URUSI yarusha Satellite ya kwanza kuwahi kufanya ukaguzi kwenye eneo la Arctic, lengo lake ni hili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 62

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 4 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu simama na urusi sipati kitu chochote kwake ila najua umuhimu wake kwa dunia

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 4 หลายเดือนก่อน +3

      Kabisa

    • @roi2554
      @roi2554 4 หลายเดือนก่อน +3

      Haswa

  • @joycekonga4095
    @joycekonga4095 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ally ana nondo hatari...Urusi ina jicho la mbali sana

  • @FerdinandCharles-ko7de
    @FerdinandCharles-ko7de 4 หลายเดือนก่อน +18

    Urus ndo nchi yenye eneo kubwa zaid dunian na bado anaendelea kujiimarisha zaid🙏🇷🇺🇹🇿🎉

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 4 หลายเดือนก่อน +13

    Daah warusi wapo juu sana asee

  • @allymwilu8089
    @allymwilu8089 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nawakubali sana

  • @AlmachNestory
    @AlmachNestory 4 หลายเดือนก่อน +4

    Urusi ya kamanda wa ulimwengu Rais Vladimir Putin kwa kila kitu yuko mbele ya muda.

  • @AbdulHalis-zu4lw
    @AbdulHalis-zu4lw 4 หลายเดือนก่อน +10

    Putin genius sana

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hii ndo nchi sasa, ipo kwenye vita lakini bado inafanya maendeleo...
    Nchi zetu sasa vita wapigane wengine lakini utasikia mafuta yamepanda, sukari imefanya vile kisingizio vita kila siku

    • @allymwilu8089
      @allymwilu8089 4 หลายเดือนก่อน

      Hehehehe kila mtu naingia maamdqrakani na njaa zake unategemea nchi itamentain kitu sisi ni maboli zozo

  • @HusseinSaguti-sj9nh
    @HusseinSaguti-sj9nh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtt achakupga mayowe
    Mambo mrusi yanajionesha
    Kaz kazi

  • @SelemaniMeena-oo3os
    @SelemaniMeena-oo3os 4 หลายเดือนก่อน +1

    Marekani na wamagharibi lao ni wizi na propaganda, putin yeye kama magufuli. Hapa kazi tu

  • @MAHAN-SMART
    @MAHAN-SMART 4 หลายเดือนก่อน +9

    Warusi warusi warusi Kila kitu mnafanya nn mnahatar kwa kweli

  • @GodwinMtui
    @GodwinMtui 4 หลายเดือนก่อน

    maisha ya binadam yako hatarini kipindi hiki kuliko wakati wowote yote hayo ni kutaka kuiangamiza Dunia huyu mrusi ameshachoka na maisha yuko tayari kufa na watu wake nadunia imalizike mashetani hayana uchaguzi badala muombe mnamsifia

  • @gollokillo3300
    @gollokillo3300 4 หลายเดือนก่อน +1

    This people are 🔥🔥🔥

  • @arifsulayman8863
    @arifsulayman8863 4 หลายเดือนก่อน

    Big up bro...

  • @mialanomanqobo6639
    @mialanomanqobo6639 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allly Masudi ni analyst bora asiye na part taken kwa side yeyote kama yule Dj sma wenu

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 4 หลายเดือนก่อน

      Binadamu hamnajema Leo huyu kaka ndie kawa mwema

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@uwimana6533Sio kwa ubaya lakini Ata mimi na mkubali sana wote kwa ujumla but Lazima uwe na Mmoja wa kwenda nae

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 4 หลายเดือนก่อน

      Acha chuki na watu usiwajua haikusaidii pumbavu

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 4 หลายเดือนก่อน

      Acha uchawi wewe.
      Dj Smart anakuumiza kichwa

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 4 หลายเดือนก่อน +2

    Putin master mind, kama scofield ndan ya uwanja wake, warusi wa Muombee dua sana RAISI wao putin ili awavushe salama katika vita vya taarifa na maarifa

  • @bakarially253
    @bakarially253 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kama watu wanaanza kuwekeza mpango wa miaka zaidi 50 kusibilia barafu iishe kisha sisi tz tunashindwa fry Land daaah Mwenyezi atuzaidia

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi ipo mbaka tuseme

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 4 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅Hv bado ujasema!

