Paul Clement - Bado naishi ( Official Video )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • #paulclement #badonaishi
    Song writer: Paul Clement
    Audio Production: Gripa Music
    Video director: Mufasa
    ............................................................................
    STREAM NOW ON DIGITAL PLATFORMS
    Boomplay: www.boomplay.c...
    Audiomack:audiomack.com/...
    Spotify:open.spotify.c...

ความคิดเห็น • 482

  • @paulclement25
    @paulclement25  ปีที่แล้ว +368

    Zaburi : 118 : 17 - Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.

  • @esthernyaboke7479
    @esthernyaboke7479 ปีที่แล้ว +74

    2022 & 2023 I went through hell,my friends laughed at me, mocked me.2022 immediately after elections my marriage crushed my ex husband and his family mocked me .Walking out with nothing but a loan of1.5m,and 2 kids to cater for. Sleeping on the floor in a single room. I cried every single night, they thought I couldn't survive but who is God. I really wanted to revenge but God told not to, He instructed me to forgive them and let go for vengeance is His and that He wont leave me empty handed. It was hard but I obeyed. In 2023 He purposely healed me completely of the bitterness. I started my 2024 with soo much peace and am confident that this is my year of restoration. I shall live to proclaim the goodness of the Lord, they shall marvel and wonder how blessed I am.Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.AMINA

    • @ibrahimwilliam8127
      @ibrahimwilliam8127 10 หลายเดือนก่อน +4

      Ukisikiliza Baadhi ya Shuhuda Unaweza SEMA Mungu Mimi Huwa Ananipendelea Sana Japo Magumu Yapo Lakini Tunaendelea kusonga,..... Pole Sana. Mungu Ni Mwema Kikubwa Uzima Upo (Bado Unaishi)... Shukuru Vyote Vilivyopita Havikuweza Kuuzidi Uwezo Wa Mungu Wa Mbinguni.... 🙏

    • @vcyam80
      @vcyam80 10 หลายเดือนก่อน +2

      Thank you for sharing your testimony, I am praying that God bless you beyond measure remain blessed

    • @namaithomas200
      @namaithomas200 10 หลายเดือนก่อน

      We have the same story😩

    • @wai.therah
      @wai.therah 9 หลายเดือนก่อน

      na bado tunaishi because we serve a living God🥰..
      Thank you for sharing your testimony

    • @happykasario24
      @happykasario24 5 หลายเดือนก่อน

      Ameen

  • @saadamartin8866
    @saadamartin8866 ปีที่แล้ว +80

    Tar 17_12_2023, jumapili nikiwa nimejiandaa kwenda ibadani nilipigwa na mwanga mkali mno kwenye jicho na baada ya hapo nilipoteza fahamu muda huohuo,majirani walinichukua na wakanipeleka hospitali, nilijitambua siku ya pili, wengi walifikiri nimekufa, Cha ajabu katika kuzimia kwa kushambuliwa na nguvu za adui bado Mungu aliuhifadhi uhai wangu, hata Sasa nimepona bado naishi, namtukuza Mungu aliyenipigania

    • @apostlepaulraphael
      @apostlepaulraphael ปีที่แล้ว +2

      Amina MUNGU azidi kukupa kusonga mbele daima

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 ปีที่แล้ว

      AMEN,AMEN

    • @marymwambola8880
      @marymwambola8880 ปีที่แล้ว

      Tunalitukuza jina la Yesu Kristo liinuliwe milele na hata milele ni Kwa neema tu

    • @ibrahimwilliam8127
      @ibrahimwilliam8127 10 หลายเดือนก่อน

      Mungu ni Mwema

    • @vcyam80
      @vcyam80 9 หลายเดือนก่อน

      M. N

  • @boazdanken
    @boazdanken ปีที่แล้ว +44

    Mungu Mwaminifu bado naishi God bless you Mtumishi wa Mungu Paul Clement

  • @yalhafoundationafrica9961
    @yalhafoundationafrica9961 ปีที่แล้ว +62

    Nipeni likes zangu leo watu wa mungu

    • @cooljuice
      @cooljuice ปีที่แล้ว +2

      Uzipeleke wapi mtu wa mungu 😊

  • @olivierigani5850
    @olivierigani5850 ปีที่แล้ว +21

    Paul Clement nakuomba usiache kuimba imba milele wewe ni baraka kwangu sana kila mara napo sikiliza wimbo wako napata nguvu ya kuendelea katika Imani

  • @SkolaMashika
    @SkolaMashika ปีที่แล้ว +20

    It was emotional song,when i was remember my past😢 bado naishi.... majaribu hayajaniua bado naishi....

