Kuna watu walikuwa wanakubeza mwanzo wakat inaingia kuisimulia mwenyewe the story book but mm nilivokusikiloza Mara ya Kwanza kilichokuja kichwan kwangu kwa haraka ilikuwa no swala la muda tu ila u are the best kamwe kumbe sikuwa najidanganya now naona YOUR ARE THE BEST PROFESSOR 🔥🔥🔥🔥🔥
Na shukuru Mungu nilipata nafasi ya kumtembelea gereza alilo fungwa Tata Madiba niliona sehem aliyo kuwa akilala,blacket, ndoo na kikombe ndiyo vitu vyake alivyo kuwa anavitumia na pia na shukuru Mungu kwa kuniwezesha kufanya kazi na Mtoto wa Oliver Tabo.
Hapo Jamal kafatilie upya historia kwa undani utagundua MANDELA wa mwanzo sio MANDELA aliye peea uraisi. Aliye pewa Uraisi ni Mandela aliye andaliwa.. ukweli wote unapatikana katika chanel nyingi hata IBM chanel... karudie uchanguzi ndugu yangu umechemka hapo
Nahisi kama Nelson Mandela Kwa miaka yote aliyoitumia gerezan angekua uraiani angetengeneza historia kubwa zaidi ya hiii aliyotuachia,mungu akupunzishe pahala pema Shujaa wa Africa Nelson Mandela
jaman siwafokei ila sijwai pata like toka nije uku fanyeni kuniachia hata kidogo nachekwa ukuu
Unataka like uzikule amah
Mmmh
Kwa Wale Wanaomkubali Jamal Apri a.k.a Professa usipite bila #LIKE
Unajua alivyo sepa yule jamaa akamuachia professor,nikaanza kuumia sana, mwanzo sikuwa nakukubali professor ila sasa niseme wewe ni 🔥🔥🔥🔥
Hi
🤟⛑️
Naomba nikujue kwa like wewe ulie acha kufatilia kiki za wasanii na sasa unafatilia The Story Book
😂😂😂
😎
Nakwambia adi dem wang nimemsahau
Big up Nerson mandela madiba R.I.P
Bonyeza 👇 bonyeza
th-cam.com/video/TIue5Q_2Ie0/w-d-xo.html
Brother unatuelimisha sana kaka Mwenyezi Mungu akubariki na akupe miaka mingi uzidi kuzikomboa fikra za watu weusi Africa
Hivi huyu jamali si wampe tuzo tu ,zikishindikan mpe like
Mandela,kwangu.miongoni mwa. Mashuja.nawapenda sana 1)Mandela,2)Samnijoma. wa Namibia. 3)Nyerere 4)Patrick Lumumba 5)Kwame nkuluma 6)Samora Mashell 7)Robert Mugabe na shujaa wa kizazi akina. Karume Kanali Gaddafi, Magufuli hawa. Wazee warikua kweli MASHuja wetu mungu awaifadhi
Leo nimechelewa kidg kua wa kwanza lkn sio mbaya nimewah kidg.
like zenu wanangu wote wana wcb na wana man U tz
Wanao sikiliza na kusoma comment tujuane kwa like
😂😂😂
Kama unasubiria Hiroshima and Nagasaki Hydrogen bomb attack by US TUJUANE😳
Tubasubiri yeyote next
Thinking the same
hiii nataka kuisikiaaa
Daaaaah! History Book hakika imempata mtu sahihi 👏🏽👏🏽👏🏽
Ahh Nani kasema mwenyew has mtiga bana wee
asante sana the story book🙌..nimeguswaa i love Nelson mandela too much❤
Kuna ukweli kuwa mandera walimuua gerezani xio uyu yunaejua ukweli ukoje? Jamal
Usawa kwa mwana CCM na Mmwa Chadema kwenye aridhi Tanzania 💪🏿💪🏿 na siyo chuki za kichama
Prof mwenyew#jamal the best,, talented sana uyu#akili kubwa hii
Jamal wewe ni zaidi ya wajumbe safi sana bro unatufanya kujua historia za viongozi na mambo mbalimbali
BIG UP PROFFESOR JAMALI,🌍
MEME SIKUFOKEI HATA KIDOGO MZEE,👇
KAZI NJEMA.😌😌
Aisee hjamaa anajua
@@ramadhanimsangitzdigita sana kaka
Kuna watu walikuwa wanakubeza mwanzo wakat inaingia kuisimulia mwenyewe the story book but mm nilivokusikiloza Mara ya Kwanza kilichokuja kichwan kwangu kwa haraka ilikuwa no swala la muda tu ila u are the best kamwe kumbe sikuwa najidanganya now naona YOUR ARE THE BEST PROFESSOR 🔥🔥🔥🔥🔥
Professor nakukubali 💪💪
Simba wa Africa ni Mwalimu Nyerere na Kwame Nkruma
ni nyerere tuu ,na ndio aliowapa ujanja
Good job proffessor
instaBlaster.
