Masha Allah. Asante sana Bi Na. Nafsi yangu nilikuwa siamini hio historia ya kuwa walikuwa wanafugwa watumwa humo. Lkn sikuwa najua ilikuwa ni sehemu nini. Wengi wanapenda kutoa historia ya kueneza chuki na ubaya bila kuangalia kuwa wengi wetu wazanzibari tuna pande zote mbili za watumwa na za mabwana.
Makes a lot of sense. Those blaming Arabs for slavery esoecially European missionaries and rulers and their Christian followers,should stop telling lies
Zanzibar na oman nimoja kama nimungano bora ungekua oman na Zanzibar nibora zaidi kwasbb waoman wanaahistoria yao oman nilazima watakua nahuruma na upendo wenyewe waomna wanasema kua Zanzibar ninyumbani
Ukitaka kuwafuragisha waznz we ye chuki, waam ie kuwa waarabu ndio waliokiwa wafanya biashara ya watumwa, rena wanafurahi sana. Kheri za waarabu hawapendi kuzosikia,ikiwemo lugha,dini,mavazi,ustaarabu, majengo,mabarabara nk
Ktv hongereni lakini udadisi ni muhimu katika kutoa habary sahihi na historia haibadiliki mamb ya nasabu sawa lkni alisema kuwa chimbuko la huyooo ni mahodary na alimpa mikoba gani...... ¿
historia ya znz ni kubwa mnoo ipo historia nzur na mbaya pia. hakuna shm ina historia nzur 2pu. allah atustiri na atuekee mahala pe2 znz .. m.naomba historia ya oman na znz kwa ujumla jinc ilvyo hapo mwanzo.. kuna wa2 hawaamin waznz walio wngi hasa wazee wao wote wametoka nchi za kiarab ..
kwamimi nashkuru histy ya nchi yangu naijua kwamaana mama mkuu wangu amefariki akiwa namiaka 100nazaidi miaka 14 iliopita nababu yangu wa kwanza yupo hai na anamiaka 97 kwasasa
Baadhi ya maandiko ya vitabu vingi vya kihistoria vinatujuza kwamba watumwa walipitishwa hpo kwa muda mfupi sana ili waweze kuteremshwa kwenye Bandari ambapo tyr majahaz yapo kwa kuwachukuwa
niliwaambia yule KTV na wapeni wenzetu wa KTV kuwa huyu kijana ni muongo aliotoa hadithi ya mwangapwani. historia ya watumwa yote ipo kwa waengereza na watumwa walikuwa wanafichwa makanisani. lakini watumwa na wakiristo wenzao wakishirikiana na waengereza historia ya znz wakaibadilisha kama biblia. hapa kule kisiwa cha changuu kilikuwa ni kisiwa cha kufichia watumwa.. hata mpaka Leo znz watumwa wapo kutoka bara wakiona wanatoroka kwao zamani mtumwa kukimbia kwenda kwao hawezi. historia imepinda pinda.
Kuhusu majini znz kuwepo kwanza A majini wapi enzi tangu visiwa vya zanzibar haviishi watu ninamaana tangu enzi za nabii suleiman nyuma nyuma halaf majini wengi wanaish visiwani na inamaana kwamba visiwa viko Bahraini namajini wengi wanaishi Bahraini tangu enzi
Nilivyosikia mie kulikuwa na mtemi wa kabila la kizigua akiitwa mhelamwana alikimbilia znz kupitia saadan akafikia mahali hapo na kupaita manga ya pwani kwa maana alitokea sehemu iitwayo manga iliopo wilaya ya handeni mko a wa tanga
Wee wa kuja ndio mnaojaribu kuipindindisha historia ili kujenga chuki miongoni mwa wazanzibari asilia. Angalia unajaribu kuwaaminisha watu kuwa waznzibari hawaijui historia yao
kiukweli historia ya znz inajulikana nawazanzibar wenyewe nashangaa wanakuja watu ambao hata mama wababu zao hawakuzaliwa hapa stori yakweli wataneipata wapi ndio maana wanaongopa kama lugha yao
Watu waliopewa dhamana ya kuenzi historia Idara ya Makumbusho na Mambo ya kale mnatuelezaje juu ya mabadiliko hya ya historia iliyokwisha enea dunia nzima?why hya mabadiliko yaelezwe wakat huu?tunahitaji muongozo kutoka kwenu
Suria hakuna Hata siku 1 Enzi za Mtume Muhammad Walikuwa,Warabu wana teka watumwa na kutembea nao kwa nguvu Watu walikuwa wafichwa huko tena chumba hicho ni ngome ya majin ndio Warabu walivyo tufanya kutudhalilisha Watu weusi,
Of course you will say that because you're name suzan patricks. Hii historiya ya zanzibar na warabu kuuza watumwa ni history iliyoletwa na British na nyerere ili kuiponda dini ya kiislamu na kuitawala nchi ya zanzibar kwa hoja za kiongo.
