MHE. RAIS SAMIA AKIWA KATIKA ZIARA YA KITAIFA NCHINI INDIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ziara ya kitaifa nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.

ความคิดเห็น • 135

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ongera sana Rais wangu kwa kazi nzuri👍👍👍❤❤

  • @candidamuhanika8328
    @candidamuhanika8328 11 หลายเดือนก่อน +4

    Very proud of you mama ❤Big up Tanzania 🇹🇿 Tanzania 🇹🇿 Tanzania 🇹🇿

    • @Jeremiahlukumay
      @Jeremiahlukumay 11 หลายเดือนก่อน

      nothing nothing to proud we are regret to her.

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana Madam Samia. Mungu yuko nawe tuongoze vyema na Mungu ndie atakulinda na mafisadi wa ndani na nje. Uko vizuri tunajivunia wewe

  • @chizashungu1236
    @chizashungu1236 11 หลายเดือนก่อน +3

    Madam President you are so eloquent.I salute you.

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 11 หลายเดือนก่อน +1

    ماشاءالله امنا سمي نرجوا لك خيرا وسرورا لاسثمار في حكومة التنزانيا

  • @Karakkuttil
    @Karakkuttil 11 หลายเดือนก่อน

    Thank you Tanzainan president ❤

  • @suleimanrashid8495
    @suleimanrashid8495 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana mheshmiwa rais Samia Kwa kuitangaza nchi yetu Tanzania India ni wenzetu hao

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 11 หลายเดือนก่อน

      Hajatangaza yy tangia muda mfano Magufuli

  • @ramsonhudson4013
    @ramsonhudson4013 11 หลายเดือนก่อน +5

    India wamekuwa washirika wetu wa Muda mrefu sana tunakushuru sana Mh Rais kwa safari yako hiyo Mungu akutunze 🙏🙏🙏

    • @Jeremiahlukumay
      @Jeremiahlukumay 11 หลายเดือนก่อน

      kuanzia lini?na wewe umejuaje?

    • @ramsonhudson4013
      @ramsonhudson4013 11 หลายเดือนก่อน

      @@Jeremiahlukumay Nimejifunza siyo kila mtu naweza bishana nae Rudi darasani jifunze utaelewa kwann nimesema hivi

  • @sheikhsabaya7234
    @sheikhsabaya7234 11 หลายเดือนก่อน

    Hongera mama chapa kazi. Twakupenda kiongozi wetu

  • @stevenlyimo5133
    @stevenlyimo5133 11 หลายเดือนก่อน

    Kitu ng'eli shortcut and clear big up

  • @alih561
    @alih561 11 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu ndie mama, mapenzi na huruma ndio sifa yake, mungu akulinde urudi salama

  • @Mwenyekitifx
    @Mwenyekitifx 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mama ❤️🇹🇿

  • @ipyanahudson7515
    @ipyanahudson7515 11 หลายเดือนก่อน

    Was so nice trip of our lovely madam presdent

  • @allyseleman9531
    @allyseleman9531 11 หลายเดือนก่อน

    Mama hasante kwa kuiheshimisha tanzania na raia wake na kuitangaza tanzania taifa lenye amani na ukarimu kwa binadamu wote.

  • @JohnGyunda
    @JohnGyunda 11 หลายเดือนก่อน +2

    Dah! Pongez nyingi sana kwako mama. Hakika nchi inazidi kufunguka na sisi vjana wako tunazidi kuchapa huku tukiiga falsafa Zak. Hongera sana Mh. RAIS wetu mpendwa👏👏👏

    • @katwigayona8041
      @katwigayona8041 11 หลายเดือนก่อน

      Uliifunga wewe nchi ?