Naam like 3 tu naomba hapa
Hakika tunashukulu kwa Story zako ALLAH akuzidishie
Wanomukubali jamal mustafa gonga like hapa 😍
siku nelson mandera alipokufa pia alikufa na kijana aliyekuw anaitwa nelsoni kijijin kwetu kwaga R I P NERRY WA KWAGA😭😭😭
Unafilwa ww
Wakwanza leo naombeni like zenu
Kama na ww umeamua kufutiria history ya Africa kama mm like plz
Jamal umetixhaaa 🔥🔥🔥
Dah!!
Sijui niseme nn tena!!
Coz mpk aibu nlivyomponda Jamal mwanzo!🤔🤔🤔🙄🙄🙏🙏🔥🔥
So impressive story....R.I.P Madiba
Bonyeza 👇 bonyeza
th-cam.com/video/TIue5Q_2Ie0/w-d-xo.html
Saiv waafrika tongekua na sehem ye2 ya kucoment
big up sana kwa mama mandela,,bila kukichafua kisinge eleweka,,
Unajua ndo mana familia ya wasafi inakupenda sana
Gonga Likes Kwa Jamal April The Professor🤓
Poa
Congratulations Professor Jamal
So creativity 🙏
Nelson Mandela The Lion of Africa alifanya yake,pumzika kwa amani shujaa wetu...
i appreciate ur work bro 🙋♂️🙋♂️
Jamali Majina ya kwao unayapatia 😹😹😹
The story book
#Jamari mustaph
#professor
Aikuwa rais wakat unaanza kusimulia lakin now you are the best brother keep it up natamani Nickie cku umeenda sayar ingine tofaut na dunia yetu
Professor hatari xan naomb ata like zenu wadai wa wasafi
Nice
Na shukuru Mungu nilipata nafasi ya kumtembelea gereza alilo fungwa Tata Madiba niliona sehem aliyo kuwa akilala,blacket, ndoo na kikombe ndiyo vitu vyake alivyo kuwa anavitumia na pia na shukuru Mungu kwa kuniwezesha kufanya kazi na Mtoto wa Oliver Tabo.
Hi wana The story book enx to our God 2mekutana tena anyways Magreth loves u guys ming ming 🙏🙏😘😘
Tnx
We love you Madame
Me love u 2 au nitume naur
0673786665
This is next level brother !
The story book is always fireeeee🔥🔥🔥
Big up Professor💪💪
Dah Asante Jamal nimejua mengi kuhusu Mandela
Your the best professor Jamaal
Keep giving us
Time to the story book
Nakukubali sana MUNGU hakutunze sana profesa Jamali
Saf professor 👏👏👏
Hapo Jamal kafatilie upya historia kwa undani utagundua MANDELA wa mwanzo sio MANDELA aliye peea uraisi. Aliye pewa Uraisi ni Mandela aliye andaliwa.. ukweli wote unapatikana katika chanel nyingi hata IBM chanel... karudie uchanguzi ndugu yangu umechemka hapo
I Love this story.thanks wasafi media.
Great work, am flowing from Denmark🇩🇰.
