Mwaipopo elewa hivi hatuezi kuwa wamoja kwenye ITIKADI kwa sababu wasufi ninwatu waorongo wafitinishaji wapindishaji maneno ya mungu na mtume wake kwa maslahi yoa sasa Mwaipopo sisi tunaitwa mawahabi hatuezi kuwa kitu kimoja katika itikadi.
Mwaipopo nakupenda mno,ila mnakasha unaoendelea kati ya diwani na bachu usiubeze kwani kuna faida kubwa mno.na mwalimu chaka wallah nampenda sana inaonekana anajitahidi kusoma misahafu na ndiyo maana ni kama kamuona diwani hana lolote katika dini,kwani kaketa misahafu miwili ambayo haijatofautina katika na tafsiri aliyotoa muhammad bacho bali inapingangana na upotoshaji wa yusufu diwani.kwa hiyo usiwe na jaziba na kusema minakasha ya waislam kwa waislam ni upuuzi,hapo umekosea.mi binafsi nafuatilia kwa karibu sana na faidika sana kwa hoja zinazotolewa.
Wewe mwaipopo hujui biblia, Luka 1:26, Haizungumzii mwezi wa sita wa mwaka Bali inazungumzia kuwa kipindi Elizabeth akiwa mjamzito mwezi wake wa sita ndicho kipindi Malaika Gabriel anamtembelea Bikira mariamu. Kusithibitisha Hilo Soma LUKA 1:25-26, unganisha na LUKA 1:36. Kama bado unabisha wewe na waislamu wenzako lete hoja kwa maandiko nikujibu tena.
Hiki kitu huwaga kipo wazi hivo ila hata sijui why waislam hawataki kuelewa. Sijui wanafanya makusudi ama vipi! Yaani malaika Gabriel alimtokea Elizabeth Kisha baadae baada ya miezi 6 akamtokea tena Mariam ndio maana hata kiumri Yohana anamzidi Yesu kwa miezi 6. Hiki kitu sijui waislam watakielewa lini.
@@adinanihashim7 Swali zuri, kumbuka kwamba hii miaka tunayoihesabu hadi now imefika 2024 haikuwepo wakati wa kuzaliwa kwa Yesu, na hata haya majina ya miezi January to December hayakuwepo,...Kwa hiyo kuzaliwa kwa Yesu na watu wote waliozaliwa kabla yake haiwezekani kujua tarehe na miaka rasmi waliyozaliwa kwa sababu hakuna record hiyo... Sasa unaweza kujiuliza, hii December 25 imetokea wapi hadi isemwe kwamba ndo siku alizaliwa Yesu? Jibu ni kwamba hakuna siku, tarehe na mwaka rasmi wa kuzaliwa Yesu ila hiyo ni siku imechaguliwa tu kusherehekea Yesu kuwepo duniani na wala sio birthday kama ambayo wengi wanajua. Nadhani umeelewa, kama bado uliza swali nikujibu
@@adinanihashim7 msiwe mnakimbia kimbia hoja, Mimi nimejibu kwanza uongo wa Mwaipopo kwa kupotosha maandiko, mkikubali kuwa alichosema ni uongo ndo sasa twende kwenye hoja yako. Sio mkiwekwa wazi kwa uongo wenu mnakimbilia jambo lingine.
Nakunasihi usisemeh elimu anayo itoa bachu Allah amhifadhi kufafanua vitu ni upunzi ww huezi hata kutafsiri ayaa kwa ufasaha leo mtu anajitoa kusomesha watu tauhidi unasema upuzi.wacha na mawahidi tuache tumfunze diwani please.
Mwaipopo diwani hana elimu porojo nyingi kupimdisha pimdisha maadishi,maneno ya ovyoo matusi na hii ndio tabia ya makurafi masufiii hawataki kusoma vitabu vya tauhidi.kazi kusoma soma miramli ramli yao.
Sheikh acha maneno wewe...elimu ya dini huna. Andaa mdahalo na mhadhiri yoyote wa kikristo..tena ukiwa peke yako bila wahadhiri wengine wa kiislam..tuone😂. Huwezi kubali, unaogopa mno...af unajisifu umesoma, umesoma wapi ww sheikh mwaipopo?😂 mm nimesema nataka nijadiliane na wewe live..,nikutoe kamasi..hii ndio chance yangu ya kukunyoosha...nishakuona wewe nakushenyenta huna haja ya kwenda kwa kina ndacha😂. Naomba usinikimbie..🙏
Kwani Biblia ya kiarabu mungu ameandikwa vipi? ALLAH ama wanatumia jina gani?maana lugha ndio yawakoroga hapa...hvi Allah wa kwenye Arabic bible niyule Allah wa kwenye Quran pia?
