Sheikh Kishki Yuko sawa uislam hauna Mambo ya kuchanganya sijui umoja wa kijamii sijui Mungu ni mmoja ila Mungu awe wa Imani inayoamini kwenye itikadi ya uislam
Yesu kasema "Mimi ndimi njia kweli na Uzima hakuna awezaye kufuka kwa Baba (Mungu) ila kwa njia Ya mimi(Kristo) So Harmonise amegundua siri. Kwa hiyo jitafutieni njia wala msimkashifu maana ana uamuzi wake binafsi.
iyo heshimu imani ya mwengine ili iweje, au ndio mnadhani mtakosa chakula watu mkiwaambia ukweli? mimi nitasema na nitaongea even is anyone, hta uwe maarufu na pesa ngapi utakufa why tusiangalie tutakwenda wap after death
Someni Quran 109/6" Nyinyi mna dini yenu na Mimi nna dini yangu" Watu wanatumiwa ao kuonyesha ni sawa tu kuomba popote...waislamu tuna Muongozo mwema na sahihi kabisa ...
WAISLAMU TUNA MUNGU WETU, NA WASIO WAISLAMU WANA MUNGU WAO , HILI SWALA LA KUSEMA MUNGU WA WATU NI MMOJA ILA NAMNA YA KUABUDU NDO TOFAUTI SI KWELI .... SI SAHIHI ..... NI UPOTOVU EWE MUISLAMU REJEA KTK SURAT AL -KAAFIRUUN , HAKIKA QUR-AN YAKO ILISHA KUONGOZA , NA HAKIKA DINI YAKO IMEKAMILIKA .💯%
Shida ni kwamba mnamezeshwa mambo msiyoyaelewa na kukariri vifunguvifungu labda nikuulize swali mpendwa nn maana ya neno IMAN?? ukijua hlo bac hutaona ajabu hata kwa mtu anaeabudu mizimu coz ndyo iman yake shikilia iman yako mengine waachie wenyew hamuwez jua nn kimemsukuma kufanya hvyo nyie mnaabud mdomomon lakin action ni 0%
Mshirikina sio mtu mbaya. Ni mtu anaeshiriki jambo kwa Kina. Hakuna utofauti Wa Islam na ukristo. Islam ni torati (bibilia ambayo ni Musa vitabu 5 vya bibilia mwanzo. 2/ZABURI (imo kwenye bibilia, 3/ injili (matayo, luka, mariko na yohana
Shekhe kishk amezungumza vzr sana. Na ukweli km anataka kujifunza kwnn asiende msikitini au madrasa lujifunzaIla Ajie kwamba Allah hana haraka naendelee kufanya jeuri ajie tu uo sio mziki rafiki 0iko siku atataka kujua nn alikosea
Inabid muanze na wasaniii wenu wanaovaaa uchi akiwa anafanya mabaya hamjawah kukemea kwenda tyuu kanisan vita achen hzoooo hakuna mwenye pepo ya kumpeleka mwenzie na ww unaehukum mwenzio jiulize ww ni msafi? Hujawah kukosea
Sasa si maisha yake ? Nyinyi ina wa husu nini? Ivi wewe sheikhe wewe ni mtakatifu? Yani una maanisha sababu âme ombewa hatabingiya mbingu??? Sasa dini ya kwanza nini kwako? Samahani saana izi ni siku ya mwisho sihoni dhambi ame fanya baba sheikhe 😊
😂😂😂😂ni kweli kbs lkn yesu alikuwa njia kwa Wana wa Israel lkn sio nyie nyinyiiii we apo na sisi tunatakiwa tumfate mtume Mohammed radhi za ziwe juu yake ndoo tutafika kwa mungu lkn ukimfata yesu na we ni ummat Muhammad bas utajukuta motoni ALLAH atukinge na adhab zake amiin yaarabbli al'amiin @@LauMagwaja
Muislamu yeyote amekatazwa au tumekatazwa kusema utatu Qur'an 4:171. Hata museme mungu ni mmoja, pia wanao amini mamipango wanaamini ndio wameumbwa na hayo mapango. Lets wait siku ya kufufuliwa
Usiseme alikuwa akidet sema alikuwa akizini wasanii wote ni wazinifu,halafu mchoshangaa kwa harmonize ni kitu gani yeye alitokaga siku nyingi kwwnye uislam.si alimuita mungu ni mwanamke waislam acheni kujitoa ufahamu
Mimi siamini katika Mungu Allah,,,kwangu hana tofauti na ...miungu Harmonizer hajalazimishwa kwenda kanisani sisi Mungu wetu ambae ni JEHOVAH niss anajitosheleza hatuna haja na miungu mingine hivyo Shekha .....Sisi hatuhitaji lolote kwenye imani yenu,,, Harmonizer kaiona Nuru upande wa pili,, kaona aje atakasike 😂😅
the sweyksh you talking is not knowing Allah who created you by the one you know, find the right path bro. never mind ukisikia Qur'an ikisomwa hata unaweza lia.
