Uislam ni dini Ya Allah na waislam ni viumbe vyote ila vitakavyoingia peponi ni binadam na majini ambao wataukubali uislam na kufuata yt aloamrisha Allah na kuacha alowakataza
Huyu aliogopa kusoma uislamu,ana kichwa kizito,kakimbilia kwa ukristo,huko hata ukiritadi leo,bora una sauti ya chura na unaweza kusoma kiswahili na kiingereza na kuzungumza mbele ya watu,unapewa uchungaji,tena mchungaji wa jimbo.na maokoto yapo,ndicho kilimvutia,mpumbavu kweli.
@@rayisadesigns2646point sio kujua kutamka kiarabu point je uongo hapo ni upi?😂ndio maana anawauliza huo uongo wake ni upi mbona hamumjibu 😂, nyie uislamu hamuujui sababu hamsomi mkaelewa bali mnakariri, mtu anasoma vitabu mnakataa😂 someni acheni uvivu huo ndio uislam, hata wewe soma sana uone kama hutaretad
@@rayisadesigns2646 Ndio maana huwa tunauliza huo uongo ni upi? 😂 kwa nini mnavikwepa vitabu vyenu? Twambie alichodanganya hapo ni kipi ili na sisi wasikilizaji tukupe na ushahidi mwingine maana mnatuona kama vilaza kisa kiarabu, uislamu umefichwa kwenye kiarabu hivyo mtu akiongea kitu hata kama ni kweli mnalazimisha kuwa ni uongo 😀 jueni kuwa watu wanafatilia kuliko hata nyie mnaokariri, watu wanatafuta ukweli sio kama nyie mlishamezeshwa kuwa ni hivi wakati sio hivyo.
Ndugu zangu waislamu tupeleke watoto wetu Madrasa ili wapate kujua ukweli na dini ya haki na ukweli mbele ya Mwenyezi Mungu,..ili waepukane na mabaya ya huu Ulimwengu,..huyu hajawai kua sheikh anaongea kwa hasira na kutamka matamshi ya Quran pasipo sahihi ila Mwenyezi Mungu ndio mlipaji atalipa kwa lile alilokusudia
Kwani kua imam ndio nn? Wengi wa maimamu hawajasoma dini. Hata juzuu ya A’mma hawajaihifadhi. Mda mwengine mtu hujipachika au hupachikwa uimamu kwa mujibu wa pale anapoishi, mfano pana wajinga watupu na yy ndio afadhali wao. Au mda mwengine kwa utu uzima wake/ heshima.
@@hajimasoud7210 Mimi nipo Arusha mwambie nifanye mjadala nae mjadala wa live.., mtu vifungu vya biblia kashika viwili aje anizidi mimi?😂..labda niwe mgonjwa. Huyo biblia haijui...na huo ndo ukweli. Muulize tu hata swali dogo kma mwanafunzi wa Yesu aliyem'replace Yuda aliitwa nani? Kama hatakimbilia google😂. Hamna kitu hapo...si hta kwen midahalo tunaona maswali anayouliza na hoja anazojenga! Maswali ya kitoto mno...mpk unajiuliza huyu jamaa mzima kweli?..masheikh kama kina Shafi na Kinyogori wanajitahidi kujenga hoja yenye kueleweka japo zinajibika..lakini mwaipopo😂 hamna kitu..hyo jamaa hata mtoto wa mafundisho anamtoa jasho.
Ukitaka kujua jamaa elimu hana😂..mara ngapi umemuona kasimama kwenye mhadhara kama kina kinyogori na Shafi?..mwambie aweke mdahalo wa one on one na ndacha kama dr.Sule anavofanya uone atakavoruka ruka😂...maneno meeengi..,elimu hakuna🤷♂️😂...bogus sana hii jombaa.
@@Anonymous-w9v-i1p alaf mm nikajuwah anajirekodi mkanda kumjibu ex imam kumbe yeye anaomba msaada na kngne anata kuwapiga hela waisilamu kutak kufany MKUTANO MKUBWA wachange hela ila hawapige now utandawazi you tube anayo wapange siku yeye na ex imamu na mwaipopo wafanye mdahalo tuone kwl yeye ni msomi kuliko anajirekodi analalamika tu!!!! Kama hajiwez akae kimy tu
Hivi kwanini mtu akiamia kwenye ukristo anaonekana Quran haijui??nyie mkijikamatia kilaza mmoja na kumsilimisha mnashangilia nakumtunza fedha nakumtangaza kwenye mitandao na mkiisifu dini yenu.lakini mtu akiujua ukweli na kua mkristo mnatukana matusi ni kwanini??😂😂😂
Mwaipopo anachohitaji ni elimu waislamu walioelimika wanaposikia kitu kimeongewa na wakristo na kimesomwa Kwa vtabu vya waislamu wananyamaza kimya maana wanajua n kweli tena mwaipopo WA watu ameonyeshewa mpaka Kwa kiarabu ila kwakuwa hamjui kiarabu ana machungu Sana ,nabii Hamza uko wapi umuelimishe mwaipopo,ana machungu Sana kwakuwa walioacha uislam wote niliowaona ni wasomi maana MUNGU hashindwi
Watu wa mombasa wenyewe walikubali kweli alikuwa imam na walijitahidi kumrudisha kwenye uislam akagoma sasa wewe mjukuu wa mudi kutoka iponda manoni unabisha nini?🤣🤣
Maamuma Mwaipopo, mipango yote hiyo ni kutaka kubishia yaliyoandikwa kwenye vitabu vyenu? Je kusoma vitabu vyenu ndiyo kuukashifu na kuudhalilisha Uislamu?
