PUTIN aitisha kikao cha dharura, US na UFARANSA zadaiwa kuweka kambi ODESA, shambulio jipya laua 5!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 เม.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 157

  • @chachajulius4481
    @chachajulius4481 หลายเดือนก่อน +12

    Uko vizuri Sana sky hongera Sana endelea kuchapa kazi

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 หลายเดือนก่อน +11

    Namkubali sana Dj smaa Uchambuzi wake ni mzuri sana.

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ibariki urusi pamoja na rais wake

  • @emmanuelkanyela275
    @emmanuelkanyela275 หลายเดือนก่อน +9

    mrusi hawezi kushindwa hii vita hata ukiangalia istory hipo hvyo kwanini NATO alikuwa wanaogopa hiyo vita

  • @hudumablack9339
    @hudumablack9339 หลายเดือนก่อน +6

    Naikubali sana SNS kwa taarifa za uhakika, waandishi na wachambuzi wenye vipaji vya hali ya juu🎉🙏

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk หลายเดือนก่อน

      Ww ni bangi sasa apo wakisema upande wa pili utasema ni uongo tatizo ushabeki mandazi

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 หลายเดือนก่อน

      ​​@@raydanfrenk kwann Bado Unamfatilia Habar zake Achana Nae Nenda Ukaangalie Jua Kali 😂😂😂 Kma Zinaegemea Upande Mmoja Kumbe Wew Dada Mpumbavu Sana Sasa hapa Kagemea Wapi Kwan hii Vita Ya Ukraine Sponsor Ni Nani Kma Sio America Na NATO Sasa hapo Unaegemea VIP Wacha Kutetea Mataifa Yanayo Tetea Ushoga Na Kutaka Dunia Iwe Kila Nchii Kupangia Cha Kufanya Kma Ujui Ni wewe Ila Dunia Zima Inajua Kuwa Vita Vya Ukraine Vinaendeshwa na NATO na America Wakisema Ukwel Oooh Wanaegemea Upande Mmoja Ulitaka Waseme Vita Vya Ukraine Vinaendeshwaa Na Saudi ARABIA 😂😂😂😂😂 Pumbavu zako

    • @hudumablack9339
      @hudumablack9339 หลายเดือนก่อน

      @@raydanfrenk Acha wivu bro hata sijui ni kwa nini watu wengine huwa hawapendi kuona wengine wakisifiwa

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 หลายเดือนก่อน +34

    Baado hawajasema yaani mbaka waseme viva Russia viva Putin

    • @damianlyimo1011
      @damianlyimo1011 หลายเดือนก่อน

      Siyo jambo la kufurahia watu kuuawa waza kama angeuawa Mama Yako je ungefurahia???

    • @muzamildouble99double99
      @muzamildouble99double99 หลายเดือนก่อน

      ​@@damianlyimo1011si walipenda wenyewe wamarkani ndio waliwadaganya 😂😂

    • @simonmartin5358
      @simonmartin5358 หลายเดือนก่อน +1

      Unatukataza tusifurahie mlengo wa mashoga kuuwawa, vp unapenda washinde wakuletee nawwe ushoga mpuuz kwel

    • @user-tq4lx9si1n
      @user-tq4lx9si1n หลายเดือนก่อน

      Hawa waislamu wanapenda sanamauaji uwoni nduyaokilauyo anayechambua anavyofraia lakini magaidiwahamasi wakiuliwa analialia​@@damianlyimo1011

  • @user-sd5hj2im4q
    @user-sd5hj2im4q หลายเดือนก่อน +2

    Yes, Master of sns channel Mr. DJ SMAAA

  • @user-vi7ly9zh1q
    @user-vi7ly9zh1q หลายเดือนก่อน +8

    Dj smaa pona upesi inshaallah tume kumiss sana 😢😢 jamani

    • @jerryndondole1965
      @jerryndondole1965 หลายเดือนก่อน +1

      Mwenyezi Mungu amponye upesi

  • @jerryndondole1965
    @jerryndondole1965 หลายเดือนก่อน +2

    Dj Sma bingwa wa Geopolitics

  • @user-xo9we4yx1c
    @user-xo9we4yx1c หลายเดือนก่อน +6

    Rusiia ❤❤❤❤ bado ipo juu

  • @rabomunde3550
    @rabomunde3550 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana tena saaana kaka

