NIMEDATE WAZUNGU 200 | NILITOKA KUA MTOTO WA MTAANI MPAKA KUA MPISHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • www.oda.international

ความคิดเห็น • 290

  • @rosemunisi818
    @rosemunisi818 9 หลายเดือนก่อน +11

    Ana point zake

    • @Burange666
      @Burange666 4 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu muongo kibaka inaelekea ni mkabaji wa wazungu hapa Unguja anaibia wazungu Beach hapa na anatafutwa kwa kuiba camera.

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 9 หลายเดือนก่อน +20

    Mausiano na wazungu yanaitaji ukweli na uwaz 100%
    ukidanganya ukicheat akijuwa usiangaike hata kuomba msamaha imeisha iyo
    Mabeach boy wengi ni maplayer
    kwa siku tu kuruka na madem zaidi ya 3 au 5 nikawaida so kupata utulivu siyo kitu chepesi kwa mtu aliezoeya kubadili wanawake kila siku inaitaji neema kutulia na mwanamke mmoja
    Wabongo kuwapata wakweli kama hawa 1000 kwa mmoja tu kama uyu mwamba kawa mkweli 100%
    life style yake history ya maisha yake
    lazma awe na maisha flan iv ya tofauti inataka neema sana kuona mtu katoka mtoto wa mitaan na kuwa mtu mzuri au mwema malez ya wazaz ni bora sana
    mshikaji anaitaji matibabu ya kisaikolojia ili aweze kuja kutengeneza maisha yake binafsi vzur na family yake piya

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 9 หลายเดือนก่อน +2

      Yuko vizuri anajua Nini anataka Na anatambua wazungu wanatumia watu kwa hiyo anatumika na yeye anawatumia

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa. Ni mgonjwa wa saikolojia ni hajajua. Sisi waafrika tutamchukulia ni mwamba lakini ni mgonjwa

    • @MadinaAbduKyabazinga
      @MadinaAbduKyabazinga 6 หลายเดือนก่อน

      Kumbuken ao wazungu pia binadamu na akuna watu strange kama ao wazungu ambao mnaosema sio cheater weee they are good cheater na ni vile tumejiwekea hvo

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 9 หลายเดือนก่อน +9

    Weee mpaka leo wapo weusi wanaopata wazungu na wanaishi very well, Huyu utapeli na kudanga kumemzidi na Tena ajiangalie sana , wengine watakuweka alama tabia yako. Wazungu ni binadamu na Kama watu weusi wana taratibu zao kama waafrika tulivyo. Tujifunzeeee VIJANA WENZANGU.

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 9 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu kijana , amejua wazungu hawanaga mwisho mzuri, kweli kabisa. Mzungu anaweza kuamka akuambie hakutaki tena , amependa mtu mwingine 😅😅😅😅

  • @avelinamgasa
    @avelinamgasa 9 หลายเดือนก่อน +7

    Shena huyu alikuwa na mengi ungempa nafasi ya kutiririka tungejifunza mengi zaidi. Umemkatisha sana

    • @magretheugen8760
      @magretheugen8760 7 หลายเดือนก่อน +2

      Umesema kweli, Shena ameshindwa kukonceal interest zake

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 9 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu bwana hajataka kutulia , ajisemee mwenyewe kuwa hawezi life za wazungu

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 5 หลายเดือนก่อน +3

    Dada Shena umetulete mtu ambae hafichi ukweli wake wa maisha. Mfano kama huyu kaka wako wengi tunawaona hasa beach boy wa east Africa hivi ndio huishi.

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 9 หลายเดือนก่อน +3

    🤔Watu wengi hufeli mahusiano na Wazungu kwasababu ya aidha inconsistency ya habari ya maisha yao binafsi, familia na kutokujiamini. Vilevile tabia tegemezi, siri zisizokuwa rasmi na kukosa uvumilivu. Asante kwa habari na udadisi. Hapo Jambiani Zanzibar mimi ndio nyumbani hasa, nimesoma hapo.

  • @artuarnold1371
    @artuarnold1371 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaaa anajifanya mjuaji sana aiseee anabishana na uhalisia wa maisha hajui kitu kabisa ila maneno mengi tuh wala hana anachojua ni muongoo tuh kama watu wengi mawazo yenu kama ya huyu jamaaa badilikeni bwana

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 9 หลายเดือนก่อน +12

    Miaka 30 anajiita mdogo wakati ndiyo ashajijengea character? Pole. Anaongelea ubaya wa wazungu lakini mwanamke mwafrica ukikutana na huyu run as fast as your legs can take you. Real bad boy

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ana miaka 30 sasa alikuja zenji miaka 15 iliopita inabidi hao wazungu walikuwa na yeye akiwa under age?

    • @MaryamSaid-id6yh
      @MaryamSaid-id6yh 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wow, you raised a good point. Thank you 👏👏👏👏👏

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 9 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu kijana nimemuelewa , anasema usione mzungu ni kila kitu katika maisha ,huo ni utumwa . Big up kijana .