    • @josephusimbanilo9500
      @josephusimbanilo9500 11 หลายเดือนก่อน

      Ila watu bana ivi kumbe inchi ilikua imefugwa😢 au mm ndio sijui. 😅

    • @katwigayona8041
      @katwigayona8041 11 หลายเดือนก่อน

      @@josephusimbanilo9500 ndo shangaa sasa,,eti nchi ilifungwa

    • @jamalimussa4928
      @jamalimussa4928 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@katwigayona8041😂😂

    • @kulwarobert9542
      @kulwarobert9542 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@katwigayona8041Mtoa comment anaonekana ni mjinga mmoja aliyejaa u.t.i

  • @alexandermutakha882
    @alexandermutakha882 11 หลายเดือนก่อน

    Kazi iendelee kwa heshima, amani, upendo na unyenyekevu.

  • @shabanimwinyikhery1174
    @shabanimwinyikhery1174 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri mama yetu tunakupenda sana

  • @alisaghir4259
    @alisaghir4259 11 หลายเดือนก่อน

    Ziara njema our respective mama president!

  • @alanasseri3765
    @alanasseri3765 11 หลายเดือนก่อน

    Safii Sana Mama, unaendelea kuifungua nchi Tanzania inazidi kufahamika zaidi Kimataifa

  • @SalimAbdallah-tg1yo
    @SalimAbdallah-tg1yo 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mitano tena 🔥 🔥 🔥

    • @stevenlyimo5133
      @stevenlyimo5133 11 หลายเดือนก่อน

      Tubadilishe katiba tumpe miaka mitano tena

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 11 หลายเดือนก่อน

    Safi sana amuone amrish puri huko na sharuk khan

  • @ClementinaMtumbuka
    @ClementinaMtumbuka 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakupenda Mama

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ndiye Rais wetu wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

  • @sifaelpyuza3422
    @sifaelpyuza3422 11 หลายเดือนก่อน

    Big up mheshimiwa

  • @AbuuMahwaya
    @AbuuMahwaya 11 หลายเดือนก่อน

    Asante mama,tuwakilishe vema

  • @MaikoLemayan
    @MaikoLemayan 11 หลายเดือนก่อน

    Love. Friend india🎉❤

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 11 หลายเดือนก่อน +1

    MAMA YUKO KAZINI ❤❤❤❤

  • @gabilugira139
    @gabilugira139 11 หลายเดือนก่อน

    We love you Mama🥰

  • @petromwashusa9948
    @petromwashusa9948 11 หลายเดือนก่อน

    Si lazima kila mmoja amuelewe Rais wa nchi. Muhimu mradi anachofanya ni kwa manufaa ya nchi yetu. Zaidi walio wengi wamuelewe. Hongera Mh Rais wetu.

    • @bwagizoselemani8434
      @bwagizoselemani8434 11 หลายเดือนก่อน

      Unaweza kutuambia hili linamanufaa gani

  • @benjaminkapelah7664
    @benjaminkapelah7664 11 หลายเดือนก่อน +1

    India imekuwa sehemu nzuri kwa kupata mafunzo science na technology

  • @JumaNganyanga
    @JumaNganyanga 11 หลายเดือนก่อน

    Hongere mama

  • @stevenlyimo5133
    @stevenlyimo5133 11 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mama

  • @MockaDrama
    @MockaDrama 11 หลายเดือนก่อน

    Ishu sio kuwa washirika wetu,Ishu ni kama uliwahi pata ajiri yoyote ambayo juu kuna muhindi utajua nini namaanisha.
    Mueka hazina au malipo akiwa muhindi,mshahara wako mwenyew unabembelez kama unaomba mikopo😢
    Utu wao ni mdogo sana hao watu dhidi yetu,Kimsingi wanapaswa kutuheshim tukiwa ndani ya nchi yetu.

