Leo Shekhe Mwaipopo umeongea maneno ya hekima.Allah anapenda mwenye kupenda haki na weye nia yako ilikua njema kutetea haki labda baadh ya maneno yalikua hayana ulazima.Umefanya vizuri kuomba radhi msafiane nia ndio uislamu utakavyo.Shekhe Sulle pia ana hekma kunyamaza ilikua busara ili malumbano yasiwe makubwa.Tunawapenda wote kwa daawa yenu.Allah awalinde .
Samahan naitaji kidogo kuelekezwa dr sule kakosea ila kaombewa msamaha kwa mbovu yake ya kuchukua pesa bila kutoa dawa kwa watu wanaosemekana ni wagonjwa je? Kuusu swala la udoctor kwa huyu alhaji sule unabaki pale pale au pls jaman naomba munielekeze
Shekhe tuko pamoja mkonokwamkono adi pepuni mtume anasema kulul haqi walau kana muraa) msema ukweli ni mpenzi wa mungu (rawau buhariyyu)allah akulipe usiogope kusema ukweli ayo sio mambo yakuficha mana ya kifichwa tutazidi kutapeliwaa shukran allah awo ongoze mashekhe wotee na sote wa islam kwa ujumla amina yarabi.
mwaipopo mm nakukubali kwasababu unasimamia haki na siku zote yule anaesimamia haki lazima aonekane mbaya allaah akuafikishe usimame kweny haki mpk mwisho wa maisha yko pamoj na sisi sote amiin nakuunga mkono kabisa tuko pamoja shekh wngu
Sheh Said Mwaipopo, you are really and can not lose time to answer these guys. You've made good thing our sheh, doctor Sulle must change immediately, indeed our deen is not any propaganda. May Allah protect you with sheitwany.
Tupo pa1 shekhe wetu mpendwaaa C unajuwa ya kwamba sema kweli ijapokuwa chunguuu usijali shekhe wetu MWAIPOPO twakupenda na tutaendelea kukupendaaa IN-SHAALLAH FROM ZNZ hapaaa.
Allah na mtume wake wako pamoja na wewe shekh wetu mwaipopo, Alla azidi kukuongoza na kukupa rizki yako bila hesabu, waislamu washakuelewa imani yako kabisaa.
Mashallah mwenyezi mungu akuzidishie imani tuko pamoja. Mimi ni mmoja umenishitua nipo Belgium baada ya kuona kulipa yako kuusu sulle nimeongea nae mtt wangu mgonjwa .akaniambia majini na tiba yake laki tano .nimekata kimya km siku 2 tu naona kulipia zako mtandao. Allhamdurah Allah akuweke
Mashaallah sheikh mwaipopo mungu akulinde na akupe afya njema umeongea vizuri sana ukweli unauma na uyo kijana alie jaribu kukuchafua mungu atamlipa apa apa duniani
SubhanAllah...kwelii unachokizungumza sheikh but hebu mtufikirie na sisi huku tunaowafatilia naona aibu masheikh wang wakubw hvyo lumban kweny mtandao had nakosa amani kwann jaman 😭😭😭Inshaallah mwenyz Mungu atufanyie wepes 😭😭😭
Afu me cpend mtu asilimu ajitahid kusoma ajitahid kufundisha watu af waislam waanze kumsema na kumsimanga kwa kule alipotoka Allah akutie nguvu shekh wetu wallah twakupenda kwa ajir ya Allah s.w tena ngoja nisubscibe Insha'Allah kabla cjasahau
Sisi wanadamu ndivyo tulivyo sheikh 😢 mwenyezi mungu akutangulie? tatizo ukisema ukweli watu wata kuchukia lakini wewe uposahih kbs ktk lmani Allah atakulipa sheikh Pole sana😭😭
MASHALLA ALLAH SHEHE MM NAKUKUMBUKA TANGU NKO MDOGO ZANZIBAR ALLAH ATAKULIPIA WW NA KIZAZI CHAKO NA FAMILIA YAKO MSEMA KWELI HAADHIRIKI SS TUPO PAMOJA NA WW🙏🙏🙏
Kusameheana ndio uislamu unavotufunza kwani sote hayupo alokamilika, Tunakupendeni kwa ajili ya Allah .Mwite dr Sule katika channel yako muonyeshe udugu wetu wakiimani ili na sisi tusijegawanyika iwe ni darsa kwetu.InshaaAllah tuungane Biidhni Allah.
