Silaha za mmarekani hazijatumwa Leo huu ni mwaka wa pili na yeye ndiye mdhamini wa vita za Ukrein lakini kama hazikufua dafu bado hata hizi wanazo tuma hazitawasaifia wajiandae kuporomoka ushoga hauwezi kutawala dunia
Marekani yeye mwenyewe hawezi pigana na Urusi bila support kutoka west Europe,,,, mfano marekani apigane na Urusi. Mimi nitakuwa upande wa urusi ndo upande wa ushindi
😂mimi tokea nimeskia vita ya Ukraine na Russia sijawahi kusikia Mrusi kapigwa au kuna maeneo flani ya Mrusi yamechukuliwa na Ukraine Putini ni master minded ana high IQ kubwa sana viva putin viva people of Russia we African loves you much especially Tanzania, S. African and other African countries much love Putin. Please Soldiers Take much care for this Man the world need this man 💪🏿💪🏿💪🏿
Tofautisha Katia Vita vya Ukraine na Russia Na vita Ya Palestine Na Mayahudi Ni Vita Mbili Tofaut Kabisa wala Uwezi kuvilinganisha Sema DJ Anapo Chambua Vita Ya Mayahudi Na Palestine Wengu Wetu Hasa MAKAFIRI Yani Wakiristo Awataki Ukwel Badala yke Wanataka Kumkandamiza Palestine Kma Anavyo Fanya Mayahudi Kitu Ambacho Akipo Kwenye Uwalisia
Safi Sana uchambuzi na sauti ya mtangazaji, ingieni dipu kutafta habari mnaweza kuongoza chanel ni nyingi, umenifrahisha kutaja zile droni zinazoharibu Abram wanaziita za kuzurula ani znapta chinichini kwe vichaka na miti kutafta vifaru na kuviharibu ki urahisi tu
Sio kma urusi hapat hasar ndugu ila ukraine 🇺🇦 anapata Zaid ya Mara 10 ya urusi sio kisima cha mafuta t mpk juzi ukraine kabwaga TU-22 ila ukiona hivo bc jua urusi kashabwaga 10 hap maaan urusi kabomoa mabwawa mengi ya umeme ya urusi pia kitambo san urusi alichukua kinu cha nuclear cha ukraine na still anaongeza eneo kila uchao hio ndio tafuti ya maumivu ya urusi na ukraine na billion 300 alizopewa tangia vita vianze bc na bado anapoteza maeneo
Mrusi ana haha ajui afanyeje vita alisema wiki mbili Sasa miaka miwili alafu mnasema eti mrusi apati asara kwenye vita hivi nyie wachambuzi garama ya vita sio mchezo bosi na yeye anaasara kibao anakosa usingizi angalia kule Gaza awaamini wamelianzisha wao kilichowakuta ni majanga sanaa🙆🤭🤭🤭😂😂
Ndio sio km urusi hapat hasar anapat ila anasonga mbele san juzi tu ndege yake ya TU-22 walipiga lkn ukirazm hio mmoj bc jua ukraine zao 5 zipo chini hio ndio tafauti kubwa ukraine amepewa msaad Dolar 300billion ila pado urusi amengeza eneo Zaid
watanyooka manyang`au wanabeap fire cio watakiona cha moto, washawahikusikia mrusi kushindwa vita vya kijeshi? wataisoma namba ya putin mzee wa kazi kazi wala cio mandazi
Nchi gani ulaya..? wakati kila kukicha watu wanaandamana na wanaonyesha dhahiri kuikataa Ukraine, mgomo wa wakulima, ukweli ni kwamba Ukraine haipigani na Urusi bali vita inayopiganwa Ukraine ni vita kati ya marekani nato vs urusi na bado hawafui dafu yani ni anguko kubwa kwa NATO 😅😅😅😅
Urus ni taifa kubwa kwa silaa lakini anpigana na nchi ndogo kivita alafu kwa anga yake uwezi kuifikia pili silaa anazo jirani kwakawaida alitakiwa awe ameshaiteka nchi yote vita imekuwa ngumu kwake ata yeye ananunua kwa ilan kwa korea kaskazin
Ukraine siyo nchi ndogo kijeshi mtu aliyekuwepo top 20 military global rank huwez kusema n nchi ndogo acha kuongea vitu usivo vijua ukraine anajeshi imara ata Ulaya wanatambua ilo ko kitu anachofany urusi n kitu kigumu huwez pgna kijeshi,kiinteligensia na kiuchumi na nchi za ulaya bado ukawa na nguvu
Hawa urusi Kuna side effect kumaliza vita haraka atalazimika kutumia silaha.ambazo hajatumia.pia NATO wanatumia Akili sana lengo lao wamdhoofishe kwanza urusi wakishajihakikishia kaelemewa ndo waingieila kwa sasaiv NATO hawzi kuingia bado wanasoma silaha alizo nazo mrusi kwanza
RUSSIAN inapambana na NATO SIO UKRAINE
UPEW ULINZ WAKUTOSH
Kweli bro unaona mbali 👊🏿
👏👏👏👏
Urusi muhasi kaivamia nchi ya Ukraine alfu ww bwege unasifia ujinga wa urusi,hiyo sio muvi ni maish ya kwel watu wanakufa acha kihekehele kam mwanmke
Huyu na yeye ni wa wapi@@user-jh9yv1zp1l
Marekani inchi mbaya zaidi duniani
Hongera mchambuzi hakika, unazidi kuimarika..endelea kufanya tafiti...
