Huku mrusi na China ameshaweka mizizi, hawana chao. Wakitumia nguvu Africa ina uwezo wa kuchagua kuvunja uhusiano na wao na ikabadilisha mlengo wa siasa.
Djsma, Correction: Immortal ni milele, haina mwisho (mortal opposite immortal). Immortal: not mortal; not liable or subject to death; undying: our immortal souls. remembered or celebrated through all time: the immortal words of Lincoln. not liable to perish or decay; imperishable; everlasting.
2016 uingereza ilijitoa umoja wa ulaya. ulaya haiwezi kuwa dola moja tena, wataungana lakini hawatashikamana. biblia ilitabiri katika Danieli 2:43 "Na kama vile ulivyokiona kile chuma kimechanganyika na udongo wa matope, watajichanganya nafsi zao kwa mbegu za wanadamu; lakini hawatashikamana, kama vile chuma kisivyoshikamana na udongo" tafuta ufafanuzi zaidi wa fungu hilo utaelewa.
Hawa kuiacha sera ya marekani bado sana mmarekani anaushawishi mkubwa duniani ana jeshi lenye nguvu na silaha za teknologia ya kisasa mmarekani biashara yake kubwa silaha sasa watamuachaje na anawasaidia hamna kitu apo hawawezi porojo tu hizo
Yani mm ndo msiseme kabisa sikuizi hata sikikilizi Tena nasubili dj sma aludi ndo moyo wangu utatulia ...mungu ampe kupona mapema dj wetu jmn pia pole sana 😢
Naona wazi africa tunapoelekea tutagawa dozi kulingana na idadi hakula lisilokuwa na mwisho yote yatakoma wapo mababu wanalaani hizo inchi za ulaya kwa kutengeneza vita kwa baadhi ya maeneo hapa africa naona litafikia mwisho japo lazima waafrika tuamke na tuwe na maamzi yaliyo na umoja..
Ulaya ni kete ya marekani, hii inamana kete haiwezi kucheza bila kuwa na mchezaji😅,vita na mrusi ndio inawavuwa nguo sasahiv na kugundua kuwa si lolote
Wengi viongozi wa Afrika wakiwemo Marais wengi ni vibaraka wa nchi za magharibi hawawezi kuamua jambo kwa manufaa ya nchi na watu wao kazikubwa wanayofanya ni kuangalia maslahi yao binafsi tu na familia zao
@@paulinewangila-cs6ys yani wakenya hua wanajifanya wazungu cjui kwenye peji za waswahil hua wanafuata ..Tanzania ni taifa la watu waswahil eti anataka taalifa iwe ya kiingereza yani wana utumwa wa lugha
Kinacho Nishangaaza uyuu Jamaa Ana Chuki sana Na DJ smaa Hii Sio Mara Yke Ya Kwanza kucommet Iv Cjui Chuki Yake Kwa DJ Smaa Inamsaidia Nin Wacha Chuki Kma Umeona Anaegemea Upande Mmoja Wachana Nae Yanini Mkumfatilia Punguza Chuki ndugu #raydanfrenk😂😂😂
Hawa jamaa sio watu wazuri kabisa Africa tusijione tumeendelea sana yani bado tupo nyuma sana yani wakiamua kututawala tena kama zamani bado inawezekanatu maana tupo nyuma sana kitekenorojia na kiviwanda maana teknorojia waliokua nayo hawa wajinga niya haliyajuu kuanzia elimu viwanda matibabu wakiamua wanatuua kima gonjwa na kiviwanda kiteknorojia kisayansi kielimu na kiuchimi mungu atusaidietu maana hakuna tunacho jovinia cha kwetu nahuo ndio uzaifu wetu hakuna Africa tunacho jivunia katiya hivi vyote vyotenivyakwao hautuwezi hata kujitengenea pesa zitu wenyewe wala silaha wala uchumi wala elimu dini viwanda wala uchumi kwanza hatujaungana kama African wenyewe kwa wenyewe tunabaguana sasa tutawashinda namini kilakitu tunawategemea tukombalisana ikiwa ulaya na mashariki ya kati wanawategemea sisi ambao hatujuibchote tutafanya nini???
