Fix You: Chef Kile afunguka alivyoacha kazi na kuwa Mjasiriamali wa chakula, atoa siri za mafanikio

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 เม.ย. 2023
  • Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web.app/buy/6Ew6mE...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

ความคิดเห็น • 34

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 ปีที่แล้ว +9

    Kuna broo wangu mmoja aliuza nyumba akanunua gari ana scania 10 ukimwambia kujenga anakwambia mbeleni anamiaka 50 ndoto zake kubwa Leo Dada umekuelewa anafanana na broo love Dada kamgisha

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 ปีที่แล้ว +1

    daaaaah somo zuri sana sana la kuelimisha MUNGU awabaeiki saana saaaana

  • @emmanuelenock6310
    @emmanuelenock6310 9 หลายเดือนก่อน

    Host yuko vizuri,anachokoza mada vizuri na anauliza maswali direct

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @godfreyally-ps3fo
    @godfreyally-ps3fo ปีที่แล้ว +1

    Du mtangazaji una macho mazuri maswari 👍🇹🇿

  • @hopesengo6972
    @hopesengo6972 ปีที่แล้ว

    Madini Sana Chef Kile 🙏🙏

  • @prudencemushi6948
    @prudencemushi6948 ปีที่แล้ว +1

    Kile akili kubwaaaaaz

  • @zainabayubu1070
    @zainabayubu1070 2 หลายเดือนก่อน

    ❤ kipindi

  • @agripinamatinya3436
    @agripinamatinya3436 ปีที่แล้ว

    Nice bro..!madini sana

  • @rodgersgregory7198
    @rodgersgregory7198 ปีที่แล้ว +1

    Irene: Maswali mazuri sana umeuliza

  • @oasis_schools
    @oasis_schools 7 หลายเดือนก่อน

    Chef Kile na Irene nitawatafuta. Kile una madini.

  • @chai_r
    @chai_r ปีที่แล้ว +1

    In the end this was off topi, thought the interview was entrepreneurship and not relationship matches. Strange.

  • @josephatjosephat7448
    @josephatjosephat7448 ปีที่แล้ว +2

    uwekezaji kwanza

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 ปีที่แล้ว

    Biashara nzuri sana

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    👊👍

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 ปีที่แล้ว

    Aje tena amenigusa sana hasa suala la kuacha kazi hadi kujiajiri safi nilipitiachicho kipindi

  • @tulizomusafiri310
    @tulizomusafiri310 หลายเดือนก่อน

    dADA KWANINI HUWEKI HATA NAMBA YA SMU?

  • @filberthendry2651
    @filberthendry2651 ปีที่แล้ว +1

    Unasoma vitabu vitabu gani Kaka nilitaka na mimi nivisome kwa sababu na m ni mpish

  • @EagleCrown-pb9qv
    @EagleCrown-pb9qv ปีที่แล้ว +1

    Work smart not hard 🤔

  • @romanuskunzugala2096
    @romanuskunzugala2096 ปีที่แล้ว

    Good point ndyo iyo kama kitu kipo ndani yako utaweza tuu kama hakipo ni hakipo

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 ปีที่แล้ว

    Nakupenda kile

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 ปีที่แล้ว

    huyo jamaa aalokwen tena ana mambgo mazur saan saana

  • @allymihigo5293
    @allymihigo5293 ปีที่แล้ว

    Bro uko vzr sanaaaa

  • @omaraliali1268
    @omaraliali1268 ปีที่แล้ว

    Dada vipi mbona unalazimisha kwenda kwenye mambo ya mapezi wakati jamaa ana darasa kubwa na sio wewe tu wandishi wengi munafanya hivyo

  • @prudencemushi6948
    @prudencemushi6948 ปีที่แล้ว

    Sns namba 1

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว

    Kamugisha wewe,Acha tu dah
    Nakuelewaga sana

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli nimemsikiliza huyu mzee hana hoja nzito ambazo zinaweza kukuxpire katika maisha,ety anakwambia mfanya kazi alieajiriwa anaweza kukopa then akajenge what😮

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe ปีที่แล้ว

      Pagumu apo

    • @rajabmsinzia1715
      @rajabmsinzia1715 ปีที่แล้ว

      @@BigZhumbe Sana bora angeniambia afanye tathmini ya biashara fulani kisha akakope ili afanye biashara alioitathmini hapo inaingia akilini ila akakope ajenge mkopo unaisha nyumba haijaisha na hela hana kitaalamu itaitwa aje hiyo

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 ปีที่แล้ว +2

    SNS hamna vitu vya maana zaid ya habar za kina giggy money na rushyner wa manara leten vitu vya maana🤣 vya maana vikiletwa sasa comment 15 24hr ago viewers 50😂alaf za kina mwijaku koment 200 dakika 20 viwers kibaoo, watanzania nin mnachotaka embu kuweni wawazi mnataka nin 🤣🤣🤣

    • @veeJesus
      @veeJesus ปีที่แล้ว

    • @shamterehani2161
      @shamterehani2161 5 หลายเดือนก่อน

      Upo sahihi ndugu, yaani binafsi hali hiyo hata mimi huwa inanifikirisha sanaa!!!

    • @SAMBACHEFOUNDATION
      @SAMBACHEFOUNDATION 4 หลายเดือนก่อน

      😆😂😆