SHUHUDIA MREMBO MDOGO ANAYEMILIKI MJENGO MKALI GOBA | ATAJA SIRI YA MAFANIKIO YAKE "Sili bata..."
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Big up Jirani hao ndo wanawake wenye akili njema. Nimependa " sio mtu wa starehe". Nimeamua kumake money na kuinvest".
Ni jirani yako?
Team Goba
Hata mie na ndoto kama ya huyu dada inshallah ngoja nipambane,hongera dada❤💪💪
In shaallah
Hongera sana dada ata mimi nikiimaliza itakuya ya kifahari maana nimeipania
Kate kama Kate Hongera shoga angu.... 😘
Hongera dada nami natamani niwe na nyumba hongera sana Mungu awe pamoja nawe
Nimekupenda dada sana sana
Huwa nafurahi sana pindi ninapo ona Tanzania vijana Wanafanya maendeleo kama haya
Eee Mungu nisaidie na Mimi🙇🏼♀️🙏
Mungu atakusaidia
Hongeren nyumba nzur na ya bint nsur❤
Nyumba haijaonyeshwa vizuri,camera man na editor inabidi waangalie wengine hasa ulaya na sa/Nigeria/ke jinsi ya kuonyesha nyumba.sauti zingikuwa zinaskika in background huku nyumba inaonyeshwa kwa mapana kuliko watu na maelezo
Yaani hata sijaona vizuri kwakweli.
Nami nilitaka kuandika comment ya namna hii yani crew ya production na editors wamefeli sana. Wanaonyesha mtangazaji badala ya kuonyesha nyumba.
hongera sana dear zuli😊
Nyieeee! Mungu nisaidie.
Amen atakusaidia.
Nyumba yatatu hongera dia simchezo ee Mungu nipe kazi namimi niweze kujenga
Mashallah hongera saaaaaaaana
Zinapunguza gharama lakini zinavuja wakati wa mvua ,,,, tatizo ni nini ama mafundi bado hawajapata ujuzi na nchi yetu mashaallah ina Mua sasakulinganisha na mataifa mengine ambayo mvua zashida aiiiii
Inategemea na fundi
Eee Mungu nisaidie na mimi nijenge kama hiyo Amina. Inshallah
Karibu upate ramani 0769502576
Mungu nisaidie na mm nipate kwangu
Karibu upate ramani utaanza kujenga soon 0769502576
Dada zuri hongera sana dear,nimependa sana dizain ya nyumba yako naweza kupata contact zako nami nahitaji kufanya ujenzi kama huo.
Haya mwijaku umeona maisha sio kelele
Huo usasa mkajenge na madhabahu za Mungu
Maa Shaa Allah, pazuri
Hongera sana dada
Mmh mashaalah
🙌🙌👍 Kazi nzuri
Hongereni sana kwa nyumba nzuri lakini miundombinu mmmmhhh wapi na London
Mashaa Allah
Sijaziona London, zipo sana uarabuni sio ulaya. Halafu London hakuna nyumba za watu za kawaida nzuri hivyo kwa sababu hakuna ardhi, hizi nyumba zipo nje ya London. London nyumba nyingi ni magorofa/Flats za kuweka watu wengi.
Hongera mdada, mfano wa kuiga
Choo kama chumba changu khaaaa dada shikamoo hongera
Nimependa
Jan bless u sister🎉🎉
Safi sana
HONGER sana ZURI.
Hongera lakini taa za disco nyumbani sijaelewa na sakafu ikipigwa deki mtadondoka vyumba 7 vya nini ?
