IGP ashindwa kujizuia APIGA SIMU, tatu nzito za RPC Shinyanga zitakutoa machozi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 742

  • @josephinmwanibanza6001
    @josephinmwanibanza6001 6 หลายเดือนก่อน +10

    Mh: Paul Makonda kazi yako ni nzuri binafsi kwanamna unavyosikiliza shida za wananchi na kuzitatua najikuta machozi yananitoka. Amini kwamba MUNGU amekuamini na amekuchagua kupitia Mh: Raisi Samia. Tunakuombea huyo MUNGU akuongoze, akulinde na akukinge na mabaya yote Amina

  • @omarymgovano7209
    @omarymgovano7209 6 หลายเดือนก่อน +18

    Kwakweli mama Rais wetu samia kitendo cha kumpa nafasi mheshimiwa makonda, binafsi nakupongeza sana yan kama ingekua timu ya mpira ningesema umefanya super sub, hongera sana mama yetu mungu akulinde na uendelee kutuongoza mhula ujao InshaaAllah

    • @abrahmanmussa1384
      @abrahmanmussa1384 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu akulinde Makonda kazi ipo baada jpm kufariki kunamadudu yaajabu nduguyangu pita kijiji kwa kijiji tena si kwasiku moja japo ukae siku mbili mbili kwa faida ya wanakijiji

    • @user-jd8zh7zs2h
      @user-jd8zh7zs2h 6 หลายเดือนก่อน

      Pole mwenezi kazi yako ngumu Sana mungu akutunze

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 2 หลายเดือนก่อน

      Wakiona anafanya vizuri ananyendo Kama zamagufuri watamtowa

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 6 หลายเดือนก่อน +20

    Asante Sana Makonda Kwa Kukiumbua Chama Chako Kwa Maovu Serikali Yao Isivyowatendea Haki Wananchi.

    • @ramsonramadhan4156
      @ramsonramadhan4156 6 หลายเดือนก่อน

      Dah umetumia Akili ndogo sana kusema ayo ila Rpc ni binadamu pengine wala sio ccm..ila kila watu wana roho zao Mm sikuwa namkubali san Makonda ila sasa naanza kumuelewa kumbe kuna madudu mengi yanajificha kwa vyeo ila huyu kaka anafanya vitu vyengine vinaelekea

    • @usafiaps318
      @usafiaps318 6 หลายเดือนก่อน +2

      @@ramsonramadhan4156 Bro Rudia Kusoma Na Kuelewa Kilicho Andikwa!!!!

    • @wamburasungura6812
      @wamburasungura6812 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@ramsonramadhan4156makonda anakiumbua chama chake kwamba hakisimamii haki za wananchi kimeshindwa kutoa haki za watu

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 6 หลายเดือนก่อน +11

    Mashallah magufur mtetezi wa wanyonge sasa kapatikana mwenyez mungu akubariki baba😭

  • @hashimrweabula9
    @hashimrweabula9 หลายเดือนก่อน +2

    HAO makamanda mbn wanaangusha jesh wasukumwe ndanii tuuuu mashaka matupuuu daaah safii makondaa