Shkh hawezi kubatizwa kaa ukijua Wenzetu Siku hizi wanausoma Uislam Kisha anakuja mbele ya kamera na kudai kuwa ameokoka. Na wengine Kwa kuvaa kwao kofia na kanzu akirubiniwa kidogo na kama anaijua alhamdu basi utasikia shkh kaokoka. Mi na Elimu yangu ndogo huwezi kunibadili itakuwa shkh😂😂
Mwaipopo unasema haki haki unashindwa kueleza watu haki nini au tueleze Mungu katika umbaji wake nikipi hakina haki au hakina uharali mbeli yake umekazana hakihaki
uyu akuwa muislam maana Hana anachojua kabisa uyu ni mchungaji kabisa alafu akili Hana ata kidogo Yan MTU kama uyu ndio MTU anakua babaako Yan unakua na Baba chizi
Sikila unaesikia imamu hua kasoma dini. Wapo wengi tu hawajui kitu wamepewa uimamu kwa kua ule mji au pale pahala yy ni mzee wao au kasoma kidogo kulingana na wengine. Kuna maimamu wengi haya kijuzuu/ juzuu ya A’mma hajaihifadhi
Mwaipopo ilikuwa mkristo, uwe naangalau 😢 yahofu ya Mungu,acha uongo, ukristo haupo ili kupinga uislam kwasababu hata kuwepo haukuwepo, sisi tunahubili injili yesu kristo anaokoa, vikundi vyakidini haviadhiri kazi ya kuokoa watu, hivi vikundi vya wakina mwaipopo hapa tz vilianza mwaka 1980+,ila uislam ulikuwepo na ukristo ulikuwepo,kila dini ikiendesha shughuli zake kwamafanikio
Kasome Biblia ✍️ Matendo ya Mitume 11 : 25... Wapagani/Wasukuwa na Dini (Makafiri/Washirikina) wa Antokia ndo Wameanzisha/wametunga Imaan/Dini ya Ukristo laakin Mwana wa Maryam hakuwa Mkristo alikuwa Muislamu laakin baada ya Kuondoka Mwana wa Maryam Nyuma ndo lkaanzishwa Imaan/Dini ya Kikristo. ✍️Luka 1 : 1 Luka na Waandishi wenzake Wamejitungia na Kuandika ya Uwongo na Kufanywa eti ni Biblia-Maneno ya Yesu/Mungu wenu Wakristo. Hivi Kwanini hujiulizi/hamjiulize Biblia yote ni Maneno ya Waandishi (...Kalamu za Waandishi....). Yaani eti Waandishi (Luka, Methew, Yohana nk) Wamsemee Yesu/Mungu wenu Wakristo na Yesu/Mungu Mwenyewe alikuwa Wapi hata hao Waandishi ndo Wamsemee Yesu/Mungu wenu Wakristo na hao Waandishi Walipata Wapi Ridhaa ya Yesu/Mungu wenu Kuambiwa waandike/wanukulu Maneno ya MwenyeziMungu?!
Mathayo usiseme waislam wanajibu kwa matusi wakristo hawajibu kwa matusi wacha hizo awe mwislam au mkristo huwa wanajibu vibaya humu usihukum upande mmoja
Hacha mikwala we mwaipopo huyo alikuwa imam sio shekhe kama hao unaosema mashekh wanajipanga kwaajili yake huyo ishimaili Nuru ya kristo Yesu ilimzukia akaachana na Dini ya majini Kama sauli au Paulo alivyo angaziwa na Nuru ya Yesu kristo matendo 9;3-6
@ThabitBunga wewe sis wakristo hatutishiki na kiarabu hata kidogo ni lugha kama lugha zingine nyie waislamu ndo mnakitukuza kiarabu maana ni lugha ya Allah wenu huyo mungu asiyejua lugha nyingine
Maneno yao hayawezi kua na ukweli hata tone. Kwanza yeye mwenyewe kesha tanguliza kusema utawakuta watu wakisema hata kusoma lugha ya kiarabu hajui,na nikweli hajui lugha ya kiarabu. Pia na wewe kwa hili umeropoka
Maamuma Mwaipopo, Kila Mkristo atakayesoma vitabu vyenu na kuvionyesha kwenye You Tube utamwitishia mdahalo? 😂😂😂 Basi utakuwa na midahalo isiyokwisha maana Kwa sasa Wakristo tunasoma vitabu vyote vya kiarabu na tunagundua madhaifu yaliyofichwa kwa Lugha ya kiarabu
Hio midahalo yenyewe ipo sasa?😂 kila siku MKUTANO MKUBWA😂. Mtu mwenyewe ni muoga balaa...kwasabu anajua hana material kichwani. Mwambieni aitishe mdahalo wa one on one kama sule na Ndacha ...uone atakavoruka ruka 😂.
Hoja za kitoto, wataalamu wa Arabic wakubwa wasio kua waaislamu wanakiri kua hakuna kosa kwanzia kipindi hicho, asa ww kiswahili tu kina kupiga changa, hizo hoja ndg nadhani litakuja kujibiwa mwaipopo sio mtaalm wa haya mambo ya kilugha
Shalom, Shalom, NIMEGUNDUA HOJA YA MWALIMU ISMAEL NI YA MOTO KWELI KWELI KWA MASHEIKH!! Mwaipopo kaiona kaituma kwa Sheikh Kishki, Kishki naye anairudisha kwa wanafunzi wake 😂😂😂 nimeona Shafii hoja imemshinda akaituma Clip hiyo kwa Sheikh Diwan naye amejaribu kuipapasa imeshinda anaishia kusema tu wewe kafiri wewe kafiri 😂😂😂 Mwalimu Ismael MUNGU akubariki kwa kuwapa ukweli hallelujah!!
