Ase mm nakuona upo kama mm kwani unapenda kujua kuhus hii dunia kwan mungu ametupa uwezo wakila kitu ila wenye akil tuu ndokujua ukwel wa mengi we nakuweka katika hao watu na natami siku nikutane na wewe kunavingi unavijua na nitaomba kutembela store yako ya vitabu kwani u a amazing bro
Matter can become energy anf energy can become matter, Mr. Tesla discovered that there is no energy contained in matter other than that received from the environment.
Mustapha Jamal Masha Allah nmeelewa umenifnayia simple kwanza nmeshdwa kuelwa time traveling kwa kozungu sai wlh nmezielwa kila kitu,asnte sana na pia tafadhli utuletee mengi kuhusu vitu kaa hvyo viko kwa space
Saluuiuuuti mzee baba ....story zako zinanifunza mengi nisiyo yafaham...na zinanifanya nizid kuamin baadhi za move za kikorea na wazung kuwa ni mambo yaliyopo na yaliyotokea...kama faithfull ya kikorea na once upon a time ya kizung zote ni uhalisia ya story hii
Mr am from Kenya,and I really like to watch this episode of yours,they are very teaching full,and also educating,keep it up, honestly, I yearn to be like you.thanks for the interesting story and more story discovering, that I was not a ware of them.may you live long to inspire the world bro
nimekubali Pro. umefanya tafiti effectively 100% upo right lakini kitu kimoja ongeza muda kwenye simulizi zako ni mudamfupi sanaa unatumia try kuongeza mudaa
Mwamba ni mwamba anajua sana,, anajua sana na mm ninayecomment hapa ninauwezo mkubwa wa kujua nankuelewa kuhusu science of physics..... Na nimemushangaa sana mwamba ,, na sasa nasema mwamba ni #MWAMBA
Kaka siku nyingine utupe ubao mkubwa kabisaaaa....ili ukokotoe vizuri kabisa...storybook ya Leo kibooooko😊.God bless you bro umenifungua mambo makubwa nisiyoyajua...nataka nisafir mpk 2097
Thanks sana, haki umenisaidia kwa sababu tunafanya theory of special relativity na Maxwell's equations of electomagnetism. I can now easily understand. Love from Australia
Msingi wa story ni kuandika Mtiga alikua anaandikiwa na huyu jamaa sasa kule alikoenda amekosa mwandishi anahadithia vitu havina evidence na wala havieleweki
hasara za time travel zipo tena sana moja ni kuharibu future. mfano mtu kafa present unaenda past kurekebisha future yake ili asife kwa sababu uliyo iyona future. niseme tu labda mtu akienda past ni kwa ajili yake yeye mwenyewe lakini sio kwa ajili ya watu wengine.
Elim hii ipo mwenyezi mungu awamepewa bani Israel tu. Kwakuwa wao wana choyo ndiyo maana wengine hawajui... na hao ma genius tafsiri yake ni Majini ndiyo uifaham zaidi na ndiyo maana ufanya kitu.
Jamaa anaongelea mambo makubwa sana na yenye ushawishi ukubwa katika kuami kwa ufupi hata wabishi sugu wanakosa hoja, mwanafalsa Albert Enstein ndiye mwanafalisafa anayeaminika kuwa na uwezo mkubwa kuliko wote pia speed ya mwanga kwa wale wanafisikia wanajua ndiyo kitu chenye speed kuliko kitu kingine chochote duniani, big up mzee wa kazi
Uko sama kusafirina muda lakinikusafikwa muda Soo vizuri kwani inaweza kuleta matatizo unawezakurudiyu naukaaribu future aanabinadamu akipewa maalifa megi wanayatumiavibaya maana mtu Kama amepakukuua anaweza kurudinyuma anaweza kukuua kilahisi. Sisi binadamu tuko Kati ya past and future sio vizuri Sana kusafiri kwa muda
Kuna maswala ya multverse theory, dimensions, Quantum physics, black hole , cjui parallel paradox na kuhusu kua future na prerent na past they exist Simultaneously.... ni elimu flan ya Physics ya kitofauti sana sababu imejaa theory nyingi mno na technology yetu bado haiwez kutatua baadh ya test zinatakiwa kufanywaa.... JAMAL APRIL kaelezea vizuri kwa level amabyo akina sisi ambao hatusom physics tupate picha kidog.
