RAIS SAMIA ATEMBELEA MJI MPYA WA CAIRO MISRI AKIWA NA RAIS ABDEL FATTAH..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • RAIS SAMIA ATEMBELEA MJI MPYA WA CAIRO MISRI AKIWA NA RAIS ABDEL FATTAH..
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametembelea Mji mpya wa New Cairo Administrative City Jijini Cairo nchini Misri leo tarehe 11 Novemba, 2021.
    Rais Samia yupo Nchini Misri kwa siku ya pili akiendelea na ziara ya Kiserikali ya siku tatu kufuatia mwaliko wa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 51

  • @mohamedfarouk7009
    @mohamedfarouk7009 2 ปีที่แล้ว

    From the people of Egypt to the people of Tanzania.. We wish you prosperity and economic reform.. The challenge is difficult, but with work and hope, wishes will come true

  • @neemashigongo7899
    @neemashigongo7899 2 ปีที่แล้ว +2

    Sana yaani Cairo ni 🔥🔥🔥Barabara ni nzr kinoma

  • @latifabashiru5598
    @latifabashiru5598 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukitoka uko nenda na Serengeti ukajifunze jinsi ya kutembea kwa speed kama simba ili uitumie kwa kukuza uchumi

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 ปีที่แล้ว

    Daah acha nicheke tuu 🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂

  • @samsonhaule3647
    @samsonhaule3647 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Mama Ameenda kushangaa, Rais magufuli Alitaka wao ndio waje kushangaa Tanzania yetu inavyo jengeka.

  • @emanuelchrispin1448
    @emanuelchrispin1448 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyegezi kunaujenziu naendeleamamahata hajakanyagakwnn mungu hakumuanzia huyu mama

  • @zachariapetro2551
    @zachariapetro2551 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mama ,lakin unatutia wasi,safali za kila wakati.mhuu.aya

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 2 ปีที่แล้ว +5

    Mama chapa kazi manegativ wapo wengi usijali mama 2025 tupo pamoja inshalaah

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 2 ปีที่แล้ว

    Piga kazi mama uko sawa kisha uje uende na UAE ila nakuomba Kama Kuna siasa za malipizano ndani ya chama na maanisha (kufukua makabuli kwa makundi fulani) please please naomba uwakemee waache hiyo tabia ni hatari Sana kwa uhai wa chama.

  • @wankyosogorya8115
    @wankyosogorya8115 2 ปีที่แล้ว +1

    Mula Mula hongera utaona nch kama zote

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 ปีที่แล้ว +1

    Wazili hapo hakuna

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 ปีที่แล้ว +2

    Unaona mwenzio anavyoijenga nchiyake

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣 Na huu ndio umuhimu wa safari za Mama! Anajifunza kwa wengine! Tz mpya inakuja! 🙏🏽🙏🏽

  • @kingbuddah6372
    @kingbuddah6372 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwani Jpm alivyowapa tenda ya kujenga Bwawa aliwaona na anawajua vizuri wamisri eti bwawa linaufa eti atujazi maji mazingila huyo mtu Anayesema mjinga tu ata elimu yenyewe vyeti feki

  • @mathayowilson1525
    @mathayowilson1525 2 ปีที่แล้ว

    SIKU ZA JPM MLIKUWA GOVERNMEMT LOCKDOWN YA SAFARI MPAKA UTOE SABABU, BILA SHAKA SASA KILA KIONGOZI AMEJAA TABASAMU... NYAKATI HUBADILIKA..

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 2 ปีที่แล้ว

    Inatosha dodoma, naona muim mama ajitahd kutengeneza miundo mbinu yamikoa barabara maji umeme nchi nzima, dodoma haita tusaidia tulio wengi

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 2 ปีที่แล้ว

    Ila mama angu mulala mama samia kajua asaa kukuwwka ww apo upo vzr mulamula na wazungu wenyewe wana kukubalii saaaa

  • @meshajoni5662
    @meshajoni5662 2 ปีที่แล้ว

    Niupumbafuu,,,usokifani

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 2 ปีที่แล้ว

    Mwewe

  • @edwinnanyaro6717
    @edwinnanyaro6717 2 ปีที่แล้ว +1

    Pia tusiendelee kumtazama Rais Samia katika kioo cha Hayati Magufuli...ni watu wawili tofauti...tumshukuru Mungu tuna Rais ambaye atatupeleka mbele ...kwanza anastahili pongezi...alipokea nchi katika kipindi kigumu sana...lakini anatuvusha ....uongozi wa nchi siyo masihara....mbona wengine tunashindwa kuongoza familia tu....tushikamane na Rais wetu.....tuendelee kuchapa kazi...yeye akiwa mbele yetu atatufikisha tunakokwenda.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Comment nzuri mno ! Sio kawaida kuona comment kama hii huku mtandaoni! Uko sahihi, Mkuu!