  • @AndreyMalisa-qj3ds
    @AndreyMalisa-qj3ds หลายเดือนก่อน +2

    Hii nyimboo hii😢😢😢 Hua inanifanya niuone upendo wa mungu ni mkubwa kiasi ambacho hakifanii kwa wanadamu licha ya yote tunayoyapitiaa
    ASANTE MUNGU KWA UPENDO WAKOO😭😭😭😭

  • @megwilliam
    @megwilliam ปีที่แล้ว +6

    Amen mtumishi ni kwa neema za Mungu tunaishi.

  • @zawadimwaluko4248
    @zawadimwaluko4248 ปีที่แล้ว +8

    Ur blessed bro, zidi kufanikiwa katika yote

  • @laxmajor
    @laxmajor ปีที่แล้ว +4

    Ngoma Kali Sana mtumishi ❤🇹🇿

  • @BrendaProsper-fu3gm
    @BrendaProsper-fu3gm ปีที่แล้ว +8

    Paul wimbo wangu huuu kabisa daaah!😭😭😭😭😭 nimesikiliza mara ya 15 sasa

  • @Mbutophilemon
    @Mbutophilemon 5 หลายเดือนก่อน +2

    Paul Clement, barikiwa, my favorite

  • @Sir.Patrick
    @Sir.Patrick ปีที่แล้ว +5

    Hii ni yangu thanks Brother Paul.

  • @TheBossOdhis
    @TheBossOdhis ปีที่แล้ว +11

    Psalms 119:71
    "It was good for me to suffer so I would learn your demands".

  • @jeremiahmayunga4214
    @jeremiahmayunga4214 ปีที่แล้ว +12

    ❤Kazi njema Paul, Mungu akutunze

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm ปีที่แล้ว +4

    Hakika Mungu akubarki Sana kaka angu Poul clement tunaish ni kwa neema Yale tu!! 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @NyamiziKuhaba
    @NyamiziKuhaba ปีที่แล้ว +4

    Be blessed man of God, nabarikiwa sana kwa nyimbo zako

  • @barakakabungo3102
    @barakakabungo3102 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤ nyimbo nzur sana inanibariki

  • @BoazWalire
    @BoazWalire 8 หลายเดือนก่อน +5

    🇨🇩🇨🇩na penda sana song za Clément kutokea Congo drc

  • @winniekaleche2608
    @winniekaleche2608 2 วันที่ผ่านมา

    Bado naishi...the Grace of God has been sufficient to us🛐🛐🛐🛐🙌🙏

  • @Serafine-z7y
    @Serafine-z7y หลายเดือนก่อน +1

    Bado twaishi
    Magonjwa hayatuua
    Majaribu hayajaniua
    Mimi ni ushuhuda unaotembea
    Bado naishi
    Hatutakufa tutaishi tuufurahie utukufu wa mungu😊😊😊

  • @Augustinamadete
    @Augustinamadete ปีที่แล้ว +6

    When God is in your side( pale ambapo wewe umo ndani yake na yeye yumo ndani yako) anaweka Nuru ndani yako ambayo inaleta uzima unaofanya kwendelea kuishi,,, asante sana bro it is a nice song for really

  • @stanleystanford1092
    @stanleystanford1092 6 หลายเดือนก่อน +2

    Am passing through the serious trouble lakini bado naishi 🙌🏻

  • @otienogeorge7059
    @otienogeorge7059 8 หลายเดือนก่อน +2

    Naishi Katika Jina Kuu la Yesu

  • @producertondo7316
    @producertondo7316 ปีที่แล้ว +3

    Bado naishi maneno hayataniua bado naishi hii nzur GOD bless u

  • @gaelesther2600
    @gaelesther2600 ปีที่แล้ว +2

    Bado naishi nyimbo yangu pendwa kwa mwaka huu mpya barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @monicajohn8145
    @monicajohn8145 หลายเดือนก่อน +1

    powerful message

  • @lilyanruge2012
    @lilyanruge2012 ปีที่แล้ว +3

    Be blessed mtumishi nyimbo zako zinaishi, zinanihudumia sana kwenye maisha yangu....barikiwa sana

