Rais wetu yuko vizuri. Bila kuimarisha kilimo viwanda haviwezi kuwepo. Maana kilimo ndio kinazalisha malighafi kwa ajili ya viwanda. Hivyo rais wetu ameanzia kwenye msingi. Hongera mkuu
Inakuwaje mnamuacha Rais anatembea peke yake umbali wote huo karibu mita 50 bila mlinzi wa kuonekana pembeni yake??? Hivi nyie watu mnatutafuta nini? Eeeh? Au mnatutafuta maneno, siyo? Jiangalieni sana.
Tanzania Tumezoea Zima Moto alikuja Magufuli Na viwanda tunaona amekufa Na viwanda vyake Akaja Kikwete Na kilimo kwanza akaondoka Na Majembe yake Sasa hyu Naye Sijui anakuja Na nn
Rais wetu yuko vizuri. Bila kuimarisha kilimo viwanda haviwezi kuwepo. Maana kilimo ndio kinazalisha malighafi kwa ajili ya viwanda. Hivyo rais wetu ameanzia kwenye msingi. Hongera mkuu
Hakumbuki ata kama Leo ndo alitangaza kifo cha alie mwachia kiri😂😂😂😂😂
Mam hongera umependeza
Hadi rahaganikwa kipi.
Hongera mama
Raha ipi
Inakuwaje mnamuacha Rais anatembea peke yake umbali wote huo karibu mita 50 bila mlinzi wa kuonekana pembeni yake??? Hivi nyie watu mnatutafuta nini? Eeeh? Au mnatutafuta maneno, siyo? Jiangalieni sana.
Waandishi cjui mnakuaga na kichaa gan! Hadi raha gan sasa
Unazinduaje bila kuwa Na viwanda ,seraaa au Zima Moto
Nyota kali sanaaa ☯️
Mbona mnafanya utani raisi kutembea pekeyake
Raha Gani uliyomaanisha ndugu mwandishi
😂😂😂Sasa hapo raha yako mtoa post ni nn? Hamna vitu vya kuripoti jamani? Du Mungu tusaidie
Huyo bodyguarf alikuwa misele ya wapi? Rais anatembea peke yake
Pongezi kwa anayemvalisha mama…anajua kumpatia 👌
Tanzania Tumezoea Zima Moto alikuja Magufuli Na viwanda tunaona amekufa Na viwanda vyake
Akaja Kikwete Na kilimo kwanza akaondoka Na Majembe yake
Sasa hyu Naye Sijui anakuja Na nn
Hata mm sielewi sera yake na ni WA awamu ya 6 sijui sera
Sera yake Ni muendelezo wa anko Magu