  • @stevenlyimo5133
    @stevenlyimo5133 11 หลายเดือนก่อน

    Mama anakagua gwaride India hongera mama hakikisha unatuletea mazuri ya huko pia kumbuka Kassim majaliwa aje awe rais tubadilishe tu katiba

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 11 หลายเดือนก่อน +2

    YAAN HADI NAONA KUA ULICHELEWA KUA RAIS

  • @2.12carrental6
    @2.12carrental6 11 หลายเดือนก่อน +1

    Moja kati ya vitu navyotegemea Ni kuona Waziri wa Sekta Y viwanda na Biashara Anachangamkia Fursa na Kuleta Ushawishi kwa Kiwaanda Cha Bajaji Kije kujengwa Tanzania...... Mama Kafungua Fursa sisi Tuzitekeleze kwa Vitendo

  • @gladnesskombe1664
    @gladnesskombe1664 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kukuongoza baa

  • @sadikikazembe8883
    @sadikikazembe8883 11 หลายเดือนก่อน +1

    Raisi pekee duniani anayewaza mausiano mazuri na maendeleo wakati raisi wengine wanawaza kupigana tu uko mungu muifadhi na kumpa afya njema raisi wetu wa Tanzania mh SSH. Mimi ni mzalendo wa kweli kwasababu nawapenda viongozi wangu

  • @catherinepenbin6780
    @catherinepenbin6780 11 หลายเดือนก่อน

    India ni nchi nzuri kwa masomo ya science and technology lakini tukisoma tukirudi ni mbinde kusajiliwa hapa sasa sijui kwa nini na they are above us

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli anastahili kwa raisi hekma NA busara NA akili NA uwema NA shujaa dalili nchi imetulia NA maandeleo vizuri sana barabara haspital viwanda kweli anaangaika kwa ajili ya watanzania raisi anajua halali NA haramu ukimtazama tu unampenda kwa allah hapa kazi mama mungu atakulipa tu wala usijali hii dunia akhera kuna mengi sana sana

  • @lovenessitiku6293
    @lovenessitiku6293 11 หลายเดือนก่อน

    Gud job mama❤

  • @stevenlyimo5133
    @stevenlyimo5133 11 หลายเดือนก่อน

    Mama our President you are in India tuletee mapya Tanzani mama yetu

  • @rumanyikajoe7038
    @rumanyikajoe7038 11 หลายเดือนก่อน

    Wenzetu wanatunza mazingira Kwa kupanda miti kama Inavyoonekana. Ila makao makuu ya nchi Dodoma Kila kukicha miti inakatwa. Jangwa linatunyemelea

  • @zenooernest18
    @zenooernest18 11 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo alie mkaribisha ni PM MODI?

  • @gooleserviceyoutubescandar3450
    @gooleserviceyoutubescandar3450 11 หลายเดือนก่อน

    Kaziiendelee Amiiin.

  • @jayzeem14
    @jayzeem14 11 หลายเดือนก่อน

    Kila la heri Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassan tuna mengi ya kujifunza kutoka India wamepuga hatua kubwa kwenye elimu, technolojia, Viwanda vidogo vya kati na vikubwa kabisa, Afya na hata utalii! Mahusiano ya kimkakati na India ni muhimu kwetu. Tutafutie wawekezaji wa mskaa ya mawe Kabulo Ileje Mama India wanayatumia kwa wingi bado. Mungu abariki ziara yako.

  • @monicawilliams949
    @monicawilliams949 11 หลายเดือนก่อน

    👍⭐️🙏🙏

  • @AmriaAmria-xh2ff
    @AmriaAmria-xh2ff 11 หลายเดือนก่อน

    Yaap safi sana

  • @IsraelMungure
    @IsraelMungure 11 หลายเดือนก่อน

    Watu wa utifaki walikua wapi ?

  • @SaidihusseinAthumani-dy9kw
    @SaidihusseinAthumani-dy9kw 11 หลายเดือนก่อน

    samia piga kazi mama nenda kafungue milango na kubadilishana mawazo uje tujenge tz yetu auna baya mama

  • @Kisaboleonards
    @Kisaboleonards 11 หลายเดือนก่อน

    Umeenda kumalizia na bahari mama hongelaaaa😂

  • @montykhatau6135
    @montykhatau6135 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mama ange omba kuonana na watu wa kabila la siddi ambao kiasili ni watu kutoka upwa wa afrika mashariki waliochukuliwa kwenye biashra za utumwa ,pia kuwapa fursa wanaotaka kurudi afrika warudi
    Mama anaupiga mwingi
    Nawasalimu kwa salamu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 11 หลายเดือนก่อน

