MREMBO Tajiri mwenye miaka 20 aliyeacha Shule akiwa KIDATO cha Pili afunguka haya mazito - PART ONE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 1K

  • @stewartrichard1316
    @stewartrichard1316 3 ปีที่แล้ว +10

    Embu acheni majungu huyo msichana ni selfmade millionare kuna watu wanawazazi wenye fedha na hawawezi kizitumia hizo fursa salute kwako dada

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 4 ปีที่แล้ว +62

    Allah haangalii ukoo ama nasaba ya mtu cha Muhimu kwake Ucha Mungu(TAQWA)

    • @ugonjwanadawa5041
      @ugonjwanadawa5041 3 ปีที่แล้ว

      Familia ya kitajiri kufanikiwa ni kwaida hahaaha , kingine kumbuka huyo ni ngozi ya yemeni

    • @محمدشريف-ي9ل6س
      @محمدشريف-ي9ل6س 3 ปีที่แล้ว

      🤔🤔

    • @sashasasha9253
      @sashasasha9253 3 ปีที่แล้ว +1

      Nasab ya mtume haipo Tena hapa duniani Hamna kujibasib na imefanywa hivyo kwasababu ilijulikana Kuna watu watakuja kujidai au kujitofautisha na wengine kwajifanya wao ni nasab ya mtume

    • @محمدشريف-ي9ل6س
      @محمدشريف-ي9ل6س 3 ปีที่แล้ว

      @@sashasasha9253 wako NASAB wamtume wako

    • @ToneTone-ll3qb
      @ToneTone-ll3qb 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@sashasasha9253haha huo niuongo bwana
      Nasabu ipo bibie ila wengi wajinasibisha kwakwe

  • @sekymwasumbi1938
    @sekymwasumbi1938 4 ปีที่แล้ว +5

    Guys Embu acheni roho za korosho bhana... Hajasema watoto zenu waache shule, wewe unayeamini in education well and good.
    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, sio wote watoto wa mboga Saba wana uwezo wa kufanya hicho alichokifanya! Keep up girl!

  • @mordally
    @mordally 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupa hongera kwa bidii ya muendelezo wa utajiri na kujituma, baba akiwa mwalimu, ila nakusihi ukasome vizuri uislam na historia kamili ya mtume, usije ukajinasibisha na ukoo wa Rasula Allah, kumbe unainganishwa na ukoo wa mjomba wake mtume Abuu Jahal.

  • @edishaa3108
    @edishaa3108 4 ปีที่แล้ว +25

    Nasabu ya MTUME alafu unatuonyesha mkia wa farasi kichwan duu...
    Pole sis

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 ปีที่แล้ว +18

    Jamani nothing is impossible..tuendeleze hustle..usikate tamaa.

  • @ndengeyepatrick1108
    @ndengeyepatrick1108 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana Sister kwa baba mzazi, ni neema laki pekee kumpata baba mwenye usikilivu kama yeye.🇨🇩

  • @muniradaudi440
    @muniradaudi440 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah na atusaidiye sisi masikini mana twafaa njaaa.

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 ปีที่แล้ว +10

    Zenna wajina jamani Etiii ulifanikiwa kuacha shule😜😅😅😅hongera zenna km zenna

  • @rahmahassan3206
    @rahmahassan3206 4 ปีที่แล้ว +21

    Jamani umeshindwa kujistiri vzr hicho kichwa dada? Mbona mnautupa uisilamu hivi ndiyo kwenda na wakat sindio, Allah anakuona

    • @salmamohammad5614
      @salmamohammad5614 4 ปีที่แล้ว +2

      Lol ww sharifu kisha wasema uko na nasaba ya mtume then shungi wazi huna hata haya jiheshimu

    • @aminamohamed1828
      @aminamohamed1828 3 ปีที่แล้ว

      Hawa waarabu koko wanapenda kujishaua sana nahawana lolote wamepotea kweli Allah atunusur

    • @milermiler1504
      @milermiler1504 3 ปีที่แล้ว

      @@aminamohamed1828 Kabisaa

  • @halimaamini8015
    @halimaamini8015 4 ปีที่แล้ว +9

    Usisubutu kuacha shale kufata huyu dada huyu ni wakishuwa 😂😂😂 katoka shule naingia kwenye campun ya mdingi zingatieni ilo

  • @hassanhancha1413
    @hassanhancha1413 4 ปีที่แล้ว +275

    nani aliesikia "nilipofanikiwa kuacha shule"😀😀 a gonge like hapa

    • @DuniayaHabari
      @DuniayaHabari 4 ปีที่แล้ว +1

      subscribe, share, like, comment kwenye link yetu .. Angalia hizi uvunjike mbavu.. Usipocheka nakurudishia PESA yako
      th-cam.com/video/ye9pJCgjrQU/w-d-xo.html

    • @trishtrish2349
      @trishtrish2349 4 ปีที่แล้ว +12

      Nimesikia. Ana bahati familia yao ina uwezo . Wengi wetu tunangangana na masomo kwa sababu wazazi wetu walifikiri that was the only way to make it.

    • @mrsliverpool4235
      @mrsliverpool4235 4 ปีที่แล้ว +1

      @@trishtrish2349 Ndio the only way unaweza kuajiriwa na hicho cheti

    • @trishtrish2349
      @trishtrish2349 4 ปีที่แล้ว +3

      @@mrsliverpool4235 Cheti husaidia but not all the time . Many times uta realise masomo hai endani na kazi ambayo we end doing.