Mchaga tulia,wewe hata ukiufahamu ukweli ni ngumu kuukubali uislam kwakuwa unakukataza mambo machafu unayoyapenda km pombe,wizi,kitimoto,dhuluma na mengine mengi machafu
Mwipopo debe tupu haliachi kupiga kelele huna lolote hujui biblia Wala Quruani Maan haugekuwa unakejeli Dini zao hat kitabu chenu hataiki kejeli tumi biblia kwa heshima Sio kugeusa maneno
Katonta Mwaipopo, acha kusumbua Waislamu kwa kuwachangisha michango ya ukumbi na gharama kubwa ya nini? Fanya midahalo ya kisasa kwa kukutana na wa WAKRISTO kwenye Chanel za You Tube dunia itaona tu acha kusumbuka sana na matangazo yasiyo na tija!!
Huyu ni muoga. Hapo atajifanya anachangisha...ili apate uchochoro wa kutoroka....,MWAIPOPO FANYA MJADALA WA YOU TUBE 🔊Ex imam yupo tayari hata leo. Unaogopa nini?.
Mwaipopo elewa hivi hatuezi kuwa wamoja kwenye ITIKADI kwa sababu wasufi ninwatu waorongo wafitinishaji wapindishaji maneno ya mungu na mtume wake kwa maslahi yoa sasa Mwaipopo sisi tunaitwa mawahabi hatuezi kuwa kitu kimoja katika itikadi.
Mwaipopo elewa hivi hatuezi kuwa wamoja kwenye ITIKADI kwa sababu wasufi ninwatu waorongo wafitinishaji wapindishaji maneno ya mungu na mtume wake kwa maslahi yoa sasa Mwaipopo sisi tunaitwa mawahabi hatuezi kuwa kitu kimoja katika itikadi.
Mwaipopo elewa hivi hatuezi kuwa wamoja kwenye ITIKADI kwa sababu wasufi ninwatu waorongo wafitinishaji wapindishaji maneno ya mungu na mtume wake kwa maslahi yoa sasa Mwaipopo sisi tunaitwa mawahabi hatuezi kuwa kitu kimoja katika itikadi.
Inauma sana kuwapa faida makafir ikiwa wote tumeitwa Waislam.ALLAH alainishe nyoyo zetu tuifute haki na kuepukana na batil.
Mwaipopo elewa hivi hatuezi kuwa wamoja kwenye ITIKADI kwa sababu wasufi ninwatu waorongo wafitinishaji wapindishaji maneno ya mungu na mtume wake kwa maslahi yoa sasa Mwaipopo sisi tunaitwa mawahabi hatuezi kuwa kitu kimoja katika itikadi.
Mwaipopo nakupenda mno,ila mnakasha unaoendelea kati ya diwani na bachu usiubeze kwani kuna faida kubwa mno.na mwalimu chaka wallah nampenda sana inaonekana anajitahidi kusoma misahafu na ndiyo maana ni kama kamuona diwani hana lolote katika dini,kwani kaketa misahafu miwili ambayo haijatofautina katika na tafsiri aliyotoa muhammad bacho bali inapingangana na upotoshaji wa yusufu diwani.kwa hiyo usiwe na jaziba na kusema minakasha ya waislam kwa waislam ni upuuzi,hapo umekosea.mi binafsi nafuatilia kwa karibu sana na faidika sana kwa hoja zinazotolewa.
Wewe mwaipopo hujui biblia, Luka 1:26, Haizungumzii mwezi wa sita wa mwaka Bali inazungumzia kuwa kipindi Elizabeth akiwa mjamzito mwezi wake wa sita ndicho kipindi Malaika Gabriel anamtembelea Bikira mariamu. Kusithibitisha Hilo Soma LUKA 1:25-26, unganisha na LUKA 1:36. Kama bado unabisha wewe na waislamu wenzako lete hoja kwa maandiko nikujibu tena.
Hiki kitu huwaga kipo wazi hivo ila hata sijui why waislam hawataki kuelewa. Sijui wanafanya makusudi ama vipi! Yaani malaika Gabriel alimtokea Elizabeth Kisha baadae baada ya miezi 6 akamtokea tena Mariam ndio maana hata kiumri Yohana anamzidi Yesu kwa miezi 6. Hiki kitu sijui waislam watakielewa lini.
Lete Andiko kazaliwa mwezi gani
@@adinanihashim7 Swali zuri, kumbuka kwamba hii miaka tunayoihesabu hadi now imefika 2024 haikuwepo wakati wa kuzaliwa kwa Yesu, na hata haya majina ya miezi January to December hayakuwepo,...Kwa hiyo kuzaliwa kwa Yesu na watu wote waliozaliwa kabla yake haiwezekani kujua tarehe na miaka rasmi waliyozaliwa kwa sababu hakuna record hiyo...
Sasa unaweza kujiuliza, hii December 25 imetokea wapi hadi isemwe kwamba ndo siku alizaliwa Yesu? Jibu ni kwamba hakuna siku, tarehe na mwaka rasmi wa kuzaliwa Yesu ila hiyo ni siku imechaguliwa tu kusherehekea Yesu kuwepo duniani na wala sio birthday kama ambayo wengi wanajua.