Ananikumbusha picha ya Donie yen siikumbuki jina ila ilikuwa inazungumzia maswala ya muda kwenda mbele na kuludi nyuma safi sana Jamal kwa sasa nakuelewa
@@abduljabbarmohammed4188 Surah Al-Isra, Verse 1: سُبْحَانَ الَّذِي أَسْرَىٰ بِعَبْدِهِ لَيْلًا مِّنَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ إِلَى الْمَسْجِدِ الْأَقْصَى الَّذِي بَارَكْنَا حَوْلَهُ لِنُرِيَهُ مِنْ آيَاتِنَا إِنَّهُ هُوَ السَّمِيعُ الْبَصِيرُ Glory be to Him Who made His servant to go on a night from the Sacred Mosque to the remote mosque of which We have blessed the precincts, so that We may show to him some of Our signs; surely He is the Hearing, the Seeing. In ahadith, we have that he returned the same night while his bed was still warm.
Aisee big up sana Jamal unajtahidi sana endelea sana hivyo hvyo utafika mbali bro, naipenda sana kazi yako unayoifanya kimpangilio hata uelezeaji na Mungu akusaidie ufike mbali
Professor jamal .... endelea kutuma elimu kaka ya mambo mbalimabli , tunajifunza mengi kuhusiana na THE STORY BOOK .!! Mungu Akupe uhai mrefu uzidi kutufungua akili zetu kaka juu ya mambo mbalimbali tusiyo yafahamu kwa undani wake
ASAÑTE KWA SOMO, Ila swali langu ni kwamba,ni ipi tofauti kati ya tofauti za masaa zilizopo ulimwenguni kati ya nchi au eneo moja na jingine na hii dhana ya time travelling,maana kwa maoni yangu hata wale waliopo nyuma ta masaa wanaishi katika PAST na wale waliopo mbele kwa tofauti ya masaa wanaishi katika FUTURE,naomba unielimishe zaidi kuhusu hilo.
Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯💯
Yan nataman kuskia storia ya jamali mwenyewee akijielezea kama na ww una taka kumjua vizur. Mwambaa twendee sawaaaa. 1
Merci beaucoup prof April, vous m'aidez vachement sur l'histoire.Vous êtes numéro 1
Much love from your fellow Tanzania's wewe ni role model wa watu wengi mengi tunajifunza kutoka kwako mungu akupe maisha marefu kaka yangu kipenzi
🎉
We need part 2 proffesor.This is the best story book i like the most.
I love these guy the way he narrates 🇰🇪
Ase mm nakuona upo kama mm kwani unapenda kujua kuhus hii dunia kwan mungu ametupa uwezo wakila kitu ila wenye akil tuu ndokujua ukwel wa mengi we nakuweka katika hao watu na natami siku nikutane na wewe kunavingi unavijua na nitaomba kutembela store yako ya vitabu kwani u a amazing bro
Wow I really like science ya professor Jamal mungu akubariki I really like vile unavyo fafanuwa I need more sir 🙋🙋🙋 and more
Jamal nakupenda bure to kakaumefanya nijue mingi Sana kuhusu dunia kweli asante kipenzi mungu aibarika wasafi am from Kenya Nairobi 🇰🇪😍🇰🇪😍
Ability ya uyu msee ni unmatched, very talented 👌
E= mc2
E=energy
M=mass
C=speed of light( anything that has mass has amount of energy equivalent of speed of light......................
The time is combine by world magnetic field so ukiitaji kuipata worm hall ni sumaku dunia ambayo utofautisha saa na compass/dira
Matter can become energy anf energy can become matter,
Mr. Tesla discovered that there is no energy contained in matter other than that received from the environment.
Acha basi kunikumbusha jinsi nilivyo kilaza
@@immaculatejohn9906 😂😂😂😂😂😂
wakwanza kabisa I love story book👏👏hongera
Mustapha Jamal Masha Allah nmeelewa umenifnayia simple kwanza nmeshdwa kuelwa time traveling kwa kozungu sai wlh nmezielwa kila kitu,asnte sana na pia tafadhli utuletee mengi kuhusu vitu kaa hvyo viko kwa space
Tusema ukweli Tanzania tumekuelewa sana mungu akulide kwa kzi nzuri sana
Saluuiuuuti mzee baba ....story zako zinanifunza mengi nisiyo yafaham...na zinanifanya nizid kuamin baadhi za move za kikorea na wazung kuwa ni mambo yaliyopo na yaliyotokea...kama faithfull ya kikorea na once upon a time ya kizung zote ni uhalisia ya story hii
like kama unamkubali proffesor jamal
Mr am from Kenya,and I really like to watch this episode of yours,they are very teaching full,and also educating,keep it up, honestly, I yearn to be like you.thanks for the interesting story and more story discovering, that I was not a ware of them.may you live long to inspire the world bro
nimekubali Pro. umefanya tafiti effectively 100% upo right lakini kitu kimoja ongeza muda kwenye simulizi zako ni mudamfupi sanaa unatumia try kuongeza mudaa
Hakuna hadithi isiyo ya kweli, dunia haijafika mwisho... Jambo lililo na laana kwa jamii moja linaweza kuwa baraka kwa jamii nyingine
Diamond is real Super Genius
#bila shaka Ni "role model" wa watu wengi
Kumpa sifa zake Jamal umeona ni shida ila bora umpe sifa diamond! Kazi ipo...