    • @mrsliverpool4235
      @mrsliverpool4235 4 ปีที่แล้ว +1

      @@trishtrish2349 kina umuhimu wake Lakini, ni vizuri kua nacho kama I'd

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 ปีที่แล้ว +9

    Nice sana kazuri nakupenda na pesa unazo mashallah

  • @youngbreezy6615
    @youngbreezy6615 4 ปีที่แล้ว +7

    Kwa sisi ambao tunafatalia successfull people in the world na kueleza wao wamefanikiwa vipi wengi wao mafanikio yao yameanza from zero to hero but huyu mdada inaonesha kwao kuna hela then baba ake amechangia asilimia kubwa katk kufanikiwa kwake lakn sio SELFMADE but all in all hongera

    • @akshaydavid159
      @akshaydavid159 4 ปีที่แล้ว

      Amejitahidi ila utajiri wake sio wa kujivunia Sana kwa sababu ya background yake

  • @halimamohamed2146
    @halimamohamed2146 4 ปีที่แล้ว +3

    Shule si kila kitu kinachokufanya ufanikiwe maishani ni uwe na mwelekeo maishani na ujue unataka nini big up Zena sharif would like to meet you one day am from kenya a lady like you 🤣🤣🤣

    • @mgosimkome9242
      @mgosimkome9242 4 ปีที่แล้ว

      Wee uliesema shule si kila kitu pia kumbuka unaweza kosa shule na ukakosa vyote pia maisha na shule kuna wanaokosa vyote, hapa inategemeana mfano kwa mtoto anaetoka familia ya kimasikini ama hali duni Kwake shule ni mkombozi msimdanganye, lakni kwa ambao kwao uwezo upo shule sio lazima kwani hata akiacha anaweza Pewa mtaji kirahisi na akafanya mambo makubwa lakni mtoto wa masikini akiacha aseme apambane aisee mtoko wake ni mgumu na inachukua muda mrefu Sana na pengine asipate kabisa ndugu zangu watu wengi mnaosikia oh sijui nilianza na nn leo niko hapa sijui saivi ni tajiri sio Kweli, angalia akina MO utajiri ni wa baba zao, Alihaji Aliko Dangote babu yake alikuwa ni tajiri mkubwa Nigeria akamwachia mwanae ambae ndo baba wa Aliko Dangote leo huyo hapo tunamsikia, lakni alisoma na ana Bachelor degree of business administration hivyo alienda kusoma ili aje kusimamia biashara na Kama ni mtaji alipewa mtaji sio wa kitoto, hivyo sio kila anaeonyeshwa mtandaoni anajinadi oh mm tusiige, ni dada mmoja eti nilianza kupika Makande na leo nina ofisi kubwa ya kuuza Makande ukiangalia amesoma Marekani ndo akaja Tanzania hivi mtu Aliesoma Marekani unadhani wazazi wake walikuwa kapuku na hakuwa na Scholarship, Kaja kapewa mtaji lkni anakuambia oh niwashauri wasomi wasikae tu, wabuni vitu vya kufanya hivi Nani asie penda kufanya kitu shida atatoa wapi mtaji wa kufanya hicho kitu ndugu zangu.

  • @mohabatkhanmalak1161
    @mohabatkhanmalak1161 3 ปีที่แล้ว +8

    I am of the opinion that education is more vital now, in todays world. This is my advice to our youngsters - if you have to make a break from your studies do it, but later on finish your diplomas and degrees. For Africa, education is the key.

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 ปีที่แล้ว +7

    Hustle kama hustle👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 4 ปีที่แล้ว +38

    Sijui watoa comment za matusi na lawama kwa huyu mtoto sijui zinatoka wapi .huyu mtoto yuko real anasemesha ukweli wake kuwa shule ilimshinda niwangapi shule iliwashinda na hawana hata akili ya kujiongeza? Hata wazazi wakiwa maskini kuna umuhimu wakujiongeza huyu mtoto mpeni hongera zake .

    • @yusuphmbugi8594
      @yusuphmbugi8594 4 ปีที่แล้ว +1

      kama alikua ana uwezo wa kulipiwa school bus kwa nn asihamie boarding

    • @amourflamin2092
      @amourflamin2092 4 ปีที่แล้ว +3

      Apewe hongera zanini au kwakuufanikiwa kuwachashule upumbavu huyu kazaliwa kazikuta helazipo kwao alicho kufanya yeye kipi kigumu

  • @maestrojayysule5660
    @maestrojayysule5660 4 ปีที่แล้ว +120

    Uyo hajatafuta pesa kwao zipo. Ache ni kupotosha masikini

    • @kubrymtutala1736
      @kubrymtutala1736 4 ปีที่แล้ว +10

      Kweli kabisa, hawa watu sio wakuwaiga kabisa....yaani huo utajiri sio wakwake ni support kutoka kwenye Famili yake...
      Angalia shule aliyekua anasoma ni UPANGA hii sehemu wanasomaga watoto wa kishua sana..asitudanganye hapa

    • @aisha-ro5fr
      @aisha-ro5fr 4 ปีที่แล้ว +3

      Kweli kabsaaa

    • @mct2227
      @mct2227 4 ปีที่แล้ว +7

      Mm namjua sana babaake sio maskini

    • @shadyajecha1870
      @shadyajecha1870 4 ปีที่แล้ว +3

      Kweli

    • @yunyun799
      @yunyun799 4 ปีที่แล้ว

      @@kubrymtutala1736 😂😂

  • @davidboniphace8159
    @davidboniphace8159 3 ปีที่แล้ว +8

    Hao waarabu in nature huw hawapend shule Wana vichwa vigumu San kuelew darsna

  • @akshaydavid159
    @akshaydavid159 4 ปีที่แล้ว +70

    We mtangazaji acha ufala, tunahitaji utuletee tajiri ambae ni self-made sio Hawa mboga saba wanaopata mitaji kirahisi na sapoti ya nguvu kutoka kwa wazazi au ndugu.

    • @feiz3180
      @feiz3180 4 ปีที่แล้ว +1

      umemsikiliza vizuri. Huyu dada ni amejitahidi. Pengine wewe ungekuwa katika nafasi yake ungelifeli tu. Anacho kipaji na wazee wake wamesimama na yeye na kufanikiwa kwake anasaidia ambao hawana uwezo. Very creative.

