Time traveling ni illusion watu wanatubeba ufala, if there are people who can travel through time kwanini wasirudi to the past wajifunze how Egyptians built pyramids?
@@thisisivyy True 👍🏿 but towards the end professor said wako na over 700 episodes most of predictions haziku come true so ni more of chances and luck, hata sisi tuki predictions 700 things trust me atleast 10 predictions zita come kutokea
Kwa mimi ninavyoona wanaotengeneza hii katuni sio watabiri ni wanajua wanachokifanya na inawezekana wao ndo wanaopanga au wanatusaidia kutuonya kwa wanayopangwa kwa matukio yanayokuja. All in alll thank you Mr Jamal unatusaidia vingi kwa elimu unayotupa
Everyone who read this,we don't know each other and probably never will but i wish you all the best in life and all success and happiness in this world and hereafter.❤
Dunia inaongozwa na watu huu wala c utabiri bali wanacheza na akili zetu na ni system imepangwa tayari Hao katuni ni kama danganya toto tu ila ukweli upo nyuma ya pazia...shika njia yako maisha ya sasa c rafiki
Ohoo Kwa Hali hiii ngoja nimalize mkataba niende zangu kwetu mie kama mambo yenyewe ndio haya😅😅😅 Wallah Allah atunusuru loooh Sasa kama ni vita ya nuclear nani atapona Bora nikafie kwetu😢😢😢
sisi watu weusi hasa Africa ni wajinga sana.. mtu analilia likes inakusaidia nini???? inakuongezea nini??? mtu anategemea akija kwenye comment section atakuta ufafanuzi zaidi... TUBADILIKE
Hii ni mojawapo ya story book Bora kabisa ya mwaka huu 2024 hiv TMA hawajamuona Jamal kwenye tuzo dah🥲 jamaa anapiga kazi nzuri sana
We
Sasa atashindana na nani
Kabisa ndugu
@@suleimanbrighton😂😂😂😂
Kwan yy anatoa nyimbo
Asante Jamal Story niliyosubiri kwa muda mrefu sana . Bado nasubiri Issue ya MATRIX
Pw nntamwambiaa apite nayo Hy Matrix
The creators could be time travellers,.watching from 🇰🇪 loving this channel
Time traveling ni illusion watu wanatubeba ufala, if there are people who can travel through time kwanini wasirudi to the past wajifunze how Egyptians built pyramids?
th-cam.com/video/KFHNPMFrd10/w-d-xo.html
@@BigZhumbendio maana nasema "could be"...coz predictions zao mingi zimecome true...unless ni programming...it's crazy
@@thisisivyy True 👍🏿 but towards the end professor said wako na over 700 episodes most of predictions haziku come true so ni more of chances and luck, hata sisi tuki predictions 700 things trust me atleast 10 predictions zita come kutokea
@@BigZhumbe acha tuone what's in store this time round
Kwa mimi ninavyoona wanaotengeneza hii katuni sio watabiri ni wanajua wanachokifanya na inawezekana wao ndo wanaopanga au wanatusaidia kutuonya kwa wanayopangwa kwa matukio yanayokuja. All in alll thank you Mr Jamal unatusaidia vingi kwa elimu unayotupa
Aiseeee ni hatar imenisisimua sn Hii story! Big up
Kenya 🇰🇪 unakubalika kwa asilimia mia💯. Asantee
Everyone who read this,we don't know each other and probably never will but i wish you all the best in life and all success and happiness in this world and hereafter.❤
P
Amen
You too brother ❤
Amen thank you ❤
Professor Jamal always umekuwa unakujaa na tarifa na tarifaa kutoka kwenye Chanzo sahihi we really super proud of you Bro
