LISSU AVAMIWA USIKU NA MTOTO WA RAIS SAMIA NYUMBANI KWAKE ALITAKA KUNIPA HONGO NIKAKATAA TULIKUWA 4

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • #lissu

ความคิดเห็น • 234

  • @AishaYahaya-ld5lb
    @AishaYahaya-ld5lb 2 วันที่ผ่านมา +1

    Respect to u Lissu Our freedom fighter ❤

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 24 วันที่ผ่านมา +24

    Mungu akupe maisha marefu Tundu Lissu.Ww ni mja wa Mungu,hazina ya nchi na mzalendo wa kweli.

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 24 วันที่ผ่านมา +3

      Ila huyu mtangazaji ni bomu fulani hivi yaani kubwa jinga. Anahoji km yuko counter Polisi.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 24 วันที่ผ่านมา

      ​@@upendoeliya9329chawa wa CCM huyo

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 24 วันที่ผ่านมา

      Kama wewe tu, kwani hujuwi tamthilia za lissu. Tunahitaji kuzisikia sera za chama siyo hayo yake binafsi.​@@upendoeliya9329

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 23 วันที่ผ่านมา +1

      @@upendoeliya9329 kweli kabisaa

    • @KenedyMwaipaja
      @KenedyMwaipaja 23 วันที่ผ่านมา

      Ww😂😂😂 mzalendo nani!? Huyu domo la pelege😂😅😅😅 uwiiii et mzalendooo!!

  • @AwaziBange-yo1wq
    @AwaziBange-yo1wq 22 วันที่ผ่านมา +3

    Upinza nilikuwa nauona enzi za Dr Slaa this time around tusikitike kidogo

  • @mc-stephenmasome6553
    @mc-stephenmasome6553 24 วันที่ผ่านมา +9

    Hongera Sana mtangazaji , napenda unavyouliza maswali, mtu anayejibu inabidi awe makini Sana

    • @Ranaimuye
      @Ranaimuye 24 วันที่ผ่านมา +1

      I beg to differ.

    • @bishopmoseschihoma
      @bishopmoseschihoma 23 วันที่ผ่านมา

      ​@@Ranaimuye666666666666666666666666666666666666666666666666666666666666666666666666666666666666

    • @muddyleader4458
      @muddyleader4458 22 วันที่ผ่านมา

      Anaongea juu ya mtu akiwa anaongea!

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 22 วันที่ผ่านมา

      Hayo ni maswali ya mwandishi muoga asiyejiamini kuhusu anayoyahoji,,! Kapimwe akili mbwa we!

  • @lugwetunje3896
    @lugwetunje3896 15 วันที่ผ่านมา +2

    He has no authority to talk on behave of Tanzania he is just a son of the president

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 18 วันที่ผ่านมา +9

    Mwandishi ujielewi muache mtu azungumze kwa kituo una chomekachomeka maneno ,kama unamuhoji muhuni ,

    • @Kombs-cr2mj
      @Kombs-cr2mj 18 วันที่ผ่านมา +1

      StarTv ni ya kijan

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 9 วันที่ผ่านมา +1

    Rais wa awamu 4 wajadaliana na awamu 5 wanamtafuta lao moja

  • @pwaniseries
    @pwaniseries 24 วันที่ผ่านมา +3

    Lissu ungempiga picha

  • @user-lt2wb6hb9h
    @user-lt2wb6hb9h 23 วันที่ผ่านมา +2

    Tena acha kuchafua familia ya raisi wetu mpendwa,

  • @ToivoJase
    @ToivoJase 16 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu mwandishi ni juha,kuuliza kwake ni kwa kipuuzi

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 9 วันที่ผ่านมา +1

    Tundu list CCT camera muhim kuweka hapo kwako mbali mitihani y nyuma na bado wanakufata kuwa makini fungus nyumba nzima camer hiding

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 24 วันที่ผ่านมา +3

    Lisu jiongeze huo.