  • @geoufo2858
    @geoufo2858 หลายเดือนก่อน +5

    Ngoja nitubu zangu naona dunia inaenda kufika mwisho Sasa

    • @user-qq6mv6vh3e
      @user-qq6mv6vh3e หลายเดือนก่อน

      Pamoja

    • @AbuleEca
      @AbuleEca หลายเดือนก่อน +1

      Huo ni mwisho wa Dunia kutengeneza maisha ni bora yani kutubu kutafuta nafazi kwa makahoo yajayo ya Bwana arusi na bibi alusi
      Hacha ni wakumbushe UNYAKUO ni karibu sio mwisho wa dunia bimakanisa bya kuoza bitaende bila MUNGu.

  • @DevyMtanza-fc2nn
    @DevyMtanza-fc2nn หลายเดือนก่อน +3

    Marekani kihelehele acha afe

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 หลายเดือนก่อน +19

    God bless russia 🇷🇺

    • @user-xn5xr6km3i
      @user-xn5xr6km3i หลายเดือนก่อน

      Wana mchokozaga huyu bwana ili hali mnamjuaga vizur

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 หลายเดือนก่อน +3

    Majeshi ya marekani, ufaransa, uingereza,ujerumani yamekuwepo muda mrefu kwa jina la askari wa kukodiwa na wengi walishakufa.
    NATO hawana jeshi Moja, wanamajeshi mchanganyiko na yaliyosambaa sana hayawezi kuishimda Russia iliyopata uzoefu na ujasiri wa kuendesha vita miaka 2 bila kuchoka

    • @raymondmushi9019
      @raymondmushi9019 หลายเดือนก่อน

      Huko odesa nako anapigwa.ndiyo maana anadai odesa siyo bure,kuna wanajeshi wa NATO.ukiona adui analalamika,ujue umemtaiti penyewe

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo hostel yalikaaa majeshh yakigenn

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 หลายเดือนก่อน

    Pamoja from Oman 🇴🇲

  • @Khaledkazmile
    @Khaledkazmile หลายเดือนก่อน

    Safi sana urusi

  • @omaryminzi7715
    @omaryminzi7715 หลายเดือนก่อน +1

    Putin is game changer marekani wangetunyanyasa sana kutufanya wanaume wake zao😮😮

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 หลายเดือนก่อน

    Sipendi Marekani

  • @fredrickkagwa8853
    @fredrickkagwa8853 หลายเดือนก่อน +1

    Muda wote nakaa na kushangaa upiganaji wa kistarabu namna hii. Loading.,........

  • @harithimahmoud1577
    @harithimahmoud1577 หลายเดือนก่อน

    SAFI SANA IYO IMEKAA PW

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 หลายเดือนก่อน +1

    Point kweny vifo vya watu ujinga

  • @user-ql6hg7fy9p
    @user-ql6hg7fy9p หลายเดือนก่อน +1

    Daima kila jema likawe upande wa Urusi.

  • @JumaNjiku-df1fd
    @JumaNjiku-df1fd หลายเดือนก่อน +1

    Ulaya kama wanataka warudi nyuma karne kadhaa wajiingize kikamilifu kwenye vita na Urusi! Wataharibiwa kila walichotengeneza.

  • @josephelias7364
    @josephelias7364 หลายเดือนก่อน

    ARIZONA, ARIZONA, ARIZONA!

