Thank you! I never knew the real story behind yummy. First time i heard this name was from an interview from the late greate makaveli 2pac shakur 👊🏽 greate job indeed mr jamal 🤌
Hiii n fact kubwa bro ujue tuweza laumu watu alf kumbe hatujui kmewakuta nn huko nyuma na kiukwl taasi za kulnda haki na watoto wafalie hilooo bro sema mm cna madaraka nngejarbu angalia hloo kwa kina zaid
Kwa watoto wa Afrika wengi wao wanapokosa matunzo toka kwenye familia zao wanakuwa vibaka, ila kwa Marekani wanajiunga na GANGS maalum kwa kufanya shughuli zote za kihalifu, drugs, stealing, killings, owning territories. Magangs maarufu ni kama BLOODS And Crips. Ingia TH-cam andika "Crips and Bloods Made In America" kama lugha inapanda uta enjoy sana hiyo Docu.
Kama alikuwa anapenda kula vitu vimu alikuwa ni Teja la Eroini na Craki Ushaidi ni sura yake tu na wakati huo vikundi vya kuuza madawa walikuwa wanawatumia vijana wadogo sana kuwatia Uteja na kuwatumia
The way You Elaborate the story it is amazing plus the introduction nd graphic; Excellent research Mr Jamal, one thing which make this more excellent is your voice , big up 🤝💯...
Ndoo maana malezi bora ni mhimu kwa watoto ila sababu ya ubinafsi wa watuu wengi wanazaa bila bila upendo kwa wazazi wenzao na watoto 😢😢na wanajitenga na majukumu ya kulea 😢😢halafu mtoto anageuka mhuni na jambazi 😢malaya etc 😢😢 , eeh mola nijalie bahati nilee watoto wangu vizuri. Yummy was too young to become a gangster 😭😭 yani mtoto anaependa biscotti na pipi 😢😢 baado ni mchanga kabisa 😢😢 ila ndoo maisha hata na mimi nilianza ku hustle on 9 years old 😂😂😂
Good work bro. Ila umenipoteza kidogo........mtoto Robert alimpigia mkewe simu kabla asepe mji mwingine? Miaka 11 alikua na mke?........Cragg Hardaway alihukumiwa miaka 60 akaachiliwa 2020? 1994 tuongeze 60 ?
mmh labda nitakuwa tofauti na wengine lakini mimi nilichokiona jamal april kwamba watu wa karibu waliomjua vyema huyo mtoto hawakumuelezea vibaya tofauti na vibaka wetu tulionao mitaani hata kwa wazazi wao utapata sifa zile zile tunazozijua as we know our parents was so hash linapotokea umefanya kosa utotoni,hii story ni kweli umeielezea vyema but ni kutokana na chanzo cha story ulichokipitia haipo kwenye ukweli kamili.
Assalam alaikum warhamatullah wabarakatu how you Jamal ! I listen to you and watch yr video the story book beleave me more bless so manythings l learned from u .
Tuzidi kuwaunga mkono wenzetu waafrika bana ,masimulizi yana mashiko,yanatukuza lugha yetu ya kiasilia na kuchimuza burudani na makini.Ba mkubwa unahitaji tuzo la kimataifa,napenda kazi yako kutoka kwenye kilindi changu cha moyo.
Everyone who read this,we don't know each other and probably never will but i wish you all the best in life and all success and happiness in this world and hereafter.❤
Roho mbaya wanatufundisha wenyewe. Sometime. Maisha yanakua magum unatamani upate kitu flani na hakiji inafika mda unaona wacha tu liwalo na liwe. nasema hivi na maanisha mie mwenyewe siwezi kua tofauti na Robart😭😭😭😭 Mungu ampe wepesi wa azab zake.
