Hujafika maeneo ya Giza kule kwenye piramid, Square city hujaonesha maeneo mengi tu kama ulienda kutalii, camera yenu inamlika magari tu duu na mto au mliogopa waarabu watawaibia camera au kugongwa na magari🤣🤣🤣🤣🤣 Cairo so poa Alexndria hamjafika
Treni ya umeme ilipelekwa mwaza si kwa ukaribu na chato bali nikwa alili ya kulitanua jiji hili kibiashara na kuifanya tz kua system ya usafrishaji iliokamilika (kuingiza na kutokelea).
Acha kujitukana mtu unatokea ziwa Victoria iweje ukose vinyesi kama sisi ni wachafu hivyo. Sema wenzetu wanajua kutumia maji sisi kwetu ndo mwanzo twajikongoja na tengea Uhuru mpaka. Walau mwendazake kajitutumua na bwawa la nyerere.
Mto nile unamfaham vizuri Omar bin Khatwaab...(RA)....
Tunashukuru kwa kutujuza
Safi sana
Hujafika maeneo ya Giza kule kwenye piramid, Square city hujaonesha maeneo mengi tu kama ulienda kutalii, camera yenu inamlika magari tu duu na mto au mliogopa waarabu watawaibia camera au kugongwa na magari🤣🤣🤣🤣🤣 Cairo so poa Alexndria hamjafika
Mto huu umwaga maji yake kupitia bari gani
Treni ya umeme ilipelekwa mwaza si kwa ukaribu na chato bali nikwa alili ya kulitanua jiji hili kibiashara na kuifanya tz kua system ya usafrishaji iliokamilika (kuingiza na kutokelea).
Hujui kuhadithia AAA nyingi hta ladha yakusikiliza hakuna,baraka ya kumaliza mb zawatu tu.kwendaa
Ukiongea usibane pumzi
Du huo sio mto niziwa
Mwendazake alijinga daraja mwanza ili kulitanua jiji la mwanza lihame milimani lisonge sungo siku za usoni na kutengenza jiji zuri kuliko yote Afrika.
Wapili
Sema jamaa umetupanga haupo cairo wala nn wabongo tunavyopenda sifa lazima ungeongea mbele ya camera
Wenzetu wanajua kutunza mazingira,ingekua bongo tunge jaza vinyesi na matakataka harufu ingekuwa hapatoshi
Acha kujitukana mtu unatokea ziwa Victoria iweje ukose vinyesi kama sisi ni wachafu hivyo.
Sema wenzetu wanajua kutumia maji sisi kwetu ndo mwanzo twajikongoja na tengea Uhuru mpaka.
Walau mwendazake kajitutumua na bwawa la nyerere.
Dicho kilicha wapeleka misr
Kusimulia hujui unapuyanga tu
Sana anakera mno
Nimekuwa wakwanza ku comenti nipeni sapoti yenu
Kameraman ni faken kabisa
Mpiga picha wenu wa uongo
Acha hivyo kamela man