Rais wangu mungu akubariki sana maana wewe huna ubaguzi leo pesa za makafiri zinaenda kujenga nyumba ya kuabudia hebu tujifunze kitu mungu wetu anatupenda sote hana ubaguzi
Umeongea Jambo zito Sana km wanapitia comments watakuwa wamekuelewa. Nyerere ndio lilikuwa wazo lake na ndoto zimetimia, udini pembeni ubinadamu kwanza
Asee mungu awalipe kila lililo jema yaani asalimia kubwa wametoa wakristo kuchangia msikiti ebu niambie jinsi gn tnzania tunapendana bila kubaguana ila kuna watu wachache wanatugombanisha tu
Kuna mbunge alishawai sema tusipoteze pesa kupiga kura kumchagua rais mwakan badala yake tuchague wabunge tu,hii ndo maana yake jpm atapita kwa kishindo sn next year
Mzee busara nakupa SALUTE kwa kitendo ulichokifanya kwetu waislamu umetupiga bao 3-0 kama kuna mtu yyote alete hoja...waislamu toe na nyinyi hizo hela mutaziacha humu2 watazitumia wengine pengine watazitumia kwa ubaya iwe ndio kichapo chako kesho TOWENI TOWENIIIIII
Ni jambo la hamasa na kutia moyo sana kwa umoja wa ushirikiano haswa la kufurahisha hapa na pia kuhuzunisha zaidi ndugu zetu wa kikristo wametoa mchango mwingi kushinda waislamu...hivi waislamu hili jambo alilofanya raisi wetu hamuoni kama nipigo kwetu na aibu...ama mutatoa hoja munatoa kwa siri???
Haya ndiyo matunda yaliyoachwa na baba wa Taiga," UPENDO NA UMOJA" ndiyo utakaolifanya Taifa letu lisonge mbele kweli kweli, nalisema hili kwa dhati kabisa.
Ndugu zangu tizameni hizo hela, hata km mtamdanganya rais kuwa mmezifanyia kazi, Allah sw atawahukumu km mtatatulia matatizo yenu, fanyeni uwazi ktk matumizi ya hiyo hela
Taaqbiriii ,Allah Akbar M.Mungu awalipe walichotowa kwa ajili ya Allah
Yeeeh Mungu ibaliki Tanzania, umubaliki rais Magufuri na watanzania wooote kwa ujumla
Rais wangu mungu akubariki sana maana wewe huna ubaguzi leo pesa za makafiri zinaenda kujenga nyumba ya kuabudia hebu tujifunze kitu mungu wetu anatupenda sote hana ubaguzi
Umeongea Jambo zito Sana km wanapitia comments watakuwa wamekuelewa. Nyerere ndio lilikuwa wazo lake na ndoto zimetimia, udini pembeni ubinadamu kwanza
Allah Akbar Allah hakujalie Mweshimiwa Rais kwa kuliona Hilo safi sana..
Asee mungu awalipe kila lililo jema yaani asalimia kubwa wametoa wakristo kuchangia msikiti ebu niambie jinsi gn tnzania tunapendana bila kubaguana ila kuna watu wachache wanatugombanisha tu
Mashallaha Allah akulinde na husda na pia akulipe zaidii ya hizii ulizo toaa inshallah
Mungu akuongezee Rais wetu pale ulipo pungukiwa. Na viongozi wengine
Huyu rais wetu ni mfano kwa viongozi wote wa dunia
Naibu sipika na wachangiajii wengine Allah awalipe kheir inshallah na wakinge na maradhii ya kila aina kwa kujitolea ktk nyumba yake tukufuu inshallah
Ubarikiwe muheshimiwa Rais❤
Huyu ni rais wadini zote mungu aibariki familia yake
Congoman mimi nakusifu sana, watanzania wanabahati gani kwakumpata rais kama huyu, kwa nini musimfanye kama rais wa china?
Asante, mimi naishi Scandinavia, ingekua uamzi wangu, ningemuacha awe rais milele.
Hatak urais wa milele anataka demokrasia
@@agathathobias8690 lakini mbona Congo kunademokrasia saizi?
Mungu akubariki
Na Mimi kafiri mwenzao ntachangia kutoa pongezi kwa upendo wao. Pesa ya kula na familia zao wanachangia msikiti, Amen! Bwana Ni mwema Sana.
Takbir...Allahu Akbaru
The real President of Tanzania 🇹🇿 👏 God bless you
Mungu akulinde sana baba wa taifa JK from +254
Mm mwheshimiwa next time kura yangu nitakupa ya mungano
Hahahaha hata mieee tuta mpaaa kama zoteee
@@ramadhanisakalani8372 unafikira mim na Sema neno
Mashaa'Allah Mashaa'Allah Mashaa'Allah mwenyez Mungu akupe afya njema rais Magufuli
Nimeipenda sana Allah akulipe Khery
Mpaka raga jamani Nakupenda sana Rais wang
Takbirrrrrr
Kweli Mungu hakuongoze kwani hakuna kafiri wala nini maana ndio watowaji kuliko Hao waslam wenyewe
Mashallah
Mungu awalipe viongozi wetu, waislamu wote kura zetu kwa magufuli , hakuna kama mr president wetu we love you so much ❤️ , mungu akuongoze raisi
Rais Magufuli tano tena 2020 In sha Allah
Mungu akubariki Mzee wetu
Kuna mbunge alishawai sema tusipoteze pesa kupiga kura kumchagua rais mwakan badala yake tuchague wabunge tu,hii ndo maana yake jpm atapita kwa kishindo sn next year
Kweli kabisa
MashaaAllah MashaaAllah
Safi sana nimempenda laisi. Wetu. Mungukwanza
Eeeh baba shukrani 👏👏👏👏
We Will never ever have that kind of president
Mungu awabariki.
