @user-lx2yc8tj5h
    @user-lx2yc8tj5h 7 หลายเดือนก่อน +1

    Point mama

  • @Kim-xr1yw
    @Kim-xr1yw 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde baba

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 7 หลายเดือนก่อน +3

    Harafu MTU anakwambia CCM oyeeeeeeee 😃 watu wanateseka hivi

  • @JeremiasikilianiJeremiasikilia
    @JeremiasikilianiJeremiasikilia 5 หลายเดือนก่อน

    It is very sad for something like that 😢

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 7 หลายเดือนก่อน +2

    Police wakishaona hela tu basi ujue huzipati ng'o, nikikumbuka walivyo nichukulia elfu 18 yangu 😂😂😂 nabakigi nacheka tu

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wote ni wanafki tu na wamepanga tu maccm wote ni washenzi tu amni hata huyu mama ni muongo tu amni na makonda mungu anakuona tu na ushenzi wenu huu munapanga huyu mama namjua vizur sana

    • @grolyqueen5833
      @grolyqueen5833 7 หลายเดือนก่อน

      Nikweli ila omba yasikukute ata Kwa ndugu yako yoyote😢😢

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 7 หลายเดือนก่อน

      Unasema kweli?? Kwamba wanatupiga changa la macho

  • @saidiasanga1337
    @saidiasanga1337 7 หลายเดือนก่อน

    Inauma sana

  • @RodricTofir
    @RodricTofir 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani makonda upo vizuri sana natamani uwe rais ufanye maamuzi ya juu sana

  • @johnsonjoseph6544
    @johnsonjoseph6544 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hii serikali ya ccm ina madudu sana mbna wanapindisha mambo sana

  • @honoratamafala6968
    @honoratamafala6968 7 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani,tunaposema nchi ina amani,muone watu wanavyoteswa .amani ina mapana ukiacha vita.haki za watu jamani.

  • @JanabyOfficial-wk1mv
    @JanabyOfficial-wk1mv 2 หลายเดือนก่อน

    Aaaah

  • @barakakevela245
    @barakakevela245 7 หลายเดือนก่อน +3

    KAKA NIMEANZA KUKUELEWA KUNA MIJITU YA HOVYO SANA KATIKA NCHI HII, HUYO RPC ANAONGEA KIJINGA SANA

    • @adudeswalehe8724
      @adudeswalehe8724 7 หลายเดือนก่อน

      mimi najiuliza alipewaje u rpc

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 7 หลายเดือนก่อน +2

    Matatizo ni mengi,yanayokufikia mheshimiwa ni robo tu 😭

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo RPC wa Shinyanga atumbuliwe kabisaaa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akyoe nguvu sanaaaa umeifufua ccm

  • @FridaMmari
    @FridaMmari 7 หลายเดือนก่อน +1

    Walitaka kumua mama wawatu kwa hela yake

  • @navicsaimon3141
    @navicsaimon3141 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hiii nchi Hawa wasenge wanaonaga hawatakufa Haina noumaaaaaaa mbwa nyiee😢😢😢

  • @zombokoyassin-li8sd
    @zombokoyassin-li8sd 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda hatari mungu akulinde sana

  • @IsakSasi-tf9sr
    @IsakSasi-tf9sr 4 หลายเดือนก่อน

    pole.sana.mama.hii.ndio.tanzania

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hii dunia wengi wame kufa kwaajiri ya kutetea haki zao

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 7 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini hakuna machozi isipokua kujifanyisha. Hapo sisemi kua hajayapitia.

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 7 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa kiongozi wa chama ndo awawajibishe viongozi?CCM na mifumo Yao haifai

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 7 หลายเดือนก่อน

    Watching from Capetown 😢😢😢😢

  • @emanuelshayayi54
    @emanuelshayayi54 7 หลายเดือนก่อน

    Nchi hii jamani.Mungu amuongeze Mh.Rais na atusaidie wanyonge.

  • @abemintv4829
    @abemintv4829 7 หลายเดือนก่อน +1

    Dada angu kateseka sana ifike hatua apewe haki yake sasa kafanya kazi kwenye mazingira magumu sana mgodini pale alikuwa mwanamke pekee Mwenye uthubutu wa kumiliki wachimbaji na maduara kama Saba lakini Leo anatokea mtu anataka kumpokonya haki yake hii haikubariki kabisa aisee

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 7 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢 Mungu wangu 🙆‍♀️kusema kweli zulma zipe wanyonge wana wana teseka 😢

  • @HancyCharles-f1f
    @HancyCharles-f1f 20 วันที่ผ่านมา

    Huyo afande achukuliwe hatua au kifungu namba 322

  • @sarahfesto8411
    @sarahfesto8411 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka yangu M .mimi binafsi nakupenda sana , ila nakuomba achana na hizi kesi , washughulikie wakuuu wamajuu, hatutaki sisi tukupoteze, 😢 naogopa jamani.

  • @africanbeauty6556
    @africanbeauty6556 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ohoo jamani dada Tanzania inakuwa ya kuteka na kuteswa 😢😢Nini hii?

  • @JumaNjiku-df1fd
    @JumaNjiku-df1fd 7 หลายเดือนก่อน

    Hivi chama tawala na serikali yake kwa madudu haya, watatuambia wana sababu gani kutuomba kura zetu? Kwa madudu haya wanajivua nguo! We Tanzanians need to uproot the root through people's power! ......Hoyeh! Ina uhalali gani?!

  • @othmanmasilamba3844
    @othmanmasilamba3844 7 หลายเดือนก่อน

    Bibi mungu akusaidie

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo hamna kitu huyo Kamanda hamna kitu hapo dhulumati imezidi sanaaaa pia longolongo nyingi

  • @Ariisinemax
    @Ariisinemax 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda nakutazama Sana kutoka turkana Kenya,,,nimefurahia zaidi

  • @EdwardMghuna-rg8rx
    @EdwardMghuna-rg8rx 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde makonda

  • @RestutaJosephat
    @RestutaJosephat 2 หลายเดือนก่อน

    Leo

  • @user-cd4ng3pr2z
    @user-cd4ng3pr2z 7 หลายเดือนก่อน

    Mhmm,,kumbe makonda,umejivisha mabom,,yn umejitoa muhanga,,Mungu akulinde,,