Ongera sana ndg mtangazaji ongera sana ndg mchambuzi yangu ni hayo tu.
Silaha za mmarekani hazijatumwa Leo huu ni mwaka wa pili na yeye ndiye mdhamini wa vita za Ukrein lakini kama hazikufua dafu bado hata hizi wanazo tuma hazitawasaifia wajiandae kuporomoka ushoga hauwezi kutawala dunia
hakika mchambuzi anajua kueleza appreciation💪💪💪
Big ups to SNS asante kwa good updates love from UK
Sasa mbona toka zamani
Ok
Ila bro @sky saizi unatisha Asante kwa habari zilizotukuka
Nakupata sana kaka
Jamaa anajua Sana kuchambua Kama dj smaa tu ✊
Putin nyoosha hao wahuni
Piga kengeee hao vibaraka wa marekani
Unajua mzee baba tuko pamoja
NYOOSHA HAWO MASHOGA, WANAFIKI
Piga kengee hao vibaraka wa marekani
This analyst knows his onions.👍👍👍👍
Urusi hapigani na ukraine anapigana na Nato na USA
Ukraine ilishashindwa vita muda mrefu nyuma hii vita inayoendelea ni Urusi anapigana na wafadhili wa ukraine kisirisiri
Russia akitoa kwenye Hii mission yake atakua ni taifa la kwanza litakalo uza silaha Kwa wingi duniani
Jamaa mnajuwa aisee!!!
$10m sawa na Tsh 25.9b
Sky unajua sana
KUMBE TUDHAMPATA DJ SMAA MWENGINE. KEAKWELI KAZI MZURI. MNAWAFUNGUA VIJANA. STS WASOMI WATSKAOINGIA MADARAKANI MISKA KUMI IJAAYO WATAKUA KAMS AKINA SAMORA MAGUFULI GADAFI MUGABE NK.
God bless russia
Hii chanei mwanzo nlikuwa naibeza kumbe mnawachambuz wazur
Ivi siku marekani inaweza ikatulia kwa miaka 5 tu dunia isiwe kwenye vita
hawezi kutulia mana anafanya biashara
Javelin
Kbs🇧🇮💐
Dah
Ivi sky mnayongelea patriots zipi zile zilozotekwa na mrussi,
NAto ndio wanaopigana na Urus siyo ukreini
Kabisaa watu awajashtukia ivi
@@mohamedslh5478 Nitangu vita imeanza, Ukraine pekeake ilikuwa haina uwezo wakipigana na mrusi hata kwa mda wa wiki mbili.
Tayara naona kumeanza kuchangamka sasa
Marekani yeye mwenyewe hawezi pigana na Urusi bila support kutoka west Europe,,,, mfano marekani apigane na Urusi. Mimi nitakuwa upande wa urusi ndo upande wa ushindi
SNS kwangu ni chanzo maridhawa kwa sasa
Comboooo 🎉🎉🎉
Jamaaa huyuu balaaa
✌️👊👍.
❤❤❤
fanya utafiti nchi ya kwanza kuwa na silaha kupiga settilait ni urusi na walifanya majaribio ya kupiga setilet yake
😂mimi tokea nimeskia vita ya Ukraine na Russia sijawahi kusikia Mrusi kapigwa au kuna maeneo flani ya Mrusi yamechukuliwa na Ukraine Putini ni master minded ana high IQ kubwa sana viva putin viva people of Russia we African loves you much especially Tanzania, S. African and other African countries much love Putin. Please Soldiers Take much care for this Man the world need this man 💪🏿💪🏿💪🏿
Kuna maeneo alipoteza aliyoyateka mwanzo. Unasikiliza wanaosifia habari za ushindi wa Urusi tu akina Dj Sma
Good job Russia ❤❤❤❤❤
Vita zote za nn
Misheni hiyo ni kuondoa wanajeshi na sasa wanaiondoa kijeshi NATO kwa kiasi kikubwa
Putin ni sawa na kuchoma sindano kwenye jiwe hutoboe.