Waislamu ni wanafiki sana tena sana leo hii waislamu walevi,wazinzi wachawi ni wengi kweli lakini hawakemewi mtu kaenda kanisani na kutamkiwa baraka washaanza kutukana na kukashifu...kumbuka dua la kuku halimpati mwewe yamkini Mwokozi kamtokea
Imani zote zinamuomba mungu haijalishi ni dini gani,uwe mchina,muindi,mzungu,mwafrika,mwarabu,sasa wewe sheikh ubwabwa usituletee roho za kibaguzi hapa
Kwani mungu wa wakristo ni mwingine jamani mbona tunaishi pomoja mitaani tuache ubaguzi sisi sote tunamwomba mungu mmoja msitenge wakristo hajakosea hom sisi sote ni ngugu
...watu wanatiwa ujinga na wanapotosha Harmonize ana influence kwa washabiki wake wapo wataomfata na waislam....wakristo wanaamini Mungu ila sio Allah.
Kwan mungu si mmoja shehe kwan mungu niwa waislam to peke yake we vp, kumbuka MUNGU ana dini yeyte din wamezileta wamisionali kwan we shekhe we ni nan?
Na uyuu sio sheee awa makafilii 2 mbona watu wana tekwaa wana uliwaaa awa masheee atuwaonii co kwenyee mamb ya kipumbavuu wana jifanyaa wanajua Sana Amna masheee apoo makafilii 2 aooo
Makonda na wengine viongozi wa kisiasa huwenda Kwa sababu ya kujikurubisha Kwa wananchi kutaka kura na sympathy hii unafanyika nchi nyingi hasa viongozi wakikiristo mathalan kule America kila siku yakulalia eid-fitri huandaa iftaar wakenda viwanja vya msikiti wakala hata wakaswali lakin hairuhusiwi tunachanganya siasa na dini ,so Kwa konde boy ni kiki ili kutaka sympathy Kwa mashabik wake!
Kuvaa mslaba kwa uislam ni Haram kubwa sana mtume amesema ukiona kitu nyumbani kwako kina ishara ya msalaba unatakiwa ukivunje vunje na ukitupe tume katazwa na mwenyezi MUNGU tujiepushe kuiga Mila na desturi za Imani za dini nyengine kwani dini yetu imekalika Kila idara.
Dini inasheria zake ...sheria ya kiislam hakuna dini mseto.... Harmonize hajui dini....muislam anaweza kuingia kanisani kwa lengo TU la kwenda kuona jinsi wakristo wanavofanya Ibada zao au kutoa dawa Ili wajue kama dini wanayoifata sio sahihi....ila hapaswi kushiriki Ibada yoyote
Konde uko sawa muha dini ninjia kiswahili na uislamu ni unyenyekevu nayesu nimnyenyekevu na yeye ndio njia kwamaana yoyote myenyekevu ni muisilam kwamaana mchawi ruhgat bg konde mwisho kabisa yesu ndie hakimu wazambi zetu na ndomfufuaji si muhamadi hivo wote dini nimojat
Muislam kuvaa msalaba kwa namna yoyote hile haikubaliki kiislam Na muislam kuingia kanisani kuombewa ni makosa makubwa sana kiislamu ila watu wanaona kawaida tu Kama anataka kujifuza na ajifunze uislamu unamuambia nini ktk haki zake kama muislamu
Waislam bwana Yan watu wao wanafanya sana shiriki kwa wagaga wa kienyeji ndio watu wanaongoza kwenda kwa waganga uchawi hadharan ila Hilo Hawaoni kuwa ni ubaya ila mtu akienda kanisan inakuwa big deal duuu!!!