Sheikh Mwaipopo huyo kijana ni mbwa wachana nae asikukule Akili Naam unauwezo kumshitaki lakini achia mungu ssi Kenya tunakutambua Allah akulinde hiyo kijana nitapeli na yaonyesha ni Kazi amezoe shukran Sheikh Kwa hayo
Duuuhh Mungu mkubwa jamani yani nilikua nataka dawazake alozitangaza wiki ilopita kwaajili ya mama yangu nikamwambia mama ningoje tarehe 30 uwende duuh Asante shekhe Mwaipopo🤝
Shekhe Mwaipopo a.aleykum kwanza nakupongeza sana kwa kuwakujitoa muhanga waislam wenzetu wengi wanafiki hasa viongozi wetu matendo yao hayaendani kabisa na naimani tuliyowapa katika dini yetu kama viongozi wetu samahani kwa hili but mashekhe wengi wengi sana ni washenzi washenzi binafsi nna mifano mingi sana seriously!tukipata watu 10 kama wewe kila shekhe akifanya ushenzi ushenzi anapasuliwa kama hivi itasaidia sana mie nakuunga sana mkono shekhe keep it up halafu kwa research yangu ndogo sana niliyofanya mashke wengi washenzi washenzi na wanafiki wanatoka ukanda wetu huu wa Pwani.
Ukweli utakua ukweli tu kila siku, Asante sana Mwaipopo tunakuamini maneno yako, Allah akubariki zaidi na zaidi kuwaafichua hawa wenye kuvaa sura ya malaika wakati ni shetani
Mwaipopo na doctor sule mimi nawapenda kwa ajili ya Allah.ushauri wangu kwa sule hayo mambo aliyofanya ayaache na awaombe radhi aliowakwaza Allah atamsamehe.
Assalaam alaikum wa rahmatullah wa barakatuh. Masha Allah! Pole sana Ust. Mwaipopo. Allah azidi kukuongoza, akuthibitishe, akuhifadhi na akulipe kwa juhudi kubwa ambayo umekuwa ukifanya katika dini yake. Kiukweli, wewe na wezako, akiwemo Dr. Sule mmefanya kazi kubwa ya kuutangaza Uislamu - Dini pekee ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu. Naamini kuwa ujumbe wako huu utawafikia wenzako wote wanaojaribu kufanya 'usanii' katika dini ya Allah, ili wawaombe radhi watu waliowadhulumu na watubie kwa Allah.
Shelkh pole sana binadamu hawana heri wewe endelea nakazi tupo pamoja nitakutafuta nikirudi mimi nipo Oman pole sana shelkh wetu tupo pamoja usijari Mungu hatakulipa
Kwani kuzungumza udhaifu wa muhadhir mwenzake kwenye public umeona ametumia njia sahihi? Hata Allah anastili madhambi ya watu hayaweki wazi, we ndounaona una akiri xana? Busara sio lazma uwe MTU wa mungu wala shetani
@@ratibuathumani3422, Msiangalie madhaifu tu angalieni na wanaoumizwa. Ikiwa mtu anaambiwa hataki kujirekebisha si atakua anaumiza watu wapya tu kila siku.