    • @faridakidoti6734
      @faridakidoti6734 4 ปีที่แล้ว +6

      Ishu sio kutoka kwenye ushua ishu ni akiri yake tu ipo vizuri Kuna watu wametoka familia tajiri ila hawana chochote kile

    • @maryamomary9596
      @maryamomary9596 4 ปีที่แล้ว

      Naam

    • @aishahamoud2832
      @aishahamoud2832 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa👋👏👋

    • @abubakarmahad3101
      @abubakarmahad3101 4 ปีที่แล้ว +2

      Mm naona anaongeza pesa kwao tu maana zipo

  • @theatushafamily4977
    @theatushafamily4977 4 ปีที่แล้ว +9

    U can have the money. To invest but if you don’t have a great connection everything is zero😂😂.

    • @tztanzania2262
      @tztanzania2262 4 ปีที่แล้ว

      What connection you mean??

    • @baga4670
      @baga4670 4 ปีที่แล้ว

      Money means connections

    • @aminajuma6352
      @aminajuma6352 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @husseinwemmar6217
    @husseinwemmar6217 4 ปีที่แล้ว +146

    I was not able to watch the whole interview cause the story does not inspire a poor child as it discourages education which is the only way for a poor child. Zainab had a very bright future ahead due to a concrete family background as she was working while at school that means there was a push behind her that encouraged her and had no fear to fail which everyone of us was missing. Kwa ufupi masikini tusome tusidanganyike na hawa watu wenye familia zenye uwezo.Unaacha shule kivipi.

  • @nuruyusuf650
    @nuruyusuf650 4 ปีที่แล้ว +71

    Nasaba ya mtume nywele ziko wazi subhana Allah

    • @omarsharifa5606
      @omarsharifa5606 4 ปีที่แล้ว

      Mikono iko nje

    • @omarsharifa5606
      @omarsharifa5606 4 ปีที่แล้ว

      Swag hio mtajuaje ana singaa

    • @khadijaaliy9263
      @khadijaaliy9263 4 ปีที่แล้ว +6

      Mtihani kwa kweli nasabu ya Mtume (SAW) hawako hvo aseme2 ni muarabu lkn so ktk nasabu hyo

    • @shufaakhamis4548
      @shufaakhamis4548 4 ปีที่แล้ว +1

      Mwambie huyoo

    • @dasilvajunior3016
      @dasilvajunior3016 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @benjamininyambaso5041
    @benjamininyambaso5041 4 ปีที่แล้ว +37

    Tuliofanikiwaa kuachaa xhulee kama dada,ila kwasisi homee kunaukapuku tujuanee hapaa😂😂😂

  • @fadhilaliussi7421
    @fadhilaliussi7421 4 ปีที่แล้ว +98

    Haya sasa watoto wa kitanzania nanyinyi acheni shule mumeone mwisho weyu 🤣😃😂😂 jamani naombeni like hapa

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 4 ปีที่แล้ว +34

    Shule mara nyingi ni tumaini la maskini kupata kazi nzuri kama wazazi wanahela Shule ni waste of time

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 4 ปีที่แล้ว +3

      Huu ndio upumbavu wetu wa Africa kusoma sio lazima uajiriwe, kusoma ni kufuta ujinga,hata ukiwa na biashara yako mwenyewe ukisoma huibiwi kirahisi

    • @nanaleetz
      @nanaleetz 4 ปีที่แล้ว

      Umeongea utopolo majinaa mpk unatia hurima walai

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 ปีที่แล้ว

      @@NR-ll4sr Hakuna mwenye hela mjinga.... Na kusoma si mpaka uende shule..... kuna home schooling na matajiri wengi watoto wao wanasomea nyumbani na wanafanya vizuri.... Shule ni ujinga hata alieanzisha Shule hakusoma

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 ปีที่แล้ว

      @@nanaleetz Umesemaje? Kiswahili chako si cha nchi hii 🤣🤣

    • @itshaluastyle
      @itshaluastyle 4 ปีที่แล้ว

      Mishonoya vitenge MAHARUSI nk bonyeza link pia usisahau kusubscribe
      th-cam.com/video/Et2V-nqV7CI/w-d-xo.html

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 4 ปีที่แล้ว +23

    Sawa kwao zipo vizuri ndio mana akaacha shule PESA IPO HATA MIMI ZINGEKUWEPO NIHANGAIKE NA MADAFTARI YA NINI

  • @shaluissa3184
    @shaluissa3184 4 ปีที่แล้ว +17

    Wa kwanza Leo jamani like bas

    • @DuniayaHabari
      @DuniayaHabari 4 ปีที่แล้ว +1

      subscribe, share, like, comment kwenye link yetu .. Angalia hizi uvunjike mbavu.. Usipocheka nakurudishia PESA yako
      th-cam.com/video/ye9pJCgjrQU/w-d-xo.html

  • @salehsaleh548
    @salehsaleh548 4 ปีที่แล้ว +10

    Mtangazaji unazinguwa umeganda hapo kwenye shule tu itatusaidia nini uliza mawsali mengine bana...peole wanataka alifanikiwa vipi ktk maisha yake....

    • @ashuraabby9544
      @ashuraabby9544 4 ปีที่แล้ว

      Siliza mpaka mwisho kwanza hii ni sehemu ya kwanza hivyo bila shaka Kuna vitu vingi huko mbeleni

    • @divinebernard2624
      @divinebernard2624 4 ปีที่แล้ว

      Mhhh Saleh ilo tu njo unataka?ao unataka aulizwe kama huko single ao kipi ili upenye😲😲😄😄🏃🏃nakimbiya mimi

    • @smknaturalorganic5287
      @smknaturalorganic5287 4 ปีที่แล้ว

      👏

  • @victorwhitte
    @victorwhitte 4 ปีที่แล้ว +28

    🤣🤣😂😂🤣🤣, kama kwenu baba yako na mama yako (familia yenu kiujumla) hakuna mchele "umate mate" usijaribu hyo upuuzi

  • @SGL_tz
    @SGL_tz 4 ปีที่แล้ว +37

    What is really the meaning of Hijab?
    Kajielezea vzur but hio hijab imekua kofia kwa kichwa au ni kitu chakuheshimiwa katika dini.......coz why aivae nusu!!!!!! WAISLAM MPOOO!!!!
    Sawa Ni tajiri, but sio matajiri wote wana hojiwa why #SIMULIZINASAUTI. Nyie fanyeni ivo TRA WAMUONE.