  • @khalfanikaabuka
    @khalfanikaabuka 23 วันที่ผ่านมา +2

    Achakumchafua mdogowetu kwanza akuonge wew una mvuto gani lisu wewe acha kusema watoto wa watu wakwako wakisemwa utafulai kama pesa mbona watu wanatoa kisha awatangazi acha bwana

  • @tumakomu
    @tumakomu 5 วันที่ผ่านมา

    Kuvamiwa bado haijaeleweka'nlijua kapigwa

  • @Halimazuberi-v8k
    @Halimazuberi-v8k 22 วันที่ผ่านมา +8

    Ila lissu bhana unawatoaga jasho sana wananzengo😅😮

    • @lulurubby2235
      @lulurubby2235 18 วันที่ผ่านมา

      Lakini na yeye maisha yake yanaendaje na usomi wake vipi

  • @LuganoAmwamsojo
    @LuganoAmwamsojo 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂❤❤❤hela zikagonga mwamba!!

  • @ismailmkandara1813
    @ismailmkandara1813 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji hajui kabisa kufanya interview ajifunze kwa kikeke ampe nafasi mtu azungumze

  • @barakaayubu6126
    @barakaayubu6126 21 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mwandishi ni mjinga ana maswali ya kijinga

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 19 วันที่ผ่านมา

    Magufuli hakukuona.ukasema.amenionea mama samia anakuhitaji.hutaki

  • @rojarajabu
    @rojarajabu 24 วันที่ผ่านมา +3

    Huyo tundu lisu ni muongo.anatafuta umaarufu

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 24 วันที่ผ่านมา +2

      Usiwe maiti inayotembea kama Lissu angekuwa anataka rushwa angechukua tangu muda mrefu .Huyu ni mzalendo na mja wa Mungu.

    • @saidahamed7587
      @saidahamed7587 23 วันที่ผ่านมา +1

      ww humaarufu tundu lisu anafahamika ulimwengu mzima na anauwezo wakuishi popot hapa duniani vpi ww.

  • @alfredkwavava6235
    @alfredkwavava6235 24 วันที่ผ่านมา +2

    Mtuakiwa kiongozi na watoto wake viongozi nnchi hii shidatu tunahitaji katiba mpya

    • @Shaabanhmakiya
      @Shaabanhmakiya 22 วันที่ผ่านมา

      Katiba mpyaaa! 😊😊😊😅ya zamani UNAIJUA? 😎

  • @rajabhanafi
    @rajabhanafi 24 วันที่ผ่านมา +2

    Towa ushahidi unazungusha tyre tiya upepo ushahudi Huna ni kuharibu jina la mtu

    • @abapelham9111
      @abapelham9111 20 วันที่ผ่านมา

      Kama ni uwongo wamfungulie mashtaka au Kama ni Rahisi simama na wewe hadhani useme kama Lisu uwone kitakachofuata kwako

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@abapelham9111😂😂 atanyimwa maji

  • @kiboshokiboshomungumkubwa7789
    @kiboshokiboshomungumkubwa7789 24 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa vile tunavyo kujua ungepokea wewe ungeonyesha dunia mzima wacha zako

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 24 วันที่ผ่านมา

    Hongera kw msimamo

  • @mosesmzakwe7774
    @mosesmzakwe7774 20 วันที่ผ่านมา +1

    Tundu Lissu wewe ni mtu makini sana.wanaokubeza leo ipo siku watakuelewa. Hiii nchi kiukweli ieharibia sana. Enzi za msoga Ridhiwani naye alikuwa anafanya. Utawala wa Jpm havikuwepo. Leo tena yamerudi kwa Kasi mbaya. Watanganyika Komboweni Nchi yenu.