Ipo good Sana brother
#Anthony Kamkolwe ni kweli diamond ni mkuza vipaji
Anthony Kamkolwe nakubali asilimia Kwa100
@@cornelliusbaxter70 tatzo ni nan angeona hicho kipaji
Thank you Jamal kwa muda wako wakutufafanulia mambo. ❤🔥🔥
You what, this person is really GENIUS even if he is using secondary information SALUTEEE..BRO😘😘
How else finds Jamal's voice sweet Na how he narrates mtu hu understand kabisa
N who else mamaa though
That true good sound
Wow.... Real amazing.....we all love #thestorybook..... Love from 🇹🇿🇹🇿
Naombeni like wale walio chelewa kuona hii story book kama mimi
nimeona kuna padre alimpiga picha yesuu😂 sasa apatunapigwa Yule brayani dicon ndio yesu
Mwamba ni mwamba anajua sana,, anajua sana na mm ninayecomment hapa ninauwezo mkubwa wa kujua nankuelewa kuhusu science of physics..... Na nimemushangaa sana mwamba ,, na sasa nasema mwamba ni #MWAMBA
Jamani naombeni hata like kumi
Njoo uone
Isee time traveling
😢😢😢
Na mimi Nikita kuona nifanye Nini?
❤❤🇲🇿🇲🇿
Kaka siku nyingine utupe ubao mkubwa kabisaaaa....ili ukokotoe vizuri kabisa...storybook ya Leo kibooooko😊.God bless you bro umenifungua mambo makubwa nisiyoyajua...nataka nisafir mpk 2097
😂😂😂
Utajikuta upo kaburini dadekiiii
tafuta series inaitwa dark imezungumziya haya mambo
@@charlescosmas7823 😅😅😅😅😅😅
@@castojohn1780 Ata The Flash series imegusa sana hizi mambo za time travel.
Prof.Jamal nielimishe vizuri kabisa kuhusu hilo tafadhali 🙏
Jamani sijawahi kupata likes hata Siku moja uku 😢
Thanks sana, haki umenisaidia kwa sababu tunafanya theory of special relativity na Maxwell's equations of electomagnetism. I can now easily understand. Love from Australia
Innovation is life. Hongereni sana kwa aidia nzuri🙏🙏
Broo unajua
tafuta series inaitwa dark inazungumziya hii ishuu
Nice one
Asante wa Africa Hawa elewani na science ya time traveling
niseme tu MTIGA ABDALAH jiongeze uko ulipo maana kiti chako kimekaliwa na mtu sahii
wangapi wameelewa ili fumbo
Msingi wa story ni kuandika Mtiga alikua anaandikiwa na huyu jamaa sasa kule alikoenda amekosa mwandishi anahadithia vitu havina evidence na wala havieleweki
@@ramadhansteven7914 tumpe pole
Kila mtu anakipaji chake. Mwanzo mlikuwa mnashoboka sana kwa mtiga ss hv unajifanya kumponda acha unafki bRuh
Watanzania wanafki cana
Fact bro! Mtiga ajiongeze kwa sababu akuna tena nafasi yake, professor anatisha
Asante sana Kwa elimu nzuri unatupatia yote na yote nakupenda we kaka una sauti nzuri ya upole na unyenyekevu upo makini sana😍😍😍👌
Professor...we want Season 2 about time traveling
Kama Hujui Jambo , Sio Kwamba Halipo...Ni Upeo wako Wa Fikra Haujaweza Kutafakari....Jamal April Nimekuelewa Kaka ...Big Up Sana
He is a genius
From Hollywood to the story book who else. live a comment here please 🙏. We need part 2 please
Since day moko ,, ww bora tU ,,,,,, Akili KUBWA SANA# JAMAL THE BEST''#
i like so much "the story book teach alot bro big up
I love u
Yes they have good stories
hey neeyma
Ni nzuri sana aiseee ila naomba sana mungu aje anifanye niwe kama wewe aisee
I salute you professor Jamal
Asante kwa kutuelimishaa hakika najivunia kuwa mtu wako wa kalibu
Prayer travels in time
Subhana Allah. Ushatekwa nyara the storybook.