Njaa Mbaya Sana 😂😂😂 Juzuu ya Pili Ukurasa wa 320 Ni kitabu cha Nani ???🤣🤣🤣 Mwongozo wa WAISLAMU Ni QUR'ANI , na Uongozi wa UKRISTO NI BIBILIA Na Si Vibginevyo . Unachokifanya Ni Kufurahisha WAKRISTO Kwa Kejeli na Dharau Hakuna hata Cha Maana Ulicho Kisema Mara Uchawi 🤣🤣🤣 Hakika hawa wawili ni WACHAWI 🤣🤣🤣 Anza Mwanzo Wa Aya mpaka Mwisho wa Aya ,
Ma sheikh wakiritadi maranyingi ni djaa tu. Anajuwa ambayo naongea kuwa ni uhongo kwakuwa mtafasiri wa co'ani ni M/Muhamad pekeyake wangine ni kunukuu tu Aisha hawezi ku tafasiri co'ani.
Wacha kujidanganya hata wewe ukiusoma sana uislamu ukauelewa ukweli wote bila kukaririshwa utaretad tu, ukiona wewe ni muislam basi jua hujasoma quran na hadith kwa undani zaidi, na ndio maana mkiambiwa mliyofichwa kuhusu uislam mnasema ni chuki au mnatukaniwa dini yenu, hakuna pesa wanapewa sema hiyo ni namna ya kujitetea tu 😂, mfatilie huyo Murtad mambo anayoweka wazi tena kwa kusoma vitabu vyenu wazi kabisa bila kufichaficha ila mnamsema ni muongo na wakti anasoma live, hakuna sheikh ataretad halafu arudi huko never, na ndio maana waislamu wengi wanaoretad ni wale wanaoijua quran, uvivu wenu wa kusoma ndio unawafnya muone uislamu unachukiwa, halafu wakristo wanaoslimu ndio kama hao kina mwaipopo wameslimu tokea miaka 20 na zaidi na hajui kiarabu 😂, halafu anakwambia alikuwa mchungaji 😂
@mobutu3884 nimependa sana kuwa wewe miongoni mwa wakristu unaongeya kwa ustarabu kweli kweli. Haya nimekuhelewa sana hoja Yako lakini kulingana na utarabibu wakislam mtu akijulikana kama sheikh lazima awe amesoma dini pili aonyeshe cheti chake ambacho amehitim katika chuo gani. Chakushangaza nimefatilia sana ambao wanajiita ma sheikh wameritadi hawaonyeshi vyeti vyao na vyio ambavyo wame somea huko .Acha nikwambiye kuhusu Gu'ani huwezi kuhitafsiri kama haukuhenda chuo kikuu cha kislam . Kwahiyo ni Propaganda zinazo endelea tu. Kwamfano wayahudi katika Imani Yao wanasema Sisi wa Africa siwatu Bali niminyama binadam ni wenyewe tu wayahudi tena nyinyi wa kristu hamkemeyi ilo kazi yenu nikupambana na qu'uran tu.
Tatizo wakirst mkishakula kitiomot na pome mnakua hamna akili hat kidg wewe hujui bwag wewe ushaa zeka inatakiwa utubu maana muda wako umeisha huna muda utakufa halafu wewe dio mjig bwag weeee
muongo huyu wala hana usheikh.ila kasoma kiarabu,kwa hajui maana ya maamuma,mmamuma ni mtu anaemfuata imamu,je ni kweli waliopo nyuma hawajui? kuna watu nyuma ya imamu wana ilmu kuliko imamu.
Mwaipopo unavyoweka video za huyu jamaa ujue kabisa kuna waislamu wataretad shauri yako 😂, maana huwa anaweka wazi mambo ambayo hamtaki yajulikane ila mnasema ni muongo na wakati anasoma vitabu live, mkiulizwa uongo ni upi hapo mnakimbia 😂
@shabbymakapane hata wenzio walisema hajawahi kuwa muislam ila masheikh wenyewe wa Kenya hawajawahi pinga na alielezea mpaka msikiti aliokuwepo na hakuna aliepinga😂 halafu kuna wewe eti unakuja kupinga, unadhani ni wale wakristo wanaowadanganya walikuwa walikuwa wachungaji halafu ukifatilia kumbe waongo mfano mwaipopo 🤣tushawajua tutasoma sana hadith msizosoma mpaka kieleweke 😂
Hakuna sheikh duniani asiyeweza kutamka matamshi ya Lugha ya Quran,,na Quran ndio kitabu kitachotujaji siku ya mwisho ...huyu anatueleza habari za maswahaba sisi tunafuata maneno ya mtume ambaye ambayo yapo ndani ya Quran sio maneno ya Maswahaba
Hapa Nataka kuwajibu , (1) @prochesernest (2) @mobutu Sababu Nikiwajibu kwenye Comment zenu , Mna Block Comment zangu, 🤣🤣🤣 QUR'ANI 46:2 Uteremsho wa Kitabu ( hiki ) Umetoka kwa Mwenyezi MUNGU , Mwenye Nguvu (na) Mwenye Hikima,🤲 QUR'ANI 55:1-2 ( Mwenyezi MUNGU ) Mwingi wa Rehma 2. Amefundisha QUR'ANI ,🤲
SHUKRAN SHEKHE ALLAH AKULIPE NAKUOENDA SANA KWAAJILI UA ALLAH.TUTACHANGIA TUNACHOWEZA INSHALLAH
Mashaaallah ,Tunaombea maandalizi yaliyo mema na mjadala ufanyioe Kwa amani.
Ready to support sheikh mwaipopo, from uganda
IS HE READY HIMSELF TO DIALOGUE? DOES HE HAVE THE ABILITY TO DIALOGUE?