Ile ufundi uko hati hizi hadithi za jamal ziko kwenye hadhi yakipekee.sikudhani nitawahi kaa kusikiza simulizi za kiswahili hivi. Shukrani sana professor 🎉🎉🎉
wahuni mitaa imetuleaaa tujuane hapa 😍😍gonga like kama unamkubali professor jamal
Ww muhun basi😂😂
Uhuni so ujanja ni moto tu mamamake
Yaani 💯
Nakubali
Thank you! I never knew the real story behind yummy. First time i heard this name was from an interview from the late greate makaveli 2pac shakur 👊🏽 greate job indeed mr jamal 🤌
,❤🎉😢dokya dule🎉😂😢
Docter sure
Wazazi kwa maana ya baba na mama, wanamchango mkubwa wa kujenga jamii iliyo njema
th-cam.com/video/1SOVp_xbhL4/w-d-xo.html
th-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/w-d-xo.html
👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*
Indeed
Exactly
@@binhussain3445 Tumeitikia wito wa Masai
👇🏼
th-cam.com/video/jfAtIdp7K00/w-d-xo.html
Jamaaaaaaallllll 🙌🏻🙏🏻
Daaah professor , una tumia creativity nzuri sana, Kila story na creativity Ake, nimependa ukivyo enda mtaani Mzee big up
Tumeitikia wito wa Masai
👇🏼
th-cam.com/video/jfAtIdp7K00/w-d-xo.html
Sound effects tu inashawishi kusikiliza mwanzo mwisho ,💪💪
Naam ndoo inayonifanya niendelee kufatilia hii story book hata kama hmn video mpy Huwa nasikiliza za zmn
Hakika wewe unatujuza tusiyoyajua ki ufupi nikwambie ahsante 👏🙏 uendelee hivyo tujue mengi jamani
i always watch your shows everyday,am in kenya, can you look for a station here in kenya to be airing your shows because they love you
Star africa tv
Hiii n fact kubwa bro ujue tuweza laumu watu alf kumbe hatujui kmewakuta nn huko nyuma na kiukwl taasi za kulnda haki na watoto wafalie hilooo bro sema mm cna madaraka nngejarbu angalia hloo kwa kina zaid
Kwa watoto wa Afrika wengi wao wanapokosa matunzo toka kwenye familia zao wanakuwa vibaka, ila kwa Marekani wanajiunga na GANGS maalum kwa kufanya shughuli zote za kihalifu, drugs, stealing, killings, owning territories. Magangs maarufu ni kama BLOODS And Crips. Ingia TH-cam andika "Crips and Bloods Made In America" kama lugha inapanda uta enjoy sana hiyo Docu.
Hapo utofauti hkn ndg yangu bado ni uhalifu tu
Sasa huo si ni uhalifu pia we vp Babu!!!
@@benardmapuga8370 💯🤝
@@allahisone6386 shukrani mkuu
@@allahisone6386 th-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/w-d-xo.html
👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*
Jamal bishoo unatupa vitu adimu sana mzee wangu
Unahitajika upewe tuzo, umeongea kitu point na muhim sana
Hakuna bingwa wa malez. Tuombeane mema siku had siku
Lakini wazazi tukubaliane, wanachangia pakubwa...
Hasa baba katika discipline...
Kama alikuwa anapenda kula vitu vimu alikuwa ni Teja la Eroini na Craki Ushaidi ni sura yake tu na wakati huo vikundi vya kuuza madawa walikuwa wanawatumia vijana wadogo sana kuwatia Uteja na kuwatumia
Mtu anisaidie number ya simu ya Jamal,niko na story Fulani ya Siri nataka kumpaa
The way You Elaborate the story it is amazing plus the introduction nd graphic; Excellent research Mr Jamal, one thing which make this more excellent is your voice , big up 🤝💯...
th-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/w-d-xo.html
👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*
Good one
Angalieni wimbo wa Nas Escobar unaoitwa "The Message"
Una nini
yule dogo ndo huyu anayesimuliwa hapa?
Yoo Man 🖐️ The hate ue gave infant fucks everyone .. #THUG LIFE
Hakuna hodari wa kulea bali ni MUNGU mwenyewe. Lkn wazazi (walezi) wanachangia kwa 65% kutengeneza au kuharibu makuzi na maisha ya mtoto.