    Sisi tunaitaji maendeleo ktk technology huko mliko kwenda hatuwezi tegemea Kila kitu kununua toka njee ni utumwa ktk mataifa yetu good move but is it what Tanzania need from exelence president Samia sluu Hasan viti lndia this is the question mark to we Tanzania people

  • @violetnjau9312
    @violetnjau9312 11 หลายเดือนก่อน

    Kat ya hao waliompokea ni yup Rais wao India?ni huyo Mubaba au ni huyo Mumama

  • @saididodi3988
    @saididodi3988 11 หลายเดือนก่อน

    Mama uyooo❤

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 11 หลายเดือนก่อน

    yani mama unaongea kwa amani sana salutiiii kama waindia tunawamudu hivi

  • @edwardpeter8569
    @edwardpeter8569 11 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @AdrianoMsungu-jc8tx
    @AdrianoMsungu-jc8tx 11 หลายเดือนก่อน

    Aende akazuru na gaza

  • @sakinaamani1486
    @sakinaamani1486 11 หลายเดือนก่อน

    Ssa wasiotaka maendeleo wataumia bure mma anauweza hasa uongozi tena bora kawashinda wakongwe kina yoweri

  • @stevenlyimo5133
    @stevenlyimo5133 11 หลายเดือนก่อน

    Mama kwa kiengereza noma

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 11 หลายเดือนก่อน

    kumbe wa india ni washamba yaani wamepoa ngoja waje bongo watafurahi

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 11 หลายเดือนก่อน

    MAMA NAKUKUBALI SANA YAANI NAJIULIZA ULICHELEWA WAPI KUA RAIS ? MUNGU AENDELEE KUKUTUNZA NA KUKUPA MAARIFA MENGI ZAID YA KUTULETEA MAENDELEO, HAKIKA NAKUPENDA ONE DAY NITAKUONA UNIPE KAZ ZA UJENZ WANAWAKE TUNAWEZA

  • @YahyaOTHMAN-t4p
    @YahyaOTHMAN-t4p 11 หลายเดือนก่อน

    Jongera mama umeonesha uweledi mkubwa kwa hakika ww sio pocho

  • @user-hp2ix5wp6i
    @user-hp2ix5wp6i 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa Raha zako mama mungu akupe nini tena?

  • @BarakaNtabindi-pq4sd
    @BarakaNtabindi-pq4sd 11 หลายเดือนก่อน

    Mama ongea nao vizur uje na mkataba wa kuwabinafsisha gombe kigoma ziara nyingi oooyeee

  • @boniphacemasau3068
    @boniphacemasau3068 11 หลายเดือนก่อน +2

    Anaendelea kuuza taifa letu huko kwa kusign mikataba ya ajabu ajabu na mikataba hiyo inaweza kuwa imeandikwa kihindi Yeye ni kuweka signature tu . Jipu hilo litumbuliwe tu maana hamna namna

    • @bongo39
      @bongo39 11 หลายเดือนก่อน +1

      Wacha upumbavu maisha ya mama yako yanakushinda kumuhudumia mpaka asaidiwe na wanaume kula unaingilia ya wengine

    • @boniphacemasau3068
      @boniphacemasau3068 11 หลายเดือนก่อน

      @@bongo39 wewe na huyo rais wako wote wapumbavu na mnafirwa. Huyo unayemuita rais mimi namuona ni kama housegirl wa mabeberu na wageni wasio waafrika. Here you’re unasapoti usenge anaofanya. Mtoto wa mbwa wewe

    • @bongo39
      @bongo39 11 หลายเดือนก่อน

      Kwsni hujui mama yako ndio mchezo wako wa nyuma kwa nyuma mpaka kakukuza wewe au unajifsnya hujui tena anaujua haswa mchezo mnhhh

    • @boniphacemasau3068
      @boniphacemasau3068 11 หลายเดือนก่อน

      @@bongo39 Sawa mimi siongei na msenge kama wewe hata mamako alitombwa ndio akakuzaa na sasa akafungulia kila mtu anamtomba mtaani kawa sungura tope😂😂😂

    • @Jeremiahlukumay
      @Jeremiahlukumay 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@bongo39wacheni matusi basi watanzania.