Tunakataa udini kwenye hii nchi. Mtu ana uhuru wake wa kuabudu. Huyo aliyeinuka na kuona Harmo kafanya vibaya mbona akimwona akifanya mambo yasiyompendeza Mungu hajawahi kumwita kuongea nae au kumkemea? Kwani aliombewa kwa nani? Si kwa Mungu ambaye wote tunamwamini? Mwisho kabisa kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana mtake msitake ndio imeshaandikwa
Na msichokijua zaidi mwislamu akivua nguo kwa ajili ya kuzini amevua uislam wake hata ungeitwa sheikh wa sampuli gani wasanii wote wazinifu mpaka atubu kwa mola wake kama atakufa akiwa mzinifu pepo hata harufu yake hataisikia na asa ivi kila kitu kibaya chabdilishwa jina kudet kuchiti yote ni uzinifu
Uyo kishiki ni mbaguzi wa langi ata waislamu wenzake anawasema vibaya,, acheni ushamba,, yule ni msanii so aimbi dini wala kuwaimbia waisilamu,, yy anafanya kazi kwa ajili ya jamii
Vipi yesu atakuwa Mungu na yeye kaumbwa na mungu? Sifa za Allah ni hakuzaa wala hakuzaliwa wala hakuna mfano wake..sasa vipi mnachanganya binaadamu awe Mungu..? Tunamuamini kuwa issa ibnu maryam ni mtume na waislamu wanapenda.
Kishiki yupo sawa
Viva via harmo viva. Yesu anakupenda sana na sisi wakristo tunakupenda sana
Kweli shekh maneno yako❤
Sheikh Kishki Yuko sawa uislam hauna Mambo ya kuchanganya sijui umoja wa kijamii sijui Mungu ni mmoja ila Mungu awe wa Imani inayoamini kwenye itikadi ya uislam
Yesu kasema "Mimi ndimi njia kweli na Uzima hakuna awezaye kufuka kwa Baba (Mungu) ila kwa njia Ya mimi(Kristo) So Harmonise amegundua siri. Kwa hiyo jitafutieni njia wala msimkashifu maana ana uamuzi wake binafsi.
MUNGU SI MMOJA , HATUABUDU WANAO MUABUDU WAO , WAO WANA DINI YAO NA SISI TUNA DINI YETU
(Surat : Al Kaafiruun..)
Miungu ipo tele kila aina
@SabihaibrahimRajabu Surat : Al Ikhlas + Surat : Al Kaafiruun ( Tuishi nazo hiz DADA angu )
@@SabihaibrahimRajabuwewe huna dini ndio ukasema hayo
@@SabihaibrahimRajabu we mjing et
Ni kweli hatuabudu Mungu mmoja Mungu mmoja...maana wa kwenu ndiye aliyeshindwa kumkataza Muhammad kuoa binti wa miaka 6
Usilolijua ni km usiku wa giza, Naheshimu imani ya kila mmoja, Mungu anaweza kukufanya chochote vyovyote, I believe in Jesus!🙏
iyo heshimu imani ya mwengine ili iweje, au ndio mnadhani mtakosa chakula watu mkiwaambia ukweli?
mimi nitasema na nitaongea even is anyone, hta uwe maarufu na pesa ngapi utakufa why tusiangalie tutakwenda wap after death
@gyestudios267 Lakumdin, kumuwalyadinu.
Msalamba ndiyo ishala ya ukristo ❤
Tumemuelewa vizuri saaaana sheikh kishki
Hakuna muislam ambae yuko na imani kamili ya kiislam then akaenda kuombewa kanisani na pastor
Shekh kishk allah amjaliye amani
Aamiiyn
Allah amuongoze kijana uyo sifa ameziweka mbele sana uyo
Someni Quran 109/6" Nyinyi mna dini yenu na Mimi nna dini yangu" Watu wanatumiwa ao kuonyesha ni sawa tu kuomba popote...waislamu tuna Muongozo mwema na sahihi kabisa ...