Masha Allah. Asante sana Bi Na. Nafsi yangu nilikuwa siamini hio historia ya kuwa walikuwa wanafugwa watumwa humo. Lkn sikuwa najua ilikuwa ni sehemu nini. Wengi wanapenda kutoa historia ya kueneza chuki na ubaya bila kuangalia kuwa wengi wetu wazanzibari tuna pande zote mbili za watumwa na za mabwana.
Shukran Ktv tz ONLINE HAKIKA HII NI FAHARI YETU HODI ZENJIBAR
ALLAH Wajaalie malazi mema wazazi wetu (AMIN)
ASSALAAMU ALEYKUM MASHALLAH I LOVE 🇿🇦 ZANZIBAR AND PEOPLE OF ZANZIBAR THE ARE TOO KINDNESS ❤️ 💖 ♥️ 💗 💜 MY ALLAH ALWAYS MAKE THEM HAPPY 😊 😃 😀 😄 😁 🤣
Makes a lot of sense. Those blaming Arabs for slavery esoecially European missionaries and rulers and their Christian followers,should stop telling lies
Fanyeni tuipate iyo historia ilokuwemo kwwnye CD anayosema bi NAa kisha chengnie mmetubania iyo mangapwani hamkutuonyesga vizuri. Asanteni
Mie nipo nawee mtangazaji alhamdulilah upo vizuri sana bibiye.
Ahsante bi NASRA kwa kutujuza
Nipewe no za huyo mama nimfte kwake inaonekana anayajua mengi huyo ntmni ungekuwa mma angu wwe ningefaidi mengi kutka kwako👌👌👌👌👌👌👌
Uondoukweli nautabakia kua ukweli asante bi naaa
❤❤❤
Mashaallah binassra historia ya kusisimua
Chechei wadau jmni mmi Zanzibar nyumbani lkin wallah manga pwani cpajui hta kukovipi itbidi niwe mtalii nitalii kila saham mskunduchi.nungwi nisehm nying mmicizifahmu kiwengwa hdi aybu kusema ivo zanzbar kisiwa chenye history bungi dah inatosha jmni mna nitmlza majina .
@S Sur pole sana mpz itabidi ufanye ziara ya kutembea na ukitaka kampany naweza kukupa inshaAllah ucjali.
@@ukhtyrahma.3922 kweli ishllh tuwombe uhai na uzima nikirudi kwetu nitkutfuta kwani nko mbali na TANZANIA😗😗😗
@S Sur inshaAllah ucjali
Uninambie na mm nije nipo dar nipate wenyejiii
Fatmah Mwinyi inshaAllah msijali nyie njooni tu hasara miguu yenu na nauli zenu.
Mangapwani ni nyumbani na hy mzee ni babu yangu mzee Hamed Allah amraham
Amin
Amina inshallah
Haya asanteni KTV TZ ONLINE
Ahsante bi mkubwa,wahenga twawaheshimu sana.
wakati zipo shule znz 2012 chuini secondary school tulienda wanafunzi na walimu kujionea history ya watumwa kote tumesha ingia kutizam
Sheria imebadilisha ukweli mpaka mashuleni watoto wanasomeshwa uongo na historia ya zanzibar ,ukweli unafichwa ,zanzibar nchi ya barka
Zanzibar na oman nimoja kama nimungano bora ungekua oman na Zanzibar nibora zaidi kwasbb waoman wanaahistoria yao oman nilazima watakua nahuruma na upendo wenyewe waomna wanasema kua Zanzibar ninyumbani
Tatizo wavivu oman oman mnapenda vya bule
Huyu alojenga cave akija mbagala harud😊
Upo vizur bii naah mashallah endelea kutujuza na mengine😍
Watu wenye chuki na waarabu na waislam hawapendi kusikia haya
Kweli behle mtihani hadi Leo me nipo uku wanakusifia behle kwavibwengo 😂😂😂
Duh! Historia nzuri lakini ya kusikitisha😔. Mola atusitiri
Bado kule kanisani mkunazini.