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
allah atujalie upendo sote waislam na atujalie kua watu wenye kumaliza kwawema pale tunapokua na tatizo allah awajalie muzid kushikana na kupendana mwaipopo na sule na wegineo insha allah
sheikh nakukumbushatu maneno ya rasulillah anasema (inatosha kua nimuongo kwa kusema kila unalolisikia). kuwa na kaba jizuie mengine kusema sema. mche ALLAH kua na msimamo
DAAAH SUBHANA ALLAAH KWELIII SHEYTAAN HAKAI MBALI NA WAJA WA ALLAAH KWA KUWAFITINISHAA YAARABY TUNUSURU NA KUMPEPERUSHA SHEYTAAN HUYU ALIE FITNA JUU YETU SISI NI WAJA NI WAJA WAKO TUONDOSHEE SHEYTAAN HUYU NA FITNA ZA SHEITAAN YAA ALLAAH UTUSWAMEH WAJA WAKO NA UTUPE MANUSURA NA KHAATIMA NJEMA NA UTUJAALIE WAISLAAM TUPENDANE , TUSHIRIKIANEE, NA KUELIMISHANA KWA AMAAN NA USALAMA ILII SHEYTAAN ASITUZIDI NGUVU KWA FITNA ZAKEE
Ndugu Mwaipopo Mungu yuko nawe, daima msemakweli yuko pamoja na Mungu. Umufanya jambo bora, jambo zuri la kuinusuru Dini ya Allah, mungu akulipe jaza njema. Na kwa yeyote aliye tajwa kwa tuhma, ikiwa si kweli, Mungu amlipe mtuhumiwa thawabu nyingi kufuta tuhma hizo. Na iwapo tuhmahizi ni kweli basi nibora kuweka jambo hili wazi kwa waislamu, kuomba msamaha kwa Allah, ili ujisafishe na kuusafisha Uislamu. Tukumbuke leo hii ni Mwaipopo ametoa taarifa hii peupe, kesho waathiriwa watakuja wenyewe mbele za vyombo, kumuumbua muislamu na uislamu, umma utamchukuliaje mtuumiwa?. Kwa ndugu Mwaipopo, niseme umefanya haraka sana kuitoa taarifa hii mbele ya vyombo, ambapo ungeliungana na wahubiri wenzako, mashekhe, mukaweka vikao na kumuita ama kumuandama mtuhumiwa kwake na kumuhoji juu ya tuhma Kama hizi, ili isieleweke kivingine Kama unavyo eleweka sasa na wakereketwa wa mtuhumiwa. Yote kwa yote, Uislamu ni kuzingatia Haki. Mungu anajua Kila mja tabia na mienendo yake, na kwake tutahukumiwa. Ni ombi langu, mtuhumiwa awasiliane na aliowakosea... Malena kabla
Salama aleykum, shekhe mwaipopo, utayapata mengi matusi kashfa na manuno ya dharau lakini usitetereke mimi binafsi nna mengi ya kusema kwa hao mashekhe ambao wako wengi katika uislam zamani na wanayajua hayo lkn wamekaa kimya kama kina kishk kina mazinge, nd yangu mwaipopo mimi naishi ughaibuni lkn lkn na sio mtu wa kuandika shughuli za wa watu lkn hili nimeshindwa kujizuia, nimetaka kukupa support kidogo ya maneno, kua hata huku nchi za ulaya wazungu wanapoingia ktk uislamu wanakua waislamu wazuri kulikoni hao waliozaliwa ktk uislamu, na hawa wamebakisha shada tu maana wengi wao ni straight forward na hawaongopi kama sisi huko, kwa hiyo nd yangu stay firm usitetereke waache waseme wakutukane wewe kua na msimamo huo huo na Allah atakufanyia wepesi, wengi wetu dunia tumeiweka mbele na tamaa, nna mengi ya kusema lkn naona nisimame hapa, lkn ujue madhumuni ya msg hii ni kukwambia kua simama kidete ktk hakki na uislamu Allah atakupa dunia na akhera, ameen kitu cha pili, fuata yale walioyafuata masahaba vle vle na tabi tabiin, usizidishe na usipunguze, kumbuka njia ya uislamu ni moja tu ya kati na kati, may Allah guide and bless you my brother.ameen
Inshaallah sheikh wwe sio maskini wwe nitajiri kwa imani uliyokuwa nayo ni bilionea m, mungu ndo maana mtume alikuwa anaomba utajiri wa mali na nafsi . Wwe vyote unavyo sheikh . Utajiri sio mpaka utembelee gari nzuri au ulale ktk bangaloo . Afya njema na rizki ya kula na kusomesha watoto wako wakamjua m mungu na mtume wetu Muhammed huo ni utajiri tosha . Hapana duniani hakuna raha tujiandae akhera ndo kila kitu .m mungu yuko pamoja nawe inshaallah
Waleykum salaam warahmatullahi wabaraqatuh.. Mwaipopo mmetoka Mbali saan na akina sulle Kwanini msisameheane yakaisha sote tunamkosea hakuna mkamilifu... Nawapenda wote kwa ajili ya Allah
Hata mitume halichukiwa kwa kusema ukweli, uganga katikadini wengi wanakithiri KUKUFURU kuitumia vibaya Quran,, Mungu awahereleze wazidi kubainika dini ya Mungu inusurike Aamin🤲🏽
Ni kweli Sule ni tapeli nasema tena nasema kwasababu yamenikuta alipotangaza mambo ya vidonge kwamba vinatibu na sisi waislam tunavyoamini muisilam mwenzetu tunakurupuka yani Sule Mungu anamuona Asante sana Mwaipopo Mungu akusaidie
@@swaumumohammed5710 sijala bali alikuwa anavitangaza kwamba nividonge kiboko vinatibu kila ugonjwa na watu wengi walivihitaji ila tuliishia kutuma pesa
Leo Shekhe Mwaipopo umeongea maneno ya hekima.Allah anapenda mwenye kupenda haki na weye nia yako ilikua njema kutetea haki labda baadh ya maneno yalikua hayana ulazima.Umefanya vizuri kuomba radhi msafiane nia ndio uislamu utakavyo.Shekhe Sulle pia ana hekma kunyamaza ilikua busara ili malumbano yasiwe makubwa.Tunawapenda wote kwa daawa yenu.Allah awalinde .