Mashaallah sheikh mwaipopo mungu atakulipa Kila la kheri
Ni kweli mashekhe wanaradiana tu wapuuzi
Anatowa andiko kwenye adisi kisha anasema ni Quani jinga kabisa
KAFUATILIE TENA
Uyu hajielewi
Wenzake wanaomba mwisho mwema na kumaliza uzee wao salama.Yeye anajiandalia moto mpaka nuru usoni imemtoka
Ubalikiwe shekhe watu
Ww bwana unajichanganya sana hujuwi dini yakisilamu unasema dini siyo kuswali je dini nikirabu kiswali ninjia
Mwaipopo unajua kbs kuw uislam n din ya majin ni swa na waganga
Uislam ni dini Ya Allah na waislam ni viumbe vyote ila vitakavyoingia peponi ni binadam na majini ambao wataukubali uislam na kufuata yt aloamrisha Allah na kuacha alowakataza
Mbona ukristo ni dini ya mashoga papa umkatae
@@Nywesha😂😂😂
@@Nyweshaalie kwambia ukristo ni wa papa nani? 😢😢
Bwana mwaipopo unashangaza sana kwanza uliweka mdaharo na sure wakisomi mmeshindwa sana sasa unaaza mdaharo wawatalaam hoja huna bwana
Huyu aliogopa kusoma uislamu,ana kichwa kizito,kakimbilia kwa ukristo,huko hata ukiritadi leo,bora una sauti ya chura na unaweza kusoma kiswahili na kiingereza na kuzungumza mbele ya watu,unapewa uchungaji,tena mchungaji wa jimbo.na maokoto yapo,ndicho kilimvutia,mpumbavu kweli.
Uyu mchungaji yupo vizur kwenye maandiko na anaoja lakini walivyo waasilam awatajibu kwa oja zaidi ya matusi
Hana hoja yoyote zaidi ya kusema uongo huku akipindisha ukweli. Hicho kiarabu chenyewe hajui hata kukisoma, hiyo Qur'an yenyewe haifahamu.
@@rayisadesigns2646point sio kujua kutamka kiarabu point je uongo hapo ni upi?😂ndio maana anawauliza huo uongo wake ni upi mbona hamumjibu 😂, nyie uislamu hamuujui sababu hamsomi mkaelewa bali mnakariri, mtu anasoma vitabu mnakataa😂 someni acheni uvivu huo ndio uislam, hata wewe soma sana uone kama hutaretad
Eti shekhe.!!!@ hahahahhaa
@@rayisadesigns2646 Ndio maana huwa tunauliza huo uongo ni upi? 😂 kwa nini mnavikwepa vitabu vyenu? Twambie alichodanganya hapo ni kipi ili na sisi wasikilizaji tukupe na ushahidi mwingine maana mnatuona kama vilaza kisa kiarabu, uislamu umefichwa kwenye kiarabu hivyo mtu akiongea kitu hata kama ni kweli mnalazimisha kuwa ni uongo 😀 jueni kuwa watu wanafatilia kuliko hata nyie mnaokariri, watu wanatafuta ukweli sio kama nyie mlishamezeshwa kuwa ni hivi wakati sio hivyo.
@@rayisadesigns2646 Haya tusomee wewe hicho kitabu alichosoma tusikie kiarabu chako😅😅😅
Damu ya yesu iwe juu yk
Ndugu zangu waislamu tupeleke watoto wetu Madrasa ili wapate kujua ukweli na dini ya haki na ukweli mbele ya Mwenyezi Mungu,..ili waepukane na mabaya ya huu Ulimwengu,..huyu hajawai kua sheikh anaongea kwa hasira na kutamka matamshi ya Quran pasipo sahihi ila Mwenyezi Mungu ndio mlipaji atalipa kwa lile alilokusudia
Alikuwa imam. Nina mkanda wahadhiri wa kiislam walikuwa wanasema alikuwa imam. Wewe mishipa ya shingo imekusimama eti hakuwa imamu.
Kwani kua imam ndio nn? Wengi wa maimamu hawajasoma dini. Hata juzuu ya A’mma hawajaihifadhi.
Mda mwengine mtu hujipachika au hupachikwa uimamu kwa mujibu wa pale anapoishi, mfano pana wajinga watupu na yy ndio afadhali wao. Au mda mwengine kwa utu uzima wake/ heshima.
Nimegundua mwaipopo kichwani hamna kitu, maelezo meeengi hujajibu hoja hata moja.
Kilaza huyo. Maneno mengi akili kisoda..
Kama hana kitu jaribu kufanya nae mdahalo tuone Kama utamshinda
@@hajimasoud7210 haniwezi hata kidogo. We hapa umeona kaongea nini cha maana? Kichwani empty huyu mzee
@@hajimasoud7210 Mimi nipo Arusha mwambie nifanye mjadala nae mjadala wa live.., mtu vifungu vya biblia kashika viwili aje anizidi mimi?😂..labda niwe mgonjwa. Huyo biblia haijui...na huo ndo ukweli. Muulize tu hata swali dogo kma mwanafunzi wa Yesu aliyem'replace Yuda aliitwa nani? Kama hatakimbilia google😂. Hamna kitu hapo...si hta kwen midahalo tunaona maswali anayouliza na hoja anazojenga! Maswali ya kitoto mno...mpk unajiuliza huyu jamaa mzima kweli?..masheikh kama kina Shafi na Kinyogori wanajitahidi kujenga hoja yenye kueleweka japo zinajibika..lakini mwaipopo😂 hamna kitu..hyo jamaa hata mtoto wa mafundisho anamtoa jasho.
Sheikh povu mwaipopo anaomba sapoti kwa wasomi wa kiisilamu😮😮 anajijuwau yeye elimu hakuna mzee wa MKUTANO MKUBWA
Ukitaka kujua jamaa elimu hana😂..mara ngapi umemuona kasimama kwenye mhadhara kama kina kinyogori na Shafi?..mwambie aweke mdahalo wa one on one na ndacha kama dr.Sule anavofanya uone atakavoruka ruka😂...maneno meeengi..,elimu hakuna🤷♂️😂...bogus sana hii jombaa.