    • @Ahmed-g2b
      @Ahmed-g2b หลายเดือนก่อน

      wamemtoa kafara

  • @user-jb2vp8rt7z
    @user-jb2vp8rt7z 6 หลายเดือนก่อน +13

    Mungu akulinde mimi nakufahamu toka ulipokua Mkuu wa Mkoa wa Dar

  • @EliufooElias-qy7iw
    @EliufooElias-qy7iw 6 หลายเดือนก่อน +26

    Hii Kazi aliyo ianzisha Makonda ni nzito sana😢

    • @KiongoziMwandamizi
      @KiongoziMwandamizi 6 หลายเดือนก่อน +2

      Ndio maana inabd aongezewe ulinzi

    • @jazeerajuma5014
      @jazeerajuma5014 2 หลายเดือนก่อน

      Ninzuri coz wanyonge wanaonyabyasika wanapata haki yake

    • @KidawaRashid26
      @KidawaRashid26 22 วันที่ผ่านมา

      Makonda njoo nahuku daar utusaidie angalia coment zetu

  • @graceannah8452
    @graceannah8452 6 หลายเดือนก่อน +14

    Mwenyezi Mungu akulinde makonda kaka yangu

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba หลายเดือนก่อน +1

    "Ndugu yangu Mungu amekuleta naomba unitendee haki"
    Watu wanadhulumiwa sana na hawa wenzetu walioko kwenye mamlaka, Mungu iokoe Tanzania na Africa kwa ujumla dhidi ya wale wote uliowapa dhamana ya uongozi na kuitumia kwa kuwanyonya na kuwakandamiza wanyonge kwa maslahi yao binafsi

  • @brunonsungwe8389
    @brunonsungwe8389 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dah Mungu akulinde Mweshimiwa Makonda. Rais Samia Asante sana kwa kumleta makonda

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 หลายเดือนก่อน +18

    MAGUFULIIIIIIIIIIIIIIIEEEEEEEEEEEE, HUKO ULIKOLALA BABA SIMAMA.

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 6 หลายเดือนก่อน

      Mbona hata enzi zake yalikuwepo

    • @AsiyaahamzaHassan
      @AsiyaahamzaHassan 2 หลายเดือนก่อน

      Akisimama ww utalala

  • @user-mt3jc6no5w
    @user-mt3jc6no5w 5 หลายเดือนก่อน +5

    Nimeota makoda kawa Rais wa Tanzania ❤

  • @ilambonamahuba3485
    @ilambonamahuba3485 6 หลายเดือนก่อน +2

    Up up comrade Makonda wananchi wanachangamoto nyingi sana unafanya ibada unapokuwa unatatua shida za wananchi.

  • @sulemanmndeme8961
    @sulemanmndeme8961 6 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda CCM.
    Napenda pia viongozi km Makonda.
    Ila ktk ziara zake, kuwe na watu maalum wa kuchukua taarifa zikafanyiwe mchakato na hatua za dhinamu zichukuliwe juu yao.
    Tunanyanyasika sana.

  • @AbdulrahmaniRomani
    @AbdulrahmaniRomani 26 วันที่ผ่านมา

    Mh/makonda hongera sana M/mungu akuongoze

  • @user-et7tm2or5d
    @user-et7tm2or5d 5 หลายเดือนก่อน

    Rps pole kwa kashi kashi ila pambania wananchi hao ndio waliokuweka hapo japo nimeona unapambana mungu akubariki pia mr.paul makonda my br. Unafanya kazi kubwa sana

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 6 หลายเดือนก่อน +17

    Makonda makonda makondaaaa mungu akubarikiii tusaidie kaka

  • @boazmaobe7245
    @boazmaobe7245 6 หลายเดือนก่อน +3

    Big up makonda mungu akulipe mara dufu

  • @user-qk9iz5lt8q
    @user-qk9iz5lt8q 2 หลายเดือนก่อน +2

    Majambazi ndio viongozi na polilisi! Kuna usalama? Mungu aingilie kati kuiokoa nchi hii itoke mikonononi mwa ccm

  • @majidfrolian4904
    @majidfrolian4904 6 หลายเดือนก่อน +16

    R. I. P Magufuli wetu tunakukumbuka sana baba yetu 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏

    • @aminaabdalla9949
      @aminaabdalla9949 6 หลายเดือนก่อน

      naonakm nimemuona tena magufuli makonda hongerayake

  • @estameryngogo594
    @estameryngogo594 6 หลายเดือนก่อน +4

    Makonda Mungu akubariki na akulinde Sana.