Allah akujaalie kila hitaji lako pamoja na tz kwaunacho fanya allah shahidi
Mzee busara nakupa SALUTE kwa kitendo ulichokifanya kwetu waislamu umetupiga bao 3-0 kama kuna mtu yyote alete hoja...waislamu toe na nyinyi hizo hela mutaziacha humu2 watazitumia wengine pengine watazitumia kwa ubaya iwe ndio kichapo chako kesho TOWENI TOWENIIIIII
Msikiti umeisha kwa mchango huo Mungu akubariki Magufuri
Utakumbukwa Mzee Magufuli kwa wema wako pia huna ubaguzi Ahsante saana.
Ni jambo la hamasa na kutia moyo sana kwa umoja wa ushirikiano haswa la kufurahisha hapa na pia kuhuzunisha zaidi ndugu zetu wa kikristo wametoa mchango mwingi kushinda waislamu...hivi waislamu hili jambo alilofanya raisi wetu hamuoni kama nipigo kwetu na aibu...ama mutatoa hoja munatoa kwa siri???
Nani analia humu mbona kama mapepo🤩🤩
Hongera Magu Rais mwema
Ongera Mh.
Jamani mpka raha raisi wa wanyonge
Mungu akubarikia baba
Safi sna mzee nakkubali sana weye ndio rais after jk nyerere,yaan 2020 sinaaja ya kusikiliza kampeni hapa kura tu bas
Huyu ndio kiongozi wa mfano
Mashaallah
Duh aisee hii ndo Tanzania tuitakayo
Magufuri ubalikiwe Allah akuruzuku aaaamin
asaramariku 😀😀😀
Shukurani rais wetu
Nawaombea Hidaya kwa Allah,awaongoze katika njia ya haqhi...asiwafishe bila kuyaridhia matendo yao kwanza.
mashaallah jazakallah khayra
Magufuli nakukubali sna hakika wewe ni rahisi bora
Mungu mubariki jpm
Hadi raha
namkubali sana huyu mzee mwanzo sikumuelewa
Nimependa.
Magufuli kakubalika mpaka watu wamekua na moyo wakujitolea, mpaka kawakataa.
Mfuko wa shekhe umekua mdogo, imebidi wamtafutie salfeti😁😁😁😁
Wengi wamechangia kwa uwoga tu. Wachache wamefanya kutoka moyoni.
Eng. Kelvin Wagara wameogopa nini..??
Msikiti oyeeee
Wow. Uncle Maguuuuuu.
Jazalikha heri
Aaah namkuu WA mkoa njoo uchangie magu hoye,
ManshaAllah
asante raisi wetu
MUNGU akubariki Magu
Salma Ali Musa
Ya Rabi wafanyie wepesi na waongezee ridhiki wale wooote walouchangia msikiti
Magufuli ameteka dini zote upinzani tukaze but
Love you baba
Haya ndiyo matunda yaliyoachwa na baba wa Taiga," UPENDO NA UMOJA" ndiyo utakaolifanya Taifa letu lisonge mbele kweli kweli, nalisema hili kwa dhati kabisa.
Unapotoa haijalishi ni dini gani au ni mtu gani mungu hukupa zaidi ya ulichotoa hayo ndio malipo hulipa kwa aina yake anayoijua
Kama watu hawajafanya maendeleo awamu ya tano basi hakuna maendeleo tena
MashaAllah
Jambo jema
Mashallah,silimu basi
Wewe raisi wa wote
Ongera naibu spika
Raisi wetu TUNAKUPENDA SANA
Ndugu zangu tizameni hizo hela, hata km mtamdanganya rais kuwa mmezifanyia kazi, Allah sw atawahukumu km mtatatulia matatizo yenu, fanyeni uwazi ktk matumizi ya hiyo hela
Magu oyeee!. sasa shekhe subiri kutumbuliwa atakapokuja tena msije fikiria hizo hela ni za bwakwata....
Huyu ndio raisi
Kas ya hatar
Tulia akson umetulia kweli
Kura yangu jamani
Kwakwel nikukamuliwa
Kwani magufuri hizo hela anazochangia anatoaga wap ?
Ya Rabi wafanyie wepesi na waongezee ridhiki wale wooote walouchangia msikiti
hamis Kanama
amiiyn
Mashallah
Allah akujaalie kila hitaji lako pamoja na tz kwaunacho fanya allah shahidi