Ila Tanzania nmejua hawajui kitu kuhusu hili 😳, wanachambua tu kishabiki yani huyu mchambuzi ndo amechanganyaaaa kila kitu Bora yule mwingine huwa msomi sio DJ sma 🤣🤣🤣
Duuuh nmeshtuka kumbe najibizana na shoga wa magharibi alafu nikupange kitu tatzo lako hufuatilii mwezako huwa nafuatilia karbu media hiz 20 Kwa sku kuhusu habar Moja tu Kwa io hata usibishane na mm tangia majimaji war 😂🤣🤣🤣 ukibisha njoo🏠
From Qatar 🇶🇦 watching you
Tume mmiss sana 🎉🎉Dj smaa
Naona vita ya kulipigania Bara la Africa tena. Imagine Mungu amewapa umuhimu kiasi ambacho mkikohoa tu kidogo Africa wazungu wanahaha!
😂😂😂😂😂
Na bado watakoma sana leo ni weekend leteni tarifa zingine kama hizi tushinde nazo.
😊😊
Na wakikoma huku wanakuja Afrika na utakua mtumwa 🤣🤣🤣endelea kufurahia yawashinde barani kwao
Huku mrusi na China ameshaweka mizizi, hawana chao. Wakitumia nguvu Africa ina uwezo wa kuchagua kuvunja uhusiano na wao na ikabadilisha mlengo wa siasa.
@@sundawnsmedia6659 Africa gani itachagua 🙃au kuna Africa nyingine mi sijui
@@sundawnsmedia6659Usiwaamini viongozi wa Afrika hawachelewi kutuuza wakishapewa chao
Djsma, Correction:
Immortal ni milele, haina mwisho (mortal opposite immortal).
Immortal: not mortal; not liable or subject to death; undying: our immortal souls. remembered or celebrated through all time: the immortal words of Lincoln. not liable to perish or decay; imperishable; everlasting.
Itauwawa na nani kama sio Dude kubwa kisayansi na kijeshi Russia 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Bro, continue to this way, making us understand the world politics na mwishowe watawala wa bongo wajue tuko katika hali gani.
2016 uingereza ilijitoa umoja wa ulaya.
ulaya haiwezi kuwa dola moja tena, wataungana lakini hawatashikamana.
biblia ilitabiri katika Danieli 2:43
"Na kama vile ulivyokiona kile chuma kimechanganyika na udongo wa matope, watajichanganya nafsi zao kwa mbegu za wanadamu; lakini hawatashikamana, kama vile chuma kisivyoshikamana na udongo"
tafuta ufafanuzi zaidi wa fungu hilo utaelewa.
Yssni napenda sana DJ Sma anavyoelezea siasa Allahummah Bareek 🙌🏾🥰🥰
Mwambie akuowe😂
@@bajosdamour2347 heee yamekuwa hayo mimi kusema napenda anavoongelea siasa 😳mbona waswahili muna mambo jamani🤦🏽♀️
😂😂😂 ni wivu tu
@@hanspop6961 binaadam kazi kweli kweli😂😂🤦🏽♀️
@@aminaali792watu wa humu akili zao wanajua wenyewe
Mungu akubariki DJ Sma upone mapema brother
Asante amin
Shenz type
Jamaa kaona anaanguka anataka waanguke wote #ufaransa downfall
Kabisa 😂😂😂
Mm naona Africa 🌍 itakua super power soon asa kwa nchi zinazojitambua guy's
Labda Gaddafi afufuke
Sahau
Nuclear moja tuu,bara litageuka kifusi!
Mitazamo yenu hiyo lakini kwa mwenye upeo anawezakuona zipo nchi nyingi ikiwemo 🇹🇿 faya 🔥
Kujitambua kitu kikubwa sana katika maisha open your mind guy's
Noma sana
Anahangaika baada ya makoloni yake kumdindia baada ya kupata ulinzi wa Russia😂
Bro sky saiv unanifurahisha sana yan unapga back to back hupoi huboi.
Tunaaikubali sana SNS
Kama muvi vile jinsi Vladimir Putin anavyocheza
Ulaya wajinge Dunia ya sasa siyo ya nyakati zilizo pita.
