MPYA - BINTI MASAWE - SIMULIZI YA MAPENZI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 พ.ย. 2023
- Kwa majina naitwa jackline masawe,ni mtoto wa kwanza katika familia yam zee masawe,iliokua na watoto wawili tu,yaani mm na mdogo wangu eddy.mama yangu alikua mwalimu wa shule ya msingi wakati baba yangu alikua anafanya kazi katika shirika la reli jijini dar es salaam.mm na mdogo wangu tulizaliwa dar wote na kusoma dar hadi nilipomaliza darasa la saba mama yangu ndipo alipata kazi serikalini maana alikua anafundisha shule za binafsi.
- บันเทิง
BINTI MASAWE PART 02 BONYEZA HAPA th-cam.com/video/b7jIVS_M2Fk/w-d-xo.htmlsi=4spuoNSpmLtDdGgW
Jaman watoto ninyi watotoo msiyachochee mapenz kabla ya wakat wake mpaka yatapoona vema yenyew
Iyo ni kweli maana watoto wasikuhizi wanapenda sana ngono na pesa
@@DorcasMuomba-gd3sw kweli
Naomben like zangu msijisaulisheee ap😂😂
Sawa tumekuelewa🤣
Hatujasahau Yassin
😂😂😂😂Nimependezwa na mamake Masawe 🤣🤣🤣🤣 Osmond unacheza na watoto wa watu 🔥🔥🔥🔥
Jmnii nimepanda sitory😂😂😂❤
Japo kuwa nimechelewa ila bado nipo anko jay with Lisa mwalla hongera sana napenda story hii ❤❤❤❤
Sandeeee,wew sandeee,sandeee wew
Jameni nilikua napuuzia iyi kumbe utamu wake nihuyu keee pamoja na X heeeeee mng njo anajua yani ni full utamu 🤗🤗
Wanaume kama hawa ndo wanifanya wanaweke wawe na roho bay aki pole sana dada hapo kwa kujikojolea ndio ni.cali kwa kweli Anko jay asate kwa simalizi juri sana❤❤❤❤❤❤
Sijachelwa mno let m relax niburudike
Thanks anko jay
Ni kweli mm na wewe ni marafiki ila wa sauti tu na je nikikuona ila sio poa
Pole masawe
Watoto munadanganyika wazazi tunawatafutia mema mutuombeye dual wakwanza amegutema unarudi tena jamani shida🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Shida kubwa
Duuuuuuh,pole mchaga mwenzangu
Jaman we anko j unasimulia vzr yaani daa
Napenda saut yako ank jay❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
merci anko j tu me manque,turagukunda
Mamb anko jay daah amazing sana ila vp sehemu ya pili yani imenipa miwasho hatar moyo inapwita hatar inauma sana wanaume nyie bwana bas tumnatuumiza sana
Apo kwa kizungu umenitoa mbavu jamani 😂😂😂
Anko jey ❤️❤️❤️ tunakupenda sana 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Wachaga sio wavivu bwana, ila inategemea umelelewa kwa mazingira gani😅😅
Jamani anko j anzaa na bint masawe
Asante anko jay nimekua wa kwanza leo
Hongera🎉
Asio sikia la wazee kuvunjika gu ungemsikiriza mamako yasingekukuza mwana ngu pôle sana ankojay hi simlizi ni ya mafunzo sana asante sana
Anko j and Lisa mwalla shukrani kwenu 🎉🎉🎉
Mbona haipo iyo sehemu yapili anko
Wauuuu🤭😂 ahsante AnkoJay Acha ni 🪑🎧 Binti Masawe jameni like zen duguzangu
Jamani mbana wa ndungu hawana upendo wa mungu ya mtu kahacha kwao likini hunamuteza tu kama nini mimi Niki rudi kwetu kweli niombe msamah kwa wazizi. Tana wazizi hawajui hunaishi vipi
Wakwanz mimi nipeni likes zangu
Simulizi nzuri❤❤
Ankooooooooo sauti yako ya beziiii hasa inapompata yule kijana muhusuka uwiiiiii @ankoooooomasautiiiiiii
😄😄😄😄
Naomba. Sehemu. Ya. Pili
Naipend simulzi❤❤
Hatima toto la kichaga bint masawe
Mambo kaka
Mambo yake ni mambo ya uhakika ya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mmh kwakweli namshauli aluditu kwao sio kwa mateso hyoo daah😅
Waoooh k2 ktam kweli
Anko jay X tafadhali,🙏😂😂
Daa Lisa napenda vitu vyako vitamu sana❤❤❤❤❤
Hatimae leo tumekumbukwa na lisa mwalla😂😂😂❤❤❤
Arudi kwao akaombe msamaha mamake atasamehewa huyo mwanaume hamfai tena mapenzi hayalazimishwi kabisa lakini ipo siku Sunday yeye mwenyewe atamtafuta
Oyooo, anko. Jey. Alsse. Unafurahishag. San. 😂😂😂
tupe muendelezo bro mbona inakawiya yani tunaisubiliya kwahu kabisa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Ilaaa Ankojay bnaaah 🤣🤣🤣 ety kekeeeeeee kekeeeee unaadithiaaa UTAMU😋😋 Mama Jack nae sio kwa kipgo ikoo jamniii
Wakwanza nipeni like zenu wadau❤❤❤❤
Hongera 🎉
@@ankojay_ thanks 👍
Nipeni like zangu jameni
Daah adi nimetoa chozi mwisho jameni😢😢😢 uyu sunday atakuja juta vibaya sana
Dada lisa mwala ft anko jei jmn
Weee lissa weeee haujui😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤ Hongereni Lisa na Ankojay kwa kazi nzuri🎉😊
Waooooh ile saut tam tena ipo hewan Asante sana anko wetu pamoja na Lisa mwala tunawapenda sana. Mashabiki zenu
Party 2 iko wp anko jei
Nyie namba ya huyo sunday nikaonje huo utamu unaosimuliwa hapo😅😅😅
Wacha wee 😂😂
Mwendelezo jaman anko j
❤❤jamni kwani huyu ako anamke nampenda mm 😊😊
Anko sema unamke?