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 9 หลายเดือนก่อน

      Shida sana kama dunia yaleo mtu anakaa kuvizia apate mzungu ili Maisha yabadilike kina bakharesa na kina mzee mengi wangekua wanasubiria mahusiano na wazungu sjui wangepata nini katika Maisha yao mtu mvivu na mtumwa wa fikra ndio atafanya hayo

    • @MaryamSaid-id6yh
      @MaryamSaid-id6yh 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe umemfaham vizuri. Teache Kuwait’s wazungu Kama wao malaika. Wanacheat, wanadanfanya, wanapiga. Ni sheria tu zunawabana sana lakini wangekuwa huru wangefanya zaidi ya yao wanaume wa kiafrika.

  • @atomphoton5000
    @atomphoton5000 9 หลายเดือนก่อน +17

    Siku wazungu pia waje humu waeleze experience zao na waafrika. Mpaka sasa hivi nawaza nashindwa kuelewa scenerio ya huyu jamaa: wewe mzungu akulete ulaya jobless alafu unataka yeye aendeke kazini atafute pesa akirudi home akukute wewe umechoka kucheza Game akupikie, aoshe na nyumba kisa wewe ni mwanaume wa kiafrika mila haziruhusu kufanya kazi za jikoni: aisee ni ngori yaani wazungu wanashangaa hii attitude and am not surprised.

    • @betricemainoya4176
      @betricemainoya4176 9 หลายเดือนก่อน +4

      Yaani huyu nilipata ana date hata mwafrica nitamuonya msichana wa wenyewe daaa, bomu kabisaaa huyu hajakomaa hata kidogo..pole yake

    • @mimiinvestments8406
      @mimiinvestments8406 9 หลายเดือนก่อน +4

      Shena kweli unafahamu vizuri kazi yako! Unamjibu kana kwamba alikupa maswali kabla ili utafute majibu.
      Nashangaa mtu aseme ameshadate Wazungu wengi bila idadi, kisha anajifanya hawapendi!
      Hata hapa nyumbani ni vizuri watu kuchaguwe wenza wao wanaoendana kuzuia inferiority complex.

    • @rithaalberto123
      @rithaalberto123 9 หลายเดือนก่อน +3

      Kwel kabisaaa, Shena anza kuwahoji wazungu sasa wanaoishi na waafrika tujue upande wa pili
      Jamaa mbishi sanaaa🙌 ila nimependa Shena amempa Elimu ya kutosha. Ila aiseer ubishi utamletea shida sanaa asipokuwa positive.

    • @MrSaidi57
      @MrSaidi57 9 หลายเดือนก่อน +2

      Umeeleza ukweli kabisa. Hiyo ni hulka chafu na ukosefu wa elimu. Yeye anakutana na wale wamekuja ku-enjoy na sio kuunda familia

    • @GodliverYakubona
      @GodliverYakubona 8 หลายเดือนก่อน

      41:12 ​@@rithaalberto123

  • @neemanyove9130
    @neemanyove9130 9 หลายเดือนก่อน +10

    Kwa kifupi huyu kaka ni kati ya wakaka wasiojitambua hata chembe jamn😢 nachukia watu wa hivi mwenzenu hata mm simtaki mtu wa hivi hata wanaume wote duniani wakiisha

  • @AloisMtega
    @AloisMtega 6 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa sana Mnyalukolo mimi ni mmoja wa wale tulikuolewa.

  • @petergathinji9554
    @petergathinji9554 9 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu bwana is a true African man 😂😅. He is talking so casually about cheating

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 9 หลายเดือนก่อน

      Yaaani bora aache hiyo tabia mana wazungu wengine wanaweza kukumaki kwa tabia mwisho unaangukia PUA

    • @musakihama7205
      @musakihama7205 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@upendogreutert199sidhani hata kama ana shida hao viumbe kwa malengo yako.au kwa jinsi unavyofikiri.

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 9 หลายเดือนก่อน +3

    Anajielewa Sana sema tu dada anajizungusha

    • @MaryamSaid-id6yh
      @MaryamSaid-id6yh 8 หลายเดือนก่อน

      Umeona eee. Kijana anajuwa anachokisema. Asilimia 75 ni ukweli. Nimeshakaa ulaya miaka Mungu Sana. Namuelewa anachokizungumza. He is not far from the truth, for real. Let’s be honest

  • @mohammedmussa6740
    @mohammedmussa6740 2 หลายเดือนก่อน

    PREACH MY BRODA

  • @aimfetty1641
    @aimfetty1641 9 หลายเดือนก่อน +2

    huyu kaka amekaa na wazungu sana ila bado hana exposure ,He is truly african men yupo very proud na kucheat 😂😂😂 alafu anavosema watu wanaokaa na wazungu hawana mafanikio labda anaongelea wa mtaani kwake 😂😂😂 tumwache na frika zakeza enzi za mkolonii , ila hongera shena umejitahidi kumuelimisha

