Naipenda sana kazi yako profesa, Ubunifu wako ni wa hali ya juu yani unaleta taswira kamili ya historia unayo ieleza. Pongezi sana kaka na Kenya tunakupenda sana
Nilichojifunza ni rahisi san kuudondosha mwili wa binadamu ila kuiondoa Roho yake ni Mungu tu miili yetu ni midhaifu san ili kuunyon'gonyesha hauitaji ata nguvu nyingi !!
Mbali na kuburudika na hii story nzuri ya kuhuzunisha, nimegundua wakenya 🇰🇪 tuko wengi tunaofatilia The story book kushinda wenyeji Tz🇹🇿 , Comment zinajieleza.
Yaani kipind mtiga ana ondokaa mwanzoni tuliishii kimazoea sana.. Nilikuaa sikuelew kabisaa ilaa sikuu hizii hua nakujaa mala kwa mala kuangaliia km umetoa story mpyaa.... Yan uyoo mtigaa sahv ndo simuelewii kabisaa maana material hana.... You're genius
Naipenda sana kazi yako profesa, Ubunifu wako ni wa hali ya juu yani unaleta taswira kamili ya historia unayo ieleza. Pongezi sana kaka na Kenya tunakupenda sana
Asante YESU KRISTO kwa huruma yako
Ikifika j.mos nikiingia humu nikakuta hakuna story, weekend yangu inakuwa ngum sn. Thanks prof Jamal
This presenter is very creative tunaopenda creativity yake tukutane hapa
KAZI Bomba ndugu angu.. hapa Kenya twakutambua Kwa mafunzo Yako mazuuuri .. mungu akujalie maisha marefu ili uzidi kutuelimisha
Nice, kazi nzuri sana.
Naomba muachie icon ya download tuweze kusave video tuziangilie offline tunapoitqji kuzirejea.
Asante
Hongera April... uwana historia wako ni wa kukata na shoka. Mashaallah
Jamn naomba like na comment za kutosha kwa ajili ya Jamal April kwa kazi zake nzur ya kutupa ufaham tokea kuanza kwa the story book karb miaka 4 leo
Wanaenda wengi motoni aisee mungu kuweka moto na pepo alikua namaana
Kenyans let's gather here n show some love☺️☺️🇰🇪🇰🇪
Huyu ni professor wa ukweli kabisaa hongera jamani and like from neighbour Kenya
Professor jamary unaweza story zako ni balaa na unavyoongeza vionjo nafurahi sana unajua professor 👏🏾👏🏾
Mungu azidi kukusimamia hakika...... unafanya kazi nzuri
Mashaa Allah ,,,, kaka unaweza hii kitu na jitahidi utaifikisha mbali Sana hii tasnia ya simulizi zako
Mungu azid kukutunza kaka kazi yako nikubwa sana sana haiwez kuelezeka Mungu azid.kkupa maalifa na kibali kwenye kazi zako Aimeeeen
Kazi nzuri Jamal, zidi kutuelimisha 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯
Subhana allah inasikitisha kwa kweli dah!
Yaaani Kadri siku zinavyo kwenda
Professor J
Unazidi kufanya ubunifu mkubwa sana ktk clips zako za The story book
Hongera sana 🙌🌎🌍🔥🇺🇸🇺🇸🇹🇿
Kipind changu pendwa... hongera sana bwana jamal🙏🏾😍
Napenda sana story book
A power of meditation mtu mweusi amka jitambue na kuwa huru kifikra fanya tahajudi uujue ukweli big up jamal april ni wachache saana.
Story book na jicho pevu moja ya makala ambayo nazikubali sana yaani Muhammad Ali saivi MP wa nyali
Ningependa utusimuliye kuhusu myungu ya wagiriki
Hongera kaka kwa kipindi Bora tunajua Mambo mengi kupitia wewe kazi nzuri sana
Shukran kwa info Prof.
Prof. Jamal April ni true Prof. likes zake ziko wapi much love from +254
Jamal Jamal Jamal Prof. You're so talented Broh your blessed 💪🙌
Hapo sawa professor wa ukweli
Always ready to learn! Kenya iko love!🇰🇪🇰🇪♥️♥️♥️
Leo wa kwanza nipe like za professional jamal
Nakubali profes
Ahaaaa!! bwana Prof, Jamal April kongole kwa kazi nzuri 👏👏👏👏👌👌🤝👍👊👊👊👊💪ni mimi wako shabiki sugu Hassan gamal tobiko from Kenya,asante sana nduguyangu,
bro napenda sana kazi unayo fanya kwasababu najifunza mengi kutoka kwako
God bless you my brother
Historia zako ninzuri sana
From kenya 🇰🇪🇰🇪❤️♥️WAAH hio ya panya
Amazing story, congratulations prof.. Nakuelewa sana katika story zako Mungu akubariki sana ❤❤💯
Pamoja sana sana Jamali 🔥🔥🔥ckupingi mkuu ubarikiwe sana.
Asante Sana Story book Jamal love from +61
Prof. Jamal April will always do the right thing. Lots of well wishes professor. Huku Kenya tunakupenda🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kijana unastahili tuzo kwa kazi zako❤
Jamal unajuw kuandaa kipind 💯💯 mwanang yan utasem upo katik hizo ngome za mateso
Gonga like kama unamkubari huyu mwamba kwa story
I love story book from Kenya
jamal your stories are inspiring helping me understand more about the universe we live in.