Wanaendeleza uongo na kudanganya watalii ,
Ukitaka kuwafuragisha waznz we ye chuki, waam ie kuwa waarabu ndio waliokiwa wafanya biashara ya watumwa, rena wanafurahi sana. Kheri za waarabu hawapendi kuzosikia,ikiwemo lugha,dini,mavazi,ustaarabu, majengo,mabarabara nk
MashaAllah
Ukhty Rahma Ilo jengo linatisha dah hatari
S Sur hahaha ucjali nitakukamata mkono twend pa1
@@ukhtyrahma.3922 shukrani mydear
S Sur Afuwan my dear.
Binasra nimeshajihika sana na maelezo yako naomba telephone number yako
❤zanzibar
Historia ya Zanzibar inafichwa hata maskuli hawagusi zaidi nikusema Waarabu walitesa wazee watu.
Ktv hongereni lakini udadisi ni muhimu katika kutoa habary sahihi na historia haibadiliki mamb ya nasabu sawa lkni alisema kuwa chimbuko la huyooo ni mahodary na alimpa mikoba gani...... ¿
Mangapwani ndo nymbani kwetu huko najisifia sana home sweety home
H0m sweat h0m
samahani Ktv ile ilikuwa zaima tv niliposema hiyo historia ya uongo
Kwahio ni kweli Warab wa Oman ndio walioleta majin visiwani Zanzibar!
Majini wapo tangu enzi za nabiii suleiman
Majini ni viumbe km ww, wapo kila mahali
wapige chini wanaanza hujuma ili muonekane mnakwama baada ya mzee kuondoka
Historia tamu iyo jamani
historia ya znz ni kubwa mnoo
ipo historia nzur na mbaya pia. hakuna shm ina historia nzur 2pu. allah atustiri na atuekee mahala pe2 znz .. m.naomba historia ya oman na znz kwa ujumla jinc ilvyo hapo mwanzo.. kuna wa2 hawaamin waznz walio wngi hasa wazee wao wote wametoka nchi za kiarab ..
Kwahiyo hakuwa na waafrika hapo znz
😲Sioni vizuri wacha nitanue mijicho
zayyati yusufu pole san
@@ukhtyrahma.3922 hahaha nisha chungulia nilikua Sioni vizuri😞
zayyati yusufu njoo uchukue glass
@@ukhtyrahma.3922 🤓🖒apo vipi?
zayyati yusufu apo saw.
😗😚😍🤞
❤ zenji
kwamimi nashkuru histy ya nchi yangu naijua kwamaana mama mkuu wangu amefariki akiwa namiaka 100nazaidi miaka 14 iliopita nababu yangu wa kwanza yupo hai na anamiaka 97 kwasasa
So history inaishia kwako bi naa🤭
Woow
Baadhi ya maandiko ya vitabu vingi vya kihistoria vinatujuza kwamba watumwa walipitishwa hpo kwa muda mfupi sana ili waweze kuteremshwa kwenye Bandari ambapo tyr majahaz yapo kwa kuwachukuwa
Hii history or story
niliwaambia yule KTV na wapeni wenzetu wa KTV kuwa huyu kijana ni muongo aliotoa hadithi ya mwangapwani.
historia ya watumwa yote ipo kwa waengereza na watumwa walikuwa wanafichwa makanisani.
lakini watumwa na wakiristo wenzao wakishirikiana na waengereza historia ya znz wakaibadilisha kama biblia.
hapa kule kisiwa cha changuu kilikuwa ni kisiwa cha kufichia watumwa..
hata mpaka Leo znz watumwa wapo kutoka bara wakiona wanatoroka kwao zamani mtumwa kukimbia kwenda kwao hawezi.
historia imepinda pinda.