Wa africa wenzangu njia yakupata amani ya africa nzima nimoja africa ijiunge kuwa inchi moja tukiwa inchi moja tutakuwa na lengo moja
Shida n ufisadi na rushwa ya viongozi
Ubinafsi, kuna baadhi ya viongozi Africa wanapenda kutawala, sasa ukisema nchi moja maana yake uraisi wao haupo tena..
Mh,tutauwana Kwa vita maana uchu wamadaraka umejaa afrika.
Hawajasema bado
Sky , thank you for your service guys,tunawatizama kutokea Helsinki Finland 🇫🇮🇫🇮
Omani pia tanawapenda, barikiwa na kz zenu. Mungu awabariki wote kwa pmj.
Nimefurahi sana kuona wana SnS tupo wengi abroad, Mimi nafuatilia kutoka Canberra Australia
Dj smaa get well bro tulikumiss xna
Hiii acount imeshakuwa ya siasa sana adi raha
😂😂😂😂 yote aya kichwa kimoja putin anawatesa
✌️👊👍.
Hawa wazungu unaweza dhani watu wanavyompigia makofi
Yaani natamani hata @mama samia angekua anazifuatilia hizi makala
😂😂😂😂😂😂Sijui km uwo mda anao wa kuperuzi mitaoni.
Huyu ni mkoloni mtamzania 😅😅😅😅😅
Unafikir hafatilii kama huamini dj aitukane ccm ndo utjua hujui
Hahahhahahah
😂😂😂😂@@MauaLucas-st6be
Kwani ufaransa uchaguzi lini naona Macron hatolewi?
2025
Hata atolewe ni mbaya tu.
Ndy tunavyotaka sisi wavulugane ndyo ushindi wetuu😂😂
😂😂😂😂😂 kabisa na mm naomba wavurugane
😊😊😊😊😢😢
Bara la ulaya hivisasa ni marehemu mtarajiwa wamejiachia mno kwa kuwa tegemezi wamesha zwea kuwanyonya waafrika acha wafe
Umoja wa ulaya bila marecan 😢 apo ni 1×0=
Kumbe ataa ulaya wenyewe wanategemea ulaya Alf na sisi wafrica tunawategemea au yaan urusi anawanyimaa usingiz sanaa
Wewe ukivamiwa hata na kapanya load tu bila taarifa utapata usingizi? Mana huna adui na mtu ghafla unavamiwa huu ndo mfano hai
Na bado 😂😅
Yaaani baaado hawajasema mbaka waseme
Nabado
immortal
living forever; never dying or decaying.
Walimchokoza PUTIN, maji yamewakaba shingoni sasa 😂😂😂
Hawa kuiacha sera ya marekani bado sana mmarekani anaushawishi mkubwa duniani ana jeshi lenye nguvu na silaha za teknologia ya kisasa mmarekani biashara yake kubwa silaha sasa watamuachaje na anawasaidia hamna kitu apo hawawezi porojo tu hizo
Umesema kitu
Yani mm ndo msiseme kabisa sikuizi hata sikikilizi Tena nasubili dj sma aludi ndo moyo wangu utatulia ...mungu ampe kupona mapema dj wetu jmn pia pole sana 😢
Amin asante
nabado watanyooka
Ni kwelii maana African wamesha amka sn 😂😂
Its about time America Supremacy ikufe wamezidi sana na hakuna marefu yasiyo na ncha duniaya sasa inataka usawa na sio ubabe
Africa tupo busy kucheza Amapiano na Afrobit huko ughaibuni badala ya kutusapoti kipolitics waafrika wenzao huku
bila kusahau ndombolo....wenzetu Hawa lale
Pamoto🔥🔥🔥🔥
Nabado kumekucha watasalitiana wao kwa wao.
Naona wazi africa tunapoelekea tutagawa dozi kulingana na idadi hakula lisilokuwa na mwisho yote yatakoma wapo mababu wanalaani hizo inchi za ulaya kwa kutengeneza vita kwa baadhi ya maeneo hapa africa naona litafikia mwisho japo lazima waafrika tuamke na tuwe na maamzi yaliyo na umoja..
