DR SULLE SASA BASI AKAMATWA KWA UTAPELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @mnembogroup711
    @mnembogroup711 3 ปีที่แล้ว +4

    Maa shaa Allah, Mwenyezi Mungu akulinde sheikh Saidi, kuzungumza ukweli ni kujiengua katika udhwaalimu unaofanywa na baadhi ya Waislam akiwemo huyo. Na lau mngekaa kimya waubiri wote mngekua na doa jeusi lisilo futika katika jamii.
    Pia Waislam wote tungeonekana wababaishaji tu.
    Muogepe Mungu pekee uendelee kuisema haki.
    Assalaam A'laykum.

    • @fatmaahmed4429
      @fatmaahmed4429 2 ปีที่แล้ว

      Unauhaki km nikweli anayoyasema pengine chuki tu hizo siwezi kuamini kirahisi rahisi tu kajenga chuki ndani ya nafsi yake

  • @happynesskimt6249
    @happynesskimt6249 3 ปีที่แล้ว +31

    Mwenyezi mungu akubariki na akulinde shekhe mwaipopo, uisilamu ni dini ya haki, waislam ni wanyenyekevu, baadhi ya viongozi msiuzalilishe uisilamu. 🙆‍♀️

  • @mwanakombaabbas93
    @mwanakombaabbas93 3 ปีที่แล้ว +17

    Ma shaa ALLAH
    Ma shaa ALLAH
    Ma shaa ALLAH
    Nnamuomba ALLAH akuhifadhi shekh akulipe mema duniani na Akhera yaa rabb namuomba Allah akuzidishie imani sh mwaipopo ma shaa ALLAH
    Allah atakulinda nduguyangu

    • @fatmaahmed4429
      @fatmaahmed4429 2 ปีที่แล้ว

      Allah amlipe mema kwa kumzalilisha muislam mwenzake au sio unakosea ukisema hovyo

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah asante Sheikh Mwaipopp maana mimi nilikuwa na mpango wa kumtafuta kwa ajili ya dawa za kisukari.

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 3 ปีที่แล้ว +8

    Allah akulipe kheri Sheikh mwaipopo.. Shukran kwa kutuweka wazi na mambo kama haya si ajabu Tanzania yanafanyika sana..

  • @rahakesho5550
    @rahakesho5550 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah sheikh nimekupenda kwa ukweli wako kwa kweli hilo linarudisha nyuma uislam na ninachoona mmeacha fani zilizo mlizojaaliwa na allah za uhubiri wa kuwalingania watu mmeingia ktk fani ambazo si zenu na hayo ndo matokeo yake mnafikia kipindi mnaitwa matapeli kwa kuwa umevamia fani sizenu . Uhubiri na dawa utibabu wapi na wapi kazi hizo muwaachie waliokuwa na ujuzi nazo. Dawa za nguvu za kiume kwa kweli zipo unaukinywa lazima utajiona tofauti sheikh . Si kama hakuna zipo ila yeye anapitia njia sio sahihi kuwadhulumu watu . Basi tunawapenda wote masheikh zetu kwa kazi mnayo ifanya jitahidini mmalize hizo tofauti zenu inshaallah . Waatwasim bihabal llaha jamiian wala tafaraquu.

  • @abdallahmilaba5407
    @abdallahmilaba5407 3 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante sheikh Uislamu unataka tusikilize pande zote 2 . Tunatarajia Dr Sule atasimama na kujibu tuhuma. Nasema nituhuma kwa sasbabu bado hazija thibitishwa. Tafadhali Dr SULE JIBU.

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      Hawezi jibu, ni aibu na atakufa njaaa 😂😂

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@joezeno8 SASA NJAA ISHA MVAA WATU WASHAMSHTUKIA KAMA TAPELI 🤣🤣🤣🤣

    • @sweetmeena5970
      @sweetmeena5970 3 ปีที่แล้ว +1

      @@salimsaid7200 ila unajuwa kweli hatuwezi kumjudge moja kwa moja kuwa ni tapeli anaweza kuwa ni mpangilio wake ndio haupo vizuri unajua ukiweka order ulipe pesa alaf mzigo uchelewe na upige simu zisipokelewe unaona umeshatapeliwa pengine management yake ndio inayomuangusha maoni yangu na dawa sio kila mtu ina mtibu mahospitali pia watu dawa hupewa na wasipone makosa aliyoyafanya doctor sule ni kukataa kuenda kuwaskiliza waliomuita mana hiyo ndio imeleta picha kuwa hizi tuhuma ni za kweli lkn pengine ni tofauti na tunavodhani

    • @abdul-jalil6478
      @abdul-jalil6478 3 ปีที่แล้ว

      @@sweetmeena5970 one of the best comment hivi ndio tunatakiwa kubeba taarifa na sio kuhukumu moja kwa moja

    • @HappyKiteboarder-du9th
      @HappyKiteboarder-du9th 7 หลายเดือนก่อน

      Upo sawa mwaipopo uislam unataka hivyo hakuna kufichana

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 ปีที่แล้ว +1

    AllahuAkbar...M'Mungu amuumbue amdhalilishe amfedheheshe kila tapeli hapa duniani na kesho Akhera Ameen Yarrab....

  • @MrNoNonsenseYes
    @MrNoNonsenseYes 3 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante sana Sheikh Mwaipopo, lazima turekebishane na asietaka kurekebishwa ni sharti umma ujulishwe ili watu wasidhuruke, ni sahali kwa hao walio dhulumiwa, atakuja kumpa mtu dawa ya kidonda au ya homa na mtu aache kutumia medication yake ya sukari au maradhi yoyote yale akitararajia kuponeshwa na dawa hizo lakini kumbe dawa zenyewe za uongo, si mambo ya kufucha haya...atakuja kutoa watu roho

  • @barikilosivo6031
    @barikilosivo6031 3 ปีที่แล้ว

    Thanks so much shehk mwaipopo nimejifunza mangi alafu Dawa ni peas ngapi Niko Nairobi Kenya

  • @halima2549
    @halima2549 3 ปีที่แล้ว +11

    Subhaanallah. Mungu atuongoze na sheikh sule akubali makosa yke na amwogope mungu atubu na Allah atamsameh

  • @sienajacobs4012
    @sienajacobs4012 3 ปีที่แล้ว

    SubhannAllah Malik Qudus
    Hata mimi ni lishakia sana utapele wa dr Sule wakati akiongea kuhusu uzazi wa majira Kinamama,,,baadhi ya maelekezo sikuamini dawa hizi za kujizuwia kupata Mimba kwa sheria ya Dini yetu Islam. Barakallahu feek sheikh Mwaipopo kwa kutujulisha haya kwa kweli wa mama wengi walimuamini na kuyafanyia kazi maneno yake

    • @alikhalfan4185
      @alikhalfan4185 4 หลายเดือนก่อน

      Kwelimwenzangu namimi nikiwemo

    • @alikhalfan4185
      @alikhalfan4185 4 หลายเดือนก่อน

      Nilimuamini ileyakutia kwenye kopo,na nikapata mimba

  • @mussajuma9698
    @mussajuma9698 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kweli ni hali ya huzuni kubwa jinsi tunavyoupaka matope uislam mpaka watu wanautia udhaifu uislam kwa mambo ya ovyo tunayofanya waislam.
    Baadhi ya wahidhiri Tanzania wanawachangisha waumini michango kwa kuwalazimisha kiimani mpaka wanakosa ya kuhudumia familia zao.
    Hapo kwenye suala la Dawa za matibabu ndio wamezidi kudanganya watanzania wanajitahidi kununua dawa zao lakini kupona matatizo yao hakuna daaah.
    Asante ust Mwaipopo kuzidi kutuzindua
    Mana dawa kubwa wanayoikimbilia kuuza ni ya nguvu za kiume.