  • @Nagelleislamictv
    @Nagelleislamictv หลายเดือนก่อน

    Nampenda sana mheshimiwa John makonda Mungu akupee umri mrefu sijawai ona mtu kama wewe ana angalia raia yake

  • @BabySecond
    @BabySecond 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jaman wa Tanzania wanyonge tunamengi mazito tunakosa pakuyatolea tukipata fursa km hizi tunaongea kwa uchungu sn mungu aendelee kukututuea

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 6 หลายเดือนก่อน +10

    Kazi ya utawala ngumu sana has aAfrica ambapo hatujui kutawala ndiyo maana kila sehmu kirio utafikili hatuna wakuu wa mikoa, hatuna wakuu wa wilaya, hatuna ma RPC, wala Ma OCD maana wote wanakaa ofisini tu kusubili madili badala ya kushughulika na matatizo ya wananchi.

    • @richardsuluta3369
      @richardsuluta3369 6 หลายเดือนก่อน

      M

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน +2

      Inasikitisha sana 😭😭😭, watu wanapoteaje kienyeji hivi??? Huyo rpc anadai hamjui seriously???? Hapo shinyanga kuna shida sana.
      Mpaka makonda aende ndo tuyasikie haya na hawa waandishi WA habari wamekalia uchawa Kwa CCM Tu, habari kama hizi Kwa nini hawazifuatilii??? So sad 😭

    • @jackplaymacheku3021
      @jackplaymacheku3021 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa brother yani hawajui wajibu wao inauma sana na utashangaa lingne mshahara ukicheleweshwa linalamika n wakat kazi halifanyi kama linavyozingatia mshahara n madili

  • @novatht8377
    @novatht8377 6 หลายเดือนก่อน +22

    Kweli watanzania Bora tuwe na vita kuliko kusema tuna amani watanzania tunashida nyingi sana na manyanyaso mengi sana mpaka nimetoa chozi😢

    • @saadyusuph6554
      @saadyusuph6554 6 หลายเดือนก่อน +1

      Inauma Sana kwa jeshi letu

    • @salehwaziri5062
      @salehwaziri5062 6 หลายเดือนก่อน

      Ukosahihi

    • @allymohamed6265
      @allymohamed6265 6 หลายเดือนก่อน +4

      We vita unaijua au unaisikia ? Acha huo upuuzi. We la kuomba ni watu kujitahid kutenda haki na kuacha manyannyaso kwa haki za raia

    • @novatht8377
      @novatht8377 6 หลายเดือนก่อน

      @@allymohamed6265 wewe ulishawahi kuiona au unafikilia watu wanavyoishi na kufanyiwa unyama w namna hiyo unahisi n furaha

    • @solomoneglesias9752
      @solomoneglesias9752 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@allymohamed6265huna kile unachokijua,, jambo lolote gumu hutatuliwa kwa damu👀👀

  • @evodiuskalema2123
    @evodiuskalema2123 6 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu mwamba tulilkosa, lkn mama tunakushukuru saaana kwa kumuibua Tena Huyu jamaa ❤❤❤❤

  • @bahatigewa4163
    @bahatigewa4163 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nakuita "Dume la madume" sikuiti makonda hakika wewe umeshushwa na mungu kama mtetezi wa watanzania wote, mungu akujalie maisha marefu na akulinde dhidi ya maadui.

  • @dennishyera5448
    @dennishyera5448 6 หลายเดือนก่อน +5

    Duu wanyonge tunakalia moto. Ila kuwateka watu kwasababu ya uwezo mlio não sio sawa. Mkistaafu mnajifanya wacha Mungu.

  • @user-fr6rv2yb4s
    @user-fr6rv2yb4s 5 หลายเดือนก่อน

    Honestly Tanzania is a wonderful country. President Maghufuli had set a great precedence and I'm very happy to see Mama Samia continuing with the same legacy, and she gave it to the right person Mr Makonda. I'm sure Mr Makonda is the next future president in waiting

  • @doricedeluxe9486
    @doricedeluxe9486 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hapo makonda namm leo nimekupenda 🎉

  • @AlexAlex-kf1eg
    @AlexAlex-kf1eg 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mama samia kwakuturudishia mtetezi huyu wa sisi wanyonge ni juhudizako mama ❤