Ndio ndio❤
Viva russia watasema2
Hamjachelewa, maana mtauponza marekani haina shida na nyie na iko mbali na nyie
Following, from Mars the planet
Hawa watu wanataka kujifanya kuwa dunia niakwao!😅
Mi sishabiki wa russia, mi naogopa kabisa nuclear
In the future Africa will be colonies again
Hata kwetu makaaa yamawe yanachukuliwa kwakaasi ya yahater
Ngoja inyeshe tuone panapovuja😂😂😂😂
😂😂😂😂
Ingekuwa bora angefafanua madhara yake na vipi itaxhuka kiuchumi.
Hapa kama ime translate tu.
Mi sitaki kushabikia urusi, mi naogopa kabisa nuclear
Ulaya waache kujiweka kama koloni ya Marekani.
Dj sma vp Hali yake
Ila Putin anajua kuwavuruga wenzake wameanza kugeukana wenyewe kwa wenyewe 😂😂
ana Experience kubwaasana na anawatumia vizuri siyopoa😅
Ulaya ni kete ya marekani, hii inamana kete haiwezi kucheza bila kuwa na mchezaji😅,vita na mrusi ndio inawavuwa nguo sasahiv na kugundua kuwa si lolote
Wanadata mana uko Africa wametimuliwa marekani nako kumenuka deni limepanda China na urusi pia wanawapasua vichwa wakome na unyanyaji wao
Wengi viongozi wa Afrika wakiwemo Marais wengi ni vibaraka wa nchi za magharibi hawawezi kuamua jambo kwa manufaa ya nchi na watu wao kazikubwa wanayofanya ni kuangalia maslahi yao binafsi tu na familia zao
Europe utajiri wake mwingi unatoka Afrika.na ufaransa imeisha fukuzwa karibia ata inchi tano
Wamechelewa farasi amesha toka bandani lilio baki ni kufa kizembe tuu
We don't understand Swahili here in kenya plizz analyse deeply bt your good and excellent,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kwendaaa hii sio peji ya kizungu hii ni peji ya kiswahili tutolee utumwa hapa mxiuuuuu😕😕si uende katika peji za wazungu
KWANI WEWE NIMZUNGU AU MTU MWEUSI UMETAWALIWA AKILI MPAKA LUGHA YAKO MDHARAU KWAO NIMTUMWA KAMA WEWE
Your president he speaks Kiswahili how are you 😂
Princegeorge:hayakuhusu kama huelewi uchokozi huu hatutakiii
@@paulinewangila-cs6ys yani wakenya hua wanajifanya wazungu cjui kwenye peji za waswahil hua wanafuata ..Tanzania ni taifa la watu waswahil eti anataka taalifa iwe ya kiingereza yani wana utumwa wa lugha
Jamaa yuko kipindi kigumu sana vitu vinakuangukia kwenye mikono yako
sasa mbona mdomo nyingi na vikwazo nyingi Kwa urusi wakati mbolea yenyewe la mrusi aaaah puntin piga Hawa hawana lolote
Ndani ya miaka 10 malekan itakuwa aina nguvu tena
In sha Allah
Mmh! Maneno ya wakosaji
Mashoga lazma wangamizwe
Bongo itakuwa wapi
Miaka 3 tu 10mi ni mingi
Si mnajifanya vidume nyinyi endeleen na ubabe wenu sisi tupo tutaona mwisho wenu..shenz kabisa
Putin ndio komesha yao, wameshaanza kuvurugana
Kwaiyo uyu mwamba putini ana nguvu uwezo wa fedha na amejipanga katika hii vita ajakulupuka ila nato na Marekani
Tuna take wahi ache to africa
immoratl ni mtu au kitu kinachoishi milele bila kufa ndo maana ya immoratl dj smaa umetupiga changa
Wrong,,hujamwelewa😂,,,,hiloneno la kwako
Mashoga kimeumana
😂😂😂😂 uyu jamaa ananichekesha Dj kuwa kama mwenzako acha upande mmoja
Kwan lazim umsikiliz akizungumz ww ziba masikio