  • @yasseralamry778
    @yasseralamry778 3 ปีที่แล้ว

    Haki siku zote haifichiki, Na shekhe sule asipo omba msamaha na akatubia basi hatoboi hapa duniani na kesho Akhera ndio asubiriwa. Shukran mwaipopo, Allah akuhifadhi wa kusimama kwa haki,

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 3 ปีที่แล้ว +12

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
    Sheikh wangu mie ni katika wafuasi wa dini yetu hii tukufu ya Uislam lkn masheik zetu kuweni waadilifu
    Na msitoleane aibu mitandaoni

    • @omarisadallah5695
      @omarisadallah5695 3 ปีที่แล้ว +1

      Hapo ndipo alipokosea

    • @mahmoudmwamba8014
      @mahmoudmwamba8014 3 ปีที่แล้ว +4

      @@omarisadallah5695 ...Mwaipopo hajakosea dini ndo inavyotakiwa ukikosea unaitwa ukaambiwa ila ukikaidi unatahadharishwa kwa jamii ili wakujue ....hiyo kidini inaitwa "" Al-walaa wal balaa""kuchukiana na kupendana kwajili ya Allah...

    • @abdulyassin8348
      @abdulyassin8348 3 ปีที่แล้ว

      Cjakubaliana na hli maana ilikua ni suala LA kukaa au mtafute umesemee na sii mtandaon sheikh