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika makonda nakupongeza ila unakazi ngumu mno na hutaimaliza lakin kwa jitihada yako kwq wananchi inshaalla utapoishiya hatutakilaumu mungu akulinde kaka
    Yani aibu nchi imekuwa kqma haina watendaji huko mitaani hatari AGP wambura fika fika mitaanihuko usisubiri uadhirike kamanda

  • @Msilu198
    @Msilu198 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mh Mwenezi wa chama tawala nchi imeoza saidia watu wa Mungu

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 2 วันที่ผ่านมา

    Tumefikaje hapo kisiwa cha amani leo ni kilio kila mahali tumekosea wapi jamani ee mungu tusamehe kweli kupotea mwanadamu inauma bola azikwe utalia na kufalijika

  • @user-od6ro8oj4k
    @user-od6ro8oj4k 6 หลายเดือนก่อน

    Nakuombea Afya njema na kazi yako maana hapo mungu akulinde mdogo wangu

  • @jalaryababilasi1562
    @jalaryababilasi1562 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nasikiliza tu Ila watu Wana shida kubwa Sana cha kushangaza sasa bdo CCM inashinda Jaman yatubasa kupambania haki zetu tuandamane na tukubali kuitupilia mbali hii serikali

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 6 หลายเดือนก่อน

    Igp angalia haki ya Watanzania. Simamia vijana wako. Asante. Mungu mkuu akupe hekima katika yote. Amen.

  • @josephinmwanibanza6001
    @josephinmwanibanza6001 6 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Paul Makonda Mungu akuongoze na akulinde 🙌❤

  • @pacoraban55
    @pacoraban55 6 หลายเดือนก่อน

    Well Done ✅👍✅ Paul Makonda , magufuli way is what we need 😢

  • @user-hp2cr2mq9r
    @user-hp2cr2mq9r 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana kiogozi

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 6 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda nakupenda Kwa ajili ya ALLAH

  • @user-qy4gb1kn4z
    @user-qy4gb1kn4z 6 หลายเดือนก่อน +4

    icp chukua hatua kwa mara Rpc wako angalia wananchi wa shinyanga wanavyolalamikie jeshi lako wanainchi wamekosa imani na jeshi la polisi

  • @eunicemaganga4350
    @eunicemaganga4350 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde sana Makonda kazi hii ni ngumu maana tumefikia pagumu sana inch hii viongozi wangi wamekua kichomi sana

  • @user-di3lr4xb9c
    @user-di3lr4xb9c 6 หลายเดือนก่อน +5

    Makonda mungu akubariki Sana...

  • @emmanuelmanyama5078
    @emmanuelmanyama5078 6 หลายเดือนก่อน +4

    Saf sana dada nyangeta kwaujasili wako ulioonyesha mh makonda kutuwakilishia hili tukio la kijana wetu

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 2 วันที่ผ่านมา

    Kweli hapo tunatambua magufuli alikuwa anapitia wakati mgumu sana sana ndio maana kila wakati aliomba aombewe maana kweli kwa hayo mambo ni changamoto

  • @ntihaboseadonis8746
    @ntihaboseadonis8746 6 หลายเดือนก่อน +1

    IGP unafaa kua rais wa 🇹🇿tanzania❤❤❤❤

  • @judithsimon7892
    @judithsimon7892 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii nchi kuna vitu vinaendelea huko mitaani vinaumiza sana dhuruma manyanyaso n.k inahitaji kiongozi jasiri sana kupambana na haya

  • @user-gm7cn8wn4q
    @user-gm7cn8wn4q 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka anamheshimisha mama kiukweli mama hongera kuchagua makonda hapepesi macho yuko moto mungu akulinde maana wabaya ni wengi nyuma yako❤

  • @AlfredAlfred-yd2mg
    @AlfredAlfred-yd2mg 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo rpc hafai kabisa afukuzwe na ashtakiwa