Nadhani umeelewa, kama bado uliza swali nikujibu
@@adinanihashim7 msiwe mnakimbia kimbia hoja, Mimi nimejibu kwanza uongo wa Mwaipopo kwa kupotosha maandiko, mkikubali kuwa alichosema ni uongo ndo sasa twende kwenye hoja yako. Sio mkiwekwa wazi kwa uongo wenu mnakimbilia jambo lingine.
@@sospetermatonya5133 Hawawezi kuelewa mkuu...famasiala na majini!😂😂
Katonta Mwaipopo, Kwa taarifa yako nusu ya wanaoenda Kwa mwamposa ni Waislamu acha wivu 😅😅😅
Tena bacho anakosea sana kufanya hivyo,na huyo Yusuphu analeta maneno amabayo hakuna msomi yoyote yule kawahi kusema hivyo ktk uislamu
Nakunasihi usisemeh elimu anayo itoa bachu Allah amhifadhi kufafanua vitu ni upunzi ww huezi hata kutafsiri ayaa kwa ufasaha leo mtu anajitoa kusomesha watu tauhidi unasema upuzi.wacha na mawahidi tuache tumfunze diwani please.
Wewe mwaipopo huwezi kusimama na wakristo
Acha dharau basi hiyo quran imekuja badae saaana ila al kitab kimeanza mapema sana
Mwaipopo diwani hana elimu porojo nyingi kupimdisha pimdisha maadishi,maneno ya ovyoo matusi na hii ndio tabia ya makurafi masufiii hawataki kusoma vitabu vya tauhidi.kazi kusoma soma miramli ramli yao.
Mi nakuelewa sana ila wewe si shekhe?? Hebu ita bachu utafute shekhe mwingie alafu waseme maulidi ni nini na Ina maaana gani na nani alianzishe
Sheikh acha maneno wewe...elimu ya dini huna. Andaa mdahalo na mhadhiri yoyote wa kikristo..tena ukiwa peke yako bila wahadhiri wengine wa kiislam..tuone😂. Huwezi kubali, unaogopa mno...af unajisifu umesoma, umesoma wapi ww sheikh mwaipopo?😂 mm nimesema nataka nijadiliane na wewe live..,nikutoe kamasi..hii ndio chance yangu ya kukunyoosha...nishakuona wewe nakushenyenta huna haja ya kwenda kwa kina ndacha😂. Naomba usinikimbie..🙏
Kwani Biblia ya kiarabu mungu ameandikwa vipi? ALLAH ama wanatumia jina gani?maana lugha ndio yawakoroga hapa...hvi Allah wa kwenye Arabic bible niyule Allah wa kwenye Quran pia?
Katonta Mwaipopo, Kabla ya kupiga porojo kuhusu Christmas, Wapi Aya ndani ya Qur'an inayosema msheherekee Maulid?
Mchaga tulia,wewe hata ukiufahamu ukweli ni ngumu kuukubali uislam kwakuwa unakukataza mambo machafu unayoyapenda km pombe,wizi,kitimoto,dhuluma na mengine mengi machafu
@@walidmgonja3644 Wewe katonta, Acha porojo Toa Aya ndani ya Qur'an inayosema Msheherekee Maulid!!
@@walidmgonja3644 Katonta Acha porojo Toa Aya ndani ya Qur'an inayosema msheherekee Maulid
@@walidmgonja3644 Katonta Acha porojo Toa Aya ndani ya Qur'an inayosema msheherekee Maulid
Mwipopo debe tupu haliachi kupiga kelele huna lolote hujui biblia Wala Quruani Maan haugekuwa unakejeli Dini zao hat kitabu chenu hataiki kejeli tumi biblia kwa heshima Sio kugeusa maneno
Kama Wakristo tunawagombanisha Waislamu kirahisi basi nyie ndiyo makatonta na wajinga!!
Katonta Mwaipopo, acha kusumbua Waislamu kwa kuwachangisha michango ya ukumbi na gharama kubwa ya nini? Fanya midahalo ya kisasa kwa kukutana na wa WAKRISTO kwenye Chanel za You Tube dunia itaona tu acha kusumbuka sana na matangazo yasiyo na tija!!
Huyu ni muoga. Hapo atajifanya anachangisha...ili apate uchochoro wa kutoroka....,MWAIPOPO FANYA MJADALA WA YOU TUBE 🔊Ex imam yupo tayari hata leo. Unaogopa nini?.
Wewe mwaipopo huwezi kusimama na wakristo ktk mdahalo huwezi wewe
Andaa mdahalo upige maokoto maana za kuuza mafuta ya upako hazitoshi🤣🤣🇮🇱🇮🇱
Anakwambia mdahalo milioni kumi😂...