Sheikh wetu kishk shukran Sana umesema sahihi mbona chembelecho hakwenda mskitini
Wanaogopa kwenda msikitini hawathubitu kwenda na vipini vya pua herini na matatuu
WAISLAMU TUNA MUNGU WETU, NA WASIO WAISLAMU WANA MUNGU WAO , HILI SWALA LA KUSEMA MUNGU WA WATU NI MMOJA ILA NAMNA YA KUABUDU NDO TOFAUTI SI KWELI .... SI SAHIHI ..... NI UPOTOVU
EWE MUISLAMU REJEA KTK SURAT AL -KAAFIRUUN , HAKIKA QUR-AN YAKO ILISHA KUONGOZA , NA HAKIKA DINI YAKO IMEKAMILIKA .💯%
Dini haiwezi kunigawa kozi imani nimtazamo sio lazima
@@abdallahkaskas6168 hakuna unacho kijua ww umelishwa matango pori mpaka umevimbiwa ubongoo
Shida ni kwamba mnamezeshwa mambo msiyoyaelewa na kukariri vifunguvifungu labda nikuulize swali mpendwa nn maana ya neno IMAN?? ukijua hlo bac hutaona ajabu hata kwa mtu anaeabudu mizimu coz ndyo iman yake shikilia iman yako mengine waachie wenyew hamuwez jua nn kimemsukuma kufanya hvyo nyie mnaabud mdomomon lakin action ni 0%
Hamo shetani anaongozana nae atakupa Juta one day atakapomkengeuka
Ila uislamu unaubaguzi sana sijapata kuona kanisani sio shida yani wapinga kristo wapo duniani sema bado hawajajitokeza
We dini gani
Vijana pumzi na pesa zinawahadaa sanaaaaaa . Mungu atupe mwisho mwema
Asioabudu Isiokua Dini Ya Kiislamu ni Mushirikina, Haifai Muislamu Kuombewa na Mshiririkina, Asie Muamini Allah (s.w) ni Mmoja na Kumpwekesha.
Dini nikama vazi unaweza kuvaa au kuvua utakavyo muda na siku yeyote ukabadilisha hakuna shida mitazomo midigo inatusumbua sana
SubhanaAllah Dini kamaVazi Innalilah wainna ilaihy rajioun
Eti asiyeamini Uisilamu ni Ushirkina loh!!! hivi wanaotumikisha Majini ni kina nani? mmeaminishwa uongo
Mshirikina sio mtu mbaya. Ni mtu anaeshiriki jambo kwa Kina. Hakuna utofauti Wa Islam na ukristo.
Islam ni torati (bibilia ambayo ni Musa vitabu 5 vya bibilia mwanzo. 2/ZABURI (imo kwenye bibilia, 3/ injili (matayo, luka, mariko na yohana
We Kuma kweli
Shekhe kishk amezungumza vzr sana. Na ukweli km anataka kujifunza kwnn asiende msikitini au madrasa lujifunzaIla Ajie kwamba Allah hana haraka naendelee kufanya jeuri ajie tu uo sio mziki rafiki 0iko siku atataka kujua nn alikosea
Mtihani wallah tunasikia baba ake sijui shekhe sijui ostadhi wanawake harmonize wanampoteza sana
Inabid muanze na wasaniii wenu wanaovaaa uchi akiwa anafanya mabaya hamjawah kukemea kwenda tyuu kanisan vita achen hzoooo hakuna mwenye pepo ya kumpeleka mwenzie na ww unaehukum mwenzio jiulize ww ni msafi? Hujawah kukosea
@@bestforever-q2w know that uislamu haupo kwenye jina. Nerver judge any body as a muslim by his/her name religion is actions
@@gyestudios267 kama mnajua hvyo muache kuhukum tenden mema ninyi inatosha
Aaaah huna point unajichanganya
Huyu mwanamke yupo sawa...Allah amuongoze
Sasa si maisha yake ? Nyinyi ina wa husu nini? Ivi wewe sheikhe wewe ni mtakatifu? Yani una maanisha sababu âme ombewa hatabingiya mbingu??? Sasa dini ya kwanza nini kwako? Samahani saana izi ni siku ya mwisho sihoni dhambi ame fanya baba sheikhe 😊
Hapana, wengine kama wakristo hawamuabudu Mungu mmoja bali wanamuabudu Yesu
Ww yesu ni njia ya kumuona mungu sisi wakristo tunamuabudu mungu kama nyie mnamzungumzia mohamed
😂😂😂😂ni kweli kbs lkn yesu alikuwa njia kwa Wana wa Israel lkn sio nyie nyinyiiii we apo na sisi tunatakiwa tumfate mtume Mohammed radhi za ziwe juu yake ndoo tutafika kwa mungu lkn ukimfata yesu na we ni ummat Muhammad bas utajukuta motoni ALLAH atukinge na adhab zake amiin yaarabbli al'amiin @@LauMagwaja
Muislamu yeyote amekatazwa au tumekatazwa kusema utatu Qur'an 4:171.