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 4 ปีที่แล้ว +4

      ☝️ sioni amevaa hijab na amesema ni familia ya mtume, watu wanacheza na dini 🤔

    • @barakaohani5438
      @barakaohani5438 4 ปีที่แล้ว +2

      Maelezo mazur , ILA YAMEJAA CHUKI , TAFUTA PESA KIJANA

    • @SGL_tz
      @SGL_tz 4 ปีที่แล้ว +2

      @@barakaohani5438I was jus curious
      nothing more... sina chuki coz life n mzunguko wenda ataniajir apo mbelen

    • @zainabzainab9724
      @zainabzainab9724 4 ปีที่แล้ว +1

      Mwenyewe hananishtua..sasa inamaan ngani kwa kichwa.onyesha nywele zote dah but ujui unywele umoja dhambi.njee ziko ngapi kwa kichwa.

    • @Ahmed-fm5fr
      @Ahmed-fm5fr 4 ปีที่แล้ว +1

      Lazima aonyeshe hzo pasta

  • @tphj2913
    @tphj2913 4 ปีที่แล้ว +5

    Kumbe pesa toka mwanzo ipo umepewa mtaji wa kutosha 😂😂😂

  • @nanaleetz
    @nanaleetz 4 ปีที่แล้ว +5

    Oya uyo sio tajiri kwanza familia yake ndo tajiri kwhy ikambeba ila angeanzia chini ndo ungesema tajir
    Alafu kavivu😂😂😂kusoma hahahhahhaa

    • @aminsalimali793
      @aminsalimali793 4 ปีที่แล้ว

      ZENA NA KUFUATILIA SANA NA KUKUBALI SANA ILA HILI LA UKO WA UTUME HUUU NI UWONGO UTUPU MUNGU ALIUONDOA UKOOO WA MTUME

  • @sophiajoseph1461
    @sophiajoseph1461 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa ukwel bhana kama kichwa hakina kitu bora ujisemee tu😹😹✍

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 4 ปีที่แล้ว +64

    Mmm wengine nao waache shule waone moto wake! Uyu dada ukimuona anaonekana mpole, akianza tu kuongea mtu unashtuka kweli sijui kwanini🙉

    • @mishibabu8946
      @mishibabu8946 4 ปีที่แล้ว +5

      Hahaa pia mm nilijua anasautinyororo

    • @mrsliverpool4235
      @mrsliverpool4235 4 ปีที่แล้ว +2

      🤣😅😅😂Ana asili ya kiarabu mumesahau, ya kuongea sana

    • @shanishosho911
      @shanishosho911 4 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 4 ปีที่แล้ว +4

      Exerctly hutarajii, ni muongeaji sana na atakaye muoa ajiandae 😉😁

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 4 ปีที่แล้ว +1

      @@aminanamoyo83 yani ajipange kuwa msikilizaji tu

  • @yasminmariambintyusuf5443
    @yasminmariambintyusuf5443 4 ปีที่แล้ว +1

    Hamna .. Waeza maliza ukaajiriwa kisha ukajiajiri. . u get that si wote wanafanikiwa kupata support ya wazazi kujiajiri . hawa wazazi kesho watakosa ama hawatakuepo u don't have anyone to support u to start ur own. . utaiba wapi?? Na kwa mfano .. Umeacha skull .. Hunapesa yakujiajiri. Chance ya kazi imetokea na niyamtu alie maliza utafanya nn ?? My dear brothers and sisters don't even buy her idea skiza tu ufurahishe maskio lakini elmu muhimu saana. Kila MTU nabahati yake. Yeye labda alipangiwa Iwe hivo ukafata mambo yakaenda mrama .mueke Allah akuelekezw

  • @sweetyjanne255
    @sweetyjanne255 3 ปีที่แล้ว +1

    Mfyuuu Wengine Wanawapaga Hela Muwafanyie Interview Kupata Kiki Mtu Anaonekana Alipewa Mtaji Katoka Ushuani Alafu Mnataka Danganya Watu Waache Shule Jamani Jamani 😃😃😃😃😃😃

  • @johnwilliam5677
    @johnwilliam5677 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyo ni Mtt wa marehem babu yangu mzaa rafiki yangu wa classmate wangu niliesoma nae kabla cjapata rafik mwingne

  • @allyteacher7358
    @allyteacher7358 4 ปีที่แล้ว +1

    nikweli umzuri masha allha ilajitandevizuri mm kusema kweli nimekupenda kweli

  • @saudatkiuta5060
    @saudatkiuta5060 4 ปีที่แล้ว +8

    Ishikilie Sana elimu usimwache aende zake 🤔🤔🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️

  • @maryamhadid7753
    @maryamhadid7753 4 ปีที่แล้ว +10

    MASHAALLAH ALLAH AZIDI KUKUCMAMIA .BUT DUNIA NA FEDHA ZICKUHADAE MAISHA NI MAFUPI NAKUOMBA UFUNIKE NYWELE ZAKO ILI UZID KUPENDEZA ZAID