  • @AbdallahMohamed-en9ko
    @AbdallahMohamed-en9ko หลายเดือนก่อน +1

    Wamatoka mbali kukutafuta mungu akupe Kila aina nguvu uwashinde wale wote wenye Nia ovu na wewe

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 หลายเดือนก่อน +3

    Smaah anajichanganya,,,,anasema majeshi ya nje YAKO ukraine kitambo sasa why SASA hivi tetesi za uwepo WAO ziwe stori?

    • @OmaryOmary-lk7zc
      @OmaryOmary-lk7zc หลายเดือนก่อน

      We ndo unajichanganya

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 หลายเดือนก่อน

      @@OmaryOmary-lk7zc WEWE NDIO umejichanganya

    • @yekrinasoftware
      @yekrinasoftware หลายเดือนก่อน

      wengi wako bias pamoja na kumuunga mkono russsia sikatai ila hamjui hawa manyangau putin kuna saa hatumii akili ngoja soma hii comment usrusi itakiona mno huyu mchambusi ana tumia bias
      kupata views

  • @AliAli-hs8si
    @AliAli-hs8si หลายเดือนก่อน

    Naammm

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 หลายเดือนก่อน +1

    Putini wapige mpaka waisome number

  • @mpzooculture4959
    @mpzooculture4959 หลายเดือนก่อน

    Dj sma yuko wp mbona atoi vidonge na maji siku izii

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything หลายเดือนก่อน

    ✌️👊👍.

  • @GeorgeMagadula
    @GeorgeMagadula หลายเดือนก่อน

    We dj sma ata sikuelew pga mzik tu boi

  • @alisaid9920
    @alisaid9920 หลายเดือนก่อน

    Ukraine imekwisha haina dira

  • @RajabuHussein-to7jz
    @RajabuHussein-to7jz หลายเดือนก่อน +2

    Naamini uruss inauwezo mkubwa haomashoga wataangamizwa tu

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 หลายเดือนก่อน

      INSHAALLAH ❤🎉

    • @abelimwakijungu1226
      @abelimwakijungu1226 หลายเดือนก่อน

      Putin hapingi mashoga, kwake urusi wako wengi tu, wanaparty kama kawaida, Putin ni mzungu wa west kama mzungu mwingine. Anacheza karata ya uongo ya kujiita ni East na kujifanya kupinga ushoga kupata support ya Wasioelewa ukweli.

    • @OmaryOmary-lk7zc
      @OmaryOmary-lk7zc หลายเดือนก่อน

      ​@@abelimwakijungu1226acha uongo😂

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 หลายเดือนก่อน

      ​@@abelimwakijungu1226anapinga ushoga papa marekani Israel ndo mashoga

  • @user-rr4sl5lk7g
    @user-rr4sl5lk7g หลายเดือนก่อน

    bado hawasema

  • @janetlamb9018
    @janetlamb9018 หลายเดือนก่อน

    Hata Urusi imepoteza wanajeshi wengi mbona russia inakodisha wapiganaji kutoka Napel, Brazil na Syria.

  • @victorsimundwe2518
    @victorsimundwe2518 หลายเดือนก่อน

    Uraaaaaaaa

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 หลายเดือนก่อน +1

    Hamkumbuki tu,urusi alitoa masaa 48 kwa majeshi ya ukreini kuweka silaha chini pale mwanzoni mwa vita.lakini alipata kipigo cha mbwa koko.ndiyo akakimbilia mashariki mwa ukreini kule kwenye bandari ya odesa.na mpaka leo ni miaka miwili na zaidi hakuna lolote zaidi ya kulalamika.

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 หลายเดือนก่อน

      Kwani ktk hii Vita nani aliyetumia Nguvu kubwa ya Pesa na silaha? Mie sijaona mpaka sasa Urusi katumia silaha zake za Kisasa labda aanze sasa. Na sijaona mpaka sasa Urusi kapeleka jeshi lake labda waanze sasa. Alisema vile Sababu atakapoanza Kutumia silaha zake hakuna atakayepona. Jeshi la Ukraine lilipigana na Wagner na Wagner siyo Jeshi Bali ni kikundi cha wahuni.