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo lenu % kubwa ya baadhi ya Wahadhiri/Wahubiri, Masheikh, Maustadhi, Walimu, Matabibu/Waganga kwa upande wa Uislamunaweka mbele sana maslahi ya dunia (tamaa za mali/fedha/utajiri, wanawake, umaarufu/riha, fitna, hisadi/chiuki, uwongo, uzinifu, Wachawi nk) ambapo kwa mujibu wa Uislamu ni makosa makubwa sana Muislamu tena Kiongozi wa dini hapaswi kuwa na does chafu!
    Nashawishika kusema baadhi yenu mmekuwa Wanafiki na Washirikina kwa kutumia kivulli cha Uislamu!
    Kama usipokuwa na TAQWA (UchaMungu wa Myoni) Allah atakuumbuwa tu iwe duniani au Akhera.
    Mashaallah mmefanya/mnafanya kazi nziri sana ya kuwalingania/kutulingania watu tuwache dhulma, tuwache ushirikina/tusiabudu viumbe tumuabudu Mungu Mola Muumba peekee (Allah), tupendane, tushirikiane/tuwe wamoja, tudumu ktk ibada anazoziridhia Allah, tusome Qur'an, tuihifadhi na tuifanyie kazi nk kwa ujumla tuwache maasi/maovu tufanye mema.
    Ajabu nyie ndo mmekuwa vinara wakuu wa kuwa na sifa mbaya ambazo hazisitahiki kuwanazo Muislamu Muumini !
    %kubwa duniani inafahamika dini ya haki na ya kweli ni Uislam (hili hali na shaka kwa Waislam na hata kwa Wasokuwa Waislam) anaepinga anapinga/anabisha kwa kutoelewa, kwa kutojielewa, kwachuki zake binafsi tu.
    Kwa mwenendo wenu wa tabia zenu chafu (baadhi) mnajichafuwa, mnakosa thamani, mnakosa heshma na mnakosa/mtakosa kuaminika.
    Msifikiri Uislamu utashuka hadhi/utakuta la' hasha kala ! Uislamu umeumbwa na Allah, umeletwa na Allah, umeenea/unazidi kuenea kwa nguvu za uwezo wa Allah pekee na Allah ndo anaulinda na kuunusuru Uislamu na Waislamu kwa Ujumla mpaka Kiama.
    Kudharirishana kwenu itapelekea Waislam tihisi/tuwe na.mashaka hata wewe pia huenda hauna Taqwa (hauna UchaMungu) japo ni Muislamu wa Kusilim baada ya kuuhama Ukristo huenda umekuja kwa kusudio la kuwagawa/kutugawa Waislam au imaan yako ktk UchaMungu ktk Uislamu bado ndogo/haba.
    Waislamu tumefundishwa/ tunafundishwa adabu/hekma na busara za kuundosha uovu (munkal) lakini njia unayoitumia/uliyoitumia hapo umefeli Sheikh ! Sawa na kukrupuka/kutoka uchi bafuni kwa kumkimbiza chizi/mwendawazimu alochukuwa taulo yako bafuni na kukimbia nauo mtaani nawe badala ya kutumia busara jnatoka hadharani ukiwa uchi unamkimbiza chizi sasa hapo nani atakuwa chizi/mwendawazimu zaidi ?!!!
    Hayo myafanyao (maovu yenu) baadhi ya Viongoi wetu Wafuasi wenu (Waumini wa Kiislamu) tunatambuwa na tunazidi kuamini kuwa hizi ni miongoni/baadhi ya dalili/ishara za Kiama ambazo zimeelezwa na Allah kupitia mtume wake Muhammad S.A.W na nyie pia huwa mnatuelezea lakini ajabu mnafundisha tu lakini hamzingatii nashawishika kusema "mnamfanyia kibri/mnamcheza shere Allah !!!
    Miongoni mwa dalili za Kiama ni kukithiri kwa GHUSHI/uwongo/uzushi (utapeli) na hivi sasa ndo umekithiri zaidi hata kwa baadhi ya % kubwa ya viongozi wadini tena Waislam !!!
    Baadhi yenu ni kawaida yenu kunadi/kuuza dawa/matibabu ktk njia za kujitangaza kwa kujisifia mno (mnapiga PROMO') ktk media za kijamii mpaka Misikitini !!!
    Sina maana kuuza tiba/dawa (uganga) ni haram la' hasha kala.
    Uharamu unakuja/utakuja endapo utaingizwa uwongo, riha/kujirukuza area zaidi na kukashfu au kutowa aibu za wengine na kuficha aibu zako,
    kwanza anza kutowa aibu zako (japo ktk elimu yako/fani yako, taaluma yako ktk dini na ktk fani ya Uganga/Utabibu) unataka kuutangazia Umma/dunia kuwa wewe umekamilika, si muongo, hutangazi biashara ya dawa/mafuta na dua kwa kujisifia ?!
    Unasema/unatanfaza (ktk baadhi ya matangazo) kupitia baadhi ya kijamii kuwa hayo " mafuta" unayo yanadi na kuyauza/kuwatibia watu/wateja wako " ni mafuta muhimu sana na ndo yamemtajirisha TB Joshua" na unawashangaa/unatushangaa Waislam kwanini hatuyatumii (hatununuwi) hayo.mafuta ilhal yametajwa ndani ya Qur'an ?!
    TB Joshua si Muislam, baadhi ya Waislam tuna mashaka na hofu kubwa juu ya siri ,kilichomo/vilivyomo (ingridients) ndani ya hayo mafuta anayotumia TB Joshua na ya mfano wake upi utofauti wake ?!
    Mafuta unayoyapigia debe mitandaoni kila kukicha kama yanafaa kumtajirisha mtu/watu (kama yanaponya shida) kwanini usitajirike wewe ukawacha kuwalaumu baadhi ya matajiri wa Kiislamu na Waislam kwa ujumla kwa kukosa kuwafadhili Mashehe, Wahadhiri/Wahubiri, Walimu wa Madrasa na kukosa kujenga Misikiti na Madrasa Vijijini ilhal unayo mafuta ya kutajirika kwanini ujinadi wewe huna uwezo kifedha, Uislamu unahitaji kuendelezwa kwa fedha, mali nk?!
    Me sipo kwa kumpendelea Dr. Sule, sipo kwako Sheikh Mwaipopo, sipo kwa Masheikh au Taasisi bali natowa maoni/mapendekezo yangu kuwa sote sisi Waislamu tujitambuwe, tuwache mazowea na tubadike kivitendo kuanzia ndani ya nafsi/nyoyoni, vinywani na vitendo haswa ninyi Viongozi wetu baadhi yenu ni mtihan sana !
    Ninyi (Viongozi) ni dira/kioo kwa Waislam na kwa jamii kwa ujumla (Waislam na Wasokuwa Waislam) tunawaangalie nyie na kuwaiga nyie sababu Wanazuoni/Wasomi/Maulamaa (Vigogo/Viongozi) ktk Uislam ndo wa kuigwa (Role Model wetu) lakini mnakoelekea sipo na ndomana mnapoteza sifa njema na mnadharauliwa kwa kujidharirisha kwenu.
    Allah( Mungu Mola Muumba) hataniwi/hafanyiwi dhihaka/hafanyiwi shere.
    Hivyo msipobadilika/tusipobadilika (fanyeni /tufanye touba ya kweli) itakuwa majuto duniani na Akhera.
    Allah hapungukiwi Waumini/wakumuabudu, hapungukiwi Wahadhiri/Wahubiri, hapungukiwi Mashe wala Wanazuoni/Maulamaa nk
    Vilivyomo mbinguni na Ardhini vyote vinamuabudj/vinamsujudia (vinamnyekea Allah) Hivyo huo ujanjaujanja muufanyao ni hasara kwenu Allah hapati hasara.
    Msidhani Waislamu wote ni wajinga wa kufikiri, si waelewa wa myatendayo !
    Umaamuma/kuwa safu ya nyuma sio umbumbumbu!
    Kadhalka m'bora kati i na yetu Waumini na kati yenu Viongozi wetu m'bora ni yule amchae Allah tu.
    Baadhi yenu Wahadhiri/Wahubiri, Masheikh ( Wanazuoni) mnajazba, kashfa, kujifanya mnanuwa zaidi, majigambo, dharau, majibu mabaya nk ambayo hayafai kwa Muislam Muumin !
    Muelewe hapa duniani wapo viumbe wa Allah (binAdam/watu) baadhi yao ni Mawaliy/Vipenzi wa Allah na Masharifu wa kweli sio Masharifu wa Uganga na tiba za Mashetani wa Kijini/Washirikina na kujitangaza.
    Wapo Masharifu na Mawaliy wa Allah wenye Makarama ya kweli kutoka kwa Allah ambao hawajitangazi/hawatangazwi sababu hatuwaoni/hatujui karama zao walizopewa na Allah (siri yake Allah S.W).
    Hivyo madharau, dhulma, dharau na kashfa muwafanyiazo binAdam wenzenu hamjui huenda ndo sababu ya kuanza kudharirika na kuumbuwana (kufedheheka) kwenu kunzia duniani bado Akhera.
    Mnakuwa kama msuka/mfuma Ukili , anaufuma ukili wake vizuri/mzuri kisha anaanza kuufumuwa!!!
    Tujihadhal sana na adui shetani wa kijini na shetani wa kibinAdam.
    Taratibu za kukosowana na kurekebishana kwa mujibu wa Uislam mnazijuwa na mnatufundisha kila siku sasa kulikoni msitende kile mnachotufundisha?! Au kazi yenu ni kufundisha/kufikisha tu nyie haiwahusu kutenda na wala hamtoulizwa na Allah ?!!!
    Msiridhike kwa kujuwa kusoma, kuhifadhi, kutafsiri, kuifundisha Qur'an bila ya mazingatio/bila ya kuitendea kazi ni hasara.
    Pia kuapa apa sana haimaaninishi ni mkweli/muaminifu. Ukweli wa mtu ni imaan na matendo mema yanayokubalika na jami na yanayoridhiwa na Allah S.W.
    Uislamu utajengwa kwa baadhinya masikinini, waumini madhariri na matajiri alakini wawe waumini wakweli kuanzia moyoni na vitendo (siri ya Allah) na ndo maana imeshushwa Surrat Abbasa kwa kmuonya mtume asihadaike na matajiri na kuwadharau masikini lakini baadhi ya Viongozi wetu(Warithi wa mtume) wa Zama hizi ni mtihan kwa kuwakumbatia matajiri na kuwalalamikia sana matajiri ktk kuuendeleza Uslam.
    Kukumbusha ni wajibu lakini isifikie hadi kuapiza, Allah yuopo na Kiama kipo.
    Mnawasema/mnawalajmu Waislael na Wapalestina baadhi (Waarabu) wanafanya/wamefanya uovu/wamemuasi Allah ndomana Vita/mapigano hayaishi.
    Je, nanyie Masheikh /Wahadhiri/Waliganiaji wetu vipi/kinawasibu nini ambacho mnatofautiana na Waislael na Wapaleatina (Waarabu) waovu?!!
    Kùsilimu/kuwasikiliza watu, kuwa mlinganiaji mkuu, kuwa mwana historia mkuu(Dr.) mkuu, mwanazuoni mkuu, Sheikh mkuu, Sharifu bila matendo yanayoridhiwa na Allah sio tiketi pekee ya kuingizwa Peponi/kuwachwa huru na moto wa Jehanam.
    Kinachoelekea hapo mtaendeleza malumbano yasokuwa na tija, kila mmoja atawaandaa mashaidi wake wa ukweli nà wa Uwogo/wakupanga ili mchafuwane/mdharirishane!
    Adui shetani wa kibinAdam na Shetani wa Kijini wanafurahia.
    Allah ametuhusia tushikamane wala tusifarakane.
    Inshaallah Allah atujalie mwisho mwema.

    • @allymuhammad325
      @allymuhammad325 3 ปีที่แล้ว

      Nzuri sana hii, japo kwa wavivu kusoma watakosa faida

    • @habibahadithi5080
      @habibahadithi5080 3 ปีที่แล้ว

      Allahuma amiin

    • @jumamohamedi5044
      @jumamohamedi5044 3 ปีที่แล้ว

      ndugu yangu namimi naunga mkono uliyo yasema ni dhahili ukiona watu wanatafuta kuwasema wengine ujue hawana kitu wanatafuta sifa na mungu hayupo hapo umetoa elimu kubwa sana roho wa mungu yupo ndani yako mungu anatuasa tuombeane I'll tubadilike si kutangaziana mabaya tuelimishane kwa wema na upendo amina

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@jumamohamedi5044 YANI ANYAMAZIWE.