    • @machoguhameri7757
      @machoguhameri7757 9 วันที่ผ่านมา

      Tundu Lisu na Mbowe hawawezi kuongoza nchi hii hadi kiama kisimame. ikitokea hivyo ujue Mwenyezi Mungu anataka kuiadhibu nchi hii.siku hiyo kila mtu afunge mkanda amrejee Mwenyezi Mungu katika Ibada kwa maana nchi itapitia kipindi kigumu sana kama cha wana Israel na misri

  • @YusufSuluhu
    @YusufSuluhu 24 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu apelekwe mirembe kichwa tayari kimedata

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 24 วันที่ผ่านมา +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @abapelham9111
      @abapelham9111 20 วันที่ผ่านมา

      Wewe tumia akili kama ni rahisi na wewe simama kama yeye

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 20 วันที่ผ่านมา

      @@abapelham9111 hakuna kitu pesa ashapokea zamani nye manamini kwani yeye nani hapendi pesa hebu Acheni ujinga

  • @evancemsosa4379
    @evancemsosa4379 24 วันที่ผ่านมา +2

    Mtangazaji mbona huna maadili? unalazimisha interview iende unavyotaka, usimwekee maneno Yako mdomoni mwako!

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 24 วันที่ผ่านมา +1

    Wanasiasa wananawili tu watu wa chini wanahangaika

  • @evampuya-mp9vf
    @evampuya-mp9vf 23 วันที่ผ่านมา +3

    Ndo maana Msigwa amerudi nyumbani hamna kitu hapo

  • @loserian-mj1gj
    @loserian-mj1gj 24 วันที่ผ่านมา +1

    Kina tido ndiyo anaweza huyu ni kama mtani wake

  • @angle3600
    @angle3600 23 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi ni Mkenya ila hapa sioni ukweli CCTV haezi kosa kwa mji wake.

    • @RutinikiGosbert
      @RutinikiGosbert 22 วันที่ผ่านมา

      Mbona alipopigwa kisasi kemera hazikuonekana acheni mihemuko tu anaye msema yupo kama uongo si muiteni

    • @rahmaarrington9019
      @rahmaarrington9019 13 วันที่ผ่านมา

      Lisu muongo sanaa! KWa experience yangu mimi Lisu kama ni mwanasheria lazima angempiga picha au angemrikodi na haswa walivyokuwa ni CCM na pia asingekubali usiku huwo akaribishe mtu kwake!! Huyu babu ni muongooo!! Drama nyingi!!

  • @BoniphacePeter-ih2st
    @BoniphacePeter-ih2st 12 วันที่ผ่านมา

    Sasa hiyo n namna gan ya kuhoji? Huna taaruma hiyo

  • @YusufSuluhu
    @YusufSuluhu 24 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu mshenzi lisu ni muongo sana Mungu atamlani anachafuka watu kwa maneno ya uongo tutakusomea halalbadri mshenzi wewe

    • @JosephBilombelejosbimtungwa
      @JosephBilombelejosbimtungwa 24 วันที่ผ่านมา

      Nimeona jina lako lapili ni suluhu
      Kumbe ndio😊 walewale😂😂😂😂😂

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 24 วันที่ผ่านมา

      Sio muongo ww mjinga

    • @Mamshika
      @Mamshika 24 วันที่ผ่านมา +1

      We ndugu yake suluhu h ndo maana unatetea ujinga

    • @uwezomayonko5101
      @uwezomayonko5101 24 วันที่ผ่านมา +1

      Unaweza kuongea uongo ktk jambo zito na gumu kwenye chombo cha habari kikubwa kama hiki hadgaran juu ya rushwa inayofanywa na mtoto wa rais??? kama unaendekeza uchama na uchawa ni bora ukae kimya kuliko kuongea ujinga.

  • @rosekapingu-hs5rd
    @rosekapingu-hs5rd 14 วันที่ผ่านมา

    Safi

  • @user-qi7px6nb8r
    @user-qi7px6nb8r 24 วันที่ผ่านมา +2

    Acha uongo Tindu lissu.Nilikuwa ninakuheshimu sana.Ila muongo sana.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 24 วันที่ผ่านมา

      Usiwe maiti inayotembea mjinga ww

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 24 วันที่ผ่านมา

      Kwani wewe ni nani? Kuna hasara gani ww ukimchukia mhe Lissu?

