The Story Book: Je Asili Yetu Ni Sokwe? / Ujue Ukweli Wote ..!! (SEHEMU YA 2)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
- 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
naskiliza namshukuru mungu kwasasa nipo katika kipindi cha kutafta hela haya yatawatesa watoto wetu wanakazi ya sana darasani kujifunza nakujua usahihi ni upi #NATAFAKARI
Nimechelewa kidogo nipe like team wasafi WCB for life 🔥🔥🔥🔥🔥
3rd 3 6th 2
45
Keep it up proffersor jamaly mustapha 🙏
Naelewa sana jamal naendele kujifunza mambo mapya kila kukicha!!
Yanathibitika meneno ya M/Mungu kua "tumempa mwanadam Elimu kwa uchache mno", binadam Hatujui chochote tunahangaika ila ukweli kipo kitabu kisicho na shakka ndani yake na ndo kinacho majibu yote
Mungu ndiye muumbaji wa binadamu.
Unajua sana professor jamal April endelea kutuelimisha tupate kuendelea kujua na mungu akulipe kila la kheri na akupe umri mrefu sana ili uendelee kutuelimisha na kutufahamisha na pia tunafurahia sana
Zinjathroupus boisei Ndo sokwe wa kwanza kutembea kwa miguu miwili ( bipedalism)... Thanks for enough knolwladge kaka.
The great prof jamal
Mtu hatari huyo kaka 🙌🏽
Apewe gariiii
🔥
Dah wanasayansii
Asante sana🎉
very nice one👊👊
PROFESSOR 🇹🇿💪🏽📢📣🔥🔥
Binadamu ameumbwa na Mungu full stop, science ni uchawi uliobadilika kuwa science. Na historia wanatoa ni kuanza 1800 basi watafute fuvu la carne ya kwanza
Tulia wewe,waliokuambia binadam aliumbwa na Mungu ni haohao wazungu waliokwambia pia binadam alikua sokwe
Nani alikuambia kama nangaika sasa eti tulia🤣🤣🤣 siwezi bishana kichaa wa akili, sasa we kwa akili yako binadamu aliumbwa na nani? au alitokea wapi? Au anatokana na nini?? Je uko na ushahidi gani?? Wazungu au waarabu? Ao waafrica?
Maashaallah unaongea kitu sahihi sana
@@twahamrimi8325 hapana, mwafrika alijua kuwa aliumbwa mda mrefu kabla mzungu hajaja. Kwani unafikiria dini hikuwepo afrika kabla ya mzungu? Na pia, mbona mwafrika amependa kuwa mtumwa. Kazi ni kuambiwa na anafanya. Mzungu alipokuambia umeumbua uliamini, kwa sababu maelezo yako yanaonyesha dhahiri unafikiria mwafrika hakuwa na dini iliyomjuza kuwa ameumbwa. Kwa hivyo ni yeye alikuambia umeumbwa? Kwamba mwafrika hakujua ameumbwa kabla mzungu hajaja? Haya basi kwa sababu mzungu amekuambia ulitoka kwa sokwe kwa hivyo tuamini tu? Akija kesho akuambie ulitoka kwa nguruwe bado tuamini tu? Kwa sababu ni mzungu amesema? Kama kuna sokwe hapa basi ni wewe.
Pwaaaaa I real don't understand the language but this MTU ni balaaaaaaa noumah
You understand why you knew balaaaaaaaah acha kiki
@@blueeyes5952 balaaaa tu eti he know yekyehh
Tunashukuru sana mwalimu Mungu akuzidishiye kwa yote
We expect next story book you gonna narrate about diamond platnumz as tz icon🇹🇿
How?? evolution means continued change... that is human hatujawacha kubadilika then tulitembea kwa miguu 4,2,na tukawa upright man then what next in change of human ?plz
Naombeni like watu wa Mungu
Mwenyezi mungu mkubwa San sokwe nisokwetu binadamnibinadamtu.
Kama hukuielewa vizuri story ya movie ya Lucy basi prof anakuelezea vizuri
Professor nakukubali San lakin tungeomba utufafanulie chimbuko LA wazungu
Kweli mwamba
Point
wanatokana na mbwaaaa
Thanks
Hivi hawa watu 7 ambao wamebonyeza dislike wajinga au ,kama hujapenda pita HIV ,,,story nzuri namna hii ambayo inatufungua kichwa ww una dislike daaaaa badilikeni ..ila professor is king of story in Africa respect my brother
Zamani binadamu hakuwa nyani. ila Zamani binadamu alikuwa anaishi kama nyani.