Hata museme mungu ni mmoja, pia wanao amini mamipango wanaamini ndio wameumbwa na hayo mapango. Lets wait siku ya kufufuliwa
Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Inamaanusha nini? Katika aya uliyotoa
@@SABULILE hakuzaa, hakuzaliwa, hakuna kama yeye na ndiye mkusudiwa wa yote
Muziki wa kidunia na Uislamu habiendani. Ndio maana wasanii wengi wanashindwa
Go harmonize go unapopigwa mawe Mungu ndio atakuinua zaidi
Waislamu wote msipo mwamini Yesu Kristo
Na kuokolewa na yeye mtaenda motoni. Kata usikatae
Sheh wangu uyo ❤❤❤❤🫡🏃♂️🦅
Sheikh kishki uko sahihi maneno yako
Kila mtu ana dini yakee( lakumdin kum waliyadin)
Amin kwa Mungu mmoja
Usiseme alikuwa akidet sema alikuwa akizini wasanii wote ni wazinifu,halafu mchoshangaa kwa harmonize ni kitu gani yeye alitokaga siku nyingi kwwnye uislam.si alimuita mungu ni mwanamke waislam acheni kujitoa ufahamu
Harmonize ana tafta kiki hadi kanisani majuzi tu hapa alisema mungu ni mwanamkee
Ashavurugwa
Kishki Yuko sawa
Kishki mpinga kristo pamojaa na wale wote wanao pinga jina yesu
Shekhe ni binadamu kama binadamu wengine...fata Imani unaielewa usifate viongozi wa dini...... pastor, padre or father, shekhe wote ni binadamu......
Mungu n mmja Ila din ndo tofauti Kwa Stahl hii kuona ufalme was mungu n Kaz Maan wakrist n waislam Kun vita Kal ee mungu tuonyesh din ya kwel ni ipi
Mimi siamini katika Mungu Allah,,,kwangu hana tofauti na ...miungu
Harmonizer hajalazimishwa kwenda kanisani
sisi Mungu wetu ambae ni JEHOVAH niss anajitosheleza
hatuna haja na miungu mingine
hivyo Shekha .....Sisi hatuhitaji lolote kwenye imani yenu,,,
Harmonizer kaiona Nuru upande wa pili,, kaona aje atakasike 😂😅
the sweyksh you talking is not knowing Allah who created you by the one you know, find the right path bro. never mind ukisikia Qur'an ikisomwa hata unaweza lia.
Everyone will have his /her own decision at the end
Are you okay about it
Acha ubaguzi mungu ni mmoja tyu naweza sali hata kwenye mti na mungu akanisikia ..
Waislamu ni wanafiki sana tena sana leo hii waislamu walevi,wazinzi wachawi ni wengi kweli lakini hawakemewi mtu kaenda kanisani na kutamkiwa baraka washaanza kutukana na kukashifu...kumbuka dua la kuku halimpati mwewe yamkini Mwokozi kamtokea
Wewe umeenda lini msikitini kuombewa?
Imani zote zinamuomba mungu haijalishi ni dini gani,uwe mchina,muindi,mzungu,mwafrika,mwarabu,sasa wewe sheikh ubwabwa usituletee roho za kibaguzi hapa
Allah amuongoze
Kwani mungu wa wakristo ni mwingine jamani mbona tunaishi pomoja mitaani tuache ubaguzi sisi sote tunamwomba mungu mmoja msitenge wakristo hajakosea hom sisi sote ni ngugu
Dini ndio inaongea sio kishki yeye ndio amefikisha ujumbe
Hermonize atabarikiwa na Mungu...Mungu ni mmoja .....
Mtangazaji usirahisishe mambo muislam haruhusiwi kuvaa msalaba
Mnalipwa kuleta vita ya udini, kiufupi hamjitambui ata kama mnatafuta content,, tambua mungu ni mmoja
Mnapaka rangi sanaa, mtu akizingua nyoosheni tu maelezo jamaa kazingua.
Yesu ndo jbu la maish
Hapana yesu n m2 atakaewakana sku za mwsho na mtakuja kuunguwa moto
@@NasumaYusuph kwahiyo Muhammad ndiyo MUNGU 🤣🤣🤣
Tuna hakika na yy Yesu ndiye njia kweli na uzima❤❤❤❤@@NasumaYusuph
Muhammad sio mungu ni mtume , sisi waislamu tunaamin hivo
Supreme god
Kajiita Horminize ataingia tu huko.hamuono wanavyoo VAA NA MAOETE YA KIAJABUU😢
Sheikh Kishki Upo Sawa
...watu wanatiwa ujinga na wanapotosha Harmonize ana influence kwa washabiki wake wapo wataomfata na waislam....wakristo wanaamini Mungu ila sio Allah.