    • @mwinyijumaismail605
      @mwinyijumaismail605 6 หลายเดือนก่อน

      Kucheat sio uafrica, ni uhayawani wa mtu binafsi haijalishi anatokea wapi. Refer TV show inayoonyeahwa DSTV iitwayo Cheaters, wazungu kwa wamarekani weusi waume kwa wake wote hucheat kwa nyakato tofauti

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 5 หลายเดือนก่อน

    Very interesting episode

  • @bobboris4859
    @bobboris4859 9 หลายเดือนก่อน +4

    Hyu bro Analipiza ukoloni hii ni mambo y Zaman mbona usingkua chef ukfnya ambayo umyafanya kupitia watu weupe,uswqhili mwingi tafuta mwajuma uishi nae

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli ulaya maisha na mgumu sana hasa kama umeowa wazungu wao hawana maisha ya kujenga wao wanataka kutembea nchi tafauti sana lakini ukijielewa unafanya vitu Afrika

  • @FundiGuru
    @FundiGuru 9 หลายเดือนก่อน +5

    certified player

  • @bettymbatta9626
    @bettymbatta9626 9 หลายเดือนก่อน +11

    Huyu wa leo ni player bila chenga🙌🏽

  • @shalibrutsch-vlog
    @shalibrutsch-vlog 9 หลายเดือนก่อน +5

    Madam wetu chukua maua yako. 💐💐. Huyu kaka ana mengi moyoni na kwanini anamsemea mwenzie? Amwache mwenzie alee watoto wake, akija mbongo mtamuibia kuanzia watoto hadi mke 😂😂

  • @joycejoes
    @joycejoes 9 หลายเดือนก่อน +6

    Wewe kaka ni jipu😅😅 mimi mwenyewe weww sikutaki. Unafanya cheating iwe simple kama hivyo. Inshort, mwanamke nikulete ulaya, niende kazini, nirudi nikupike, nikufanyie usafi, usiku ule mzigo… 😂 mimi tu siwezi itakua wazungu. Tena wanakwqmbia mapenzi sio utumwa

  • @rutalaurent8542
    @rutalaurent8542 5 หลายเดือนก่อน

    Sister mbona unatugandamiza wabongo kudek tena

  • @raymondjohn3798
    @raymondjohn3798 9 หลายเดือนก่อน +5

    Inawezekana kuwa na mwanamke wa kizungu lakini walio wengi sio watu wazuri!!mara nyingi Wana discrimination against black people!!,naongea hiyo Kwa uzoefu nimewahi kuwa na mwanamke wakizungu sioni lolote Zaidi, kwanini walio wengi wanadhania kuwa nikipata mzungu nitapata pesa😂!! wazungu nibinadamu Tu kama watu wengine kawaida tu,wengi wameharibikiwa tu Sana waliodata nawazungu

    • @MaryamSaid-id6yh
      @MaryamSaid-id6yh 8 หลายเดือนก่อน

      Thank you👏👏👏👏👏

  • @lightnessmungaya3280
    @lightnessmungaya3280 8 หลายเดือนก่อน

    Malaya wakiume 🔏 utaendelea kuwatumia ....watakutumia
    Sema buana bado ujakutana really love ....ukimpata mtu mnapendanaaa utatulia au kaka unauchungu sanaaaah poyeeeee 👊

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kucheat sio wote wanaocheat... hiyo ni tabia chafu ya mtu binafsi don't generalize kuna watu wamelelewa malezi mazuri, pia unasema mahusiano na wazungu huwa hayana mwisho mzuri mbona watu wameanza kuoana miaka mingi kabla hujazaliwa na wamependana mpk wanakufa..BTW nimependa jinsi ulivyojipambania maisha yako na kutoka kwenye uchokoraa.. ila hiyo experience yako na wazungu ni yako tu mwaya sio ya wote!

  • @OmariMussa-uh4sx
    @OmariMussa-uh4sx 3 หลายเดือนก่อน

    Bro.umefunguka,always hao hawanaga rafiki wakudumu,wala adui wakudumu, pia hawafanyagi kisicho nafaida kwa upande wao mwisho siku.

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hajijui, pole na umri wake bado

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka hujatukosea kila mtu anamrazamo tofauti kutokana na experience zake ofcoz beach boy wetu is a player lakini pia kuna ukweli filani hapa .

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 9 หลายเดือนก่อน +3

      Ukweli uko mwingi na ana maisha yake na nyumba amejenga

    • @MaryamSaid-id6yh
      @MaryamSaid-id6yh 8 หลายเดือนก่อน

      Yes, hawamuelewi wao tu. Yeye anajielewa.