    • @fahimayussuf362
      @fahimayussuf362 4 ปีที่แล้ว

      Yeah na ukizingatia ni nasib ya mtume

    • @mamually8932
      @mamually8932 4 ปีที่แล้ว

      Nkwel nasb ya mtume haiach nywel waz

    • @dominicktoledot5612
      @dominicktoledot5612 4 ปีที่แล้ว

      Acha xhobo kapendeza xn

    • @maryamhadid7753
      @maryamhadid7753 4 ปีที่แล้ว

      @@dominicktoledot5612 na kesho akhera nenda kaseme hivo hivo ..am muslim kwaio cwez kubishana na ww madhihebu yetu kwenye stara na mwenendo wa mwanaadamu unatuongoza kuwa stara kwa mwanamke nimuhimu saana kwaio kujibu hivo inaonesha mm na ww tuko tofauti

  • @ayoubsuleiman3675
    @ayoubsuleiman3675 4 ปีที่แล้ว +1

    Jmn Mtoto mzr na ametoboa maisha kiukwel wasichana wenzake naona wanavyo chukia nakumponda huyu mrembo jmn Shariifu au Saydah komaaa zaidi wanao kuhusudu washiiiiti

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 4 ปีที่แล้ว +18

    Umenichekesha , uko vizuri ktk account lakini hesabu 0. Unajisikia au ?.

    • @fakihdarusi4385
      @fakihdarusi4385 4 ปีที่แล้ว

      Sio mbaya mana ,watu hatungalii hesabu ,account ndio inaongea bosi hesabu zako utaishia kuhesabu tu

    • @Queen-be1uf
      @Queen-be1uf 4 ปีที่แล้ว +1

      @@fakihdarusi4385 umeisikiliza interview? Kasema somo la hesabu anapata 0 lakini somo la account yuko vizuri. Sasa ukichukua somo la account si linahusisha mahesabu sana. Ikiwa hesabu sifuri obviously accountant utafeli pia. Kumbe na wewe kichwani kama kichwa chako 0

    • @rayshikeli1577
      @rayshikeli1577 4 ปีที่แล้ว

      @@Queen-be1uf 😂😂😂😂😂

    • @itshaluastyle
      @itshaluastyle 4 ปีที่แล้ว

      Mishonoya vitenge MAHARUSI nk bonyeza link pia usisahau kusubscribe
      th-cam.com/video/Et2V-nqV7CI/w-d-xo.html

    • @ghanimaali4507
      @ghanimaali4507 4 ปีที่แล้ว

      sifa pia nyingi dah

  • @badrubadran7663
    @badrubadran7663 3 ปีที่แล้ว +2

    Mm sijaelewa lkn uyu mdada apa nikama aalisaidiwa na familia yake ndo akawa tajiri sasa anatufunza tuache shule tufate dream mm dream yangu yanpotosha heri nisome kwanza kwetu ukiacha shule naa wazazi wanakuacha sasa ndio utajiunga na vikosi vinavopotosha hapo hujaongea dada heri tusome. Umefanikiwa ju kwenu kuna hela banaa uko na zaree.....usituharibu ety tuache shule kama sishiki heri niendde ivo ivo kuliko kukaa nyumbani....

  • @Best_wolframmusichub
    @Best_wolframmusichub 4 ปีที่แล้ว +7

    Familia wamewekeza hapo asitudanganye.Scaba scuba inajulikana wameshafanikiwa so asituingize mkenge shule muhimu....

    • @dotosalim5090
      @dotosalim5090 4 ปีที่แล้ว +3

      Namm namjuwa uyo mzee ckaba mwenye pesa zake

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 4 ปีที่แล้ว +3

      ni kweli asitudanganye shule muhimu!

    • @aishahela1735
      @aishahela1735 4 ปีที่แล้ว +1

      Ksbisa asitudanganye tupike keki kazi hizo tumuachie shilole

  • @kangabell16
    @kangabell16 4 ปีที่แล้ว +1

    She go lakin anasupport ya familia pia yaaan kwao wako vizuri sio kwamba ametoka shimon afu anachozunguzia ni mafanikio ya kawaida kwa watoto wa kishua story za kusisimua za maisha kama erick shigogo ivi jaman ametumia nguvu zake Lyke 90%

  • @شيخنيف
    @شيخنيف 4 ปีที่แล้ว +27

    Acha kuji mwambafai kua na nasabu ya mtume sio sababu ya kujiona "Allah" haangalii nasabu anaangalia Taqwa ndani ya moyo

    • @أختيحواءيحيٰ
      @أختيحواءيحيٰ 4 ปีที่แล้ว +1

      بارك الله فيك وجزاك الله خير يا أخي

    • @khajumkhamis7910
      @khajumkhamis7910 4 ปีที่แล้ว

      Uhakika

    • @shufaakhamis4548
      @shufaakhamis4548 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaa

    • @saidasaid5855
      @saidasaid5855 4 ปีที่แล้ว +3

      Watu Kama hawa huwa wanatabia moja mbaya Sana na mtu wa hivi ukiish nae uwe mtumwa cos anajikweza Sana

    • @sophiajoseph1461
      @sophiajoseph1461 4 ปีที่แล้ว

      Kujimwambafai🙆‍♀️😹😹😹😹✍

  • @muniradaudi440
    @muniradaudi440 3 ปีที่แล้ว +1

    Tena mtanga mwezangu jaman nina bahati miyee dah nisaidiye angalau pesa ya mtaji

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
    @yahyamajidyahyahilalal-har8762 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana... Mungu hawezi kukunyima yote.