    • @Putin331
      @Putin331 7 หลายเดือนก่อน

      Soma gazeti lako mwenyewe

  • @twalhamnyira5318
    @twalhamnyira5318 3 ปีที่แล้ว +4

    Subhannallah shukran sana shekh Said mwaipopo allah akuongoze nami nilikuwa nasema hao wanaojinasibu wauza dawa za kisunnah sio wakwel ni matapeli huwa najiuliza hiyo sunnah ni ip? Kwan mtume alikuwa muuza dawa. Waache unafiki hao

    • @abuusufian6506
      @abuusufian6506 3 ปีที่แล้ว

      Si wote walio matapeli na wala si wote wanafiki

  • @bitunihussein495
    @bitunihussein495 3 ปีที่แล้ว

    Asante Sheikh Mwaipopo Mungu ni mkumbwa yani nilikuwa njiani kumtafuta Dk Sule mwenyezi Mungu akuzidishie wepesi inshaallah

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah Allah akulipe kheri duniani na akhera,,akupe na mwisho mwema.

  • @gweh3144
    @gweh3144 3 ปีที่แล้ว +1

    Allaah akuhifadhi muhubiri pamoja nasi na atupe sote thabati. Nimekusikia kwa mara ya kwanza kupitia kwa Dr. Bilaal Abdul3alim mmarekani Allaah amrehemu

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 3 ปีที่แล้ว +21

    Allah atakuhifadhi shekhe mwaipopo. Kwa kusema kweli. Na atakupa uzima na atakulipa kwa wema wko Ameen

    • @fatmaahmed4429
      @fatmaahmed4429 2 ปีที่แล้ว

      Huo si wema huo niuzalilishaji na nyeye mwaipopo pia amuombe razi sule nani kasema umzalilishe binaadam mwenzako

  • @abuibra
    @abuibra 3 ปีที่แล้ว

    Mwaipopo tumekusikia Tunakushukuru kwa ukweli unao utoa wala usiogope kulogwa Mwislamu kufa shahidi neema kubwa na pia kumsitiri Mwislamu sio katika zinaa au wizi na kutapeli watu nasema haya kwa sababu umesema labda zinaa unaweza msitiri hakuna hata mzinifu huwezi msitiri soma surat'nur,mtu m'baya lazima watu wamfahamu shukrani AZAKALLAH'KHEIRAN ALLAH AKUZIDISHIE KHERI NA BARAKA.

  • @suzanramadhan4231
    @suzanramadhan4231 3 ปีที่แล้ว +9

    Subhana ALLAH, Allah ampe fikra na kumuongoza aache hayo arudie katika njian ulio nyooka.

  • @sharifaibrahim5573
    @sharifaibrahim5573 3 ปีที่แล้ว

    Assalam aleikum warahmatullah wabarakatu mbona na masheikh wengi tuu watumia jina la Mungu kutapeli watu sababu wajua watu Wana matatizo mengi ndio wachukua advantage Wala hawamuogopi Mungu.Allah akujaze kheir sheikh mwaipopo na Akuhifadhi Amin

  • @faisalwaafrica7478
    @faisalwaafrica7478 3 ปีที่แล้ว +12

    Mashallah sheikh simamia haaq,Allah yuko na wewe in sha allah🤲🤲

    • @mercyngo1154
      @mercyngo1154 ปีที่แล้ว

      Mimi namudubili ni muone..live inshallah. Ameni dhulumu.

    • @mercyngo1154
      @mercyngo1154 ปีที่แล้ว

      Nakama selikali Tanzania inaunga sule mukono Kuna wakati Atacukuliwa atuwa .

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 3 ปีที่แล้ว +2

    Ukitaka kutoa aibu za mwenzako kwanza jiangalie wewe je ni mkamilifu
    Ukamilifu ni wa Allah pekee sheikh wangu
    Sio vizuri hasa kwa sheikh mwenzako kumkashifu

  • @halimamasudi7221
    @halimamasudi7221 3 ปีที่แล้ว +15

    Mungu Akusaidie usipatwe na madhara yoyote Insha Allah

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah akujaalieni waislamu nyoote muijue njia ya haki na mueze kuifuata na uijue batili na uweze kuiepuka na utuingize katka pepo zako za juu pmj na mtume Muhammad s a w

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 3 ปีที่แล้ว +12

    Allah bless you Mwaipopo

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 ปีที่แล้ว +2

    SHEKHE MWAIPOPO
    WEWE NDIYO SHEKHE UPO
    MAKINI SANA SANA

  • @mbarikiahamadjuma6824
    @mbarikiahamadjuma6824 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah bless you Sheh: Mwaipopo

  • @ramseyvungajr2703
    @ramseyvungajr2703 3 ปีที่แล้ว

    Swadakta sheikh mungu akufanyie wepesi hakika ww ni kiongozi haswa mungu akulipe kherii inshaallah

  • @itslayla1506
    @itslayla1506 3 ปีที่แล้ว +7

    Subhanallah
    Mwenyezimungu muwezayote

  • @rmohamedmattan1040
    @rmohamedmattan1040 3 ปีที่แล้ว +1

    SubhanaAllah sheikh Jazakhumulah khairan

  • @mohhamedmasai3911
    @mohhamedmasai3911 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah....shukran Jazakum kheiran

  • @abuhafs4774
    @abuhafs4774 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU akujaze kheri sana sheikh mwaipopo kwa kueka wazi malongo longo ya sule UISLAMU UPO MBALI NA URONGO NA WIIZI

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf 3 ปีที่แล้ว +5

    Ndugu zangu waisilamu.. waislamu salama yetu itapatikana tu pale tutaporud kwenye quran na sunnah tena kwa uelewa wa wema waliopita(3-golden generations)

  • @aminamkumba3549
    @aminamkumba3549 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh mwaipopo hongera kwa kazi nzur na kubwa mnayofanya kuupeleka mbele Uislamu, ila naomba kabla hamjaendeleza haya mambo mkae na masheikh wengine muyasolve kwa pamoja, kwa nini swala kubwa na zito kama hili uli solve peke yako? unadhani kwa nini walioshitakiwa wamekaa kimya? Sheikh huwa mwepesi sana wa kujibu kumbuka kwa afande sele sasa unadhani ni kwa amenyamaza? nadhani busara kubwa na subra kubwa inahitajika, no body is perfect pamoja na utapeli wizi na Uganga anaofanya tazama mchango wake katika umma wa Kiislamu, tazama ni wangapi wameiona nuru ya Uislamu kupitia yeye, anamchango mkubwa mno pamoja na madhaifu yake, sasa yeye yupo Tabora kajaza watu vibaya mno naye anatoa vijembe vyake kwa mafunzo, ni mnachokifanya ni katika mafundisho ya Uislamu? Siamini kama makosa ya dr yanatakiwa yawe solved kwa staili hii makosa kafanya sule lkn na wewe usipokuwa na subra na uadilifu na utakua ni makosa sisi Waislamu tunazo njia sahihi za katatua matatizo other wise mnatuumiza Bure