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amna mpya

  • @niyonkuruasman
    @niyonkuruasman 4 หลายเดือนก่อน +2

    Weye tangaza Amani uone kama hatukufatiliyi

  • @bullermgana213
    @bullermgana213 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dj sma anaendeleaje?

  • @NimrodiBenjamin
    @NimrodiBenjamin 4 หลายเดือนก่อน +1

    Russian oyeeee

  • @YohanaMasebo-v2c
    @YohanaMasebo-v2c 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nakupenda Russia

  • @radirapperrecord391
    @radirapperrecord391 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hila Mimi kati Yao Mimi naenda zanguuu kWa posh

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 4 หลายเดือนก่อน +1

    Punt ❤❤❤ 🇷🇺🇷🇺💪💪🇰🇪🇰🇪

  • @lowbudgetcreation.
    @lowbudgetcreation. 4 หลายเดือนก่อน +1

    Duh

  • @ShedrackShedrack-c2b
    @ShedrackShedrack-c2b 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nyiny jamanyi habari zoteizodunian mbakamkunakuja wakat mnaleta ushabiki kwenyevta namnachagua upande kabisa

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 4 หลายเดือนก่อน

    Wezetu wapo kazini wanapigana vita na hawana vijisababu sababu vyakuto endelea kupiga kazi angekua hakuna kama mzazi kila kitu kingekua sababu ni vita

  • @KihangoIsmail-qn2uh
    @KihangoIsmail-qn2uh 4 หลายเดือนก่อน

    Kawimbo kazuri kinyama sijapata kasiki

  • @omarymwaluko9765
    @omarymwaluko9765 4 หลายเดือนก่อน +1

    Putin mwamba kiboko ya mashoga

  • @prosperhaule4450
    @prosperhaule4450 4 หลายเดือนก่อน +1

    Haka kawimbo kanako piga hapo mwishoni kanaitwaje

    • @kakorejrboyz6447
      @kakorejrboyz6447 4 หลายเดือนก่อน

      Weka Namba yako ya wasap nikutumie nikazuri Sana na HUWEZI kukapata walinitumia WA sns

    • @jerryjackson3464
      @jerryjackson3464 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 4 หลายเดือนก่อน

    Ukraine kapewa slaa na ujeruman

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yani nyie ata kama issue ni za kibiashara na uchumi, Mnalazimisha ni mambo ya kivita, ila nisiwaingilie labda mkiongelea vita ndo watu wanaangalia sana habari zenu.😂😂

    • @lucasmartin431
      @lucasmartin431 4 หลายเดือนก่อน +1

      Brother....Dunia imegawanyika katika Pande kubwa mbili.
      Upande wa Marekani na Ulaya na Upande wa Urusi na Mchina na Nchi Kadhaa.... Kwenye Nyanja zote ...Kiuchumi, Kijeshi, kijamii.

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna uchumi mkubwa Duniani zaidi ya Kujihami kivita??

    • @IshipalemyPasko
      @IshipalemyPasko 4 หลายเดือนก่อน +1

      Naona we unapenda umbeya wa tick tock nenda kaangalie makalio huko na wakaa uchi

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 4 หลายเดือนก่อน +1

      Putin mwamba

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 4 หลายเดือนก่อน

      @@IshipalemyPasko
      inaonekana wazi hujielewi na Wala hujui siasa ya Dunia unandandia mambo samahani sikujua una akili ya kuku

  • @malickabbas8271
    @malickabbas8271 4 หลายเดือนก่อน

    Long live putin

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 4 หลายเดือนก่อน

    Putin afe

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ufe wewe