You always go deep, the feeling you give to my soul, its like am already on the Heaven, Thank Almighty for this talent of my brother, anyone listening to this song be blessed too. ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wooow... This is exactly what have been praying to God to do for me this year.. Amen amen 🙏.. May God Continue to use you brother Walter Chilambo in Jesus name amen
Nakufuatilia sana brother. Kazi yako ni zaidi ya wewe, ni chakula kwa sisi wenye njaa. Kwa hivyo, omba Mungu azidi kukufanya utulishe. Kazi nzuri sana. Mimi mkenya. Natizama tokea Doha, Qatar. Na amani yake Yesu Kristo iwe nawe.
Mungu wa mbinguni azidi kukuinua kwa viwango vingine zaidi katika huu utumishi alioweka ndani yako kwa ajili ya utukufu wake Baba...UBARIKIWE sana kaka kama tunavyobarikiwa sisi na utumishi wako..🙏🏻
Nakushukuru sana kwa nyimbo huu nzuri ambao unafaa sana hasa wakati huu katika Maisha yangu.. Mungu wetu yeye anafaa, na kwake tunapata Amani na Furaha usio na kifani...Ubarike na nyota yako izidi kung'aa
Tz is proud of you, Christians are proud of you, Jesus is proud of you. Keep it up, sauti yako inaburudisha nyumba zetu. Yesu wangu na Mungu wangu, wewe ni kila kitu hata nianguke katika dhambi wewe u tumaini pekee.
YOUNG MAN YOU'VE BEEN CALLED BY GOD TO SERVE HIM THROUGH MUSIC MINISTRY AND YOU WILL GO ALL OVER THE WORLD BECAUSE GOD IS WITH YOU AND PLEASE NEVER COMPROMISE AND FALL FROM GOD'S WAYS,COZ GOD IS YOUR EVERYTHING AT ALL TIMES.

From DRC na i kubali kazi. Mungu anaye weka wimbo midomoni mwako, kweli sifa ni zake Mungu aliye juu ya vyote
Nakufuatilia sana brother. Kazi yako ni zaidi ya wewe, ni chakula kwa sisi wenye njaa. Kwa hivyo, omba Mungu azidi kukufanya utulishe. Kazi nzuri sana. Mimi mkenya. Natizama tokea Doha, Qatar. Na amani yake Yesu Kristo iwe nawe.
Mungu azidi kukupandisha viwango vya juu Walter chilambo nafarijika Sana na nyimbo zako brother
Nashindwa kueleza n jins gan nabarikiwa kupitia kaz zako😔 acha tu niseme Mungu ameiweka huduma yake kwa mtu sahihi. Uzidishiwe baraka Walter
😢
I agree 💯
He's a blessing and his style even when it change still it is something that remind us of the GOODNESS OF GOD and HIS GREAT POWER
Amen amen what a blessing glory to GOD who saved us everyday 🙏🙏Mungu akae ndani yangu nami nikae ndani yako Yesu🙏
Baki hivyo,hiyo ndo huduma ambayo Mungu kaiweka kwako
Hakaki unafaa bwana kaa ndani Yani bwana ,,kazi nzuri Walter am blessed 🙏🙏🇰🇪🇰🇪
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu❤
Hujui ty ninavyobarikiwa nikisikia nyimbo zako album yako nyimbo zote ninazo barikiwa sana mtumishi wa mungu love you ❤️❤️❤️
Hakika brother unanibarikia sana Mungu akuinue zaid
Very powerful 🔥🔥
Walter Chilambo 🙌🙌
Yesu mtetezi wetu anafaa
Oh Its Very Good one UNAFAA,,,,,,
Thank you Chilambo
Unatuinua wengi
Hua unanibariki na nyimbo zako... Bwana Yesu azidi kukuongoza na uzidi kumtumikia. Zidi kubarikiwa
I always look forward to listening to the songs of Walter!
Mungu wa mbinguni azidi kukuinua kwa viwango vingine zaidi katika huu utumishi alioweka ndani yako kwa ajili ya utukufu wake Baba...UBARIKIWE sana kaka kama tunavyobarikiwa sisi na utumishi wako..🙏🏻
Nyimbo zako uwa zina nibariki sana. Mungu azidi kukubariki.
Hakika Mungu Anafaa 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Wapi likes za Walter Chilambo kutoka kenya wadau? This is amazing
May you always see how you serve almighty God, with this amazing voice and massage.
Napenda nyimbo zako ,Mungu akubariki
🇰 🇼 🇪 🇱 🇮 🇧 🇼 🇦 🇳 🇦 😍😍😍
Walter nakuombea sana kila siku, Mungu akuzidishie baraka tele...asante kwa kazi nzuri
Nakubali sana kaka, Mungu alibariki sana
Nakubali kaka Mungu akubariki sana 🙏🏻
Bip bro big talent nawishi nije nikae na ww nijifunze kucheza na sauti kumutukuza mungu na kuhubri injili kimataifa
Nyimbo zako zinanibariki! Ubarikiwe sana 🙏
Mungu anipe hiyo neema uliyo nayo
🔥🔥🔥🔥
Yesu ana faa maishani
Amen chakula ya roho utapewa
Nice songs 🙏🙏🙏🙏 Mungu awabarik wote unaosikia hii nyimbo na kuusifu ukuu wa Mungu
I really appreciate you Wolter chilambo.