  • @rogerioathumani9084
    @rogerioathumani9084 6 หลายเดือนก่อน +3

    Unajua kuna wapumbavu wanabeza ziara za huyu jamaa makonda kama hazina maana lakini daah ziara zahuyu jamaa zinawakumbusha sana wengi uwepo wa mzee wetu magufuri wewe piga kazi mzee ss kama wananchi tunaona hao wengine wapiga kelele hawatubabaishi kaka wasimamie wanyonge pia msaidie mama watu wanateseka kiongozi wasaidi wanyonge ni mungu peekee ndio atawalipa

  • @StephanoZayumba
    @StephanoZayumba หลายเดือนก่อน

    Mungu anawaona hawawanaofanya unuama huu

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 6 หลายเดือนก่อน

    Dah nimelia kama mzazi jamani kaka makonda chapa kazi kaka asante mama yangu Samia mh kumleta huyu kaka mungu awabariki kwa pamoja na watumishi wote CCM OYeeeeee

  • @godyfreymsangi7852
    @godyfreymsangi7852 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kamanda janet pole uko vizuri

  • @EricEricsaid
    @EricEricsaid 2 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana Tanzania ni mama Wa ulimwengu mungu ibariki Tanzania pamoja na watu haswa mama mlezi sulu na makonda John pombe mdogo Ameen

  • @halimamremi5375
    @halimamremi5375 6 หลายเดือนก่อน +5

    POLEE MAKONDA MWANANGU!!NCHI HII IMEKWISHAAAAA

  • @aliymajala5678
    @aliymajala5678 6 หลายเดือนก่อน

    Nice my president Makonda 2025🙏👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @TygerPixels
    @TygerPixels 6 หลายเดือนก่อน +13

    Ukiangalia na kusikiliza kwamakini unagundua kwamba CCM imefeli kabisa kuongoza hii nchi period.

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 6 หลายเดือนก่อน +2

      Kwa mawazo yako unaona tuwape kina nani?
      Maana hao wengine bado mtihani kuachiya wenye kiti sasa fikiria uraisi itakuwa je?

    • @aloismwenda8975
      @aloismwenda8975 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mjinga wew ccm imefelije

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 6 หลายเดือนก่อน

      Imefeli wapi sasa hakuna nchi isiyo na mashida ni kwa vipo matatizo yanafuatiliwa ndio issue

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 6 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo RPC wa shinyanga afunguliwe mashtaka ni jambazi

    • @solomoneglesias9752
      @solomoneglesias9752 6 หลายเดือนก่อน

      Nadhani umeona mbali sana,, tatizo ni mfumo,, kila kona ni vilio tuu wenye Hakhi hawana haki bali mafisadi ndo wenye nchi,, unadhani Makonda ataweza kumaliza vilio hivi????

  • @ADAMJUMA-qz6pu
    @ADAMJUMA-qz6pu 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mjue kila kona kuna matatizo ukiambiwa utaona ya kwako mepesi acha waliofungwa kinyume na haki leo hii wakianza kufuatilia waliofungwa mtashangaa kuna watu wamefungwa na hawa polisi na kuwadhulumu mali zao da!! RIP MAGUFULI"" KATAA WAHUNI""

  • @bazilimikoma4
    @bazilimikoma4 6 หลายเดือนก่อน +7

    Ongeraaa Sana Baba makonda na pia pore Sana kwa Kazi ngumu hiyo.Sisi wananchi tuko pamoja naraisi wetu Mama Samia .Tunajua hamlali kwajili yakutatua kero zetu na kwaajili yakuleta maendereo kwenye Taifa letu.Mimi Kama kijana ambaye nimkulima Natoa pongezi za zati kwa raisi na viongozi wote wa serikali na Chama Cha mapenduzi.Tunaelewa yote mnayo yafanya kwajili ya Taifa Nazidi kuwaombea viongozi wangu kwa Mungu .