  • @jocelyneedward
    @jocelyneedward 9 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu wa Leo hamana kitu😂😂😂😂 eti kuchiti ni sababu ndogo tena anaongea bila haya😢😢😢

    • @MartinaMsimbe-qk8ug
      @MartinaMsimbe-qk8ug 5 หลายเดือนก่อน

      Background alishasema sishangai anachongea sawa

  • @chengeson
    @chengeson 9 หลายเดือนก่อน +6

    Kwanjisi jamaa anaulizwa mala ana kataa mala anakubali umeulizwa umesema uwezi kudek umesema ndio mala naweza mala kucheating nikawaida we mimi nina mwanamke wa kimarekani na ni 3years niko nae na sijawai kumcheat na yeye pia sio mtu waivyo so na nimebahatika kupata mtoto nae na mpaka leo niko nae so watu wa nnje awapendi ujanja ujanja ange tulia ange kua na mafanikio zaidi ya hayo pia atakichwa chake kinge tulia na sio kuluka luka kucheat ni bonge moja la tatizo ila wanawake wa kibongo wana waendekeza wanaume et akuna mwanaume acheat

    • @aikandosa
      @aikandosa 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kaka upewe maua yako 🙌👏💐 Wanawake wengi wanaendekeza ujinga mwingi..

  • @OmaryKaniki-hs5mz
    @OmaryKaniki-hs5mz 8 หลายเดือนก่อน +6

    Alafu we dada unapenda sana wazungu sijui unamatatizo gani hebu jikubali ulivyo acha kubabaikia wazungu uyo jamaa Yuko sahihi kabisa namkubali sana uyo jamaa ni shujaa sana

  • @bobboris4859
    @bobboris4859 9 หลายเดือนก่อน +4

    Bro ulkua huna msimamo dus hkupata mtu mwnye mapenz y kwel lkn usiseme hkn relationship y mtu mweus n mweupe,watu wameoa na wameolewa miaka imesonga usikatishe tamaa wenye wanahitaji mahusiano na watu weupe

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 9 หลายเดือนก่อน

      Chukua Maua yako ndugu, huyu mtu wa Iringa ametanguliza Ubabe mbele , asijitamkia maneno yakujifunga mwenyewe, ameshindwa aseme siwawezi wazungu. Amchukue Mweusi mwenzie tuu, asikatishe wengine Tamaa. Kila mtu Ana ndoto zake

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@upendogreutert199Tena ana ubabe wa kijinga. Anatia aibu

    • @jacquelinemsemo8108
      @jacquelinemsemo8108 9 หลายเดือนก่อน +1

      Na mapenzi ya kweli huenda alipata sema ndo hivyo alikuwa anawatumia na kuwacheat watadumije Sasa lol .., alitaka wamvumilie kama wanawake wa kibongo.. kivumbi leo🤗🤗

    • @JazilaSiraja-st8cu
      @JazilaSiraja-st8cu 2 หลายเดือนก่อน

      Ameathirika kisaikology mwacheni jaman ajapata mtu sahh

  • @aloycemabula8649
    @aloycemabula8649 9 หลายเดือนก่อน +1

    Europe, USA,Canada,South America, Dubai, Thailand, Vietnam, na nchi nyinginezo Kuna maduka ya kuuza malaya unaweza date hata na wanawake 5000 ukitaka nowadays , Asijione mjanja..kadate na makahaba wa kizungu

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 9 หลายเดือนก่อน

      Huyu limbukeni wa upwiru wa kizungu tu hana lolote

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 9 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa nimemwelewa vzr

  • @jacquelinemsemo8108
    @jacquelinemsemo8108 9 หลายเดือนก่อน +1

    hao marafiki Lazima warudi wamedumaa if their mindset its like Yours!

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 9 หลายเดือนก่อน +3

    Inshort ni mjinga, aache ku-generalise so doom 😊

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 9 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu kijana yuko sahihi sana Na anajielewa sana ukimsikiliza kama una brain 🧠 utamuelewa

    • @zainabkazige7388
      @zainabkazige7388 9 หลายเดือนก่อน +3

      Sio vyote, vingine anapuyanga! Anajitahidi kwa nafasi yake ila bado sana

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 9 หลายเดือนก่อน

      @@zainabkazige7388 yuko vizuri Na yuko conscious najua nini anataka open Na anajua nini anataka, ila utagundua kama anajitambua kama wewe unajitambua na huna mawazo ya kitumwa!

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 9 หลายเดือนก่อน

      @@zainabkazige7388 yuko vizuri kama uko conscious

    • @Chanell32
      @Chanell32 9 หลายเดือนก่อน

      Leo umeongea point 😅

    • @MaryamSaid-id6yh
      @MaryamSaid-id6yh 8 หลายเดือนก่อน

      Umeona eeee. 👏👏👏👏👏

  • @Tausishaban-he5io
    @Tausishaban-he5io 9 หลายเดือนก่อน

    Dada jmn nmekutafta mpk nmekupata jmn mie napenda sana kuwa na mahusiano na wazungu toka nikiw mdg san plz naomb unisaidie

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kijana anasema kweli, maisha ya ulaya ni shida , kama una maisha yako tanzania is better.