Greatest of all times..Jamal April
Mnae mkubali Professor Jamal Gonga like Hapa🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇸🇸🇨🇩🇷🇼🇨🇬🇸🇸
Nyie matako likes zinawasaidia nn au mmezoea usenge tu
The MVP of storybook
Tulioludi baada ta trump kuwa raisi kwa mala ya pili like zetu apa❤
Niko hapaa jamn ni hatr hiii ndo story book bora zaidi kwangu
Tuko apa
Yale ya marekani nimeamini now big up JAMAL kazi nzuri 📌
Ivi mnajua ifikapo mwaka 2099 wote humu tutakuwa tumekufa tujitahidi kufanya ibada 🙏 KIFO KINAKUJA😭😭
Kabisa kaka mungu atusimamie TU ❤
Sio Kweli Kifo ni siri ya Mwenyezi mungu
@@Imani-ji6cd tusali sana
@@EdwardSamson-uf1ee kufa nilazima
Kafa Baba yangu kifo sio kitu cha kuogopa
It's very attractive story book on this last day of 30th August Thank you 🙏🙏
love from Kenya bro glad to be the first one here
Natokea Mozambique 🇲🇿 sasa mbona kama wanafaa tuwa tumie kwenye BET nipeni like zangu leo
Mozambique pia mnaongea Swahili
Really
Ye
Igrubheutj
Vh47y
0:57
Ni illuminati tunachezewa akili tu wao ndo wanatawala Dunia
Respectfully, Mr. Jamal’s statements regarding Mr. Trump have proven to be accurate.
The Greatest on his work. Let's Pray.✌️
Tunaopenda elimu vidole juu
Hakuna elimu kaka hapa
Rumours ni nying
Udanganyifu ni mwingi
Huo uhusiano tunatengeneza sisi wenyewe na hawa content creator wetu
😂😂😂😂@@Madphilosopher13-04
Duuh ahsanteh mr April
Sio watabirii bali ni wenyewe wanaotengeneza Hz katuni ndoo wanaleta hayo maradhi ama ndoo yote wanayafanyaaa hawa mbwaaa wa kizunguu 😢
❤ kweli ❤
The best story book in 2024,,
Good to see you professor,I really appreciate your work 🤗
Safi sana jamali kwa story
Naomba likes jamani sijawahi kupata hata moja 😢
Yushakupa edina
Likes zikusaidie nini
Wewe ujitambui😢😢
Njoo nikupe😢
Nilikua nna hamu na hii Ahsante sana
Am turinig 36 yrs november and i used to watch this cartoon when i was young symptoms its more than 40 yrs and above walahi
That's true I used to watch the show at Fox back 2006 and I was little way back
Kama jamal 🎉🎉🎉 unampenda gonga 👍
Thank you so much professor for enlightening us.
Hatimaye the Simpsons wapewe maua yao👊👏👏
Jamal umekua kimya sana. Watu wako tumemiss story zako.
Dunia inaongozwa na watu huu wala c utabiri bali wanacheza na akili zetu na ni system imepangwa tayari
Hao katuni ni kama danganya toto tu ila ukweli upo nyuma ya pazia...shika njia yako maisha ya sasa c rafiki
Sio ya Sasa Toka zamani mpka dini na serekali na mipaka ni system walioweka wao Toka hata hujazaliwa sema sahv ndo watu tunaanza kushtuka
Sahiho
Kabisa hivi vitu wanatuchezea tu wao ndio wahusika Wa hayo matukio nakuyapa jina tu
Hawo ni mafreemason wasituumize kichwa Kila wanachokisema wanakipanga wao na kufanya kitokee kwa malengo Yao🙌🙌
Kabisa Mungu atusaidie Jmn viumbe vyake make mambo ni 🔥
Una uthibitisho
@@Madphilosopher13-04 mwenye macho haambiwi tazama
@@Madphilosopher13-04 vip mbona kama imekuuma kulikoni kamanda🤣🤣🙌🙌
@@Madphilosopher13-04Bro usiniambie kwamba unaamini ivyo vikatuni vinatabiri matukio😂😂😂
Jamal you r perfect to story it's done the Simpson wanajua kutabiri
Nimekuja baada ya trump kushinda
From the first storybook to the last one, here I Am.