Sher said Allah akuzidishie busara kama ulivyoandika bila upendeleo
Samahan naitaji kidogo kuelekezwa dr sule kakosea ila kaombewa msamaha kwa mbovu yake ya kuchukua pesa bila kutoa dawa kwa watu wanaosemekana ni wagonjwa je? Kuusu swala la udoctor kwa huyu alhaji sule unabaki pale pale au pls jaman naomba munielekeze
Wallah Sheikh Mwaipopo umenigusa Sana kuhusu maisha yake ya kusimamia haki shukran Allah akupe kila la kheir
Hatukuchukii kwa kutufunguwa macho ila tutakuwa masheh hatukuwamininini
Ukiwa ukweli maisha yote unaonekana mbaya
Simama katika haki mungu atakusimamia
Allah atakulipa Kila la heri na hatma njema
Allah akulipe kwa juhudi zako mwaipopo.!!!.Allah amsamehe doctor sule kwa madhaifu yake!!!Allahumma Amiin
Shekhe tuko pamoja mkonokwamkono adi pepuni mtume anasema kulul haqi walau kana muraa) msema ukweli ni mpenzi wa mungu (rawau buhariyyu)allah akulipe usiogope kusema ukweli ayo sio mambo yakuficha mana ya kifichwa tutazidi kutapeliwaa shukran allah awo ongoze mashekhe wotee na sote wa islam kwa ujumla amina yarabi.
mwaipopo mm nakukubali kwasababu unasimamia haki na siku zote yule anaesimamia haki lazima aonekane mbaya allaah akuafikishe usimame kweny haki mpk mwisho wa maisha yko pamoj na sisi sote amiin nakuunga mkono kabisa tuko pamoja shekh wngu
Sheh Said Mwaipopo, you are really and can not lose time to answer these guys. You've made good thing our sheh, doctor Sulle must change immediately, indeed our deen is not any propaganda.
May Allah protect you with sheitwany.
Allaahu s h atakulinda nduguyangu na mabalaa ya dunia na akupe mwisho mwema kwa ukweli unaosema nami pia nipo upande wa wenye kusema kweli
Tupo pa1 shekhe wetu mpendwaaa C unajuwa ya kwamba sema kweli ijapokuwa chunguuu usijali shekhe wetu MWAIPOPO twakupenda na tutaendelea kukupendaaa IN-SHAALLAH
FROM ZNZ hapaaa.
ALLAH akulipe shekh mwaipopo na dr sule ALLAH akusamehe kwa madhaifu yako
Wallah Shaikh MWAIPOPO umenifanya nijihisi huzuni sana kwa maneno yako. Allah atakulipa Sheikh wangu. Nipo na wewe bega kwa bega kwaajili ya Allah
Pole sana shelkh
@@nooroman2535 shukran
Mwaipopo Allah akuzidishie
@@DonMooSTUDIO_Express maa shaa Allah
Allah akuifadhi na pia akuepushe ni fitya za wanahadam
Allah na mtume wake wako pamoja na wewe shekh wetu mwaipopo, Alla azidi kukuongoza na kukupa rizki yako bila hesabu, waislamu washakuelewa imani yako kabisaa.
Mashallah mwenyezi mungu akuzidishie imani tuko pamoja. Mimi ni mmoja umenishitua nipo Belgium baada ya kuona kulipa yako kuusu sulle nimeongea nae mtt wangu mgonjwa .akaniambia majini na tiba yake laki tano .nimekata kimya km siku 2 tu naona kulipia zako mtandao. Allhamdurah Allah akuweke
Mashaallah sheikh mwaipopo mungu akulinde na akupe afya njema umeongea vizuri sana ukweli unauma na uyo kijana alie jaribu kukuchafua mungu atamlipa apa apa duniani
Allah akuzidishie iman Yako y kisamehe.