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 4 ปีที่แล้ว +16

    Nasaba ya mtumee umeacha nyewele wazi inalilah wainailahi rajiuun

  • @phatackbatange4988
    @phatackbatange4988 2 ปีที่แล้ว

    Muwe mnatafuta na wale walioacha shule wapo mtaani wanahangaika na shida kibao maana ndio wengi, kuliko hao wachache walio fanikiwa, kiasi kwanba inaweza kuhamasisga vijana wengine kuacha shule kuingia mtaani kupambana kisha wanaenda kupata tabu sana. Watu wasome kwanza wamalize shule kisha wakapambane na maisha

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 4 ปีที่แล้ว +3

    Sasa huyu kashikwa mkono na wazee wake pesa kwao ipo kinachotekea kitu gani mafanikio tuu ata dada zetu mboga moja wanajituma kinoma ila bado wana yumba na kila biashara wanafanya ngoma ngumu maisha hadi ushikwe na watu ndo wende tena wenye navya maisha ni kma pakacha ukitia maji yanavuja maisha hadi uchenguke huyu ata shida hajapata mtoto hana ata wasi huyu wakati wajota anakoga wakati wa baridi anakoga wakati sisi huku wakati wa baridi tujipija mafuta ya nazi

  • @mussanassoro790
    @mussanassoro790 4 ปีที่แล้ว +2

    Watoto wa masikini someni aiseee huyu kwao tayari walishantengenezea mazingira ohooo kama unahustle usimkatishe tamaa anaesoma na kama unasoma usimkatishe tamaa anaehustle kila mtu na njia zake

  • @middleplatnumz3629
    @middleplatnumz3629 4 ปีที่แล้ว +4

    Mtume mpya kutoka Yemeni😂😂😂
    Nilipofanikiwa kuacha shule😂😂😂
    Mwarabu na shule wapi na wapi😂😂😂😂

    • @hamonyyusto9907
      @hamonyyusto9907 4 ปีที่แล้ว

      Du!

    • @ZainabAtuli
      @ZainabAtuli 4 ปีที่แล้ว

      Nnaboss wang mwarab hajui kusoma vooh, si wa kingereza wala kiswahili, yy ajua kuongea Arabic tu, na jamaa zake huja kutoka Oman naona wote si wa kusoma wala kuandika ni mtihani tu

    • @buusaadia6449
      @buusaadia6449 4 ปีที่แล้ว

      Njoo inchi za kiarabu utaona elimu vip kwa mwarab... unaonekana hujawai kusafiri hahahahah

  • @aishaissa2249
    @aishaissa2249 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii hainuhusu baba mwenyewe anadaiwa kwa mangi halafu anichukulie mkopo benk😂😂😂😂😂😂Mungu akubariki kila mtu na rizki yake.

  • @mansourrukaka3061
    @mansourrukaka3061 4 ปีที่แล้ว +2

    kumbe tayar amezaliwa kwenye maisha sisi tunataka mtu kama mond pure kazaliwa kwenye family haina hata kitegauchum kimoja

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 ปีที่แล้ว +6

    Woyoooooooooo👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏hongera sana binti

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu anasema 'ile driving unafika shule umechoka' inamaana alikuwa anadrive kwenda shule akiwa form one.... It seems ni fiction tu, yaan hadithi za kubuni..... Ukifikilia sana utaniamini..... Nimefurah pia kama ni kweli alifanikiwa kuacha shule 😂😂😂

  • @abdullahseif4984
    @abdullahseif4984 4 ปีที่แล้ว +5

    Kisharifat huo ni Mtandio au nywele ziko wazi

    • @naaababy6426
      @naaababy6426 3 ปีที่แล้ว

      Uyu bdo hajaolewa au

  • @kelvinclesh8792
    @kelvinclesh8792 4 ปีที่แล้ว +1

    Ebu fikili angekuwa mtoto wa mkulima huyu, Baba na mama washika jembe Bush hivi angeongea upuuzi wake huo, angeweza acha shule kwelo akamsaidie babayake kazi ya shamba. Huyu alijua hana chakupoteza coz alijua familia anayotoka ni loyal family.

  • @Collie19
    @Collie19 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah! Awesome..👍

  • @eliassabbath2480
    @eliassabbath2480 4 ปีที่แล้ว +19

    tangu lin mwarabu awe na akili ya kusoma😂😂😂

  • @adbashtv6701
    @adbashtv6701 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila huyu dem anaongea mnooo😂😂😂😂😂
    Au ndokameza memort yangu

  • @ndossiadventurestz.6796
    @ndossiadventurestz.6796 4 ปีที่แล้ว +5

    Kwenye interview Kama iyo muwe mnampa mtu Mike akae nayo mwenyewe

  • @aminaally1255
    @aminaally1255 4 ปีที่แล้ว +9

    dada anaongea kama kajiunga kifurushi cha mwezi hana ata siri anaweza kumponza mtu mara moja

    • @fakihdarusi4385
      @fakihdarusi4385 4 ปีที่แล้ว

      Hahahha ahha

    • @ayoubsuleiman3675
      @ayoubsuleiman3675 4 ปีที่แล้ว +3

      Yn najaribu kupitia comments za watu humu kiukwel nagundua kuwa wanawake hawawezi frahia mafanikio ya mwanamke mwenzao yn naona wanaponda tuuu jmn mtoto mzr na ameyatoboa maisha

    • @aminaally1255
      @aminaally1255 4 ปีที่แล้ว

      @@ayoubsuleiman3675 sawa ni kwweli anamafanikio ni mzur ila hutakiwi mwanamke kua hivi lazma kidogo uweze kutunza siri na kuongea kazidisha sijayaponda maendeleo yake tabia tu apunguze kuropoka hujui nani anapenda kuona mafanikiio yako na nani hapendi lazmq mmke awe na siri

    • @dasilvajunior3016
      @dasilvajunior3016 4 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁

    • @faudhiyahimidi2129
      @faudhiyahimidi2129 3 ปีที่แล้ว

      realy

  • @abdusaalim5228
    @abdusaalim5228 4 ปีที่แล้ว

    Maashaallaah nimependa stara yako ungekua mkewangu ningesikia raha sana aisee

  • @z10jrtz47
    @z10jrtz47 4 ปีที่แล้ว

    Ungejistiri vzuri mrembo binti scaba Mana nasaba na kipenzi Cha umma mtume MUHAMMAD(s.w) then unaonesha nywele zako mtihani huo INNA LILLAHI WAINNA ILAIHI RAJI'UN..!