Ni kweli
Great
Asante
Hi I am watching from Buguruni city centre Tz Dar
Hongera professa
Tafuta habari za ugonjwa wa UKIMWI
Tayar alishazungumzia tena mwaka jana
Naamini kizazi kinabadirika nimekuelewa sana kaka
Like from tanzania and kenya kwa mwamb huyu
Nawapata vizuri nikiwa safarini kutoka south Africa
Ukiweka udini pembeni unaweza kupata kitu apa @ tenx jamal
Prophesa umepatia
Waooooh
Asante .. tunaomba topic ya reincarnation ( kuzaliwa upya kwa binadamu no kweli ?) @jamalapril
Niko hapa after kuona the story book kwa sky tv ke
Hawa wazungu wanataka kushindana na mungu sisi ni bina damu
Kwani vibwengo vimetokana na Nini Professor? Isije ikaonekana binadamu tumetokana na vibwengo😂
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
Yaah ni kweli nyinyi watoa post hii ni sokwe lakini sio mimi
That's is true 🥺🥺
Noma sanaa naamasika kusoma na kuwa narrator
Professional professor
Thank you for video
Jamaaaallll 🙏🏻
Asante kwa muendelezo 🙏
Naikumbuka sauti yako ileee ukisema walimuua Malcom x sababu alijua vitu vingi walimuua chegue evara sababu alijua vitu vingi walimuua lumumba sababu alijua vitu vingi nguvu ipo palipo watu simama na watu upate nguvu professor jamal sababu unajua vitu vingi
😊le profeee dela storeee
Mimi navoona kwa maono yangu ni kweli tumetokana na komba bhanaa😂😂😂😂
😅😅😅
Mm walahi nimechukuwa kioo najiangalia sura yangu 😄 🤣 jamani
Wazungu wanaita waafrica Nyani😄
Nipo hapa nakufuatilia jamali professor
Mungu anawapa maangaiko maskini
Je kama sisi ndo tuna evolve nakua kama nyani ili tufit with nature😂😂
Mbona wa saizi hawabadiliki
mrembo alieolewa na Mungu wa upendo
Nimekuelewa sn Jamal 🙏
HAYO NDO MAMBO SASA
Nilivyosikia tu wametoka MAREKANI nikajua lazma atakuwa yeye ndio yupo juu😂😂😂
Hata mimi siwezi kukubali kabisa kama tume tokana na nyani
Quran Raha Sana hishamaliza kila kitu
Iko vyema sana japo
Nadhalia zako zimefeli kueleza sababu ya kupotea kwa misitu ukiangalia na misitu tuliyonayo, na hao unaosema walipatikana Afrika Mashariki walisafiri vipi kwenda kote duniani?
Bro please yengine tena bro
Kazi swafi kama k
Bro unafaa ufungue darasa kabisa la historia
nice story
Nimesoma mengi
Profesor
Wapi Hamorapa😅
Solomon
Nakupata vyema profesa nikiwa Rusumo
Nasubiri historia ya aime ceser, Leopold cedar sengor na rene marah
Jamal mweny akil
Nice
👌👌
Inamaan wale sokwe wa kigoma kule n austrapithecus eee
Kwa hili wameumbuka na hawatafanikiwi wamezidi kumkufulu mungi wameshindwa binadamu atabaki ni yule2
Nzuri iyooo
Wanadamu wrote wameumbiwa na Mungu
Professor hapa sijapata conclusion yako. Umetuacha dilemma
good job Broo keep up, #Your no one fun
Inawezekana historia ya kweli wanayo ila wameificha kwa manufaa yao
Gonga like tuendelee kuenjoy weekend na stry part 2
Wa pili
Naomba utuletee ya mtu kuona siku imejirudia
Twende kaz..!@
Nasikilizaa
Saf San kaka
None share an ancestor population because different species cannot share an ancestor population. It is a coincidence that these species have some of the same body structures.
𝒕𝒉𝒆 𝒉𝒊𝒔𝒕𝒐𝒓𝒚
Elimu yet ni mbovu sn
Yukooo apiii mtigaAbdallah kapotea
Komba? Noway 😅
Hii ni store tu wala si kweli
Hii ya Lusi nishawahi kuijibu kwenye mtihani nikakosa,aliejibu haya ya yetu ya Olduvai George akapata hii ndo Tanzania🙌🙌
you were wrong too
lucy sio binadam mkubwa kuliko wote, mkubwa anaitwa sahelnthropus tchadensis anapatikana chad na umri wake ni miaka million 7, wakat lucy anamiaka million 3.6
@@Daniel_Masika sawa nilikosa ila hata wewe inaonesha haujaelewa hoja yangu,hoja ipo kwenye kwanini aliekaandika zinja alipata? Au zinja ndo sahelnthropus?
@@lastchinowa2036 zinja n binadam wa kwanz wa kale kugunduliw tanzania, ila sio binadamu wenye umri mkubwa duniani. can you feel the difference???
kwa tanzania pia tuna mabaki ya austropithecus afarensis yanapatikana laetoli tazania yana umri sawa na uyo lucy wa ethiopia, ko bdo prof jamal nae anakosea
Asante Jamal April
Kwa muda huo sokwe pia walikufa hvyo fuvu LA sokwe nila sokwe labinadamu ni bnadamu
Kama ni kweli basi tunatia huruma
🤣🤣🐍🐍