SubhanAllah...kwelii unachokizungumza sheikh but hebu mtufikirie na sisi huku tunaowafatilia naona aibu masheikh wang wakubw hvyo lumban kweny mtandao had nakosa amani kwann jaman 😭😭😭Inshaallah mwenyz Mungu atufanyie wepes 😭😭😭
Afu me cpend mtu asilimu ajitahid kusoma ajitahid kufundisha watu af waislam waanze kumsema na kumsimanga kwa kule alipotoka Allah akutie nguvu shekh wetu wallah twakupenda kwa ajir ya Allah s.w tena ngoja nisubscibe Insha'Allah kabla cjasahau
ameen yarabbi
Sisi wanadamu ndivyo tulivyo sheikh 😢 mwenyezi mungu akutangulie? tatizo ukisema ukweli watu wata kuchukia lakini wewe uposahih kbs ktk lmani Allah atakulipa sheikh Pole sana😭😭
Mwenyezi Mungu akulinde na shari zote
MASHALLA ALLAH SHEHE MM NAKUKUMBUKA TANGU NKO MDOGO ZANZIBAR ALLAH ATAKULIPIA WW NA KIZAZI CHAKO NA FAMILIA YAKO MSEMA KWELI HAADHIRIKI SS TUPO PAMOJA NA WW🙏🙏🙏
Masha Allah
Swadakita Allah 🌼akusimamie kwanya haki na Akuongoze an Akujaalie msho mwama Allah Akuongoze MashaAlla MashaAlla MashaAlla MashaAlla MashaAlla
Sema kwel japo chungu, na ALLAH yuko pamoja na wasema kwel, ALLAH atuongoze wote na atusamee makosa yetu
Sheikh Mwaipopo unaeleweka vizuri,M Mungu akuzidishie,kila lakher umefahamika na uko sawa
Allah akuifadhi ukosawakabisa
Anajihukum mwenyewe bila kuhukumiwa na Allah ushazowea kumsingizia sule. Unafki kwa choyo
Assalam aleikum sheh. Wewe uko sahihi sheh, sema wanadamu awaelewi tuu. Insha allah, mungu atakuifazi sana.
Mashallah tabarakkallah..hii ndio dini sasa..nasio malumbano na kugombana...NAWAOMBEA MAISHA MAREFU VIONGOZI WOTE WA DINI ..WABILLAHI THAUFIQ.
Mwenyeezi mungu akutangulie sheikh mwaipopo na akulinde na hasad yarrab
Allah akutie nguvu shekh wetu, na atuongoze kwenye haki🙏
Kusameheana ndio uislamu unavotufunza kwani sote hayupo alokamilika, Tunakupendeni kwa ajili ya Allah .Mwite dr Sule katika channel yako muonyeshe udugu wetu wakiimani ili na sisi tusijegawanyika iwe ni darsa kwetu.InshaaAllah tuungane Biidhni Allah.
haswa
Nakupongeza Sh. Mwaipopo Allah akubarik kwa kutoa ufafanuzi na kufunga mjadala juu ya ukweli ulompa Dk. Sule
Sheikh Mwaipopo huyo kijana ni mbwa wachana nae asikukule Akili Naam unauwezo kumshitaki lakini achia mungu ssi Kenya tunakutambua Allah akulinde hiyo kijana nitapeli na yaonyesha ni Kazi amezoe shukran Sheikh Kwa hayo
Upo vizuri Sana'a mpinga kristo
Asante Sana Sheikh kwaukweliwako mungu atakulipa nawanao kuchukia Allah atawarudi kwachukizao
Mungu awajaalie muelewane haya mabishano yanashusha hazi yenu viongozi wetu
Allah akujazi kheri na maisha mazuri na Umri uliyo na Kheri na wewe Ameen.
Allah akupe pepo inshallah sema kweli japo chungu inshallah
Allah akuhifadhi wew na family yako
Amini thuma amini
allah akuhifadhi na atakulipa kwa kheri zako unazozifanya. nakuombea mungu akupe pepo ya firdaws ameen.