@@Anonymous-w9v-i1p alaf mm nikajuwah anajirekodi mkanda kumjibu ex imam kumbe yeye anaomba msaada na kngne anata kuwapiga hela waisilamu kutak kufany MKUTANO MKUBWA wachange hela ila hawapige now utandawazi you tube anayo wapange siku yeye na ex imamu na mwaipopo wafanye mdahalo tuone kwl yeye ni msomi kuliko anajirekodi analalamika tu!!!! Kama hajiwez akae kimy tu
Mpaka huku Mna Futa Comment za Ushahidi wa Maandiko duh 😀😀😀
Hebu tafadhali kajifunze tena lugha ya Kiarabu ..maana huna ujualo Wallahi mungu akusamehe ww umepotea regea kwa dini ya haki ..na mjinga ni wewe
Hivi kwanini mtu akiamia kwenye ukristo anaonekana Quran haijui??nyie mkijikamatia kilaza mmoja na kumsilimisha mnashangilia nakumtunza fedha nakumtangaza kwenye mitandao na mkiisifu dini yenu.lakini mtu akiujua ukweli na kua mkristo mnatukana matusi ni kwanini??😂😂😂
Mwaipopo ni mmoja wa Sheikh povu
Katika siku umefanya kazi kubwa Mwaipopo ni leo
1 قَالُوٓاْ إِنۡ هَٰذَٰنِ لَسَٰحِرَٰنِ يُرِيدَانِ أَن يُخۡرِجَاكُم مِّنۡ أَرۡضِكُم بِسِحۡرِهِمَا وَيَذۡهَبَا بِطَرِيقَتِكُمُ ٱلۡمُثۡلَىٰ
2 لَّـٰكِنِ ٱلرَّـٰسِخُونَ فِي ٱلۡعِلۡمِ مِنۡهُمۡ وَٱلۡمُؤۡمِنُونَ يُؤۡمِنُونَ بِمَآ أُنزِلَ إِلَيۡكَ وَمَآ أُنزِلَ مِن قَبۡلِكَۚ وَٱلۡمُقِيمِينَ ٱلصَّلَوٰةَۚ وَٱلۡمُؤۡتُونَ ٱلزَّكَوٰةَ وَٱلۡمُؤۡمِنُونَ بِٱللَّهِ وَٱلۡيَوۡمِ ٱلۡأٓخِرِ أُوْلَـٰٓئِكَ سَنُؤۡتِيهِمۡ أَجۡرًا عَظِيا3
Mwaipopo anachohitaji ni elimu waislamu walioelimika wanaposikia kitu kimeongewa na wakristo na kimesomwa Kwa vtabu vya waislamu wananyamaza kimya maana wanajua n kweli tena mwaipopo WA watu ameonyeshewa mpaka Kwa kiarabu ila kwakuwa hamjui kiarabu ana machungu Sana ,nabii Hamza uko wapi umuelimishe mwaipopo,ana machungu Sana kwakuwa walioacha uislam wote niliowaona ni wasomi maana MUNGU hashindwi
Ww ujuwi bwana ndacha anawa vuruga wote munaitana wote namtu Moja kutoka kenya elimu hakuna mwaipopo
Mwaipopo unateseka sana huyoimamu aliyebatizwa atasababisha uchanike nyama ya yako kudadeki chezea yesu we
Huyu alikua hanaushehe wowote mchungajitu huyo.mnaangaika nae mnge muacha afe vibaya. Jahili huyo anaataanachokijua alifatauislam iliapate kuwaibia vizuri makafiliwenzie
Watu wa mombasa wenyewe walikubali kweli alikuwa imam na walijitahidi kumrudisha kwenye uislam akagoma sasa wewe mjukuu wa mudi kutoka iponda manoni unabisha nini?🤣🤣
@richardsalala9147 Allah subuhana uwataala umuongoa amtakae. Kwahiyo huyo alikua siyo.katika ss. Waislam. asipotubu moto unamgoja kwani yy nani asichomwe
Maamuma Mwaipopo, mipango yote hiyo ni kutaka kubishia yaliyoandikwa kwenye vitabu vyenu? Je kusoma vitabu vyenu ndiyo kuukashifu na kuudhalilisha Uislamu?
Mwaipopi acha kerere na kujifanya wajua sana dini kuliko mashehe wenzio.
Umeingia juzi tu wenzio wakongwe wametulia acha kihere here.😂😂
Shkh hawezi kubatizwa kaa ukijua
Wenzetu Siku hizi wanausoma Uislam Kisha anakuja mbele ya kamera na kudai kuwa ameokoka.
Na wengine Kwa kuvaa kwao kofia na kanzu akirubiniwa kidogo na kama anaijua alhamdu basi utasikia shkh kaokoka.
Mi na Elimu yangu ndogo huwezi kunibadili itakuwa shkh😂😂
Wewe sheikh wama Pepo, Una elimu ata kumjibu Ex imam,
Mwaipopo unasema haki haki unashindwa kueleza watu haki nini au tueleze Mungu katika umbaji wake nikipi hakina haki au hakina uharali mbeli yake umekazana hakihaki
KINAchonishangaza kuhusu wakristo wakiwa kweny semina zao wanazungumzia uisilam ila wakiingia kmwey mdaharo hawajahi kupata ushindi
Ushindi upi, fikra za kujidanganya😅
Huyu chizi nyie waislamu msimsikilize aliwai dumbukiza mkono kwenye kapu la sadaka kanisan ndio akafukuzwa nakuamua kusilimu😂😂😂😂
Huyo shehe aliyebatizwa. Ametishwa na majini akamua kuyakimbia
Huna sura ya kiislam
Unasoma qurian vbay iyo 2.63 haisomw hvyo kaka waswabihuuna kaka😂😂
uyu akuwa muislam maana Hana anachojua kabisa uyu ni mchungaji kabisa alafu akili Hana ata kidogo Yan MTU kama uyu ndio MTU anakua babaako Yan unakua na Baba chizi
Ila alikuwa imam huyo...kaka😅.