  • @jenipheryesse9261
    @jenipheryesse9261 ปีที่แล้ว +2

    God bless u P nyimbo zako hunipatia faraja niwapo na huzuni

  • @sylviaoum2943
    @sylviaoum2943 ปีที่แล้ว +2

    Bado naishi Mungu wangu.. wewe ndo Alfa na Omega wajua umenipangia nini kwny maisha yangu. Nakutumainia wewe❤🙏🙏

  • @FideaProspa
    @FideaProspa หลายเดือนก่อน

    tunaosikiliza 2025 mungu azidi kuonekana kwetu mbaka tufikie pale mioyo etu inataman🙏🙏

  • @NancyJohn-r9l
    @NancyJohn-r9l 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bado naishi tar 7 2024 nlitokewa na jipu kwenye koo siwezi kula kuhema siwezi lkni mungu ni mkubwa bado naishi kaniponya nmtukuzaa kuptia huu wimbo mungu akubariki

  • @juliawanjikunjoroge8067
    @juliawanjikunjoroge8067 ปีที่แล้ว +3

    I shall not die but live and proclaim the work of the Lord...Paul Clement you're blessings to many... your blessed and highly favored by God

  • @carlospraise693
    @carlospraise693 ปีที่แล้ว +18

    I've been listening to this from last week. It reminds me of a lot I've passed through, personally and also in my family. But the Lord has kept us alive ❤. Tutazidi kutangaza mazuri aliyotutendea😊.

  • @lulufoodstz8781
    @lulufoodstz8781 ปีที่แล้ว +2

    Amen jina la BWANA libarikiwe
    “MUNGU akiwa upande wetu hakuna awezae kuwa juu yetu “ ubarikiwe Paul Clement

  • @Loudlovealways
    @Loudlovealways ปีที่แล้ว +4

    Oyaaa video kalii🎉 nyimbo Ina ujumbe wa restoration 🙇🏽‍♂️🙌🏽

  • @chebetcheres1541
    @chebetcheres1541 ปีที่แล้ว +20

    Forever blessed by your ministry.💚💚 We shall not die but live to declare what the Lord has done. ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @anamaryjoseph7114
    @anamaryjoseph7114 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kweli nabarikiwa

  • @moiben663
    @moiben663 ปีที่แล้ว +2

    napata himizo sana kutoka kwa tenzi zako kaka. Barikiwa sana. Salute from Nairobi Kenya

  • @gwizaliveofficial
    @gwizaliveofficial 8 หลายเดือนก่อน +4

    Bado naishi mwanau ❤ mwenye anaishi basi tupa like apa 🎉🎉

  • @PendoMamiro
    @PendoMamiro ปีที่แล้ว +3

    Bado naishi

  • @jeradimalilo8377
    @jeradimalilo8377 ปีที่แล้ว +2

    Duuuh unipe tu kolabo Mungu atakulipa

  • @miriamsospeter5996
    @miriamsospeter5996 10 หลายเดือนก่อน +3

    Aminaaa barikiwa kaka! bado naishi hata muongee mangapi

  • @adypraizemusic661
    @adypraizemusic661 ปีที่แล้ว +12

    This song matches well and almost 💯% of the song am writing now.. but because of the same message the song has ministered on me 100% ... Bado naishi ni ushuhuda kwangu... Kugojeka 2023 yote kama sitoki kwenye kitandaa, kupitia kulazwa hospitali na maumivu mwilini, maneno maovu ya watu kua sitatoboa Mungu akanifanyia njia, nko Mzima... Shukrani zangu kwako broo... The song has made me shed tears.... 😢😢😢😢
    My story is really painful but I thank God it was for the past year. Kweli Mungu Hunena.