Dah naic ata ww umesafri kurudi nyuma ya mda.
Jinsi unavyo simulia nkama mtu anaye ishi mwaka2050 ila umerudishwa nyuma kwaajir ye2 sisi 2020
Kumbe nipo karibu naye ,yaani Mimi nipo 2048, nyie wenzetu sijui tuwasubiri au tuendelee mbele na time traveling😀😁😁😁😁
😸😸😸
hasara za time travel zipo tena sana moja ni kuharibu future. mfano mtu kafa present unaenda past kurekebisha future yake ili asife kwa sababu uliyo iyona future.
niseme tu labda mtu akienda past ni kwa ajili yake yeye mwenyewe lakini sio kwa ajili ya watu wengine.
Hauaribu future tu unaharibu timeline nzima na sio lazima utumie time machine unaweza kuharibu present ukiwa present it's possible
Uyu jamaa akiwa mwalimu kila mwanafunzi atafaulu. Big up broo
Fanyeni The story book iwe hata kila siku,angalau saa moja
kidogo kidogo tunamsahau Mtiga Abdallah...
Elim hii ipo mwenyezi mungu awamepewa bani Israel tu. Kwakuwa wao wana choyo ndiyo maana wengine hawajui... na hao ma genius tafsiri yake ni Majini ndiyo uifaham zaidi na ndiyo maana ufanya kitu.
Dah! Nasoma coment. Nimegundua wabongo wanafki sana aloo!
i love this program from wasafi the story book may God bless you
Daah professor nakukubaliiii upo vzrrrrr yn mmeipnd ii science
Jamaa anaongelea mambo makubwa sana na yenye ushawishi ukubwa katika kuami kwa ufupi hata wabishi sugu wanakosa hoja, mwanafalsa Albert Enstein ndiye mwanafalisafa anayeaminika kuwa na uwezo mkubwa kuliko wote pia speed ya mwanga kwa wale wanafisikia wanajua ndiyo kitu chenye speed kuliko kitu kingine chochote duniani, big up mzee wa kazi
We really proud of you brother
Absolutely to you professor Jamal siku hadi siku nazidi kukuelewa
Genius, God bless you brother ❤️❤️🙏
Mungu akupe uhai mlefu tujue vingi zaidi
Da Jamal unajua sana mungu akuongoze
Uko sama kusafirina muda lakinikusafikwa muda Soo vizuri kwani inaweza kuleta matatizo unawezakurudiyu naukaaribu future aanabinadamu akipewa maalifa megi wanayatumiavibaya maana mtu Kama amepakukuua anaweza kurudinyuma anaweza kukuua kilahisi. Sisi binadamu tuko Kati ya past and future sio vizuri Sana kusafiri kwa muda
Jamal you're an important person! Congratulation. I can travel to Dareslaam only to meet you
My brother nakubali sana. Kazi nzuri sana
Kuna maswala ya multverse theory, dimensions, Quantum physics, black hole , cjui parallel paradox na kuhusu kua future na prerent na past they exist Simultaneously.... ni elimu flan ya Physics ya kitofauti sana sababu imejaa theory nyingi mno na technology yetu bado haiwez kutatua baadh ya test zinatakiwa kufanywaa.... JAMAL APRIL kaelezea vizuri kwa level amabyo akina sisi ambao hatusom physics tupate picha kidog.
Dè proffessor Jamal is on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Oya jam kam unazidi kumuelewa hivii siku hadi siku ila jamal kanituma munipe lik kam 20 tt atafurahi sn
mi nshamuelewa
Sema ilo somo La leoo limemuona vitu vingi anayumba Kama umesoma physics na geography na umegunduwa makosa Piga like apa chap👏
@@david88.92 ahhhhhhh kwel kabisaaa
Einstein father of modern physics
@@nomatter1239 ,
Jamar april waz a genius who appreciate me show lav buddy
Namupenda huyu kaka msomi mashallah♥️♥️♥️♥️♥️♥️💕❤️😘
Prof.Jamal Asante
Upo vzr broo GOD BLESS YOU
Ananikumbusha picha ya Donie yen siikumbuki jina ila ilikuwa inazungumzia maswala ya muda kwenda mbele na kuludi nyuma safi sana Jamal kwa sasa nakuelewa
Very good.... Tanzania is at high levels now..... I love wher we are going... We have people
High level ipi hii copy and paste ..