Sikila unaesikia imamu hua kasoma dini. Wapo wengi tu hawajui kitu wamepewa uimamu kwa kua ule mji au pale pahala yy ni mzee wao au kasoma kidogo kulingana na wengine. Kuna maimamu wengi haya kijuzuu/ juzuu ya A’mma hajaihifadhi
Mwaipopo ilikuwa mkristo, uwe naangalau 😢 yahofu ya Mungu,acha uongo, ukristo haupo ili kupinga uislam kwasababu hata kuwepo haukuwepo, sisi tunahubili injili yesu kristo anaokoa, vikundi vyakidini haviadhiri kazi ya kuokoa watu, hivi vikundi vya wakina mwaipopo hapa tz vilianza mwaka 1980+,ila uislam ulikuwepo na ukristo ulikuwepo,kila dini ikiendesha shughuli zake kwamafanikio
Kasome Biblia
✍️ Matendo ya Mitume 11 : 25...
Wapagani/Wasukuwa na Dini (Makafiri/Washirikina) wa Antokia ndo Wameanzisha/wametunga Imaan/Dini ya Ukristo laakin Mwana wa Maryam hakuwa Mkristo alikuwa Muislamu laakin baada ya Kuondoka Mwana wa Maryam Nyuma ndo lkaanzishwa Imaan/Dini ya Kikristo.
✍️Luka 1 : 1
Luka na Waandishi wenzake Wamejitungia na Kuandika ya Uwongo na Kufanywa eti ni Biblia-Maneno ya Yesu/Mungu wenu Wakristo.
Hivi Kwanini hujiulizi/hamjiulize Biblia yote ni Maneno ya Waandishi (...Kalamu za Waandishi....).
Yaani eti Waandishi (Luka, Methew, Yohana nk) Wamsemee Yesu/Mungu wenu Wakristo na Yesu/Mungu Mwenyewe alikuwa Wapi hata hao Waandishi ndo Wamsemee Yesu/Mungu wenu Wakristo na hao Waandishi Walipata Wapi Ridhaa ya Yesu/Mungu wenu Kuambiwa waandike/wanukulu Maneno ya MwenyeziMungu?!
Astaghfirullah, hanakimoja
unavosoma kama ukochoon hamna unachokijua nikafili kama makafili wengine ww hujui chochote achakuwadanganya waklisto unataka wakupatie pesa
Huyu ndo alikuwa shekh anasura ya kula nguruwe kabisa huyu....🤣
Mathayo usiseme waislam wanajibu kwa matusi wakristo hawajibu kwa matusi wacha hizo awe mwislam au mkristo huwa wanajibu vibaya humu usihukum upande mmoja
Aliwkwambia ukiristo siyo ya haki nani
Hacha mikwala we mwaipopo huyo alikuwa imam sio shekhe kama hao unaosema mashekh wanajipanga kwaajili yake huyo ishimaili Nuru ya kristo Yesu ilimzukia akaachana na Dini ya majini Kama sauli au Paulo alivyo angaziwa na Nuru ya Yesu kristo matendo 9;3-6
😂 mtu akiweza kuongea kiarabu basi akija kwenye ukristo basi wanaona jambo kubwa😂 sanaa
@ThabitBunga wewe sis wakristo hatutishiki na kiarabu hata kidogo ni lugha kama lugha zingine nyie waislamu ndo mnakitukuza kiarabu maana ni lugha ya Allah wenu huyo mungu asiyejua lugha nyingine
MATENDO 9:3-6 Hata Alipokuwa Akisafiri . Ikawa Anakaribia DAMESKI ; Ghafla Ikamwangaza Kotekote Nuru kutoka Mbimbuni . 4 Akaanguka Chini Akasikia Sauti Ikimwambia , SAULI , SAULI , Mbona Unaniudhi ? .5-6 - (7) Na Wale Watu Waliosafiri Pamoja Naye Wakasimamama kimya, WAKIISIKIA SAUTI , WASIONE MTU. 😀😀😀 picha Linaanza. MATENDO 22:6-9 Ikawa Alipokuwa Nilipokuwa Nikisafiri , Nikikaribia DAMESKI , Wakati wa Adhuhuri , Ghafla Nuru kuu ili toka Mbinguni , Ikanimulikia pande zote. 7 Nikaanguka Nchi , Nikasikia Sauti Ikiniambia , SAULI , SAULI , Mbona Unaniudhi ? 8 Nikajibu, Wewe U Nani, BWANA ? Akaniambia , Mimi ni YESU Mnazareti , Ambaye wewe Unaniudhi , 9 Na WALE WALIOKUWA PAMOJA NAMI WALIIONA ILE NURU , LAKINI HAWAKUSIKIA SAUTI , 🙆♂️🙆♂️🙆♂️ Mh ??? 😂😂😂 @prochesernest Swali Langu kwako MATENDO 9:7na 22:9 Tufuate kauli ipi ??? Maana huku tunaambiwa Waliokuwa Pamoja na SAULI, Waliisikia Sauti Wasione Mtu, na MATENDO 22:9 Wakiokua Pamoja na Sauli . WALIIONA ILE NURU , LAKINI HAWAKUISIKIA ILE SAUTI YA YULE ALIYESEMA NA SAULI,🤣🤣🤣😜😜😜 tufuate Lipi hapo ???🤣🤣🤣 Mkiambiwa BIBILIA Kitabu cha WAHUNI Mnapinga 😄😄😄
MATENDO 9:7 na MATENDO 22:9 Tufuate MANENO Yepi ???
@shabbymakapane quruan 19:19 na 3:42 malaika akasema au malaika waliposema hapo ni Mmoja au wengi tuchukue hipi?