Jama ni babalaoooo
sasa sky ndomuandike URUSI wanapiga balaa! 😀😀😀😀😀
😂😂😂😂😂😂 hatar
Sinikweli mtu anatandikwa uko vibaya sanaaa
Bdo Sana wanajuwa mxiki wa Putin 😊
Naam
Mrusi ana nguvu kubwa sana hataacha marekani asingalimweza Mrusi maana wanashirikiana lkn bd wanapigwa
Jamaa amajua vitu Vingi balaaa
Tu50 imelipuliwa ya mrusi zaid ya tilion200 usem
Ni TU.22 but Haina uhakika ni Ukraine ndo ina sema ivo
Uyu mchambuzi mwanzo watu walimdharau ina leo nmeamin anajua. Ni vile alikua bado hajawa confident
Yupo vzur
Mmagharibi anakipata😂😂😂😂
Urusi piga mashoga hayo
Urusi apewe Dunia yake sio kwa uwezo alionao S-500 hii ni habali nyingine ktk vita
Atacms ya masafa marefu
Wacha wa kubonde nguo ya kuazima haisitiri matako
Ongera mchambuzi upo vizuri sio wengine wanapotosha
러시아 바바 라어
Hizo ni Propaganda za Kivita nyie hamwezi jua,Wazungu wao ndo wwanajua kuliko sisi au nyie
RUSSIA vs U.S and NATO not UKRAINE
Jamaa anachambua vizuri sana sio kibaraka wa warabu yure sijui dj nani 😂😂😂
Tofautisha Katia Vita vya Ukraine na Russia Na vita Ya Palestine Na Mayahudi Ni Vita Mbili Tofaut Kabisa wala Uwezi kuvilinganisha Sema DJ Anapo Chambua Vita Ya Mayahudi Na Palestine Wengu Wetu Hasa MAKAFIRI Yani Wakiristo Awataki Ukwel Badala yke Wanataka Kumkandamiza Palestine Kma Anavyo Fanya Mayahudi Kitu Ambacho Akipo Kwenye Uwalisia
Tunasubir slaa
ALLY MASUB HUWA NAMUELEW ZAID KULKO DJ SAMA
😂😂😂 Sipati picha mashoga wanavyo umiya myoyo wakiskia urusi anazidi kufanyikiwa😂😂 Uraaa wakoloni watakoma awamu hii
Yes putin
S300 400 imelipuliwa na ukrane usemi
Kwan kasema vitu vyote vinavyoendlea ktk uwanja wa vita? Patriots, atacms, leopard etc ngp zimeripuliw na Urusi
Hata hvo ww umeshawakilisha
🇹🇿🇹🇿🇷🇺🇷🇺💪
Piga humo humo putin i love u
Uraaaaaaaa 🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪
Safi Sana uchambuzi na sauti ya mtangazaji, ingieni dipu kutafta habari mnaweza kuongoza chanel ni nyingi, umenifrahisha kutaja zile droni zinazoharibu Abram wanaziita za kuzurula ani znapta chinichini kwe vichaka na miti kutafta vifaru na kuviharibu ki urahisi tu
😂😂😅😅
Kisima kimelipuliwa cha urusi
Sio kma urusi hapat hasar ndugu ila ukraine 🇺🇦 anapata Zaid ya Mara 10 ya urusi sio kisima cha mafuta t mpk juzi ukraine kabwaga TU-22 ila ukiona hivo bc jua urusi kashabwaga 10 hap maaan urusi kabomoa mabwawa mengi ya umeme ya urusi pia kitambo san urusi alichukua kinu cha nuclear cha ukraine na still anaongeza eneo kila uchao hio ndio tafuti ya maumivu ya urusi na ukraine na billion 300 alizopewa tangia vita vianze bc na bado anapoteza maeneo
Putin piga kabla hazijafika
S400 yalipuliwa na ukrane
Putin tunakuombea ushindi vita
Mrusi ana haha ajui afanyeje vita alisema wiki mbili Sasa miaka miwili alafu mnasema eti mrusi apati asara kwenye vita hivi nyie wachambuzi garama ya vita sio mchezo bosi na yeye anaasara kibao anakosa usingizi angalia kule Gaza awaamini wamelianzisha wao kilichowakuta ni majanga sanaa🙆🤭🤭🤭😂😂
Kisima cha mafuta cha urusi kimeripuliwa
Ndio sio km urusi hapat hasar anapat ila anasonga mbele san juzi tu ndege yake ya TU-22 walipiga lkn ukirazm hio mmoj bc jua ukraine zao 5 zipo chini hio ndio tafauti kubwa ukraine amepewa msaad Dolar 300billion ila pado urusi amengeza eneo Zaid
@@JohnCage-we6tp hivi unajua maana ya us 300 bilion au ulikuwa unamaanisha 300 milion
Kwaiyo
Bado hawaja sema
Ukraine is a checker board , where Russian and NATO (USA) play chess on top.