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 9 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa Na wanawake wengi wanaoletwa na vibabu vya kizungu wanateseka tu Ulaya hawana future yeyote

    • @rhobyanderberg1101
      @rhobyanderberg1101 8 หลายเดือนก่อน

      Ukija ulaya ili utunzwe lazima utapata shida, njoo ulaya na malengo ya kujiendeleza sio kutuzwa

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 8 หลายเดือนก่อน

      @@rhobyanderberg1101 Ulaya ilikuwa zamani wengine tumekuja miaka kibao toka watz hata hawajui kupanda ndege , siku hizi Ulaya hamna kitu

  • @EstherDegen
    @EstherDegen 9 หลายเดือนก่อน +9

    Shena umemueleza vizuri huyo kijana Hawajui wazumgu. Mimi nimeolewa na mjerumani miaka 15. Anaongea Mambo aliyesimuliwa. Sio kuwa anawajua. Kwani Tanzania Hakuna ndoa zinavinjika na hakuna watu wanatelekeza watoto

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 9 หลายเดือนก่อน +1

      Chukua Maua yako mdada huyu bwana kwa kweli anadhani mahusiano ya wazungu na waafrika yanaenda tu bila kusoma na kujua mila za mwingine, yeye anataka kuupeleka Uhehe Ulaya na wazungu wafate anavyotaka 🤭

    • @trinahahans3737
      @trinahahans3737 9 หลายเดือนก่อน

      Yupo sahihi sema kumuelewa inataka watu wenye ufahamu wa hali ya juu hakuna mbegu yoyote kampenda muafrica 100 anaweza kumthamini kama atakavyomthamini kabila lake

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 หลายเดือนก่อน +2

      Ingekua hivyo basi Tanzania wakiingia kwenye ndoa hawaachani, hawagombani, na hawapati manyanyaso ya kijinsia kwenye ndoa.. Unazungumza kama vile mahusiano ya Wahehe kwa Wahehe (watanzania kwa watanzania ) ni pepo.. you need to Analyse yourself

    • @ashaidei5680
      @ashaidei5680 9 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo mwenyewe akizaa unafikiri atalea thubutuu kwanza huko mtaani sijui😢

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 9 หลายเดือนก่อน

      @@OfficialDatingAssistanceila you have to see it in a very bigger picture divorce rate Iko juu sana Ulaya na uwe na bahati sana kuzeeka na mwenza wako bila kuachana, Ulaya ni maisha tofauti sana nchi za Afrika na Asia ndoa bado ziko imara

  • @RebbyRebeca-h1b
    @RebbyRebeca-h1b 9 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah pole nahisi kuna mda ulitamani kumkata ila umevumilia ila huyu hawezi kubadili msimamo wake na maoni yake yako sahihi kutokana na kile kilichopo akilini hasa mizimu 😂😂😂😂 nafahamu wadada 3 wanahudumia wazee na wana pesa na wamefanya maendeleo makubwa sana. Hakuna kitu kigumu kama kubadilisha mtazamo wa mtu

  • @KadeejaKadeeja-ej4bu
    @KadeejaKadeeja-ej4bu 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah 💞

  • @hejmabohejhej9
    @hejmabohejhej9 9 หลายเดือนก่อน

    Mie wa kwanza huji kwangu bila apointment na ukija utarudi na hudunguliwi geti sitaki mambo ya kuja bila miadi

  • @trinahahans3737
    @trinahahans3737 9 หลายเดือนก่อน +10

    Yupo sahihi wanawake wengi wanateseka wanapoteza muda eti wapo ulaya

  • @ChristinaGaspary-jq4cc
    @ChristinaGaspary-jq4cc 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kosa Ni lake hajatulia

    • @hejmabohejhej9
      @hejmabohejhej9 9 หลายเดือนก่อน

      Hapana nimemuelewa huyu kijana wazungu wanawake pasua kichwa sio wote lakini wengi wao ndio mana hawawezani wenyewe kwa wenyewe

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 9 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa yuko mkweli sana ni kitu kizuri anaongea mawazo yake , divorce Iko juu zaidi ukiwa na wazungu au inabidi usiwe nafsi yako ili uhusiano au ndoa isivunjike Na wengi walio owa au kuolewa na wazungu hawako kwenye mahusiano yenye furaha ila ni mawazo ya kitumwa wanaona wazungu ni kama malaika au miungu mtu

    • @MaryamSaid-id6yh
      @MaryamSaid-id6yh 8 หลายเดือนก่อน +1

      Finally umetokea kusema niliyotaka kusema. Kwa nini mpaka leo wazungu wanaendelea kutawala akili zetu. Y’all, it is 2024.