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 หลายเดือนก่อน

      Wakala wa mashoga mtasema tu

    • @ManyaSumaili
      @ManyaSumaili 27 วันที่ผ่านมา

      @@omarymwaluko9765 wewe urusi anaijuwa marekani vizuri Sana ana uwezo yakuishinda marekaani

  • @muzamildouble99double99
    @muzamildouble99double99 หลายเดือนก่อน +1

    Viva Russia wapiga kbsa machura ya wamarkani lzm izorote

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 หลายเดือนก่อน

    Aliya taka wamelipuliwa urusi leo

  • @mountaincoffee7
    @mountaincoffee7 หลายเดือนก่อน

    Iyo ni saiuti ya dj sma au ndo Al sky jibu. Nawasiwasi na iyo sauti😢

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 หลายเดือนก่อน

    Good mr Putin ❤❤❤

  • @saulmwalubunju1076
    @saulmwalubunju1076 หลายเดือนก่อน

    Huyo m8saada anayotoa us ndio inachochea nchi nyingine ziingie vitani kama Palestine ili nazo zipewe misaada njaa zai zinawaketea utunwa

  • @benjaminjulius8021
    @benjaminjulius8021 หลายเดือนก่อน

    Naona kama mchambuzi anaupande hivi.......😂

  • @muhseenmakpel5043
    @muhseenmakpel5043 หลายเดือนก่อน

    Uraaa putin

  • @rabomunde3550
    @rabomunde3550 หลายเดือนก่อน

    Yes putin

  • @user-ix4fv2nj2v
    @user-ix4fv2nj2v หลายเดือนก่อน

    Dj smaa kumbe upo

  • @omarymwaluko9765
    @omarymwaluko9765 หลายเดือนก่อน

    Marekani mashoga papa shoga Israel mashoga lazma wangamizwe

  • @user-lv1ki7nn7t
    @user-lv1ki7nn7t หลายเดือนก่อน

    Good job Russia ❤❤❤❤❤

  • @fredrickkagwa8853
    @fredrickkagwa8853 หลายเดือนก่อน

    I hope Kuna jambo baya zaidi linaendelea ktk Dunia yetu zaidi ya hiki tunachokiona. Sunday movement is making its way in darkness. Hizi vita zikija kuisha tutapakuliwa mezani jambo ambalo Dunia itashangaa😮😮

  • @JumaNjiku-df1fd
    @JumaNjiku-df1fd หลายเดือนก่อน

    Piga mpaka wakimbie wenyewe! Washenzi wakubwa hawa!

  • @simonmartin5358
    @simonmartin5358 หลายเดือนก่อน

    Waachen wakajipime, wanadhani kule kunamashoga.

  • @ManyaSumaili
    @ManyaSumaili 27 วันที่ผ่านมา

    Wewe mongo Akuna Madjeshi yakutoka indje

  • @musasaguti4760
    @musasaguti4760 หลายเดือนก่อน

    Mnaoipigia debe USA na WAMAGHARIBI mtasubiri sn mpk mwisho mtaipongeza URUSI tu😅

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 หลายเดือนก่อน

    Piga ao mashoga sisitupo nyuma ya Urusi tukiwatakia heri.

  • @godfreyfrugence4176
    @godfreyfrugence4176 หลายเดือนก่อน

    Godbless russiaa

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 หลายเดือนก่อน +1

    Inaeleweka.Ukrai n e haiwezi kumshinda Mrusi.Never.
    Nato haitaki kujiingiza huko😮

    • @abelimwakijungu1226
      @abelimwakijungu1226 หลายเดือนก่อน +1

      Mrusi alishindwa dhidi ya Afghanistan alipoivamia. Kumvamia mtu kwake ni tofauti na vita vya kujilinda. Soma historia.