    • @eliufoosimonchuri4160
      @eliufoosimonchuri4160 ปีที่แล้ว

      Hutakufa bali utaishi, ili uyasimulie matendo makuu ya Bwana

  • @FloraChawe
    @FloraChawe ปีที่แล้ว +2

    Bado naishi ahsante YESU

  • @tmsgarvey1
    @tmsgarvey1 ปีที่แล้ว +4

    Bado naishi💯💯

  • @Inganzotvshow
    @Inganzotvshow 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Mungu kwa ulinzi na baraka zako kwa maisha yetu🙌🙌

  • @careen4394
    @careen4394 ปีที่แล้ว +6

    🛐Bado naishi na Nitaishi.. no matter whats happening into my life,NITAISHI🙌🏽📖

  • @RICHARDMGOLLE-pl8ku
    @RICHARDMGOLLE-pl8ku ปีที่แล้ว +4

    Badoo naishi ni wimbo unaoo nibariki sanaa tangu audio yake2 si naisubiriaa sanaa video inibariki piaaa Ameeen , my favourite song

  • @thegoldendeer4736
    @thegoldendeer4736 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo Nimeusukiliza mara Nyingi sanaaa yaani umekuwa Baraka
    Asante sana Kaka Paul

  • @sucreimbo1112
    @sucreimbo1112 ปีที่แล้ว +2

    My true story. Bado naishi

  • @burton_hans
    @burton_hans ปีที่แล้ว +4

    Bado naishii❤️❤️❤️

  • @NEEMADANNY-db9xy
    @NEEMADANNY-db9xy ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri sana Mungu akubariki kwa kazi nzuri unayoifanya na azidi kukuinua kwaajili ya utukufu wake

  • @njericlaire8229
    @njericlaire8229 ปีที่แล้ว +2

    Bado naishi ❤🥲Mungu ananilinda 😢❤

  • @LIGHTTOWER00
    @LIGHTTOWER00 ปีที่แล้ว +2

    I am agreeing with the Holy Spirit that there is still a remnant in this generation that GOD is raising and no matter what the devil does the promise still stands in revelation 12:11 And they overcome him... & TO CLEMENT - this song is a blessing and you are a blessing too in our times ,may GOD prosper your ways as you remain grafted in HIM.SHALOM

  • @graceluah8970
    @graceluah8970 ปีที่แล้ว +3

    Gripa music I am a big fan!!! Love from Kenya

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz ปีที่แล้ว +2

    May God fill your cup with more blessings.
    Umebarikiwa mnoo mziki mzuri na kuonyesha ukuu wa Mungu.

  • @luganomwankyoko2653
    @luganomwankyoko2653 28 วันที่ผ่านมา

    Upendo wa Mungu ni mkuuu mpaka sasaaa

  • @CalvinJohnofficial
    @CalvinJohnofficial ปีที่แล้ว +3

    May God Bless you brother

  • @DanielMathou
    @DanielMathou ปีที่แล้ว +1

    My God!nyimbo safi Sana ina Jenga nakutiya tena nguvu mupya

  • @esthertheoracleofficial
    @esthertheoracleofficial 11 หลายเดือนก่อน +11

    This is my song😢😭😭have been sick for the past four years battling with unknown sickness, bado naishi magonjwa hayajaniua😢

    • @freelancer_4life378
      @freelancer_4life378 5 หลายเดือนก่อน

      Receive healing and revelation in the mighty name of Jesus!! It is finished

  • @agnesfelex8292
    @agnesfelex8292 ปีที่แล้ว +3

    God bless you 🙏

  • @BlessedSongsGlobal
    @BlessedSongsGlobal ปีที่แล้ว +7

    Namibia 🇳🇦 approve it it’s a hit

  • @eunicewangui3263
    @eunicewangui3263 ปีที่แล้ว +6

    My living testimony glory be to God, bado naishi .......Thank you Jesus For using you to speak to many and encourage through ministry

  • @BerthaEmmanuel-h2n
    @BerthaEmmanuel-h2n ปีที่แล้ว +1

    Mtu wa Mungu kazi kubwa sana hii Mungu akubariki

  • @JOCLED
    @JOCLED ปีที่แล้ว +2

    hayajaniua bado naishi

  • @abigailmwanjela1083
    @abigailmwanjela1083 ปีที่แล้ว +3

    nice song am blessed

  • @staratv80
    @staratv80 ปีที่แล้ว +19

    This song is heaven-sent. Its message is all I would say if I were to speak right now. Thank you @paul clement 💪💯

  • @sharontabitha4897
    @sharontabitha4897 ปีที่แล้ว +2

    2022 was a very tuff year for me majaribu maneno makali kutoka kwa watu wakinisikizia uwongo woii but God healed me restored my peace ananipenda ananipenda 🙌🙌🙌🙌

  • @magdalenajoel4409
    @magdalenajoel4409 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe kaka yangu kipenzi ❤

  • @IMAKOYO
    @IMAKOYO ปีที่แล้ว +2

    Kenyans tap tap🇰🇪Bado tunaishi

  • @RechoKall
    @RechoKall 11 หลายเดือนก่อน

    My God bless you my brother,through this song i gonna blessed more and more,sitokufa bali nitaishi,Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.