  • @zainabufeka87
    @zainabufeka87 6 หลายเดือนก่อน

    Niwewe tuu umepata bahati mbaya kuna watu wameowa wazungu wameolewa na wazungu nawanaishi zuri mpaka wanatengeza familia hata shena ameolewa namzungu nayuko fresh ana enjoy ww tuu ulikuwa hujatulia😊

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli tu bora kuolewa na mtu mweusi

  • @rhobyanderberg1101
    @rhobyanderberg1101 8 หลายเดือนก่อน

    Katangulia kusema watu wanasema uongo ila yeye kasema uongo sana sana, unadanganya vitu vingi, hujakaa ulaya hujui ulaya vizuri

  • @PureSoul-rf4xd
    @PureSoul-rf4xd 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli hapo umeongea point kwamba nasisi tutafute pesa tuende ulaya kama vacation huko ulaya

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 7 หลายเดือนก่อน

    Shida ya wabongo ni wajuaji Sana mungu awasamahe,shida ni kwamba maybe I think its lack of Education

  • @DramaDive-8
    @DramaDive-8 9 หลายเดือนก่อน +5

    Duh hili mashine ya Leo ni CHICHI 😂😂😂😂anavyoishi anaamini kila mtu anaishi kama yeye 🙄🙄🙄

    • @rithaalberto123
      @rithaalberto123 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂 Mashine ya leo Kibokooo 🙌🙌🙌🙌

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanaume anayeongea sana anatia kichefuchefu yaaani😢 sijui mitaa ndio inalea hiivii uuuwii

  • @Salma-g3q9s
    @Salma-g3q9s 9 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu bdo Ana tabia ya watoto wa mitaani

  • @themaestro-24
    @themaestro-24 8 หลายเดือนก่อน

    Hawa uwa ni wagumu sana kuwabadilisha.Mungu awahurimie jamani.

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 9 หลายเดือนก่อน +11

    Alafu huyu ndugu Ana mfumo DUME kabisaa, ni Mbishiii , ajijue kuwa Africa na Ulaya na mahali pengine wako na lifestyle tofauti .

  • @latahilehsein3749
    @latahilehsein3749 9 หลายเดือนก่อน +4

    Sister shena jaribu kutafuta mtu wa kumfanyia interview huyu jina mwehu hajijuwi nini anasema wala anafanya nadhani mpungufu wa akili

    • @MaryamSaid-id6yh
      @MaryamSaid-id6yh 8 หลายเดือนก่อน

      Tatizo mnataka aseme mnavyotaka nasikia yenu yasikie. He might not be right in everything he said but we can learn a lot from him.

  • @sarafinayuwangi152
    @sarafinayuwangi152 9 หลายเดือนก่อน +2

    Duu!kazi ipo,huyu sio mzima kichwani, nimeishi zanzibar kuna vijana wanajazana ujinga na mastory ya kibeach boy

    • @ashaidei5680
      @ashaidei5680 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mhn wanajazana ujinga na pia ni kama Ana kinyongo itakua mdada wa kizungu alimtime hawaipendagi hiyo ,alikua anamtega wewe sema kila kitu.😂😂😂

  • @ally-26og
    @ally-26og 8 หลายเดือนก่อน +1

    Heee dogo hujaacha tuu tabia zako za zamani Zanzibar unipeleke chocolate mhhh!!!! Sema ukweli usaidiwe ww dogo acha hizo biashara za ushoga

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 9 หลายเดือนก่อน +1

    Shena leo kimekukuta,but nimependa umejitaidi kumuelewasha

  • @lydiaevod5886
    @lydiaevod5886 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo alishasema nichokoraa hawezi hayo maisha ya wazungu nimuhuni tu tapeli

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 8 หลายเดือนก่อน

    Better way invest by doing business short or long term investment utakufa maskini milele udate Hela na utajri hakuna hela za bure African has enough to the whole world

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 9 หลายเดือนก่อน +4

    Dollars 600 kwenda ulaya kwa ndege ya babako au? Huyu anaongea vyakusikia tu huyu.

    • @trinahahans3737
      @trinahahans3737 9 หลายเดือนก่อน +1

      Wala haongei vya kusikia yupo sahihi ulaya atakua amekwenda kweli kwani ulaya sasa hivi si kama kariakoo tu na anajua kutafuta hela kwanini akajiweke ulaya

  • @bobboris4859
    @bobboris4859 9 หลายเดือนก่อน +3

    Unjfnya unawajua sana na ulienda 6 months ata sioni ka ulienda hizo story za maskani beach Boys ndo umejaza kwa akili mtu ako 20 years ako na Familia huez sema hana furaha miaka yote ulishindwa ju ulizoea uzunguke ovyo si ulkua Street boy sa ulaya hkuwez

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 9 หลายเดือนก่อน +1

      💯
      Huyu ni bomu kabisa. Anajifanya mjuaji kumbe mpuuzi tu

    • @zainabkazige7388
      @zainabkazige7388 9 หลายเดือนก่อน

      Kabisa yani, huyu hakuna kitu

  • @Mussa-iz3ku
    @Mussa-iz3ku 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ukoloni ulisababisha chuki ya asili kati yetu na wazungu ila inatofautiana na kati ya mtu na mtu namna ya kuonyesha hisia katika hilo. Some people can't control to show that. Even some leaders in African countries do.
    Hiyo pia ipo kwa upande wa wazungu nao baadhi yao wanachuki wazi wazi na waafrika so it depends on person.
    Tuheshimu mtazamo wake na maoni yake.