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 3 ปีที่แล้ว +40

    Mimi ni mkristo ulichokifanya ni kuponya nafsi yake kama kweli doctor sule ametapeli watu basi atubu siyo jambo jema

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว +2

      Masheikh awa, kwanza wanaangalia vitu ao magonjwa inaowatesa saana wanadamu,
      2. wanatumia Dini ili umuamini zaidi,
      3. Wanakwambia DAWA hizi kuwa zinatoka inchi ilioishi Manabii na Mitume wa Mungu, ili Uwaamini zaidi na wala usihoji 😂😂
      4. Masheikh kuwa wanasema dawa ni nguma kupatikana ili mteja anunue kwa haraka na beii ya juu 🤣
      5. Kuwa wanasema MaNabii pia walitumia hizo dawa🤣
      6. Masheikh kuwa wanajipa sifa kuwa ni bingwa wa tiba za kisuna Duniani ili ukutapeli vizuri
      7. Kuwa wana majina Feki, Doctor, professor, Sharif ili akutishe
      Masheikh waache Usanii kwenye Dini 😂😂waje tuimbia Rap ao tarabu kama wanaitaji hela

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว +4

      Siku hizi dini zoote wamezifanya biashara kujaza matumbo yao

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 3 ปีที่แล้ว +1

      Dini siku hizi watu wamefanya biashara

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      @@subiramohd1895 😂😂😂😂

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      @@abubakarihamissi4178 kweli,

  • @nshimirimanadjamilla7270
    @nshimirimanadjamilla7270 3 ปีที่แล้ว

    Jazaak allah kheri shukran sheikh allah akulipe kheri kwa musima wako akurasishiye

  • @idrisjames9392
    @idrisjames9392 3 ปีที่แล้ว +33

    shekh mwaipopo nakukubali sana kweli likionekena ovu lazma liondolewa allaah atakulipa inshaallah na sisi sote simamia haki ivo ivo

    • @festokiraryo.6107
      @festokiraryo.6107 3 ปีที่แล้ว

      Mwaipopo tapeli nipe namba zako nikurushie clip za matusi anamtukana muumini

    • @fatmaahmed4429
      @fatmaahmed4429 2 ปีที่แล้ว

      Nani kakwambia muislam akimtukana muislam mwenzake analipwa mema yy huyu kakusudia kumzalilisha muislam mwenzake tu hana lolote

  • @kassimkipande1858
    @kassimkipande1858 9 หลายเดือนก่อน

    Sheh mwaipopo mungu akubaliki sana kwakuwa mkwer inshaallah

  • @abdallahmattar2044
    @abdallahmattar2044 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongera Sana ishaallah allah atakulinda kwa ukweli wako ishaallah

  • @ShafiiKuyamwa
    @ShafiiKuyamwa 6 หลายเดือนก่อน

    Tumekulewa shekh,🙏

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 ปีที่แล้ว +6

    Naogopa sasa kama ni kweli basi mimi Naogopa. Dr sule ni Tapeli mmhhh!!!! ila bado sijaamini kbs kwanza Nakumbuka mbali sana 😢🙏. 😢

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli, siamini kama ni kweli, basi dr Sulle atubu kwa Mweyezi Mungu

  • @osamamuhammad3591
    @osamamuhammad3591 3 ปีที่แล้ว +1

    Subuhanallah mi naona shekhe mwaipopo ungekutana na shekhe kishki na mashekhe wahubili wote mkatafuta njia sahihi ya kumfikishia shekhe sule

  • @mufamozmufash166
    @mufamozmufash166 3 ปีที่แล้ว +21

    Watanzania nawaomba sana muemacho.coz fitina hii ya mashekh kukosoana ktk vyombo na mitandao ya kijamie.mtihani huu uliwapata mashekh wetu kenya.walifaulu kutugawanya mashekh wetu kwa makundi waliyataka wao na sisi tukalewa kwa fikira potofu bila kufahamu.Maskini lilikuja jambia la chuki baina Yao mwisho tumiishia kupoteza wasomi tegemefu ktk Uma . leo hii mombAsa tumebaki na mashekh wachache wakati tulikua wakwasi wa elimu na mashekh wazuri tu.zipo njia za mashekh kukosoana coz sote niwakosa.Allahu ndio mkamilifu.

    • @khuzaimanassor325
      @khuzaimanassor325 3 ปีที่แล้ว

      Uko sahihi kabisa, aliekosea zaidi hapa ni huyu Mwaipopo, hana haki ya kufanya hivi, hayuko sawa kabisa

    • @khuzaimanassor325
      @khuzaimanassor325 3 ปีที่แล้ว +1

      Uko sahihi kabisa, aliekosea zaidi hapa ni huyu Mwaipopo, hana haki ya kufanya hivi, hayuko sawa kabisa

    • @fatmaahmed4429
      @fatmaahmed4429 2 ปีที่แล้ว +1

      Mwaipopo huu ni uzalilishaji sio sahihi kumpakazia binaadam mwenzako

    • @hamisirajab4307
      @hamisirajab4307 2 ปีที่แล้ว +2

      We mwapopo Wacha wivu na sheikh sule Yuko juu Wala uwezi mfikia ata kidogo Kwa elmu

    • @Yusufu_bin_Ahmad
      @Yusufu_bin_Ahmad ปีที่แล้ว +1

      Sii wivu na amefanya sahihi Kwa sababu wamesha mlingania aache na akusikia

  • @Deogratiusvicent
    @Deogratiusvicent 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimkristo lakini nakuunga mkono kwenye hili Mwenyenzi Mungu akuepushe na husda za binadam majini na mizimu.hata uyu anajiita Sharif fildaus ndiyo wale wale tu wanaunga majini mkono falack na utapeli wanajifanya wanatumia jina LA Mwenyenzi MUNGU kumbe washirikina namatapeli

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 ปีที่แล้ว +18

    Sidhani kama sio wewe ,kuna mwingine angeweza kuongea ukweli,god bless you

    • @arafakiloli749
      @arafakiloli749 3 ปีที่แล้ว

      Naam

    • @zulfawaithera5479
      @zulfawaithera5479 3 ปีที่แล้ว +2

      Aliekua mkristo anauchungu na uisilamu kuliko wenye kuzaliwa kwa uisilamu maa shaa Allah..maa shaa Allah Tabarak Allah...Allah amlinde na kila la shari

    • @abdulyassin8348
      @abdulyassin8348 3 ปีที่แล้ว

      Uislam hauendi hvo bora kama majopu ya mashekh mkutane maana uwezi ukasema shekh huyu sii muislam je kama clip hzo ni boshen tutaminije lkn

  • @mwinyihajikumbao5225
    @mwinyihajikumbao5225 3 ปีที่แล้ว +1

    nilimpenda sn Dr suley lkn kwa hili hapana, Allah akuhifadhi sheikh mwaipopo inshallah.

    • @allymuhammad325
      @allymuhammad325 3 ปีที่แล้ว +1

      Mbona unahukumu kwakusikikiza upande mmoja?