The storybook always hits me differenlty 🙆🙌kenya well represented
Good job my brother
Kaka hongera sana unafanya vzuri sana👏👏👏
Nakubali professor.. Unatish kiukweli .. Tuandalie story ya kuanguka kwa dola ya rumi
Vizuri Sana Jamal April kwa usimulizi wako kutoka lusaka Zambia
Pamoja sana kaka ✌️✌️✌️
Hongera sana brother kwa kazi nzuri
Lots of love from 🇰🇪 Kenya
Kaka kwa hali hii unashindwaje kumaliza MB zangu🤣🤣 kongole kak jamali April
👍
Hongera kwa Director wako na watu wote wa nyum ya camera
Asante
Congole
Video zako Ni nzuri Sana Lakin unalolisahau Ni kwamba Sio watanzania pekee hutazama video zako Pia wakenya tunazitazama pia
Nilichojifunza ni rahisi san kuudondosha mwili wa binadamu ila kuiondoa Roho yake ni Mungu tu miili yetu ni midhaifu san ili kuunyon'gonyesha hauitaji ata nguvu nyingi !!
Nasikiliza hii story huku tumbo linatetemeka kwa uoga jamn hayo maumivu nayaona kabisa
Daah brother mmh uko vzr ase
Asante Mungu Kwa kunifanya nizaliwe Africa Lau wakale wangu wangetoka hizo bara zingine ningekua history
Learning 💯💯
Ndo ujifunge nyororooo 😳by the way mm napenda the story book shabiki kutoka kenya
Kaka we ni next level katika kutuburudisha
Story book hongera sana habari zako huwa nzuri sana nafikiri inatafiti kwa kina hii ya leo naiogopa hata nashindwa kuimalizia
"The is no genius without a touch of madness" I have real like that👍👍👍
Jamal April hongera kwako this is amazing
Safi sana hii🔥🔥🔥🔥🔥
Prof Jamal thnx kwa kaz nzur. Tafiti story ya vidole zimbabwe utupe ukwel wake plse
Thanks Jamal I always love your stories we learn everyday am from DRC but leave in South Africa
aiseee wee jamaaa you are so creative
Dah, aisee ww jamaaa ni THE GREAT PROFESSOR of all time/
Nimejikuta nadondosha machozi😭😭😭😰😥 duniahii😥😭😭
Hongera kk kwa macamera man
Jamal you are so talented 👊
Fundi Le professor Jamal April 👏👏👏
Like Zake LE PROFESSOR JAMAL APRIL Zinahusika Hapa Kwa Utamu Huu Wa The “STORY BOOK”....Elimu Na Burudani📖📚
I just like your work big bro... keep moving ✨ I will always support your work
COMPLETE TELLER ✌🏻GIFTED
Mwamba mwishon umesema kwel sio hadith mungu akulinde kamanda
Jamal nakpenda snaa na naipenda kaz yko 😍👍
Tunaishi mazingira salama mno…kuna watu wamepitia madhila ya mateso sana….m/mungu awarehem wote waliopitia mateso hay
Fantastic documentary,watching from Kenya...
Professor 🔥 🔥 🔥 🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏
🔥🔥🔥
jamal the profesor ww ni hatari nakubali sana kazi zako
Très cool proffesser
All to all speech yako yamwisho nimeilewa vbaya mambo yapo mengi tusiyoyajua ila kupitia hili tumekuwa na uelewa wakutosha
Respect to you prof.. jamal keep it up
Uko vizuri jamal
Big fan of you from my motherland Kenya
Professor forever
Tafiti komavu hongera prof
Mbali na kuburudika na hii story nzuri ya kuhuzunisha, nimegundua wakenya 🇰🇪 tuko wengi tunaofatilia The story book kushinda wenyeji Tz🇹🇿 , Comment zinajieleza.
Mnapenda sna mambo yetu kuliko tunavyopenda wenyewe,hakika tumebalikiwa watz
Watz wengi hatupendi Sana ku comment
I'm Tz 🇹🇿
Tunapenda pia, ila nyie mnapenda kujicholesha inaonekn mnapenda xn vya kwetu, wtz atunaga mamb meng tuki like tu inatosha
Tunaangaĺia sana ila hatupendi kucoment dear
vizuri kabisa
Yaani kipind mtiga ana ondokaa mwanzoni tuliishii kimazoea sana.. Nilikuaa sikuelew kabisaa ilaa sikuu hizii hua nakujaa mala kwa mala kuangaliia km umetoa story mpyaa.... Yan uyoo mtigaa sahv ndo simuelewii kabisaa maana material hana.... You're genius
All the way from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nahongera sama team nzima ya the storybook
Wajina uhuwaa bajifunza mengi kupitiya kipaji chako kaka Allah azidi Kuku linda🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇿🇦🇿🇦
Duuh 😭😭 hatali sana
Jamani kwa anae fahamu izo song kwenye story zina patikana vipi msaada
Love from 254 KANAIRO 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️♥️
Nice
UKO poa brother God bless