    • @klaussteiner94
      @klaussteiner94 9 หลายเดือนก่อน

      kaka Mussa🎉🎉👏👊

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 9 หลายเดือนก่อน +2

    Shena leo kali

  • @rosemery3017
    @rosemery3017 9 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu bado hana elimu ya kutosha kichwani mwake

  • @Elizabeth-p4p
    @Elizabeth-p4p 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi mwenyew kapuku tyu ila hunipat bila appointment

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 9 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana ONJAONJA 🙈

  • @anisiamchembe6552
    @anisiamchembe6552 9 หลายเดือนก่อน +2

    wee jamaa wacha kudanga kwa wazungu ili upate pesa umeshangaza dunia leo yaani unamdomo mchafu sana hata huoni aibu kuongea kwenye mtandao hivyo kiswahili hapo kinatofasiliwa acha mdomo mchafu😊

  • @sabinaluyego4408
    @sabinaluyego4408 9 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu shida ni ukosefu wa elimu

  • @jimmykitura5803
    @jimmykitura5803 9 หลายเดือนก่อน +1

    Anauma anaachia 😮

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 9 หลายเดือนก่อน

    Nimependa Shena ambavyo umemuelewesha😊

  • @hejmabohejhej9
    @hejmabohejhej9 9 หลายเดือนก่อน

    Namuelewa huyu kijana anaongelea sana wazungu wakike ndio mana anasema hakuna mahusiano ya kudumu wazungu wakike hawadumu kwenye mahusiano

  • @abdullahaljabri110
    @abdullahaljabri110 6 หลายเดือนก่อน

    Nahisi vijana Wana sema ukweli wa maishaa yao kama walikuwa chokolaa ,lakini wasichana hawataki kukubali kama walikuwa nimalaya na ndio kuanza safari zao za kuolewa na wazungu😅

  • @JaneAssey-x2f
    @JaneAssey-x2f 9 หลายเดือนก่อน

    We kaka nihatari

  • @mickeyraymond8007
    @mickeyraymond8007 5 หลายเดือนก่อน +1

    Shena umejikazaje kucheka😂😂 au ndo ule unafki wa akina millard kwenye interview

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  5 หลายเดือนก่อน

      Mpaka Sasa Millard ndio anashikilia kikombe kwa Africa 😁

    • @rinasmart5123
      @rinasmart5123 4 หลายเดือนก่อน

      Umenikumbusha Millard na Zumaridi!!!😂😂😂

  • @Agnest.v
    @Agnest.v 9 หลายเดือนก่อน

    Napenda wazungu Sametime wako better

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwafrica org nakubali sana

    • @mwinyijumaismail605
      @mwinyijumaismail605 6 หลายเดือนก่อน

      Kumuita huyu muafrica halisi ni kuutukanisha Uafrica.

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mi nasoma comment 😂😂

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 7 หลายเดือนก่อน

    Dada unaonekana unatetea sana wazungu ila jamaa atakuwa sawa ndo maana niliomba mwanaume aje kwenye interview mwanaume anaongea true

  • @AdolphinaKabelege
    @AdolphinaKabelege 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu ana ubaba sana

  • @eunicemwalsumo2166
    @eunicemwalsumo2166 9 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana ndimu balaa Jambiani iyo mmmmmm hatari😅

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 9 หลายเดือนก่อน

      Alafu sasa Mbishii kupiliza ameshindwa anataka na wengine wakubaliane na yeye katu NGOO