  • @jeffreymgaya7568
    @jeffreymgaya7568 11 หลายเดือนก่อน

    Hii mikataba sasa si lazma yote uikubali,,mingine uwe unaikataa,,,mara nyingi mtu anayetaka kizuri huwa ana mtindo wa kunyenyekea,,,

  • @mwakondoyakub2444
    @mwakondoyakub2444 11 หลายเดือนก่อน

    Safari salamA

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 11 หลายเดือนก่อน

    MUNGU AKUTANGULIE KATIKA KUTULETEA MAENDELEO RAIS WETU KIPENZI ,TUNAONA KAZI ZINAENDELEA

  • @simulizizamwanaupwa2644
    @simulizizamwanaupwa2644 11 หลายเดือนก่อน

    Naomba kufahamu itifaki kidogo. Mbona siwaoni walinzi wa Rais wetu, hapo anaposhuka mpaka kufikia kwenye hiyo stage?

    • @michaelboniphace3685
      @michaelboniphace3685 11 หลายเดือนก่อน

      Kiitifaki Mkuu wa Nchi akiingia Nchi nyingne shughuli yote ya Kiulinzi inakuwa ya Nchi husika isipokuwa Kwa baadhi tu ya Nchi zenye nguvu kiuchumi na Kijeshi kama Marekani,China,Urusi ,Korea zingnezo taratibu za Kiulinzi Kwa kiongozi wao huwa wanazifanya wao nadhani hii kutokuamin Nchi nyingne

    • @simulizizamwanaupwa2644
      @simulizizamwanaupwa2644 11 หลายเดือนก่อน

      @@michaelboniphace3685 nashukuru. Kama ndivyo, Itakuwaje kwa nchi ambazo huenda hazina usalama kama yetu?

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 11 หลายเดือนก่อน

      Kiitifaki.. rais anapokuwa ktk shughuli za kukaguwa gwaride Hatakiwi kuwa na walinzi wake..

    • @simulizizamwanaupwa2644
      @simulizizamwanaupwa2644 11 หลายเดือนก่อน

      @@ibrahimally8073 nashukuru Sana Kaka

    • @makongoronyerere1564
      @makongoronyerere1564 11 หลายเดือนก่อน

      Kamlinde ww

  • @akwanzamtenga2174
    @akwanzamtenga2174 11 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia Hana mume? Kwa nini asimzindikize kwenye hizi ziada?

  • @makongoronyerere1564
    @makongoronyerere1564 11 หลายเดือนก่อน

    Hongera bibi yetu mwaya, umeezeeka , ijayo utaweza kweli😅

    • @FarhatSeif-p3t
      @FarhatSeif-p3t 11 หลายเดือนก่อน

      Labda umezeeka wewe. Cheki mdundo mguuni. Kizee anaweza kuvaa hicho kiatu?

    • @ahmedbashash3672
      @ahmedbashash3672 11 หลายเดือนก่อน

      Wacha chuki wewe mbwa kazeeka mama yako bichwa limekujaa mavi yako meusi ndio maana chuki tu pumbaaaff

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 11 หลายเดือนก่อน

    Hadi Raha yaaan

  • @Jose-n6m9k
    @Jose-n6m9k 11 หลายเดือนก่อน

    Ameongea kizungu ya mtoto wa pp2 hapa kenya

  • @nairobitv6161
    @nairobitv6161 11 หลายเดือนก่อน

    Tangu juzi atuna umeme wala maji

  • @BrytonJames-i8d
    @BrytonJames-i8d 11 หลายเดือนก่อน

    Next dream probably be home around

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hio deligation yote ya mawaziri na raisi imeenda huko kufanyaje? Mbna kama kodi zetu zinaharibika

    • @Jeremiahlukumay
      @Jeremiahlukumay 11 หลายเดือนก่อน

      ndio hivyo mama anaenda kula bata duniani Kwa Kodi zetu.

