Kibonge Wa Yesu Ft Walter Chilambo - Waambie Remix (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2024
- Yapo Mambo mengi ambayo Adui mwovu anayafanya ili kutufarakanisha na Mungu wetu lakini Mungu anatambua wenye haki na ndio walio wake hivyo anawapigania na kuwalinda dhidi ya yule Mwovu. Mungu anatupenda na anatubariki kwa kila hatua tunazopiga haijalishi ni wangapi wanasimama kinyume na Ndoto na maono yetu lakini bado tunapiga Hatua.
Kumb 11:24
"Kila mahali mtakapokanyaga kwa nyayo za miguu yenu patakuwa penu; tokea hilo jangwa, na Lebanoni, na tokea mto wa Frati, mpaka bahari ya magharibi, itakuwa ndiyo mipaka yenu."
Audio produced by @ClickMaster
Video Directed by @xniper_cg
Kibonge Wa Yesu Ft Walter Chilambo - Waambie Remix (Official Music Video)
Get it on ALL DIGITAL PLATFORMS
👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
li.sten.to/waambie
Listen to WAAMBIE by Kibonge Wa Yesu
©2024KiboMelodies. All rights Reserved.
#Kibongewayesu #WalterChilambo #Waambie #Gospel #trending - เพลง
Mungu akubariki unapotazama Video ya wimbo wetu pendwa wa "WAAMBIE REMIX" ni maombi yangu kwako Mpendwa wangu Mungu akuongezee hatua na kukufadhili kwa kila jambo jema Maana bado anatupenda. Ubarikiwe sana kwa Sapoti yako kusambaza habari hii njema kwa wengine🙏
@Kibongewayesu
Wimbo unagusa sana. Hasa ukitazama nyuma kisha ukatazama ulipo
Nyimbo ni kubwa kaka,
Kaka MUNGU AENDELEE KUTWAA UTUKUFU WAKE kwako kwa kazi hii
Ameeen Ameen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿
Amen 🙏
From Tiktok KE gonga like❤❤
Mungu awabariki...❤nabarikiwa sana na huu wimbo........mbarikiwe
Kama unaaamini Mungu Yuko gonga likes yako hapa🔥🔥🔥
Tushajua kuwa wameimba vizul nani kapendeza hapo kati ya hao wawil naitaji like
Kazi safi. Nawaombea mafanikio mengi maishani mwenu
My daily affirmation🙏🙏🙏🙏
From Kenya, Mungu akubariki kibonge wa Yesu na Walter ....🎉🎉🎉🎉kweli Mungu anatupenda ❤wapi like yao 🎉🎉🎉🎉🎉
Amen ameen🙏🙏
What a great song ... blessing
#molandompaji #Nendawambie ❤
Director khasi seen it aaaah brother
MUNGU MWEMA Uuuiuuhhuuuuuuu bro kama bro ubarikiweee sana
Amen Amen, barikiwa zaidi Dada
Very nice ,oyy kibonge na chilambo take your 🎉🎉🎉🎉
Thank you so much.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kibooooo! morodz 🔥🔥🔥 like zangu Kwa pamoja
Merodies sio morodz😂😂😂😂
Melodies sio merodies@@GLOBALMUSICNEWS-p6o
Sio merodies ni melodies😂😂
A blessing song...
Naenda waambie me Niko kwaza kabia NAOMBA like zangu 🥰🤗❤
ameen
Fantastic, nice music, good tone variation. Everything is great. Message is clear
Yoooh Kiboooo🔥🔥🔥 Congratulations My Brother Unyama Ni Mwingi Humu Ndani 🎉🎉🎉 Brother Walter Once Again Ni Balaaaaa Sanaa God Bless You All🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Somi waambiee 🎉
🙏🙏
Hatari sana kaka❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Blessed song
Ameniongeza hatua 🙏
Unajua unajuaaaa Tena Mungu azidi kukupa kibarii dunia nzima na ukunarikiwe mbinguni mpaka duniani🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏
Ameen ameen
Nimekuja tenaaa🔥🔥🔥🔥
🙏🙏
🎉barikiwa sana kaka kazi nzuri
Music mzury utaongea kaz nzury kaka mungu akusimamie katika kaz zako 💪💪💪💪💯💯💥💥💥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿🙌🏿
#NENDA WAAMBIE 🔥🔥🔥
Kenya ❤❤❤
We kibonge wa yesu utatuu kwa kisukri daaaah
Ubarikiwe ndugu yangu
God love me do much ❤❤❤❤
💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾😁
Hongera kaka❤❤
Love from Kenya ❤🇰🇪-🇦🇪, waiting for a collabo with guardian Angel🎉😂🎉🎉
Congraa🎉
🙏🙏🙏
Let's go familia
🙏🙏🙏
From Kenya.
Good music good message.
Motooo... positive energy.