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 2 ปีที่แล้ว

    Muwe na akili jamani. Kiongozi lazima atoke akatafute misaada na mahusiano. Mda mrefu tulifungwa. Tanzania maskini hadi leo. Mama anatafuta wawekezaji. Unafikiri tozo la simu ndio litatosha? Acheni ushamba huoooo

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 ปีที่แล้ว +3

    Umemuona mwenzio anavyoijenga nchiyake hatokitoki nchinikwake

    • @murattywamuratty9778
      @murattywamuratty9778 2 ปีที่แล้ว +3

      Hebu fungua muandike vizuri ziara alizo tembea uyo rais wa ejipt utajua kama hatoki au anatoka

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 ปีที่แล้ว +2

      Hatoki nchini kwake amekwambia nani?! Na huo mji mpya wote umejengwa na pesa za UAE. Hao Misri hawajatoa senti moja hapo.
      Fatilieni mambo muyajue si kuropokwa tu. Halafu Rais sio mfungwa hata abakie ndani tu asisafiri.

    • @selemannaoda2027
      @selemannaoda2027 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂! Watz wajuaji sana, tunapenda kuropokaa.

  • @gjsjsjsjsjsjvsjjshhshsh4683
    @gjsjsjsjsjsjvsjjshhshsh4683 2 ปีที่แล้ว

    Hivi mnajuwa Shida zilizopo tanzania watu wanamashida hiyo pesa ya kwenda huko Angetumia kutatuwa shida zingine but she really don't Care na Hasa cha maana kikubwa alichofuata kuko sijakiona.

  • @islamabdella8015
    @islamabdella8015 2 ปีที่แล้ว +1

    I am an Egyptian and I love this Ms. It is an activist until everyone loves her but Tanzania people are closed in his ideas

    • @ramlaothman5771
      @ramlaothman5771 2 ปีที่แล้ว

      Just see and listen others leave it to us, you never know which situation we are.. only Tanzania people knows

  • @suleimanbakar3429
    @suleimanbakar3429 2 ปีที่แล้ว

    yaguju mwalinganisha walli na muhogo?mmechelewa

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 2 ปีที่แล้ว

    Titabakii kushangaai nchi za wenzetu wanapambana ili maisha y wananchi wao yawe mepesi

  • @josephmadukashambalawokovu642
    @josephmadukashambalawokovu642 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweli ,usipotumia nafasi hii ,utapata wapi Tena, bahati haiji Mara mbili,Mama usijari wewe tembea tutakupa mitano Tena,2025, hongera sana

  • @abubakarharuna6712
    @abubakarharuna6712 2 ปีที่แล้ว +5

    Unajenga kwa wenzio kwako kunaungua

  • @magretkijanga6038
    @magretkijanga6038 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana,tujifunze kwa wenzetu

    • @neemakilomoni4258
      @neemakilomoni4258 2 ปีที่แล้ว +1

      Miaka 60 ya uhuru bado mna jifunza tu 🤣🤣🤣guys serious??must be joking 🙃

  • @jumaigoti8638
    @jumaigoti8638 2 ปีที่แล้ว

    Maongezi gani kazi imekushinda .wananchi wako wanateseka wewe unakula bata

  • @mohamedfataha9038
    @mohamedfataha9038 2 ปีที่แล้ว

    Hapa Tanzania viongozi Hawawezi mmbo kama hayo

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Rais Samia Suluhu Hassan katika Wongozi wako kutembelea Nchi za Nche kutafuta maarifa ya kujenga Nchi yako Tansania

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 ปีที่แล้ว +1

    Rais wetu wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Songa mbele endelea kujifunza Mengi Sana ya kusaidia Taifa letu la Tanzania....Wewe si mfungwa kukaa eneo moja.

    • @safinatourssafaris2519
      @safinatourssafaris2519 2 ปีที่แล้ว +1

      Aendelee kujifunza au kumaliza hela

    • @juliusmkawe3331
      @juliusmkawe3331 2 ปีที่แล้ว +1

      Daah kweli wewe fala Sana wewe umetembea wapi kwani ujui mazra ya kuzurura wewe crazy

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha sisi tubaki na maneno tu.

  • @bakariimamu5548
    @bakariimamu5548 2 ปีที่แล้ว

    Ukosiopoa abakibongo asitoke

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 2 ปีที่แล้ว +2

    Maneno ya watanzania ni matokeo ya makundi yaliyoundwa awamu ya tano..
    Aliyemsaidia na kuzunguka nae alikuja kumtukana na kumdhihaki mbele za watu

  • @thomasmunis9814
    @thomasmunis9814 2 ปีที่แล้ว

    mambo mazuri ayaitaji haraka mama unaenda haraka ungejua 2 wananchi wako wanavyoteseka

  • @edwinnanyaro6717
    @edwinnanyaro6717 2 ปีที่แล้ว

    Mama anatembea kututafutia neema....Ni muhimu akajifunza zaidi kwa wenzake...ninaamini atatuvusha...anaweza kufanya...uzoefu haujengwi mara moja....huyu ni mama...kila mwenye mama anayafahamu mahangaiko ya mama huku na kule kutafutia wanawe riziki....ndivyo anavyofanya Mama Samia....tumvumilie.... akakikamilisha mishemishe zake...Watanzania wote tutanufaika..