@@kassamhussein8769 stop crying
So good i want to be a stronger researcher like u trust me
Mamaeeeeee We Kweli Proffesor Daaaaah Hatari Sanaaa Hii Jamar
Katika Qur'an Surat Al-Kahf, Al-Isra na Al-Baqara mwenyezi mungu amezungumza hii uwezo wake wakuwapeleka watu to the future from their present life🙏
That's true bro
Kweli.
KABISA KAKA. MIMI HUWA NAMSISITIZA JAMAL AISOME QOR'AN ILI APATE UFAHAM NA UJUZI ZAIDI.WANA SAYANSI WENGU HUWA WANAFICHA UKWELI.
Rasheed which ayah please .I need to know brother.
@@abduljabbarmohammed4188 Surah Al-Isra, Verse 1:
سُبْحَانَ الَّذِي أَسْرَىٰ بِعَبْدِهِ لَيْلًا مِّنَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ إِلَى الْمَسْجِدِ الْأَقْصَى الَّذِي بَارَكْنَا حَوْلَهُ لِنُرِيَهُ مِنْ آيَاتِنَا إِنَّهُ هُوَ السَّمِيعُ الْبَصِيرُ
Glory be to Him Who made His servant to go on a night from the Sacred Mosque to the remote mosque of which We have blessed the precincts, so that We may show to him some of Our signs; surely He is the Hearing, the Seeing.
In ahadith, we have that he returned the same night while his bed was still warm.
Nakubar xana blood god bless u
Asante jamary kwa story zako, ila nabaki namaswali meeeengi, ubarikiwe
Aisee big up sana Jamal unajtahidi sana endelea sana hivyo hvyo utafika mbali bro, naipenda sana kazi yako unayoifanya kimpangilio hata uelezeaji na Mungu akusaidie ufike mbali
Professor jamal .... endelea kutuma elimu kaka ya mambo mbalimabli , tunajifunza mengi kuhusiana na THE STORY BOOK .!! Mungu Akupe uhai mrefu uzidi kutufungua akili zetu kaka juu ya mambo mbalimbali tusiyo yafahamu kwa undani wake
mliokua mnakimbia somo la sayans darasani hatimaye leo mmekutana nalo wasafi storyBook na mwalimu jamal
mjue kabisa mmesafiri na muda
😂😂😂
Amin😀😀
Nakubal sana uchambuzi wako ktk mambo mbal mbali,so passionate
Jamaa yupo vzr👐...anachimba mnoo
Your great professor
Na mim nimewah leo🙄😄😄 nipen likes zangu
Hakuna time travel nikusafili katika ndoto inawezekana
Nashauri kipindi kingekua kinarushwa na kwenye Podcast 🙏🏽
Ni
ASAÑTE KWA SOMO, Ila swali langu ni kwamba,ni ipi tofauti kati ya tofauti za masaa zilizopo ulimwenguni kati ya nchi au eneo moja na jingine na hii dhana ya time travelling,maana kwa maoni yangu hata wale waliopo nyuma ta masaa wanaishi katika PAST na wale waliopo mbele kwa tofauti ya masaa wanaishi katika FUTURE,naomba unielimishe zaidi kuhusu hilo.
Kak jamal nime hakiki mwenyew kwa kutizam pambano la tyson 1995 uyo mtu kweli ameonkna mweny smartphone big up kwako broo by Telu
Kweli mzee hiyo
professor Jamal, asante kwa kufungua njia
Professor professor 👨🏫🤓🤓🤓🔥🔥🔥
Daaaah nimeelewa vizuri. Jamal Wewe ni mwalimu hasa
He is such a genious young man
Walisafiri wametumia super natural power
Bro umunajua sana sana wasafi niwabunifu sana
hii sayansi ukiiamini sana unamkufuru mungu si hiyo hiyo sayansi ilisema binadamu wa kwanza nyani wapi na wapi
Ni ngumu sana lazima utumie nguvu za ziada.
Upo vizuri sema ni wormhole sio warm hall
nakukubali sana kaka,mungu akupe uhai mlefu
Asante sana bro kwa kutupa elimu ila nilikuwa naomba uandae story kuusu parallel universe itakuwa poa sana.
Professor of professor's good job go on be the best bro 🔥
Napenda the storybook hapa kutoka Kenya