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 24 วันที่ผ่านมา +1

      Mashoga wote wanamtetea Lissu

    • @JosephatJoseph-eo8xj
      @JosephatJoseph-eo8xj 23 วันที่ผ่านมา

      Uwongo ni upi

  • @user-wr4zu4un4s
    @user-wr4zu4un4s 17 วันที่ผ่านมา

    Tundu upo fiti Sana nakuelewa

  • @rajabhanafi
    @rajabhanafi 24 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna watu walipewa pesa hiyo kwanza unasema unayo list halafu unasema huwezi taja nani mnafik mkubwa ati Rais wa tanzania kiwete😅

  • @user-md7sd3hk6l
    @user-md7sd3hk6l 17 วันที่ผ่านมา

    mwamba lisu

  • @evampuya-mp9vf
    @evampuya-mp9vf 23 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaani ss hatutaki hizo story tunataka maendrleo mwache mama na familu yake hawana baya Watanzania tunamkubali yaani Mitano tena kwa mama

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 9 วันที่ผ่านมา

      Evampuya:maendeleo hakuna asiyeyataka,lakini pia michezo michafu ambayo yanagharimu hela za umma ni lazima yaekwe wazi na kusitishwa

    • @saidabdul832
      @saidabdul832 8 วันที่ผ่านมา

      Mkubali wewe usijumlishe

  • @Worldunite
    @Worldunite 20 วันที่ผ่านมา

    Hapa taaluma 2 zimekutana, mmoja ni mtangazaji na mwingine ni mwanasheria, lzm vumbi litimke hapo aisee

  • @RegnaldMshanga
    @RegnaldMshanga 19 วันที่ผ่านมา

    Huo.ni.uzishi.wa.kihuni

  • @mathiskanza
    @mathiskanza 19 วันที่ผ่านมา

    We mwandishi unavohoji usimkatishe tunashindwa kupata habari vizuri

  • @MichaelMahizi-r2d
    @MichaelMahizi-r2d 19 วันที่ผ่านมา

    Nikweli kabisa baba unaongea ukweli

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 23 วันที่ผ่านมา

    Siasatu hiyo..kuweni makini kamamnajielewa lakini

  • @gospalflavour7304
    @gospalflavour7304 17 วันที่ผ่านมา

    Kama Taufa hatuwez kuwa na uhuru wa kiasi hiki.Kijana kama alitumia busara yakumfwata na kumpa chochote kitu iyo si kwasababu ya malumbano yao sio ya raisi.Nazingatia mwanzo wa stories.Sasa kijana anaona anaharibiwa legacy yake so alimfwata ili kutakana kuheshimiana by the way.Out of that mtoto wa raisi sio mtoto mdogo kama tunavyodhania kuyazungumza haya ni kuisema serikali na raisi mwenyewe.Kama alitaka mazungumzo ya private kwanini sasa yanakuja kuzungumzwa adharani?????.
    Matatizo mengine ukweli nitakujitaftia.

  • @AnyosTemitope
    @AnyosTemitope 23 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi mwache lieu aongee yeye.usiingiliee unatupoteza