Wimbo mzuriiii Mr kaka mtumishi
Much love from kenya❤❤ a fan since day one 🔥 you never dissapoint🔥🔥
From +254🇰🇪..
I love your great ministry..
We Love you brother 🙏
May the Lord keep enlarging you more and more..Your ministry is great
Niki kuskilza ukiwa unaimba nakuwa na furaha sana broo ,kazi nzuri sana 🇹🇿☑️🙏🙏❤️🔥🔥🔥🔥
God bless u bro u did it well sana we love u much💝💝💝💝💝😍😍😍🥰🥰🥰
thank you for another..imenipa nguvu zaidi God bless you sana
Jmn AMEEN mbna umefungwa haudownlodk
Mungu azidi kukupa maarifa zaidi katika kumtumukia yeye 🙏🏽Nimebarikiwa na nyimbo yako
You always bless my heart, may God exalt you more and more 🇰🇪
Nice soothing to the Soule wapi likes za Walter 👍👍
unafaa, unafaa Yesu
Bro you mh guy manzee
Nakushukuru sana kwa nyimbo huu nzuri ambao unafaa sana hasa wakati huu katika Maisha yangu.. Mungu wetu yeye anafaa, na kwake tunapata Amani na Furaha usio na kifani...Ubarike na nyota yako izidi kung'aa
Ukae na mimi baba
Superb🔥🔥Barikiwa sana kwa jina la Yesu. SHALOM
Mara ya kwanza kuskia hii nyimbo... Nimeipenda sana
Good job Good song 🇰🇪💪
NDUGU YETU HATUANGUSHI IMANI ZETU JUU YAKE HAZIENDI NA MAJI ✔✔✔🤝🏻
Mungu akubariki kwa kuhubiri kwa uimbaji huwa nabarikiwa sana kwa nyimbo zako
Love it my favourite song and artist chilambo to the world 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯 always deliver the best 💯💯🙏🙏🙏🙏🙏💥💥 much love from Kenya 🇰🇪💖💯
God will walk with you everywhere you go
wangapi mnaisubilia Busara jman
Kaka kaka 🔥🔥 fire
Tz is proud of you, Christians are proud of you, Jesus is proud of you. Keep it up, sauti yako inaburudisha nyumba zetu. Yesu wangu na Mungu wangu, wewe ni kila kitu hata nianguke katika dhambi wewe u tumaini pekee.
I always enjoy good music
Bigup kijana nabarikiwa sana na nyimbo zako
Let go !!!!!
Mbariki akubaliki za nifalji
Favourite
Congratulations to you my brother, GOD BLESS YOU
Another one 🔥☄️
Great 🙏 keep it up Walter
From Uganda but honestly I feel blessed whenever I listen to your music may God bless you sana 🙏🙏
YOUNG MAN YOU'VE BEEN CALLED BY GOD TO SERVE HIM THROUGH MUSIC MINISTRY AND YOU WILL GO ALL OVER THE WORLD BECAUSE GOD IS WITH YOU AND PLEASE NEVER COMPROMISE AND FALL FROM GOD'S WAYS,COZ GOD IS YOUR EVERYTHING AT ALL TIMES.
UNAFAA UNAFAA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Salute sir..much love
U are among people who make me the way I am for the glory of God .
Sawa kaka
KWELI BABA UNAFAA! GOD BLESS U
I love love your songs, keep it up
Ameeen
Unafaa is powerful...
Best composer 🔥🔥🔥
May God almighty strengthen His servant to press on serving Him...am blessed
One god one peace together we are...
Barikiwa sana nina barikiwa sana na nyimbo zako …. Hongera sana kwa kazi nzuri sana 🙏🏽
Napenda Sana lyrics za chilambo God bless
Yaani huyu kaka Mungu amuweke coz annibariki sana
Unafaa yesu
His voice and biblical lyrics
If you're listening to this sweet melody from Zambia 🇿🇲 like my comment ❤❤❤😢🙏
Nabarikiwa mno na nyimbo zako,wewe ni baraka
Album bora kabisa 2022..... Ahsante sana kwa nyimbo zenye faraja sichoki kuisikiliza🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
woooooooow nice song my brother
God bless you my brother
Big up 💪 brother. Nyimbo Kali. Your songs always bless me
Ubarikiwe mtumishi
Barikiwa sana kaka wimbo mzuri sana
Lizaliwa kuongoa rohozilizopotea GOD BRESS U
Be blessed bro
The melody is soothing!!
🔥🔥🔥🔥my all time Favorite
🙏🙏🙏🙏 you never disappoint Walter always 👌
My Bro From another Mother.. Good music as always .
Ukiona napotea nikumbushe Bahati umewai muliinza mungu ilojambo kwa wimbo wako na Rayvan ss kumbuka mungu anakuitanji kwa kazi yake
Amen🙏, I'm blessed with this song
Nibariki nikutolee sana
Always waiting new thing from walter