Masha Allah. Ushauri wangu kwako hakikisha mdahalo huu mnawatumia watu ambao wame takhasus katika علوم القرآن والحديث na wawe wazuri katika lugha ya kiarabu... But kusema wanafunzi wa sheikh kishki hapana kaka yangu... Hawa watu ni wajanja sana katika kuupotosha Umma hivo tumieni watu walio bobea katika fani hio nilokutajia
Yeseme hayo hadharani halafu kama wanafunzi basi tutajadili nao sisi wanafunzi wa Ismail. Kumbe hata Mazinge kama sisi tu. Basi tukutane kwenye huo mjadala na sisi wanafunzi tupo tayari. Ila Sheikhy wetu hayupo tayari kujadiri na wanafunzi . Tunataka masheikhy ❤
@@aproniamasatu5810 mwalimu...sheikh mwaipopo hawezi kubali hana elimu huyo😂 kazi yake kuropoka ila ujasiri wa kusimama kutoa hoja walau kama kina sheikh kinyogori hawezi. Mwaipopo ni Muongo na Mjinga wa elimu ya dini.
Nyie Waislamu Wakristo wa Sasa tumeamua kusoma Qur'an na vitabu vyote vya Kiislamu kalieni umaamuma na kubishia vitabu vyenu vinapisomwa !! Someni vitabu vyenu punguzeni uvivu na umaamuma
Hata msome vipi hamuwezi kuthibitisha makosa ndani ya Qurani,walishindwa makafiri wakubwa kabla yanu makafiri wa sasa,Tena hao walikua wanakijua kiarabu kuliko nyie
Na huyo Ismaili Laanatullahi alaihi hana lolote mie nishamfuatilia sana eti anajiita ex-Imam. Hao maamuma wake nadhani walikuwa mambumbumbu hawajui chochote kama yeye ndo maana wakamfuata lkn nimesikia kuwa ni muongo kafuata pesa tu. Nishamsikia sana anatutukania mtume wetu S.A.W. uS.a.wLaanatullahi
@@maymunamakungu6265kutetea dini na vitabu vyenu ni hobby? Yeye SI Sheikh msomi Anatakiwa aje Mwenyewe kiwatuma wanafunzi hiyo ni dharau Kwa Mwalimu Ishmael
Kran sio inamakosa haina kweli hata moja kwanini inasura majo tu ya mariam nyingine zote ni wanyama na majini na mti? Narudia bila kupepesa mganga wangu mwaipopo uisilam niuongo sana, kran imekopi asilimia mia kwanye bibilia sasa oji ni bibilia tu.
Wewe ndio muongo namba moja, mbona wewe unasema biblia ni uongo, lakini wenzako wakisema unakasirika, wewe ukifa kabla hujarudi kwa Yesu utakwenda motoni
Aaamna sheikh iyo ni hasira na chuki kuona ma paster wote wako wanaukana ukristu roho zinawauma sa wanakosa llakusema wanakuwa wanaleta hoja za uongo yani wanasema uongo mpaka wanapitiriza mpaka na nyuso Zao zinaonekana kama wamesema uongo.kutaka kuuchafua uislam uonekane nidini ya uongo.
Allahumma amyn yaaraby,Allah atufishe waislamu wote katika kalima ya laailaha illa Allah Muhammad rasoul Allah
Masha Allah. Ushauri wangu kwako hakikisha mdahalo huu mnawatumia watu ambao wame takhasus katika علوم القرآن والحديث na wawe wazuri katika lugha ya kiarabu... But kusema wanafunzi wa sheikh kishki hapana kaka yangu... Hawa watu ni wajanja sana katika kuupotosha Umma hivo tumieni watu walio bobea katika fani hio nilokutajia
Yeseme hayo hadharani halafu kama wanafunzi basi tutajadili nao sisi wanafunzi wa Ismail. Kumbe hata Mazinge kama sisi tu. Basi tukutane kwenye huo mjadala na sisi wanafunzi tupo tayari. Ila Sheikhy wetu hayupo tayari kujadiri na wanafunzi . Tunataka masheikhy ❤
Amin yarabi laala miiin
Aamiin
Mashallah shekh mwaipopo
Allahuma Amin
Allah huma ameen kwa ste Allah akuhifadhi sheikh wg Mwaipopo Allah akulinde na shari za wanadamu na majini hjakosea sheikh wg Mwaipopo unaongea ukweli
In sha Allah nitatoa mchangowangu wa mdahalo
ANDAA MDAHALO.( QURAN VS BIBLE KIPI KITABU CHA MUNGU)
Mwaipopo kama upo tayari kujadiri mada hii mimi nipo tayari kuwa mwenyekiti wenu
sawa Mwalim
@@aproniamasatu5810 mwalimu...sheikh mwaipopo hawezi kubali hana elimu huyo😂 kazi yake kuropoka ila ujasiri wa kusimama kutoa hoja walau kama kina sheikh kinyogori hawezi. Mwaipopo ni Muongo na Mjinga wa elimu ya dini.