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 24 วันที่ผ่านมา +3

    Abdul anavuruga nchi huyo bora ridhiwani

    • @Shaabanhmakiya
      @Shaabanhmakiya 22 วันที่ผ่านมา

      Wewe ne kavu kweli😊

    • @user-lq4cm4rq6z
      @user-lq4cm4rq6z 21 วันที่ผ่านมา

      Hajafikia hta robo ya Ridhwan

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 22 วันที่ผ่านมา

    SIYO AVAMIWA, ATEMBELEWA. ACHA HIZOOOOO.😮

  • @mohamedkisenga6654
    @mohamedkisenga6654 18 วันที่ผ่านมา

    Lisu muongo

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 24 วันที่ผ่านมา +9

    SASA KAMA AMEAMUA KUKUPA PESA BILA YA MASHARTI YOYOTE HALI YA KUWA UNA CHANGAMOTO YA PESA NA PESA YAKO BADO ULIKUWA HAUJAPATA HIYO INAKUWAJE HONGO LISU?! YANI HATA KAMA UNGEICHUKUA HIYO PESA KAMA NI KWELI UNACHOSEMA MADHALI HAIKUWA NA MASHARTI YOYOTE BADO HIYO HAIWEZI KUWA HONGO, WE UNGEITAFUNA TU. KWA HALI HIYO KAKA HAPO UTAONEKANA HAYO MAZINGIRA YA KUMCHAFUA RAISI UMEYATENGENEZA WEWE MWENYEWE!! NA MTU MWENYE AKILI YA KUPIMA AKISIKILIZA HAYA MAHOJIANO ATAKUWA ANAKUCHEKA KWA HUU MCHEZO WAKO WA KITOTO MAANA HAYO MASWALI YOTE NI TECHNICAL QUESTIONS AMBAYO MAJIBU YAKE ULIYOYATOA YAMEKUPAMBANUA WEWE NI MTU WA AINA GANI!! LAITI UNGEKUWA UPO MAKINI NA MJANJA WA KUNG'AMUA NI WAPI ALIPOPAHITAJI MWANDISHI KUKUELEKEZEA WALA USINGEZUNGUMZIA KABISA HAYO MAMBO BADALA YAKE UNGETAFUTA ENGO NYENGINE KABISA YA KUPIGA NA WALA SIYO HIYO... NA MBAYA ZAIDI UKARUKIA KWENYE MAMBO YA BANDARI KUUZWA ILI KUZIPA UHAI HOJA ZAKO KWA KUOMBA UUNGWAJI MKONO KWA WALE WENYE CHUKI NA SWALA HILO JAMBO AMBALO NI BURE KABISA NA HAPO NDIPO PANAPOONEKANA LENGO LAKO LILIPOKUWA... HUKO KWENGINE KOTE ULIKUWA UNATAFUTA NJIA TU ZA KUIBUA WATU HISIA.... HIYO AKILI YA MAMA KUKU NA MWANAWE AKIMWAMBIA MANENO MATAMU ILI AMUAMINI KUWA UTANYONYA LEO UTANYONYA KESHO... ILHALI VYOTE NI POROJO NA WALA HANA HATA HAYO MAZIWA ZAIDI YA MBAWA ZAKE... KIFARANGA AKIJA KUSHTUKA TAYARI KASHAKUWA MKUBWA HAKUNA CHA KUNYONYA WALA USHUZI WA KUNYONYA... NA WE NDICHO HIKI UNACHOKIFANYA KWA WATANZANIA WAYAAMINI MANENO YAKO ILI UJIIMARISHE KISIASA... MICHEZO YA KITOTO HIYO KAKA, TAFUTA MBINU NYENGINE 😂😂😂😂

    • @user-kh7bc4js1m
      @user-kh7bc4js1m 23 วันที่ผ่านมา

      Na alivyo na akili hajitambui kabisa huyu nchi c alikisha yaona paa na maduhuli ndo mchungaji huyu kila leo nasema c kiongozi mtambuzi mapema cyo kila jitu zee lina akili😮

    • @user-yd1pc8uy8x
      @user-yd1pc8uy8x 23 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-kh7bc4js1m
      Anachonikera huyu mzee hakuagi maana kila siku ni vituko tu.
      Unamadhara gani kwa serikali mtu Kama wewe?
      Huyu mzee hakui

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 22 วันที่ผ่านมา

      Wewe unafikiri yeye samia amehongwaje na waarabu hadi akafikia mahala pa kuuza bandari na kuhamisha wamasai kwa nguvu? Watu huhongwa hivyo! Kama Abdul ni mwema kiasi hicho je wew amekupa pesa ngapi? Kwa nini ampe pesa Lissu? Eti technical questions? Hayo ni maswali ya mwandishi muoga asiyejiamini kuhusu anayoyahoji,,! Kapimwe akili mbwa we! abduli hana pesa alizokuja nazo Tanganyika toka kizimkazi! Punguza umatako!

    • @gospalflavour7304
      @gospalflavour7304 17 วันที่ผ่านมา

      Uyu jamaa haeleweki aseee!

    • @gospalflavour7304
      @gospalflavour7304 17 วันที่ผ่านมา

      Mama kaamua kumwita simba😂😂😂😂😂

  • @user-gu7vd1iu6e
    @user-gu7vd1iu6e 18 วันที่ผ่านมา

    Duuuuh Uongo uliokamilika acha uongo.....