  • @salomemkilima5732
    @salomemkilima5732 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu kijana kwanza ukiona stori zake kwa mambo aliyo pitia ndio maana amekuwa hivyo napia mazingira aliyo pitia this is not normal kiroho tunasema hili ni liroho tena sio liroho tu ni maroho yani ni ma spirit yana mtesa kwanza sio normal kijana mdogo kama huyu atembee na wanawake miambili au zaidi hilo ni liroho katika imani ukiona mtu kama huyu jua amesha jiunganisha na mizimu mingi ya tofauti tofauti ya wanawake unajua kutembea na wanawake au wanaume wengi kwa madada na kwa makaka wengi huwa watu watu hatujui kama tunaji unganisha na mizimu yao ,mikosi yao au baraka zao.sasa ombea upate wenye baraka lakini haswa mikosi hakunaga baraka za kutembea na wanaume au wanawake wengi zaidi ni maspirit machafu tu.hapo shena nikumsikiliza tu lakini huyo hayupo sawa ana mapepo tena mapepo mabaya sana huyu anahitaji maombi makali sana na akipata uponyaji alafu aje ajisikilize ataumia sana na haya maneno aliyo ongea huyu anahitaji deliverancy ningekuwa na hela ningempeleka nigeria kwa mama TB JOSHUA kwa maombi alafu mtaniambia alivyo badilika naomba number yake ya simu au shena nipigie kwa number yangu +255754964599 nataka kuongea nae huyu bado anahitaji msaada mkubwa sana wa kiroho huyu kwani hayuko sawa kabisaaa!! please please naomba number yake kwani akiombewa atakuja kuwa kijana mzuri na maendeleo makubwa sana.yeye anaona amefika lakini hajafika popote ndio anapotea hawa watoto wa mitaani wanamambo mengi sanaa kwa mazingira wanayo pitia wanakutana na mengi mno.

  • @geraldmanoti1716
    @geraldmanoti1716 9 หลายเดือนก่อน

    Nashangaa manaumiza vichwa, kishasema Mimi nimtoto wa ? Mtaaani kushinehi!

  • @chengeson
    @chengeson 9 หลายเดือนก่อน +5

    Cheating nijambo kubwa kwenye mahusiano

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 หลายเดือนก่อน +3

      Mnoooo

    • @foumad6161
      @foumad6161 9 หลายเดือนก่อน

      Shena nimeso komenti hapa takriban karibu zote wanamponda Jamaa, lakini kikweli yapo ya kujifunza kwa wale ambao hawajabahatika kuwa na mawasiliano na wanzungu. Pia nilichokibaini, wazungu wabapojuwa kuwa jamaa ni mpishi kitaluma they take advantage of him hiyo ipo sana sababu wao kupika wengi wao siku hizi sio jambo lao pia isitoshe huyo mzungu kumwabia jamaa nenda kapike yeye abaki na Rafiki nikuonesha marafiki angalieni huyu nilivyo mweka kiganjani wazungu katika mazingiza kahayo kwao hamwambii mapenzi wake ende nyumbani kapike, Binafsi kulikuwa na Demu wa kizungu nikimuliza vipi? are you coming around tonight (I mean to my house) mara nyingi uniambia kama utapika nitakuja ilikuwa nikitaka aje ili nipate kuona ndani sasa siulizi tena na wambia tu Leo naoika so and so ndio a anakuja.

  • @taturajabukhalfani7953
    @taturajabukhalfani7953 9 หลายเดือนก่อน +2

    Najikuta simuelewi huyu jamaa!!!

  • @joycehagman3086
    @joycehagman3086 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani muamke nduguzangu ulaya ilikuwa ya zamani sio ya leo,kijanaanasemaukweli, luga maisha tofauti na bongo .

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 9 หลายเดือนก่อน

      Kwani maisha ya bongo ya zamani na hivi sasa ni sawa?

    • @MaryamSaid-id6yh
      @MaryamSaid-id6yh 8 หลายเดือนก่อน

      I agree

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 7 หลายเดือนก่อน

    Nimejitahidi kusikiliza ila nimeishiwa nahamu ya kuangalia na kusikiliza duh we kaka kiboko na utoto mwingi chunga sana maneno yako

  • @philipkomba5525
    @philipkomba5525 9 หลายเดือนก่อน +1

    200 ?

  • @saidaamourali8590
    @saidaamourali8590 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂 nampenda huyu jamaa etti cheating ni ndogo huyu kwelii maisha ya beach yamembadilisha nimecheka etti ni ndogo tu 😂😂😂😂

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 9 หลายเดือนก่อน +1

    Duh😂 sijui hata nicomment nini, ila hapa mmmh hapana kwakweli😂😂😂

  • @Elizabeth-p4p
    @Elizabeth-p4p 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa wee utasalimia kila mtu bhana

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 9 หลายเดือนก่อน +5

    Shena Leo umekutana Pishi linalotakiwa kupikwa kwa kutumia Gas ⛽️ 😂😅

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 หลายเดือนก่อน +1

      🤣

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 9 หลายเดือนก่อน +1

      Yaaani 😂haaa 😅 sijapata hii staili y’a huyu Kaka

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 9 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo kijana yuko vizuri kuna vitu vya kujifunza kutoka kwake na yuko mkweli mno Na anajua anachotaka , kwenye mahusiano ya wazungu kuna kutumiana na amagundua hilo

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 7 หลายเดือนก่อน

    Wabongo wangi hawapendi kujua mabaya ya ulaya! Jamaa yupo wazi kwa uzoefu aliopitia!!

  • @MariamNgajilo
    @MariamNgajilo 6 หลายเดือนก่อน

    Ddda unahoji Adi matahairah