    • @ahmedbashash3672
      @ahmedbashash3672 11 หลายเดือนก่อน

      Kodi unaijua wewe maskini tu

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 11 หลายเดือนก่อน

      @@Jeremiahlukumay miaka 60 ya uhuru mpaka leo kama taifa hatuna dira wala vipaumbele tupo kama kichwa cha mwendawazimu, raisi anaye kuja anakuja na utaratibu wake na vipaumbele vyake

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 11 หลายเดือนก่อน

      @@ahmedbashash3672 ccm mpaka leo iko madarakan sababu ya watu wajinga kama wew

    • @Jeremiahlukumay
      @Jeremiahlukumay 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@ahmedbashash3672 wewe hujijui hata kidogo,kumbe wewe hulipagi Kodi?kweli watanzania bado tupo gizani,hata hamjui kuwa ktk kununua Kila bithaa hapo ndio mnakatwa kodi?kumbe ccm imewapumbaza mpaka hamna hata elimu ya Kodi?

  • @jumaomari3842
    @jumaomari3842 11 หลายเดือนก่อน

    Muhimu.sana.hii.ziara.kwa.taifa.kubwa.kama.hili

  • @karimkassam571
    @karimkassam571 11 หลายเดือนก่อน

    Huu ndio uongozi ....hasa unapokuwa na mahusiano na mazuri na wenzio....naamini uchumi utakuwa...kwa kasi sana

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 11 หลายเดือนก่อน

      Uchumi upi?

    • @karimkassam571
      @karimkassam571 11 หลายเดือนก่อน

      @@patrickKitambo ..uchumi wa nchi

    • @kgbagent9321
      @kgbagent9321 11 หลายเดือนก่อน

      Hivi form 4 ulifaulu kweli wewe?

  • @DorcusPaul-bf9ww
    @DorcusPaul-bf9ww 11 หลายเดือนก่อน

    Mama waombe,mashine za dar cc watu wako wengi wanateseka ugonjwa wa Figo imekua janga na garama Iko juu sanaa😂😂😂😂

  • @japhetkarori5230
    @japhetkarori5230 11 หลายเดือนก่อน

    Limenyimwa mkono na uyo mama apo mwanzo...adi aibu ..eti anajifanya anapandisha chupi inatera ndani ya dear😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 11 หลายเดือนก่อน

      Kwani bange yako ulivutia wapi?

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 11 หลายเดือนก่อน

    dah uraisi amakweri nikazi

  • @michaelmtega8279
    @michaelmtega8279 11 หลายเดือนก่อน

    Nothing to normal after 😂😂😂😂😂😂

  • @stevenlyimo5133
    @stevenlyimo5133 11 หลายเดือนก่อน

    Mama yetu huyo

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 11 หลายเดือนก่อน +1

      Sema Mama yako

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 11 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni gari au tractor 🚜

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@ahmedbashash3672Fanya adabu matusi ya nini sasa? Mshenzi mkubwa

  • @ClementinaMtumbuka
    @ClementinaMtumbuka 11 หลายเดือนก่อน

    Tukumbuke mama

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 11 หลายเดือนก่อน

    😀😆

  • @StevenSamwel-sc6sq
    @StevenSamwel-sc6sq 11 หลายเดือนก่อน

    U

  • @iddyissa8110
    @iddyissa8110 11 หลายเดือนก่อน

    Kisha fika India duu

  • @shamimageta6651
    @shamimageta6651 11 หลายเดือนก่อน

    Ongera mama tunaiman kubwa na wewe

  • @lusiuskinikuli2276
    @lusiuskinikuli2276 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama simwelewi

  • @DaudEmmanuel-fy8hs
    @DaudEmmanuel-fy8hs 11 หลายเดือนก่อน

    Mnatoa sifa kichaa akivua nguo hadharani pia

  • @mwakondoyakub2444
    @mwakondoyakub2444 11 หลายเดือนก่อน

    Safari salama