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 หลายเดือนก่อน

      ​@@abelimwakijungu1226marekani pia kashindwa Afghanistan

    • @jonasmrema8550
      @jonasmrema8550 หลายเดือนก่อน

      Hawa waarabu weusi hawawezi kuelewa​@@abelimwakijungu1226

  • @omarymwaluko9765
    @omarymwaluko9765 หลายเดือนก่อน +1

    Putin piga mashoga hao

  • @MOLOSTUDIO-ne3jz
    @MOLOSTUDIO-ne3jz หลายเดือนก่อน

    Am still wondering this guy name fuse where he getting this false news sometimes

  • @MAHAN-099
    @MAHAN-099 หลายเดือนก่อน

    Acha tuone itavokuwa

  • @mwenebatuetabo5515
    @mwenebatuetabo5515 หลายเดือนก่อน

    Wapigane tukwa nini kama nato na wa bwana wao kama ni wanahume watangaze vita tu

  • @AganzeJanvier-be4id
    @AganzeJanvier-be4id หลายเดือนก่อน

    Kwa nini sisi wa Afrique tunasema sana yanayo jiri kuko ikiwa apa Afrique kuna vita Kali kuliku uko kifupi apa Congo drc kunakufa watu wegi kila siku zaidi ya 50 kwakila Siku 😢

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 หลายเดือนก่อน

      hio vita hapo congo inamaslah kwa wazungu

  • @Masele85207
    @Masele85207 หลายเดือนก่อน +3

    Mwamba Vladimir Putin, piga hao mashoga wa magharibi sisi kama team yako tunakuombea.🇹🇿🇹🇿🇷🇺🇷🇺💪

  • @user-rx6tx3zi7q
    @user-rx6tx3zi7q หลายเดือนก่อน

    Simpsons predicted

  • @user-cu9mj3xj8x
    @user-cu9mj3xj8x หลายเดือนก่อน

    viva. sns

  • @user-xc6ls9xn8h
    @user-xc6ls9xn8h หลายเดือนก่อน +1

    Vladimir Putin akishinda vita sasa ulaya yote kaaen mkawo wa kulala njaaa

  • @Happy-be8hh
    @Happy-be8hh หลายเดือนก่อน

    Mbona unatudanga kwa mara kadhaa huyo sie Dj smaa

    • @user-vi7ly9zh1q
      @user-vi7ly9zh1q หลายเดือนก่อน

      Ndio yeye sema tumemmiss

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk หลายเดือนก่อน +1

    Mchambuzi wa mchongo 😂😂😂et wameishiwa wanajeshi wote sasa kama wameisha si waingia moja kwa moja

    • @msodokidasilva6739
      @msodokidasilva6739 หลายเดือนก่อน

      Unatafta reply haya iyo nimekupa 😂

    • @user-rt1wf6se5f
      @user-rt1wf6se5f หลายเดือนก่อน

      Ray nipe no zako nkutoe hicho kinachokusumbua mana mtu wako hawezi kukutoa😂😂😂

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 หลายเดือนก่อน

      Huyo kazoea kwampalange halaf bwana ake hamfiri anahangaika kutafuta mabwana

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 หลายเดือนก่อน

    umarekani ufaranca wana takanini ? Basi watahuhona mziki wa urusi 😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-lv4cx1sc5d
    @user-lv4cx1sc5d หลายเดือนก่อน

    Urusi ni. Kubwa

  • @ahmedsaidbachuba2398
    @ahmedsaidbachuba2398 หลายเดือนก่อน

    Wewe mbona una Seema urusi kushambuiia je hawa hawawezi kushambuiia acha uongo

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 หลายเดือนก่อน

    Mpka Putin tuna mkamata tunampunguza

  • @user-xw5uq4fr8x
    @user-xw5uq4fr8x หลายเดือนก่อน

    Good bless Russian

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 หลายเดือนก่อน

    Kongole russia

  • @justicebridge
    @justicebridge หลายเดือนก่อน

    Hapo ndo unakosea, how do you know kuwa ukraine hatashinda? Shida mnakuwa na mapenzi ya upended mmoja wewe report direct what is going on