  • @rosemunisi818
    @rosemunisi818 หลายเดือนก่อน +1

    BADO NAISHI 2025 , ASANTE YESU

  • @sarahgimonge2214
    @sarahgimonge2214 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mungu kwa changamoto zote,,,, nilizopitia bado naishii😢😢😢

  • @mcablenty1956
    @mcablenty1956 ปีที่แล้ว +4

    Be blessed brother

  • @pendojackson4524
    @pendojackson4524 9 หลายเดือนก่อน +2

    Uhai wetu umetoka kwenye PUMZI ya MUNGU 🙌🙌🙌

  • @maxrodee5094
    @maxrodee5094 ปีที่แล้ว +2

    Blessed 2024🕊️🔥

  • @SophiaUpendo
    @SophiaUpendo หลายเดือนก่อน

    Bado Naishiiii❤Mungu ahsanteee

  • @RuthNyaboke-x6j
    @RuthNyaboke-x6j ปีที่แล้ว +7

    Hallelujah,, hatutakufa tutaishi ,, thanks man of God for the encouragement and giving us hope where we see things are not working

    • @RuthMorira
      @RuthMorira หลายเดือนก่อน

      Am back with a testimony God has done Ruth glory to him

  • @SarahNyamwocha-l9w
    @SarahNyamwocha-l9w 4 หลายเดือนก่อน

    Ananipenda huyu YESU🙏🙏

  • @mavericktimoo
    @mavericktimoo ปีที่แล้ว +4

    Very powerful

  • @ayubumwanisenga1478
    @ayubumwanisenga1478 ปีที่แล้ว +1

    Bro Mungu aendelee kukutumia zaidi una Neema kubwa

  • @Fredysoccer85
    @Fredysoccer85 9 หลายเดือนก่อน +6

    Bado naishi🙏 nipate like ata 1🥰💯💯

  • @jackycharles6419
    @jackycharles6419 11 หลายเดือนก่อน +1

    Katika ile ajali iliyoua wengine mimi bado naishii nakushukuru mungu

  • @mrpaulkitulo8146
    @mrpaulkitulo8146 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kuku Linda kaka angu yaaani uduma yako kila siku ina nipeyaga faraja #mymentor God bless you “BADO NAISHI” 😢❤❤

  • @celekhasoha5607
    @celekhasoha5607 8 หลายเดือนก่อน +1

    It's a blessing

  • @alvanbroon8415
    @alvanbroon8415 ปีที่แล้ว +2

    ON REPEAT!

  • @linamwema1985
    @linamwema1985 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe saana❤❤

  • @francisefrahimu
    @francisefrahimu ปีที่แล้ว +2

    Ameen Ameen 🙏🙏
    BadoNaishi🙌🙌

  • @Innocent-r8m
    @Innocent-r8m หลายเดือนก่อน

    Kaka unaweza weka bidiii

  • @StellaOwden
    @StellaOwden 2 หลายเดือนก่อน

    Pamoja na changamoto zones nilizozitia but mwaka unaisha naingia 2025 Still bado naishiii.

  • @lynttem
    @lynttem ปีที่แล้ว +2

    Bado naishi. Thank you God.

  • @vicenttumaini5166
    @vicenttumaini5166 ปีที่แล้ว +2

    You are so inspiring and blessed..!! Bwana akutunze

  • @LoyceMathias-g5l
    @LoyceMathias-g5l 2 หลายเดือนก่อน

    Me niushuhuda unaotembea bado naishi 🎧

  • @Penina-r6h
    @Penina-r6h 2 หลายเดือนก่อน

    Inaniinuwaa tu sana

  • @MakenaKageni.
    @MakenaKageni. ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah 😢Bado tunaishi❤️Neema imetuweka hai

  • @annkioko5916
    @annkioko5916 8 หลายเดือนก่อน +2

    Only an anointed soul can compose this🙌🏾
    Beautifuly written,well sung❤️

  • @onanarosse9657
    @onanarosse9657 ปีที่แล้ว +1

    Bado naishi 🙏

  • @emilyemma9472
    @emilyemma9472 6 วันที่ผ่านมา

    We thank God for life