🔥🔥🙌
❤❤❤
Ameniongeza hatua, mbele nasogea 😊Mungu wetu ni Mungu wa maongezeko hajawahi punguza speed❤..... Keep it up familia n bro walter
Shukran sana, barikiwa mno
Waambie🙏🙏
quality video
Ubarikiwe sana wimbo Mzuri sana.🎉🎉🎉
ameen
Kompa kompaa🙌🙌🔥🔥
🙏🙏
Like kwa Kibo na Wart
❤❤❤ Daaaah kaka Kibonge and Walter Barikiwaa sana my Brother's tangu itoke Audio naisikilizaa sijawahi ichoka hii nyimbo najisikia kiendelea mbele na huyu Bwana YESU Barikiwaa sanaa 🙏🙏🙏🙏 watumishi tunategemea Collaboration nyingi Zaidi kwa Namna Mungu atawapa Kibali na Neema yakeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
ubarikiwe sana
@@KibongeWaYesu Ameen kaka Shukrani ,, Mimi piaa Mwimbaji kaka napenda siku moja nije kujifunza vitu vingi kwako live kwenye mazoezi Yako Napenda sana Melody Yako Brooo🙏🙏🔥🔥🔥
Bhabhuule pakuti kyala anganile
bhabha🙌🙌
🔥🔥🔥🔥🔥
Hakika kaka yangu barikiwa sana
MY 2024 SONG,BE BLESSED
hii ni Barakaa Sana kaka🔥🔥
Nice san
My all time favorite❤
Hongera Sana kaka nazidi kubarikiwa na huu wimbo 🎉
Amen Kaka Mungu akubariki zaidi
Blood bro🏆🏆✈✈📌💥
Wa Brazil tunasubiri diga a eles Brazilian edition 🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷
Shalom Shalom l love this song l from Mozambique l hope you sing in inglish
#WAAMBIE.🔥🔥........Mola ndo mpaji wa mafanikio yanatoka kwake akisema ndio
Oh Yes🤲
Ameniongeza hatua mbele nasogea
Wazeee wangu Mungu awatunzeeeeee
Amen sana, Mungu akutunze pia na kukubariki
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Eeeh buana a eeh
Napenda huu wimbo sana, the melody, the lyrics, the rhyme and not to mention the production is on point👌.
It's a master piece.
Endelea kubarikiwa zaidi🙏
Hiii imeeeendraaa Mbaliiiii🔥🔥🔥🙌
Wimbo wetu wa Taifa #WAMBIE 🇹🇿🇹🇿🔥🔥
kaka kaka🙏🙏🙏
Kaka MUNGU AKU BLESS SANAAAAA ❤❤❤❤....Unatubariki sana
Amen sana ndugu yangu, Mungu akubariki pia zaidi
Straight outer kenya 254 ❤❤❤❤ Kitu kali Brazza
Blessed Brother
@@KibongeWaYesu tuzidi kuvunja mipaka na nira
kibo na walter.mungu awabariki sana
Ameen ameeen
Tunafurahi kwawimbowenu
Amen barikiwa sana
Utukufu kwa Mungu Hakika Mungu ananipenda, Mungu akubariki sana kaka Kibo
Amen Amen, Mungu akubariki pia
Kudos guys more grace
From Kenya 🇰🇪 with love, this tune is on repeat, niliipata kupitia advert...naipenda sana,kwanza mahali walitegea mitego,mipaka wakaweka, matambiko wakafanya...yoote Mungu akanipigania.👏 kazi nzuri sana.
Iyi moja ni kali, Yeah Mungu ni wa ajabu , wala ata mimi siji elewi
🔥🔥🔥🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
You killed it Kibo💪
🙏🙏🙏
waambie is waiting 🔥 video
🙌🙌🙌
Ubarikiwe sanaa kaka kibonge
Amen ubarikiwe zaidi
🎉wameimba vyema kabisa ujumbe umeeleweka
🙏🙏
Amen🙏♥️
Kwa kweli Mungu ananipenda kisawasawa
ameeen
Kibooo mmoja tuu .....🎉🎉🎉my jam my jam
Amen Kaka angu, Mungu akubariki sana🙏
Moja ya Song inanigusa na Mungu awabariki.
Amen sana zidi kubarikiwa na Yesu
Collaborators wakali
💥💥💥💥💥🇺🇬
Nice song
Naisubili kaka mungu akubariki sana
Ameen ameeen
Am loving this 🎉🔥🔥🔥🔥
Mekaaaaa unyamaaa sanaaaa blood🎉🎉🎉
Bless sana ndugu yangu
Kaka MUNGU AENDELEE KUTWAA UTUKUFU WAKE kwako kwa kazi hii🎉🎉🎉🎉
Ameen ameeen
Kaka mimi nawambia🎉🎉🎉
Bless sana
Utukufu juu ya utukufu
Oh halleluya🙌
Umeniongeza atua mbele nasogea
🙏
Wawoooh Wawoooh wonderful song 🎵 my family brother Mungu amekupa kitu cha tofauti Sanaa na watu wengine endelea kuwa na huo huo moyo my brother utafika mbali na utatajwa miongoni ya watu wakuu hapa duniani be blessed ❤
Amen sana Kaka yangu napokea Baraka hizi🙏 Mungu akubariki na kukupa haja ya moyo wako pia
Amina kaka tuta waambia
🙏🙏
Nice Video A lot❤🔥❤🔥❤🔥
Thanks 🔥
Nenda wajue aisee bro hiii kitu Niii noma God katugea kama zawad🎉🎉🎉
Amen Kaka, endelea kubarikiwa zaidi usisahau ku share na watu wengine
Wimbo wangu pendwa❤❤🔥🔥
Mungu azidi kukubariki sana🙏
❤❤🌹🌹🙌🙌🙌🔥🔥🙏🏻🙏🏻