KENYA Tuko ndani na Profesa
Hivi huko hakuna mtangazaji mwenye kipindi kama hiki?
Tunaojua hizi katuni tunajua future kuliko hata waganga😂
😂😂
😂😂
IM ADDICTED TO THE STORY BOOK 😂😂
Jamal
th-cam.com/video/KFHNPMFrd10/w-d-xo.html
Umekuwa addicted na uongo mwingi😂😂
Me pia silali bila kuweka the story book yani ndio napata usingizi
The Goat in narrative
Jamal 🎉you remain my favourite artist
Long life pro. Jamal April always u teach us
Ukienda kwenye story za wazungu uko unakuta kwenye comment watu wanatoa maoni, wanauliza maswalí sisi mi jitu inaomba like
Daah umeongea fact bro
Mpk wanaboa
Ata mm naumia sana
If u want to change the society change accordingly usijaribu kuish kwakuangalia wengine wanafanya nn
😂😂
The best story book ever, so Kamara will be a president in 2030
Let's wait and see😊
Ni Kamala sio Kamara
The creators me naona watakua ni illuminati😂 watching from kenya mololongo sio morogoro😂
kipind pekee nachowathamin wasaf🎉
Leo na mm pia nimewah etu 😃
Hii dunia ina wenyewe, kila kitu kimepangwa.😢
Nilikuwa nasubili ihi simuliz na bado natk ILe ya DUNIA duara au tambarare
Mi pia
Kwa mara ya kwanza toka nizaliwe naenda kuipenda kartoon , Jamali we ni mtu na nusu, Ngoja nifatilie awa The Simpsons
Series zipo nyingi good lucky😂😂
Tafuta cartoon inayoitwa minions ni series episode ya kwanza imetolewa mwaka 2005 na ya 5 ni ya mwaka 2022 ni nzuri sana lazima utapenda cartoons.
Kuuliza tu, utarudi utotoni kaka
Storybook inafunza mengi! Hongera sana. Kenya iko love!🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ohoo Kwa Hali hiii ngoja nimalize mkataba niende zangu kwetu mie kama mambo yenyewe ndio haya😅😅😅
Wallah Allah atunusuru loooh Sasa kama ni vita ya nuclear nani atapona Bora nikafie kwetu😢😢😢
Big brain my brother Jamal April
Naisi Hawa wanaotengeneza hizi video wanatumia time traveling 😅
For perfect subtitles, I definitely recommend Immersive translate
Simpsons creators wala sio time Traveller hao ni freemason na illuminati na kila kitu wanakipanga kabisa ila tu wanaupumbaza ulimwengu
Siku zao zatimia. Zephaniah 3:8
Apewe tuzo bhn uyu jamaa nomaaaa❤
Jamal nakubali sana, u have a talent bro
Professor Jamal.... 🚀🚀🚀🚀🔥🔥
Ba prédictions kitoko
Donald Trump's wins 2024 presidential election wapi likes zangu mafans wa the story book 🥳🥳
Broo kazi njema Historia imeandikwa una kazi mbovu🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏
Kwakeli ina stajabisha sana 😢 proffesor 🎉❤
Prof jamali
Hhhhhhhhhhhh tuleteee za kijambazi bx professor 👊😂😂😂😂😂
🔥🔥🔥🔥 respect Mr Jamal
The director of the Simpsons is a member of Freemasonry
Jamal tunakuomba mwaka huu tupate story book 📖 6 mpya
Mi nipo kusoma comment ❤😂
Ur the best professor Jamal ❤❤❤ always u do best N I wish you would be best of all time
The simpsons always there predict everything future past and present we living on the Scripts there had wrote
th-cam.com/video/KFHNPMFrd10/w-d-xo.html
Point of correction: You cannot predict the past