    • @abdallahmasanja621
      @abdallahmasanja621 หลายเดือนก่อน

      Utashinda kwa silaha za mkopo

    • @jonasmrema8550
      @jonasmrema8550 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdallahmasanja621Israel aliwahi kushinda magaidi ya Misri na muungano wa magaidi yote ya kiarabu kwa silaha za mkopo

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk หลายเดือนก่อน

    PUTIN ASIWAONEE HURUMA HATAKIDOGO. HAO NDIO WAMETUULIA GADAFIWETU NA SADAMU. CHAPA HADI MMBWAWAAO.

  • @user-nu4xr6ik5n
    @user-nu4xr6ik5n หลายเดือนก่อน

    Mungu bariki Russia 🇷🇺🇷🇺 ishinde vita

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 หลายเดือนก่อน

    Ukraine imeingizwa chaka na NATO. Hasara za kiuchumi watakazozipata Ukraine zitakuwa kubwa kuwahi kutokea katika historia ya taifa hilo. Huyo Rais wa Ukraine ni mpumbavu sana. Hiyo nchi itapaswa ianze kujengwa upya kabisa maana imeharibika kupita kiasi.

  • @justicebridge
    @justicebridge หลายเดือนก่อน

    Russia must loss.kwanza kisha shindig mpaka sasa alitangaza operation ya 2weeks now is a couple of years.nachotaka uje russia is a nonsense. Sasa kama unapigana na taifa dogo unatumia miaka.na wale waukraine shida wakishiwa silaha lakini putin hanajeshi imara huyo propaganda za kijamaa tu.

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti หลายเดือนก่อน

    Hakuna taifa ambalo litaka kupigana vita miaka miwili urusi anatani vita viishe ndomana alaumu NATO tuwe wakweli

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 หลายเดือนก่อน

    Putin afe

  • @romansixbert4529
    @romansixbert4529 หลายเดือนก่อน

    All what that guy is doing is speculations.
    Anaharibu credibility ya sns. Btw Odesa is Port City of Ukraine. Ni South na mbali kidogo na line of contact (East). Kuhusu Putin kuweka kikao cha dharura bado ni speculation na hajasema source yake zaidi ya kusema ni taarifa za intelijensia. Nakubaliana na yeye kwamba Ukraine amezidiwa kwa sasa dhidi ya jeshi la Urusi.
    However, Ukraine ina population ndogo sana ya wanaume wa umri wa kupambana vita (18-45) ndomana wanapata shida sana kupata wapambanaji wa kureplace wale waliojeruhiwa au kuuliwa vitani.

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 หลายเดือนก่อน

      Mr six yes Odesa ni mji wa Bandari wa ukraine upo south of ukraine katika black sea na ndipo mazao mengi ya ukraine tanasafirishwa kutokea hapo.on top of that mipango mingi ya kushambulia navy ya mrusi(black sea fleet) ilitokea hapo.kitu cha mwiaho inabidi ujue kuwa russia amefanya precission atack inamaana pale panakitu though no one has confirmed it.usisahau pia such kind of attacks zimefanyika kharkiv piah.

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 หลายเดือนก่อน

      Kuhusu conscription ni kuwa ttz sio umti ttz ni kuwa watu wa ukraine hawataki kupigana hyo vita mbn urusi ana draft ile ile moja tu hajaita nyngne ...?.

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 หลายเดือนก่อน

    Viva russian

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 หลายเดือนก่อน

    Weee ni chawa wa urusi.wee hujui kinachokuja nini.haitokei ukreini kusarenda.nato iko tayari kuingia vitani.,kuliko kuona ukreini anasarenda.