Madiba,daa!! Just remember gorilla war
Professor katika Ubora wake,Sijawahi kupata like 100k like tafadhali tuende sawa na Professor
100K Likes?😡 are u Diamond????😂😂😂
Buyi ze don
Duuu
@@gka9147 Naam
@@iammusic3404 😀😀😀
kwann msifanye utaratibu wa kuweka epsd 2 kila wiki😂
Hongera Jamal upo vizuri kuliko Mtiga. Wewe ndio fundi, nilikuwa sijakuzoea tu
Mmmh! Mtiga hana mpinzani wewe, tena huyu hata hamfikii mtiga kwa usimuliaji.
@@fatmafeisal442 Hata iweje Mtoto atabaki kuwa Mtoto na Baba atabaki kuwa Baba!
The real professor @jamal_april I always adore you brother keep it up
The story book 🔥Jamal April uko Sawa broo👌🙏
Thank you bro, Nice work, keep goin 👍
natamani sana kusikilisa sitori ya mantel
Simba na baba wa Africa NI mwal nyerere sema Basi hamna noma fresh.
*Nice 4 everybody Mr professeur please Story book ya mansa musa*
Napenda sana hzi simulizi....zinanfngua akili n kunpea upeo wa wtu tofauti tofauti waliofnya vtu ....asnt sna
Sana mwamba leta vitu baba
Weuweeeee🔥🔥🔥
Dah unajua kk bado ya Christopher Columbus
Nakukubali sana broo
Naangalia baada ya varane kutufokea.
Alafu unakuta mtu anamlaumu Hushpup kwa kuwanyoosha,
😄😄😄
Uma autêntica aula de história.
Bom programa.
Ee
Rreuiqr
Wtpqt
Mungu ampumzishe kwa amani
NITAKUKUMBUKA DAIMA ROLILALA
MNAO KUBARI STORY BOOK LIKE APO
Wewe ni moto love from mogadishu
Mambo vipi asee
@@msafirimadanya3340 poa sana
Mr Jamal, naomba siku utufanunulie Historia ya Nyota (Astrology signs)
Kabisa itapendeza mnooo
Tunalifanyia kaz
acha ujinga anayejua historia ya nyota ni mungu pekee
JAMAL APRIL GENIUS LIKE KWA WING KWA GENIUS WETU
👏🔥🔥🔥🔥🔥Bado Ya Nyerere Sasa
Ya Nyerere Ishatoka Mzee
Lakin ujagusia mchango wa Nyerere kwenye kupigania uhuru jamen
Jamal Jamal Jamal nasema tumekuelewa Kama unafuatilia comment sema Amina tafadhal jamal
kwa wale tulio ipenda hii story tujuane kwa ku like
I'm the coming Mandela
Mwenyezi mungu amwangizie mwanga wamilele shujaa WA africa
Very classic mtunzi nlijua utacha kitu 🚴🚴
Wasafi media keep it up men and never give up
Wow Asante
Mwanasayans no 1 Tanzania Jamal April hakika tunakula matunda mazur sana nataman niwe mwanafunz wako nijifunze baadh ya mamb mazur kwako
Nahisi kama Nelson Mandela Kwa miaka yote aliyoitumia gerezan angekua uraiani angetengeneza historia kubwa zaidi ya hiii aliyotuachia,mungu akupunzishe pahala pema Shujaa wa Africa Nelson Mandela
I honestly love your stories✨️
Kama umesikia mangala ngala ukacheka gusa like apa😂
Jamaaaaal ni hatareeeee
Ukisikiliza na kusoma comments like hapa twende sawa
Great bro I like your storys they have some great impression
Professor Jamal 🔥🔥🔥🔥🙌
Nakbali Prof.jamal
Ningekutafta na uwezo ningekupa ata gari Jamal unanifrahisha sana we kiboko
Story nzur shukran sana jamal
Heri kubaguliwa na mtu mweupe kuliko kubaguliwa na mweusi mwenzako kwa itikadi ya vyama mbaya sana
Ila #Mandela alikua muun sana maana iwo mstari alioweka kichwan sio poa 😂
🤣😂😂 duh
🤣🤣🤣
Jamal broo tuletee story ya Saddam Hussein pia plz