❤❤nime kuelewa shekhee wangu
Duuuhh Mungu mkubwa jamani yani nilikua nataka dawazake alozitangaza wiki ilopita kwaajili ya mama yangu nikamwambia mama ningoje tarehe 30 uwende duuh Asante shekhe Mwaipopo🤝
Waleykumusalamu warahmatuLLAHI wabarakatuh, barakallahu fiik
Allah akuhifadhi sheikh wangu hayo ni matunda ya Iman.Simama imara
Shekhe Mwaipopo a.aleykum kwanza nakupongeza sana kwa kuwakujitoa muhanga waislam wenzetu wengi wanafiki hasa viongozi wetu matendo yao hayaendani kabisa na naimani tuliyowapa katika dini yetu kama viongozi wetu samahani kwa hili but mashekhe wengi wengi sana ni washenzi washenzi binafsi nna mifano mingi sana seriously!tukipata watu 10 kama wewe kila shekhe akifanya ushenzi ushenzi anapasuliwa kama hivi itasaidia sana mie nakuunga sana mkono shekhe keep it up halafu kwa research yangu ndogo sana niliyofanya mashke wengi washenzi washenzi na wanafiki wanatoka ukanda wetu huu wa Pwani.
Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh kaka yetu. Allah akuhifadhi . Msema kweli mpenzi wa mungu. Na tenda wema wende zako malipo kwa Allah.
Mungu akulinde shekhe mwaipopo tuko pamoja waisilaam tuungane na mwaipopo Dr sule muogope mungu acha utapeli na uongo
ماشاء الله بارك الله فيكم
Pole sana sheikh wetyu Allah akuhifadhi tunakupenda kwa ajili ya ALLAH
Allaah akuhifadhi.uko sahihi
Allah yuwampenda anaesema ukweli na Allah akulipe kwa kusema kweli hapa duniani na akhera InshaAllah, ume tuelimisha juu ya Dr sulley
Shukran mwaipopo mungu akujaze nguvu inshaallah 🤲🤲
Allah akulinde shari yeyote akufanyie wepesi kula jambo
Ukweli utakua ukweli tu kila siku, Asante sana Mwaipopo tunakuamini maneno yako, Allah akubariki zaidi na zaidi kuwaafichua hawa wenye kuvaa sura ya malaika wakati ni shetani
MashaAllah
MASHAA ALLAAH, UMEONGEA VIZURI SANA NA UMEFAHAMIKA,
ALLAAH AKUHIFADHI NA KIZAZI CHAKO.
AMIYN
Mwaipopo na doctor sule mimi nawapenda kwa ajili ya Allah.ushauri wangu kwa sule hayo mambo aliyofanya ayaache na awaombe radhi aliowakwaza Allah atamsamehe.
Nimekuerewa sana shekh wangu Allah bless you
Shukran sana habiby 💓
Mwenyezi Mungu akulinde na maadui zako wote.
U Are very correct and that u saying Sheikh Mwaipopo
MWENYEZI MUNGU ATUNUSURU ATUHIFADHI NA ATUPE MWISHO MWEMA
اللهم آمين يارب العالمين.
Allah akulipe kheri jallazak Allah kheri allah akupe subra
Assalaam alaikum wa rahmatullah wa barakatuh. Masha Allah! Pole sana Ust. Mwaipopo. Allah azidi kukuongoza, akuthibitishe, akuhifadhi na akulipe kwa juhudi kubwa ambayo umekuwa ukifanya katika dini yake. Kiukweli, wewe na wezako, akiwemo Dr. Sule mmefanya kazi kubwa ya kuutangaza Uislamu - Dini pekee ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu. Naamini kuwa ujumbe wako huu utawafikia wenzako wote wanaojaribu kufanya 'usanii' katika dini ya Allah, ili wawaombe radhi watu waliowadhulumu na watubie kwa Allah.
Wanaokulaumu na walaumu ila naamini umemfurahisha ALLAH.kuambina kupo mm nimekuelewa sana ustadh upo sahihi kabisa.ALLAH akuhifadhi
Shelkh pole sana binadamu hawana heri wewe endelea nakazi tupo pamoja nitakutafuta nikirudi mimi nipo Oman pole sana shelkh wetu tupo pamoja usijari Mungu hatakulipa
Kwani kuzungumza udhaifu wa muhadhir mwenzake kwenye public umeona ametumia njia sahihi? Hata Allah anastili madhambi ya watu hayaweki wazi, we ndounaona una akiri xana? Busara sio lazma uwe MTU wa mungu wala shetani
@@ratibuathumani3422, Msiangalie madhaifu tu angalieni na wanaoumizwa. Ikiwa mtu anaambiwa hataki kujirekebisha si atakua anaumiza watu wapya tu kila siku.