Anko semaah umeshapendwa huku
Anko jibu ulichoulizwa kuna mtu kafa kaoza kwako
Tulimiss simulizi za da Lisa mwalla 🥰
Kwa kweli dear
Lisa mwalla karibu Tena tulivyo kumisi
Jomon 🤗 napenda kusikiliza story za ankojay arafu Sasa iwe imeandikwa na Lisa mwala ♥️♥️♥️
Aya nipen like zenu wachaga tume kumbuka
Acha tu tunakooooleeea
Congratulations 👏👏👏 anko Jay wetu pamoja na Lissa mwala nimecheka sana aisee pale anko Jay anajinyoosha ati kazi ya tunda ni ngumu sana anko wewe ni kiboko yao mjanja sana kama sungura, kwa kweli utamu hadi raha tumeinjoy sana Jabali wetu King 👑 tunaisubiri sana iyo part 2 mungu akubariki sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Leo week end nzur
Mashallah Leo nimewai
Ahsanteee ankoo
Anko jay apo unajinyoosha umechoka au😂😂😂😂
Nasikiliz uku nakunywa bia barid😅
Anko jay nakukumbusha usikose kutuletea simulizi ya X❤❤❤❤❤❤
❤😍Hizi ndo simuliz zng mie mmbo ya ujasusi siyawez😂🎉
@@user-lk5ps2mf9fhata mie nilisikiliza part 1 hata sikumaliza nikaiweka pembeni
Unatutamanisha dad
Wao kitu kipy
Niko rada nn pia 🎉🎉
Pole sana dada sasa nakuabia utajua mama ni mama ukiambiwa na acha❤❤sikiliza
Hi mko poa wana family
Hi too tuko fresh baridi hatuna bugudhi😂😂😂😂😂❤
@@everlynesafari1527 usijali tuta pata hio bugudhi na na nnhio bugudhi blangeti sio
@@everlynesafari1527 nisha kuelewa mpenzi
Hila anko j simulizi ya taxi ya mauaji season 2 sijaisikia
Eeh ni ukweli haswa
Karibu tena Anko j 🤗😍
Ankoy j we noma sana .Kaz nzuri sana napenda simlizi zako san
Ankoo Anza na x plz
Ety I love him I love her 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani hvi lazima ukitongozwa uliwe day hio hio??
Anko Jay mapesa Hi 👋👋👋👋👋
😁😁😁😁
Anko mapesa na magar yake na magorofa yake na mstudio wake huo atake nin tena mtoto wa mamaake
nazipenda simulizi zako ❤
Nimechelewa leo naombeni laiki
Ila uncle j unatuuwa 😅
Hatimae😂😂🍎🍎🍎🪴🪴🪴💐💐💐🥀🥀🥀, asanteni sana Ankojay na Lissa Mwala kwa utamu wa weekend ♥️♥️
❤❤❤❤❤❤LISAAAAAKEEEEEEEEEE PENDAMIMI WEWEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jmn mbona part 2 hamna
Good
❤❤❤
Hi ina endelea lini jama anko
Anko part 2 ya Binti masawe mbona hutoi anko
Nipeni like zangu jaman leo nimewahi😂😂
Chukuwa zote ❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
@@user-il3sd1wo3p❤❤❤pp❤❤090
Leo .mbona haujatuletea part2
Sehemu ya 2 mbona siyoni jamn
Ila anko Jay kusema tu ukweli unasaut nzur sana na una kipaji cha kuugiza saut yeyote bravo 👏 anko Jay Allah akuzidishie uelewa❤❤
🎉🎉🎉🎉tumewasili mjengoni 😊😊
Kweli Anko jay tunatosheka haswaaaaa na simulizi zako 😂😂😂
Anko tuleteye part 02 binti masawe, na X part 06
Top 10 na mie leo 😊
❤❤❤simlizi ya bint masawe ninzur jaman tutumie mwendelezo wake🙏
Wa mwisho mashallah anko Jay tabaraka Allah
Jacq unachekesha umeibia shost yako mwanaume sasa ww nb tuu unatoapovu wakati nguo safii😁😁😁😁😁mapenzi shikamoo Sande amekuoa lkn Mateso rafiki yako kumbe anakulamba kisogo.ingekuwa ni mm ningempigia mamangu sim niombe msamahaa nirudi uwaachee wapendanao kwaxa eti nanuka huyu hata siku moja hawezi nidara mwili wangu shezi zake
Mh,ukitenda ubaya ni lazima ukurudie hiyo ni kanuni ya lazima,pole Jack
Ila anko jay unamanenooo hahahahha
Hongereni sn Ankojay na lisa kwa kz nzuri napenda sn simulizi zenu nasikiliza nkiwa Qassim ❤❤❤
Halow haloww kipenzi na mwamba wa Anko j tumekumisss sanaa dear lisa mwala❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ahsante sana Anko Mapesa,tuko pamoya.