  • @abubakaryalmas7673
    @abubakaryalmas7673 4 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂 Account ipi hiyo isiyo na hesabu? Hahaha Umesikia wap eti

  • @muzdalifatomar9712
    @muzdalifatomar9712 ปีที่แล้ว

    Huyu anatoka familia yenye uwezo asa ww kapuku acha shule uone km hujaenda kubeba vikarai🤣😂😂 nyie mskilizeni tu unaacha shule mtaji huna🤣😂😂😂

  • @Mirajifikirini
    @Mirajifikirini 4 ปีที่แล้ว +12

    Km kwenu masikini usijalibu kuacha shule

  • @SaidSaid-sl8ct
    @SaidSaid-sl8ct 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu mtangazaji naomba no ya huyo zena sharifu.

  • @yusuphmbugi8594
    @yusuphmbugi8594 4 ปีที่แล้ว +5

    hicho kiswahili anachoongea huyo dada sio Cha form two kwakeli, 😜😜🤣

  • @hisule655
    @hisule655 4 ปีที่แล้ว

    Jamani kiukweli mila za mtume haziko ivi huyu Dada anajipendelea mazuri ila hajielewi anakaa kichwa wazi nywele wazi ndo uko wa masharifu ndo ulivo .cokweli huyu nimtu wakihuni dah...

    • @kassimmbaruku1636
      @kassimmbaruku1636 3 ปีที่แล้ว

      Mmmhhh mashalifu wapo wengi hadi wa swaili wa kawaida kujifananisha na mtume?? Mhhh mtihani kwakweli

  • @gabrielalmighty14
    @gabrielalmighty14 3 ปีที่แล้ว +1

    nangoja miaka kumi ijayo kuona jinsi mtoto wa mo dewij akija na hizi motivation za kufanikiwa baada ya kuacha shule 😅

  • @flyhigher5393
    @flyhigher5393 4 ปีที่แล้ว

    Jamani msiige,hawa wanapesa kwao scaba scuba namfahamu na ninakaa nae karibu sana hapa kigamboni,ni familia yenye uwezo na biashara nyingi tu.
    Ikiwemo fremu za kutosha pale ferry,hardware,yan ana mali nyingi sana huyo scaba.
    Masikini mwenzangu usijaribu.

  • @maatumkadhi1760
    @maatumkadhi1760 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna shareef anaeacha kujistiri tena tunaomba usijinasibishe na mtume wetu muhamad s w.a halafu ukiwa huwez kujistir ni kher ujinasbishe na beyonce

    • @ziadasalim1459
      @ziadasalim1459 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaa asituchafue bana ye aendelee kukaa uchi tu,

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 4 ปีที่แล้ว

      Msijidanganye,,,hakuna mashariff dunia ya leo,,ukijifunika au usijifunike hakunaaa

    • @dianaferdinand7546
      @dianaferdinand7546 4 ปีที่แล้ว

      Dini yenu ya kuhukumiana. Ishini maisha yenu, kama pepo mtaiona nyie ila sii kwa kuhukumu wengine.

  • @petermaina-nb9xh
    @petermaina-nb9xh ปีที่แล้ว

    Boss niconect na huyu mrembo nisha mpenda💯🥰

  • @ramlakhamis9943
    @ramlakhamis9943 4 ปีที่แล้ว +13

    Mtume صلى الله عليه وسلم alikua Ni quraysh na sio sharifu

    • @shammysleyman7112
      @shammysleyman7112 4 ปีที่แล้ว

      😂🤣😂😂🤣😂😂😂sasaa sharif sijui katoka wap

    • @coyancodavao6891
      @coyancodavao6891 4 ปีที่แล้ว

      Ukiskia mtu sharifu ujue ana unasaba na mtume

    • @saidasaid5855
      @saidasaid5855 4 ปีที่แล้ว

      Uyo shule imemshinda na madrasa pia najuwa hajasoma vzuri ndo Kwanza nmsikie yeye Kama mtume salallah alaih wasalam kuwa sharifu😂😂😂

    • @qayyalove2506
      @qayyalove2506 4 ปีที่แล้ว

      Nmependa😂

  • @mcblife24
    @mcblife24 3 ปีที่แล้ว +1

    Lean to learn succes is ahead you

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 4 ปีที่แล้ว +16

    Waogopeni sana hawa walioacha shule lakini wanapenda kujieleza kwa kutupia kiingereza. Jueni walizaliwa na golden spoon, walikuwa wakila butter na mkate. Kama ulikula kiporo asubuhi au uji na muhogo. Someni kwa bidii zote elimu yako ndio ufunguo wako wa maisha. Hawa wazazi wao bank zilikuwa zinapumua hela za wazazi wao, na nyingine wamefaidi mali za nchi. Useless and meaningless interview for the poor child of Tanzania. Mtoto wa maskini bank gani itakukopesha? Someni watoto.

  • @mwansaflorence6862
    @mwansaflorence6862 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna interview mbaya sns mulizo fanya kama hii, Daa Sasa huyu Ana utajiri gani huyu ni kwamba Mali kwao zipo, Alf Hawa watoto waki Arab wengi wao uenda shule kujifunza kuandika na kusoma ili aje ku control Mali ambazo tayari zipo. Lete I interview zitakazo Kuja kuwa inspire watoto wetu wakimaskin waki Tanzania, alaaaa!

  • @azaniaammad3771
    @azaniaammad3771 4 ปีที่แล้ว +21

    Hahaha eti mtume astaghfiru,

  • @Mrs.Mumewangu
    @Mrs.Mumewangu 4 หลายเดือนก่อน

    She's smart upstairs though kando ya mimi ni origal from yemen shenz type

  • @teddyelizabeth9358
    @teddyelizabeth9358 4 ปีที่แล้ว +2

    Me nikajua amepambana mwenyewe bila kusaidiwa na watu.. Kumbe kuna watu nyuma yake..... Leta story ya mtu alie pambana mwenyewe na akapata mafanikio

  • @sherin3171
    @sherin3171 4 ปีที่แล้ว +1

    Anaonekana mpole ila akianza kuogea hamezi mate😂warabu hawa wana pesa ebu nipisheni mmm..