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 3 ปีที่แล้ว +3

    Dr Sule kamtapeli ndugu yangu laki3 na dawa hakumpatia leo mwaka wa3 na pesa hajarudisha hadi muda huu na akipigiwa simu hajibu kwa hiyo Dr Sule anajulikana kitambo tu Allah atamuongoza

  • @jamuhuraly1238
    @jamuhuraly1238 3 ปีที่แล้ว

    MTU anapelekwa ospitar akapona ,na mwengine akafariki siyo kwamba madaktar ni mataper no kila jambo mpagaji ni mungu, au kama kunabifuzenu nibora mukae muyamarize ,alha awafanhie wepesi muweze kusameeyana,amin.

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha 27 วันที่ผ่านมา

      Akuna cha bifu wala chanini Ukweli usemwa Dr sule ni Mongo Allah amuongoze na atuongoze soote Kwa huruma wake 🤲 🤲

  • @shariffaabdalla2170
    @shariffaabdalla2170 3 ปีที่แล้ว +4

    Subhanallaah😭😭😭😭
    Allah atuongoe waja wake🤲

  • @zaibonge7867
    @zaibonge7867 3 ปีที่แล้ว

    ALLAH akulipe mwaipopo 🙏wallah nikiangalia mpaka mkono umekupinda kwa kuitangaza dini ya ALLAH wallah ALLAH akujaalie umri mrefu na akujaalie mwisho mwema 🙏na Kwa ukweli huu ulio utoa ALLAH akupe ulinzi wakutosha tunazidi kukuombea 🙏Amiin Amiin

  • @feisalfarsy6562
    @feisalfarsy6562 3 ปีที่แล้ว +4

    Niliwah kumuliza kaka yang hili suali ivi hyu docta sule alisomea huu udaktari au vip lkn dah sielewi Allah atusimamie ktk njia njema inshallah

  • @guhgghhg8592
    @guhgghhg8592 2 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi sheikh kwakwel hata mimi kanitapeli nipo kowait inasikitisha

  • @ajuloloya3366
    @ajuloloya3366 3 ปีที่แล้ว +7

    Nakupenda kwa ajili ya Allah Sheikh mwaipopo

  • @erickmillanzi4391
    @erickmillanzi4391 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde Shekh dunia ya leo haipendi kweli kama kwenye jamii kuna muonyaji kama wewe basi utachukiwa lkn usikate tamaa songa mbele

  • @machinjashabani5331
    @machinjashabani5331 3 ปีที่แล้ว +23

    Nakuunga mkono kwa ujasiri ALLAH akuzidishie kila jema

  • @ShabaniAkbar
    @ShabaniAkbar หลายเดือนก่อน

    Mwaipopo yupo sawa.hawa masheikh wetu kwa sasa wanatuaibisha.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +3

    Mtihani Duniani watu hawaohopi moyo WA Allah kutwa wanasoma kumbe Imani Amna subuhanallah😭😭

  • @makapaabdallah7937
    @makapaabdallah7937 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah atulinde, na akulinde akhi mwaipopo. Amuondolee unafiq ndugu sule

  • @tour_guide_momba_zanzibar
    @tour_guide_momba_zanzibar 3 ปีที่แล้ว +5

    Subhanallah kwakwel mtihani na Dr sule aibuuuuu

  • @selemanemomadeformassane3441
    @selemanemomadeformassane3441 7 หลายเดือนก่อน

    MashaALLAH sheikh Mwaipopo!

  • @fatmazena8886
    @fatmazena8886 3 ปีที่แล้ว +12

    ALLAH AKULINDE SHEKH WETU MWAIPOPO.SEMA KWELI JAPOKUWA CHUNGU

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh Mwaipopo Allah akulipe kheri nyingi naomba Namba zako tafadhali

  • @shawwalmsati3405
    @shawwalmsati3405 3 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh Mwaipopo siyo Sule tu bali hata wahadhiri wengine wamekuwa matapaeli kwa njia nyingi kupitia dini. Nakuomba yaseme na mengine Allah akulioe kheri

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 ปีที่แล้ว

      True

    • @khamiskhatib914
      @khamiskhatib914 3 ปีที่แล้ว

      Halafu anapinga tiba za sciences yeye kasoma wapi hiyo tiba

  • @aobasha1
    @aobasha1 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuhifadhi sheikh. Wewe endelea kuzungumza haki hata kama watu wengine watakuchukia.

  • @murcwere6415
    @murcwere6415 3 ปีที่แล้ว +6

    جزاك اللهُ‎ukwel usemwe

    • @bamitaonlinetv9672
      @bamitaonlinetv9672 3 ปีที่แล้ว

      NA SISI WANZAIBAR KESHATUDHULUMI SANA BASI...

  • @abdunnasser9580
    @abdunnasser9580 3 ปีที่แล้ว +1

    Bismillah waaalaabarakatillah
    Mimi nikutoka burundi
    Mashaa allah hili jambo mimi nime piga kelele sana naona leo mme amka sasa masheikh safi sana
    Sule nimwizi sana

    • @mahibudalali6476
      @mahibudalali6476 3 ปีที่แล้ว

      Aslm alyk

    • @abdunnasser9580
      @abdunnasser9580 3 ปีที่แล้ว

      @@mahibudalali6476 waaalaikuk salam vp hali yako

    • @mahibudalali6476
      @mahibudalali6476 3 ปีที่แล้ว

      @@abdunnasser9580 haliyangu mzuri ukowapi

    • @mahibudalali6476
      @mahibudalali6476 3 ปีที่แล้ว

      Naomba namba zako za wasp nipo dare salm nambazangu hizo 0718909269 unanipata wasp nduguyako katika dini

    • @abdunnasser9580
      @abdunnasser9580 3 ปีที่แล้ว

      @@mahibudalali6476 +201061658008

  • @saluyaadamz
    @saluyaadamz 3 ปีที่แล้ว +11

    ALLAH atulipa kila la kheri sheikh mwaipo nakupenda kwajili ya ALLAH

  • @AshiunaBukende
    @AshiunaBukende หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nakukubali sana sheikh

  • @sleymohamed3825
    @sleymohamed3825 3 ปีที่แล้ว +4

    Shekh mwaipopo upo sawa

  • @faisalikassim3837
    @faisalikassim3837 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah Allah akuifadhi katika kheri

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah awasamehe mashekhe wetu

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      Masheikh awa, kwanza wanaangalia vitu ao magonjwa inaowatesa saana wanadamu,
      2. wanatumia Dini ili umuamini zaidi,
      3. Wanakwambia DAWA hizi kuwa zinatoka inchi ilioishi Manabii na Mitume wa Mungu, ili Uwaamini zaidi na wala usihoji 😂😂
      4. Masheikh kuwa wanasema dawa ni nguma kupatikana ili mteja anunue kwa haraka na beii ya juu 🤣
      5. Kuwa wanasema MaNabii pia walitumia hizo dawa🤣
      6. Masheikh kuwa wanajipa sifa kuwa ni bingwa wa tiba za kisuna Duniani ili ukutapeli vizuri
      7. Kuwa wana majina Feki, Doctor, professor, Sharif ili akutishe
      Masheikh waache Usanii kwenye Dini 😂😂waje tuimbia Rap ao tarabu kama wanaitaji hela