Utasema kashikwa bastola kusikiliza, na ww kuwa kama wenzio
Kinacho Nishangaaza uyuu Jamaa Ana Chuki sana Na DJ smaa Hii Sio Mara Yke Ya Kwanza kucommet Iv Cjui Chuki Yake Kwa DJ Smaa Inamsaidia Nin Wacha Chuki Kma Umeona Anaegemea Upande Mmoja Wachana Nae Yanini Mkumfatilia Punguza Chuki ndugu #raydanfrenk😂😂😂
@@hemedjackson2261huyu Jamaa wa upinde chuki yake hawezi kujizuia
Kama unataka upande wa pili tafuta mashoga wenzako wanaozungumzia upande wa pil choko wewe dj sma for life
Nakutizama nikiwa FRANCE
Tume hali ya france
BADO MPAKA WASEME
Team RUSIA oyeeeeeeee😂😂😂😂
Macron kasema vzr sana ili nasisi Africa tuweze kuwa pmj sio kulia lia tuuu
Tatizo viongoz wetu wa nch wanapenda sana kuomba msaada kila nchi yy yupo omba omba mpk lin jman viongoz mbadilike
Tutakukumbuka magu na gasaff pumziken kwa aman🙏
Watu wa Europe niwapulbavu tena wajinga walizani km urusi niwajinga kumbe urusi 😂😂😂ndofimbo ya wahende
Unapata wapi nguvu yakutukana bara liliondelea hivo 😳😳😳watz ujuaji hamjambo 🤣🤣🤣🤣
Bila Africa hawana lolote
Hawa jamaa sio watu wazuri kabisa Africa tusijione tumeendelea sana yani bado tupo nyuma sana yani wakiamua kututawala tena kama zamani bado inawezekanatu maana tupo nyuma sana kitekenorojia na kiviwanda maana teknorojia waliokua nayo hawa wajinga niya haliyajuu kuanzia elimu viwanda matibabu wakiamua wanatuua kima gonjwa na kiviwanda kiteknorojia kisayansi kielimu na kiuchimi mungu atusaidietu maana hakuna tunacho jovinia cha kwetu nahuo ndio uzaifu wetu hakuna Africa tunacho jivunia katiya hivi vyote vyotenivyakwao hautuwezi hata kujitengenea pesa zitu wenyewe wala silaha wala uchumi wala elimu dini viwanda wala uchumi kwanza hatujaungana kama African wenyewe kwa wenyewe tunabaguana sasa tutawashinda namini kilakitu tunawategemea tukombalisana ikiwa ulaya na mashariki ya kati wanawategemea sisi ambao hatujuibchote tutafanya nini???
YAANI DUNIAHII SASA RAIS TAAHIRA NAMBAMOJA NI MACROO. 2 BAIDEN. TATU UJERUMANI NNE WA UINGEREZA. ZELENSKI NI BENDERATU HATUMOI UTAHIRA.😂
Naomba tupunguze umbea tuongelee mambo ya Tanzania kidogo.
SNS NAOMBA UONGELEE KWA UPANA KUHUSU MAANDAMANO YA WAKULIMA EUROPE #DJ SMA
Ila Tanzania nmejua hawajui kitu kuhusu hili 😳, wanachambua tu kishabiki yani huyu mchambuzi ndo amechanganyaaaa kila kitu Bora yule mwingine huwa msomi sio DJ sma 🤣🤣🤣
Wew Ndio taila😂😂😂
Atutweve maana ake SI mavi😂😂😂😂
@@user-rt1wf6se5f 😳huskii aibu kuandika matusi mtu mkubwa over 18? 😳😳😳😳huoni unakosa point kirahisi tu ? thats how you have failed a simple test 😩
@@user-rt1wf6se5f taila hakupenda awe, Ni Mungu alimuumba 😳😳
Duuuh nmeshtuka kumbe najibizana na shoga wa magharibi alafu nikupange kitu tatzo lako hufuatilii mwezako huwa nafuatilia karbu media hiz 20 Kwa sku kuhusu habar Moja tu Kwa io hata usibishane na mm tangia majimaji war 😂🤣🤣🤣 ukibisha njoo🏠
Makroon alikua anaenda kama Gari bovu hakujua kuwa picha lakihindi huwa linanoga mwishoniee
Wamechelewa sana Putin aliwaambia wakapuuziya
Putini hakurupukkagi, amejipanga nahii vita miaka 20