Sasa Hivi kiarabu siyo ishu unakipeleka tu Kwa akili mnemba unapata tafsiri zote😅😅😅😅
Maneno yao hayawezi kua na ukweli hata tone. Kwanza yeye mwenyewe kesha tanguliza kusema utawakuta watu wakisema hata kusoma lugha ya kiarabu hajui,na nikweli hajui lugha ya kiarabu. Pia na wewe kwa hili umeropoka
Mwaipopo wacha nikwambia huyu mbwana kwa elimu aliyo nayo humfikii hta robo.ww ni njaa tu si umwambie sule akupe angaa jini mija😂😂😂😂
Hili lizee lilivyo tako balaa linatoa hadithi dhaifu kupinga QUR'AN mzee wallah unapoteza muda wako Allah akuteketeze nguruwe wewe
Mwaipopo wayajua hayo yanayosomwa hapo? au umekariri Bismillah TU.
Kwani kua imamu ndio kuijua dini? Mbona mitaani tuna maimamu tele ambao hata juzuu ya A’mma kuisoma mashaka sikwambii kuihifadhi.
Kwa cc tunajua lugha tunajua hata kisomo chako hakijatengemaa
Wacha ukwl usemwe tu😮😮😮
Kusoma tu kiarabu kwakuchenga
Maamuma Mwaipopo, Kila Mkristo atakayesoma vitabu vyenu na kuvionyesha kwenye You Tube utamwitishia mdahalo? 😂😂😂 Basi utakuwa na midahalo isiyokwisha maana Kwa sasa Wakristo tunasoma vitabu vyote vya kiarabu na tunagundua madhaifu yaliyofichwa kwa Lugha ya kiarabu
Hio midahalo yenyewe ipo sasa?😂 kila siku MKUTANO MKUBWA😂. Mtu mwenyewe ni muoga balaa...kwasabu anajua hana material kichwani. Mwambieni aitishe mdahalo wa one on one kama sule na Ndacha ...uone atakavoruka ruka 😂.
@@Anonymous-w9v-i1p😂😂😂😂😂😂😂 kweli bhana ndiyo zake😂😂😂😂
Naona huyu baba anazungukazunguka tu.Sioni cha mana
Tafuta pesa pole pole utadhalilika uislamu sio kma ukristo huku kuna wasomi
Hoja za kitoto, wataalamu wa Arabic wakubwa wasio kua waaislamu wanakiri kua hakuna kosa kwanzia kipindi hicho, asa ww kiswahili tu kina kupiga changa, hizo hoja ndg nadhani litakuja kujibiwa mwaipopo sio mtaalm wa haya mambo ya kilugha
Shalom, Shalom, NIMEGUNDUA HOJA YA MWALIMU ISMAEL NI YA MOTO KWELI KWELI KWA MASHEIKH!! Mwaipopo kaiona kaituma kwa Sheikh Kishki, Kishki naye anairudisha kwa wanafunzi wake 😂😂😂 nimeona Shafii hoja imemshinda akaituma Clip hiyo kwa Sheikh Diwan naye amejaribu kuipapasa imeshinda anaishia kusema tu wewe kafiri wewe kafiri 😂😂😂 Mwalimu Ismael MUNGU akubariki kwa kuwapa ukweli hallelujah!!
Kwani Sheikh Kishki ni Mkristo/Haramu Kuutetea Uislamu?
@@alhadajjmohammedsmith9042 Anatakiwa Mwenyewe atetee hoja siyo kutuma wanafunzi wake
Pipa na Mfuniko. Waachieni wenyewe mila zao. Mnapewa viini macho kuhangaika navyo, hamuamki????
Ufahamu wako umeishia hapo.ulisikia wapi Aisha ni mjuzi wa Qur an.?HIKI NI KITABU KISICHO NA SHAKA NDANI YAKE......
Huyo ajui chochote hizo nihadithi dhaifu Wala so Qurani naatakimbia kwakua hajui chochote anacho kiongea
Mganga mwaipopo
Huyu anatafsiriwa na Google hata hicho Kiarabu matatizo tupu
Ilijamaa ni jahilia subiri ukaingie mkononi kwa muungu hapo ndo utajuwa
Huyo anadhani amevumbua kitu ca ajabu,wanadhuono washajibu hayon acakujivuruga tu ,hiyo ni akhruf sab'a n'a binrwa wa hiyo fani ni imam Al jazari
Yaan umamwita muhamadi n mtume kw kp yesu ndo Simba wayuda mpokeen waislam
sisi waislanu tumempokea ndio maana tukiswali tunaelekea Kibla ndiko aliko Sasa la ajabu nyinyi wakiristo munampa migongo munamkataa
Njaa Mbaya Sana 😂😂😂 Juzuu ya Pili Ukurasa wa 320 Ni kitabu cha Nani ???🤣🤣🤣 Mwongozo wa WAISLAMU Ni QUR'ANI , na Uongozi wa UKRISTO NI BIBILIA Na Si Vibginevyo . Unachokifanya Ni Kufurahisha WAKRISTO Kwa Kejeli na Dharau Hakuna hata Cha Maana Ulicho Kisema Mara Uchawi 🤣🤣🤣 Hakika hawa wawili ni WACHAWI 🤣🤣🤣 Anza Mwanzo Wa Aya mpaka Mwisho wa Aya ,
Mwaipopo ni mkiristo aliyesiimu wakati Ismaili ni muisilamu aliyeritadi. Kati ya wawili hao nani anayeujua uisilamu vizuri na kwa undani zaidi?😂
Kuna muisilam na muumin jua kuwatofautisha.
Yaan wote awa jopo la mashee lazma watafeli maana mchungaji yupo vizur
Ilijamaa ni jahilia subiri ukaingie mkononi kwa muungu hapo ndo utajuwa hunausheh wewe shehuna rabda
HUYU NDIYE ANAYEDAI KUJUA QUR,ANI!!