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 หลายเดือนก่อน

      Huyu jamaa tunamjua ni anamrengo wa urus hawa ndiyo waliaminisha watu kwamba tayari urus imechukua ukrine lakini mwaka wa 3

  • @MohammedGabaye
    @MohammedGabaye หลายเดือนก่อน +1

    Wanagombea nn ao wapuuz mpaka miaka yote wanapigana

    • @user-fx7ig1uy6t
      @user-fx7ig1uy6t หลายเดือนก่อน

      Mi mwenyew najiuliza hivohvo

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-fx7ig1uy6tmashoga hamuez kuelewa

  • @user-ql4qw3ow4r
    @user-ql4qw3ow4r หลายเดือนก่อน

    Putin ajiandae kipigo kamili

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 หลายเดือนก่อน

    Putin anafirisika

  • @pascalmanyama2304
    @pascalmanyama2304 หลายเดือนก่อน

    NATO sikio la kufa!

  • @Zenny89
    @Zenny89 หลายเดือนก่อน

    Lazima Putin aitwe kwenye kikao cha dharura…Sababu 101st Airborne Division ni kikosi legendary cha marekani…kinahistoria ya kupigana vita ya kwanza na pili za dunia..Hao Ndo walifanya Hitler kushindwa vita

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 หลายเดือนก่อน

      Historia tu sasahivi mambo yamebadilika, vita mwaka wa 3 huu marekani na NATO yake wamepata hasara kubwa sana na bado wataendelea kupata hasara maana wanapigana na mzoefu, walitegemea wataishinda Urusi kwa mwaka mmoja lakini mambo yamezidi kuwa mabaya kwa upande wao, ona afrika magharibi wanavyofurushwa kila siku 😅😅😅😅😅 iko wazi kuwa marekani na NATO yake wamechemka yani ni aibu kubwa sana

    • @Zenny89
      @Zenny89 หลายเดือนก่อน

      @@nizarrama225 Wewe Basi Ndo hujui kinachoendelea🤣🤣… Mmarekani Hana shida na Nchi za Africa Sababu anajua hata mkimfukuza viongozi wetu watarudi tuu muda si mrefu kuomba misaada🤣..Kitu ambacho wamarekani wanajua kuhusu Africa ni kwamba tunatamaa ya hela🤣🤣… Mfano mzuri hapa bong..wewe unafikiri kwanini watu wanamuita Mama Samia anaupiga mwingi?? Unafikiri hayo mamilioni ya hela anayoleta Bongo kujenga yanatoka Zenji nini🤣..Hizo ni hela za Wamarekani na Ulaya zilizoombwa bank kuu ya dunia🤣…uko Dubai na Nchi nyingine za kiarabu biashara kubwa zote zinazofanyika na kuonekana ni Nchi za kitajiri ni investments kutoka Marekani na Ulaya…Kampuni zote zinachimba mafuta ni investment kutoka Ulaya na Marekani..Ila huwa wanaweka mtu anayetokea hizo Nchi kusimamia na pia jina la kampuni huwa ni la kizalendo…Ila nyuma ya pazia investors ni wamarekani na Ulaya…Mfano mzuri juzi tuu hapa..Kampuni ya BYD ya China ambayo imeipita Tesla kuuza magari ya umeme..Ni kampuni ya China lakini Investor wakubwa karibia wote ni Wamarekani.

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 หลายเดือนก่อน

      @@Zenny89 pointless..? subiri dawa ikuingie vizuri kuhusu Ukraine, the project of Ukraine is totally failure 😂! Mashariki ya kati ndo wamechemka kabisa na taifa lao la mchongo waliloliunda nakulipa jina la Israel, mwezi wa 8 sasa wameshindwa kuwakomboa mateka wamebaki kufanya mauaji ya kimbali!

    • @Zenny89
      @Zenny89 หลายเดือนก่อน

      @@nizarrama225 Sawa Hezbollah 🤣🤣 nakuona unausomali ndani yako Ndo maana.