Hamonise kuwa mkweli na sema ukweli kama umeslimu umeingia ktk sini ya kristo weka wazi acha kujibabaisha
Kwan mungu si mmoja shehe kwan mungu niwa waislam to peke yake we vp, kumbuka MUNGU ana dini yeyte din wamezileta wamisionali kwan we shekhe we ni nan?
Na uyuu sio sheee awa makafilii 2 mbona watu wana tekwaa wana uliwaaa awa masheee atuwaonii co kwenyee mamb ya kipumbavuu wana jifanyaa wanajua Sana Amna masheee apoo makafilii 2 aooo
ACHA MAKASIRIKO NA MIHEMKO HUO NDIO UKWELI NA UTASIMAMA HIVYO HADI MWISHO WA DUNIA
Ww.ni mjinga kama wajinga wengine usitukane mashekhe kafir mututu ww
Kabla ya waarabu na wazungu hatukuwa na Mungu
KWAIYO MAKONDA ANAPOKUWA ANAOMBEWA DUA NA MASHEH,,,, MBONA MPO KIMYAAAAA,,,, IZZZZI DINI SIO ZA KWETU,,,, PUMBAVUUUU
Mshirikina anaeza kufanya llte mana tayari yy kidhapotea
TELL THEM, TELL THEM
Ushawahi kumuona mkiristo kwenda kuombewa ndani ya msikiti,labda nje kwa sababu Hana tohara kaisome vizuri dini
Makonda na wengine viongozi wa kisiasa huwenda Kwa sababu ya kujikurubisha Kwa wananchi kutaka kura na sympathy hii unafanyika nchi nyingi hasa viongozi wakikiristo mathalan kule America kila siku yakulalia eid-fitri huandaa iftaar wakenda viwanja vya msikiti wakala hata wakaswali lakin hairuhusiwi tunachanganya siasa na dini ,so Kwa konde boy ni kiki ili kutaka sympathy Kwa mashabik wake!
@@Fear_Allah394we ni kuma
Kila got na litapigwa na kila ulimi utakiri kua yesu ni bwana.
Nyinyi watangazaji mbona ni wazinzi kweli kweli je Mungu wenu na dini yenu ndio kahalalisha
Sio kwenda kanisani tu ata kazi ya muziki kama bado ni muislamu nimakosa na ata maisha anayoishi kama ni muislam nimakosa
Utatu jeeee!
Wakrosto lazima watatea lkn ki dini sio sahihi mtu kwenda kwenye maombi y dini y mtu mwengine
Kuvaa mslaba kwa uislam ni Haram kubwa sana mtume amesema ukiona kitu nyumbani kwako kina ishara ya msalaba unatakiwa ukivunje vunje na ukitupe tume katazwa na mwenyezi MUNGU tujiepushe kuiga Mila na desturi za Imani za dini nyengine kwani dini yetu imekalika Kila idara.
Waafrika sisi watu wa hovyo sana
Acha uchochezi wewe tuliaaa
Mungu yupo popote pale na hanaubaguz wa mazehebnu iman yuako ndiyo itakayo kuponya
imani ni kuwa na uhakika wA mambo yatalajiwayo ni bayana ya mambo yasiyo yasiyoonekana
Bila msalaba umeisha unazunguka zunguka tu duniani..