  • @RedSun-ms2zq
    @RedSun-ms2zq 18 วันที่ผ่านมา

    Siku zote uko sahihi lisuu ila wasio timamu wanakutukana all days

  • @user-wi8ec4ir7e
    @user-wi8ec4ir7e 20 วันที่ผ่านมา

    Angepokea pesa t angepingwa picha bila kujua na baadae ingekuwa hongo

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 23 วันที่ผ่านมา +1

    Viongozi inabidi muweke ma camera majumbani mwenu.

  • @richardrobert2203
    @richardrobert2203 23 วันที่ผ่านมา

    Huyu Odemba huyu ana maswali magumu, technical sana aiseee

  • @evancemsosa4379
    @evancemsosa4379 24 วันที่ผ่านมา +1

    Anasema wanashida na pesa kufanya kampeni, mbona huulizi ruzuku yenu inaenda wapi? Ndio nguli wa habari huyo?

  • @ilankundakamenya3171
    @ilankundakamenya3171 21 วันที่ผ่านมา

    Ninakukubali sana mwamba

  • @bahatjuma7458
    @bahatjuma7458 24 วันที่ผ่านมา

    Wewe muandishi mjinga Sana, Sasa kutembelewa na mtoto wa Rais Kuna shida gani

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 17 วันที่ผ่านมา

    MWANDISHI YAELEKEA HAUMWAMINI LISU MAELEZO YAKE NA MAJIBU YAKE. HUENDA UNAMAJIBU YAKO UNAYOYAJUWA TAYARI TOFAUTI NA ANAYOYAELEZA MUHUSIKA

  • @edwintouches
    @edwintouches 16 วันที่ผ่านมา

    Ndugu mwandishi tafadhali, punguza kiherehere. Acha kumu interfere mzungumzaji, acha aongee. Unaboa balaa duh!

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 24 วันที่ผ่านมา

    Mh Tundu lissu twambie yote tuweze kujua kila kitu tujue Nchi yetu inaelekea wapi MMungu aweze kutupigania wa Tanzania wote na Dunia nzima

  • @beatusmajumbi7125
    @beatusmajumbi7125 16 วันที่ผ่านมา

    Hii ni aibu kwa viongozi wetu yani mtoto wa rais anajiona ana mamlaka ya kuwahonga wapinzani

  • @QwakuHangu
    @QwakuHangu 24 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu Mzee kashapokea hongo

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 15 วันที่ผ่านมา

      Unaushahidi

  • @user-bf9xu7dw1f
    @user-bf9xu7dw1f 24 วันที่ผ่านมา

    We mwandishi wa habar mbna unaingilia akat lisu anazungumza mbna ww unapoulza anakupa mda ukimaliza ndo anskujib

  • @BraxedaDomina-xn4zc
    @BraxedaDomina-xn4zc 18 วันที่ผ่านมา

    Sipendi mtangazaji anavyo interfere mtu anapojieleza mtangazaji anaboa sn nimeshindwa hata kuendelea kusikiliza

    • @UPENDOMMAKASA
      @UPENDOMMAKASA 17 วันที่ผ่านมา

      Ndio stail yakeeee na yeye

  • @paterinishayo-ef4sx
    @paterinishayo-ef4sx 18 วันที่ผ่านมา

    Hela hazikataliwi daaah kwann mm sipendagi ujinga wa kukataaa pesa huo bhna

    • @lugwetunje3896
      @lugwetunje3896 15 วันที่ผ่านมา

      Nyerere alisema huo ni umalaya malaya kule Kenya wanaita political prostitution

  • @rayyahinay-hp7jf
    @rayyahinay-hp7jf 24 วันที่ผ่านมา +1

    Lisu unajimalizaaa acha kutungatunga vijimambo na ww mwandishi mnafik"

  • @elimukwanza4657
    @elimukwanza4657 24 วันที่ผ่านมา

    Tundu nilikua nakupenda sana kisiasa, ila naona sasa huko kama zamani

  • @recordsDAR
    @recordsDAR 23 วันที่ผ่านมา

    Kumekucha wanaume

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 23 วันที่ผ่านมา

    Fedha zetu ndiyo yakugawia namarafiki kama. Hivyo Mako Makongoro ndiye angekuwa bilioniawaAfrika maansbabayske amekaa ikulu karibu miaka 30 miakamitatutu .