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
Mungu azidi kukuweka na akuzidishie hekima
allah atujalie upendo sote waislam na atujalie kua watu wenye kumaliza kwawema pale tunapokua na tatizo allah awajalie muzid kushikana na kupendana mwaipopo na sule na wegineo insha allah
Mashallah ivi nd dini inayotak lkn ujumbe Alhamdulilah umetufikia
Asalamu alaykum warahmatulahi wabarakatuh sheikh nakuobea kher Allah akulinde na wabaya na akupe Kheri za dunia na akhera
Allah akupe huai mrefu wenye mwsho mwema na akusimaie kila jambo na akulinde kila shari jazzallha khery.
Wallahi umegonga ndipo waislamu ikifika kwenye ukweli ni mtihani mkubwa ALLAH atuongoze inn shaa ALLAH
Swadakta
Asant sana sheikh hakika haki inagharama nasisi ndyo tunauoza pepo zetu kwaajili ya Dunia nahal Mtume amekemea sana
sheikh nakukumbushatu maneno ya rasulillah anasema (inatosha kua nimuongo kwa kusema kila unalolisikia). kuwa na kaba jizuie mengine kusema sema. mche ALLAH kua na msimamo
Masha'allah,upo tu sawa shekhe wetu.
Allah akuongoze shekh mwaipopo kazi ya Allah haishi mitihani kk.
Shekh mungu atakulipa
Upo saahihi kabisa shekh mwaipopo na mungu ata kusaidia
Inshaallah mwaipopo umesema kweli wanao kulaumu wezi tu hongera sana upo katika haki piga kazi tunakuomba usiogope upo ktk haki usiogope
DAAAH SUBHANA ALLAAH KWELIII SHEYTAAN HAKAI MBALI NA WAJA WA ALLAAH KWA KUWAFITINISHAA YAARABY TUNUSURU NA KUMPEPERUSHA SHEYTAAN HUYU ALIE FITNA JUU YETU SISI NI WAJA NI WAJA WAKO TUONDOSHEE SHEYTAAN HUYU NA FITNA ZA SHEITAAN YAA ALLAAH UTUSWAMEH WAJA WAKO NA UTUPE MANUSURA NA KHAATIMA NJEMA NA UTUJAALIE WAISLAAM TUPENDANE , TUSHIRIKIANEE, NA KUELIMISHANA KWA AMAAN NA USALAMA ILII SHEYTAAN ASITUZIDI NGUVU KWA FITNA ZAKEE
Marshallah sheikh waambie masheikh wanafik wapenda Kula
Ndugu Mwaipopo Mungu yuko nawe, daima msemakweli yuko pamoja na Mungu. Umufanya jambo bora, jambo zuri la kuinusuru Dini ya Allah, mungu akulipe jaza njema.
Na kwa yeyote aliye tajwa kwa tuhma, ikiwa si kweli, Mungu amlipe mtuhumiwa thawabu nyingi kufuta tuhma hizo.
Na iwapo tuhmahizi ni kweli basi nibora kuweka jambo hili wazi kwa waislamu, kuomba msamaha kwa Allah, ili ujisafishe na kuusafisha Uislamu.
Tukumbuke leo hii ni Mwaipopo ametoa taarifa hii peupe, kesho waathiriwa watakuja wenyewe mbele za vyombo, kumuumbua muislamu na uislamu, umma utamchukuliaje mtuumiwa?.
Kwa ndugu Mwaipopo, niseme umefanya haraka sana kuitoa taarifa hii mbele ya vyombo, ambapo ungeliungana na wahubiri wenzako, mashekhe, mukaweka vikao na kumuita ama kumuandama mtuhumiwa kwake na kumuhoji juu ya tuhma Kama hizi, ili isieleweke kivingine Kama unavyo eleweka sasa na wakereketwa wa mtuhumiwa.
Yote kwa yote, Uislamu ni kuzingatia Haki. Mungu anajua Kila mja tabia na mienendo yake, na kwake tutahukumiwa.