Hadi leo sipat jibu kamili kuhusu hili kwanin kuwe na bibilia yenye vitabu 66 na vitabu 73???
Kitabu cha quran ni uongo tu ndio maana sura zake nyingi ni za wanyama ,wadudu nk.
NA BIBILIA IMEJAWA UJUMBE ZA WATU BARUA PEPE ZA MAPENZ HILO HUJUI
@@thekingdragon8358kitabu chenye jumbe za watu na jumbe za wadudu na majin kipi bora?
Shabani aliingia Chaka hakujiamini Wala Hana Elimu ya kujibu hoja aliyoipinga kwà sms
Nyie Waislamu Wakristo wa Sasa tumeamua kusoma Qur'an na vitabu vyote vya Kiislamu kalieni umaamuma na kubishia vitabu vyenu vinapisomwa !! Someni vitabu vyenu punguzeni uvivu na umaamuma
Mtu mzima hatishiwi nyau
Hata msome vipi hamuwezi kuthibitisha makosa ndani ya Qurani,walishindwa makafiri wakubwa kabla yanu makafiri wa sasa,Tena hao walikua wanakijua kiarabu kuliko nyie
Mnasoma Quran au mnasoma tafsiri za watu, tena mnachagua yule aliyetafsiri vibaya ndo mnashikilia kidedea.
Na huyo Ismaili Laanatullahi alaihi hana lolote mie nishamfuatilia sana eti anajiita ex-Imam. Hao maamuma wake nadhani walikuwa mambumbumbu hawajui chochote kama yeye ndo maana wakamfuata lkn nimesikia kuwa ni muongo kafuata pesa tu. Nishamsikia sana anatutukania mtume wetu S.A.W. uS.a.wLaanatullahi
@@سليمانلوغاجو Kosa la kwanza Kwa mujibu wa Qur'an Allah ana nafsi na Kuna Aya inasema Kila nafsi itaonja mauti Swali Allah naye ataonja mauti?
Maamuma Mwaipopo, unapoteza muda, Kishki kaogopa kudhalilika anatuma wanafunzi wake😂😂😂😂 Sasa Ishmael naye hatakuja atakuletea wanafunzi wake ili wapambane wanafunzi Kwa wanafunzi 😂😂😂
Ĥajaogopa ila yeye si hobby yake hio. Kila mtu na interest yake
@@maymunamakungu6265kutetea dini na vitabu vyenu ni hobby? Yeye SI Sheikh msomi Anatakiwa aje Mwenyewe kiwatuma wanafunzi hiyo ni dharau Kwa Mwalimu Ishmael
@@maymunamakungu6265 kutetea vitabu na dini ni hobby?
Mwaipopo unauchungu na Dini ya majini kazi unayo wenye Dini Yao awanampango wanakucheka unavyokulupuka kiarabu ujui
Kran sio inamakosa haina kweli hata moja kwanini inasura majo tu ya mariam nyingine zote ni wanyama na majini na mti? Narudia bila kupepesa mganga wangu mwaipopo uisilam niuongo sana, kran imekopi asilimia mia kwanye bibilia sasa oji ni bibilia tu.
Mh! Huyo muislamu ni ngonjera za kaswida tu.,
Wewe ndio muongo namba moja, mbona wewe unasema biblia ni uongo, lakini wenzako wakisema unakasirika, wewe ukifa kabla hujarudi kwa Yesu utakwenda motoni
Tatizo lako wajiita bishop ata tofauti ya Mungu na yesu haujui
Towa uongo na uyo yesu wako we unamjuwa yesu wewe?Wala humjuwi naye yesu hakujuwi si wewe na uyo mpotevu mwenzako
Nauyo mjadalo mnataka na WA islam mjipange hamuwezi kutushinda hata kidogo sabab hamna elim uongo tu naporojo zakupotzza watu
Mtawaweza waislam?suburu mpime tuone atoe andiko yakuonesha kama Q,urban inamakosa .mpotevu uyo mshenzi.kubwajinga.

wewe niyuda