Uongo
Stupid
Belgie boys utumwa upò na wenyewe waarabu na yule mdada hawezi kusema kweli kwasababu waarabu tunawapenda sana
Kuhusu majini znz kuwepo kwanza A majini wapi enzi tangu visiwa vya zanzibar haviishi watu ninamaana tangu enzi za nabii suleiman nyuma nyuma halaf majini wengi wanaish visiwani na inamaana kwamba visiwa viko Bahraini namajini wengi wanaishi Bahraini tangu enzi
Re
vijana wa kitumwa hawawezi kutoa historia ya znz
Watu zanzibar wanatiwa chuki na uongo waarabu wabaya katika zanzibar hao waarabu wamechangaya na waafrica na fisiemu ni chuki tu wakionayo
Nawish ningekuepo izo zama 😎😎😣
Mkubwa
Nilivyosikia mie kulikuwa na mtemi wa kabila la kizigua akiitwa mhelamwana alikimbilia znz kupitia saadan akafikia mahali hapo na kupaita manga ya pwani kwa maana alitokea sehemu iitwayo manga iliopo wilaya ya handeni mko a wa tanga
Viringo walikuwa wengi during that time
Ila ungekua ushakua kibudu🙄
Inafichwa eti lakini ikiwa kama hivi si tutafahamu
History ya ukweli ya Zanzibar imeamza mwaka 1964 mpaka sasa hivi huko nyuma hatujui chochote.
Wee wa kuja ndio mnaojaribu kuipindindisha historia ili kujenga chuki miongoni mwa wazanzibari asilia. Angalia unajaribu kuwaaminisha watu kuwa waznzibari hawaijui historia yao
Hujui wewe ambae historia yako kuhusu Zanzibar imeanzia baada ya hayo mapinduzi...... inaonekana huna ujualo kakojoe ukalale
@@nassorsharifu9837 kama yeye wakuja, je hao waarabu nao vp, au ndo wenyeji
USILOLIJUA NI USIKU WA KIZA NYAMAZA KIMYA
Tatzo lako unaitwa pastory huwez jua mambo ya said wa moh'md we ukae kimya mzigua mtumwa
kiukweli historia ya znz inajulikana nawazanzibar wenyewe nashangaa wanakuja watu ambao hata mama wababu zao hawakuzaliwa hapa stori yakweli wataneipata wapi ndio maana wanaongopa kama lugha yao
Watu waliopewa dhamana ya kuenzi historia Idara ya Makumbusho na Mambo ya kale mnatuelezaje juu ya mabadiliko hya ya historia iliyokwisha enea dunia nzima?why hya mabadiliko yaelezwe wakat huu?tunahitaji muongozo kutoka kwenu
Naogopa 😂
ww
na cha kufurahisha niwatu waingeaji
Mbona sauti haitoki
Sasa km suria vp alikuwa shekhe
Mangapwani " wamanga wapo pwani"
Anasema mwangaza, lete hoja!
sham acha matusi sisi waungwana matusi kwetu haramu
Tulidanganywa wakati tupo Chuo Nukuu ila sisi wengine v ichwa vyetu vipo vizuri
storia ya ukwel ya Zanzibar haisemwi
Haisemwi kivip
Zanzibar history yake ni utata tu
Suria hakuna Hata siku 1 Enzi za Mtume Muhammad Walikuwa,Warabu wana teka watumwa na kutembea nao kwa nguvu Watu walikuwa wafichwa huko tena chumba hicho ni ngome ya majin ndio Warabu walivyo tufanya kutudhalilisha Watu weusi,
Faki tu fuck!! Ukweli uko wapi?
Of course u dont want to admit
That's the difference between civilised and non civilised ppl. Non civilised ppl use a abusive language
They hide the truth for their self benefit
Of course you will say that because you're name suzan patricks. Hii historiya ya zanzibar na warabu kuuza watumwa ni history iliyoletwa na British na nyerere ili kuiponda dini ya kiislamu na kuitawala nchi ya zanzibar kwa hoja za kiongo.
Uongo mtupu
Mashaallah