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 หลายเดือนก่อน

      @@Zenny89 maumivu ndani ya moyo pole ulijua Russia ni Libya, Afghanistan, Iraq etc 😂! Exhibition ya magari vifaru ya NATO vipo Moscow kama maonyesho, ukitaka kujua kuwa Dunia tuliyonayo siyo ile tena hiyo nguvu ya USA NATO imeshindwa kuzuia uchaguzi wa Urusi 😂 uchaguzi umefanyika na hakuna kima yeyote aliyezuia, Dunia hii ni matipolar Dunia huru siyo Dunia ya watu fulanifulani tena kama walivyojiaminisha nakudanganga watu Karne na Karne! BRICS hiyo mdogomdogo kila nchi itumie hela yake! Putin alishasema silaha kubwa ya marekani ni dollars siyo bunduki, ndege za kivita, nuclear wala vifaru vya Abrams! BRICS imeshaanza kuiondoa dollars katika mifumo 😂 Meza dawa upunguze maumivu, ukitaka kujifariji angalia Hollywood movie kule utajifariji ila kiuhalisia hawana ubavu mbele ya Urusi

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 หลายเดือนก่อน +2

    MTANGAZAJI ANATOA MATOKEO YA VITA KAMBLA YA VITA KUMALIZIKA VYOMBO VYA HABARI VYA TANZANIA BHANA 😂😂😂

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 หลายเดือนก่อน

      Ttzo La WATANZANIA Wengi Bado Wana Support Nchij Za Ushoga Cjuii Kwann

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 หลายเดือนก่อน

      Dunia Zima Inajua Ukraine Awezi Shinda Hakuna Asie Jua Ilo Labda wewe Unae kaza Fuvu😂😂 Daah mtian Kwakwel Sasa Katoa Waapi Conclusions Mbona Una Ushabiki na Nchii Zinazo Support Ushoga Ndugu😢😢😢

    • @johannesssamsonambogo4125
      @johannesssamsonambogo4125 หลายเดือนก่อน

      @@sanoureyaliwadoakaroyo1696 MIKUNDU NI YAO NYIE INAWAUMA NINI? AU MTU AKIFILWA MAREKANI WEWE UKU TANZANIA UNASKIA MBOO IKO MKUNDUNI MWAKO AU?

    • @johannesssamsonambogo4125
      @johannesssamsonambogo4125 หลายเดือนก่อน

      @@sanoureyaliwadoakaroyo1696 MLITAKA KUANDAMANA KWAAJILI YA GAZA, YANI HUO USHENZI AMBAO MNAFUNDISHWA MISIKITINI NA MASHEE WENU, APA NCHINI AUTOWEZEKANA, TUTAWASHUGULIKIA IPASAVYO, HUO UHURU UPO KENYA NDO SABABU KENYA WANASUMBULIWA NA MAKUNDI YA KIPUMBAVU YA KIISLAM,

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 หลายเดือนก่อน

      @@johannesssamsonambogo4125 Siwez Kutumia Akili Yngu na Kuongea Na mtu Anae Support Nchi Zinazo Ruhusu Mapenzi Ya Jinsia Moja

  • @thebmcblackmiccatcher3949
    @thebmcblackmiccatcher3949 หลายเดือนก่อน

    Urusi aache uvamizi ukrain dunia itulie kwa muda

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 หลายเดือนก่อน

      Na wale mashoga kule Israel waondoke

  • @alphaexaud5279
    @alphaexaud5279 หลายเดือนก่อน

    Uchambuzi gani wa hovyo namna hii, Ukrainian forces ni Nato forces elewa hilo

  • @HappynessLevocatus
    @HappynessLevocatus หลายเดือนก่อน

    Mrusi vita imeshamshinda

  • @saulmwalubunju1076
    @saulmwalubunju1076 หลายเดือนก่อน

    Kuna nchi zinaingia tamaa za njaa watawala wao Wana njaa ya fedha wanachochea vita ili wapewe misaada kama Palestine walianzisha vita Kwa kusudi la kupewa misaada njaa ya tamaa ya ovyoo