Kweli ❤️
Mbona saiv amn tena the story book
Omg guys let's keep our hand tougether and congratulate this man coz he did hard work
Ndoo maana malezi bora ni mhimu kwa watoto ila sababu ya ubinafsi wa watuu wengi wanazaa bila bila upendo kwa wazazi wenzao na watoto 😢😢na wanajitenga na majukumu ya kulea 😢😢halafu mtoto anageuka mhuni na jambazi 😢malaya etc 😢😢 , eeh mola nijalie bahati nilee watoto wangu vizuri. Yummy was too young to become a gangster 😭😭 yani mtoto anaependa biscotti na pipi 😢😢 baado ni mchanga kabisa 😢😢 ila ndoo maisha hata na mimi nilianza ku hustle on 9 years old 😂😂😂
Interesting story indeed brother 💯💯 You are on another level 👌👍 Keep up with the great work brother 💪✌️ Peace and love ❤️
Good work bro. Ila umenipoteza kidogo........mtoto Robert alimpigia mkewe simu kabla asepe mji mwingine? Miaka 11 alikua na mke?........Cragg Hardaway alihukumiwa miaka 60 akaachiliwa 2020? 1994 tuongeze 60 ?
Bibi yake au Nyanya yake au grandmother ake elewa Ndugu
😡😡
It call out on parole bro
Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Nice story and rythm of the songs JAMAL APRIL u teach me more my Professer
Asante sana jamal.nakufwatilia kutoka Congo DRC 🇨🇩. Tuandalie makala mengine kuhusu inchi ya Congo. Tafadhali 🙏🙏 jikaze
Feel sorry not by willings by poverty rest in peace YUMMY
Naku kuna Kiana lakini na pata shida ku pata za ko story book Nifanye nini kuzipata
mmh labda nitakuwa tofauti na wengine lakini mimi nilichokiona jamal april kwamba watu wa karibu waliomjua vyema huyo mtoto hawakumuelezea vibaya tofauti na vibaka wetu tulionao mitaani hata kwa wazazi wao utapata sifa zile zile tunazozijua as we know our parents was so hash linapotokea umefanya kosa utotoni,hii story ni kweli umeielezea vyema but ni kutokana na chanzo cha story ulichokipitia haipo kwenye ukweli kamili.
Chicago, Milwaukee na Detroit siwezi kubali mtoto wangu ahishi mu hizo cities Cz thuggish cities in us
Wazazi wahuni wa ovyo ndio chanzo Cha masaibu katika jamii ...
Indeed
Vipi alikuwa na 11 years na anaonyesha kwa pic ni kama 25 years?
Assalam alaikum warhamatullah wabarakatu how you Jamal ! I listen to you and watch yr video the story book beleave me more bless so manythings l learned from u .
Cuida a sua erma
yan una sauti inayofany mtu aelew vzr na asiache kusikiliza
Tuzidi kuwaunga mkono wenzetu waafrika bana ,masimulizi yana mashiko,yanatukuza lugha yetu ya kiasilia na kuchimuza burudani na makini.Ba mkubwa unahitaji tuzo la kimataifa,napenda kazi yako kutoka kwenye kilindi changu cha moyo.