Profesa Jamali Fanya part 2 hii Cartoon imetabiri vitu vingi ,
NAMIE NAJITABIRIA IFIKAPO MWAKA 2026 NITAFIKISHA SUBSCRIBERS MILLIONI🪔🪕🎻🕯🌍🌎🌏
Professor Jamal April Chukua maua yako 🎉 uyanuse angali uko hai
The best story book ever
Duuuhuv😢😢😢😢😢hao usikute mawakili wa kuzimu wanajua kila kitu 😢😢😢😢😢daaha nilikuwa naipenda hii katuni but now I will never look again 😢😢😢😢😢😢😢
no usiache kuiangalia just stay positive
Mashaaallah uko vizur kaka
TUWATUMIE KWENYE KUBET TUSICHANE MIKEKA 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mamaeee 😂😂
Hiyo haiwezekani maana biashara yao kubwa ni kamali hao mafreeemasons
Ujengewe sanamu
Kabisaa😂
IKIWEZEKANA HAD AVIATOR BETTING WATUAMBIE JACKPOT NI SAA NGAP DAKIKA NGAP ROUND YA NGAP KWA BUKU TU HAD MILLION
Jamar April najivunia sana wwe😂😂😂😂
jaribu kufikiri bila jamal hii ingewezekanaje? 😊
Jamal hii ni story book nzur .....ever
Aya wale Mtiga Abdalah follows bdo mnamisi au Jamal kawafunga midomo😅
Kwanini elim hinyo isitumike vizur kwanini wanazunguka kupitia katuni😮😮😮😮😮😲
Kweli hahaha napenda but I love it
Wote ndio hao hao master mind scientist wanatupa ujumbe kupitia katuni
hii imeenda prof.
nashangaa kaka hajaongelea ile episode inayosema viongoz wa marekani wote ni ma allien
Kwasabab atujayaona kwa Mach bdo
Na tayari Dalili zimeshaanza kupnekana fuatilia vizuri.
Nice investigation story🙌👏
This is not investigation story
Ni rumours story
@@Madphilosopher13-04 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@Madphilosopher13-04you sound bitter are you one of them
@@hail7563 Sihuski now
Just logic and reasoning
@@Madphilosopher13-04upo sahihi investigation angeenda kabisa kuwahoji waandaaji wa hiyo katuni😂😂😂😂Jamal kasoma story katutafsiria kwa Kiswahili
Guys am sorry am from Uganda how are you guys
😂 komasava
Kwa upande wangu hii, Story Book ya leo ni bora kuwahi kutokea, imejibu maswali yangu mengi sana.
Mi nakuelewa sanaa🎉🎉
Prof Jamal big up bro
Professor fanya story kuhusu Amber Alert inasisimua sana pia itasaidia kupunguz utekaji wa watoto nchini
sisi watu weusi hasa Africa ni wajinga sana.. mtu analilia likes inakusaidia nini???? inakuongezea nini??? mtu anategemea akija kwenye comment section atakuta ufafanuzi zaidi... TUBADILIKE
Umesema maneno ya maana sana kuwe na suggestions kuwe na maswali kuwe na ufafanuzi wa zaidi ili tuzidi kufaidika
Iyo ni kweli kabisa
Sio afrika tu mpaka kwa wazungu uko, sijui ata zina maana ipi, ila nahisi wanaofanya hivi ni media zenyewe ili kuongeza like kwenye video zao😢
Ukienda kwenye story za wazungu uko unakuta kwenye comment watu wanatoa maoni, wanauliza maswalí sisi mi jitu inaomba like
@@husseinmassawa7186Wewe wazungu gani wanaoomba likes?
Wazungu hata kwenye video ya mapishi tu utakuta wanatoa maoni ya kueleweka.
Wamefeli kwa Kamala 😂😂😂 upuuzi tu
Iv kwenye radio sijawai bahatisha kipindi chako😢
Daah uyu jamaa ni hatr xana Jamal🔥🔥
Nilikuwa naisubiri kwa hamu sana❤❤
The only one professor 💥💥💥
Jamal April🙌🙌🔥🔥🔥
Jaman na mm naombeni like