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 3 ปีที่แล้ว

    mtanisameh kwa comment yangu hii, mimi ni mzanzibari na imefikia hatua imani yetu kwa masheikh wa kitanzania bara hua hatuwaamini kabisa na zaidi ni kwa sababu wanatumia udhaifu wa maradhi ya watu kupata maslahi yao, kibaya zaidi wanajificha katika kichaka cha dini, hivyo dk sule kama ni kweli hili yabidi ulete istighfaar

  • @issamohd8310
    @issamohd8310 3 ปีที่แล้ว +10

    Subhanallah Allah atustiri alhaji kama wewe hukustahili hayo

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 3 ปีที่แล้ว +12

    ALLAH AMEKUPA HIDAAYA KWENYE HII DINI
    KWA MAKUSUDIO KM HAYA ..
    INASIKITISHA SANA

  • @twalibfaqih9858
    @twalibfaqih9858 3 ปีที่แล้ว

    A.alaykum. shkh unayoyazungumza inawezekana ikawa ni kweli au si kweli lakini jaribu kutumia hikma sana. Mashekh hamtakiwi kuumbuwana ni aibu tujitahidi sana inshaallah Allah atuafuu.

    • @saidmzee2554
      @saidmzee2554 2 ปีที่แล้ว

      Kweli lkn bora ambiwe ukweli pengne ataacha

  • @hassan4k7
    @hassan4k7 3 ปีที่แล้ว +14

    TAPELI KAGUNDULIKA,
    NDO SWAHABA MTUKUFU OMAR BIN KHATTWAAB AMESEMA YULE ATAKAEJIPAMBA KWA SIFA ASIYOKUWA NAYO, ALLAH ATAMFEDHEHESHA

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @htvtanzania3483
      @htvtanzania3483 3 ปีที่แล้ว

      Sunna na mafundisho mtume S.W.A ukiiacha lazma uwe umkosefu

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      @@htvtanzania3483 acheni usanii

    • @Daarul_Ghurabaa
      @Daarul_Ghurabaa 3 ปีที่แล้ว

      خزاك الله خيرا
      Naam.. Abu tamiym Azzinjibaary

  • @khalilyjuma813
    @khalilyjuma813 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunashhkuru kutujuza Shukran jazzila

  • @mussamgonola3983
    @mussamgonola3983 3 ปีที่แล้ว +9

    Inalillah hizi ndo dalili za kiama wallah ,,eee mwenyezi Mungu wasamehe waja wako Dr sule do !

    • @mgangmasoudi6795
      @mgangmasoudi6795 3 ปีที่แล้ว +1

      Nenda zako na wewe mjinga mkubwa wewe kiama cha babako

    • @mussamgonola3983
      @mussamgonola3983 3 ปีที่แล้ว

      @@mgangmasoudi6795 Cha mama ako we mpumbavu

    • @mgangmasoudi6795
      @mgangmasoudi6795 3 ปีที่แล้ว

      Siongei na msenge sememba mbwa wewe

    • @hassanissa313
      @hassanissa313 3 ปีที่แล้ว

      Matusi tena tumuogope Mungu

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 3 ปีที่แล้ว

    Assalaamualaikum MASHEIKH Zangu woote mi nawapenda saana mwaipopo nakupenda nawengine weengi ktk masheik wote nawapenda na pamoja na kakayangu Dr.Sule mimi binafsi sule kwangu namuona anamchango mkubwa saaaaaana ktk Dini nanina mpenda kutokana na mafundishoyake yenye faida ktk Umma wa kiisilamu sasabas mwaipopo Sheikh wangu njia ulio mtumia kumrekebisha Nduguyetu si njia sahihi nasidhani Kama kihekma ktk Dini njia ulio itumia itakua iko sahihi maana unaemzungumzia Ni moja ya masheikh wakubwa wenye manfaa ktk Umma wa kiisilamu chakufanya ungefanya kila njia ukampigia hata cm kuliko hichi ulicho kifanya kuchukua shot crep na kutoa maneno mazito saana likiwemo hili lakumwita Dr sule kwamba nitapeli Kama matapeli wengine Nawala Hana uisilamu wowote. Dah Kauli hii sijaipenda kutokana na dr.sule mi nimesha jifunza mengi ktk uisilamu nawengine pia Sasa unapomwita sule kwamba nitapeli hii itawapa morari hatawasio waisilamu kuendelea kutushangaa saana sisi waisilamu kutokana na vitu tunavyo vifanya Ni vya ajabu Sana mi namengi saana ya kusema naona hata Hapa hayayoshi mi nikuombeni masheik Zangu tujalibuni kulekebishana ki Hekma nasio kwa kudhalilishana namnahii mitandaoni wenzetu watatu heka hii you tube sio group la WhatsApp la kiisilamu Humu na Wenda wazimu wamo Sasa tufanye vitu hukutukijua madharayake tatakua vp ndomana mtume alitufundisha kwamba unapo taka kulianza japo hebu chunguza kwanzaukiona Jambo unalotaka kulianza mbeleni litaleta madhara chonde Jambo Hilo usilifanye na ukiona litakua na kheri lifanye Sasa minaona mwaipopo Jambo ulilo lianzisha sehemu ulipolianzishia(you tube)sio shariyake nikubwa ungetafuta namna yoyote ile ya kumfikishia ujumbe dr.sule tofauti na you tube. Mwisho masheikh Zangu mi nawapenda mno kutokana na mvhango wenu mkubwa ktk Umma wa kiisilamu nawahusia Mambo haya. Pendaneni kwa ajili ya dini yenu shirikianeni kwa ajili ya kuufanyia mema Umma wa kiisilamu inapotekea mtafaruku katiyenu ludini ktk Qur-an na sunna kitafuta Suluhu. mwisho NIMALIZE kwakusema hamtaingia peponi Kama hamtakua Ni Wenye Kupendana wabillahittaufiiq wassalamu alaikumu 🙏

    • @sweetmeena5970
      @sweetmeena5970 3 ปีที่แล้ว

      Umemskiza vizuri mwanzo mpaka mwisho au umecomment tu amesema dr.sule kiburi tatizo lake mazinge na kishki wote wamenyamaza wanamuogopa kwa sababu mmoja wao anaitwa sijui sheikh nani alimpigia sule kumwita waongee akamtukana sana haambiliki na yeye binafsi amemuita sana aje aongee nae amekataa anakimbia kimbia sasa unadhani njia ipi ilobaki ya kumfikishia ujumbe kila kukicha watu wanazidi kulalamika wametapeliwa yy sule kama anajiheshimu na angeitaka stara astiriwe angesikiliza wenzake aitikie mwito wayaongelee kimya kimya huko wala tusingejuwa lkn hakutaka hivo hii imetumika kuwa njia ya mwisho kabisa baada wamejaribu njia zingine zote zimefeli kama kweli anajiheshimu anajithamini anaithamini heshima yake na elimu yake cheo chake angewasikiliza wenzie kuteleza ni kawaida kwa binaadamu hakuna mkamilifu lkn akubali kurekebishwa aitikie mwito wa wenzake lkn ukijifanya mjuaji kiburi huambiliki ndo yanafikia hapa hebu irudie hii video yote mpaka mwisho utaelewa vizuri