Everyone who read this,we don't know each other and probably never will but i wish you all the best in life and all success and happiness in this world and hereafter.❤
Acheni usenge Kwaio hamtaki tupakue hiyo video kupitia hapahapa youtube...simuifungue
NIMEJIKUTA NATOKWA MACHOZI
😂Asante mjomba Jamal Abril kwa kazi yako
lakini marekani si wanasema maisha bora huko mbona kama hamna kitu watu wamepagawa sana
The story book umetsha sn Jamal April
The storybook 🔥🔥❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Makundi na marezi bamovu ya wazazi wanachangia Sana hasa Africa tunajipaka matope
Rip robert yummy ulikosa malezi mazur pumzika kwa amani
Black disciples,, OBLOCK's opponents
Ndugu yangu uwaacha mpka watafsili movies yaani stories iko poa zaidi ya movies
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
*#*#
th-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/w-d-xo.html
Nkupnd sana Jamal
Km umemuona mwamba anavuta fegii tujuane kwa like
The professor Jamal 💪💯
nice story nice voice good arrangements🔥🔥
Sema huyo anaevuta fegi nmemuelewa 😂
Njoo ubungo mataa chini ya fly ova watoto wa mtaani wanaongezeka Kila kukicha na mbaya zaidi wengi wao Wana vuta gundi :
Dah hio ni mbaya 😭😭😭
Nakupenda
Much love i appreciate you brother ⭐ ⭐⭐💥
yeye ni wa toto ma bazu
Wahuni waliingiliana wakamzaa muhuni Pro max rest in peace Robert ✌🙏
😂😂😂😂😂
Congrats 👍👏 Jamal April unafunza mingi shukran
Najifunza mengi kwako Jamal hakika umebarikiwa plz tunaomba uzidi kutupa mengi na meng hongera pia kwamama aliekuweka miez 9
September is Evil to the Black Street American Gangstarz 😱
Roho mbaya wanatufundisha wenyewe. Sometime. Maisha yanakua magum unatamani upate kitu flani na hakiji inafika mda unaona wacha tu liwalo na liwe. nasema hivi na maanisha mie mwenyewe siwezi kua tofauti na Robart😭😭😭😭 Mungu ampe wepesi wa azab zake.
jamil upo vzr but naomba ukipata muda tuletee anguko la ussr na historia ya putin
marekani ubaguzi mwingi sana 🗽🗽🗽
Sasa kama hana akili mbona kaweza kufikiria kukata godoro na kumficha mtt si angemwacha tu
Thank you so much dear 🙏🙏🙏🇺🇬
Dogo alizingua kinoma😢
Wa tisa 👇👇👇 acheni loho mby
Jamal umeuliza swali la msingi sanaaa sanaa
Miaka. 11 na ako na bibi wacha uwongo
Shoo shoo, sio wife bro hapa ni tz sio kenya
DAH AISEE INASIKITISHA SANA STORY HII 😭😭
😭😭😭
th-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/w-d-xo.html
👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*
Napenda kazi yako., nafikiri uanze channel yako hio tu yako the story book, usiwe chini ya wasafi
Big up brother tunataman hata utupe story Mara mbili kwa wiki.
kaka nakuona upo na sandifer pemben apo anakula zake ganja mdogo mdogo
🔥🔥🔥
unaweza
Wazazi wawili waliovurugwa
Daaah So sad RIP ROBERT YUMMY
Hivi jamani kwani ni lazima kucomment kwa kingereza 😁😁😁
😁😁😁
Hawa ni panya road wa Marekani
This is bad😱😱
kama hukuiona connection ya yule jamaa iangalie hapa: th-cam.com/video/oPe68wWtTQM/w-d-xo.html
Hakun km ww jamal .. more appriciate ✌️
Ile ufundi uko hati hizi hadithi za jamal ziko kwenye hadhi yakipekee.sikudhani nitawahi kaa kusikiza simulizi za kiswahili hivi.
Shukrani sana professor 🎉🎉🎉
Duuh
Jamali right here the most intelligent man🖤🥷🏾
th-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/w-d-xo.html
👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*
The story book...!!!
th-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/w-d-xo.html
👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*
Ngunitv
Alizaliwa mwaka gn na alikufa mwaka gn?
Wah !! So this two brothers still leaving 🤭🤭 .
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
*#*#
th-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/w-d-xo.html
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
*#*#
th-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/w-d-xo.html
kaka najifunza mengi sana kutoka kwako
Jamal
Miaka 11 sura ni mbaya kiasi hiko angefikisha miaka 30 cjui sura lake lingekuaje!!
Stop speaking this shit Ma Gee ✊ wtf
Tragically, that kid didn't get a chance to see a grown-up man introduced to a kid to commit a crime.
At that age hawa madogo marekan walikuwa wanaruhusiwa kudrive?
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
*#*#
th-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/w-d-xo.html
Kazi safi
Juvenile Deliquence
Tatizo unachlw sana kutoa kaz mbak tunasahau