Ma sheikh wakiritadi maranyingi ni djaa tu. Anajuwa ambayo naongea kuwa ni uhongo kwakuwa mtafasiri wa co'ani ni M/Muhamad pekeyake wangine ni kunukuu tu Aisha hawezi ku tafasiri co'ani.
Wacha kujidanganya hata wewe ukiusoma sana uislamu ukauelewa ukweli wote bila kukaririshwa utaretad tu, ukiona wewe ni muislam basi jua hujasoma quran na hadith kwa undani zaidi, na ndio maana mkiambiwa mliyofichwa kuhusu uislam mnasema ni chuki au mnatukaniwa dini yenu, hakuna pesa wanapewa sema hiyo ni namna ya kujitetea tu 😂, mfatilie huyo Murtad mambo anayoweka wazi tena kwa kusoma vitabu vyenu wazi kabisa bila kufichaficha ila mnamsema ni muongo na wakti anasoma live, hakuna sheikh ataretad halafu arudi huko never, na ndio maana waislamu wengi wanaoretad ni wale wanaoijua quran, uvivu wenu wa kusoma ndio unawafnya muone uislamu unachukiwa, halafu wakristo wanaoslimu ndio kama hao kina mwaipopo wameslimu tokea miaka 20 na zaidi na hajui kiarabu 😂, halafu anakwambia alikuwa mchungaji 😂
@mobutu3884 nimependa sana kuwa wewe miongoni mwa wakristu unaongeya kwa ustarabu kweli kweli. Haya nimekuhelewa sana hoja Yako lakini kulingana na utarabibu wakislam mtu akijulikana kama sheikh lazima awe amesoma dini pili aonyeshe cheti chake ambacho amehitim katika chuo gani. Chakushangaza nimefatilia sana ambao wanajiita ma sheikh wameritadi hawaonyeshi vyeti vyao na vyio ambavyo wame somea huko .Acha nikwambiye kuhusu Gu'ani huwezi kuhitafsiri kama haukuhenda chuo kikuu cha kislam . Kwahiyo ni Propaganda zinazo endelea tu. Kwamfano wayahudi katika Imani Yao wanasema Sisi wa Africa siwatu Bali niminyama binadam ni wenyewe tu wayahudi tena nyinyi wa kristu hamkemeyi ilo kazi yenu nikupambana na qu'uran tu.
Mwapopo sura bakara Nini? Na Je kwanini waislamu mko Na wasisi Na Qarani kusomwa? Na mwapopo Kati mwamposa Na Mohammed ni nani anayefanya mwijisa?
Uza dawa na mafuta dini hujui wewe🇮🇱🇮🇱
Tatizo wakirst mkishakula kitiomot na pome mnakua hamna akili hat kidg wewe hujui bwag wewe ushaa zeka inatakiwa utubu maana muda wako umeisha huna muda utakufa halafu wewe dio mjig bwag weeee
Wewe unayo iyo akili ananukuu kur an wewe jiangalie unayo
muongo huyu wala hana usheikh.ila kasoma kiarabu,kwa hajui maana ya maamuma,mmamuma ni mtu anaemfuata imamu,je ni kweli waliopo nyuma hawajui? kuna watu nyuma ya imamu wana ilmu kuliko imamu.
Huyu. Muchungaji. Mjinga. Sana. Hajui. Kiarabu. Anapotamka. Kiarabu. Ankikoseya. Sana. Huyu. Ni. Mpumbavu
Mwaipopo unavyoweka video za huyu jamaa ujue kabisa kuna waislamu wataretad shauri yako 😂, maana huwa anaweka wazi mambo ambayo hamtaki yajulikane ila mnasema ni muongo na wakati anasoma vitabu live, mkiulizwa uongo ni upi hapo mnakimbia 😂
Hakuna Kitu kama hicho kwanza huyo Hajawahi kuwa MUISLAMU
@shabbymakapane hata wenzio walisema hajawahi kuwa muislam ila masheikh wenyewe wa Kenya hawajawahi pinga na alielezea mpaka msikiti aliokuwepo na hakuna aliepinga😂 halafu kuna wewe eti unakuja kupinga, unadhani ni wale wakristo wanaowadanganya walikuwa walikuwa wachungaji halafu ukifatilia kumbe waongo mfano mwaipopo 🤣tushawajua tutasoma sana hadith msizosoma mpaka kieleweke 😂
@@mobutu3884 Hebu Soma hiyo QURANI 20:63 Inasema kama Anavyosema ???🤣🤣🤣
Hakuna sheikh duniani asiyeweza kutamka matamshi ya Lugha ya Quran,,na Quran ndio kitabu kitachotujaji siku ya mwisho ...huyu anatueleza habari za maswahaba sisi tunafuata maneno ya mtume ambaye ambayo yapo ndani ya Quran sio maneno ya Maswahaba
@@burukinyebo6294 leo hii hadith ni maneno ya maswahaba 😂 endeleeni kudanganyana wenyewe sio sisi, sasa hivi hamdanganyi mtu
Acha upuuzi wewe
Ya njombe umepiga saa ngapi 🤣🤣🇮🇱🇮🇱?
Hapa Nataka kuwajibu , (1) @prochesernest (2) @mobutu Sababu Nikiwajibu kwenye Comment zenu , Mna Block Comment zangu, 🤣🤣🤣 QUR'ANI 46:2 Uteremsho wa Kitabu ( hiki ) Umetoka kwa Mwenyezi MUNGU , Mwenye Nguvu (na) Mwenye Hikima,🤲 QUR'ANI 55:1-2 ( Mwenyezi MUNGU ) Mwingi wa Rehma 2. Amefundisha QUR'ANI ,🤲
Mwaipopo ni mmoja wa Sheikh povu
Wewenani