    • @mohammedrajabumwamba1322
      @mohammedrajabumwamba1322 3 ปีที่แล้ว

      @@sweetmeena5970 Sasa wewe Kama ww unadhani hii video imemfikia dr.sule? Sibora aneingia ata ktk video za dr.sule aka comments MALALAMIKO yake Kama anaona njia zote alizotumia zakumfikishia ujumbe dr.sule zimefeli nibora Zaidi angetumia njiahiyo kuliko hii alotumia Sisi waisilamu tutaonekana wa ajabu Sana Kama tutaiasi Qur-an na sunna

  • @jumaalhamid5242
    @jumaalhamid5242 3 ปีที่แล้ว +6

    Mazinge ulimsema sana mzee yussuf kwenda makka kurud anakata viuno hayaa sasa angalia sasa kumbe unafuga jambazi kwako alafu umekaa kmya mazinge sio mwadilifu wewe kumbe unaogopa kuzungumza ukweli safi mwaipopo

    • @khaledsuleiman4282
      @khaledsuleiman4282 3 ปีที่แล้ว

      watu wanaisabu nazi wewe unaisabu makumbi

    • @jumaalhamid5242
      @jumaalhamid5242 3 ปีที่แล้ว

      @@khaledsuleiman4282 jina lako na nafs yako tofauti

  • @abdulsaid4579
    @abdulsaid4579 3 ปีที่แล้ว

    daaah....ebwana sheikh mwaipopo asante sana kw salamu manake ulikuwa ninunue dawa kutoka kwake. sasa nimeshamjua.

  • @hamoudslim3622
    @hamoudslim3622 3 ปีที่แล้ว +6

    Lakin kwann wasimpeleke katika vyombo husika
    Mm kwa upande wangu nawashauri hao watu walio tapeliwa wapeleke mashtaka sehemu husika

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 7 หลายเดือนก่อน

    Allah s.w. azidi kukubariki kwa kusimama katika haki.

  • @masasionlinetv1825
    @masasionlinetv1825 3 ปีที่แล้ว +3

    إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ

  • @hassanbukukwe1647
    @hassanbukukwe1647 3 ปีที่แล้ว

    Shekhe Mwaipopo nakupenda Kwaajili Ya Allah Na Shekhe Sule Nampenda Kwaajili Ya Allah Kaeni Chini Muyamalize Jamani eeeee

  • @salehhassan87
    @salehhassan87 3 ปีที่แล้ว +8

    Duh ! Hatari sana hii ila kiukweli dawa za nguvu za kiume zipo ila nijinsi gani unavyozipata izo hela

    • @ssmithsaid3483
      @ssmithsaid3483 3 ปีที่แล้ว

      Dawa ya nguvu ipo Ila usiwe na ayo marazi aliyoyasema

    • @koshihadira9610
      @koshihadira9610 3 ปีที่แล้ว

      Huyu nae pia Muongo dawa zipo

  • @nahedstationery3851
    @nahedstationery3851 3 ปีที่แล้ว +1

    Takriban masheikh wengi wa Bara ni njaa tu. Hawajishuhulishi na kazi yoyote ya kuwaingizia kipato cha kuendesha maisha yao zaidi ya kuwachangisha waisilamu tena walala hoi. Nendeni mkajifunze Zanzibar kila sheikh anafanya kazi na pia anahubiri wala hawachangishi watu.

  • @ahmedaliahmedahmed3003
    @ahmedaliahmedahmed3003 3 ปีที่แล้ว +9

    Uyu ndio shekhe waukweki kabisa kwani kusema ukweli japokuwa niuchungu ALLAH Akuhifadhi 🤲

    • @MdKamrul-yl6ec
      @MdKamrul-yl6ec 3 ปีที่แล้ว

      Nakuunga mkona shekh mwaipopo allah akuhifadh ukishindwa kuondoa uovu kwa mikono yako bc ondoa kutumia ulimi takbiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @tresorkinyeshe6965
    @tresorkinyeshe6965 3 ปีที่แล้ว

    Asw cheikh wangu iyo nikweli uislam ni kuonyana siyokusengenyana nikonyumayako cheikh wangu alombe msamaha kwa ALLAH

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 3 ปีที่แล้ว +3

    Naam ndio mana sheik wangu Abdllah humeid yuwa wambiya ukweli kisha mwamtumana makurafi hai watubie kwa Allah tu
    Swa swa sana

    • @abdulkareemseif1892
      @abdulkareemseif1892 3 ปีที่แล้ว

      ABDALLAH humeid ni ktk masheikh ninaowowasikiliza kila wiki ..na ndio mana masheikh wa kisalafi wanawarudi hawa ila jamaa hawaoni

    • @nassoromakableta3265
      @nassoromakableta3265 3 ปีที่แล้ว

      Kwakweli uyu Sule nitapeli kwani watuwengi wanalalamika kawatapeli

    • @binaamour318
      @binaamour318 3 ปีที่แล้ว

      Hil suala halihusu ghurafi Wala salafi kinachotakiwa kumuogopa alwah

    • @abdulkareemseif1892
      @abdulkareemseif1892 3 ปีที่แล้ว

      @@binaamour318 ndio ila ukiegemasha mambo yako huko hawa waongo na matapeli unawaepuka

  • @lilemboramadhani5435
    @lilemboramadhani5435 3 ปีที่แล้ว

    Naam swadakta sheikh said allah akuhifadhi sule ni tapel kweli nakuunga mkono

  • @Wastara001
    @Wastara001 3 ปีที่แล้ว +5

    SubhanaAllah, huyu Sule,Khurafi mkubwa. Aumbuliwe sasa.

    • @sadahelmy6339
      @sadahelmy6339 3 ปีที่แล้ว

      Kuna moja anaitwa makara anakera kweli jamani mwaipopo usimuache

  • @salehsalim8403
    @salehsalim8403 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh Mwaipopo
    We kweli Sheikh
    U r a giant
    Mashaallah

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 3 ปีที่แล้ว +7

    Sheikh mwaipopo bilakumsahau na huyo anae jiita sheikh Sharif majini ni tapeli na mshirikina nayeye umpe makavu

    • @huseinfunga2824
      @huseinfunga2824 3 ปีที่แล้ว +1

      Huu jamaa nikaa nae mtaa mmjoja mabibo relini huyu majini ni tapeli na ni fasikii

    • @nusaibaakida6214
      @nusaibaakida6214 3 ปีที่แล้ว

      Hakika

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂 eti Sharif Majini pia

    • @slowclimbertothetop4572
      @slowclimbertothetop4572 3 ปีที่แล้ว

      Kuna watu wasanii nyie sijapata kuona halafu wanajiita title Sheikh!

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      @@slowclimbertothetop4572 sio tu Yanajiita Masheikh, Doctor

  • @zenaahmedi8857
    @zenaahmedi8857 3 ปีที่แล้ว

    SubhanAllah.....kwann sheikh hvyo 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 aibu jaman kwa waislam wote

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 3 ปีที่แล้ว +6

    Subhanallah yarabbi