Ni ombi langu, mtuhumiwa awasiliane na aliowakosea... Malena kabla
Shekh wetu tuko pamoja nanyi. Tunamuomba Allah atupe subira tu
Sheikh mwaipopo Allah atakulipa
Usihofu wasanii katika dini hii niwengi Wala Awana hofu na Allah,
Salama aleykum, shekhe mwaipopo, utayapata mengi matusi kashfa na manuno ya dharau lakini usitetereke mimi binafsi nna mengi ya kusema kwa hao mashekhe ambao wako wengi katika uislam zamani na wanayajua hayo lkn wamekaa kimya kama kina kishk kina mazinge, nd yangu mwaipopo mimi naishi ughaibuni lkn lkn na sio mtu wa kuandika shughuli za wa watu lkn hili nimeshindwa kujizuia, nimetaka kukupa support kidogo ya maneno, kua hata huku nchi za ulaya wazungu wanapoingia ktk uislamu wanakua waislamu wazuri kulikoni hao waliozaliwa ktk uislamu, na hawa wamebakisha shada tu maana wengi wao ni straight forward na hawaongopi kama sisi huko, kwa hiyo nd yangu stay firm usitetereke waache waseme wakutukane wewe kua na msimamo huo huo na Allah atakufanyia wepesi, wengi wetu dunia tumeiweka mbele na tamaa, nna mengi ya kusema lkn naona nisimame hapa, lkn ujue madhumuni ya msg hii ni kukwambia kua simama kidete ktk hakki na uislamu Allah atakupa dunia na akhera, ameen kitu cha pili, fuata yale walioyafuata masahaba vle vle na tabi tabiin, usizidishe na usipunguze, kumbuka njia ya uislamu ni moja tu ya kati na kati, may Allah guide and bless you my brother.ameen
Mashallah allah akupe subra na mwisho mwema
Sheikh pole sana kw yanayo kupata Allah atawalipa wote,ningeomba umtafute Dr.Sule mutoe video pamoja juu ya jambo hili, nawaombea sana kutoka 🇰🇪
Jazakallahu kheiri
ALLAH AKUHIFADHI SHK MWAIPOPO.
Ndugu yangu mwaipopo mungu akuhifadhi
Inshaallah sheikh wwe sio maskini wwe nitajiri kwa imani uliyokuwa nayo ni bilionea m, mungu ndo maana mtume alikuwa anaomba utajiri wa mali na nafsi . Wwe vyote unavyo sheikh . Utajiri sio mpaka utembelee gari nzuri au ulale ktk bangaloo . Afya njema na rizki ya kula na kusomesha watoto wako wakamjua m mungu na mtume wetu Muhammed huo ni utajiri tosha . Hapana duniani hakuna raha tujiandae akhera ndo kila kitu .m mungu yuko pamoja nawe inshaallah
Mungu akulinde mwapopo
Mwaipopo ugefanya kwa Imani yako mungu atakusimamia ktk Mambo ya dini ugeacha kuwaogelea Hao watu.. Kwenye Kheir sio wote watakupenda
Masha Allah Mungu atakulipa sheikh wang
Duh mungu akuzidishie Nuri yakusema ukweli
Subhaana llah!
Waleykum salaam warahmatullahi wabaraqatuh.. Mwaipopo mmetoka Mbali saan na akina sulle Kwanini msisameheane yakaisha sote tunamkosea hakuna mkamilifu... Nawapenda wote kwa ajili ya Allah
Umeelewa anacho zungumzia mwana
Dini zinaongozwa na matapeli, wamahubiri mema wanatenda Kufuru Fitina na Unafiki, Mungu atusameke Aamin 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Waambie bhana sisi tupo nyuma yakooooooo..
From ZANZIBAR.
Hata mitume halichukiwa kwa kusema ukweli, uganga katikadini wengi wanakithiri KUKUFURU kuitumia vibaya Quran,, Mungu awahereleze wazidi kubainika dini ya Mungu inusurike Aamin🤲🏽
Naam sheikh Mwaipopo. Allah akuongoze
Nakukubali sana ustadh mwaipopo
Aww sheikh ongea kweli usiogope mwanaadam ogopa Allah Allah atakunusuri
Ni kweli Sule ni tapeli nasema tena nasema kwasababu yamenikuta alipotangaza mambo ya vidonge kwamba vinatibu na sisi waislam tunavyoamini muisilam mwenzetu tunakurupuka yani Sule Mungu anamuona Asante sana Mwaipopo Mungu akusaidie
Vidonge Gani ulikula 🤔Pole
@@swaumumohammed5710 sijala bali alikuwa anavitangaza kwamba nividonge kiboko vinatibu kila ugonjwa na watu wengi walivihitaji ila tuliishia kutuma pesa
Mwaipopo uko sawa kabisa sikuzote mtu akiwa mkwli hapendwi ALLAH akulinde 🤲
kuna watu wanasahau maisha yaduniani ni mafupi nakupenda sana shekh mwaipopo hakika endelea kusimamia haki
Allahabad lilai rabi lihalamina.hoguera shehe.sema kwelli