  • @SamuelCharles-111
    @SamuelCharles-111 4 ปีที่แล้ว +1

    Afu kuna interview zingine ukituekea sisi watoto wa chini Kama unatuchanganya tu, Sasa MTU anakuambia, mpaka kufika shule amekuwa amechoka sababu ya long way drive, kudadeki huyu mdada ni kiazi kweli watu wanatembea kwa mguu kilo 10 kutafuta shule na wanafika on time yeye anatuambia kudrive, kwao Kuna mpunga so asivuruge watu hapa😰

  • @mbaroukhassan9250
    @mbaroukhassan9250 4 ปีที่แล้ว +5

    Asbu ya mtume hawana hulka km za Huyo aseme tu ukweli km mgunya

    • @ZainabAtuli
      @ZainabAtuli 4 ปีที่แล้ว

      Hata mgunya hayupo vle jamanii

  • @sadickdicoration9737
    @sadickdicoration9737 4 ปีที่แล้ว +1

    Mpambanaji namkubari Sana huyu dada

  • @aisha-ro5fr
    @aisha-ro5fr 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyu kwao tayari walikua wana hela msitupele makosa utajiri alisha ukuta tangu anazaliwa watu wa emeni wana vibunda

  • @aminasoma8840
    @aminasoma8840 3 ปีที่แล้ว

    💃💃🙄🙄🙄🙄 jamani hahaha AstakafiriAllah nasaba ya mtume duh bora salama nywele ziko wazi basi hongera habithy

  • @middleplatnumz3629
    @middleplatnumz3629 4 ปีที่แล้ว +4

    Account vizuri,, hesabu 0😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @halimamohammed2726
      @halimamohammed2726 4 ปีที่แล้ว

      Hata mi nashangaa kumaanisha accounts hazihusiani na hisabati 🤔

  • @Dianadodi-r6o
    @Dianadodi-r6o 5 หลายเดือนก่อน

    Kuna anar acha shule kwasababu anaweza kusuppotiwa na wazazii na kuna ww utakae acha shule huna chochote zaidi ya kuwa house girl

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 4 ปีที่แล้ว +3

    Tafadhalini wadogo zangu,msiache shule baada ya kumsikiliza huyu dada.Mwenzenu,familia yao ipo vizuri...Kazaliwa kwenye pesa.Hivyo biashara ipo toka azaliwe.

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa huyu angekua kasoma angekua zaid ya hapo... trust mi ukiwa na Mungu, akili ya maisha nzur..alaf pia una elimu..you won't be the same...Hasa dunia ya sasa inahamia kweny tech...maskin kama huna elimu inaanza kua kipengele..matajir wote Dunian angalia wapo kweny information technology...ndio dunia inakoelekea saiz... investment zimekua kweny stock, currencies,share,real estate,e marketing etc..kama hujasoma na una mtoto make sure unamsomesha mwanao vitu vya msingi,ajue vitu nje ya shule...Shule hufundishwi jinsi ya kutunza pesa,jinsi ya kumake pesa..so elim awe nayo ili imsaidie kuyajua haya ya nje...jiulize kuna mzungu gan anajenga chumba sebule ili apangishe?😁 Sasa bongo ndo investment kubwa hyo..mtu akistafu kajenga vyumba za kupangisha kamalza...damn!!! Utakufa hta hela ya msingi haijarud...wazaz somesha mwanao... internet ina elimu nying sana ya pesa hasa investment za wenzetu...mwanao akitumia elim yake kujifunza uchumi wa dunia wa sasa kamwe hafi maskini...

  • @aishaabdulrahman6995
    @aishaabdulrahman6995 4 ปีที่แล้ว +1

    Diamond plantnumz nyama hiyo mtafute tupate mbegu nakujua next interview utafanyiwa na wasafi ila hongera

  • @mwendaally8914
    @mwendaally8914 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh hvi schoolbus imewachelewesha bado mpewe adhabu dada acha izo hukupenda tu shule😂

    • @sophykasichana9334
      @sophykasichana9334 4 ปีที่แล้ว

      Ama hata c angepelekwa boarding school na pesa zilkwako ziko..alkwako c mtu wakusoma alijua pesa ziko tu

  • @malongosalim6826
    @malongosalim6826 4 ปีที่แล้ว +5

    Miaka 20 mkomavu wa sauti na sura...offiiii

    • @spreadlove2119
      @spreadlove2119 4 ปีที่แล้ว +1

      Kakomaa sababu ya pesa.

    • @AishaAli-lk7gh
      @AishaAli-lk7gh 4 ปีที่แล้ว +1

      @@spreadlove2119 😂😂😂

    • @magge9874
      @magge9874 4 ปีที่แล้ว +1

      @@spreadlove2119 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @crystalrhymesofficial3379
      @crystalrhymesofficial3379 4 ปีที่แล้ว

      Kwel 20 hapa hapan

    • @malongosalim6826
      @malongosalim6826 4 ปีที่แล้ว

      @@crystalrhymesofficial3379 kabisa 🤣🤣

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 4 ปีที่แล้ว

    Jamani msishangae kaacha shule. Wengi matajiri Sana duniyani hawakusoma utajiri sio kusoma kufanikiwa sio kusoma

  • @chalamarshed1163
    @chalamarshed1163 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaalah

    • @DuniayaHabari
      @DuniayaHabari 4 ปีที่แล้ว +1

      subscribe, share, like, comment kwenye link yetu .. Angalia hizi uvunjike mbavu.. Usipocheka nakurudishia PESA yako
      th-cam.com/video/ye9pJCgjrQU/w-d-xo.html