  • @user-fz1kh9in2c
    @user-fz1kh9in2c 23 วันที่ผ่านมา

    Dah wewe kweli utaingia peponi ningekuwa Mimi hizi dhiki zangu ningechukua pesa hiyo maisha magumu

  • @user-lt2wb6hb9h
    @user-lt2wb6hb9h 23 วันที่ผ่านมา

    Tundu uwezi kukaa kinya😢😢😢😢,

  • @MustaphaSeleman-z7c
    @MustaphaSeleman-z7c 21 วันที่ผ่านมา

    Tundu lissu akili nyingi ninja sana muuliza maswali mwenyew anasanda 😂😂😂😂

  • @user-bf9xu7dw1f
    @user-bf9xu7dw1f 24 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi hyuuu anaboa afu mala zote yupo hvo ukiulza swali kaa kmya subil majib ya ulomuulza

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 23 วันที่ผ่านมา

      Anataka kick / au Hana weledi

  • @BimkubwaOthman
    @BimkubwaOthman 23 วันที่ผ่านมา

    Haya Raisi wa Zanzibar alipo Fanya harusi miliuliza pesa kapata wapi,na huyu Samia muulizeni basi

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 24 วันที่ผ่านมา +5

    mpelekeni tundulisu mrembe

    • @RutinikiGosbert
      @RutinikiGosbert 22 วันที่ผ่านมา

      Twambie wewe sasa unayoyajua kama Lissu ni kichaa kenge wewe

    • @rahmaarrington9019
      @rahmaarrington9019 13 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂 kwa kweli!!😂😂

  • @MahmoodAhmed-yt9me
    @MahmoodAhmed-yt9me 24 วันที่ผ่านมา

    DULU ndio nini?

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 24 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu lissu msenge tu mtoto wa rais akuhonge ww kwa lipi ulilo nalo kwenye nchi yetu na kwa faida ya nan? Fala ww

  • @user-ct9fb5or2n
    @user-ct9fb5or2n 24 วันที่ผ่านมา

    Hawa wazanzibari siwapendi warudi kwao haya mambo ya MUUNGANO ni mambo ya ajabu sana yanaumiza TANGANYIKA

  • @pdwanakaza2411
    @pdwanakaza2411 17 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂hahhahaha lisu namkubali snaaa

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 21 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi kuwa msikivu acha jifanya mjanja,unaongea na mtu anayejielewa

  • @danielmarwa5122
    @danielmarwa5122 18 วันที่ผ่านมา

    Hapa ishu kubwa ni huyo Abdul hivi hizo fedha anazochezea na kutumwa kwa niaba ta nchi inatoa ujumbe gani

  • @NajmaShehe
    @NajmaShehe 23 วันที่ผ่านมา

    upo ovyo mtangazaji mpe mtu space .ww mtangazaji sio afande

  • @rashidininje8618
    @rashidininje8618 19 วันที่ผ่านมา

    Kupata kuvumilia tundu vumilia miruzi mingi sana usije ukapote maana sisi wakubwa tumekuelewa waliokupa wito ambao unawaita watu wema washakula hizo pesa

  • @LabinMbaba
    @LabinMbaba 20 วันที่ผ่านมา

    Huyu Lisu kumbe ulaya watakua wamemnaniii

  • @johnsonjoseph6544
    @johnsonjoseph6544 20 วันที่ผ่านมา

    Sa uyo bwana mdogo anatoa hela wapi..!??