Kabla ya yote muwe mnawauliza na kazi wanazofanya kwa mnavoongea kwa urahisi wengine tunaweza kukufuru kwa mungu
Nikweli kabisa
😂😂😂
😂😂
Mashallah big up dada
Hajatuambia amewezaje kufikia hapo, kukataa bata sio sababu ila angetuambia amewekezaje ndo angetuinspire
Daaa nyumba mzur sana
Huwezi kupewa code za mafanikio,
Vzr Sana 💥💥
Hongera dada
HII hata kama sijaona vizur lakini mpaka sasa naona imetumika MILION 800 hongera sijui umepata wapi hii pesa hebu tuambizane vijana
😄😄😄 Aisee umenifurahisha san kwel...iv unajua Million 800 wew? Nyumba ake ni nzur ten ni kali san ila kwa Hiyo pesa unayosema sio labda kidogo Million 300 adi 400...Kwa mtu ambae ameshawah kujenga atakubaliana na mimi
Inaweza finally vema tu kama ni mtu wa ujenzi wa viwango
800 uongo wewe
@@ginimbifamily3995 Inaonekana hata pesa unazo, niazime milioni 10 jamani 🙆🙆
Hongera sana
Cameraman hajaitendea haki hii video very poor
Dada chooni weka Bidee kwa kujisafisha unapomaliza haja zako.Simon,Italy
Ziko aje
System hiyo ipo kwenye vyoo vya kisasa vinakuja vimewekewa maji na vitufe unabonyeza tu inakusafisha yenyewe na ukimaliza unabonyeza kitufe kingine cha kukupuliza upepo kukausha maji.
@@africanchild4525😅😅😅 hadi kupuliza yote hayo
Mwamposa on the beat Sema Hongera umetumia akili maana mwingine angekuwa na mwamposa na angeishia kudai mawigi
Kumbe anatoka na mwamposa
Mwamposa kaingiaje hapo😢😢
kheeee
Ata me nilijua tu lazma awe na sponsor bhana Sio bure
mamazuri wawatu ❤
Nyumba ndio kila kitu🙏
Mmmh wanaloga ili kuwapata wazungu wakajenga,lkn ingekuwa tunajua historia yake ya upambanaji kidogo tungeunga mkono
Maisha ya watu Yana siri kubwa dear
Acheni wivu , mdada ame jitahidi kabisa ongera sana
Naic
Nic
😢
Unakuta kk ndio ume mtelekeza huyu dada unaweza jutia
Lakini si mtazeeka😂😂😂😂
Choo icho kinasumbua sana kwenye swala la kubonyeza maji
Mmeboa sana, tunataka kuona nyumba sio kuona sura zenu na ma-bla bla kibao
Hela wanapata wapi hawa?
Mbona Me natafuta sana sizipati jamani
Njoo kwenye upako kawe kwa mwamposa utajenga fasta
❤❤
Hahahaha... That was President Reagan... yes he did say " It's not what your Government do for you, is what you can do for your Government" . The best President we ever had in America.. and Trump
Uje na Njombe Kuna nyumba huku ni balaa
huyo zuri ana chura hatare
1.3 kagorofa je sisi tutaweza
Haf London mtaa gani huo tupe jina
Saluti kwako zuri
Af mwijaku anakuja kupiga kelele
Mwamposaaaaaaa
Wengine wote hawajaelewa code 😂
Nipe namba ya zuri nimuoe😂😂😂😂😂😂😂😂
😂
Wanaume mnavyopenda vya Bure. Huna haya, ukiingia kwny ndoa wewe n mkia tu, akili Bado ndogo sana. Ataolewa na mwanaume mwenye akili na sio jitu kama wewe unayesubiri ugali na kwenda chooni
Wanaume wanapenda wanawake wanaopambana hawataki mwanamke mzigo
Siri ya mafanikio ni pamoja na kuwachuna wanaume mafala
usiwe mjinga kiasi hcho pambana na wewe sio unamuonea wivu mtoto wa kike
Kwan hao wanao chunwa hawana akili????
@@bone102 😂😂
Tena Goba kuna wanawake wengi wenye mijengo. Maisha ni priority. Kuna wengine walio na pesa pesa zao wanatumia kwa show off wengine kama hao wanaakili njema. Amesema hana starehe ila anapenda kuwekeza kwenye ujenzi. She is simple, beautiful, determined and visionary aka focused
Nenda kwa wachune na wewe
Hongera dada