Mbona kwa mwamposa waislam wanaenda wengi kila mtu ni wa Mungu
Nenda
KasoMe phiology utaerewa,
Utajua mana ya Islam na Christ... Wa follow wachokonozi.... Uijue dunia
Dini inasheria zake ...sheria ya kiislam hakuna dini mseto.... Harmonize hajui dini....muislam anaweza kuingia kanisani kwa lengo TU la kwenda kuona jinsi wakristo wanavofanya Ibada zao au kutoa dawa Ili wajue kama dini wanayoifata sio sahihi....ila hapaswi kushiriki Ibada yoyote
Ila kishki watamuuguza preasha bara mara et sharf maji ya upako mara uyo taira harmonize
Sheikh Kishki hawa diamond na harmonice walishakufuru siku nyingi na sasa wanawacheza shere tu waislamu na muda c mrefu tutaona makubwa
Kuvaa msalaba ni big deal, kwa sisi Muslims, kanzu ni vazi hata wewe kinabo unaweza kuvaa kanzu, lakini Muslims huwezi vaa msalaba ni noma
Yeye ndiye anaejua yule nimpana waakili huko kwenye mziki kaona mambomengi kuliko unavyofikir kwahiyo anaejua ukweli ukowap 10:37 10:37
Konde uko sawa muha dini ninjia kiswahili na uislamu ni unyenyekevu nayesu nimnyenyekevu na yeye ndio njia kwamaana yoyote myenyekevu ni muisilam kwamaana mchawi ruhgat bg konde mwisho kabisa yesu ndie hakimu wazambi zetu na ndomfufuaji si muhamadi hivo wote dini nimojat
❤
Muislam kuvaa msalaba kwa namna yoyote hile haikubaliki kiislam
Na muislam kuingia kanisani kuombewa ni makosa makubwa sana kiislamu ila watu wanaona kawaida tu
Kama anataka kujifuza na ajifunze uislamu unamuambia nini ktk haki zake kama muislamu
Katoka katika wislam dini hii ina utaratib wake
Waislam bwana Yan watu wao wanafanya sana shiriki kwa wagaga wa kienyeji ndio watu wanaongoza kwenda kwa waganga uchawi hadharan ila Hilo Hawaoni kuwa ni ubaya ila mtu akienda kanisan inakuwa big deal duuu!!!
acha hizo
Hamo na diamond sio waislam
Tunakataa udini kwenye hii nchi. Mtu ana uhuru wake wa kuabudu. Huyo aliyeinuka na kuona Harmo kafanya vibaya mbona akimwona akifanya mambo yasiyompendeza Mungu hajawahi kumwita kuongea nae au kumkemea? Kwani aliombewa kwa nani? Si kwa Mungu ambaye wote tunamwamini? Mwisho kabisa kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana mtake msitake ndio imeshaandikwa
Mwana mwenyekapero nimekuelewa kinyama asielewa hatoelewa bass tena
Ukristu ni ukafili huo ndio ukweli
Acheni uchochezi wa kidini E.A.T.V
msalaba ni ishara ya kuwa mvaaji ni mkristo
Nyie mnamuona harmonize yuko sawa kiki zitamtoa hakili na mibangi
Na msichokijua zaidi mwislamu akivua nguo kwa ajili ya kuzini amevua uislam wake hata ungeitwa sheikh wa sampuli gani wasanii wote wazinifu mpaka atubu kwa mola wake kama atakufa akiwa mzinifu pepo hata harufu yake hataisikia na asa ivi kila kitu kibaya chabdilishwa jina kudet kuchiti yote ni uzinifu
Uyo kishiki ni mbaguzi wa langi ata waislamu wenzake anawasema vibaya,, acheni ushamba,, yule ni msanii so aimbi dini wala kuwaimbia waisilamu,, yy anafanya kazi kwa ajili ya jamii
Huyu sheik analalamika nn na hajawah hata kumnunulia ndala, kila mtu na imani yake asilazimishe mtu kuamini anachokiamini yeye, Kwan yeye sio Mungu
VIONGOZI WA NCHI WANAOOMBEWA NA MADHEHEBU MENGINE NA HADI WAGANGA NA WAZEE WA JADI HAMUWASEMI WANAFIKI WAKUBWA SANA
Nyie Nani kawaambia kama kanzu ndio uislam kanzu ni nguo ya kiarabu Ila sio ya kiislam so mtu yoyote anaweza kuvaa
Vipi yesu atakuwa Mungu na yeye kaumbwa na mungu?
Sifa za Allah ni hakuzaa wala hakuzaliwa wala hakuna mfano wake..sasa vipi mnachanganya binaadamu awe Mungu..? Tunamuamini kuwa issa ibnu maryam ni mtume na waislamu wanapenda.
Ni masharti ya frimanso
Ubaguzi tu kwamba wakristo ni wadhambi au😂
Shida iko wap...!?
Mungu wenu wamanjin ndo kakosewa ila huyu muumbaji kwake ni sawa ila huo otopolo anaoongea uyo shehe ni utimu au upinzan
Mnachofanya mashekh kumnanga harmonize kwenda kanisani huo niubaguzi wa kidini kwani mungu ni mmoja tatizo Liko wapi