  • @kambiyusufu2776
    @kambiyusufu2776 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dah askali anae Mlinda RPC nimemuelewa Ile kinoma

  • @ishipalemypasco2567
    @ishipalemypasco2567 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu zangu hata kama mnakua na matatizo ila mnapopata nafasi ya kueleza au kuongea mbele ya makonda punguzeni uongeaji wa mfululizo usio na maana hoja zinatakiwa zijibiwe kwa hoja. Hilo pia itasaidia kumpa makonda nafasi ya kuwasikiliza kwa usikivu mzuli.asanteni ❤❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @AlifaAlly-hs9sc
    @AlifaAlly-hs9sc 4 หลายเดือนก่อน

    Munguakulinde naakupeuongozi mkuu. yaniuwe rais

  • @AmosSeleman-f2o
    @AmosSeleman-f2o หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mh. Makonda nguvu hio hio umerithi mwendo wa mzee wa kazi mzee Jpm asante nguvu ni ile ile hongera kaka

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 6 หลายเดือนก่อน +1

      Nguvu hiyo hiyo? Haiwezi kulingana.

    • @ismailimatola3727
      @ismailimatola3727 6 หลายเดือนก่อน

      Kudadeki uyu mwamba magufuli akasome ndio viongozi tunayowaitaji tanzania atutaki use,,,,,,,,,,,e pigakazi makonda

  • @edoisam
    @edoisam 6 หลายเดือนก่อน

    Daah aisee swahiba wangu Issa Mungu ndie anajuwa namna ya kukurudisha. Kitambo sana swahiba 😭

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 6 หลายเดือนก่อน

    Vizuri havidum mungu mdumieshe makonda aishi miaka mingi apate cheo cha juu zaidi ili aweze kua namamuzi magum zaidi❤

  • @geraldmminza6494
    @geraldmminza6494 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi kweli tutafika kwa style hii, ya kutokutenda haki, ,makonda pekee yakee hataweza kumaliza kero maana leo.yupo kesho hatakuwepo, na buashara itakuwa kama kawaida hebu tuliyopewa dhamana tuwajibiki, .na tujuwe kuwa baada utumishi kuusha hatutakuwa na raha maishani bali majuto tu.

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 6 หลายเดือนก่อน +2

    Muheshimiwa Mwenyezi!😂😂 Rpc mzima umjui mwenezi!! shinyanga oyee 👏

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wenye power wanadhulumu wanyonge ndio kazi zao wache wafanye mwisho wao ni moto na wanajua kupanga uongo wa kuzungumza mwisho wake wanafedheheka kwa uongo wao Mungu awahukumu kwa udhalim wanao ufanya

  • @SayyidAhmadBaalawy
    @SayyidAhmadBaalawy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uzembe Wa jeshi La Police kutojua majukumu yao ipasavyo... niwazi kuna rushwa na uzembe unaofanywa na polisi! Muheshimiwa mwenezi watie spana hao washughlikie ipasavyo waongo polisi nivitisho kwa wanyonge tu ndio nguvu yao inapo onekana. Venginevyo hamna

  • @user-hr4xd4yj9y
    @user-hr4xd4yj9y หลายเดือนก่อน

    Unatengeneza hongera Sana tatizo la mu African tunakuliwa na wa African wenyew😅😂

  • @user-qk9iz5lt8q
    @user-qk9iz5lt8q 2 หลายเดือนก่อน

    Huu ndio uozo wa uongozi wa ccm! Kiongozi kama makonda yuko sawa ktk kuumbua uchafu wote wa chama hiki, na viongozi wachafu na wabadhilifu

  • @MabulaDoto-xb6xr
    @MabulaDoto-xb6xr 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ndugu yangu makonda mwenyezimungu yuko pamoja na sisi watanzania wenzako tuko pamoja na ww

  • @willydugilo3258
    @willydugilo3258 5 หลายเดือนก่อน

    Huwa najiiuliza maranyingi!! Hivi upolisi huwa unawafanya watu wawe na mioyo migumu!!! Ukweli polisi wetu wanaroho ngumu sana!! Fanya kazi ndugu yangu!! Hiyo ni kazi ya mungu!!