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 18 วันที่ผ่านมา

    viva lissu viva 🎉🎉🎉🎉 raisi wng2025 mungu amfanyie wepec...nampenda sana huyu baba wallah mungu mlinde kwa ajili yetu watanzania 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💫💫💥💥💥

    • @erastomillinga7962
      @erastomillinga7962 18 วันที่ผ่านมา

      Plokp
      Oh😅o

    • @Shaabanhmakiya
      @Shaabanhmakiya 13 วันที่ผ่านมา

      @@saumuabdallah198 UNAZIMA DATA NA HUMWELEWI 😆😆😆UNAMSIKIA MANENO 😎 NI bahati mbaya tuu kutojua sifa yake UBISHI

  • @user-ho8ql5uf6w
    @user-ho8ql5uf6w 19 วันที่ผ่านมา

    Acha kuludia ludi maelezo wewe mtangazaji wa Ngolo

  • @AthonySaimon
    @AthonySaimon 22 วันที่ผ่านมา

    Sasa mnabisha nn sasa mbwa nyie haya mccm ni makenge tu , maji shida umeme shida, hospital dawa hakuna yanakalia kutafuta watu waelewa kuwaziba midomo yaaan tnz... Hipo siku tutayafanya kama kenya

  • @nimlambangu2771
    @nimlambangu2771 24 วันที่ผ่านมา

    Waandishi wetu wa sasa wamekuwa na maswali yasiyo isaidia jamii, maswali ya mipasho badala ya maswali yenye kuijenga jamii

  • @DamianojacobSulle
    @DamianojacobSulle 24 วันที่ผ่านมา

    Zwa

  • @fat-hiyaali8257
    @fat-hiyaali8257 23 วันที่ผ่านมา

    Ubelgiji ndo alipo mumeo, muongo unazo nomba zake za simu alizokupigia umlizo wasiliana na yeye? Toast ushahidi tujue muongo Tcra wapo kuona simu zenu za miadi toast hamuwezi kukutana bila kukupigia simu,

  • @amanimakombe7141
    @amanimakombe7141 23 วันที่ผ่านมา

    Wamekutana na msomi hajicommit mtu

  • @MatambalyaKashinje-c8h
    @MatambalyaKashinje-c8h 19 วันที่ผ่านมา

    Mwambaa tupooo nyuma yako kazana tu ipo siku nafsi yako tutaiwania

  • @Dutichgogo
    @Dutichgogo 23 วันที่ผ่านมา

    Ongela tundurisu wewe nibora sana katika taifaili

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 23 วันที่ผ่านมา

    Makonda Alisema Tz Atuna Upinzani Tuko Na Wasemaji2 Kwasababu Kungekua Na Upinzani Tungekua Na Maisha Ambayo Wengi Wasingelalamika Kwamba Maisha Magumu Wapinzani Wanakula Bata Sisi Kazi Kufuata Mkumbo Tukiambiwa Twende Uku Tuko Kule Tuko Utazani Atuna Shelia

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 24 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu mwandishi hajui kuuliza

    • @nimlambangu2771
      @nimlambangu2771 24 วันที่ผ่านมา

      Fredy nakubaliana na wewe sana, nimekuwa nikimfuatilia onemba amekuwa na maswali ya hovyo hovyo tu

    • @samsonnzisabira768
      @samsonnzisabira768 23 วันที่ผ่านมา

      Anafaa kusmmea sheria

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 24 วันที่ผ่านมา +1

    Umaalufu hautafutwi umaalufuwa tundulisu ni mungu kampa kibari acheni wivu wa kijnga halafu tundu lisu mamuona kama fala au lofa tundu lisu siyo lofa au fala halafu kichwani ziko timam sema mnamtamani kwa ushenzi aliofanyieaga sijui kama hataana ham na ccm mlipeni pesa zake na damu yake

    • @evansdecaprio8196
      @evansdecaprio8196 24 วันที่ผ่านมา

      Tundu lisu nimaarufu kabla hata ya huyo mtoto wa Rais unaemtetea pamoja na ujinga wate huo bado we ni kipofu

  • @user-yz6ds9hn9l
    @user-yz6ds9hn9l 23 วันที่ผ่านมา

    Wewe unayemsem lisu kwa kusema hayo wewe ni wale mnaotumwa na ccm kuhalibu maelezo ya watu ccm mmeanza kuwafichia maovu,watu

  • @ZawadyKaoneka
    @ZawadyKaoneka 24 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂 abdul hii tanga nyika bhana