Russia piga hao manyag'ao
🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦💯❤️
Viva putin
Vita bado mbichi.
Bmp za urus 3za ripuliwa na ukrane ujatangaza
Mashoga marekani na washirika wake na mashoga Israel lazma wangamizwe
Uwongo
Urusi anajua akifanyacho tusubiri dk90nani anaondoka na aibu?
Ukraine atashinda
Watazuia tuu hila sio kumpiga Rusia haiwezekani
Maviii Ukraine ampige urudi
Ww mtoto lishoja
Blog ya kidaku
watanyooka manyang`au wanabeap fire cio watakiona cha moto, washawahikusikia mrusi kushindwa vita vya kijeshi? wataisoma namba ya putin mzee wa kazi kazi wala cio mandazi
R to
Bmp Ukraine kalipua usemi
Ww mtoto shoga
Amna arie rudsha uwongo
Kakojoe ulale mwathirika wa kimagharibi
Nato ni umoja wa mashoga
Mwana kulitafuta mwana kulipata
Huyo jamaa muongo… 😂😂😂
Ukweli ni upi tuambie
@lovsply ww dili na mahafuriko huko kwenu hiz habar za vita tuachie cc
Mashoga lazma wangamizwe
T72 ya mrusi ina aribiwa usemi
Wewe sema
Tumia akili ,,tunaangalia weight nani anapoteza zaidi,,,,, unafikiri Simba akicheza na Liverpool unafikiri kibu hatapiga shuti kuelekea lango la Liverpool,,,,ila conclusion tuta evaluate nani kapoteza
Vita propaganda! Mimi naishi ulaya huku wanaisifia ukraine anampiga urusi wakati afrika wako na urusi
Nchi gani ulaya..? wakati kila kukicha watu wanaandamana na wanaonyesha dhahiri kuikataa Ukraine, mgomo wa wakulima, ukweli ni kwamba Ukraine haipigani na Urusi bali vita inayopiganwa Ukraine ni vita kati ya marekani nato vs urusi na bado hawafui dafu yani ni anguko kubwa kwa NATO 😅😅😅😅
Ulaya na vyombo vyao vya habari awawezi kusema kua wanakufa wanaficha
Upo kwa mashoga naww choko nn
Acha wapigwe,,maana wamekubali kuwa vibaraka
Ukitaka wafanye NINI?
Urus ni taifa kubwa kwa silaa lakini anpigana na nchi ndogo kivita alafu kwa anga yake uwezi kuifikia pili silaa anazo jirani kwakawaida alitakiwa awe ameshaiteka nchi yote vita imekuwa ngumu kwake ata yeye ananunua kwa ilan kwa korea kaskazin
Nani kakuambia anapigana na nchi ndogo.... Urusu anapigana na NATO
Hapigani na nchi ndogo ndugu hapo ni nato anapigana nao kwa mgongo wa ukraine
Ukraine siyo nchi ndogo kijeshi mtu aliyekuwepo top 20 military global rank huwez kusema n nchi ndogo acha kuongea vitu usivo vijua ukraine anajeshi imara ata Ulaya wanatambua ilo ko kitu anachofany urusi n kitu kigumu huwez pgna kijeshi,kiinteligensia na kiuchumi na nchi za ulaya bado ukawa na nguvu
Na bado hajatumia sila nzito kama nyukria marekani anaogopa sana mrus akitumia nyukria
Hawa urusi Kuna side effect kumaliza vita haraka atalazimika kutumia silaha.ambazo hajatumia.pia NATO wanatumia Akili sana lengo lao wamdhoofishe kwanza urusi wakishajihakikishia kaelemewa ndo waingieila kwa sasaiv NATO hawzi kuingia bado wanasoma silaha alizo nazo mrusi kwanza
Urusi waache wenge wasubir majibu
Putin afe
Kila mbuzi atakula urefu wa kamba ,urefu wa kamba yake ukifika atakufa same to me and you,itanihuzunisha ukitangulia kabla ya huyo unaemtaka afe
Waache wasapot vita, wachina wanafanya biashara mwisho itajulikana