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 6 หลายเดือนก่อน +2

    we makonda huyu RPC akamatwe Sasa hivi na ahukumiwe

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 6 หลายเดือนก่อน

      Sio rahisi hivyo hapa ndo kuna usalama wa Taifa

  • @lushiligolegwa4025
    @lushiligolegwa4025 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo rpc hafai

  • @raymondmjebe2412
    @raymondmjebe2412 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutanguliee makonda sina chochote cha kusema ila mungu atutangulie kwa kazi hii mungu atakujaza nguvu

  • @user-tq5kn6xt6v
    @user-tq5kn6xt6v 2 หลายเดือนก่อน

    Hapa lazima utoe machozi,ama kwel hujafa hajaumbika

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 6 หลายเดือนก่อน

    Shida nini kwa viongozi hawa?. Watambue tu hao ni wazazi wa familia. Mbingu ipo anapo kaa Mungu mkuu na anaona yote na atawapigania Watanzania. Amen.

  • @AthumanDauda
    @AthumanDauda หลายเดือนก่อน

    Police wa nchi hii nimafia sana

  • @athumaniyuba935
    @athumaniyuba935 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli Mungu amemtuma mtumishi wake kwa ajili kushughulikia wanyonge

  • @GiftGodfrey-nm8ob
    @GiftGodfrey-nm8ob 5 หลายเดือนก่อน +1

  • @AthumanDauda
    @AthumanDauda หลายเดือนก่อน

    Arafu eti Tanzania kuna aman niseme tu watanzania wanyonge niwataratibu

  • @niyomugabojohn8329
    @niyomugabojohn8329 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huu RPC akamatwe afungwe...

  • @IsaacChizenga-gn6vd
    @IsaacChizenga-gn6vd 6 หลายเดือนก่อน

    I wish one day you will be president 🇹🇿

  • @yahyamussa5822
    @yahyamussa5822 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu RPC ni mafia sana

  • @AdamMlonga
    @AdamMlonga 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu nikweli amekuchagua kaka.

  • @husseinabdallah7195
    @husseinabdallah7195 6 หลายเดือนก่อน +2

    makonda ccm naichukia na ww mwanzo nilikuwa nakuchikia ila kwa hali nitakupenda ww na samia t na samia nimempenda kwa kuwatoa mashehe

  • @jescaloshiro1679
    @jescaloshiro1679 2 หลายเดือนก่อน

    😢 inaumiza du! sasa wanapelekwa wapi mbona ni wengi hivyo au kuna kazi wanatekwa wakazifanye kisiri siri.

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mama kwa ukakamavu wako wao polisi ni wauwaji tu

  • @kachabisnea8815
    @kachabisnea8815 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama wa kwanza anaongea vizuri sana

  • @Msilu198
    @Msilu198 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka yangu Makonda nakutaniria katika nchi hii ya Tanzania utakuwa kiongozi mkubwa ikimpendeza Mungu jaribu kumaintain usije ukabadilika Amina

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shinyanga inafaa kuwa case study inaelekea kuna shida nyingi.

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 6 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda ulikua wap? Unaona watanzania wanavyo teseka hoongera sana mweshimiwa piga kazi muzazi tuna ona 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @TeddyTheresiamboya
    @TeddyTheresiamboya 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanini huyu askari anamatukio ya kuumiza watu hii ni serikali ya mama samia serikali ya Makonda huyu askari aondolewe Makonda fanya kazi kaka

  • @levinaasenga2794
    @levinaasenga2794 6 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu mama ni tatizo kubwa ni TATIZO 😢😢😢

  • @jacobmwashambwa4893
    @jacobmwashambwa4893 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenezi Mungu awe nawe katika ziara zako hakika naona chama kinafanya kazi

  • @Bihagaze
    @Bihagaze 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi ziara zinaonyesha nchi hii kumbe Haipo!

  • @AthumanDauda
    @AthumanDauda หลายเดือนก่อน

    Hawa viongoz matatizo matupu jpm ndo alikua rais wa wawanyonge anamaliza hapo hapo sio kusubilisha